ALIYEDAIWA KUFUFUKA ARUSHA AONGEA KWA HASIRA AKIWA NA MAMA YAKE, "LAZIMA AUZE SHAMBA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 564

  • @lovenesszedekia7814
    @lovenesszedekia7814 6 місяців тому +256

    Jmn milard Ayo katika wafanyakazi wako ambao wanastahili kupokea mshahara mkubwa basi hyu Godfrey tomas anastahili pesa nyingi arusha kuna matukio mengi Sana na hyu ana kabiliana Sana na changamoto za watu jmn kama mnamkubali Godfrey nipeni like zangu na comment❤❤❤

    • @ANNATARIMO-qq1nl
      @ANNATARIMO-qq1nl 6 місяців тому +8

      sio arusha tyu yan matyukio meng yupo on time apewe mauwa yake kwa kweliii

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 6 місяців тому +5

      Huyu mtangazaji Yuko vizuri na anaipenda kazi yake

    • @anoldjefsta177
      @anoldjefsta177 6 місяців тому +1

      Vido vidox pia

    • @MarthaLungwa-sr4er
      @MarthaLungwa-sr4er 6 місяців тому +1

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @EvaustineMrema
      @EvaustineMrema 6 місяців тому +1

      @@MashakaMagesa p

  • @mamafloraofficial4315
    @mamafloraofficial4315 6 місяців тому +48

    Aliyesikia neno" Mungu hafagi" gonga like hapa

    • @EllyCantonaCantona
      @EllyCantonaCantona 6 місяців тому +2

      Hahahahahaa nimeipata iyooo

    • @SylviaMallya
      @SylviaMallya 6 місяців тому +2

      Halaf god amepotezea apo nilitaka nielewe zaid

    • @randomtube3002
      @randomtube3002 6 місяців тому +1

      rasta amepata picha nzuri alivyosikia watu wanasema amefariki na ameshazikwa any way kiswahili lugha ya taifa 😂😂😂😂😂😂😂

  • @RachelNathan-yv5zc
    @RachelNathan-yv5zc 6 місяців тому +134

    Mimi kwaupande wangu naona huyo baba alizikwa kweri lakn sio kwamba alikufa kifo cha MWENYEZI MUNGU na mwishowake MUNGU aliamua kutowa sehem walikomfisha ili UKUU WA MUNGU uonekane kwamba uchawi sio kitu mbere ya MUNGU

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 6 місяців тому +4

      Miradi ayo naomba uyo robati awapele uko aliko kuwepo kipindi chote Cha msiba wake tujue alikua akiishi na nani uko

    • @ndorobocarworks-dx4pf
      @ndorobocarworks-dx4pf 6 місяців тому +1

      Wachaw walikosea ubin haki yao kupata adhabhu

    • @StellaMwasha
      @StellaMwasha 6 місяців тому +2

      Duuu kaburi kutetema coz wachawi walishindwa kumkamata

    • @esterpaul5856
      @esterpaul5856 6 місяців тому

      Na walichelewa kumkata ulimi na kumpumbaza..ndo maana akatorok

    • @PendoMatemba
      @PendoMatemba 6 місяців тому +2

      Kweli kabisa,, binafsi naamini unachosema

  • @MaposhoMwacha
    @MaposhoMwacha Місяць тому +3

    Umeskia hyo, Mungu hafagi inafurahisha hyo mesej .

  • @ZakiaBashir-n4i
    @ZakiaBashir-n4i Місяць тому +3

    Mama ananifurahisha jmn anavyoongea hd raha ingawa ni huzuni.Poleni mtangulizeni tu Allah.

  • @magefrenk6722
    @magefrenk6722 6 місяців тому +26

    Mungu ameamua kujithibitisha kupitia Robert, kwakweli uchawi upo na Mungu yupo

  • @SimbaSportsClubMemories
    @SimbaSportsClubMemories 26 днів тому +4

    Mtoto mzee kuliko Mama 😂😂😂😂 Umetisha Robert

  • @JULIUSNCHAGWA
    @JULIUSNCHAGWA 6 місяців тому +24

    Hapa kuna mchezo rahisi sana umefanyika ngoja niwasanue
    1: baba mdogo na mke wake ndo wamemuogesha marehemu. Baba mdogo ndo anataka shamba so kama alitengeneza jambo hvii
    2:robart amekataa yeye hajawahi hata kugongwa na toyo
    SO JIBU HILI HAPA baba mdg alitengeneza uvumi wa kifo wakazika mtu mwingine kisha watammalizia robart huko huko alipo ila kabla hawajafanikiwa mwamba akarudiiiii😂😂😂😂😂😂

    • @subiraEgid-p6t
      @subiraEgid-p6t 6 місяців тому

      Mawazo yako😅....

