Usijaribu Kuanza FOREX Trading Kama Hujatazama Video Hii

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 726

  • @_ohmz
    @_ohmz 4 роки тому +45

    Uwage unatufundisha vi2 kama hv brother vitatusaidia sana kwenye maisha 👏👏big up brother!

    • @blaq7403
      @blaq7403 4 роки тому

      We dogo , utengwe

  • @anolddavid2585
    @anolddavid2585 8 місяців тому +25

    who is here 2024

  • @bensonzabroni1809
    @bensonzabroni1809 4 роки тому +64

    Walio pewa message ya margin level zaid ya Mara 10 gonga like twende pamoja

  • @rozilwangulwangu3086
    @rozilwangulwangu3086 4 роки тому +6

    I have lost much money in forex but thank you for your teaching's, looking forward to start again,ilost hope but now you've given me hope again,thank you.

  • @brianshirima7469
    @brianshirima7469 4 роки тому +14

    BIGUP FOR GREAT KNOWLEDGE
    I have been lost all my properties in 2015 after entering the market without enough Knowledge..I decided to find a mentor and I started a class...in 2016 i started with 100$..now my account balance is 80000$.
    Sir Jeff continue to educate Tanzanians may God will pay you.

  • @fokasikalinga5623
    @fokasikalinga5623 4 роки тому +5

    This is Pure Gold Learning kuna wengine wanatoza zaid ya $100

  • @anthonypaul7523
    @anthonypaul7523 4 роки тому +34

    as a forex trader, it's almost inivitable that you are going expirince some up and dawn along the way. alertness and dicivness are ingreadent in the recip for a successful forex trader.

    • @anthonypaul7523
      @anthonypaul7523 4 роки тому +8

      you can only apreaciat a person who tries to teach every how to invest and invest and make profits on multiple ways, up and down.

    • @jhonmark7926
      @jhonmark7926 4 роки тому +9

      never loose, I sincearly doubt when I see such things like 100%win stratagy, forex trading is very technical and involves carfulnes and great iq

    • @amsyaraish4358
      @amsyaraish4358 4 роки тому +9

      am I the only one who doesn't understand bitcoin? watching a documentary about it now and they might be talking Chinese! tomuch risk

    • @zhagkc5316
      @zhagkc5316 4 роки тому +8

      many see forex as a get rich scheme but forex is not like that, it's a gradual process with the right tools and application you can make a living from forex trade

    • @gunillasandra8926
      @gunillasandra8926 4 роки тому +6

      trade with an expert else you will lose all your capital and you drop off the maket

  • @eustadiusmasota5384
    @eustadiusmasota5384 4 роки тому +79

    😂😂😂😂😂 Kama over trade inakuhusu naomba ulike kisha tukae chini tujirekebishee!

  • @rommystanley6485
    @rommystanley6485 4 роки тому +20

    Daaah leo ningekusikiliza next week ningepoteza hela sir J maana hiz ten rules touch me to the maximum 🙌🙌 stay blessd

    • @beatsbyiconic7193
      @beatsbyiconic7193 4 роки тому

      Rommy stanley oi inakuaje mzee... naomba tuchekiane mwamba nataka mtu ambae atleast ntakua natrade nae mana natrade mwenyew tu... 0747886196

  • @kungaonlinechannel2039
    @kungaonlinechannel2039 4 роки тому +1

    Asante sir Jeff brother to you naomba kujua kama na mtaji na sina ujuzi je unaweza nisaidia kuwekeza na ww

  • @fadhilimbano654
    @fadhilimbano654 4 роки тому +6

    Bro umeongee meengiiii me nimeelewa kimoja tu TAKE CARE OF UR MIND.....big up

  • @mulokozikatanga3430
    @mulokozikatanga3430 4 роки тому +5

    uko sahihi kabisa ..na kitu ambacho wengi hawajui ni kwamba unaweza kupoteza pesa from a good decision na kupata pesa from a poor decision .....but stick with your rules we all have different ideas on trading ila kikubwa ni train your mind and train yourself ..make improvement daily

