There's anybody we has energy on the stage in all Tanzanians rapper like this guy since I were young till now I believe this guy will goes far no matter how wrong he is but he get talent
Chid is somethin special...ila Watanzania hawajui haxina waliyonayo wanamuacha ateketee.All he needs is support....mxzi anaweza kusurvive kwenye mainstream ya sasa hv.
Kubarrriiiii kataa...huyu Chid.Beenz ni kitu spesho kwa Tanzania...madawa au mbege huyu jamaa ana kitu adimu na spesho dunia nzima kinapatikana Tanzania tu.Kwa hiyo team.na support zenu...especially jiji la Dar es salaam.Chidi ndio stompin groundz..alama za vidole ya miguu
Chidi Benz since way back!!I always leave alone seeing but feeling your potential when you rap in a hit or just freestyle....hipHop kichwa gonga like tuflow
Tanzanians are too advanced to be using C.D playbacks on stage.They shld strictly stick to instrumentals or a live bands to make the show more real.This man is a genius,with real energy
Chid Beeenz mashabiki unao, uwezo unao, watu wanakupenda, show lina vibe kama hilo, Jenga Afya piga kazi...utengeneze Pesa Chana mistari kama wenzako akina ROMA
Yani hapo kama ulikuwa ukisikia chid kwa mangwair alikuwa anakaa ila ndie pekee alikuwa anamudu challenge ya cowbama..akitoka ngwair ni huyu mwamba na hakuna wa kumfunika......chid the bst rapper aliyebaki hajawai kuwa low ni high level
mziki mzul san wa child hujawah kutokea lakin pia stage ya wasafi mbovu bado ingepigwa fiesta nyimb hyo nyimb hyo haipigw na bit lake na drums ingenoga zaid
Na leo 2023 nipo hapa namtazama tena king Kong chuma💪💪 kama unamkubali chuma gonga like twende sawa
Dah mamaaaeeeeeee ukiskia black mamba ndo huyu mjuba ,afya itapotea Ila vibe ile ile ,,,👊🏿 nagonga mhuri from chuga
Hyu kweli alikuwa mamba lazima awameze
Mziki huu unapatikana kwa chid Benz pekee wala sio pengine kama unakubali gonga like afu aendelee kupewa shavu
Chuma lilichobakia ndio hicho kwa sasa
Nukubali
Kwaupande wangu mimi nauona ata kwa mr blue
Nimeongeleya kwaengo ya performance
Chuma ... Uwezo zaidi ya radi
Nyota imefifia tu
km unaamini Chidi akiacha wenge anaweza rudi kwny game , gonga like
Huyu Jamaa mziki bado u nampenda ni yy 2 kuamua.... The legendary still rock.. Much love from 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦
Chid is very brave enough akiona mnaboeka anaeka msumari wake darsalam stand up halafu inabidi uruke tu juu ya mzuka
Chid benz has to be back fully kwenye hii game ya bongo flave 🦅. Kuna mziki anao dunia nzima unapatikn kwake tu aisee 🥃🥃🥃🥃🚬🚬🚬🍾🍾🍾🙌🏾🇹🇿
EMMANUEL JUMA point jamaaa
Vjana wa siku hz wananymbo zao za ajabu sio hii freestyle
Gharama za maumivu hawawezi kuufidia 😭😭😭😭😭😭 only message from CHID Benzi🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kama unamkubali chind aendelea ka game like hapa hapa tuendelee kula fleva za mwamba kingong😆
Hope this guy Wasanii wa Tanzania mkishkana mkirudisha huyu jamaaa Ata Hiphop tanzania itafahamika... much love from+254
Inaitwaa free style iyo😀😀😀😀iko kwa cheed benz pekee😂😂😂😂😂😂Anakulaa maunga ilaa mashairii kichwaaa hayajawahii mpotea😀😀😀😀😀Wapii nduruuu weweee🤣🤣
There's anybody we has energy on the stage in all Tanzanians rapper like this guy since I were young till now I believe this guy will goes far no matter how wrong he is but he get talent
And there he'sn't that fit yet...
