Jinsi Ya Kubadilisha Maisha Yako Ndani Ya Mwaka Mmoja - Joel Arthur Nanauka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 581

  • @Simbasc-mw4zk
    @Simbasc-mw4zk 4 місяці тому +66

    Tunaoangalia hii video mwaka 2024 gonga like hapaaaaaa

    • @Madam255
      @Madam255 4 місяці тому +1

      Niko hapa

  • @kennytwinzi821
    @kennytwinzi821 5 років тому +183

    Ahsante saana kaka Nanauka...
    Anaeangalia video hii 2019 ,,gonga like tuendezetu!

  • @saidnomano3667
    @saidnomano3667 5 років тому +89

    Wew ndiye utakaye badili maisha yangu kama ntakufatilia, keep it up broo. You are my role model from now. Una IQ kubwa sanaa ya kuhusu kupambana na maisha, kumfanya mtu atoke chini alipo awe juu zaid. Kama unakubali huyu ana IQ ya hatare gonga like please

  • @mayombotz
    @mayombotz 3 роки тому +17

    Anaeangalia video hii 2021 ,,gonga like tuendezetu!

  • @kabotezeey8474
    @kabotezeey8474 7 місяців тому +16

    Hii ni miaka 5 iliyopita leo 2024 na bado ni madini sana

  • @AredFered
    @AredFered 9 місяців тому +18

    Asante sana proffes nanauka yan we ngoja niinuke mpaka watu washangae .... Anaengalia video hii 2023 agonge like

  • @user-xp8ro5qs8i
    @user-xp8ro5qs8i Рік тому +7

    Hiki kichwa ni hazina yetu vijana taifa, Bara la Afrika na Ulimwenguni kote. Mungu akutunze kaka Joel

  • @shabansalum6014
    @shabansalum6014 3 роки тому +6

    Hongera sana professor Joel Nanauka...
    Kila kheri juu yako....
    Mambo mazuri sana...
    Swali: "Nini ushauri wako kuhusu kuondoa umasikini, kwa sababu asilimia kubwa ya watu inahisi kuwa haiwezi kubadilika hata kama itapewa maarifa ya kutosha?

  • @jeremiebahane6679
    @jeremiebahane6679 Рік тому +3

    J'aime ça vraiment moi c'est jeremie je viens du Congo je vous écoute à 90%

  • @meleajohnkisaka7969
    @meleajohnkisaka7969 3 роки тому +6

    Kaka asante ,nimefanikiwa kutimiza malengo yangu kwa asilimia kubwa sana kwa kufuata kanuni zako

  • @emmanuelkimaro4171
    @emmanuelkimaro4171 6 років тому +46

    Hizi elimu zingekuwa zinatolewa kila mahali watu wengi tungekuwa mbali sana.Mungu akubariki.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +3

      Emmanuel Kimaro nashukuru sana ,pamoja

    • @emmanuelmlengevaf5092
      @emmanuelmlengevaf5092 5 років тому +1

      ANDIKA NAMBA ZAKO ILI TUKUTAFUTE NAUKA NAMBA ZANGU NI IZO 0684663534,0676928180 NITAFUTE KAKA

    • @khamiskesi9472
      @khamiskesi9472 5 років тому

      Teacher joeil na mm nataka vitabu vyako kiac gain nanita vipataje mm nipo zanzibari

    • @khamiskesi9472
      @khamiskesi9472 5 років тому +1

      Naomba nambayako teacher joeil. Zangu mm izo 0677466564

    • @abdulqudra8758
      @abdulqudra8758 4 роки тому

      @@joelnanauka thanks bro nakupenda san kupitiya mafunzo yako one day i,gonna see u

  • @azzomapesa7879
    @azzomapesa7879 5 років тому +58

    umenikumbusha kipindi nipo kidato cha NNE nilikuwa naambiwa sitafauru kwa sababu ya hati yangu mbaya ila hauwezi amini Mimi ndio mwanafuzi wa kwanza kupata ajira serikarini katika lile darasa

    • @Creative_Feny
      @Creative_Feny 4 роки тому

      Hongera sana

    • @stivejayngoga1403
      @stivejayngoga1403 4 роки тому +6

      Inawezekana hata hiyo kuajiriwa tayari ushafeli

    • @HappyFamily-qz9up
      @HappyFamily-qz9up 6 місяців тому +1

      Hahahaha kuajiriwa sio kufaulu ajira ni kitu kingine wapo ambao walifeli kabisa darasa au alikuwa na 4 chafu lkn kaajiriw ila wa 2 au digree yupo tu home

