Fido Vato ft Chidi Benz - Target (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 11 кві 2024
- AUDIO MP3 HAPA bit.ly/FidoVatoChidiBenz-Target
Produced by @defxtro @noizmekahstudios & directed by P Funk Majani @amajaniflick
FidoVato Booking Info:
Email: fidovato@gmail.com
Catch Up With FidoVato On:
Instagram: / fidovato_official
Facebook: / fidovato.official
Twitter: / fidovato_official
#Fidovato #ChidiBenz #Target
AUDIO MP3 HAPA bit.ly/FidoVatoChidiBenz-Target
Fido hip hop
Big respect bro good product.
Mkali wng
hakika✊✊
@@Director_yazidu 🌎🌎🌎🌎✅💯
Alierudia verse ya Chid zaidi ya mara tatu gonga like tuende sawa..
Thanks Fido kwa kumshikilia My G the legend mr Chidi mwenyewe....game iko fitiiiiiiiiiii!
Pamoja sana 🎥🎥🎥🎥🙌🙌🙌🎯💥
Kama umeskiliza hii ngoma zaid ya mara tani.gonga like
CHIDI BENZ ndio amenileta hapa kusikiza hii Ngoma from kenya🇰🇪
Mzukaaaaaa💥💥💥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯
Mmetisha sana nimerudia ikikichupa mara kumi
👏👏👏👏👏👏
Majani Majani Majani....... Flickssssssss
Gyeaaaaaa Majani on the video📹📹📹📹💯
Kama una mkubali chid weka like hapa
💪💪💪💪💪Oi oi
oya fido nisaidie namba ya chid benz
Tumetoka mbali babu napia mie ni mwana gachu hvyo nimekubali zaidi hii feature CHid benzi ni mhun wa ilala akija chuga tunampokea na sharba na chavec mingi mwendo wa socket kuji kwiri kichiiiiizi na machizi
@@hydumah294 oya namba ya chid ya nn boy unashida nae gan
Me ni vato ,🥶🥶💪💪💪
Bonge la ngoma, ifanyie remix alafu muweke na SOLO SANG mkutane vyuma vitatu kwenye ngoma moja
Fido Vato bonge la video hili... heshima upewe..🇰🇪🇰🇪🇰🇪🫡🫡🫡so dope
Respeeeeeeect kwakooooo🎯🎯🎯🎯🎯🎯💪
Chidi anafinika kila mahali,yani jamaa ni mbaya Sana ila wanambania tu
Kabisaaaaaa✅✅✅💯🎯
Dahh kaskazini kwenye hip-hop hatari nimmoja tu vaatoo Yani kuanzia life style mpaka mashairi nakubali 💪
Acha kumjaza anaish kizaman Usela wa kishamba Muda wote kujisifia bange kua na wahuni Koko mtaani msanii anaishi kisasa mtaani kwake buyu Kali ila jamaa anaish maisha ya Usela wa mbagala ndo mana kibongo bongo hatumkubali rabda kwa mbugila wenzie huko kwa panya Rodi
Fido nakujengea sanamu kenya maana kila sehemu naskia tu target❤❤❤
Hahaha ooi 🔥🔥🔥🔥💯 Kanairo
Fido ni bullet.