Hahahaaa. We has .... I were young .... Hiki kizungu cha toleo jipyaa
@@ademark9970 😂😂😂😂
Wako wengi Tanzania hiphop singers but Chid akiiimba mahali unaskia kuna kitu flaniii
Huyu jamaa hatari sana much respect
A collaboration with Khaligraph Jones would be legendary
Yes yes yes
Khaligraph mtoto apa
Inatakiwa sakorde
@@collinreginald5616 you are entitled to your opinion Bro but just to remind you that the OG is very versatile in both English and Swahili flows
Yeeaah niga
Walai,I second u
Dar standup ndo ngoma yangu bora miaka yote
Chid is somethin special...ila Watanzania hawajui haxina waliyonayo wanamuacha ateketee.All he needs is support....mxzi anaweza kusurvive kwenye mainstream ya sasa hv.
Ray45 King 😁😂🤣😅
Ana mambo mengi kapiga zake performance alafu hyo kaondoka zake ana mambo mob LA FAMALIAAAAA
Kubarrriiiii kataa...huyu Chid.Beenz ni kitu spesho kwa Tanzania...madawa au mbege huyu jamaa ana kitu adimu na spesho dunia nzima kinapatikana Tanzania tu.Kwa hiyo team.na support zenu...especially jiji la Dar es salaam.Chidi ndio stompin groundz..alama za vidole ya miguu
Just a collabo and hot video with diamond will put him back to the mainstream!!
Never Unga sio mzuri atabaki hivyo hivyo
And more gym to get that body back... just imagine maen...
From kenya tunamtambua kingkong rapper mkali bongo
Dar stand up,,, the best hit I ever listen to,, it wakes all my senses, moto saana
WASAFI kuwaleta ma legend walifanya la maana sana
My East african Tupac..no one like you my black ninja!love from 254🇰🇪
The definition of real talent!!!🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kusema LA ukweli chid is the best namshauli diomond huyu mshkaji amtumie ktk mziki hakika atapata faida nae
Chid is number one.
Big up sana wasafi kwakazi mnayo fanya.
The Tanzanian blessing, this guy is really blessed, what God gave you, man cannot take it from you
Mchukie Benz, but he is a mic king
Mm huwaga namkubali sana chidi Benz ...isalute this guy napenda songs zako
Dah! M2 mzm amekunisha balaaaah! 👏👏👏👏
Very nice performance from Chidi Benz,My All time favourite Bongo Hip hop Artist....Bravo! Chuma The Real King Kong.
Chidi Benz since way back!!I always leave alone seeing but feeling your potential when you rap in a hit or just freestyle....hipHop kichwa gonga like tuflow
The only realest rapper
You are realest as well. just because of your recognition of this that he still the Top.
Jamaaa anapumzi mbayaaaah
Wa 2024 piga like
Pamoja na wenge lako ila bado mimi ni SHABIKI wako
Kweli pamoja na wenge lake bado siachi kusikiliza muziki wake...!!
A MAN OF SHOW
I’m so happy to see you this May GOD Be with you
Jamaaa anajua mzik noma
Real king hip pop tz
Huyu mwamba Ana pumzi Sana
Na mziki anaweza mamaaaaaeee
Sio kwa pumzi hiii
Nakubali chid benz umetishaaaaaaa!!! ......sanaaaaaaaa
King kong chidd benzino umeua mzee hela yang imeenda kihalal kuja kukuchek
R I p ruge mtahaba uliondoka na fiesta yako
aiseee uyu jamaaaa kuna watu wamemloga kipaji hatari sana
Haha mondi hi ni kusema awe kwenye bendi katingisha jukwa lako mbona msimpe nafasi amewatendea umati wako haki haha dar bila chuma kweli noma hehe
Legend of rapper mic and hip-hop Rest peace magwair baada ya gwair ni chid now time for chid Benz king Kong chuma
September 2024 namcheki MASTER CHUMA
Jamaa hajawahi kusahau mistari yake na ngada pia anajua kumiliki maiki na pia umati...
