Wanaume kama hawa ndo wanifanya wanaweke wawe na roho bay aki pole sana dada hapo kwa kujikojolea ndio ni.cali kwa kweli Anko jay asate kwa simalizi juri sana❤❤❤❤❤❤
Jamani mbana wa ndungu hawana upendo wa mungu ya mtu kahacha kwao likini hunamuteza tu kama nini mimi Niki rudi kwetu kweli niombe msamah kwa wazizi. Tana wazizi hawajui hunaishi vipi
Mamb anko jay daah amazing sana ila vp sehemu ya pili yani imenipa miwasho hatar moyo inapwita hatar inauma sana wanaume nyie bwana bas tumnatuumiza sana
Congratulations 👏👏👏 anko Jay wetu pamoja na Lissa mwala nimecheka sana aisee pale anko Jay anajinyoosha ati kazi ya tunda ni ngumu sana anko wewe ni kiboko yao mjanja sana kama sungura, kwa kweli utamu hadi raha tumeinjoy sana Jabali wetu King 👑 tunaisubiri sana iyo part 2 mungu akubariki sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Cku zote usione mschana wa kazi anafanya kazi na ww umuangalie ju ety n mtoto wa tajiri utakoma na maisha heri ujifundishe kazi hata kama kwenu kuna House girl utawachwa bure ngoje uone bb mwengine aletwe sasa jipange ukitaka asije bb mwengine hudumia mmeo kwa kila kitu cyo kumpa tu huduma ya kitandanda utawachwa
BINTI MASAWE PART 02 BONYEZA HAPA ua-cam.com/video/b7jIVS_M2Fk/v-deo.htmlsi=4spuoNSpmLtDdGgW
Jaman watoto ninyi watotoo msiyachochee mapenz kabla ya wakat wake mpaka yatapoona vema yenyew
Iyo ni kweli maana watoto wasikuhizi wanapenda sana ngono na pesa
@@DorcasMuomba-gd3sw kweli
Japo kuwa nimechelewa ila bado nipo anko jay with Lisa mwalla hongera sana napenda story hii ❤❤❤❤
Wanaume kama hawa ndo wanifanya wanaweke wawe na roho bay aki pole sana dada hapo kwa kujikojolea ndio ni.cali kwa kweli Anko jay asate kwa simalizi juri sana❤❤❤❤❤❤
Apo kwa kizungu umenitoa mbavu jamani 😂😂😂
Anko j and Lisa mwalla shukrani kwenu 🎉🎉🎉
Jmnii nimepanda sitory😂😂😂❤
Pole masawe
😂😂😂😂Nimependezwa na mamake Masawe 🤣🤣🤣🤣 Osmond unacheza na watoto wa watu 🔥🔥🔥🔥
Duuuuuuh,pole mchaga mwenzangu
Wachaga sio wavivu bwana, ila inategemea umelelewa kwa mazingira gani😅😅
Watoto munadanganyika wazazi tunawatafutia mema mutuombeye dual wakwanza amegutema unarudi tena jamani shida🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Shida kubwa
Jaman we anko j unasimulia vzr yaani daa
Asante Mungu, Mumbi Wa Naivasha ako locked wapi likes
Jaman mabint hawa watatutoa roho wazaz,tuwape elimu gani jamn kuhusu mahusiano?
