CHID BENZ..... PUNCHLINE / MICHANO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 258

  • @v12muscular38
    @v12muscular38 4 роки тому +17

    Haahhahahhhhhaaaaaaaaaahhhhhhh...... Bongo hakuna FREESTYLER kama Chidi. Najua ninachosema. HAKUNA!!!

  • @clemotheshepherdgood
    @clemotheshepherdgood 3 роки тому +6

    Namkubali chidi kwa sana mola amkate kiu ya madawa ili atransform

  • @ifonlyiknew619
    @ifonlyiknew619 Рік тому +6

    Duuuuh ..!Tar 14/12/2023 Niko hapaa Aseeeee Mwamba ana enjoy mziki kinyamaaa..!🔥🔥

  • @dayzaclassic9321
    @dayzaclassic9321 4 роки тому +5

    Daaah uyu kweli chuma wangine wote wasenge daaah uyu noma sana chid benzii nani anabisha

  • @isdorymtungatemba5610
    @isdorymtungatemba5610 3 роки тому +22

    Chuma huna kipaji maana wewe ndio kipaji! Rap imetengenezwa ndani yako, no matter what unapitia ila energy na punch ni pale pale! Nitabaki kua shabiki yako siku zote!

  • @petermoshi6920
    @petermoshi6920 4 роки тому +7

    Duh Nafuraha Sana Kukuona Chumaaa

  • @ameame1990
    @ameame1990 5 років тому +10

    Daaaah hawezekaani sijui umpe bitigaani asiiweze

  • @gwamakajohn7122
    @gwamakajohn7122 23 дні тому

    HUYU broo bongo bahati mbaya yn kipaji hiki

  • @denicydidasi9109
    @denicydidasi9109 5 років тому +18

    Like kibao kama unamkubali chid

  • @neltone
    @neltone 2 роки тому +3

    Daaa I remember dar club "wlishindana na gwair kumpat mkali Wa freestyle tz,daaa jpo gwair alshinda ila chid nae mzimu.

  • @movahussein1532
    @movahussein1532 5 років тому +14

    Mpe like chid Benz km umekubali vibe lake

  • @jacksonpaul3773
    @jacksonpaul3773 4 роки тому +4

    Lafamiliaaaaa
    Chuma we ni nomaaaa

  • @mwaringamwaringa5286
    @mwaringamwaringa5286 3 роки тому +8

    Siku zote I say kura yangu n kwa chid the really G.O.A.T forever

  • @lawitheofans7580
    @lawitheofans7580 5 років тому +16

    Nnachompendea huyu jamaa hua hapoteagi kwenye midundo... Respect broh

  • @frankmathias8602
    @frankmathias8602 4 роки тому +7

    tamuuu gonga like kama umemkubal kingkong

  • @jobless1567
    @jobless1567 4 роки тому +2

    Unajuwa watu wanashindwa kuelewa hi pop ni kitugani ila huyujaa ni mwana hipop haswaa mana anakilasifa huwezi kuwa mwana hipopo biya ya kuwa Na matukio ila huyujaa ni nuru isio zimika Tanzania una mkuta MTU mwana hipopo ana kovu hana dahhh aseee bigap Chidi chanagamoto unayo piti inatokana Na damu yahipopu kiusanii hujafelll mzeee baba

  • @othumanmaulid7406
    @othumanmaulid7406 5 років тому +10

    Ningekua tajiri kinkong chumi chid benzi ninge toa ofa ya ngoma zisizo hesabika. Ila iposiku

  • @pikipikijamaa4674
    @pikipikijamaa4674 5 років тому +6

    ukonga Mombasa h mzazi unakubalika sana na wana

  • @Surebet705
    @Surebet705 10 місяців тому

    Am right here nikisema wanasikia 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @onchongadismas2128
    @onchongadismas2128 4 роки тому +12

    Chidi Benz is a free style number one.keep it up bro noma Sana.

