Chidi Beenz - Wanene TV Session

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 308

  • @Amobizzy_OG
    @Amobizzy_OG 4 роки тому +114

    KAMA umeona chidi beenz AMEANZA KUNENEPA TENA GONGA LIKE APO

    • @valencevalerian3037
      @valencevalerian3037 4 роки тому

      Daa boss chid wa zaman alikuwa ni misuli tu ila wasasa kanenepa lakini mafuta mengi.ila sio mbaya mkubwa

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 4 роки тому

      ua-cam.com/video/PwOat-cZouY/v-deo.html

    • @emmamatemu8225
      @emmamatemu8225 4 роки тому

      Mlisema kakonda sana akinenepa mwasema mafuta
      Binadamu bhana😁😁😁😁

    • @ulimbombonaulindi5088
      @ulimbombonaulindi5088 4 роки тому

      @Fatherjaytz angalia vizuri tumbo namaziwa hayo, mwili wautu uzima huo, huu mwili wamlo tu, syo wamazoezi

  • @nurannashiri2909
    @nurannashiri2909 4 роки тому +62

    Huyu ndo chuma wazaman Sasa! Kama unaamin mungu yuko pamoja na ched Benz gonga like

  • @nassorali1202
    @nassorali1202 3 роки тому +6

    Kuna line inasema “ eyyow mr sossa mlete brazil aje aone mastraiker mchezaji anashinda kombe kwenye mkeka unashinda ww na ndo wewe unatekwa “
    Chidi wewe nyoko sannna💯💯🙌🏽🙌🏽

  • @kingneviledervon8497
    @kingneviledervon8497 4 роки тому +40

    Ngoma noma Nani anapinga like kwa cheed jamani 👊👊

  • @BETConlineTVTZ
    @BETConlineTVTZ 4 роки тому +26

    TUCHUNGE NDIMI ZETU MUNGU MKUBWA. ANAWEZA BADILI CHOHOTE MUDA WOWOTE. BENZINOOOOOO

  • @moullaommywayneofficial1199
    @moullaommywayneofficial1199 4 роки тому +14

    Love from 257 imefika mpaka burundi like for me Wana tz

  • @ndundetommasz9158
    @ndundetommasz9158 4 роки тому +17

    chidi beenz you are in a different league bro mtanzania lakini Ngoma zako zikichezwa nairobi inabidi ngoma zingine zinazimwa wajue huyo nani mwenye sauti yakipeke.keep it top bro 254 tunakutambua

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 11 місяців тому +2

    Last time i meet with this King kong Tegeta Kwa Ndevu corner bar, he just Give me 5 salute, so now im watching This King of Hip hop in south Africa 🇿🇦 Cape Town Claremont onr lv Rashid Abdallah

  • @elsenortolga1936
    @elsenortolga1936 4 роки тому +3

    Mimi ni Mnyarwanda naweza nipana maon yangu kwa Chidibeenz huyu sela namtambua tangu ningali mdogo kitu takriban miaka 12 so i go on poit nakuomba baba badilisha maenew ya kukaa Kuja Rwanda ao hata Burundi afu fanya kazi zako huku nadhan ndio utapata mpunga kwanini maon yangu kama haya kwako ni sabab hata wewe mwenyewe unakubar sana kuwa bongo fleva imekua ya wasani 3 peke yaw kwa hiyo wewe ondoka ili ufaniikishe zaidi

  • @jodyntilayoungpapo9189
    @jodyntilayoungpapo9189 4 роки тому +19

    Kama unaamini king kong ndie king wa hip hop bongo like ziwe shazi✊

  • @davidkawiche8372
    @davidkawiche8372 4 роки тому +1

    Kama na we umeona huyu Mwamba akiimba na rosa ree ngoma moja watauwa balaa gonga like za kutosha

  • @bintimohammed3233
    @bintimohammed3233 4 роки тому +9

    Sasa chidi huyu ndio ilikua twammiss Sanaa kaza buti kakake twazidi kukuombea

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 4 роки тому +10

    BONGE ya Ngoma,, hatar sana lets to support this guy

  • @andrewmmbaga1665
    @andrewmmbaga1665 4 роки тому +15

    Shkamoo brother chid🙌! ...Salute

  • @ismailsato5350
    @ismailsato5350 4 роки тому +8

    Alwayz on top king kong most love on you chid kama benzino

  • @emmanuelmsafiri4961
    @emmanuelmsafiri4961 4 роки тому +12

    ... heavyweight hii track pharmaceutical, use kila upande POWER Niko physical.. 🔥🔥🔥

