LEILA YUSUF | Yes, ni kweli nipo Singo. Mume ni Mtihani kwangu! SITAKI KUOLEWA TENA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 168

  • @sabrasaid7739
    @sabrasaid7739 3 місяці тому +13

    Unataka Uhuru upi Kipenzi??kweni Mume ana haki ya kukuangalia na Kukukataza kwa mabaya Mwanamke uwe na Mipaka acha kubwabwaja

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому +5

      Hajasema baya!lkn Sio w/ume wote wa kiislam wanaweza kuuangalia mke!wapo waume wengine hata hawajui kama mke ni jukumu lake mume! Ila wao ndo wanataka mke ajue kuwa mume ndo Kila kitu kwa mume!waume ukiona mke anataka kuanza kujiangalia mwenyewe au anaomba kuachika basi ujue wewe mume hufanyi majukumu yako ipasavyo!hakuna mke hapendi kuangaliwa na kutunzwa! Ila ndani mambo hayako sawa

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 3 місяці тому +3

      Huyu mwanamke na hao wanaume walomuoa wote hawana elim ya dini wala hawana takwa na uvumilivu ndio maana kashindwa kukaa ktk ndoa

    • @MeddyMasuddy
      @MeddyMasuddy 3 місяці тому +1

      Njoo kwangu mie nkustiri

    • @hamadmohamed3056
      @hamadmohamed3056 3 місяці тому +2

      Hiv Kwa Nini wanawake wengi wakishapata mafanikio kidogo tuu ya kidunia hua wanaanza kujiona wanaweza kuishi bila wanaume?
      Sasa kipi Bora kama wewe ni Muislam huwe na Mume ustirike au ukijiskia unaitaji sex uonge Mume Hela zko Mkafanye nae Zinah?

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 3 місяці тому +2

      Huyu anataka kuwa na maaasiyaa

  • @salmaomar8612
    @salmaomar8612 3 місяці тому +7

    MashaAllah MashaAllah Leyla. Mwenyezi Mungu akulinde na Shari za kila aina, akujaalie moyo na ujasiri wa kujisitiri.
    Nimekuelewa sana. Umejaribu ktk ndoa, haikuwezekana. Endelea na maisha. Nakupenda Bure tu.

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 3 місяці тому

      Tusidanganyane, na yeyotete asiwadanganye, heshima yya mwanamke ni NDOA bila ya NDOA hujakamilika. Tambuweni kuwa mila binadamu amepewa MIDOMO MIWILI wa chini na wajuu yote hiyo kwa madhumuni ale ashibe, sass kama hujaolewa na hutaki kuolewa huu mdomo wa chini una upatiajei chakula? Vinginevyo ni UZINIFU.. Mimi sisemi kwa unazi hili ni andiko. Niliko masheikh wanazuoni hawajafikia . Inapendeza sana kila binti awe tajiri awe masikini NDOA ndio wajibu kwake. Itokee sababu tu ya kutopata mchumba, na hii inatokana kwa binti kutojistiri. STARA ndio kitu cha kwanza kikubwa mwanamke amepewa na Mola wake, ndio maana Bikra Mariam alimpendeza Mola wake baada ya kuvunja UNGO alidumu katika kujistiri. BIKRA ni DHAMANA KUBWA wengi hawajuwi. Mwalimu nipo Darusalaam kwa ushauli ++255715417511 na +255784417511.Ila mimi si mganga.

    • @KhadijaKamus
      @KhadijaKamus 3 місяці тому

      Mashallah Mashallah Mashallah kweli kweli alhamdulilah Allah akusimamie inshallah

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 3 місяці тому +3

    Kweli kabisa Leila ndoa ni Qadar ama majaliwa hakika. Ya salaam maneno yameni touch kazini at this moment !!!! Greetings from Adelaide South Australia 🦘🦘🌏

  • @odaamirsaab9185
    @odaamirsaab9185 3 місяці тому +1

    Pole sana amka saa nane zausiku wakati mola kataramka kwa sama umuombe kwa ikhlas inshallah shida zitaisha kwa uwezo wake

  • @guidoliusmichaelhulilo3886
    @guidoliusmichaelhulilo3886 3 місяці тому +3

    Magufuli angekuwa hai, huyo Mama angepewa u uWaziri haraka Sana. She is incredible brilliant congratulation!!

