BIASHARA 5 ZITAKAZO KUINGIZIA MILIONI 2 KWA MWEZI BILA KUWA NA MTAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 635

  • @sachyempire5562
    @sachyempire5562 4 роки тому +632

    Kwasababu hii video ina dakika 32 inabidi nisikilize huku nasoma some positive comment's😁 nani anafanya kama mm☝☝☝ give me a thumb👍👍

    • @rosecruzy6666
      @rosecruzy6666 4 роки тому +2

      Kabisa

    • @kakaprinta427
      @kakaprinta427 4 роки тому +3

      *Nauza bites, kama unahitaji kuwa wakala utafute wateja ili uwe unapata pesa kutoka kwenye kila bidhaa unayouza nipigie nikupe mchongo.. Malipo Ni LAKI MOJA mpka ELFU 70 kwa WIKI. +255 718 585 511 DAR ES SALAAM TU*

    • @kakaprinta427
      @kakaprinta427 4 роки тому +3

      *Nauza bites, kama unahitaji kuwa wakala utafute wateja ili uwe unapata pesa kutoka kwenye kila bidhaa unayouza nipigie nikupe mchongo.. Malipo Ni LAKI MOJA mpka ELFU 70 kwa WIKI. +255 718 585 511 DAR ES SALAAM TU*

    • @princegabytv7251
      @princegabytv7251 4 роки тому +1

      Kweliii

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 4 роки тому +3

      Tupo sanaa mzee jembe 🤣🤣🤣🤔

  • @louisngaiza
    @louisngaiza 4 роки тому +86

    Who else noticed high quality video content from this guy this shows how serious he is....without a doubt I'm impressed...the contents are great too... hopefully Wana wamepata somo.

  • @gavingosbert
    @gavingosbert 4 роки тому +217

    biashara 1 5:10
    biashara 2 12:51
    biashara 3 18:39
    biashara 4 22:00
    biashara 5 27:07
    biashara bonus 30:29
    you are welcome 😏

    • @princegabytv7251
      @princegabytv7251 4 роки тому +2

      😍 summary

    • @msmaryamlyimo4503
      @msmaryamlyimo4503 4 роки тому +1

      Ayeeeeh Gavin kama Gavin

    • @gillsaint
      @gillsaint 4 роки тому

      Thank Tmama

    • @nazilitembwe848
      @nazilitembwe848 4 роки тому +8

      Nilikuwa naazima madaftari ya watu kama nyie na ilinisaidia sana hadi university. Sasa hadi humu utube mnatusaidia sana. Thanx Bro.

    • @mercydeo4040
      @mercydeo4040 4 роки тому +2

      Asante bro

  • @bitirismtey4495
    @bitirismtey4495 4 роки тому +105

    You know wat bro..unajitoa sana kwa ajili ya vijana thou kuna wengine wanakucrash...May the Almighty bless you n keep the good motivation for us

  • @issaomari5297
    @issaomari5297 4 роки тому +4

    Kiukwel hzi tunaitaga ni inspiration tu maana nimwkusikiliza kwa video nyng sana inamaana ukiwa chuo umefanya biashara zaid ya sita ila unapotuletea kwa meza inaonekana kama ndo hyo pekee inayokuletea pesa hzo ila so mbaya hzo ni hamasa kwa vijana gud but every isue not easy god bless

  • @samsonsimon7882
    @samsonsimon7882 4 роки тому +7

    Am from South Africa but I got alot to learn from this guy!!!! nimependa Sana mafunzo yake😂😂😂

  • @samwelikapepe7709
    @samwelikapepe7709 4 роки тому +24

    Aiseee kakaa Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu aisee!!!🤝

  • @gavingosbert
    @gavingosbert 4 роки тому +31

    points zinaanza at 5:10 , you are welcome!

