Yan mwanamke unapokuwa kwenye mahusiano unatakiwa kuwa muangalifu wa kuchanganua mambo kabla hujachukua maamuz lasivyo utakuwa na wanaume wengi hapa dunian
Mke alianza vizuri kwa kumlinda mume kwa kuwaomba wasimpige. Lakini anakosa busara kwa kutukana. Hilo la mke kumtukana mume ni ukosefu mkubwa sana wa heshima. Hata kama mumeo kakosea, sio poa kabisa mke kutukana mume.
Yaani Mimi huu ufala wa kutukanwa hivi na bado nachekelea utoke wapi?? Mwanamke wa hovyo kabisa huyu....Hana hekima kwa mume..na wewe mwanaume unakenua tu meno 79 nje😂...maninaaa.... mwanamke yeyote ambaye hawasalimiki watu wa ulimi wake, hawezi kulea familia yenye hekima na ustawi wa jamii💯
Huyu dem ni mm kabisa akili zetu sawa sawa😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Ila dada kamtetea asipigwe jamani, na shida ya hawa viumbe huwa hawanaga kutafakari
Yan mwanamke unapokuwa kwenye mahusiano unatakiwa kuwa muangalifu wa kuchanganua mambo kabla hujachukua maamuz lasivyo utakuwa na wanaume wengi hapa dunian
Hahahaa sema dem ana upendo wa kwel bhna
Dada alikuwa kwenye kelele mara Pap akatafuta sehem yenye utuliVu
😂😂😂😂
😂
😅😅😅
Oml o
Noo
Wewe wewe wewe Irene ni nani, challenge challenge kiredio ni nani 😅yule wa mtandaoni mke wangu, weeh unaniona nakaa nyumbn kinyonge hapa unaniona mimi mjinga Mungu kanionyesha😅😅
🤣🤣🤣
😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂kitawaka akifika nyumbn atatka kujua Irene ni nani
😂😂😂 nimecheka 😂😂😂💔
Wewe wewe wewe wewe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huyu mwanamke anaweza kumpiga mumewe
😂😂😂😂😂😂 huyu dada ni mm kabisa hakuna cha challenge wala n nn..nataka kujua Irene ni nan
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 Yani huyu ni mimi kabisa
Umekosea uyo n mm kabisa,,,tana namwambia na utanpleka kwa uyo iron mabibi stokuelewa😂😂😂
Mwanamke hana Subra hana Adabu hafai kuwa mke Unamtusi mwanaume kama hivyo Baba Pole kazi unayo 😢😢
Mbona Mimi sijaskia ayo matusi
Mchiuww hayajakukuta ndo Maan unasem hivy yakikukuta ndo utaelew😂
Hayakukut wewe
🤣🤣🤣🤣 mbona hajamtukana kwani kuna tusi hapo🏋♀🏋♀🏋♀
Jamani mbona kaongea kiekima Ivo ingekua wewe unge weza au Una zangumzia subira Yani
🤣🤣🤣🤣sijui nacheka nin ndio maan sipendi kuwa kwenye mahusiano zaidi ya mtu mmoja
😊😂😂hahah huyu mwanamke ndio mwenye upendo saana namtaka kama huyu uko wapii we mdada wa hivi nikuoe chap
Mbn wapo wengi tu
@@user-rm1uz6lm8r 😂😂mhmm
Wewe nyingi😅sema mwanamke akikaa nyumbani kulea mwanaume haaminiki so simshangai mwanamke wa watu😅😅😅 mwanaume bado hajasemaaaaaaa🤣
Jama kapata mke sio masihara
i don't want peace i want problem always😂😂😂
haha😂
Pakalia komba daaa ex wangu jmn miaka 2020 huku SAUT
😊 umeyatimba 😅😅
Yaani huyu dada,atamfanya kitu mbaya,😢huenda dada kawekeza hapo,siyo kwa uchungu huu..