  • @husseinadan9329
    @husseinadan9329 3 місяці тому +1

    Karibu, leila, nikuoe uhuru utapewa

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni 3 місяці тому +2

    Naomba mimi nikuoe mlaani shaitwani fanya nikuoe kheri itapatikana Inshallah

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 3 місяці тому +1

    Mm nimekupenda .njoo kwangu .nitakupeleka kwa uhuru na hata ukisema ruto pia

  • @zahornassor5420
    @zahornassor5420 3 місяці тому +3

    Mashallah Allah akulinde na shari za wanadamu wengi wanapatamani ulipo ata mm n mme pia ila natamani hiyo kazi cha msingi changa maadili tu na mche Allah.

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 3 місяці тому +4

    Kama unataka uhuru wa kumuasi mungu hapo sawa endelea na maasi Yako ,lkn kama unahitaji UTULIVU na heshima ingia kwenye ndoa

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 3 місяці тому +7

    Mm binafsi nakuelewa sana nimepitia hayo pia

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 3 місяці тому +5

    Utatapeliwa dada hapo ulipofika sema alhamdulillah. Simamia tu biashara zako uangalie na afya yako!

  • @sefoadelino6684
    @sefoadelino6684 3 місяці тому +1

    Pole sana leyla. Kaonane na Daktari, unaumwa

  • @songoroalamin3376
    @songoroalamin3376 3 місяці тому +3

    Assalamu alaikum kina mama na waislamu wote lazima muelewe kua ndoa za KIISLAMU HAZINA UHUSIANO NA MALI AU BIASHARA ZA WANANDOA NA HESHIMA NDANI YA NDOA HAHARIBIKA KUTOKANA KUKOSA UCHAMUNGU someni dini inasema nini msiigie katika kulaumu ndoa na sheria za dini MTAKUFURU TAHADHARINI

  • @HaroubAbdallah
    @HaroubAbdallah 3 місяці тому +1

    Unataka uhuru gani mama, pole sana Mwenyezi Mungu akuongoze jitahidi zaidi kuifahamu dini yako imekujengea mazingira yahuruma sana kuliko mawazo yako.

  • @abdihirsi362
    @abdihirsi362 3 місяці тому +1

    Sister yangu hapo umkosea kusema hutaki ndoa ni dhambi kubwa kuwa mtu scw asema mwenye hataki kuoa ajua si uma wangu

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 місяці тому +1

    Ndoa ni lazima kwa mwanamke kwa mwanaume
    Wanawake wengi hawadumu ktk ndoa kwa sabanu hizi
    1- Huingia katka ndoa bila kujua elimu ya ndoa
    2- Kujifanya anajua kuliko mwanaume
    3- kujiona anaweza kutafta pesa( wanawake wote wanaojifanya wamastaa hawana wanaume)
    4- wanasoma elimu ya mdoa krk mitandao nan kasema nın bıla kujua kuwa kıla ötu ana aıma ta mume wake
    5- kufananısha maısha yake ma menzake kwa mumewe
    6- kupaza saut anapoongea na mumewe
    7- kujisahau akiwa katka ndoa na kuish tu atakavyo
    7- kuisg kimazoea
    8- kutokumjua aina ya mune alinaye
    9-

    • @ngaringari
      @ngaringari  3 місяці тому

      @@twaibumikidadi7377 Nice comments!

  • @AminaAhmed999
    @AminaAhmed999 3 місяці тому +4

    Kichwa cha habari kufuru
    tupu muogopeni Allah

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 3 місяці тому +3

    Aache kukufuru huyo Dini inaelezea kila kitu ktk uislamu. Wacheni kuandika mambo msoyajua ya Dini.mtaja kufuru bure

  • @salmaomar8612
    @salmaomar8612 3 місяці тому +8

    Ndugu zanguni, haina haja ya kumtukana, kumsema vibaya nk. Hebu kuweni na moyo walau wa kumuombea dua njema kwa Mola Mtakosa nini? Waume wenyewe sasaivi ni wa sayansi na teke linalokujia !!! Mtihani mitupu.

  • @IdhamarieAhmed
    @IdhamarieAhmed Місяць тому

    Stara ya mke ni mume.
    Usijidanganye wala kupoteza wenzako. Pesa wala kazi si muhimu kuliko mume ,na ana daraja kubwa .mke radhi yke kwa mumewe. Maisha huenda na vi wili wili etc mke na mume,usipote .la muhimu maisha ni subra.