    • @Alexander-th3tn
      @Alexander-th3tn 6 місяців тому +4

      Halafu jeneza lilikua linatingishika maana yake wamezika mtu ambae sie wa hiyo boma

    • @marryjumanne5971
      @marryjumanne5971 6 місяців тому

      Kweli

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 5 місяців тому

      Manaake walizika mtu hai😅​@@Alexander-th3tn

    • @EsterKiyabo
      @EsterKiyabo 5 місяців тому +1

      Duu! Kweli bwana

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 6 місяців тому +19

    Serikali iwape vitambulisho vya NIDA wananchi wote ili tusiwe na sintofahamu

  • @samirahElhanafy
    @samirahElhanafy 5 місяців тому +4

    Marehem sio msumbufu,kuna kafeeling kamesisimua moyo❤love u mamaa .R.I.P mom2023

    • @Bles-x1v
      @Bles-x1v 2 місяці тому

      hahahaha jinga wewe

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 6 місяців тому +12

    Huyu mzee anayegoma shamba lisiuzwe,anaonekana ana ROHO MBAYA MNO! Hata ongea yake,inaonesha ni mtu mwenye roho mbaya sana na chuki. Jicho lenyewe utadhan aligongwa na katapila. Mashamba yao wameuza wakala pesa. Ila shamba la Robert ndio wanataka asiuze ajenge! Shenzi kabsa. Robert,uza shamba lako! 😡

    • @suzysam6002
      @suzysam6002 6 місяців тому

      Kilimanjaro hawana tabia ya kuuza Mashamba ya nyumbani hata ufanyaje hiyo Ni desturi yao

    • @EvangelistyohanaLyimo
      @EvangelistyohanaLyimo 6 місяців тому

      kweli kabisa
      ​@@suzysam6002

  • @Zuwenamchuzi
    @Zuwenamchuzi Місяць тому +1

    Acheni pombe rudini kwa mwweyezi mungu kusali na kushkuru

  • @JohanesFaustine-vn9sk
    @JohanesFaustine-vn9sk 6 місяців тому +43

    Kati ya mwandishi anae kutana na majanga ya kihandishi ni uyu bro mwandishi wa ARUSHA

    • @FredMaulid
      @FredMaulid 6 місяців тому

      Umeona eh huwa anaripoti matukio magumu na kushangaza utadhani Arusha siyo tanzania ni nchi nyingine maana wadudu wanamatukio hatari inahitaji muda mrefu kubalika pengine mazingira na malezi yamewaathiri

    • @jescaprojest7262
      @jescaprojest7262 6 місяців тому

      Kabisa

  • @talents7934
    @talents7934 6 місяців тому +24

    Yani mama anaonekana kama vile ndo mtoto wake marehem ila marehem anaonekana kama ndo baba yake na huyo mama kweli pombe inazeesha😂😂😂

    • @GfgGgh-v5z
      @GfgGgh-v5z 6 місяців тому +2

      😂😂😂😂😂 kwa kweli 🙌

    • @FaridaHamisi-k6i
      @FaridaHamisi-k6i 6 місяців тому +3

      😂😂😂😂.Pombe cyo maji jamani

    • @jescaprojest7262
      @jescaprojest7262 6 місяців тому +4

      Yaan nimeangalia Zaid ya mara 10 sielew km huyu mama n mwanae 😂😂😂😂

    • @JohnJohn-gm7yb
      @JohnJohn-gm7yb 4 місяці тому +1

      Noma sana pombe

    • @JohnJohn-gm7yb
      @JohnJohn-gm7yb 4 місяці тому +1

      Mtoto mzee mama kijana sababu ya pombe

  • @YassinAdam-i7b
    @YassinAdam-i7b 6 місяців тому +31

    Nmependa hiyo ongea ya mama apo. Et eeeeh eeeh eeeeeh eeeeh 😂😂😂

    • @chocolatekalex
      @chocolatekalex 6 місяців тому +2

      😂😂😂😂heee heeee

    • @adolfmathew9698
      @adolfmathew9698 6 місяців тому +3

      Iyo ni kiarusha eeee eee ee kuitikia yan anajijibu ivyo yan

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 6 місяців тому +2

      Keja doii mpaka kaongea lugha ya nyumbani 😂😂😂😂😂😂eehh eehh eehh shikilia hapo hapo

