Vitu 10 Kuhusu Utajiri Alivyonifundisha MO Dewji

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 чер 2020

КОМЕНТАРІ • 162

  • @bueno1818
    @bueno1818 4 роки тому +94

    1. Muda
    2. Unyenyekevu
    3. Usikivu
    4. Man of Numbers
    5. Anajifunza (ready to learn on each details)
    6. Kila kitu ni fursa
    7. Budgeting and limit of expenses
    8. Delicate of power/ tasks
    9. Leveraging
    10. Every cent count
    Somo zuri sana! Keep teaching us!! Bless up!!

    • @mosesjnr8436
      @mosesjnr8436 4 роки тому +5

      8.Delegate

    • @younggamer999
      @younggamer999 4 роки тому +2

      Safi kaka mbn huwekinamba hapo

    • @HASSAN-zr7oc
      @HASSAN-zr7oc 4 роки тому +2

      BUENO Pathways 👏🏿

    • @philipangelo5360
      @philipangelo5360 2 роки тому +1

      you all probably dont care at all but does someone know a way to get back into an instagram account..?
      I somehow lost my account password. I love any assistance you can give me!

    • @mohammedrashid2906
      @mohammedrashid2906 2 роки тому +1

      Safi sana

  • @markehis9970
    @markehis9970 4 роки тому +2

    Asante Sana kaka Jeff Mungu akubariki naangalia kutoka Germany najifunza mengi Sana endelea maisha marefu

  • @fanuelsulle7350
    @fanuelsulle7350 4 роки тому +4

    Asante sana mentor lazima niwe tofauti huu mwaka

  • @shimozeconstruction5017
    @shimozeconstruction5017 4 роки тому +8

    Nakumbuka ,even I nshawai kuvunjavunja kilimo cha maharage,kwamba mbegu ya harage moja itatoa mbegu ngapi ,nlimeasure ad space (within haker) 😀
    Eg.kilo 40 za maharage ,tukisema mbegu za izae mbilimbil then ntapata kilo mara mbili yaan kilo 80😅😅 ,am proud mpk saiv najiamin mm nna IQ nzury tu ,and I never doubt that

  • @yohanalaiser2667
    @yohanalaiser2667 3 роки тому +4

    I just thank God for keeping you alive ! Utakua msaada mkubwa sana kwa walio tayari kujifunza na kubadilika !!! Coming from your twitter thread about your journey 🙏🏽

  • @lucianijohn8346
    @lucianijohn8346 3 роки тому +2

    Hi bro you is also smart, i learnt this from your speech/ presentation thanks very much to share

  • @alvinkimaro5244
    @alvinkimaro5244 3 роки тому +2

    Sir upo makini sana i like it
    Inabidi nibadilike sasa

  • @mr.jasonfxsignals4873
    @mr.jasonfxsignals4873 4 роки тому +10

    Can u please talk about candlesticks ....when it's time to buy and when it's time to sell emphasize on that ....plz
    Thanks in advance

  • @christopherdaudi2692
    @christopherdaudi2692 3 роки тому +1

    Nimekupata bro.....your my light brother jeff

  • @lifestyletv3750
    @lifestyletv3750 4 роки тому

    Dah kilaaa nikipitaaa nilikuwa cjuh kinini kinazungumzwaaa lakn Leo umenifumbua asantee mzee ngojaa nianzee kujaribu saiz sasa ndio nita like n comment kaz zako

  • @kpkp2414
    @kpkp2414 3 роки тому +1

    Nakukubali Sana blaza unavyovunja pesa Apo kwenye ubao wako

  • @kevinmollel3697
    @kevinmollel3697 4 роки тому +2

    Really inspiring kaka great keep it up👍👍

  • @ongeshabani8439
    @ongeshabani8439 3 роки тому +1

    Unajuwa jifunza ila una hongea sana , angalia wanacho fanya Joel nanauka na Ezdeni Jumanne

  • @jodasmedia4052
    @jodasmedia4052 4 роки тому +2

    Great presentation brother, big up. Nimejifunza kupitia video hii

  • @atoshalyimo2759
    @atoshalyimo2759 4 роки тому

    Asante sana ubarikiwe. Nimefurahi kujifunza kuhusu Mo

  • @madehamlungu6192
    @madehamlungu6192 Рік тому

    Safi sana na asante kijana mwenzangu kwa somo zuri sana 🙏🏿

  • @PeterSonda
    @PeterSonda 4 роки тому +16

    Nilchokigumdua ni kwamba kupitia ile competition Mo aliweza kupata businesses mpya kwaajili ya kampuni zake kwa kutumia presentations zenu za biashara boss