Chid benz kipaji hakizeeki
Wanyama wawili wamekutana nimangaamizi King kong $ fido vato General wa chuga
Respect 👊 yooh
tupo pamoja The legendary fidovato ...From SA🔥🔥🔥🔥
Mzuka john✔️✔️✔️💥💯
Much love❤ from Kenya🇰🇪.. hii imeenda💥
🔥🔥🔥🔥🎯
Oiiiiiiii OLOLO stand up bhana eeeeh kichupa kimenyooka vato umetisha ninja
👊🏽👊🏽👊🏽😎💥🌍🌍Oyi
Ameua kinoma noma
Kwer kabisa
@@fidovato....from 254...nmekubal uwezo wako kka mkubw💯💪🎯
Kama umeFORWARD wimbo hadi part ya MAMBA. LIKE hii koment coz amemumeza mwenye song. Long Live Benz. Mob Love from 🇰🇪
Usibonge kwenye comment ibuka uso kwa uso 😅
🤣🤣🤣🎯🎯🎯🎯🔥🔥🎮🎮🎮💯
Uyu fido amefunikwa na benz nilikuwa nangoja a rap na kizungu 😂😂😂
Hata kupika chai hujui mshamba wewe
A wap fido kauwa
Chidi Benz is a natural born talent dude has killed this track
💯💯💯💯💯👊🏽👑
Darubini kabisa... target haijakosekana..mmelenga vyema sana emceez
Pamoja sana maninjaaaaaa🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾👊🏽💯
Hongera Bonge la hits Song Ukiwa unapita verse mbili Unawapoteza 💣💣👊🏻
Umesomekaaaaa ninjaaa💯
Let gather here for Chid benz plz.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯🎯
Natambua bongo hip hop kuliko ya kenya,
Moto wa kuotea mbali 🔥🔥,,,
Chiii chiiio chiiiiidiii na fiiii fiiiii fiiidooo🙌
All the way from kenya 🇰🇪
Oooooyi🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🏾
Vato namkubali anaufikisha mziki wake kiugumu na tunauelewa big fire gwan man
MAJASHOBIZZZZZZZ😎😎😎😎🎯💥✔️
FIDO VATO ndio Mnara wa Mwenge na yeye ndio Clock Tower "vyuma vimekutana
Yaaaman 🔥🔥🔥💯💯💯
We feel proud kuona unavyo toa vitu vikali kama the real icon of R-Chugga Hip-Hop 🔥 vitu vyenye hardcore flavor, havichoshi, beats zenye unique vibes. 💯 Hii combo ni banger....!!!!! Mpeni maua yake pia DX🤝
Oooii tunashukuru comments zinatupa mzukaaaaa wa kazi maninjaaaz more work coming 💯💯💯💯💥🎯
Chizbeeeenziiiii ilalaaaaa
Chidii ni legend aliyebaki🔥🔥🔥🔥🔥
Maelekezo lazma ya fuatwe..sasa iwe back to back Kaka fido
chugastan taget,chid abaki chuga kama anataka kusalimka kwenye hiphop.asante kwa kazi nzuri
Mzuka mwanetu 🎯🎯🎯🎯✅
Tunalenga target, hatukosei target 🔥
Ooooog manicaaaaaa 🎯🎯🎯🎯🎯🎯😎💯
Hawa watu ni nomaaaaa, sema Chid ni nomaaa
Aminiaaaa🌍😎😎💪
Kinacho nishangaza ni kwa nini chid hatoi ngoma mpya ? Kama na wewe unajiuljza gonga like
😎😎😎😎🌍🔥🙏🏾
Maokoto ya kuingia studio
Nani alikwambia huyo crekod bule tu mzazi
Hii kweli ni kubum kubam, yaan ngumu nyeusiiiiiiii.........!!!!
Beat Kali,verse kali na hooks kali.
Fido umempa shavu Chid Benzino,nimefurahi sana😎😎😎😎😎
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯💯💯💯🙏🏾
Fido umepita kama ladha za chidy 😊hope mlikua mkishirikiana kwenye uandishi ngoma kali 🎉🎉
😎😎😎Mzuka sana
Kweli ulisema itakuwa moto..u didn't disappoint 👌 miamba mitatu fido chidi on majani flick
Team chidi weka like apa👍
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️💯
Fido ❤ umejipata kaka achana namasoro umeua sana
Mfalme ni mmoja ilalaàaaaaa❤❤❤
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🎯🎯💥
Kibali sana, sauti zote za dhahabu. Big up mwamba wa kaskazi Fido
💥💥💥✔️🔥🎯🎯
Target kudumisha ngumu 💯🔥🔥
Yeeeeereeee✅✅✅✅🌎💯
N kwereee mamen Fido vs Benz mmeuwaa na kuwaning'iza kweny feni🏹
Mzukaaaaa🔥🔥🔥💯🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Fidoooo....hahahahaj umetisha baba...hiphop bila....