  • @praygodsamson1827
    @praygodsamson1827 5 років тому +8

    Wahuni tunaita mapafu ya mbwa,chid nisooo

  • @samwelmshana2262
    @samwelmshana2262 8 місяців тому +2

    Hii bado ya moto 2024

  • @joesimba
    @joesimba 3 роки тому +12

    Huyo DJ nyoko

    • @cysowcactus
      @cysowcactus 4 місяці тому

      dj anapangilia beat unyamaaa

  • @tonymlatino4810
    @tonymlatino4810 2 роки тому

    Tujivunie chetu Mungu aliona atuachie chid baada ya cowiz ngwair

  • @abdallahally6473
    @abdallahally6473 5 років тому +12

    Daah wewe jamaa unajuwa na naiman rappers wa bongo wanahofu sana ukirudi kwa Game kwa miguu miwili #King

  • @LukaNyagenda-pb9eo
    @LukaNyagenda-pb9eo Рік тому

    Dah chidy benzi mkali sana nimemkubali kwenye michano hatari

  • @DoubleD-DmD
    @DoubleD-DmD 4 місяці тому

    Wah! I didn't expect this from TZ ...huyu chidi ni moto sana.. much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @abelamos3885
    @abelamos3885 4 роки тому +4

    Makin chuma✌✌👍👏

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 5 місяців тому +3

    Niko hapa 2024

  • @frankmbena8416
    @frankmbena8416 4 роки тому +2

    Wooyoooo...!woyoooooo kudadadadadeeeeki.....! chid BENZINO.. PUMZI IMEJAAAAAA

  • @thomasnyarutu2415
    @thomasnyarutu2415 4 роки тому +3

    Msenge sana huyu jamaa.....salute kizazii sana.....

  • @kevinouma8548
    @kevinouma8548 4 роки тому +3

    Chidi nakuombea Mungu akulinde na akuweke maana you are among the last real G left

  • @paulwanjigi3591
    @paulwanjigi3591 4 роки тому +4

    More fire 🔥, safi sana mkubwa wangu

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 3 роки тому +2

    Hichi kichwa ni hatarii miaka yote💥💥💥

  • @hilarymark7583
    @hilarymark7583 3 роки тому +1

    Nakuombea Mungu urudi kwenye gemu bro...hakuna wa kufanana na wewe hakyamungu

  • @kateteboytz
    @kateteboytz Рік тому +1

    Daaa huyu mwamba anajua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @franklite4700
    @franklite4700 Рік тому

    Wakali wa mitindo huru ni Chid,Ngwea na Godzilla wengine waimba ngonjera.

  • @allanjoseph7759
    @allanjoseph7759 4 роки тому +6

    Salut kwako chid nimeelewa

  • @baltzrluus3287
    @baltzrluus3287 5 років тому +24

    kama hujamkubali huyu mwamba basi una chuki zako binafsi.

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Рік тому

    Kwenye freestyle, wa kwanza Ngwea, wa pili King Zillah, 3 ni Chuma

  • @salumbaa7378
    @salumbaa7378 4 роки тому +2

    Hivo anavochange kutoka beat hadi beat yaaani dah ni #mfalme wa hip hop kwa East Africa

  • @KabangaKhamissi
    @KabangaKhamissi 2 місяці тому

    Huyu jama nikabila gn maninah anajua mpaka anakera

  • @Gabbysky1
    @Gabbysky1 Рік тому

    Huyu jamaa ni genius. Heshima kwa benzino

  • @mbangukajaphari3000
    @mbangukajaphari3000 4 роки тому +1

    Noma sana chid namba 1

  • @igabamc6894
    @igabamc6894 3 роки тому +4

    Chid kaua aiseeeh yan ni moto💥

  • @rajabumuwanji2511
    @rajabumuwanji2511 4 роки тому +1

    Weee jamaa unajua zaidi ya sana

  • @starickshaba7519
    @starickshaba7519 4 роки тому +4

    King still alive mwanzo mwisho punchline.. Unamkubali chid gonga like

  • @GoodluckMboya-q8f
    @GoodluckMboya-q8f 11 місяців тому

    Harari sana ma broo🎉

  • @ismailmohammed8418
    @ismailmohammed8418 4 роки тому +4

    Mwisho freestyle! Anakipaji

  • @innocentkasunzu651
    @innocentkasunzu651 4 роки тому +1

    Hili jitu jamani sio mchezoooooo.