  • @sabrasaid7739
    @sabrasaid7739 3 місяці тому +3

    Mshukuru Allah Rizki anakupa Allah

  • @jumaseifjuma4185
    @jumaseifjuma4185 3 місяці тому +1

    Wako wanawake tele kwenye ndoa na wameweza kutengeneza maisha ndani ya ndoa na maisha yanakwenda vizuri tu. Muandishi unataka kuwapa vichwa vikubwa hao kinadada wasiotaka ndoa tangu mapema na ujuaji mwingi. Ungewafuata na hao waliomuoa ukawahoji. Msema pweke hakosei.

    • @ngaringari
      @ngaringari  3 місяці тому

      @@jumaseifjuma4185 noted!

  • @mohdahmed5389
    @mohdahmed5389 3 місяці тому +2

    Innalillahi waina ilayhi rajiuun .Allah akutoe katika ujinga huo,pumzi zinakupa shida

  • @mohamedmasoud6517
    @mohamedmasoud6517 3 місяці тому +1

    Mfumo wa maisha ulivo ni kama alivouweja Allah sasa kushindana na mfumo huo bas utapotea tu. Maana inajulikana sana tu kuwa mtu akisema hataki ndoa bas Allah anajua kwa nin hasa

  • @SaidoHopa
    @SaidoHopa 3 місяці тому +1

    Fear Allah my lovely sister its fine to work

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 місяці тому +1

    Ww acha ukinga nipe contacts zko

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 місяці тому +1

    Mungu wangu hapa tulipo fikia tuna mtihan duuh usidhiniw tuy ndug yangu

  • @MilesReileigh
    @MilesReileigh 3 місяці тому +6

    Mwanamke akipata pesa hataki kuwa chini ya mwanamume,mume naye akipata pesa kila mwanamke yuamtaka.

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 3 місяці тому +1

    Huyu ndio wale wanawake wanaotaka kuchukua majukumu ya kiume ambayo sio ya kwake na kujifanya yeye ndio mwenye amri kwenye nyumba zaidi ya mumewe, . Mwanamke wa aina hii hafai kuwa mke, Atabakia kuolewa na kuachika mpaka kufa kwake. Jila lake la kipagani kwa Sasa anaitwa lala Joseph

  • @salehsaleh8608
    @salehsaleh8608 3 місяці тому +6

    pesa zinakutia kiburi, sheria za dini yako unasema too much, jiagalie sana haya maisha ya muda mchache,ndugu yangu

  • @chande2k250
    @chande2k250 3 місяці тому +4

    Na zinaa je utaikwepa kpnd hutaki NDOA
    Zama za Mwisho hz Kwny Binadamu Wengi wanaangalia Mambo ya KIDUNIA na kutokuwa na hofu ya Allah Mtihani sana

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 місяці тому

      Ikiwa baba yetu Adam kapotezwa n shetani, iwe huyu na mawazo yake potofu.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому +3

      Sio kila mwili unataka kufanya tendo hilo!amekwambia yeye mgonjwa! Mpaka hapo usha elewa,hawezani bora afanye yake maisha kama hivyo yamwendea vyema!mume ni shuuli nyingine nzito kazi juu ya kazi, ameona bora awekeze ktk anacho kuweza Alhamdullah anaweza Allah ambarik

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 3 місяці тому

      Kabsa ndo kilicho tutawala

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 3 місяці тому

      Ipo wap nina viheren vya dhahabu nataka kutengeneza heren duuh

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 3 місяці тому +1

    Km ni mwanaume unahis ndoa ni kifungo au mwanamke polen sana

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 3 місяці тому +1

    Wewe kama unataka umalaya tafuta malaya mwenzio lakin mume kua na wivu na mke wake ndio mapenzi hayo na mtume asema haingii peponi mtu asie na wivu wewe wataka uwachiwe kama limbuzi ama lingombe na hata upate mume wa aina unayotaka bado t utamtoa kasoro kwa unavyoonekana huna shukran

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 місяці тому +1

    Innalillah wainnailaih raajeooun!! Msiba mkubwa sana,,,,,

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 3 місяці тому +1

    Pole jamani mtoto mzuri

  • @nassormohammed9742
    @nassormohammed9742 3 місяці тому +1

    Mtihani huu

  • @TisaMkenda-oj5uj
    @TisaMkenda-oj5uj 3 місяці тому +1

    Subhanallah,,!!