😎😎😎😎😎😎💯💯💯🎯
Kwenye ngomba bu nako ananukia bu nako anahitajika kutia ladha...
🎯🎯🎯🎯🎯👊🏽💯💯💯
Leo nimekuwa wa kwanza like zangu jaman
Go get a job please
💯💯💯💯😎
Darasa la pili ulishindwa kua wakwanza naona unapambania wa kwanza humu kazana itakusaidia
Wadudu wako na mdudu chidi yani maangamiziiiiiiiiii
Ooooi Wadudu Nation✅✅💯🎯🎯🎯
Ola fido vato hii ndo mijitu ya kufanya nayo collabo goma nimeludia zaidi ya mara 4
Nauliza Kuna Mtu Wa Burundi Yuko Hapa 👀 Au Hii Ngoma Ni Mpaka Niilete Nyumbani Kwenu 😂🔥🔥🔥
Respect FidBenz 🔥 Ngoma Imenyooka
Turaha man
Misingi ina kaa kwenye target #hiphopforlife
🔥🔥🔥🔥🔥🎯🎯🎯
Well done brother. Keep going. Huu ni wakati wako kuonyesha huwezo.
Ooog Sana 🎯🎯🎯💪
Watu wawili ndani ya zizi mojaa kingkong+vato
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✅🙏🏾
Najiita bahari sishibi chidi ndio msanii huwezi muuwa kwa ngoma
Thats fidoooo🎉🎉🎉🎉
Gyeaaaaa Brap💯😎🎯
Akuna hip hop bila chid duuh! Mchizi anajua kinoma yani
💪💪💪💪💪💪💯💯✔️✔️
Tupo ulipokepo bila kubadili Upepo kwa waliopo
oya vatoroko unyadeeeeeeeeeeeee ngoma kali chupa kalii nahapa ipo fido bhana
Mzukaaaaaa👊🏽👊🏽👊🏽🎯💥
Ngoma kali na tumeikubali mwamba.
Aminia sana ✔️💯
Chid bado yupo vizuri sana, nice video too
Yap hakikaaaa😎💯✔️
Uncle wagu chidi Benz umeruditena kamazamani mama anafura sana❤❤❤❤
nisaidie namba ya chid benz
🌍💪💪💪💥
Mmetisha sana wakali. Vato verse zako ni bullet unaua sana babu👏👏👏👏👏👏💣🔫
Aminia sana respect 🎥🎥🎥💥🎯🙏🏾👊🏽
Mafia ninja sauti ya mtaa benzino#target 🔥🔥🔥🙌
Gyeeeea✔️✔️✔️💯🎥🎯
Fido nakukubali sana mwamba.All the Way from Dar.
Chuga mabegani + ilala mabegani = HATARI NA KILO JOMBAAA🔥🔥🔥
Mazimaaaaa🌍🌍🌍🌍👊🏽✔️
Baddest 🇰🇪
Demaso🔥🔥🔥🔥🔥😎😎😎
Hii ngoma wote mmepita kiukalii sanaa
Aminiaaaaa✔️✔️✔️😎✅🎯
Fido hujawahi kupoa...always big 🔥🔥🔥
Kutokea Nairobi Kenya nimeikubali Bonge la Hit hio.
Gyeaaaaaa💯💯💯💥🎯😎
Much respects wanetu, ndo ngoma tunapenda
Mori Eric🌎🌎🌎🌎🎯💯
Fidooo hii umekasirikaa Rastaaa nomaaa
Hahaa kawaidaaaa 📹😎hasira ya elaaaa🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾💯💥
Big up sana fidoo dude ni firee##
Tupo ulipoooo Bro. Target on spot
Chid 🙌
✅😎🔥🔥🔥
💥💥broo chid wewe ndyo mwamba wa hizi kazi unajuwa sana chanika stendaup
Tishaaaa ✅✅✅✅✅✅✅😎💯
VATOLOCO GANG...LIKE ZANGU...YA RAMBO IWE YA KWANZA
Oooooi✅✅✅💥😎
@@fidovato my brother...noma sana...
