Mwanamke Akiwa Na Sifa Hizi Tano (5) Ukioa Ujue Umeoa Matatizo // Sheikh Othman Michael

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 чер 2024
  • QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM UA-cam @QiblateinOnlineTv)
    🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
    INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
    FACEBOOK👉👉 profile.php?...
    TIKTOK 👉👉 www.tiktok.com/creator-center

КОМЕНТАРІ • 38

  • @Raissaabdoul
    @Raissaabdoul 3 дні тому +1

    ♥️♥️Mke wangu iko ivo pia mungu amuongoze😢😢🥰🥰🥰

  • @AminaKassim-ni9wd
    @AminaKassim-ni9wd Місяць тому +11

    Yani asilimia kubwa ya wanaume awajui matunzo kiukweli wanatufuja sana wallah mungu anawaona wanaume wote wafujaji alafu wakishamfuja mwanamke wanaangaika nnje kutafuta vizuri mke afai tena

    • @user-fq3ox7yq5m
      @user-fq3ox7yq5m Місяць тому +3

      Sio kweli hata mkipendwa hampendeki Allah anawaona nyie lakini mpo wachache mnamapenzi

    • @CikeTanzania
      @CikeTanzania 22 дні тому

      Kweli kabisaa.

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd Місяць тому +3

    Mmhh masheikh hebu tusaidieni hapa kwenye hili jambo

  • @user-fq1gg8rj9i
    @user-fq1gg8rj9i 28 днів тому +1

    ❤❤❤ Subhana Allah 🙄🙄🙄 apo ktk siri ni kweli ,,,,lkn khs malez mmmmh apo sheikh

  • @lub408
    @lub408 10 днів тому +1

    Muguakubarki

  • @LailaMichael-t3h
    @LailaMichael-t3h 10 днів тому

    Kweli sheikh Dua zenu Allah atuongoze inshaallah

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 21 день тому

    Mashaallah tabarakaah
    Shukran Sheikh wetu mawaiza mazuri ❤

  • @ZainabShaibu-kz5sd
    @ZainabShaibu-kz5sd 11 днів тому +1

    Asslm alykm warahmatullah wabarakaatuh jaman sis ni waislamu ni kitu kimoja hakuna haja ya kutukanan ikitokea shekhe kaongea maneno wew huyakubali bas kaa kimya kunyamaza si ujinga mtume katuhusia sana kunyamaza yanin kutukanan je muoslamu unamtukan muoslamu mweziyo kafir atafanyaje? Kama kwako ni upuuz mwengine kwake kaona maneno mazur tuache ikhtilaafu za kimadhhebu waislamu sis ni kitu kimoja kama mtu humkubali bas msikilize unae mkubal.

  • @BarakaJackson-q2v
    @BarakaJackson-q2v 22 години тому

    Tunakiona kitu hiko ndani ya ndoa zetu mwalimu

  • @Hussenmadua
    @Hussenmadua Місяць тому +1

    Siku zote ukwer unauma kiukwer asrimia kubwa mtoto anae rerewa na mm ndio wote niwazazi Ila bb nimchango mkubwa San kwakumuongoza mwanae alafu msiwe msiwe mkifananisha mitume nakarne yasasa mitume wamama wamitume waribalikiwa Bwana ukwer usemwa

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche Місяць тому +1

    Almdulillahi

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Місяць тому +7

    maneno ya KIPUUZI,mtume صلى الله عليه وسلم amesema mama ndiye mwalimu wa watoto!!
    Imaam Maaliki kalelewa na mama bila baba,imaam shafii kalelewa na mama bila baba,imaamu sunna Ahmed bin hambali kalelewa na mama bila baba!!
    ongea maneno yenye dalili,dini ni aliyofundisha mtume,!!na hakuna nyanja ambayo mtume hakufundisha!!