Jameni nilikua napuuzia iyi kumbe utamu wake nihuyu keee pamoja na X heeeeee mng njo anajua yani ni full utamu 🤗🤗
Naomben like zangu msijisaulisheee ap😂😂
Sawa tumekuelewa🤣
Hatujasahau Yassin
Anko jey ❤️❤️❤️ tunakupenda sana 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Asio sikia la wazee kuvunjika gu ungemsikiriza mamako yasingekukuza mwana ngu pôle sana ankojay hi simlizi ni ya mafunzo sana asante sana
Napenda saut yako ank jay❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sandeeee,wew sandeee,sandeee wew
Jamani mbana wa ndungu hawana upendo wa mungu ya mtu kahacha kwao likini hunamuteza tu kama nini mimi Niki rudi kwetu kweli niombe msamah kwa wazizi. Tana wazizi hawajui hunaishi vipi
Ankoy j we noma sana .Kaz nzuri sana napenda simlizi zako san
Mamb anko jay daah amazing sana ila vp sehemu ya pili yani imenipa miwasho hatar moyo inapwita hatar inauma sana wanaume nyie bwana bas tumnatuumiza sana
Ni kweli mm na wewe ni marafiki ila wa sauti tu na je nikikuona ila sio poa
Waooooh ile saut tam tena ipo hewan Asante sana anko wetu pamoja na Lisa mwala tunawapenda sana. Mashabiki zenu
Congratulations 👏👏👏 anko Jay wetu pamoja na Lissa mwala nimecheka sana aisee pale anko Jay anajinyoosha ati kazi ya tunda ni ngumu sana anko wewe ni kiboko yao mjanja sana kama sungura, kwa kweli utamu hadi raha tumeinjoy sana Jabali wetu King 👑 tunaisubiri sana iyo part 2 mungu akubariki sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Sijachelwa mno let m relax niburudike
Thanks anko jay
Wauuuu🤭😂 ahsante AnkoJay Acha ni 🪑🎧 Binti Masawe jameni like zen duguzangu
Daa Lisa napenda vitu vyako vitamu sana❤❤❤❤❤
Jamn me ank naipenda San ii simuliz ad narudia
Jamani anko j anzaa na bint masawe
Asante anko jay nimekua wa kwanza leo
Hongera🎉
Hatimae leo tumekumbukwa na lisa mwalla😂😂😂❤❤❤
merci anko j tu me manque,turagukunda
Mama msanii hadi nimempenda 😂😂
Mungu atupe warafiki kama maman ndogo❤❤❤❤
Mmh kwakweli namshauli aluditu kwao sio kwa mateso hyoo daah😅
Wakwanz mimi nipeni likes zangu
Ankooooooooo sauti yako ya beziiii hasa inapompata yule kijana muhusuka uwiiiiii @ankoooooomasautiiiiiii
😄😄😄😄
Daah adi nimetoa chozi mwisho jameni😢😢😢 uyu sunday atakuja juta vibaya sana
Oyooo, anko. Jey. Alsse. Unafurahishag. San. 😂😂😂
Weee lissa weeee haujui😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤ Hongereni Lisa na Ankojay kwa kazi nzuri🎉😊
Anko jay X tafadhali,🙏😂😂
Pole sana dada sasa nakuabia utajua mama ni mama ukiambiwa na acha❤❤sikiliza
❤❤jamni kwani huyu ako anamke nampenda mm 😊😊
Anko sema unamke?
Anko semaah umeshapendwa huku
Anko jibu ulichoulizwa kuna mtu kafa kaoza kwako
Simulizi nzuri❤❤
Hatima toto la kichaga bint masawe
Ilaaa Ankojay bnaaah 🤣🤣🤣 ety kekeeeeeee kekeeeee unaadithiaaa UTAMU😋😋 Mama Jack nae sio kwa kipgo ikoo jamniii
Mambo kaka
Mambo yake ni mambo ya uhakika ya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jomon 🤗 napenda kusikiliza story za ankojay arafu Sasa iwe imeandikwa na Lisa mwala ♥️♥️♥️
Aya nipen like zenu wachaga tume kumbuka
Acha tu tunakooooleeea
Mashallah Leo nimewai
Arudi kwao akaombe msamaha mamake atasamehewa huyo mwanaume hamfai tena mapenzi hayalazimishwi kabisa lakini ipo siku Sunday yeye mwenyewe atamtafuta
Naipend simulzi❤❤
tupe muendelezo bro mbona inakawiya yani tunaisubiliya kwahu kabisa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Anko jay apo unajinyoosha umechoka au😂😂😂😂
Karibu tena Anko j 🤗😍
Niko rada nn pia 🎉🎉
Party 2 iko wp anko jei
Cku zote usione mschana wa kazi anafanya kazi na ww umuangalie ju ety n mtoto wa tajiri utakoma na maisha heri ujifundishe kazi hata kama kwenu kuna House girl utawachwa bure ngoje uone bb mwengine aletwe sasa jipange ukitaka asije bb mwengine hudumia mmeo kwa kila kitu cyo kumpa tu huduma ya kitandanda utawachwa
❤❤❤❤❤❤LISAAAAAKEEEEEEEEEE PENDAMIMI WEWEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nasikiliz uku nakunywa bia barid😅
Ila anko Jay kusema tu ukweli unasaut nzur sana na una kipaji cha kuugiza saut yeyote bravo 👏 anko Jay Allah akuzidishie uelewa❤❤
Naomba. Sehemu. Ya. Pili
Ahsanteee ankoo
Tulimiss simulizi za da Lisa mwalla 🥰
Kwa kweli dear
Mam wa kibongo wakali kama pilipil kichaa,na maneno mengi eeeereeh,ilololololooooo aaaaaaah
Jamani hvi lazima ukitongozwa uliwe day hio hio??
