SHEIKH YUSUF DIWANI | Zipo njia halali za kutoa Kafara ili ufanikiwe. Kumdhuru Albino NI KUFR.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • .
    .
    NG'ARI NG'ARI 2022 SEASON - Epsd 082 - Aired on Cloudstv | 06 JLY '24
    .
    .
    Ni JUMAMOSI Hii Saa Tatu Kamili Usiku (09:00pm) kupitia Cloudstv.
    .
    .
    Tazama Kipindi cha NG'ARING'ARI Clouds Tv kila Siku ya JUMAMOSI Saa 3 Kamili Usiku (09:00pm).
    Marudio: Jumapili saa 12 Jioni (06:00pm) & Jumatano saa 7 Mchana (01:00pm).
    .
    .
    .
    .
    Angalia Cloudstv kupitia:
    ⎮ Azam channel no. 403 ⎮ Dstv no. 387 ⎮ Startimes no. 109 / Antenna 497.
    .
    .
    .
    .
    .
    #YUSUFDIWANI #SINIA #ngaringari

КОМЕНТАРІ • 35

  • @user-dj1os5ib8x
    @user-dj1os5ib8x Місяць тому +3

    Sheikh anakaribia kugusana magoti na demu, kakaa kajiachia habari hana.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Місяць тому

      Kisha ndio alikua akiwapigisha kelele kina Sheikh Mohammed Ishaka huyo, si wa kujibizana naye kabisa huyo.

    • @twahaally7251
      @twahaally7251 Місяць тому

      Mtihan wallaahi

    • @mootelahamongus633
      @mootelahamongus633 Місяць тому

      Ndio watu wajionee

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed Місяць тому +5

    We sema ni mganga

  • @user-cs5ob6tt8c
    @user-cs5ob6tt8c Місяць тому +2

    Mungu Akubariki

  • @user-cs5ob6tt8c
    @user-cs5ob6tt8c Місяць тому +1

    Nakuamini Mungu akubariki

  • @ginazngo4317
    @ginazngo4317 Місяць тому +1

    Hatari sana

  • @Junja_Tv
    @Junja_Tv Місяць тому +2

    Nakukubali sana

  • @twahaally7251
    @twahaally7251 Місяць тому +1

    يَا أَيُّهَا النَّبِيُّ قُل لِّأَزْوَاجِكَ وَبَنَاتِكَ وَنِسَاءِ الْمُؤْمِنِينَ يُدْنِينَ عَلَيْهِنَّ مِن جَلَابِيبِهِنَّ ۚ ذَٰلِكَ أَدْنَىٰ أَن يُعْرَفْنَ فَلَا يُؤْذَيْنَ ۗ وَكَانَ اللَّـهُ غَفُورًا رَّحِيمًا ﴿٥٩﴾
    Ee Nabiy! Waambie wake zako, na mabinti zako, na wanawake wa Waumini wajiteremshie jilbaab zao. Hivyo kunapeleka karibu zaidi watambulikane (kwa heshima) wasiudhiwe. Na Allaah daima ni Mwingi wa kughufuria, Mwenye kurehemu. [Al-Ahzaab: 59

  • @tigerroar3545
    @tigerroar3545 22 дні тому

    Mganga Diwani amekaa na mwanamke wanapiga porojo

  • @user-ff4zb2qn1l
    @user-ff4zb2qn1l Місяць тому +1

    Sheikh ukaaji huo na mtangazaji mliyo ukaa binafsi naona hauko sawa

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev Місяць тому +1

    Chawi

  • @twahaally7251
    @twahaally7251 Місяць тому

    Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao na wahifadhi tupu zao, na wala wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa yale yanayodhihirika. Na waangushe khimaar (shungi) zao mpaka vifuani mwao, na wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa kwa waume zao, au baba zao, au baba za waume wao, au wana wao wa kiume, au wana wa kiume wa waume zao, au kaka zao, au wana wa kiume wa kaka zao, au wana wa kiume wa dada zao, au wanawake wao (wa Kiislamu), au wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume, au wafuasi wanaume wasio na matamanio ya jimai miongoni mwa wanaume au watoto ambao hawatambui kitu kuhusu sehemu za siri za wanawake. Na wala wasipige miguu yao yakajulikana yale wanayoyaficha katika mapambo yao. Na tubuni kwa Allaah nyote, enyi Waumini mpate kufaulu. [An-Nuwr: 31].