    • @nicksonmusa194
      @nicksonmusa194 2 роки тому

      Mo ndo maaana anagrow kila siku

    • @nicksonmusa194
      @nicksonmusa194 2 роки тому

      Na alitumia njia kama kuapa million 10 kama malipo kwaoo kwa kitu alicho gain

    • @nicksonmusa194
      @nicksonmusa194 2 роки тому

      Na alitumia njia kama kuapa million 10 kama malipo kwaoo kwa kitu alicho gain

  • @rashy930
    @rashy930 4 роки тому +1

    Asanteh Jeff!... Asanteh San kaka

  • @ramadhanamiry8337
    @ramadhanamiry8337 4 роки тому

    Every single cent count 😄😄
    Imekaa poa sanaa mchizi wangu

  • @allysalumchau1580
    @allysalumchau1580 4 роки тому +1

    Imekaa poa sana.. shukran bro!

  • @youngmartial8831
    @youngmartial8831 3 роки тому

    Thank you so much bro, God bless you

  • @Wendomedia
    @Wendomedia Рік тому

    Brother upo vizuri sana naomba kuwasiliana na wewe if its possible nashida ya kujifunza kwako

  • @charlesjohn5792
    @charlesjohn5792 3 роки тому +1

    Great contents.Asante

  • @upendohalisi7606
    @upendohalisi7606 Рік тому

    Ni kweli mpo vizuri,naomba namba Kwa mawasiliano zaidi juu ya forex trading

  • @mihayomk8621
    @mihayomk8621 4 роки тому +1

    Nice to hear this Boss!!

  • @greatdealsonlineonline6090
    @greatdealsonlineonline6090 4 роки тому +1

    Jicho la frucsa ! Kila biashara like imekaa powa sana

  • @matthewmsigwa6639
    @matthewmsigwa6639 4 роки тому +2

    god bless you broo

  • @lugiko
    @lugiko 4 роки тому +3

    Uko vizuri, ila punguza kuzunguka kwenye point na punguza story ambazo zinawapunguzia focus watazamaji, mfano hii video ulitakiwa uipresent kwa dak 2-3 tu

  • @user-dr1qd7bu7e
    @user-dr1qd7bu7e 2 місяці тому

    Good advice.

  • @joelhillary9852
    @joelhillary9852 4 роки тому +1

    Imekaa poa sana bro

  • @jotv6383
    @jotv6383 3 роки тому

    Umetisha sana mzee

  • @davidkasala5727
    @davidkasala5727 3 роки тому

    Thanks a lot !!!

  • @shishiramnzava3565
    @shishiramnzava3565 4 роки тому +1

    ahsante kwa darasa zuri

  • @abelmwakalinga2305
    @abelmwakalinga2305 4 роки тому

    The first one 🔞 big up mentor

  • @mpgforex
    @mpgforex 9 місяців тому

    good advice bro!

  • @gabrielgabito4197
    @gabrielgabito4197 4 роки тому +1

    Broo first tym kucheki video zako lkn sizichoki coz kuna kitu na gain inturn keep on broo

  • @edisonjoseph4087
    @edisonjoseph4087 Рік тому

    Ahsante sana Kwa ujumbe

  • @riphamasanja4296
    @riphamasanja4296 3 роки тому +1

    Habari kaka! Nahitaji training ya forex naomba muongozo

  • @kapusiyusuph4920
    @kapusiyusuph4920 3 роки тому

    Umetisha mzee

  • @fatumasultan3328
    @fatumasultan3328 2 роки тому +1

    Safi sana bro but naitaman forex kuijua ila cna wa kunifundisha na co mim tu tupo wengine so tuijua VP kak please help us hata kwa kusoma kupitia video zako au kutufundisha online

  • @mwanaishamtoo8535
    @mwanaishamtoo8535 Рік тому

    Utoe namba za cm.tutakapo kwama tuweze kukuuliza mimi ni mama nimependa ushauri wako mwanagu jef.maashaallah

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 4 роки тому +1

    That's good bro.