    • @Zainab-qg6xv
      @Zainab-qg6xv 6 місяців тому +4

      Ila mtoto kazeeka kuliko Mama

    • @novahrappertz2990
      @novahrappertz2990 6 місяців тому +1

      ​@@Zainab-qg6xvsasa mtu alishakufa kaja kufufuka c lazima amzidi mama uzee😂😂😂

  • @richardmwabalasa5136
    @richardmwabalasa5136 6 місяців тому +3

    Hapa mwanaadam alilazimisha kufanya majukumu ya mwenye mamlaka mungu baba"kutoa na kutwaa"sasa mungu amewajibu ya kuwa majukumu hayo kamwe mwanadamu hatoweza kuyafanya.

  • @DudddyWhyCant
    @DudddyWhyCant 6 місяців тому +26

    Uongo, kuna uhuni umefanyika, hilo shamba yaani hata auze kwa laki moja sinunui 😮😮😮

    • @محمدالقايد-د6ب
      @محمدالقايد-د6ب 6 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂kweli dah laki moja

    • @محمدالقايد-د6ب
      @محمدالقايد-د6ب 6 місяців тому +1

      Yaani ata mtu anunui labda asiye jua😂

    • @Bles-x1v
      @Bles-x1v 2 місяці тому

      mi nanunua afu naachilia mafta ya upako na maji ya upako kutoka kwa mwamposa yote yanawezekana kwake yeye aaminie

  • @sjosephmashany-eu6rf
    @sjosephmashany-eu6rf 4 місяці тому +2

    Baba mdomo na Bosco mungu anawaona

  • @Yanarichbiz
    @Yanarichbiz 6 місяців тому +5

    Mama ana ngozi nzuri sn

  • @sund2553
    @sund2553 6 місяців тому +10

    Kazeeka kuliko umri alionao…….anyway itakuwa walimtengezea kifo wamzurumu hakiyake

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 місяці тому

    Hicho kijiji cha Wayahudi , mtu akipota wanasema AMEKUFA , na akionekana wanasema AMEFUFUKA .😅😅😅😅😅
    Ukisoma vzuri LUKA 15:24 na LUKA 15:32 huwezi kuona ajaabu mtu kufa na kufufuka 😅

  • @mchungajikiwiya
    @mchungajikiwiya 5 місяців тому +1

    Hayo ni mambo ya kishirikina.Mungu atusaidie sana.

  • @danielthomasmsigwa31
    @danielthomasmsigwa31 6 місяців тому +1

    Kila linapotokea hili najitahidi ku-comment kuipuuza kauli ya biblia kunafungua milango ya mapepo; kitabu hiki muhimu sana kwa sasa "mtarudia udongo..." mwakani(2025) duniani kote mashetani yatachukua maumbile ya wapendwa wetu waliofariki hata maraisi wetu tuliowapenda wataigizwa na pepo na kutuhutubia tutawashangilia. Ujumbe wao utakuwa kuiheshimu JUMAPILI

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 6 місяців тому +2

    Mama na Robert muende kanisani mkatoe sadaka. Mungu anaonyesha hiyo ni haki ya Robert, pia Uongozi umsaidie auze apate haki yake kwa Jina la Yesu Kristo

  • @chocolatekalex
    @chocolatekalex 6 місяців тому +12

    Afu mimi ninavyoona jamani nipo DRC lakini ili picha lilitengenezwa n'a wale ambao wanataka kumuzulumu robert shamba maana mukifata kwa umakini alieleta habari ya kifo kwa Mara ya kwanza ni BOSCO n'a huku nyuma mama anasema kwamba...n'a yule mtoto wake bosco kwa maana kwamba bosco ni mtoto wa uyo mzee anaesema shamba aliuzwi ambae mama anasema sasa ivi Hana makao nipo DRC🇨🇩

    • @naomisamwel18
      @naomisamwel18 6 місяців тому

      Robert sijasikia km unamke😅naomba nije uniowe tusaidiae kupambania shamba

    • @DM.2200
      @DM.2200 6 місяців тому

      ​@@naomisamwel18 Ila nimesikia kasema yupo na watoto wawili upo tyar kuwa mamdo 😂😂