Tofauti yangu ni kutokutukana lkn vyengine vyote ni mimi hv navyokuambia na jasho lingekuwa linanitoka
Kiredio utakuja uue wadada wenye mioyo laini
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mimi kabisa ila matusi loh sitak kuelewa
huyu ndio wife sasa😂😂, she defends in public and utasuffer in private hahahahahahaha
😂😂😂😂😂najiona mm kabixaa
Huyooo dada ana kichwaaa kigumu kwelii jaman😂😂😂😂
Hata kama ni ww😅😅😅
kiredio ipo siku utakuja kuuwa mtu kwa presha,maana du 😂😂😂
Alipo sikia mwanaume ana mke mwingine mpaka ametoka kwa kelele.umbea kweli wataka nafasi
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu miyeeee eeeeeee jamani mutakuyaka kutuuwa nacheko kweli kweli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Much love sister
😍😍😍
Jamaniii dada wa watu ana stress uwiii😂😂😂😂😂😂😂
Yan kachanganyikiwa balaa
Hatar sanaaaaa 😂😂😂😂😂❤
Musimpige ntaongea nae 😂😂😂😂😂😂😂😂
kasema ntaongea nae mara kanza kumtukan
Tiiiii zimekua nyingi uyu demu iz a killer😂
Hakuna Cha kiredio waka KTV 🤣😂😂😂😂
Acha nirudi dar wampgie Mme wangu kitakachomkuta🤣
😂😂
Hivi ndivo wanawake tumekosa hekima ya kuongea na wapenzi wetu wakikosea mwanamke unamtukana mumewe matusi ya nguoni hivo khaa😂😂😂😂
Hata ningekuwa mimi
Yan hata kama ni challenge tukimaliza kusolve hiyo ya challenge ntapamizwaaa mimi matusi mazito hivyo😥
Wanafeli aseeh
Jmn majina ya kina irene tunakomaaa😂😂😂😂
Wanatuonea
Tuna subiri ya mume na mke kubadilishana simu m2 na mpezi wake, au wana wake wa tzd wanapenda wanaume weupe au weusi
Hakuna mke hapo
Msimpige ntaongea nae🤣🤣🤣
Hahahahhahaha kwa kweli
Ila huyu kaka kazi yake sio nzuri,anasababisha ugomvi kwenye maisha ya watu,mi sipendi anavyofanya
Niliongea mim sema ipo siku
Haifai huku kwetu kwenye ndoa za milele. Akafanyie huko kwenye ndoa za mikataba.
@@leahngeragezamilele ya nyoko kumanina nyie ndoa za mkataba ni zipi
hahahaahhaahahahh mbavu zangu jamn ndoa za mkataab tena
😅😅ndoa za milele zitokee wapi?? Wakat waume zenu wanazalisha huko nje kama makuku@@leahngerageza
Wanawake tuna huruma eti msimpige nitaongea naye😅😅
Tena nitamuelewesha vzr arf iyo vzr sasa ndio mitusi😂😂😂
😄 🤣 😂
Wachache wapo ivyo wenye upendo wa kweli
''Irene ni nani?😂
Yaani dada imebidi ambembeleze mtoto pawe kimya aisee kapanik
😂😂😂kamtoa mtoto kampeleka Kwa jirani
Jamaa kapataa moto mwenyewe
We usimpe pressure wifi yangu jaman
Icho kipindi cyo kizur mtafanya wauane😂
Uyu jamaa mbona anaangaika kama yy ndo director
Anamuelekeza mwanae apate picha😂😂😂
😅😅😅😅😅 irene wa mabibo is typing.......😅😅😅
Hahahahahahahahahah
😂 😂 Kiredio unajenga na kubomoa mbwaa wewee😂😂😂
inaonekana huyo jamaa anapigwaga na huyo mwanamke
Kwakwel 😂😂 anapigagwaa co kwa matus hayo
😂😂😂😂😂
@@jacklinemsechu221 za masiku?? upo?? aisee nimekumiss mno
@@bushbabytz mh jmn nani mwenzngu njoo insta unatumia jina gn
Tunaomba mwenderezo😂😂
namimi nataka nimjue bebe wangu anao wangap😅
Unamoyo mwenzangu 😅😅😅ama vitunguu vitakuhusu😅😅😅
Mtaua watu siku moja
Kimeumana 😂
Mungu anekuonesha Au Kiredii😂😂😂
Mwakinyuke😅 mwaisa