  • @popitsbank
    @popitsbank 4 роки тому +1

    Safi..video nzuri inapendeza sana..keep going @popitsbank

  • @giftkadilo9772
    @giftkadilo9772 4 роки тому +8

    VERY TRUE I STARTED SINCE 2016 BUT THIS YEAR 2020 I CAME TO MY SENSE AND AM GOOD ON TRADING AND MAKING PROFIT

  • @ashambakari1928
    @ashambakari1928 3 роки тому +2

    Aahah,nmeanza kuijua forex toka 2019 mpka sasa nmeunguzaunguza account ila sikomii na sinampango wa kuichaforex 100%, asante sir jeff

  • @aikamunis8151
    @aikamunis8151 4 роки тому +8

    Sasa braza hapo sawa lakini cha msingi tengeneza video za analysis hapa sisi tuone namna ya kufanya na sisi kutoka kwako

  • @enriqueigresias3275
    @enriqueigresias3275 4 роки тому +67

    From Spain I don't get what your talking but aisee uyu mjuba anataka vijana tutoboe✌😊

  • @gwaxmwakilili4472
    @gwaxmwakilili4472 4 роки тому +5

    Nliwaza mengi juu ya forex trading but actually u change my perception

  • @ayog3421
    @ayog3421 4 роки тому +1

    Thanx bro. Napenda mtu anayesema ukweli na kujiamiki kama wewe Jef

  • @EliteAffiliateHacks
    @EliteAffiliateHacks 4 роки тому +2

    One of the best Swahili channel on business

  • @amanikilesi1378
    @amanikilesi1378 4 роки тому +4

    Big up sana kijana,long time nilikuwa nasubiri hii nondo,keep it up na Mungu atakuzidishia

  • @cynthiariziki6877
    @cynthiariziki6877 3 роки тому +1

    Hello... much love from Kenya.. I really want to start doing it but I have no any content but your videos ziko so much understanding

  • @sylviaclaud777
    @sylviaclaud777 3 роки тому +1

    just gonna join thanks for the information sir 2021 here we gooo,rule no 10 is the best.Asante

  • @damianitomaghembe4767
    @damianitomaghembe4767 4 роки тому +2

    Shukran kk !! Hii nii 💥💥💥⚡
    Content Qali imetoa

  • @officialprize1782
    @officialprize1782 4 роки тому +6

    Mkombozi wa vijanaa🙏.. Longer life

  • @mosheky8494
    @mosheky8494 4 роки тому +1

    dah.. aisee nimekupata vzr san.. #BIG UP SAN

  • @danielmuthunga
    @danielmuthunga Рік тому

    Hi Jeff. Wewe u mwalim kweli kweli. Umenipa motisha.ya kwendelea.

  • @naahnicky4682
    @naahnicky4682 4 роки тому +7

    Thanks brother ✍iyo ya mwisho ndo penyewe apo enjoy life😀 ❤

    • @minaelkiangi3576
      @minaelkiangi3576 2 роки тому

      Always hakuna kamserereko dunian I like forex and you will be my teacher

  • @mohamedoumar8861
    @mohamedoumar8861 4 роки тому +3

    dahh niko London na badala ni fanye kazi ya maana na Fanya FOREX TRADING na kutoka nimeanza walai napata 500+pips kila siku sijui ni bahati ama nini 6 months sahii nafanya Trading currently nimeweza kubadilisha maisha...fanyeni Forex yabadilisha

    • @lelomellowtz
      @lelomellowtz 11 місяців тому

      Habari brother, you good? Nipo London pia. Please can we get in touch, naomba contact zako nikucheck juu ya Forex. Thank you.

  • @gospelthusiast
    @gospelthusiast 4 роки тому +16

    Looking forward kupunguza rate ya uchomaji acount kutoka 90% mpaka 30%.... Wengine tumewapa mabroker vitambi