    • @daudjoram8703
      @daudjoram8703 4 роки тому

      Anasema heavy weight hate drug pharmaceutical

  • @shahidthabit6127
    @shahidthabit6127 3 роки тому +1

    Somo kila siku nasema uko vizuri Sanaa blessed more +254 wachafue sai

  • @chrisjr4206
    @chrisjr4206 4 роки тому +6

    wakwanza kuiyona Big up chid chumaaa

  • @gabrielngugi5129
    @gabrielngugi5129 4 роки тому +10

    Much support from Kenya

  • @AngosoBedezoLapiraterie
    @AngosoBedezoLapiraterie 2 місяці тому

    Nime penda sana style yako Star ✨🇨🇩✅🎧🔥

  • @abuunyalioto1752
    @abuunyalioto1752 4 роки тому +8

    Huyu ndo chid niliyemzoea mm michano

  • @edsonkalokola5437
    @edsonkalokola5437 3 роки тому +1

    Ebana natamani nimpate huyu mwamba kwenye wedding yangu yeye ndo awe perfomer aisee

  • @accramasuu_tv
    @accramasuu_tv 4 роки тому +1

    Chidi we mnyama bwana asie kubali ni haaaater....much love broo keep pushing....

  • @labizolab-one8437
    @labizolab-one8437 4 роки тому +15

    Safi sanaaaa

  • @ezekielmakita4224
    @ezekielmakita4224 4 роки тому +2

    Jama ni noma sana i say huu jama atawazika kabisa ma fakes rapers in africa na ulaya pia makofi kwa mr chuma jamani👏

  • @babilonmukh513
    @babilonmukh513 3 роки тому +4

    Real definition of icon...your music forever lives brother 🙌🙌🙌... legendary ✊

  • @jamesoduororawo8379
    @jamesoduororawo8379 4 роки тому +1

    Ilala LA .lafamilia Chidi the genius..good music 🎶🎹🎼🎸🇰🇪🇹🇿🎙️🌴.Thanks God Chidi Benzino is Back with A Banger.😃😊Chidi ame kua kibonge

  • @saidgawawa8519
    @saidgawawa8519 3 роки тому

    Kingkong!! Chumailala.... Bado uko vile vile heavyweight rapper waambia hao. Hawawezi kushindana na legend!

  • @k24kipogo40
    @k24kipogo40 4 роки тому +2

    sasa mzee baba level zetu ni izi piga kaz

  • @kadaawizaa5588
    @kadaawizaa5588 4 роки тому +4

    Allah zaidii... Benz Chidiiii...

  • @yohanasiima9606
    @yohanasiima9606 4 роки тому +7

    the king izzzz back in chuma voice

  • @amidahjumah4588
    @amidahjumah4588 4 роки тому

    Uyu Kaka Ana baraa daah sema bongo tu King Kong Mr chid beenz

  • @gretarobert17
    @gretarobert17 4 роки тому +1

    Brazaa umeenzaa rudii kwye mwili wakoo apoo ulipoo shikiliaa kaka🙏

  • @kamugishadeus8342
    @kamugishadeus8342 4 роки тому +2

    kama unakubali hii ngoma kali gonga like twende sawa

  • @fetygao2232
    @fetygao2232 4 роки тому +4

    Am pround of you Cheed Benz Allah aendelee kukupa afya tele chuma

  • @abdallahjuma740
    @abdallahjuma740 4 роки тому +4

    Tuko nawew kwakua yua de best ever and every where #Chumaaa

  • @donjailer8827
    @donjailer8827 4 роки тому +1

    niliwambia king noma zaidi ya noma mpka ma bibi na mabwana wanasema noma

  • @bozzfelix1510
    @bozzfelix1510 3 роки тому

    Humu ndani you was do to much umeuaaa Sanaa haya matusi mtoto haez pita na hzo floooo TANZANIA WE THE BEST IN RAP

  • @hamzamahmoud7904
    @hamzamahmoud7904 4 роки тому +1

    Upepo imepungua kdg afanye mazoezi about consious yuko sawa sana alhamdulillah

  • @asaviews2030
    @asaviews2030 4 роки тому +1

    Chidi keep it up back 2 back fan 1 toka Kenya Nairobi

  • @ommyali1514
    @ommyali1514 4 роки тому +2

    Yap chuma safi sana ....Big up hawawezi

  • @jaymassjargontms865
    @jaymassjargontms865 4 роки тому +2

    Nimekubali Sana mfalme kwenye utawala wako 👏👏👏

  • @ntwarimico4889
    @ntwarimico4889 3 роки тому +1

    Umenitisha sana ,hiyi ndo yangubya mwaka.....