    • @lucymbena2538
      @lucymbena2538 6 місяців тому +1

      Bosii na babaake hawakumlipa mganga walimzulumu 😅pesa yaka 😂akaamua kurudisha mwenyeshamba ambae Ni Robert Safi Sana

  • @muddywatown
    @muddywatown 6 місяців тому +11

    Huyu akili itakua washazichezea au kashaziacha huko 😂😂

  • @EdwardKisota
    @EdwardKisota 6 місяців тому

    Sasa hapo directly baba mdogo ameguswa.alifoji maiti ili baadae wamiliki shamba. Tumezoea , Uchawi,ushirikina na mauaji ya innocent people, Lakin hii kufufuka daaaah.syo Rahis 😊

  • @MariaKazimily
    @MariaKazimily 3 місяці тому

    Bora tu ni mzee angekua kijana inaumaaa sanaa😢😢😢

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 6 місяців тому +7

    Mungu amemsimamia na mizimu ya kwao

    • @JohnJoseph-qq7ow
      @JohnJoseph-qq7ow 6 місяців тому +6

      MUNGU achangamani na mizimu

    • @davidjoseph1143
      @davidjoseph1143 4 місяці тому

      Mungu n mizimu ndo nni,mungu mwenyew hatk kuhusishwa n mizimu wew vip kusem mung n mizim

  • @fundimadishiarusha4828
    @fundimadishiarusha4828 6 місяців тому +1

    azam tv Arusha burundi kwa wote

  • @EjidiaDidimusi
    @EjidiaDidimusi 9 днів тому

    Nimaajabu

  • @KhamisJumanne-q2l
    @KhamisJumanne-q2l 6 місяців тому +8

    Huyo mungu anampenda ashike ibada sana

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 6 місяців тому +18

    Labda nipacha bila kujua masikini 😢😢

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 6 місяців тому +7

    Kwa hiyo sio kila aliepotea inakuwa ni kweli mfano walie mzika ni marehemu Wa wapi sasa maana robart huyu hapa je aliezikwa ni Wa Kwa nani?

    • @mnyetikulwa4510
      @mnyetikulwa4510 5 місяців тому

      Kw mtu aliefariki katika mazingira ya kichawi, huwa unaletwa mgomba tuu nyinyi wengine mnazan n mtu

  • @AnethUtavangu
    @AnethUtavangu 3 місяці тому

    Hata me nimeona aisee hiyo😅

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 6 місяців тому +9

    Jaman eleweni arusha kuna vita sna ya mashamba mana wanauza mashamba sana ndomana wanalogana na kimazingira uyu jamaa n ndugu wamemchezea ila uyu jamaa yuko na nguvu ya mungu

  • @aby21111
    @aby21111 6 місяців тому +5

    Let the higher authority deal with the situation.

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 6 місяців тому +7

    😢so sad

  • @teddyndungurusabnu4792
    @teddyndungurusabnu4792 6 місяців тому +2

    huyo baba mdogo ashikiliwe kafanya mpango kwa kufeki Maiti ili ionekane kafa auze shamba na lengo lilikua wamsake huyo kaka aliesingiziwa kufa ili wamuulie hukohuko pasipo ndugu kujua coz walishajua wamemzika ba mdogo mpuuzi

  • @HoseaEdirausi
    @HoseaEdirausi 2 місяці тому

    Mungu anakupenda

  • @KimbinyikoLimited
    @KimbinyikoLimited 6 місяців тому +9

    Mama hawezi kumsahau mwanae kama wamemuogesha na kumvalisha ndugu yao kweli washindwe kumtambua? Mama amekiri haikuwa imeharibika hapo itakuwa kuwa kuna mkono wa mtu.

  • @HappyAsajile
    @HappyAsajile 6 місяців тому +1

    Daaa sikutegemea kam ungempata uyu mwe asant sana ayo tv

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 6 місяців тому

    Yaan ni maajabu sana aliezikwa anasema yeye hajawahi kufariki😢😢

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 6 місяців тому +19

    Sasa kama mwenye kaburi kakubali kaburi lake lifunguliwe kwanini hawafungui???😅

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 6 місяців тому +6

    Arusha Kuna matukio ,hata kiyama kitatokea kwanza Arusha,ndio Mungu ataruzu ulimwengu mzima ,haya maisha tumuishie Mungu tu,

  • @BIGCHENDREADLOCKS
    @BIGCHENDREADLOCKS 6 місяців тому +1

    Mi naona bora ata kabla ya kufukua kabuli awapeleke uko kwa aliko kua anaishi huo mwezi mzima jaman😢😢

  • @subiraEgid-p6t
    @subiraEgid-p6t 6 місяців тому +2

    Niseme nini mungu wangu......