Mwanamke kusikiaa mwanamkee na kelele zamtt zikaximwaaaa😅😅😅😅😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 we mchezo hlo jambo 🤣🤣🤣🤣🤣🙌
😂😂😂😂😂 hataki masihara lazima akae sehemu tulivu
😢😢yule mtt anayelia lia sijui alinyongwa akakaa kimya
😂
😃😃😃
Jamaaa kaya timbaa😅😅😅
Hatakama ndio umtukane Munro matusi ya nguoni jamn mmmh
😂😂😂😂😂 sio kiredio sio kitivii
J hairini ni nani 😂😂😂 hairini is typing 😂😂😂😂
Ilini ni nami? Ubwaaa weyeee😂 😂to the
Paskalia komba🙌unaupendo na unawivu sana jmn😂😂😂et msimpige ntaongea nae🤣🤣🤣🤣
Msimpige ntaongea nae😂😂😂😂
😂😂
Kiredio jmn naomba nisaidie namie nijue kama nk peke Yang
katafute kufa
@@sabihaibrahim143😂😂😂😂
Utakufa😅😅😅
Chakufia nn, depression za lazima za nn
@@najmasalim-rg6ownajma😂
Mume anaonekana kuna vitu anamfanyia mke wake ndo maana kasema unaona nimekaa nyumban kinyonge 😮
Daaah aibu Sana kiukwel hekima inatakiwa itumike namna ya wanawake tupunguze na tuone namna ya kuzungumza na wenza wetu hata Kama wanakosea
Safi dada shikilia apo apo !
kiredio Acha huo mchezo utavunja ndoa za watu... shauri yako usiseme hukuambiwa🙌
😅😅😅 ukute kichwan ajasoma alafu mshamba utakoma😊😊😊
😂😂😂😂 ety MUNGU kanionesha weee kiredio
Kiredio nae Mungu daaa hwa wanawake bwana..eti mungu kanionesha
Bado hujasema 😅
Bado hujasema mpaka usemee
😂😂😂 jmni hizi challenge
Airini who is you?🤣
Sitaki kujua kiredio wala kisabufa nataka kujua lrene ni nani😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂nmecheka jamani uuuwiiiih
Mungu kanionyeshaa
Eti kiledio😂😂😂😂
Unajua sana bro vicent
Mtaharibu ndoa za watu
Vyote ni mm ksoro matusi tu😅😅
Atak kupokea sm anajua amemtusi mumewe na yupo live ila ss wanawake hapana
Mke alianza vizuri kwa kumlinda mume kwa kuwaomba wasimpige. Lakini anakosa busara kwa kutukana. Hilo la mke kumtukana mume ni ukosefu mkubwa sana wa heshima. Hata kama mumeo kakosea, sio poa kabisa mke kutukana mume.
Kaka angu komba irene ni nani?
😅😅😅 ila sisi wanawake aiseee
Nimecheka kama chiziii jamani uwiiiiii😂 hakuna cha kiledio hapa nataka kujuwa airine ninani
Kiredio nirudishie wifi yanguu 😂😂😂😂
Kwani nyinyi nanyi ilikua ina haja gani mupige simu msichana wa watu masikini
Hatak apigwe😅😅
Kiredio utaaribu ndoa za watu😅😅
Hiiii imeenda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 mungu kanionyesha
😅😅😅
Wewe wewe wewe 😂😂😂😂🎉
Sio Kwa matusi hayoo jmn
Jaman jaman challenge imetufikia mpaka kwa wadogo zangu we kiledio usije ukaniulia passcali wangu
Wewe usinitanieeeeeeeeee!!!!!!!!!!.!!!!!.. nataka kujuaa Irene ninaniii!!!!!!... Leoo mmeyakanyagaaa.... Ndoaaa yanguu weeeeeeeeee!!!!!
Nakupataje wekaka naomba no yako
Yaani Mimi huu ufala wa kutukanwa hivi na bado nachekelea utoke wapi?? Mwanamke wa hovyo kabisa huyu....Hana hekima kwa mume..na wewe mwanaume unakenua tu meno 79 nje😂...maninaaa.... mwanamke yeyote ambaye hawasalimiki watu wa ulimi wake, hawezi kulea familia yenye hekima na ustawi wa jamii💯
😂😂😂😂😂😂😂 kwann irene jamani😂😂😂
Huyo Irene wa mchongo nipe namba yake niishi nae
😅😅
Hamna mke hapo😅