  • @johnkwela7326
    @johnkwela7326 2 роки тому

    Bro Jeff uko vzr nataman kukutana na ww

  • @lonsmanempire9627
    @lonsmanempire9627 4 роки тому

    Big up kaka 💪

  • @elishaworkout6116
    @elishaworkout6116 4 роки тому

    Umenifunza kitu boss nashukur sana

  • @josephmeratah9230
    @josephmeratah9230 4 роки тому +1

    I love this

  • @lancebenson4193
    @lancebenson4193 4 роки тому +3

    Hello Jeff. Nini unafahamu kuhusu Stock Options. Unaionaje ukilinganisha na FOREX.

  • @AlphonceDM
    @AlphonceDM 4 роки тому +3

    Kaka imekaa poa sana hivi kuhusu SOMO LA social media marketing

  • @barackjoshua6712
    @barackjoshua6712 3 роки тому

    Asante sana kwa maelezo mazuri sana naweza kupata mawasiliano yako tafadhali?

  • @AndyLaughs1998
    @AndyLaughs1998 4 роки тому +1

    Thanks much brooo @sirjeff

  • @calvinjoseph
    @calvinjoseph 4 роки тому +4

    Today you really touch my heart

  • @antonycharles3733
    @antonycharles3733 3 роки тому

    Nmekuelewa sana mkuu

  • @Proches91
    @Proches91 4 роки тому

    Nigusie kidogo hapo kwenye budgeting... Vijana wanapoteza pesa nyingi kununua bidhaa cheap... As always tunaambiwa cheap is expensive... Kwa kuwa na LV belt ama AX t-shirts inamfanya yeye kuendelea kudunda bila kuingia gharama za mara kwa mara... Jambo jingine hata gari anayotumia is expensive and much of quality.

  • @zeus9338
    @zeus9338 4 роки тому +1

    Tuko pamoja keep on sharing great stuffs .....I believe one-day yes

  • @stansmorland5072
    @stansmorland5072 4 роки тому

    Good 🤝

  • @emmanuelfidelis9332
    @emmanuelfidelis9332 4 роки тому +2

    Kaka ubarikiwe Sana hivi unavyoshare na sisi naomba kupata no yako tafadhali

  • @hidayasanga7841
    @hidayasanga7841 4 роки тому +2

    Sir Jeff,mimi ninahitaji sana kuonana na wewe ili unisaidie personally kimawazo katika business yangu,you are very smart sir

  • @tigytigita-bz1fh
    @tigytigita-bz1fh 4 місяці тому

    Jeff kaka nitawezaje kujifunza forex na nikawa pro trader

  • @afyakwanza24hrs
    @afyakwanza24hrs 2 роки тому

    Bro nakupataje

  • @ericluoga3898
    @ericluoga3898 4 роки тому +4

    Kaka pull over umeacha wapi leo?😊

  • @chillypips-yq6vh
    @chillypips-yq6vh Рік тому

    i learned that every point of view should have an edge

  • @shakilashak3337
    @shakilashak3337 4 роки тому

    Kaka kwamsaada zaid tunakupataje 🙏🙏

  • @pulltheskymusicgroup4475
    @pulltheskymusicgroup4475 4 роки тому

    Mzururaji Smart 👣🏌️

  • @ngumaimani276
    @ngumaimani276 3 роки тому

    I got you brooh

  • @boniphacejoseph3985
    @boniphacejoseph3985 4 роки тому

    Kaka✌️✊

  • @amosimichael208
    @amosimichael208 4 роки тому

    Nice bro

  • @sifakauzeni3095
    @sifakauzeni3095 7 місяців тому

    good

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 3 роки тому

    safi kabisa

  • @zackmagoma.
    @zackmagoma. 4 роки тому +1

    Where can l get u sir?
    Am Tanzanian

  • @jamesmoricmsa9003
    @jamesmoricmsa9003 4 роки тому

    Kaka nakufatilia sana

  • @boscongonyani8898
    @boscongonyani8898 2 роки тому

    Kwel kupitia crip unazoposti ndimo mafanikio yangu yalimo kaka barikiwa sana

  • @dinojackson9675
    @dinojackson9675 4 роки тому +1

    Imekaa poa sana

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 4 роки тому

    SoMo zuri Sana hili

  • @leonardmadelemo9104
    @leonardmadelemo9104 4 роки тому

    Bro una ni inspire sana nina kiu kubwa ya mafanikio so which step should I take to become whom I am!!