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 3 місяці тому +1

    U napo I taka Dunia Mungu atakupa uhangaike nayo. Nsoa ni hesbima yako na m bele ya Mola wako na mbele ya Malaika. Na hukupa heshima mbele ya jamii na familia yako. Futa usemi huo. Iwapo kweli unamtii Mwenyezi Mungu.

  • @nasraswakala
    @nasraswakala 3 місяці тому +2

    Manshaa Allah ❤ ❤ ❤

    • @idrissahaji
      @idrissahaji 3 місяці тому +1

      Maisha ni mapito tu... pumzi zisikuhadae kuzikosoa sheria za ndoa katika dini sio sahihi

  • @RashidAbuu-b3z
    @RashidAbuu-b3z 3 місяці тому +1

    Kuoa au kuolewa ni maamuzi ya mtu mwenyewe , ninachoshangaa kwanini jambo hili kuwekwa ktk mitandao hali ni jambo la mtu binafsi ? Majibu yamekuja ni kwamba lengo ni jamii kuiharibu Ili waichukie ndoa na waachane na mafunzo ya dini mungu akuongozee dada yetu uzur wako huo mwisho ni dongo kaburini

  • @AllyKija
    @AllyKija 3 місяці тому

    Shida anapotosha Hana maadili kbs laanatulaah

  • @fauziakarama8581
    @fauziakarama8581 3 місяці тому +1

    Maa Shaa Allah ❤❤

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 місяці тому +1

    Usiutukanishe uislam mama haujui dini leo unatomboka na kukashifu ndoa za uislam kwa sababu huo uhuru unaosema uko ukafirini sie waislam tunamipaka na sheria za haki ya kila mtu katika ndoa na ujue riziki anatoa Allah

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому

      Lkn msiitumie dini kuwaumiza wanawake! Siku hizi mume ndo afanya mke aweze kuwazuia maisha kama haya nyie waume mna wapresha mpaka waona bora awe na maisha yake! Kama aweza kujizuia na machafu Alhamdullah,lkn sie waume ndo tunawatumia vibaya wanawake kwa kisingizio cha dini, dini isiwe vitisho kumgandamiza mke! Tuwe nao kwa kuwapa nafasi atusaidie wakiweza Sio lazima!mpe uhuru wa mipaka asitoke inje ya mipaka yako na dini!lkn mume huna kitu cha kumlisha kumvisha mke nabadowamlazimisha aishi maisha yasiyo na furaha kisa wewe huna uwezo

  • @hamadmohamed3056
    @hamadmohamed3056 3 місяці тому

    Hiv Kwa Nini wanawake wengi wakishapata mafanikio kidogo tuu huu wanaanza kujiona wanaweza kuishi bila wanaume?

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 3 місяці тому +2

    Hapo sasa ukijielewa hupati shida

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 3 місяці тому +1

    Wasema sheria za dini zeme kuwa to mach chunga ulimi wako

  • @mrok284
    @mrok284 3 місяці тому +2

    Kama hutazini sawa. Ila kama hujiwezi tafadhali mume ni muhimu usiishi peke yako. Moto ni mkali.

  • @saidmakamo8764
    @saidmakamo8764 3 місяці тому +1

    Yaani hii media kuwanziya leo rasmi nachana nayo wanaleta vitu vya ovyo mno

  • @kheriakida3309
    @kheriakida3309 3 місяці тому +1

    Waislam wengi ndio wapinga ndoa, ngumu, na hawa wengine wakipata fedha kidogo wanajeuri,

  • @BushDoctor-dw8el
    @BushDoctor-dw8el 3 місяці тому

    Nani kasema ndoa ni Ibada?
    Unasema ukipata mume muislamu mwenye dini huezi kufanya unayofanya ndiposa ukaonelea ni heri uwe "singo" uwe huru kufanya utakavyo. Swali langu. Lipi unalofanya hata kuwa mume akiwa muislamu mwenye dini hatokuacha ufanye?
    Nasiha yangu. Angalia mume mwenye dini mbali na uislamu au bora zaidi asie na dini.