  • @eliaspaul5289
    @eliaspaul5289 4 роки тому +33

    Hapo ndo utajua elimu ya kuambiwa ni bora kuliko ya kufundindishwa gonga like

  • @TusaKiblaga-vp9jg
    @TusaKiblaga-vp9jg 20 днів тому

    Asante sana mwalimu hakika Muda nimal wengi tumechelewa san

  • @beatricemwambene9486
    @beatricemwambene9486 6 років тому +25

    Nimependa sana mafundisho yako, natamani ningepata nafasi ya kukuona kwa mafundisho ya ziada

  • @robertgwelela6581
    @robertgwelela6581 6 років тому +28

    Asante sana mr Nananauka.kweli nimekuelewa sana.Wkt niko shule ya msingi kuna dada alikuwa mnene kuliko wote shuleni.lkn lilipotokea shidano la mbio na mshindi anapewa maziwa ya cowbell sisi wembamba tulikuwa na asilimia mia kushinda na kupata maziwa.lkn hauwezi amini dada bonge alitushinda na kupata maziwa.thank you so much.

  • @sayyidtawaqal1754
    @sayyidtawaqal1754 5 років тому +6

    Bwana nanauka kwakweli mungu amekupa neema nakuombea ulinzi baraka na ujuzi zaidi

  • @theeyechannel8601
    @theeyechannel8601 4 роки тому +15

    Brother Nanauka! Thank you so much 👏 nmegongana na video yako hapa then nika stuck,na cjutii and I didn't wast my time to listen to you. You got my attention it is so sweet to listen to you,Kabisa! Thanks a lot to make me rethink myself natoka wapi naenda wapi. From from Rwanda and welcome to the country of thousand hills.

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 5 років тому +2

    Hilo la walimu ni kweli mno. Yaani wapewe elimu namna ya kumjenga mwanafunzi na kumpa moyo na si kudhalilisha mbele za wanafunzi wenzake au kumbeza. Mi darasa langu wengi waliachia shule njiani kutokana na mambo km haya. Mtu anakwambia siji shule mi ni mjinga. Na hakuna mtu mjinga jamani. May God bless you.

  • @felixbakari4845
    @felixbakari4845 6 років тому +9

    Daaaa kaka I'm speechless nimeanza kufuatilia video zako najiona nilikwama sehemu najiona kubadilika sana

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 2 роки тому

      Karibu ubadilishe maisha yako kupitia fursa nitakayokushirikisha ujipatie kipato cha ziada

  • @MeripaMusa-b1q
    @MeripaMusa-b1q 25 днів тому

    🎉🎉❤big up nanauka GOD blessed u mr
    I play for u
    Thanks i have change's enough my life

  • @paulinyoisrael6079
    @paulinyoisrael6079 6 років тому +14

    Good boy Nanauka we ni habari ya Shule maishani

  • @user-dj8ik2he5y
    @user-dj8ik2he5y 3 місяці тому

    Asante Kwa elimu nzuri je wewe umefanikiwa zaidi joel

  • @aminanurudini9233
    @aminanurudini9233 3 роки тому +7

    It's Nov 2020 na bado nachek this video

  • @lugiko
    @lugiko 6 років тому +30

    Your my role model mr Joel, nimefanya mambo mengi sana kupitia speech zako

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +1

      ELSON LUGIKO Ahsante sana,nafurahi kusikia hivyo

    • @hafifayusuph8588
      @hafifayusuph8588 5 років тому

      Hongera sana kaka Nanauka uko vizuri sana kichwani Mungu akutimizie malengo yako inshaallah

    • @neemalino4220
      @neemalino4220 5 років тому

      Kweli najifunza mengi

    • @juliussenkene6527
      @juliussenkene6527 4 роки тому

      Natamani kufika mbali ,lakin Kila nikipangilia yanavurugika nitakufatilia paka nifanikiwe

  • @professamuddy5407
    @professamuddy5407 4 роки тому +4

    Daah kaka Joel uko vzuri. Uelewa wako uko juu, nashauri ugombee ubunge, maana comment zote inaonyesha wamekuelewa na wamependa somo lako.