    • @susankariuki449
      @susankariuki449 4 роки тому

      How do you trade and you Tanzanians don't know English? Am a kenyan

    • @gospelthusiast
      @gospelthusiast 4 роки тому +5

      @@susankariuki449 my sister.... Where has that English taken you? Yea Tanzanians we don't know the English you do but; Tanzania has One Dollar Billionaire almost to $2Billion! Kenya doesn't have one... Tanzania has 5,668 super rich individuals while Kenya has 2,942 as of 2019 according to Knight Frank's report. Before you question lemme simplify the figures for you. As of 2019; Tanzania has 5,553 millionaires Kenya 2,009 Uganda 137 (this is $1Mil to $29Mil) and I trust @sirjeff falls here); $30m - $999m worth Tanzania had 114 Kenya 42 Uganda 5; Lastly $1 Billion worth Tanzania has 1 who is up to $2B Kenya 0 Uganda O... Before you come with your stupid English inherited from Colonialists check how it ia helping individuals financially in Kenya... No correlations!!! So stop bringing stupid brags that helps you nothing! Facts have no feeling mama... We will speak our mother tongues and still make millions individually and provide scholarships for you Kenyans of that type to go study English.... Idiot... How are you guys even proud of colonialists inheritance? O prodigal nation.... Continue speaking English! I was about to tell you get the f* out with your Kenyan english our language is $$$ We Tanzanians make money.... Facts have no feelings!!!

    • @carlosthomas1457
      @carlosthomas1457 4 роки тому

      Hahaha

    • @tanzaniatouristsattraction1622
      @tanzaniatouristsattraction1622 4 роки тому

      @@gospelthusiast 😂😂😂

  • @ismailjuma4021
    @ismailjuma4021 4 роки тому +2

    Asante kwa video mzurii bruh!.. But ngependa next time utupe msingi yaani basic things to learn in forex business

  • @angetilegeorge
    @angetilegeorge 4 роки тому +4

    sir jeff nimeipenda hiii video aiseeeee Big up.

  • @megamike_2557
    @megamike_2557 3 роки тому

    kaka naipenda sana hii had leo bdo naskilz sema fany urud UA-cam bx

  • @IMANICHISUNGA
    @IMANICHISUNGA 4 місяці тому

    Nimependa sana kaka wachache wanao toa Siri Bure jah bless more

  • @40kstore
    @40kstore 4 роки тому

    uzuri wa biashara bwana,maarifa yake huwa yanaweza kukaa kwenye biashara yoyote ile,imagine me haya maeleo yote nimeyaweka kwenye biashara yangu tofaut na forex na yamekaa vizuri tu,shukrani jamaa,Mungu akubariki

  • @seyf_africa
    @seyf_africa 4 роки тому +9

    You're much appreciated Jeff.
    The guy of my type

  • @valeriemaha5619
    @valeriemaha5619 4 роки тому

    Kusema kweli, were umenieleza nikaelewa. Asante sana

  • @gospelvibestv3914
    @gospelvibestv3914 4 роки тому +5

    Nilivyomwona TU Jeff nikaona ngumi za uso aseee,King shark🔥🔥🔥

  • @japhetkakwezi9497
    @japhetkakwezi9497 4 роки тому +8

    Thanks Jeff...More Blessings,🙏

  • @henryjoseph457
    @henryjoseph457 4 роки тому +10

    Nice vid buda boss, apo kwenye “trading system, setup, plan” imenishika. What you said mwishoni ni kweli, AFTER BEING SUCCESSFUL ENJOY WHAT YOU WORKED HARD FOR.

  • @salvatorysteven9828
    @salvatorysteven9828 4 роки тому

    hii video sichoki kuitazama, inanifundisha kila siku. ahsante sana SirJeff

  • @othmanjumajuma1431
    @othmanjumajuma1431 4 роки тому +1

    Kaka kaka jeff dah broh uko vizuri ngoja nijifunze zaidi nilikata tamaa broh dah🤔🤔🤔🤔

  • @lexray4524
    @lexray4524 4 роки тому +1

    Ukiendelea ivi utatukomboa wengi sana ubarikiwe bro

  • @Ricky_Etanga
    @Ricky_Etanga Рік тому

    Nimekusikiliza vizuri sana na nimekuelewa

  • @kelvinmazanda
    @kelvinmazanda 4 роки тому +3

    👏👏👏 Umeongea point sana!.

  • @5starkiriatv440
    @5starkiriatv440 4 роки тому +1

    Pafect brother nimepata loose nying sana adi nimechoka

  • @jaquelinenaftal6645
    @jaquelinenaftal6645 4 роки тому +12

    Hey Jeff thank you for this nice video , how did you train yourself like ulikiwa ukisoma books kam zipo tupe.mwanga wa vitabu na how you learned genwrally

  • @emmanuelnyanda9914
    @emmanuelnyanda9914 4 роки тому +7

    Very inspiring video, big up brother, keep on the good work 👏👏

  • @twahasuleiman-lo9vl
    @twahasuleiman-lo9vl Рік тому +1

    Wangapi wakati video imetoka tumeiyona... Then Leo Tena tumeigonga Tena... Leo... 🎉 Happy two yrs videos

  • @muhamedali6063
    @muhamedali6063 3 роки тому

    Nikitaka kulima tikiti mwezi ujao lkn dur umenizindua Sana sikujua kua nikiwekeza pesa yote kwenye kilimo pesa inapotea yote.. Asante Sana mwalim mungu akubarik.