  • @twahaally7251
    @twahaally7251 Місяць тому +1

    Wamekaa zero distance

  • @AmourHamza-m3j
    @AmourHamza-m3j Місяць тому +1

    Kwani kuwa shekhe kunakataza kua mganga ww unae lopoka hayajakufika hospitali huwa unatibiwa na baba yako?

  • @NassirAliy
    @NassirAliy Місяць тому +1

    Ushekhe huna ila isipokua ushirikina

  • @user-zs7eq8up5s
    @user-zs7eq8up5s Місяць тому

    Waislamu tuwe makini wimbi la waganga njaa na matapeli kwa jina la usheikh utabibu limekua kubwa sana sasa tupa kama walokole tumeiga mambo ya makanisani

  • @BakariMussa-qn4oy
    @BakariMussa-qn4oy Місяць тому

    Nyie wenyewe hamjitambui

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 Місяць тому

    Hawa matipwa tipwa ni mke na mme au mtiani

  • @Junja_Tv
    @Junja_Tv Місяць тому +1

    Sheikh JUNJA apa ila Bora ungeishusha HII krp coz Kuna mziki TUPO PAMOJA sheikh

  • @twahaally7251
    @twahaally7251 Місяць тому

    Kwanza inakuwaje mpaka wanahojiwa na wanawake na wala hana stara

  • @BakariOmari-tr8cy
    @BakariOmari-tr8cy Місяць тому +1

    Unakaaje ivo namwanamke na unajiita shekhe snafundisha nini

  • @BakariOmari-tr8cy
    @BakariOmari-tr8cy Місяць тому

    Hapa hamnashekhe makhuraf waendako niwajingatuuuu sasa unakaaje ivo na mwanamke kunaulaximagani wakufanya ivo

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 Місяць тому

    Kafara no UCHAWI uliojificha kwa kisingizio cha Dini. Dini haijasema hivyo, ni SHIRKI hiyo, je Mtume Muhammad s.a w. alifundisha hivyo? Masheikh mnawapoteza watu, na nyinyi wenyewe mnapotea, KIA ma kuna UJI WA CHUMA CHA MOTO UNAVALISHWA KAMA SKIN TAITI. special kwa wapotezao.

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Місяць тому +2

    Huo mziki vipi hapo 😂😂😂

    • @tigerroar3545
      @tigerroar3545 22 дні тому

      hahahahah makhurafi ,masufi wanapenda mziki hapo umekosekana mpunga tu

  • @user-sx1xi4yb2z
    @user-sx1xi4yb2z Місяць тому

    Liongo hili jamaa,,na linajufanya lenyewe limetimia,, tapeli tu hili msiliamini.
    Lilitaka kunipiga nilipokua dubai,,nikalushtukia,
    Mie huwa nawachana tuu watu wa hovyo kama hawa,,
    Uchawi tuu umeeatawala wehu nyie.mnajiita mashekhe wakat ni. Wezi tu kama wezi wenginene

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e Місяць тому +1

    Mganga wa kienyeji katika ubora wake amejifichia kwenye kivuli cha ushekhe arafu unawakufurisha wahabi kumbe yeye ndo mshirikina anajifanya shekhe ilimu enyewe huna

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu Місяць тому

      Yeye ametaja vyuo alivyo soma, wewe umemuona Hana elimu, je wewe umesoma wapi? Inawezekana hata kupata udhu hujui.

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e Місяць тому +1

      @@jamalkishangu ni bora uwe kupata udhu hujui kuliko kujifanya shekhe arafu mganga wa kienyeji mushiriki hutopata kitu kwa allah

    • @tigerroar3545
      @tigerroar3545 22 дні тому

      @@jamalkishangu hana ushehe huyo mchawi tu huyo

  • @twahaally7251
    @twahaally7251 Місяць тому

    Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao na wahifadhi tupu zao, na wala wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa yale yanayodhihirika. Na waangushe khimaar (shungi) zao mpaka vifuani mwao, na wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa kwa waume zao, au baba zao, au baba za waume wao, au wana wao wa kiume, au wana wa kiume wa waume zao, au kaka zao, au wana wa kiume wa kaka zao, au wana wa kiume wa dada zao, au wanawake wao (wa Kiislamu), au wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume, au wafuasi wanaume wasio na matamanio ya jimai miongoni mwa wanaume au watoto ambao hawatambui kitu kuhusu sehemu za siri za wanawake. Na wala wasipige miguu yao yakajulikana yale wanayoyaficha katika mapambo yao. Na tubuni kwa Allaah nyote, enyi Waumini mpate kufaulu. [An-Nuwr: 31].