  • @mkalimala3564
    @mkalimala3564 4 роки тому

    EEEEHHH MAMBOOOOOO NI HAYA SASA YULE WA KALE NDO HUYU KAZI KAZI ASANTE KING

  • @sunguraally2456
    @sunguraally2456 29 днів тому

    Nakubali aisee ....Goma Kali kinomanoma

  • @issasalim7688
    @issasalim7688 4 роки тому

    CHIDI usinge poteana Saiv ungekua mbali sn ki mzik Tuzo ya MTV ungechukua wew

  • @holyjoemusiq2202
    @holyjoemusiq2202 3 роки тому +5

    Chuma much love from Kenya🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fredgeorgesanga7435
    @fredgeorgesanga7435 4 роки тому +1

    hii ngoma ni kali hapo kungekua na koras ya mdada kama maua sama ingekua noma zaidi

  • @MussacharlesSongo
    @MussacharlesSongo 3 місяці тому

    Chi chid chid chid nakuita tena chidi wewe ni mshindi wangu wasiku zote

  • @asad_theguru680
    @asad_theguru680 4 роки тому +2

    Much love +254
    #chidi flow ya kichizi

  • @danieljustinodaniel8306
    @danieljustinodaniel8306 4 роки тому +1

    Chumaaaa...!! Wewe ni Asset ya tz nzima

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 4 роки тому

    ...lichidi ilo mamaee noma sana!!

  • @abelirunde2508
    @abelirunde2508 4 роки тому

    I have been a fun since way back.. I could tell baada ya track na Q chief ulitoa track nyingi ambazo kwangu mimi naweza kusema ulifanya hivyo to stay on track.Chid huyo wa hii track ndio Chid ninayemfahamu mimi toka way back.Salute to the King.. FOR YOUR MAMA,FOR ILALA💯🙌

  • @innocentsengo2450
    @innocentsengo2450 4 роки тому +1

    King nkong chuma. Safi sanaaaa

  • @ramazubery2641
    @ramazubery2641 4 роки тому

    Sasa chidi ndio huyu nimerudi kwako kuanzia sasa👌

  • @katengololosteven8196
    @katengololosteven8196 4 роки тому

    Mi ni wa 201 si nimetisha kuwa wa kwanza kwenye 200,pamoja na sana(vyumaaa)

  • @kiokomutua3209
    @kiokomutua3209 3 роки тому

    Chidi mkali wao, killing it on the m.i.c ...au Sio rasta

  • @vicentelia7986
    @vicentelia7986 4 роки тому +3

    Chidi mnyamaaaaaaaa

  • @juliusmatayo7576
    @juliusmatayo7576 4 роки тому +2

    Hii pia itatambaa saana,, king

  • @jumasudi1565
    @jumasudi1565 4 роки тому

    Uyo ndo mwenye hip hop yake tz noma sana

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 4 роки тому +1

    Huyu mtu ni tishio kwa ma rapa wa East Africa wote wanamwogopa ni shida aisee

  • @juniortza
    @juniortza 8 місяців тому

    Too Much Shine / Tuna Dine Maspagheti 🤠 Brooooh! Punchline Yakimafia Sana Kong

  • @hawaiddi5737
    @hawaiddi5737 Рік тому

    Unaweza mwanangu mungu akkusaidie

  • @keizersoja6463
    @keizersoja6463 2 роки тому

    ALHAMDULILAH Leo maruhani zipo hapa hapao

  • @bonnybonnaya7133
    @bonnybonnaya7133 4 роки тому +1

    Chidi Benz ..my ninja neva disappoints always on point 💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥hit like if you feel me.

  • @mwaringamwaringa5286
    @mwaringamwaringa5286 4 роки тому +1

    Broo hii ngoma nikali sana

  • @bahatimkumbo7298
    @bahatimkumbo7298 4 роки тому

    Bado hajazaliwa chid my bro uko peke yako tu hebu endelea kutupa burudani

  • @denicegabriel6616
    @denicegabriel6616 4 роки тому +3

    Vaa shart bwana Mambo gani Ayo mkuu tumbo limelegea Kama supu ya mbwa😳

  • @cbreezy2397
    @cbreezy2397 4 роки тому

    Sauti ya mamlaka hiyo hip hop awards unatakiwa upewe brodah. Respect ✊

  • @gfellasmusickenya4796
    @gfellasmusickenya4796 4 роки тому +3

    We noma sana number 1 rapper east and central

  • @shawnmichaels1893
    @shawnmichaels1893 4 роки тому +2

    Mhhhh hiii umeuaaa

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 3 роки тому

    Safi sana big up Chid

  • @ilhamabduly4620
    @ilhamabduly4620 4 роки тому

    Chumaaaaaa mziki wa kwako brooo

  • @makejaffar8119
    @makejaffar8119 Рік тому

    Mr. kingkooong💕💕💕much love daang"