  • @phrasalverbs4815
    @phrasalverbs4815 4 роки тому +4

    Mtu wa kwanza kunijuza habari za forex ni wewe ONTARIO. Nakushukuru sana na mungu akuzidishie

  • @edowone9722
    @edowone9722 4 роки тому +5

    Nilikua natamani sana kujifunza forex now I think ndo muda wake,thenks Sarjeff .Kama una branch Arusha please tupe imformation

    • @hydrazineazine8764
      @hydrazineazine8764 4 роки тому +1

      Arusha kuna jamaa wanajiita Forex_reality_tz on Instagram kama bado wanaendelea kufundisha watafute watakusaidia

  • @kpcorporation5350
    @kpcorporation5350 4 роки тому +1

    Broo barikiwa nimependa sana kazi yako

  • @goldlediamante6259
    @goldlediamante6259 4 роки тому +1

    Am listening about forex trading for the first time........hata celewi hii kitu inafanywaje na Ni bidhaa gani znauzwa hapa!

    • @elimuwatototv5775
      @elimuwatototv5775 4 роки тому

      Financial market, Forex means Foreign currency exchange

  • @NGOMELEY
    @NGOMELEY Рік тому

    Ok bro Safi sana ... Ila nn nahitaji kujua ni kiasi gani kinaweza kufanya kuanzisha biashara hii

  • @jaquelinenaftal6645
    @jaquelinenaftal6645 4 роки тому +4

    Hey Kaka Jeff you said you learn by yourself , please have video on how you learn by yourself labda through books au aje kwa charts

  • @georgechalle7406
    @georgechalle7406 4 роки тому +1

    Thanks broh Jeff nimejifunza vingi

  • @iddykirika5236
    @iddykirika5236 4 роки тому +4

    UR CEO OF UR ACCOUNT ni moja ya mambo ya msingi sana ya kuzingatia.. Hili kama ulivyosema jeff linajengwa sana na mtu kutafuta maarifa.. Bro nahitaji sana kuwa na maarifa kwanza.. Naitafuta sana nafasi ya kupata darasa na hata nondo kama sio vitabu vya kusoma.. Hivi mtu akitaka kujifunza ni vitabu gani unaweza mshauri asome..... Ahsante!

    • @eustadiusmasota5384
      @eustadiusmasota5384 4 роки тому

      Goggle kunautundu wote

    • @Ibrah287
      @Ibrah287 4 роки тому +1

      Nina vitabu vya Forex hadi kwa kiswahili! Ukihitaji nipe no yako ntakutumia vyote...

    • @iddykirika5236
      @iddykirika5236 4 роки тому

      @@Ibrah287 0712629490

    • @abelweja5066
      @abelweja5066 4 роки тому

      Bbypis

    • @abelweja5066
      @abelweja5066 4 роки тому

      Br soma UA-cam step by step fuatilia video za kiswahili na kingereza Ila unatakiwa uwe na kitabu kizuri pia. Na

  • @annachales9623
    @annachales9623 4 роки тому +1

    Yaani brother nimependa wewe ni msema ukweli kabisaa nashukuru mm ni trader but umenisaidia sana kwa lessons

  • @ZHING.Tech.
    @ZHING.Tech. 4 роки тому

    Thanks so much bro umenifanya njifunze vitu vitatu muhimu

  • @dagharotv5652
    @dagharotv5652 4 роки тому +13

    Daah bro kwel umenipa moyo,, last year niliunguza account ya $100 nilikuwa na trade bila kujua nacho fanya, nikarudi darasan nikasoma kwa mwaka 1 juzi nilideposit usd 50 now account is standing at $60