  • @mufasa2079
    @mufasa2079 4 роки тому +1

    I love your channel, from Kenya, Nashukuru sana

    • @laurentmwauri
      @laurentmwauri 4 роки тому

      Bro, this guy is such a great inspiration

  • @cykadanys4490
    @cykadanys4490 3 роки тому

    Hii imekaa poa sana✊🏽✊🏽

  • @thenationAnthems
    @thenationAnthems 4 роки тому +6

    Bro ilikuwaje mpaka unaachana na engineering na ukawa businessman?

  • @homeofentertainment5721
    @homeofentertainment5721 4 роки тому +3

    Walio dislike hii video ndo wale wanaowaza ngono tu na kuwatch porn

  • @user-ps7xd6qb9p
    @user-ps7xd6qb9p 7 місяців тому

    Naweza pata mawasiliano na wewe kaka

  • @owlbig
    @owlbig 4 роки тому +1

    Asante

  • @stevenlujuo2589
    @stevenlujuo2589 3 роки тому

    Being based on numbers👍

  • @brianlumato5730
    @brianlumato5730 3 роки тому

    Good.

  • @halimahassan4540
    @halimahassan4540 4 роки тому +1

    Kwelikabisa. 🙏🏽

  • @naahnicky4682
    @naahnicky4682 4 роки тому

    ✍✍

  • @alexbuberwa702
    @alexbuberwa702 4 роки тому

    amen

  • @thenord8763
    @thenord8763 4 роки тому

    Shark SHARK SHAAAAAARK SHAAAKA SHAKA ZULUUU 💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @shimozeconstruction5017
    @shimozeconstruction5017 4 роки тому

    Imekaaa poa

  • @danielmsele1097
    @danielmsele1097 4 роки тому

    Broo naitaji kupata mawasiliano nawewe naisi naweza ka
    Ujua vingi

  • @stephenbenard921
    @stephenbenard921 4 роки тому

    i like u

  • @hashimuliloto8017
    @hashimuliloto8017 2 роки тому

    Good

  • @raymondmadomado1804
    @raymondmadomado1804 2 роки тому

    Unafaa kua menta wangu

  • @iama.l.l.y209
    @iama.l.l.y209 4 роки тому

    🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @xattybite2512
    @xattybite2512 4 роки тому

    Bro nataman san kuanza biashara ila daah nashndwa kuelewa chakufany nakufuatilia san ila nahitaj kufany biashara nakufanikiwa kam ww

  • @rockmwakananile3764
    @rockmwakananile3764 3 роки тому

    🙏🙏

  • @salumjumanne2800
    @salumjumanne2800 4 роки тому

    imekaa poa saana

  • @edwinfelix8428
    @edwinfelix8428 4 роки тому

    Iko poa

  • @hassanmugire1497
    @hassanmugire1497 4 роки тому

    Kaka kila siku nakuulizq forex arusha mko wap hujib au hutak tujue

  • @edsonjumbe879
    @edsonjumbe879 4 роки тому

    Bro nasikiliza ili kuhakikisha kama Mo kakufundisha kweli

  • @aminatita8465
    @aminatita8465 3 роки тому

    Tunashukuru kutupatia elimu hiyo

  • @niggasonfleek4755
    @niggasonfleek4755 4 роки тому

    Siamini kama mo dewji anamiliki asset za USD billion 1.9, bcoz metl ni kampuni ya familia kuna akina fatma na wengine, half baba yake mo bado yuko hai
    Mo atakuwa ana assets za millions of USD ila hana 1 billion usd
    Tu-assume 1.9 billion USD ni ya mo dewji, mo asingekuwa usd billionaire kama sio baba yake, alichofanya mo ni kuwa aliendeleza metl from 500 million USD to 1 billion USD .
    The real shark wa Tanzania ni bakhresa, ingawa Forbes wanasema bakhresa ana networth ya 600 million usd, lkn naamini bakhresa ana networth ya 1 billion USD sema anaficha utajiri wake..

    • @jordanmashaka50
      @jordanmashaka50 4 роки тому

      Huyo Bakhresa mwenyewe unadhani anaimiliki kampuni pekee yake? Dewji ndiye majority shareholder wa METL.

    • @pip_rake
      @pip_rake 4 роки тому

      Kwanini anaficha?