  • @yusuphsimkoko8008
    @yusuphsimkoko8008 4 роки тому

    Always smart naenjoy mziki mzuri....pia nafurahi navyoona progress imekaa mkao may almighty God be with you bro ulio watoa na wakakusahau pia endelea kuwaombea mema🙏 keep in painting ✊✊

  • @chachasagara1985
    @chachasagara1985 Рік тому

    Mikono mfululu paaah paaah 🔥🔥

  • @barickprogrammer
    @barickprogrammer 4 роки тому

    Benziiiiiino nice one dingiii!! Rymes zako kueleweka mtu utulize akili!! Bless up Mkuu

  • @abdulnuruhassan8611
    @abdulnuruhassan8611 4 роки тому

    Brother wewe noma Yani makali duuh kama mbele

  • @husseinabubakar8433
    @husseinabubakar8433 4 роки тому

    Naona chidi master.mbavu Nene

  • @manaldoowusu1598
    @manaldoowusu1598 3 роки тому

    👌👌👍👍🔥🔥🔥Burn dem mze baba

  • @jackson4977
    @jackson4977 4 роки тому +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥hua hauzingui

  • @MultiBarberry
    @MultiBarberry 3 роки тому

    Hii ndio talent imebaki tanzania. KENYA STAND UP

  • @hassansalum4132
    @hassansalum4132 4 роки тому +12

    Always King!

  • @OmarAli-zp6yu
    @OmarAli-zp6yu 4 роки тому

    Unasaut ya mzik wako una song kali san

  • @selemanlukinga2974
    @selemanlukinga2974 4 роки тому

    Aiseeeee kipaji chote hiki eti kilitaka kumezwa na Unga tuu na bangi aiseeee acheni unga na bangi zipigwe vita

  • @mnamamirisho808
    @mnamamirisho808 4 роки тому

    Bombo clat we ndo dam yangu Rasta nmeelewa hyo

  • @kelvinkurgat2439
    @kelvinkurgat2439 4 роки тому

    Noma sana bro,im glad you back

  • @ramahchuga7072
    @ramahchuga7072 4 роки тому +4

    Sipat picture chidbenz alivyo panda juu ya iyo gol, Fujo🤣🤣

  • @officialmartin4432
    @officialmartin4432 4 роки тому +1

    brooo mungu ache aitwe mungu

  • @shootershilcon8307
    @shootershilcon8307 4 роки тому

    Baba chidi hujawayi kuniangusha nakubali 💥💥💥💥💥

  • @suleimanomar5956
    @suleimanomar5956 3 роки тому

    Heavy weight....
    Listening from Neema Garden Lodge...Zanzibar,Tanzania.

  • @josephiron2832
    @josephiron2832 4 роки тому

    Brother hii ngoma n moto🔥🔥🔥🔥🔥🔥⚡️🔧

  • @magamboshabani2459
    @magamboshabani2459 4 роки тому +1

    Punguza chipsi yai bana du!!😁😁

  • @ombeniruvubika5392
    @ombeniruvubika5392 4 роки тому

    Naona Jamaa siku hizi afia iko sawa

  • @smaylonner6858
    @smaylonner6858 4 роки тому +1

    King of hip-hop chiiii

  • @benjaminjulius8021
    @benjaminjulius8021 4 роки тому +4

    Diamond who is usher?? Daaah!! Broo anamadongo huyu??

  • @collinaminuni6982
    @collinaminuni6982 3 місяці тому

    Ashura unanisalitiii🔥🔥🔥🔥

  • @konvictibra4986
    @konvictibra4986 4 роки тому

    It banger hit congratulations master of freeeeeeestyl chiiiiid benzino illllllaaaaaaah

  • @Saurere
    @Saurere 4 роки тому

    Pesa kidogo tu, Umeshaota kitambi.

  • @ibrahimlucas9234
    @ibrahimlucas9234 4 роки тому +3

    Noma sanaaa