  • @bavonnyaulingo4188
    @bavonnyaulingo4188 Рік тому

    Hili jamaaa n noma linatembea na kila bit

  • @kiokomutua3209
    @kiokomutua3209 4 роки тому +5

    chidi 254 yatambua mwamko mpya in the rap game

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven 5 років тому +3

    Chiddy Mnyama sana

  • @mulamba10
    @mulamba10 5 років тому +5

    chiz benz baba laoo dogo balaa wallahi huyu anapumzi kinoma
    '

  • @maloikevin9183
    @maloikevin9183 5 років тому +14

    Your talent is what your paid for. Your gift is what your made for. Tumbs up chidy benz. God blessing more winning 🙌 love from kenya

  • @FrancoisElesambo
    @FrancoisElesambo 5 місяців тому +1

    Anajuwa sana kbs

  • @zakarialubita7291
    @zakarialubita7291 5 років тому +5

    Nahisi kuna wasani hamsini hapo wakali kumbe king kong ninja alone big up we ni kitu kubwa sana tz.

  • @elishaworkout6116
    @elishaworkout6116 4 роки тому +1

    Mpaka Dem pemben amemwelewa msela ,Dem kabaki kubeng beng tu

  • @tulisanga2023
    @tulisanga2023 3 роки тому +1

    Mpk katukana et anawaza ku... Mh

  • @paulambrose2055
    @paulambrose2055 4 роки тому +5

    Sema Dj kapiga Beat korofi sana Shootout 👊

  • @ArakazaAbel
    @ArakazaAbel 5 місяців тому +1

    Mkali wao chid

  • @braza5397
    @braza5397 2 роки тому

    Kila siku nipo apa, uyu ndo Rashid Abdallah fundiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiihakuna kama uyu

  • @shebynizedaudi336
    @shebynizedaudi336 4 роки тому +1

    Nakubali

  • @jacksonsungwana2344
    @jacksonsungwana2344 11 місяців тому

    Huyu ndie mwana hip hop halisi Tanzania na east Africa kwa ujumla

  • @Abdallah-p6i
    @Abdallah-p6i 4 місяці тому

    Mfalme wa michano east africa

  • @AllenBeatus-g4i
    @AllenBeatus-g4i 4 місяці тому +1

    Missing ya hpp😅

  • @MohammedMohammed-nv7wu
    @MohammedMohammed-nv7wu 11 місяців тому

    YOU ARE THE MASTER BROTHER

  • @mataamiry6720
    @mataamiry6720 5 років тому +2

    Fundi ilo la bongo hip hop hakuna kama uyu bongo sema ndo ivo sembe na kijani kwa sana

  • @tatuta6529
    @tatuta6529 4 роки тому +2

    Love braz

  • @charlesnghwaya1619
    @charlesnghwaya1619 5 років тому +4

    Acheni unafiki huyu ndio Chuma!!!! Ilalaaaaaaaaa!!!!!

  • @centralboytz4240
    @centralboytz4240 5 років тому +9

    Huyu jamaa ni nomaa chuo cha freestyle hakuna cha nan wala nan ila ndo ivo ukfa ndo sifa zako ztakuja

  • @MrLeeboyflex
    @MrLeeboyflex 4 роки тому +3

    DAR ES SALAAM KING FI-REAL, PURE LYRICS "HUSTLE MODE KITAA FULL MZUKA". CHIDI BENZ FULLY LOADED _ KING-KONG DAR ES SALAAM STAND UP. Kama unamkubali mkali Chidi benz gonga LIKE. "More Life More Blessing - Quote by Dj LeeBoy Flex"