  • @gavingosbert
    @gavingosbert 4 роки тому +80

    Jeff nimependa sana initiative yako na intention yako ya kusaidia watu. Lakini intro ya video yako imechukua muda mrefu sana ukichanganya na wewe ulivyoongea, imemaliza dakika 5 na sekunde 10 kabdla hujaanza kutoa summary ya hizo biashara. video yako yote ni 32:41 hii n defu sana. nashauri zako ziwe fupi and on to the point .

    • @gillsaint
      @gillsaint 4 роки тому +2

      Valid Point

    • @__thereal_unclechibo_7953
      @__thereal_unclechibo_7953 4 роки тому +1

      Wabongo wavivu sana

    • @josephsmith412
      @josephsmith412 4 роки тому

      acha uvivu

    • @hopehellen1575
      @hopehellen1575 4 роки тому

      Yeah seriously..
      Make it short and straightforward

    • @gavingosbert
      @gavingosbert 4 роки тому +3

      @@josephsmith412 huwezi kwenda South Africa kupitia Nigeria eti sababu hutaki kuwa mvivu. Kama unaenda Afrika kusini nenda moja kwa moja Afrika kusini. Jeff anafanya kazi nzuri sana lakini kuna vitu anatakiwa avipunguze ili kupunguza urefu wa video usiokuwa wa lazima. Ni maoni yangu tu lakini.

  • @Coachsamwel
    @Coachsamwel 3 роки тому +2

    Hakuna nadharia hata 1 hapa.... Very practical.. Commonsensical.

  • @revocutusmayengo714
    @revocutusmayengo714 2 роки тому +1

    Ur the best Kaka ni vyema utukomboe vijana maana ajila ngumu tumejaa mtaani na hali ni ngumu😳😳

  • @princessashura4742
    @princessashura4742 Рік тому +5

    Nifundishe bishala Nayo wezakufanya hata kama sipo Tanzania mimi nimfa nya kazi wambali na tanzania

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 4 місяці тому

      Shagala😂😂😂

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 4 роки тому +29

    😅sio rahisi kiiivo but yeah u can make some bucks izo pia zinategemea sana network yako ..na umesahau learning time so izo mill unazosema mtu anaweza pata kuanzia 9 months kupanda baada ya experience

  • @SolderAmani
    @SolderAmani 3 місяці тому +1

    Daa raha sana sasa ukiwa unasoma chuo unawezaje kufanya kazi kama una mtaji wa laki moja

  • @sitymohd3818
    @sitymohd3818 4 роки тому +4

    SirJeff kwa somo lako la leo u’ve just got a new subscriber nimependa sana somo lako

  • @davielubuyih-yh7sx
    @davielubuyih-yh7sx 11 місяців тому +1

    Ahsante bro kwa maarifa mazuri barikiwa

  • @directormaxtz8928
    @directormaxtz8928 4 роки тому +21

    Today i needed to hear this..skills za social media marketing nnazo, nafikiri its my time to connect the dots sasa na kuanza rasmi.. Anayehitaji kujifunza japo kdg abt social media marketing..reply hapa, ITS GONNA BE FREE LESSON na tutatengeneza connection ya kuanza kufanya these businesses

  • @piusthomas5713
    @piusthomas5713 4 роки тому +5

    mpaka imebidi ni download sasa
    shukran bro

  • @eddahhawa7471
    @eddahhawa7471 4 роки тому +5

    Ufafanuzi mzuri.....kutumia biashara ya mtandao Ni asilimia Mia inawezekena lakini kwa kufanya kazi kwa bidii na uaminifu mkubwa

  • @selestinemnegelwa2572
    @selestinemnegelwa2572 4 роки тому +2

    Sawa,kaka umesomeka ila kwa ulimwengu huu yahitaji uwe mwaminifu sana japo wapo na mtapeli na wenyewe wanapiga mbaya.somo nimelielewa.