Anko jay nakukumbusha usikose kutuletea simulizi ya X❤❤❤❤❤❤
❤😍Hizi ndo simuliz zng mie mmbo ya ujasusi siyawez😂🎉
@@FaydhaAleyhata mie nilisikiliza part 1 hata sikumaliza nikaiweka pembeni
Nipeni like zangu jameni
Waoooh k2 ktam kweli
Nyie namba ya huyo sunday nikaonje huo utamu unaosimuliwa hapo😅😅😅
Wacha wee 😂😂
Mbona haipo iyo sehemu yapili anko
Ipo
Ety I love him I love her 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwendelezo jaman anko j
Leo week end nzur
Hila anko j simulizi ya taxi ya mauaji season 2 sijaisikia
Eeh ni ukweli haswa
🎉🎉🎉🎉tumewasili mjengoni 😊😊
Halow haloww kipenzi na mwamba wa Anko j tumekumisss sanaa dear lisa mwala❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wakwanza nipeni like zenu wadau❤❤❤❤
Hongera 🎉
@@ankojay_ thanks 👍
Lisa mwalla karibu Tena tulivyo kumisi
Anko. J. Hii simlizi ya masawe nizuri sana. Nacheka mbaka bas nakupata vizur kutoka Oman hapa
Wao kitu kipy
😂😂😂😂nimempenda mama dotto❤❤🎉
nazipenda simulizi zako ❤
Hatimae😂😂🍎🍎🍎🪴🪴🪴💐💐💐🥀🥀🥀, asanteni sana Ankojay na Lissa Mwala kwa utamu wa weekend ♥️♥️
Nimechelewa leo naombeni laiki
Ahsante sana Anko Mapesa,tuko pamoya.
Dada lisa mwala ft anko jei jmn
Kweli Anko jay tunatosheka haswaaaaa na simulizi zako 😂😂😂
Nipeni like zangu jaman leo nimewahi😂😂
Chukuwa zote ❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
@@alinaaa-e2s❤❤❤pp❤❤090
Jaman tujifunze kitu kwa Jack apa maan mh nimelia Jaman
Ila uncle j unatuuwa 😅
❤❤❤simlizi ya bint masawe ninzur jaman tutumie mwendelezo wake🙏
Wa mwisho mashallah anko Jay tabaraka Allah
Hi mko poa wana family
Hi too tuko fresh baridi hatuna bugudhi😂😂😂😂😂❤
@@everlynesafari1527 usijali tuta pata hio bugudhi na na nnhio bugudhi blangeti sio
@@everlynesafari1527 nisha kuelewa mpenzi
Ankoj nakuelewa kwakujisifia2upovzr😂😂😂😂
Wanaume hawa hawajali kama mtu ako na mimba dunia duara nikikumbuka mimi nilipigwa nikiwa na mimba maisha haya🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲sito sahau
Ankoo Anza na x plz
Huyo arudi tu nyumban kwa wazazi wake Ni Bora uteseke ukiwa Na wazazi kuliko hayo anayo yapitia n magumu Sana aende aombe msamaha mamake haezi kumtupa