  • @yusufpoul228
    @yusufpoul228 5 років тому +14

    Hip hop is still alive nkimuona king kong...chumaaaaa

  • @esboemsafi7570
    @esboemsafi7570 4 роки тому +3

    Benziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii💥💥💥💥💥💥

  • @salumseif744
    @salumseif744 3 роки тому

    Hahahahahahaha jamaaa anajua sanaaa we mkali full stail hamna Kama ww

  • @mrimaniyamtu
    @mrimaniyamtu 7 місяців тому

    Duh hii step y mwisho imeenda

  • @pascarmwatosya6815
    @pascarmwatosya6815 3 роки тому

    Chidi hafanishwi kibingobongo,Chumaa

  • @hail7563
    @hail7563 4 роки тому +2

    salute chuma.. nimekubali boss

  • @moseschelule7103
    @moseschelule7103 5 років тому +4

    Chidi Benz ft johnny viggety collaboration itakuwa moto

  • @Zarmahshimia
    @Zarmahshimia Рік тому

    duh walikula na huma!!

  • @IsmailihamzaAmani
    @IsmailihamzaAmani 9 місяців тому

    Shoo kali mkali

  • @movahussein1532
    @movahussein1532 5 років тому +3

    Huo mzuka wa hatari

  • @magoripiru1757
    @magoripiru1757 2 місяці тому

    Watanzania hatuna nidhamu vya watu

  • @yasinhussein5112
    @yasinhussein5112 2 роки тому

    Wewe ni nouma mzee chdi

  • @grantjobz9891
    @grantjobz9891 4 місяці тому

    Up in This B* IN 2024...TIMAM GENIOUS *MZAZI SIKU ZOTE

  • @TsodamaMleluyah
    @TsodamaMleluyah 5 місяців тому

    Huyu mwamba anatumia mapafu mangapi maana hii pumzi siyo ya mtu wa kawaida aisee.....

  • @sadisticsameer7232
    @sadisticsameer7232 5 років тому +4

    Love From Burundi in #Team_SatB_Satura

  • @MlimaLikwesotunduru-w6s
    @MlimaLikwesotunduru-w6s Рік тому +1

    uyu haimbi anaropoka wenye kujua mziki hawatabisha na ukibisha njo na hoja

  • @elishaferuzi5230
    @elishaferuzi5230 5 років тому +27

    🇺🇸from USA!!! Chuma Benzino ni mkali saanaa !!!
    Nipe number za Chid BENZ nina Gift 🎁 yake jamaani 👌👌💰

  • @kizomalavidavikamabudaz1940

    Chuma steal 1 in dar respect Sana🙏🙏

  • @stevengodfrey9686
    @stevengodfrey9686 5 років тому +9

    Saluti sana kamanda tupo pamojaaa..👏👏🔥🔥🔥🔥

  • @rickyvamba5640
    @rickyvamba5640 5 років тому +11

    Hype mwanzo mwisho🙌🙌🔥🔥

  • @zakarialubita7291
    @zakarialubita7291 5 років тому +2

    Haha uko na wasukuma .wawaza k..ma.ule na umahaha chidi benzi chumaa ninja.

  • @bonifacemlemeta8331
    @bonifacemlemeta8331 4 роки тому +1

    Pamoja kaka

  • @papamukulu1045
    @papamukulu1045 4 роки тому +7

    Mamake king of freee style 🔥🔥

  • @onesmokimaro2864
    @onesmokimaro2864 Рік тому

    Ilalaaaa....king kong 🔊🔊🔊🔊

  • @PowerPeter2012
    @PowerPeter2012 3 роки тому

    Dj Kapiga Beats zote za Motoo

  • @Pathro_Cavosia
    @Pathro_Cavosia 5 років тому +7

    Nasubiria Ngoma ya Chid Benz Ft Kaligraph OG kufungulia Mwaka

  • @salvatoremathias1227
    @salvatoremathias1227 3 роки тому

    Hakuna kama chid aise

  • @jdeoffspliny2594
    @jdeoffspliny2594 4 роки тому +13

    At 6:36 aaaah noma sana🔥🔥🔥🔥hupo real sana wengi utunga ila mwamba ni genius 🔥🔥🔥🔥

    • @allysultan9878
      @allysultan9878 2 роки тому

      Watu kama hawa wanapgwa vita na kujaribu kuzimwa maana huu ndo mzk real

    • @12322879
      @12322879 8 місяців тому

      Vibaya mno 😂