  • @harunandyanabo3069
    @harunandyanabo3069 4 роки тому +3

    Respect; hii content umeitoa iko rich sana. Vijana washindwe wenyewe

  • @christianyouthinbusiness
    @christianyouthinbusiness 4 роки тому +3

    Super bro👊👊👊👊👊.... we pay you on what you know... I like it thanks bro

  • @__saidhassan
    @__saidhassan 2 роки тому

    Dahh yani bro unafahamika vzr sanah, yanai biashara zote hizo ilkuw nazitambua but skujuw nguvuzake biashara hizo. Santeh sanah bro

  • @hassanmsuya6692
    @hassanmsuya6692 4 роки тому +2

    Hii ni video kali sana! Nimejifunza vingi

  • @ramlamussa9144
    @ramlamussa9144 4 місяці тому +1

    Ahsante sana kaka, unatupatia madini ya ukweli

  • @gospelthusiast
    @gospelthusiast 4 роки тому +4

    Jeffu ee.... Nna wateja Vibua ka 100! Nikuletee wangapi kwenye yard ya MT4? Affiliate marketing😀But yea asante sana Sir Jeff for such knowledge! This channel should be credited! We are lucky because some other place we have to pay for this!!! God bless you...

  • @emmanuelnyamageni3436
    @emmanuelnyamageni3436 4 роки тому

    Hii nzuri sana Kinana. Endelea kuwaelimisha Vijana wafunguke

  • @dmsknb1541
    @dmsknb1541 4 роки тому +16

    Mawazo mazuri bro Ila unavosema unaweza kuanza bila mtaji ndio hapawezekani coz mtaji sio tu Ile hela ya kununua bidhaa vile vile marketing na mizunguko mwisho wa siku unachoongelea ni kama mtu ajipe course ya biashara mpaka azoee na kuna mambo mengi hapo hayajagusiwa ambayo ni gharama sana kama makosa ya kwanza katika kujifunza hiyo biashara kiufupi 2m unaweza kupata Ila sio faida almost yote itarudi mtaani mpaka utapozoea biashara husika

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 4 роки тому

    dah,hongera sana kaka umefungua macho kwavijana wengi kwenye hii video.
    tuko pamoja mkuu.

  • @jamillajackson2165
    @jamillajackson2165 3 роки тому +1

    Dah nzuri sana

  • @jimmyally5974
    @jimmyally5974 2 роки тому

    So respect to sir Jeff Dennis ok nimekuelewa

  • @orakyadanda2104
    @orakyadanda2104 4 роки тому +10

    Uko vizuri bro, kwanza video yako Ina quality nzuriii, inaonesha how serious you are, big up... Nimejifunza vingi kwakwel, God bless you

  • @mwajumafadhili9268
    @mwajumafadhili9268 4 роки тому

    Kiukweli mkaka umenifungua macho Asante Sana na mung akubariki

  • @barakafanuel4612
    @barakafanuel4612 4 роки тому +8

    Jeff big up sana brother,nilikutafuta sana kwa kipindi kirefu sana kuna kipindi uliongea ishu ya forex jamii foram nikaipenda sana lkn jinalako nikawa najua kwa jina la ontario sasa kila nikikusearch sikupati nilikatatamaa lkn leo hii nimekuona baada ya kusikiliza video yako ya forex ilipokutoa na ulipoanzia kiukwel sikujua kama ni ww but uliposema kuwa ulikuwa unatumia jina la ontario jamii forum aseee nimefurah saaaaaaaaaaaana hatimaye leo nimekupata hata hii youtube acc nimecreate leo sababu yako.IAM WATCHING YOU BROTHER.

  • @Du_boiz_Mnyama
    @Du_boiz_Mnyama 10 місяців тому

    Kariakoo inawabeba Vijana weng san😂😂. Big up kariakoo

  • @kasingemukolera9707
    @kasingemukolera9707 4 роки тому +13

    Hii video ni kali sana,ina madini ambayo hautakaa uipate bure kokote kule duniani.