  • @athumanially2
    @athumanially2 3 місяці тому +1

    Huyu sio mzima awaone mashekhe wa majini wamsaidie hayo sio maisha

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 місяці тому +1

    Hapo kwenye kulea nakujieshim kaongea ukweli haswaaa

  • @sefoadelino6684
    @sefoadelino6684 3 місяці тому +1

    Kuolewa ni asili ya kila mwanadamu mwenye afia

  • @ismail_4_future.
    @ismail_4_future. 3 місяці тому +1

    MTIHAN WALLAHI 😢😢😢😢 TUMUOGOPE ALLAH TUSOME DINI YETU PUMZI ZISITUHADAE ... "ETI SHERIA ZA DINI ZIPO TOO MUCH " HUYO BIBI HADIJA ALIFANYA BIASHARA LKN KIONGOZI WAKE ALIKUA MUMEWE MTUME WETU... WW KM HUWEZI NDOA USISHAJIHISHE ZINAA

  • @IdhamarieAhmed
    @IdhamarieAhmed 3 місяці тому +1

    Mume ni lazima awe na uivu
    Na kama Hana atakua dayus, unapotea Kwa msingi wa dini

  • @HabibaHassan-t2u
    @HabibaHassan-t2u 3 місяці тому +1

    Sidhani kama ni kupenda kwake😢

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 3 місяці тому +5

    Kadange ukatupwe motoni vzr na mungu unawaza uhuni tuu

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому +4

      Yeye hajaachika ili akadange!ana pesa na maisha Alhamdullah, Amejaribu ndoa mara 2,ameona hana bahati ktk Ndoa!angekuwa ataka wanaume angelioleka tena mara 3,nahata 4!lkn yeye hayuko tena huko unako waza wewe,yani hapendi kuolewa tena! amejiangalia afya yake hawezi tena!kushuulikiwa mume, Mtu wajijua yeye kwanini kumuhuku kwa kitu ambacho pengine hatafanya hayo machafu unayo muwazia, Allah amnusuru i'nsha'allah

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому +3

      Subuhanah Allaaaah! achakumuwazia mabaya na kumuhukumu,navyo jua mie m/mke akiwa busy huwa hana mawazo ya kimwili,anakuwa amechoka kiakili na kimwili

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 місяці тому +1

      @@aairraahseif5648 sasa ndoa ni dini so mtu mwanamke kusstilika hutaki ndoa unataka nini zaidi si kudanga atakaje bilaa matamanio sabu si malaika huyo laazima atamani si anakula na kushiba

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 місяці тому +1

      @@aairraahseif5648 saasa maatamanio yake atatolewa na nani ikiwa mtume kasema ndoa ni jambo la kheri na ninusu ya dini anapesa anakula na kushiba hatotamani tendo la ndoa huyo

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому +4

      @@AbdulIssa-o7e amesema ni mgonjwa! Labda hajataka kuweka uwazi, lkn mwanamke akiwa busy huwa hana tamaa za kimwili, huwa akili mwili Umechoka

  • @mengikiguruwe6750
    @mengikiguruwe6750 3 місяці тому +1

    Hana lolote ni malaya mstaarabu tena mwizi

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 3 місяці тому +1

    Pamoja na maelezo yooote hayo, huyo bibie anayehojiwa hasemi ukweli kile hasa kinachomsumbua.

  • @ammaarmwinyi1120
    @ammaarmwinyi1120 3 місяці тому +1

    Wanawake tumcheni Allah ,waulizeni wenzenu wakike walo jifahamu malengo Makubwa ni kuridhiwa na Allah na the simplest way kupata nikupitia ndoa ,yalobakia ni mapambo tu haya saidii chochote kesho feminism is killing you silently .No one will understand this except pious one

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 3 місяці тому +1

    Tusiifikire sana pesa hebu tujiulize walikuwepo matajiri wangapo hapo Tanzania wameshatangulia mbele ya haki ana walichokichuma kinapotea kila siku

  • @ramiakassim3802
    @ramiakassim3802 3 місяці тому +1

    Cha ajaabu nikwamba hawa wasiotaka kuolewa wengi wao wanazini saana mpaka na waume wa wenzio

  • @AlbertSabo-hp3ss
    @AlbertSabo-hp3ss 3 місяці тому +3

    Ndoa sio lazima. Piga kazi mume atakuja na atapenda unachokifanya.

    • @salehaljadidi8206
      @salehaljadidi8206 3 місяці тому

      Kwa hiyo kudanga ni kama Kawa.

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 3 місяці тому

      ​@@salehaljadidi8206kwani amekuambia anadanga ? Mbona unamtafutia jambo ?