Tumetulia watanzania na mziki wetu huu
Nakumbuka zile enzi za mabovu
Suleman 🎯🎯🎯🎯😎🔥
Hii nayo ni moto yani 🔥
Gyeaaaaaa
Fido tuletee hizo nyimbo za design hii tumezmiss sana .ngumu ileile michano mikali 🔥
Hakikaaaa 🎯🎯🎯🎯🎯💥💥💥
Hardcores .kazi Kalii🎉 inajieleza . Sisi kama mashabiki wako tunakuomba .mziki wako uwe kama hapo kwenye hiyo panch line ya mwisho VATO NI VITENDO SIYO MANENO👊🏾👊🏾
Aminiaaaaa vitendo mbele jombreeee😎😎😎🎯💥
Fidoo na chuuuma nawakubal Hip hop IPO kwene Rohooo
Yaaaaaman 4life⌚⌚📹📹👊🏽💯💯🎯
Safi sana Moto umewaka. Tunaomba usezime. Bigap Vato bigap Benz. It's true❤From me. Aminia kazi nzuri sana.
Yap moto juu ya moto🎯🎯✅
bonge langoma🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nomasana
Aminiaaaa😎😎😎😎😎✔️💯
What a flavor A City Stand For The King Fido Vato With Chuma Chid Benz
Goma Kari kamanda vato
Fido kafanya balaa hm ndani ficha kbs chidi wao maa ndegeres
👍👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥💯Manicaaaa
Bonge la beat,na washkaji wameua kwenye kuchana
Pamoja sana 👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽😎🇹🇿
This is What We Need.
HIP HOP STAND UP.....
Chid amenileta huku baada ya ku type chid benz🇰🇪
🔥🔥🔥🔥⌚⌚📹📹
Uwezo ni hali ya juu sana kazi kazi
🌍🌍🌍🌍💪💪🎯Nakubali
Hii imeeenda sana fid vato umeua coz benz tumemzoea kuua kila siku
🌎🌎🌎🌎🎯✔️✔️🔥🔥✅
Huwezi kufinika Chid hata Kama ngoma ni yako Hiyo verse yake imenyoka kama ruler wacheni kumbania Chid huyu jamaa anatisha sana ❤❤❤❤
💥💥💥💥💥💥🔥🔥🔥💯
Jamaa mkali bhn chidi fundi
Roma amekaa apoh
HATA MSHAKAJI KASIMAMA SEMA CHID MZOOEFU NA KASHAPANGUKA SANA BEAT KAMA HIZI ANATAMBAAA SANA
Chid fundi sana.. sema music wa bongo wameamua kumzima tu kwa ujinga wao..
Umelenga target mzee Fido na umeipata target 🎯
Shukran 🔥🔥🔥🔥💯🎯
Kazi ya moto🔥🤙
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
Fido kauwa sana katembea kakanyaga sanaaa
Amninia jombree 💯💯💯💯💯💯💥🎯
Kitu hichooo yaani safi sana
Ooooyi💪💪💪💯🎯
KICHAPO KWA MSTARI 🔥
🎯🎯🎯🎯🎯💯
Noma kweli
Nakubali ngoma kaliiiiiiiii TARGET
Pamojaaaaa⌚⌚💯👊🏽💪🔥🎯🎯🎯
aisee FIDO hii ngoma umetisha
Nakubaliiiiii 💯💯💯🌎
Hili beat got me chills .hard-core ❤
Gyeeeeea @defxtro on the beat 🔥🔥🔥🔥🎯💯
Big up makamanda Kwa kudumisha ngumu
💯Respect🎯
Chiddy never disappointed,,,mwamba anamufunika ata ulete style gani, ila na uyo jamaa amejitaidi ata kama Chiddy amebana sana.