  • @KatunziMtabazi
    @KatunziMtabazi 2 місяці тому

    Aliekufa huwa hana ufaham ,wala hawezi kuzungumza ,hamna kitu kama hicho zaidi tumwogope MUNGU

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 6 місяців тому +2

    Yule waliomwona mwochwari alikuwa Hana kovu na chanzo Cha kivo ni ajali so Robati hakufa alikuwa zake mjini familia walinda mwochwari kuchukua marehemu mwingine na kumzika

  • @halimatutupa3149
    @halimatutupa3149 6 місяців тому +2

    Robert sijafariki kabisa😅 jomn marehemu wa moto😂😂

  • @RamadhanMabwabwa
    @RamadhanMabwabwa 6 місяців тому +4

    Amefufuka katika wafu😂😂😂

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 6 місяців тому +1

    Wamezika kivuli mungu wangu duh kweli ... uchawi upo..ila mungu mkubwa..🙆🙆

  • @maisaalawy8549
    @maisaalawy8549 4 місяці тому +1

    Wampeleke kwa mtumishi wa mungu wamuombe

  • @BonfaceMwakaghali
    @BonfaceMwakaghali 9 днів тому

    Diamond

  • @realmeamyna30
    @realmeamyna30 6 місяців тому +2

    Nilitamani kujua zaidi kuhusu yeye mfano aliondokaje na ni nn kilimfanya aondoke nyumbani vipi kuhusu familia yake mara ya kwanza kutoka nyumbani alienda kulala kwa nani na mpaka anarudi nyumbani alitoka kwa nani??? Na huko alikua haiwazi familia yake???? Na vingine vingi
    Kijana andaa maswali na ujipange kisawa sawa unapoenda kuhoji mtu bana na wewe BINAFSI NIMEKOSA VINGI NILIVYOTAMANI KUVIJUA NA MTIRIRIKO WA MASWALI..

    • @tupacthedon7104
      @tupacthedon7104 6 місяців тому

      🙌🙌Umetisha sanaa,binafsi nilikua nawaza kama wewe

    • @anacletferuz4954
      @anacletferuz4954 6 місяців тому

      Mimi nilivyoelewa huyo mtu alikuwa sehem na hajawah kufa. Maana yake fanya ndo wewe upo hapo ukaondoka ukaenda sehem alaf ukaamuwa kwenda sehemu unakutana na mtu anakwambia ulifariki. 😅

  • @DorothyKwamboz
    @DorothyKwamboz 5 місяців тому +1

    Maajabu ya dunia

  • @gracepigangoma7919
    @gracepigangoma7919 Місяць тому

    Ivi nikweli hiki kitu?

  • @marylazaro4625
    @marylazaro4625 6 місяців тому +1

    Hivi Arusha jaman Arusha!! Hivi ni kwamba hamna hata mtu aliyepotea tarehe kama hizo jamani?

  • @NyandaGama
    @NyandaGama 2 місяці тому

    Mama 2:47

  • @AlexKimario-be4dd
    @AlexKimario-be4dd 6 місяців тому +3

    Kijana kazeeka kuliko mzazi. Ila haya mambo yanafikirisha sana.

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 5 місяців тому

    Sijui kwanini hii case inachukuliwa simple sana! Polisi inapaswa kuingia hapa, mtu aliyezikwa ni tofauti na inaonekana alizikwa akiwa hai. Wafukue na Bamdogo awekwe kizuizini

  • @emmanuelmasemba7612
    @emmanuelmasemba7612 6 місяців тому

    Wafukue kaburi , tuone kilichozikwa tujifunze kitu Kwa sababu tunaskiaga tu Imani hzo zipogo, mara saa mnazika marehem anakua kafichwa mahali pale kina kua kimvuli tu

  • @esterkimath1214
    @esterkimath1214 6 місяців тому

    Baba mdogo aulizwe vizuri

  • @BerthaMtalo
    @BerthaMtalo 3 місяці тому

    Bosii, boskoo wakamnyanua wakamweka kwenye friji..arusha yetu

  • @Mzunah
    @Mzunah 6 місяців тому +1

    Mara walimtengenezea kifo cha uongo ili wamdhurumu shamba tu
    Any way kabla hamjafukua ilo kaburi awapereke aliko kuwa anaishii.