  • @goon9384
    @goon9384 6 років тому +11

    you are great bro....much respect and blessed

  • @JusterTumsime-gn2nk
    @JusterTumsime-gn2nk 11 місяців тому +1

    Mungu akutunze kwaajili ya uzao wangu na Taifa zima
    Umekua baraka sana kaka sijutii kukufahamu🙏🙏

  • @gracekiangio2441
    @gracekiangio2441 Рік тому

    Asante Dr wamaendeleo duniani

  • @shukranjs4307
    @shukranjs4307 5 років тому +2

    Aisee yani mungu akubariki sana kaka, joel ,kiukwel nimekua nikipanga malengo lakini nimekua mwepesi kugairisha mambo,natamani sana kubadilika

  • @misskwileka1956
    @misskwileka1956 6 років тому +8

    daaah.... am blessed wallah, asante kaka nanauka

  • @evershayo2617
    @evershayo2617 3 роки тому

    Asante sana brother kwakwel umenisaidia sana maan nmekatishwa tamaa sana lait ningepata haya mafundisho mapema ningekuwa mbal sana
    Mungu akubariki

  • @rkyaruzi
    @rkyaruzi 6 років тому +21

    Barikiwa sana Joel! Tumesoma wote lakini nakuheshimu sana sana kama mtaalamu !Mungu azidi kukuinua

  • @vituskabula4770
    @vituskabula4770 2 роки тому +2

    Thanks sir God bless you 🙏

  • @jamesjohn8891
    @jamesjohn8891 5 років тому +2

    Hongera Mr Joel Nanauka, nimeipenda sana elimu hii. Kama hautojali naomba uni-add kwenye group lako ili niendelee kujifunza. Nina tamani kuwa na elimu hii ili niwasaidie wengine.

  • @alimsi532
    @alimsi532 5 років тому +6

    safi sana brother nanauka ww ni kocha wangu wa maisha na mm ni milde fild wako tupo pamoja brother

  • @furahabaraka2705
    @furahabaraka2705 5 років тому +2

    Nakuelewa sana bro umenibadilisha sana kwa kupitia masomo yako mungu akubariki sana

  • @bantuempress1744
    @bantuempress1744 6 років тому +15

    Much respect for you, you have inspired and you're the best mentor. Love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @fidespancras7337
    @fidespancras7337 3 роки тому +3

    Kaka kazi nzur napataje kitabu cha kupanga malengo

  • @didachidy1325
    @didachidy1325 4 роки тому +5

    Wallai broo huogei pumba bigup kwenye hili somo nimepata vitu vingii... 👌👌👍👍

  • @mcheshcomedy5809
    @mcheshcomedy5809 3 роки тому +19

    Video km Hz zina viewers wachache but video za Diamond na nyngine nyng km x videos zina VEIWERS wengi, hapo ndo nimegundua kuwa cc wenyewe ndo tunatengeneza MAISHA ya mazuri na mabovu🤔✔️
    Daah!!!🤣 Blessed kk ndauka!!!!!🤝

  • @user-sk8hw5bx1v
    @user-sk8hw5bx1v 4 місяці тому

    Be blessed kaka,umenitoa kwenye comfort zone

  • @humblemantresor7890
    @humblemantresor7890 5 місяців тому +1

    Asante kwa usimulizi njema

  • @ayshaal6957
    @ayshaal6957 6 років тому +7

    Asante kaka nami ntaanza kuandika malengo yangu

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 3 роки тому +1

    Nanauka Mungu akubariki. Wish to be my coach

  • @nyamoyenyamoye6077
    @nyamoyenyamoye6077 6 років тому +12

    Ndo asili ya kila mtu kukasirika mtu fulani anapofanikiwa, nashukuru kaka Kwa somo hili mm nimefarijika sana

  • @ullyamos4205
    @ullyamos4205 6 років тому +5

    Pastor be Blessed vijana wako tunakuelewa.

  • @lemonumentvivantkajole4008
    @lemonumentvivantkajole4008 2 роки тому

    Mdamchache nimetumia hapa lakini nimejifunza mengi. Asante

  • @pix_1lyrics777
    @pix_1lyrics777 3 роки тому +1

    Aiseeh naona kama nilichelewa kuja huku,,, big up bro , umenibadilisha pakubwa Sana 🤝🤝

  • @harrietmmoji8404
    @harrietmmoji8404 4 роки тому +2

    You are my role model bro, Mungu akujalie afya na maarifa mengi.