    • @AlbertSabo-hp3ss
      @AlbertSabo-hp3ss 3 місяці тому

      @@salehaljadidi8206 kudanga ni kujiuza. Huyu ni mfanyabiashara anayejielewa na kusaidia jamii hajiuzi. Ndoa au Ngono sio lazima kwenye Maisha

  • @FadhilyOthman
    @FadhilyOthman 3 місяці тому +2

    Mshenzi tu huyu

  • @RamyGichero
    @RamyGichero 3 місяці тому +1

    Pambana sana heshima pesa ukisaidia familia yako kwa pesa mume utateseka

  • @muhammadmassoud3576
    @muhammadmassoud3576 3 місяці тому +11

    Una malengo gani wewe wakati kaburi linakunyemelea muogope Allah stara ya mke ni mume.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому +4

      Stara ya mke nimume! Kweli'lkn hao waume wapo?mume yeye pia angojea chako mke ili aishi, hivi leo wako hao waume unao waongelea wewe!mume ni stress kwenda mbele waweza kufa sababu ni mume! Sio waume wote waweza kutunza mke! Wachache sana tena walo jaaliwa

    • @lexygeisar8303
      @lexygeisar8303 3 місяці тому +1

      Kuolewa sio lazima kama anaweza kuji stiri

    • @jumaseifjuma4185
      @jumaseifjuma4185 3 місяці тому

      ​@@aairraahseif5648Anaehoji kaelemea upande mmoja na aende pia kwa mwanamke mwenye ndoa naye amuhoji.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому

      @@jumaseifjuma4185 unaweza usikipate hicho unachotaka kukisikia kwa mwenye ndoa! Ukweli Sio ndoa zote zinafanya na kufanikiwa! Ni watu kuvumiliana tu'ndoa nyingi ni mtihani! Furaha ya ndoa ni chache sana, huwa nipale mwanzo tu'hata mwenye ndoa akiulizwa ataficha vitu vingi kuviongea akilinda ndoa yake na kuogopa fedheha aibu,lkn ukiamua kustahimili utafaulu Aakhera lkn siyo duniani kwa pande zote mbili mke na mume, na vipo vitu vichache waweza vumilia, pia vipo vitu vizito vingi huezi stahimili kuvumilia

  • @mwajumajumbe3325
    @mwajumajumbe3325 3 місяці тому +2

    Mekupenda bure hivo ndo tunataka

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 3 місяці тому

    NDOWA MUHIMU
    PESA HAINA SAMANI MBELE YA MKUYATI HALALI❤

  • @Alrisaalaturrahmahislamiccente
    @Alrisaalaturrahmahislamiccente 3 місяці тому +1

    hutaki kuolewa lakini Zina bila shaka haikupigi chenga mche Allah umri wa binadamu ni mdogo sana akizidi sana ni sabini waliopita hapo Allah amewajalia Sasa wewe na mimi tuihesabu hapo tulipo Bado kama ishirini hivi takriban au dakika yoyote kwahivyo na kunasihi kubali hata Mimi hapa nikuoe Sina pesa na Wala sitaki zako kwa ajili ya Allah TU

  • @tobosha3236
    @tobosha3236 3 місяці тому

    Msungo tu uyo mwanamke

  • @karamaabood4367
    @karamaabood4367 3 місяці тому

    Mh mh mh🏃🏃

  • @eddielkindy
    @eddielkindy 3 місяці тому +1

    Kosa lako ni kuikejeli dini tuu

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 місяці тому +1

    Alafu mwamme mwenye akili hawezi kuwa na mke kama wewe huo mdomo peke yake janga

  • @RobertMachenga-tz3re
    @RobertMachenga-tz3re 3 місяці тому +1

    Leila mimi nataka kukuoa unasemaje?