  • @Robertpejajuma
    @Robertpejajuma 5 місяців тому

    Hakuna aliekufa na akafufuka ila yesu tu , huo ni umizimu Wala sio ukweli

  • @PendoMatemba
    @PendoMatemba 6 місяців тому +3

    Huyu baba mdogo ni mchawi

  • @pendosailo1989
    @pendosailo1989 6 місяців тому +4

    Huyu anaonekana ni mtu wa kilaji kile cha nanii...so kutokuwa sawa kwa mtu wa namna hiyo ni sawa. Swala la kufa au kuchukuliwa msukule sio... huyu alikuwa na misele yake huko..hawa wamezika mtu mwingine..hapo serikali ifukue wakazike kiserikali manispaa.

    • @ShukraniChomolla
      @ShukraniChomolla 6 місяців тому

      Swali la kujiuliza wamuulize kipindi msiba unatokea yeye alikua wapi maana na yeye si mwanafamilia? Au huo msiba hakuusikia

    • @vickytango5591
      @vickytango5591 6 місяців тому

      @@ShukraniChomolla 😂😂😂😂😂😂

    • @betyjoseph6812
      @betyjoseph6812 5 місяців тому

      ​@@ShukraniChomolla anausikiaje msiba wake Kwan kuna ndugu anaehangaika kumtafuta ili kumpa habar ya msiba 😂😂😂😂

  • @khadijamzee7950
    @khadijamzee7950 2 місяці тому

    Viongozi serikali ingilie huu ugomvi apate shamba lake huyo babake mdogo mimi simuamini na huyo mtoto wake wanaweza kumuuwa hao 😢

  • @FrankYohana-w8p
    @FrankYohana-w8p 2 місяці тому

    Mama anaongea vizuri asee nataman nimuone

  • @ELIZABETHIPUNGU
    @ELIZABETHIPUNGU Місяць тому

    Mshike sana mungu

  • @jenipharobert9694
    @jenipharobert9694 6 місяців тому

    Hyu anahitaji maombi sana hakuna vita mbaya kama vita ya ardhi safar hii watamuua mazima kama hataomba sana. Hyu baba mdogo anaonekana kuna kitu anajua kujusu hiki kifo

  • @annkim2690
    @annkim2690 6 місяців тому +1

    Hizi kesi za mashamba zinamaliza watu kweli

  • @KhamisJumanne-q2l
    @KhamisJumanne-q2l 6 місяців тому +1

    Mungu nimkubwa

  • @RajabBashiri
    @RajabBashiri Місяць тому

    Munao sema yesu alikufa akafufuka ndio maama mnamuabudu haya yesu mwingine huyu njooni mumuabudu.

  • @SharonpetroMollel
    @SharonpetroMollel 2 місяці тому

    Hayo ni mambo ya kishirikina mungu atusaidieee sanaaaaa

  • @marthasilayo
    @marthasilayo 2 місяці тому

    Kifo chake kilisababishwa na mini? Ni ajali au!

  • @AndreahPaul
    @AndreahPaul 5 місяців тому +1

    😂😂 tetemeko lilitokea kwel nilikuwepo

  • @alexeric6850
    @alexeric6850 2 місяці тому

    MUNGU HAFAGI JMN😅

  • @GadieliMungure
    @GadieliMungure 6 місяців тому +1

    Huyo mzee anamdhulumu mnyonge shamba mpaka anamfanyia mazingaumbwe ya kifo ndugu yake! Dunia imeisha dhambi dhambi. Jamii iwashughulikie huyo mchawi waache dhuluma Kwa ndugu yake

  • @sarahgilbert1084
    @sarahgilbert1084 6 місяців тому +2

    Robert anaonekana cha pombe😅

  • @KpindulaLuswagga
    @KpindulaLuswagga 3 місяці тому

    Pole,sana.wanafamili

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 6 місяців тому +39

    Hlf huyu jamaa kama dishi limeyumba au ni mimi

    • @esabelfadhili8432
      @esabelfadhili8432 6 місяців тому +1

      Hayupo sawa huyu...

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 6 місяців тому

      Nimeona pia mimi,naona haxipo xote.