  • @michaelmulokozi1512
    @michaelmulokozi1512 4 роки тому +6

    You are an epitome of mentors, keep it up brother..!!
    Thanks for your enlightenments.🙏

  • @lizalaw8663
    @lizalaw8663 5 років тому +8

    Bro....kazi nzuri....naomba nijue.napataje vitabu vyako niko mbeya

    • @nichorousmpala5366
      @nichorousmpala5366 5 місяців тому

      Nenda soko kuu mwanjelwa chumba namba 165 utapata kila aina vitabu vyake

  • @damiankimaro8919
    @damiankimaro8919 2 роки тому +1

    See you at the top next year you will be my mentor

  • @mwakifunatheprominent7394
    @mwakifunatheprominent7394 6 років тому +30

    Dah yani hii video ni Shule Toshaaa, Shukrani sana kaka.

  • @moseskayan3705
    @moseskayan3705 5 років тому +2

    Bro asante sana umezaliwa kwaajili ya kazi unayoifanya

  • @khadijakisingo7920
    @khadijakisingo7920 2 роки тому +2

    Nanauka unanibadili Sana kimawazo na kimtazamo nimekuwa wa tofauti sana

  • @user-uz6jb8wt6u
    @user-uz6jb8wt6u 11 місяців тому +1

    Hakika kakaNanauka inatisha munguakupewepesi wamboyako kufanikisha jamii

  • @user-fb5do6tp1o
    @user-fb5do6tp1o 11 місяців тому +1

    Mimi ni mshindi katika jina la yesu ninaweza yote

  • @danielmlanda5597
    @danielmlanda5597 5 років тому +21

    Namuona SAM SASALI ANATAMANI KUMMEZA HUYO JAMAA ILA ANASHINDWA.........😂😂😂😂😂😂

  • @mangeadamu3439
    @mangeadamu3439 3 роки тому +1

    Thanks brother nanauka

  • @upendojoseph469
    @upendojoseph469 3 роки тому +1

    Nani anangalia 2021,jamani nanauka
    Uko vizuri

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 4 місяці тому

    Asante xana kw hii video najihisi kujengeka kila ninapo kusikiza

  • @abrahammwambije2769
    @abrahammwambije2769 Рік тому +1

    Hongera kwako na Alie kuzaa una nifunza vitu vingi sana.

  • @dennisluselele9244
    @dennisluselele9244 6 років тому +5

    Maelezo yako vizuri sana. Hongera!

  • @sharifamtilly1014
    @sharifamtilly1014 3 роки тому +1

    Kiukweli kaka umeongea kitu Cha msingi Sana .Natamani Elimu hii iwafikie walimu wa watoto wetu nadhani itaokoa watoto wetu na taifa kwa ujumla

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 5 років тому +3

    kiukweli upo vizuri na umenifundisha sana

  • @remmykawogo9035
    @remmykawogo9035 6 років тому +6

    Gud inspiration .,we need to change we youth

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 2 роки тому

      Karibu nikushirikishe katika fursa upate kipato cha ziada

  • @marthamhapa8171
    @marthamhapa8171 6 років тому +6

    Joel ua so unique kwakweli elim yako ni kubwa mno

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 2 роки тому

      Karibu nikushirikishe katika fursa upate kipato cha ziada

  • @athumanishechambo9500
    @athumanishechambo9500 Рік тому +2

    Kaka uko vizuri nimekukubali

  • @RaphaelLipamba
    @RaphaelLipamba 3 місяці тому

    Mungu aendelee kukulinda Ili uzidi kufungiwa vichwa vya watu.