  • @athumanially2
    @athumanially2 3 місяці тому +1

    Huyu dada atakua na mapepo talaka

  • @aliabdalla9297
    @aliabdalla9297 3 місяці тому +1

    Unataka uhuru utakwenda kuupata huko subiri

  • @ramiakassim3802
    @ramiakassim3802 3 місяці тому +1

    Kukataa kuolewa ni ushenzi

  • @saidmakamo8764
    @saidmakamo8764 3 місяці тому

    Wewe cyo muislamu usituektiye eti kwa dini ya kislamu mume anatakiwa na wivu hivo ni ngumu nenda uko achana na uislamu kachaguwe kanisa uko ili uwe huru tena usijite muislamu

  • @froma3732
    @froma3732 3 місяці тому +1

    Mwanamume asikuwa na wivu huyo Kuna kasoro

  • @barutiabuu9492
    @barutiabuu9492 3 місяці тому

    Ukishazoea ujahaba bad kila kitu cha ndoa utakiona kibaya ogopa sana mwanamke aliezoea mboo za wanaume wengi hutodum nae kabisa maana ukahaba kesha uzoea

  • @HajiKelly
    @HajiKelly 3 місяці тому

    Dada yang kachoka tu uzee😂

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 3 місяці тому

    Sawa, ila utaamua UZINI au UPIGE PUNYETO..!.

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 3 місяці тому

    Hawa ni wale wanawake ambao wanataka huru zao dunia ismame nishuke 😂😂

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 3 місяці тому +1

    INAPOTOKEA UPUPU UMESUMBUA INAKUWAJE!

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 3 місяці тому +1

    Yaonesha uko na shida wewe leila wataka ujue ndoa ni stara na ninguzo katika uwislam utaipukana na viumbe mashetani

  • @abuuyahya849
    @abuuyahya849 3 місяці тому

    fala ww mjinga kbs tena huna akili mbwa Allah akuadhibu hapa duniani kabla ya adhabu kali akhera ...yaani unapingana na sheria za uislam???

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 місяці тому

      Wee Abuu ndo unaonekana hujui kitu, wee wahukumu na laana juu wamtolea dada wawatu! Sasa nani mwenye afueni wewe au huyu dada?kosa lake nini hasa, kukataa kuolewa mara 3 au? Wee wayajua aliyo yapitia?mtoa hukumu ni Allah pekee,waume kama mwayaweza majukumu vizuri mke hawezi ichukia ndoa'maisha ya ndoa sasa ni mtihani ukiona mke akukalia ndani basi hana pa kwenda na hajui cha kufanya! Huyu yu jishuulisha, amesema anajiheshimu hadangi huyu!yuko busy na kazi sio busy na wanaume, Alhamdullah anajitambua Allah amuongoze mema,i'nsha'allah mashaallah anafanya mambo kuliko mwanaume, Allahhibarik

  • @AllyKija
    @AllyKija 3 місяці тому +1

    Macho yake tu anaonekana mtihani tupu

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 3 місяці тому +4

    Eti sheria za dini zipo too much, acha kufukuru wewe kama unaona dini ya kiislamu haikufai basi bora uanzishe dini yako isiyo kuwa na sheria.

  • @rumesibarka5312
    @rumesibarka5312 3 місяці тому +1

    Una Matatizo dada ndio maana ndoa zako hazitulii

  • @sudisalehe192
    @sudisalehe192 3 місяці тому +1

    Msiba huu

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 3 місяці тому

    Unaogea ujinga ww mama mtu mzima ovyo eti nataka uhuru

  • @ImamAbas-f9b
    @ImamAbas-f9b 3 місяці тому

    Unapotosha watu wewe ni mjinga kweli

  • @AliKhamis-j9z
    @AliKhamis-j9z 3 місяці тому

    Izo pesa ndio zitakutomba au huwashwi chini

    • @liverpoolfootballclub9985
      @liverpoolfootballclub9985 3 місяці тому

      Mashamba boy tupo hapa tunawashughulikia wanawake wa sampuli hii. Anapigwa Kuni mpaka anafurahia mwenyewe😅😅

  • @alibachirofficial3939
    @alibachirofficial3939 3 місяці тому

    Umalaya2

  • @TheTarabist
    @TheTarabist 3 місяці тому

    Mume humuhitaji? Utakuwa ni mgonjwa. Usitoe mfano wako kwa wanawake wengine walio na afya zao kamili za mwili.

  • @AliKhamis-j9z
    @AliKhamis-j9z 3 місяці тому

    Kwahiyo ww huwashwi au unajitia madole mwenyewe

  • @HarunaFursana
    @HarunaFursana 3 місяці тому +1

    Kwasabab tibiwa dada

  • @abuuzakariyalibumba6303
    @abuuzakariyalibumba6303 3 місяці тому +2

    Acha ujinga wewe

  • @SaidoHopa
    @SaidoHopa 3 місяці тому

    Can I have your phone leyla