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 6 місяців тому +1

      Hapana Yuko timamu.

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 6 місяців тому +7

      ​Yupo sawa, sema anaonekana ni mywaji sugu wa pombe kali.

    • @andrystephan5869
      @andrystephan5869 6 місяців тому +6

      Mtu kajibu maswali sawaa unaona hayupo timamu Broo duh!! Binadamu🙌

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 3 місяці тому +1

    Jamaaa chapombe sana

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 6 місяців тому

    Mama kijana,mtoto ndo mzee.

  • @johnteonas3144
    @johnteonas3144 6 місяців тому +11

    Mama is beautiful

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 6 місяців тому +1

    Lilitingishika maana mmezika mtu ambae sio Robert fukueni kaburi muone kilichopo

  • @muhidinally3460
    @muhidinally3460 2 місяці тому

    Uzao Hilo shambaaa maana ndolinakuletea balaaa

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 6 місяців тому +1

    Nenden hospital kaulize kama walipokea mait uwe mchunguzi

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 6 місяців тому

    Robert ni mtoto wake wa tatu! Huyu mama anaonekana kana kwamba ndo mtoto wa Robert 😂

  • @GiftMwandosya-uf7pf
    @GiftMwandosya-uf7pf 6 місяців тому

    Eeeeee, MUNGU wangu ninaomba nawangu aonekane leo, kwani ninaamin katika wewe ameeeeeeen.

  • @naomisamwel18
    @naomisamwel18 6 місяців тому +1

    Mama anaonekana ni kijana mtoto kazeeka😊

  • @FredrickLukas-n3o
    @FredrickLukas-n3o 6 місяців тому

    Nimependa sana ongea ya mama lakin hapo tunaona kabisa marehem katengenezwa hili kutokuuza shamba

  • @FredrickLukas-n3o
    @FredrickLukas-n3o 6 місяців тому +1

    Kumbe baba mdogo kauza mashamba yote sahiv anamnyima robart kuuza shamba yake kumbe kauza yake kala na mtoto wake bosco manina robart tuko na wewe lazima shamba liuzwe bt mimi sitalinunuwa hata kama unauza buku

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 6 місяців тому +3

    Sio suala la kawaida hili. Em fikiria mama ake amethibitisha kbs kua aliona maiti kbs sura ni ya mwanae.

    • @petertemba9048
      @petertemba9048 6 місяців тому +1

      Yanatokeaga sana hata mwaka jana imetokea huko moshi

    • @noahchepe8036
      @noahchepe8036 6 місяців тому

      @@petertemba9048 aisee

  • @BerthaMtalo
    @BerthaMtalo 3 місяці тому +1

    Mtoto mzee kuliko mama

  • @olivakajinyika
    @olivakajinyika 6 місяців тому

    Kiufupi wachawi ni matahira hayo yapo tena nimeyashudia mkoa x saizi misukule i
    natembea bila utaratibu inatoroka
    kwa wenyewe

  • @DotoLemako-np3lp
    @DotoLemako-np3lp 6 місяців тому +1

    Mbona Robert ni mzee kuliko mama yake, hakufufuka aisee walizika mwili ambao sio yeye

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 6 місяців тому +17

    Hata kama jamaa alifariki na akafufuka kweli,anaweza kufa tena kwa stress kutokana na changamoto alizonazo.

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho 6 місяців тому +1

      😂😂

    • @nafuwswedi2465
      @nafuwswedi2465 6 місяців тому +1

      Yaani😂😂😂😂,sababu ni Kama wanataka afe kweli

    • @hyy4114
      @hyy4114 6 місяців тому +1

      😂😂😂asije akajinyonga tu

    • @OmanOman-ns3iw
      @OmanOman-ns3iw 6 місяців тому +1

      😂😂daah

    • @OmanOman-ns3iw
      @OmanOman-ns3iw 6 місяців тому +1

      ​@@Rose-ue2honimecheka kama mazur

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 6 місяців тому +3

    Sura mama jamani sura za walevi waliopindukia kama kaka robert hapo uwaga wanafanana samahani kusema hivi lakini mara nyingi uwa wanafananaga kama huyo.marehemu mliyezika na yy alikuwa chapombe lazima wafanane😂😂 tena hasa wachqga wanafanana😂😂 mmezika.mtu siye buana fudueni kaburi kwa kibalk cha serikali basi mtapata jibu DNA itajibu