  • @mosesmussa2559
    @mosesmussa2559 3 роки тому

    kazi nzuri sir jeff vijana tuko pamoja na wewe

  • @AndyLaughs1998
    @AndyLaughs1998 4 роки тому +1

    Imekaaa poa Sana iko vizuri Sana let me chill🙏🙏🤜🤛

  • @BonifaceJoseph
    @BonifaceJoseph 4 роки тому +13

    Dope video broh, but kuna one advice inabidi ufanye improvement on video editing, wakati unaongea kuna muda unaongea mfulululizo kwa kipindi kirefu mpaka unarun out of breath/kuchapia/awkward pauses , hapa inabidi uimprove cuts and overlapping them kwa kuongea kwa muda mfupi ili kueliminate hilo tatizo na kufanya video kuwa bora zaidi, Its the only drawback I've noticed on your videos. All in all good work and looking forward to more fantastic videos from you

  • @noelmgaya1233
    @noelmgaya1233 4 роки тому +6

    From my heart I'm saying. ASANTE SHARK

  • @tonnymkama697
    @tonnymkama697 4 роки тому +5

    live long sir jeff much love brother ❤

  • @classicfurniture800
    @classicfurniture800 2 роки тому

    first time here..learnt more, thnks

  • @barakanyakitetv7333
    @barakanyakitetv7333 4 роки тому +1

    Jeff umeelezea kwa upana mzuri sana na kwa nn usifungue darasa la online kabisa

  • @sultansalim6458
    @sultansalim6458 4 роки тому +10

    Nice one Jeff, I lost funds in trading but now into stocks and shares which I found easier to read patterns and make profits. Would it be easier to follow your trades because their is a platform that allows this so that we can also learn your technique and gain more knowledge sir? Thanks

    • @wikifxenglish7693
      @wikifxenglish7693 2 роки тому

      That's nice if you want to gain more knowledge on forex trading check wikifx they provide free education on forex trading

  • @FransisThomas-o2w
    @FransisThomas-o2w 11 місяців тому

    Nilitamani kuaza sasa umenifungua akili Asante kaka

  • @happymarksimwita5244
    @happymarksimwita5244 9 місяців тому

    Daaah wapendwa mm ndio kwanza ni kipofu naomba msaada sijui hata pakuanzia na nimekipenda hii biashara.

  • @omarynkungu6672
    @omarynkungu6672 4 роки тому +1

    Thank you bro endelea kutoa darasa

  • @bonfacemugo2924
    @bonfacemugo2924 4 роки тому

    my friend waambie reality kabisa coz forex is sooo deceptive mimi nlijaribu nkainua mikono

  • @mindful6274
    @mindful6274 4 роки тому +2

    Bro I do appreciate what u r bringing up for people,but step up your game ,you should have a screen showing how the pips are moving ,when to enter the bid when to take the profit,show us all technics za indicators.you need to tell us how the candles are moving too.

  • @georgetavalentine4686
    @georgetavalentine4686 4 роки тому +1

    Your so good🙌👏👏👏👏 yaani Kuna my friend nlikuwa namsumbua kuhusu kunielekeza abt forex trade ili nianze coz sikutaka kukurupuka yasije nitokea puani Bure but am glad I found this U tube channel of yours thax alot n be blessed 🙏😍

  • @kamanda007
    @kamanda007 4 роки тому +2

    Forex is hard nut to crack la sivyo Kila mtu angekuwa millionaire, you can teach people fundamentals of trading lakini to make money in forex you have to figure it out yourself, I've been doing forex/ financial markets for more than 15 years, what I can tell you it's all about patterns...muwe carefully na brokers pia many are not regulated

  • @nkwimbahamalos4965
    @nkwimbahamalos4965 3 роки тому

    Ahsante sana kaka MUNGU akubariki sana.

  • @amanijulius8398
    @amanijulius8398 4 роки тому +2

    Broo...thanks for this one..God bless you Brother Jeff👑👑

  • @UniqueStudios-n7n
    @UniqueStudios-n7n 7 місяців тому +1

    God bless you 🙏

  • @MrTmanU
    @MrTmanU 4 роки тому +3

    I am in the market for almost 4 years but I lost everything u know I started with this boy finally I meet with Pipfarm a person who raised 5000usd to one million USD helping us to get every knowledge everyone could have but guess what I am now broke and failed even my account get burned after 40000usd without enjoying even my profit it real hurt guys.