I grew up ,listening to this guy all the way from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ,big up wasafi
Acha undezi dogo. Kwa nini umeniibia kutumia Arsenal? 🤣🤣🤣🤣🤣
@@danielanderson6185 lol ,a wapi weye njo ume chukuwa
Karibu
Alaaniwe aliyemfundisha ngada huyu sauti uzito wa nondo
Kbsaa mpak nalia kwa kwelii 😥😥😥😥😥
Kaingia kibabe sana kama umeelewa alivyoingia bw. Rashid twende sawa
hio ngoma yakwanza yaitwaje
No one Tz hip hop star for ever
Tanzanians are too advanced to be using C.D playbacks on stage.They shld strictly stick to instrumentals or a live bands to make the show more real.This man is a genius,with real energy
Check shows of fidq ,you shall know Tz is has realest MCs
This guy is tough no one like him In Afrika he has no competitor so far
sijawahi ona msaani anae jua mziki kama chidi benz tz hii kizuri hakidumu
Chid Beeenz mashabiki unao, uwezo unao, watu wanakupenda, show lina vibe kama hilo, Jenga Afya piga kazi...utengeneze Pesa Chana mistari kama wenzako akina ROMA
One of the best performers alive.
The best rapper of all times in TZ
Hakuna kama chidy Benz balaa sana
stage management 100%
pumzi100%
vibe100%
Daah noma sana,
Salute kamanda
I can see how this guy enjoying his music.... Ni mtu mpenda burudani
Hiki kichwa nakijubali kinoma noma diamond mnyanyue huyo braza chid ni moto na anaweza habahatish
Km ngada ndo inakup power ivo we endelea tu kwan kitu gana
King Kong chuma the legend oxygen kibao,timamu sana
Chid Benzino anaweza kutawala jukwaa ni msanii pekee anakubalika ana.
Daaah hakuna mtu yeyote duniani anaweza kukupa mzik kama huu...
.. Kingkong
Chid benzi fire
Show km hii chid Benz alitakiwa alipwe hata MiL 50 lkn unakuta kapewa M1 ikizidi sana M2 Dah..
Chid chuma noma xana saluti kwako
Kipaji cha kweli hikii
Huyu jamaa wamemloga
Chdbenz anajua uyu jamaa acha tuu
From Kenya 🇰🇪 chidi benz one love
Huyo jama noma ila mzuka tu
🔥🔥🔥chid Benz nakuelewa saaan Mimi 💪💪
Ana pumzi kweli,
Nomaa sana ladha ya hip hop huyu jamaa dhahabu kubwa tuliyobarikiwaa tz bas tuu atujuii kitu kizurii
Camoon, we lost this talent in the world. He was the best ever
Nakukubali San chuma we nizaidi ya ladi San chidiiiii
Yooo chid Benz you the best I don't understand stande you be fore but now I fill your chuma
Legend
Yani hapo kama ulikuwa ukisikia chid kwa mangwair alikuwa anakaa ila ndie pekee alikuwa anamudu challenge ya cowbama..akitoka ngwair ni huyu mwamba na hakuna wa kumfunika......chid the bst rapper aliyebaki hajawai kuwa low ni high level
Good live performance 98%
Yani adi nimelia 😭😭
One year later who is still watching This??
Chid benz #one day yes (nix feat chid benz.. )
Jamaa akiacha Wenge anarudi soon
Chuma fire sana
Good and nice show
He still the best in tanzania
The OG shall be respected....
Dullah alishasema baada ya mangwea huyu nfo mc aliyebak Tz
The burner mzaa chid benzzzz
mziki mzul san wa child hujawah kutokea lakin pia stage ya wasafi mbovu bado ingepigwa fiesta nyimb hyo nyimb hyo haipigw na bit lake na drums ingenoga zaid
Aise!!!
Chid Benz noma
Kingkong Benzino moto wakuotea mbali Daresalam bila chidi No Burudani
Musione simba amenyeshewa mkafikiri nipaka huyu jamaa hatariii one on one hawatoshiii