  • @harounramadhani1662
    @harounramadhani1662 4 роки тому +6

    Imekaa poa sana brother Jeff ubarikiwe sana

  • @mrmajaliwatv1492
    @mrmajaliwatv1492 2 роки тому

    👍👍👍👍
    Kwa habar za michezo Mr majaliwa tv

  • @StewartManisi
    @StewartManisi 11 місяців тому +1

    Thank you for your help

  • @hassanmassaga2476
    @hassanmassaga2476 4 роки тому +17

    Nakubali sana jeff..najua hii channel yko ni sehem ya biashara yako au sio???..usiogope bhana mbn wapo wengi wanafanya 😅😅

  • @shaydebby8084
    @shaydebby8084 4 роки тому

    Kutangaza biashara kwa mtandao pia unalipia alafu mpaka upate jina ila biashara ya pili ni nzuri hata mm naifanya God bleess u

  • @bernarddeus3441
    @bernarddeus3441 4 роки тому +3

    Shukrani sana kaka

  • @asherndullahasherndullah1946
    @asherndullahasherndullah1946 4 роки тому

    Nice... Yan uyu kaka amenifanya nijiamin kuanza biashara

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 роки тому +8

    This is fresh, good and a really very interesting Jeffism. Thank you brother for your time, knowledge and good motivation to Tanzanians 👍

  • @RichardSwai
    @RichardSwai 4 роки тому +1

    video nzuri bro endelea kutufundisha vijana wenzako

  • @TANZANIAFILMMAKINGTV
    @TANZANIAFILMMAKINGTV 4 роки тому +2

    Bro ! Just subscribed bse of u got good content keep them coming

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 2 роки тому

    Udalali ni kazi nzuri sana

  • @AngelAfrica-w5x
    @AngelAfrica-w5x 4 роки тому +1

    Unafaa kufanya matangazo kaka yes .... asante kwa somo

  • @Taslo
    @Taslo 4 роки тому +6

    Bro umetisha sana. Lakini kuna watu wanakosoa ,wakidhani kila kitu inabidi waambiwe. Cha kuambiwa changanya na zako. Mimi pia ni shahidi nawaona watu kibao wanapiga hizi mishe japo mwanzonu huwa ni tabu lakin ukikomaa na ukawa na ushawishi unatoboa.

  • @AmiryAdam-f8i
    @AmiryAdam-f8i 2 місяці тому

    Unamawazo mazur sana brz nimekuelewa

  • @athumanikisoka2759
    @athumanikisoka2759 4 роки тому +4

    Make it short bro even though it very helpful....... Big up sana kwako

  • @sidaitech_
    @sidaitech_ 4 роки тому +39

    NIce videos Bro, ila aisee unaongeaa sanaa man kiukweli, yani kiufupi ni kwamba UDALALI ndo biashara hapo hizo nyingine ni aina za udalali. Nashangaa hauja cover biashara nyingine muhimu sana. ANGALIZO, siku hizi kuna wimbi kubwa la "FAKE GURU's" hawa ni watu wanao kuuzia ndoto, mwisho wasiku utajikuta unawasikiliza sana, una nunua vitabu au kozi zao au unalipia training zao kwa kuuziwa ndoto ambazo muhusika mwenyewe hazifanyii kupata hela 😅. Cha msingi "Akili za kuambiwa changanya na zako". Nakubali kazi zako Mr

  • @misheckranda4828
    @misheckranda4828 2 роки тому +1

    Nakufatilia sana broo mimi naitwa mishack landa nipo ilinga nakufatilia sana tena naomba namba yako ninashida nawe sana naomba kaka naomba mimi jaman

  • @alecbayrine7161
    @alecbayrine7161 4 роки тому +7

    Bro don’t stop doing what yo doing, its rough mwanzoni but trust me nakuona mbali sana baada ya miaka miwili. You smart and so creative

  • @BoniphaceManasse
    @BoniphaceManasse 19 днів тому +1

    Punguza maneno mengiii kijanaaa.