  • @traveledwardtanzaniasafari8012
    @traveledwardtanzaniasafari8012 4 роки тому

    Naomba utuambie brocker mzuri au namna gani nzuri ya kuingia

  • @sadaman4155
    @sadaman4155 4 роки тому +2

    Mwaga mizigo mjomba mim nimesubscribe tayar na kuweka all notification sipitwi na mzigo wako👂

    • @sheikhsaggaff5351
      @sheikhsaggaff5351 4 роки тому

      Hi Jeff mambo ningepeda no yako ya watsup yangu 00971507253977 thanks

  • @josephgeofrey8473
    @josephgeofrey8473 4 роки тому

    Jeff.unafundisha forex tips zenye facts

  • @zakykarama9566
    @zakykarama9566 4 роки тому +1

    Yaani soma elewa fx kinaganada, technique, rules: -trading system guidance, plan timing, pips maisabu, setup subra, know ur competitors, over trading tamaa, use minimal risk n learn ur failures, don't compete, stress free mind, elewa the whole business n drive it at ur own knowledge

  • @Dnkca
    @Dnkca 4 роки тому +3

    Iam watching you from Kenya and for sure your videos have quality content...I thank you so much...have you ever tried trading options (digital or binary) with brokers such as IQ option?

  • @geoffreylangat6759
    @geoffreylangat6759 2 роки тому +1

    I like it, nitajiungaa aje?

  • @alexkilyenyi5190
    @alexkilyenyi5190 4 роки тому

    Shukrani Kaka umenijenga sana

  • @shukuruolivier1190
    @shukuruolivier1190 3 роки тому

    Hello Bro, so be blessed for this information just we need class

  • @IBRAHIMUDAREMA-s4t
    @IBRAHIMUDAREMA-s4t Рік тому

    rules zako zmenipa kitu salute

  • @chrysm4049
    @chrysm4049 4 роки тому +2

    good stuff bro, Consider teaching a strategy, like open a chart and show a real market!

    • @fxmeddy9567
      @fxmeddy9567 4 роки тому

      Unataka strategy, contact me 0715572877 Whatsapp

  • @Gortez
    @Gortez 4 роки тому +1

    Ulijifunza wap ayo yote mwenyewe kaka.. kujua uyo plan, strategy etc bro

  • @stanleymaganga503
    @stanleymaganga503 4 роки тому +2

    Ooh! Mambo yameanza💥💥💥

  • @officialprize1782
    @officialprize1782 4 роки тому +2

    Appreciating you sanaaaaa bruh

  • @marymissah1508
    @marymissah1508 2 роки тому

    Sir Jeff I won't give up nitasoma mpk nielewe My the Lord guide me 🙏🙏🙏🙏 sitoacha bro I swear

  • @abdallahabdallah5619
    @abdallahabdallah5619 4 роки тому +3

    Mean of communication brother, we need to talk

  • @victordawson1621
    @victordawson1621 4 роки тому +1

    Duh... upo vizuri

  • @paschalmachibya7528
    @paschalmachibya7528 3 роки тому +1

    You're a genius brother 🔥🔥🔥

  • @mussajumaa1148
    @mussajumaa1148 4 роки тому +3

    Sir jeff nilikua naisubi Sana hii video

  • @mkingageorge2641
    @mkingageorge2641 3 роки тому

    Thanks jeff nyuma yako tupo

  • @brysniper3895
    @brysniper3895 4 роки тому +72

    Video imeuploadiwa 23mins ago; afu unakuta kuna mtu kacomment "somo zuri sana, keep it up" 22 mins ago; ss najiulza huyo mtu kaangalia hiyo vdeo mda gan hadi akajua yote hayo? Kinachomaliza watz weng ni wavivu sana

    • @chundabadsingasinga3130
      @chundabadsingasinga3130 4 роки тому +2

      Kumbe tunashangaa wengi kaka kuna watu mafala sana

    • @shubackmashinga3535
      @shubackmashinga3535 4 роки тому +3

      Anaangalia huku ana comment

    • @shau78
      @shau78 4 роки тому +1

      wavivu na waongo

    • @charlieshayo546
      @charlieshayo546 4 роки тому +2

      Mikundu sana wabongo

    • @onlinemateustv1925
      @onlinemateustv1925 4 роки тому +2

      Binadam hawafanani kuelewa kuna wengine wanaelewa haraka sana
      Na pia kusema somo zuri Sana siyo kusema nimeelewa vizuri sana