  • @theprovitionofnature9188
    @theprovitionofnature9188 4 роки тому +1

    Jamaa maneno yake anasoma sana Vitabu et Jaman Mungu Akubariki Nanauka

  • @DorisKimario-sp3gm
    @DorisKimario-sp3gm 2 місяці тому

    Mungu akupe maisha marefu ❤

  • @priscahussein6790
    @priscahussein6790 3 роки тому +1

    Baada ya kuckiliza mwanzo mwisho bilashaka kunakitu nmekpata 🙏balkiwa Sana Kaka

  • @frolianmutalemwa9590
    @frolianmutalemwa9590 29 днів тому

    Miaka Sita leo narejea maneno yako yamegeuza maisha yangu

  • @ChandaVision
    @ChandaVision 6 років тому +3

    kweli kabisa Joel kuna boss wangu aliniambia kitu kinanisumbua mpaka leo

  • @nahimanaprince5818
    @nahimanaprince5818 3 місяці тому

    Asante brother mm from Rwanda

  • @albinimichael1342
    @albinimichael1342 5 років тому +2

    kweli tunaoangalia tunafaidi hata kama umetuchana ukweliii .kweli tumerelax sana

  • @kingrojo667
    @kingrojo667 6 років тому +2

    Kila unapo ongea ukimaliza inakuja wow maongez yako mazur bro asante na mungu akubarik Mr nauka

  • @professamuddy5407
    @professamuddy5407 4 роки тому +4

    Tukipata viongozi wenye upeo na Uelewa kama wako nchi itapiga hatua kubwa Sanaa!!

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 2 роки тому

      Karibu nikushirikishe katika fursa upate kipato cha ziada

  • @sulleysonsulley4160
    @sulleysonsulley4160 6 років тому +1

    Joel umetisha sana yaani unanipa msisi mko sana.na unanipa maarifa

  • @mapikomkindu565
    @mapikomkindu565 4 місяці тому

    Asante mwalimu🇲🇿 Muinto obrigado

  • @elijatanin3754
    @elijatanin3754 4 роки тому +1

    Hongera Sana Bro Nanauka kwa mafundisho

  • @magangacosmas9852
    @magangacosmas9852 6 років тому +10

    Kwa mara ya kwanza ni leo kusikiliza video zako, nmejikuta naangalia na kusikiliza nyingi zaidi. Keep it up brother

  • @mfalmegideon3987
    @mfalmegideon3987 6 років тому +3

    Ahsante Sana Mentor J Nanauka

  • @gerardndikumana8160
    @gerardndikumana8160 5 років тому +2

    Kaka Joel! Mawaidha yako mazuri kbs zidi kutowa ilimu ili uwilimishe watu ambao kile tusiye juwa muhimu sana

  • @soudjuma7904
    @soudjuma7904 6 років тому +1

    uo mpangalio wa malengo ni mzuri sana, ubarikiwe sana Enuaka

  • @cvanocharles6001
    @cvanocharles6001 6 років тому +6

    Mungu akubariki sana kaka Nanauka

  • @salummakuhani1679
    @salummakuhani1679 4 роки тому +1

    i like so much brother uko vizuri unatupa mafunzo mazuri

  • @rashidonami2660
    @rashidonami2660 4 роки тому +1

    asante sana kwakudusaidia god bress you

  • @MeshackWisdom
    @MeshackWisdom 3 місяці тому +1

    Uko sawa mwalimu

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 5 років тому +3

    Nakuelewa sana Mwalimu wangu J Nanauka unamadini ya uhakika

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 роки тому +6

    My Brother JOEL You're the Best of Best keep Motivating us,Happy New year 2020.

  • @neemamsaki1111
    @neemamsaki1111 Рік тому +3

    Thank you so much Coach Joel 🙏🏾
    May God keep blessing you.

  • @chrystiankagasheckjr.5287
    @chrystiankagasheckjr.5287 6 років тому +10

    bro nanauka umenifanya najutia nafasi nyingi nilizowahi kuzipata
    sasa sitakia kujutia tena naamini kupitia mafundisho haya naweza kutumia vizuri fulsa ntakazo zipata kwanzia ivi sasa
    @see yuo at the top

  • @abdulhassan5529
    @abdulhassan5529 Рік тому +1

    Barikiwa Sana brother...
    Unaongea uhalisia

  • @amidoubk6892
    @amidoubk6892 4 роки тому

    Asante sana Mr Nanauka unatuburuga

  • @tumainijastus326
    @tumainijastus326 11 місяців тому

    You're the best bro
    Keep going on

  • @thb9561
    @thb9561 3 роки тому

    Dah..brow upo makin sana nimeipenda hii mada..ipo activitie..!!

  • @ShabaniHamdani-xi6df
    @ShabaniHamdani-xi6df 11 місяців тому

    Asante sana kaka nakufuatilia sana.

  • @silayos
    @silayos 2 роки тому +5

    Much respect my brother Joel 💯💪