  • @jeremiahmasunzu3437
    @jeremiahmasunzu3437 4 роки тому +5

    Nilichokigundua leo UA-cam....ni zaidi ya shule ukichagua ujinga utapata F ukichagua Maarifa utapata A.🙏

  • @paulomagingo21
    @paulomagingo21 3 роки тому

    nimekuelewa sana GOOOOOOOD

  • @princegabytv7251
    @princegabytv7251 4 роки тому +2

    Idea nzuri Sana Kaka nashukuru kwa ushauri wako brother....! Nitafanyia kazi. .........
    HAPA KAZI TU

  • @afyakwanza3810
    @afyakwanza3810 4 роки тому

    U learn us very very fantastc

  • @aloyceenhardnombo7604
    @aloyceenhardnombo7604 4 роки тому +8

    Bonge la madini bro sijutii kukufahamu Katika ujana wangu

  • @amanmgisha1000
    @amanmgisha1000 4 роки тому +13

    Daaah asee nlijua ntakua wakwanza kucoment duuuuh so poa ila utakua poa zaidi

  • @johnsonmgaya5620
    @johnsonmgaya5620 4 роки тому +1

    Nimeipenda Sana hii kitu kiukwel bro

  • @omarysquare2218
    @omarysquare2218 4 роки тому

    I will follow to success

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 4 роки тому +5

    Masomo mazuri..
    Usiongee sana nenda moja kwa moja kwenye point

  • @dishakotecha8933
    @dishakotecha8933 3 роки тому

    Sir u r the best, u made me realise that I can be also rich

  • @mudathirmeky16
    @mudathirmeky16 3 роки тому

    Asante saana ila suali lipo palepale lazima t uwe na mtaji km huna labda uwe na MTU ambae anakufaham
    Hemrudia tena apo katka kufanya kazai ya kuuza cm kumbe ulikuw unanunua ndipo unawauzia watu wa chuo sasa sual lipo hapa !
    Lazima t mtu awe na mtaji ndo atafanya mpango uwo

  • @andersonsamuel9214
    @andersonsamuel9214 4 роки тому +3

    Mbona maneno mengi. Nenda kwenye point. Unachosha na maneno mengi

  • @Aishamtam
    @Aishamtam 10 місяців тому +3

    Asante

  • @kulwakituliko8671
    @kulwakituliko8671 4 роки тому +5

    Ina sound gud😀👍

  • @emotional_feelingsfeelings5780
    @emotional_feelingsfeelings5780 3 роки тому

    Kaka Hiiiii Imekaaaaa Powa Sana Bro

  • @jabirwella893
    @jabirwella893 4 роки тому +4

    The video is educative

  • @michaelmaige6879
    @michaelmaige6879 4 роки тому

    Hii video mashine sana... Hongera bro

  • @salumchaola6944
    @salumchaola6944 4 роки тому +2

    Bro sir Jeff wewe ni mgodi unaotembea🙏

  • @magemamodamba8366
    @magemamodamba8366 4 роки тому

    Bro bigup sana kweli unajua sana mi ni mwanachuo umenigusa sana

  • @alexkilyenyi5190
    @alexkilyenyi5190 4 роки тому

    Safi sana kaka ni madini ya kutosha katika ubongo wangu

  • @iamlisley5092
    @iamlisley5092 4 роки тому +20

    Passing thru comment na cjaona summary😂😂32mins are so long ase

  • @thetopnotchtrader3517
    @thetopnotchtrader3517 4 роки тому +3

    Umetisha brother

  • @dianamwangi8726
    @dianamwangi8726 4 роки тому

    Yoh videos are so cool.....asante sana watching u from Kenya......