    • @xxxl-jf2ji
      @xxxl-jf2ji Місяць тому +1

      Nikweli kbs

    • @user-sn4iq6cu1f
      @user-sn4iq6cu1f Місяць тому

      ila unakosea (upuuzi) erro

    • @Abuqayyim157
      @Abuqayyim157 Місяць тому

      Nazungumziaa zama gaaani ndugu

    • @khadijasoud8026
      @khadijasoud8026 Місяць тому

      Usiseme mwanamke mwema haachiki mwiko unatia unyonge wanawake hakuna mwanamke asotaka mume ila wanaue mnatoa talkative bila sababu ya singing ila Allah ndo mjuzi sio weye Sheikh wallahi umekosea kutamna hayo maneno makali

    • @shamsijuma5050
      @shamsijuma5050 19 днів тому

      Mashaalla nawapendaga watu Kama ninyi Allah akuweke wape ukweli bana akhy

  • @AmidaJuma-uv8lj
    @AmidaJuma-uv8lj Місяць тому

    We othumani wewe ujuitu maisha ya watu

  • @user-wz8hw2kk8n
    @user-wz8hw2kk8n 10 днів тому

    Shekh Sasa hivi single mom wamezidi kwa sababu wanaume wa siku hizi hawajitambui na hawataki majukuumu kwa hiyo tuwache tu tupambaneee

  • @AbdurmujiibuAbdurjabari
    @AbdurmujiibuAbdurjabari 3 дні тому

    wanawake wanakera asa madomo

  • @GeorgePogals
    @GeorgePogals Місяць тому

    Shee ila wengine utafutaji mgumu shee unatuzalilisha

  • @AmidaJuma-uv8lj
    @AmidaJuma-uv8lj Місяць тому

    Othumani hadi wanume wako ivyo jmn

  • @sujmasukuzi5671
    @sujmasukuzi5671 10 днів тому

    😅

  • @SaquinaMinrage-ll7id
    @SaquinaMinrage-ll7id 23 дні тому

    Wanaume wa siku izi hata unawafanyia nini anatafuta tu njee

  • @faizaa155
    @faizaa155 26 днів тому

    Siukweli mke ndio ajua kulea kuliko mume kumbuka imam mmoja alilelewa n mama akawaimamu mkubwa

    • @LatifahIddy-hb5qw
      @LatifahIddy-hb5qw 22 дні тому

      Mmh kila mzaz ana nafas huwez kusem mama anaweza kulea mtoto wa kiume na kumpa malez ya kiume

  • @KhanisMakame-wf8yn
    @KhanisMakame-wf8yn Місяць тому

    Mmmmmmmhhh weweeer

  • @fatumamboweto
    @fatumamboweto Місяць тому +2

    Hamza kimaro maneno mbona makali

  • @Hairiakhamis
    @Hairiakhamis 19 днів тому +1

    Kumbe keni kua mtume (s w a ) amesema adhabu Kali zitawapata watt wa Adam lakini kupita mababa kwaiyo hamtakiwi mtuachie wanawake t Bali na nyinyi msimame kama wanaume

  • @YassinHamdanyassin
    @YassinHamdanyassin Місяць тому +1

    hakuna kitu munajua kuhusu dini munajua kuhubiri mwanamke na mwanaume munaona kama unahubiri kitu ya maana

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Місяць тому +1

      Sasa hii SI ndoa Kila mahubili mahali pake

  • @abdulghafursalum4373
    @abdulghafursalum4373 Місяць тому +1

    Ila sheikh wengine wanajiachisha wenywe kwa kupewa maneno ya fitna na kibaya zaid unamkuta kishaposwa na hakupi hata nafasi y kukusikiliza wanamua, na hao wanaotoa fitina hawamfuat muhisikk kikubwa ni kukosa hekima na busara kwa wanawake. Allah s.w atupe subra

  • @Hairiakhamis
    @Hairiakhamis 19 днів тому

    Ss wanawake atukatai kua kuna maimam wamelelewa na mam t ila kumbukeni enyi wanaume ss ni walezi ila nyinyi ni wasimaminzi

  • @GeorgePogals
    @GeorgePogals Місяць тому

    Shee ila wengine utafutaji mgumu shee unatuzalilisha

    • @user-sn4iq6cu1f
      @user-sn4iq6cu1f Місяць тому +1

      mbona kwenye ushoga hamjasema kama mmezalilishwa ndugu