  • @humphreypaul9735
    @humphreypaul9735 4 роки тому +4

    Shakha zuru be blessed

  • @abeldevet8469
    @abeldevet8469 4 роки тому +3

    Imekaa poa sana iko poa sana#jeffondemand #kingsharkshakazuluuuuuu

  • @anithakaijage9078
    @anithakaijage9078 4 роки тому +1

    This guy is very smart

  • @IsaacJavan
    @IsaacJavan 4 роки тому

    Brilliant

  • @wilfredotieno4396
    @wilfredotieno4396 4 роки тому +2

    I love what you are doing bro

  • @boazsebastian358
    @boazsebastian358 4 роки тому

    kitu hii nimeipenda sana ,kunakitu nimejifunza

  • @allanmzomozi3424
    @allanmzomozi3424 4 роки тому +5

    Imekaa Powa sana✔✔

  • @nassirali4472
    @nassirali4472 4 роки тому +11

    Nani hajaelew 😂😂😂😂. Kinachofuata tuanzeni kuingia chimbo kutfuta connection

  • @harounramadhani1662
    @harounramadhani1662 4 роки тому +8

    Wakwanza nimekua mimi leo gonga like apa

  • @salumyusufu2837
    @salumyusufu2837 4 роки тому +12

    Bloo nimekuelewa vizur ila apo biashara ni 1 tu UDALALI na hz nyingine yote nimatawi yake 😀😀😀

  • @abdulsaid4579
    @abdulsaid4579 4 роки тому

    Nakusikia mkuuu wangu😅😅😅😊😊😊😊

  • @charitymsola9676
    @charitymsola9676 4 роки тому

    Thanks Jeff 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😘😘😘😘👍👍👍👍

  • @Kidunu1030
    @Kidunu1030 Рік тому

    Hahahajajja bro unanifurahisha unahelekeza adi watu tunataka kupaha umenipa bonge la mzuka

  • @just_zainab5139
    @just_zainab5139 4 роки тому +2

    Fx mzee vp

  • @bajunihilali95
    @bajunihilali95 4 роки тому +1

    Nimekuelewa sana mzazi

  • @boniphacesylivester8879
    @boniphacesylivester8879 4 роки тому +54

    Boss unafocus sana DSM, Tuliopo mikoani try to make it general

    • @mufasa2079
      @mufasa2079 4 роки тому

      acha mambo yako, biashara zoote zafanyika mtandaoni

  • @greenhealtv9016
    @greenhealtv9016 4 роки тому +4

    Good, hata kama hutapata hizo idadi ya fedha ila lazma utapata fedha ,God bless

  • @aisaviron6079
    @aisaviron6079 4 роки тому

    Wow thank you

  • @davidmagundu2285
    @davidmagundu2285 4 роки тому +15

    > The intro was too long... Neno biashara 5 lumerudiwa mpaka imekua boring 😑
    > Zinaonekana ni biashara tano lakin kimsingi mi naona biashara hapo ni moja tu ya u dalali, ni u dalali wa nini, hapo ndo inakuja magari, sijui viwanja, nguo, simu e.t.c
    > Sijui ni mm tu ndo nmeona hili, bro unazungumza as if unakimbizwa cjui ndo kwenda na muda, relax mzee baba tema madini wanao tupo kukusikiliza.
    > Lastly congrats kwa channel, video quality & graphics zmetulia 👏

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 4 роки тому +16

    Mfuatilie Joel nanauka.
    Japo wewe huwezi fanya kama yeye. Lakini utajifunza kitu

  • @kwaya_zone
    @kwaya_zone 4 роки тому +23

    Mm nmesoma comments tu za watu mpk nkajua alichoongelea😂😂any way nmeipenda comment ya jamaa moja aliyesema tupe ujuzi wa FX siyo mambo mengine.

  • @bravanwandiba
    @bravanwandiba Рік тому

    Naomba na mimi uniunganishe nao hao wauza bidhaa🎉