Hivi Wewe ni kijana wa aina gani? Wa wapi? Ngoja leo nikutolee uvivu. Kuna watu wamejaliwa maarifa kidogo au pesa kidogo lakin hawezi kufundisha wengine bure Kama unavyofanya. Yaani wangeandaa semina au vipindi vya watu kulipia ndipo wawafundishe haya. Lakini wewe you are so humble, self motivated, and devoted to serve/educate the future billionaires of this continent for free. I wish hii elimu tungepewa kuanzia Shule za msingi, secondary etc kama core subject/course. Asee acha Mungu aitwe Mungu. Hakika natazidi kukuombea kwa Mungu azidi kukupa Afya njema na Moyo wa kusaidia watu bureee, Sirjeff. I can't thank you enough brother. But I will keep on praying for you so that everything you wish for us is accomplished smoothly. Amen.
Mkuu vijana wote watanzania tungekua tunatoa povu positive namna hii hakika tungekua mbali sana. Everybody who think of commenting to our mentor channel (sirjeff Denis) should learn from this post from our hero NICHODEMUS MASUZU
1. Take Responsibility 2. Change sand to gold ⏳ BE OPPORTUNISTIC 3. Fight to improve your Knowledge & Skills (I.E leverage the internet) 4. Solve problems 5. Scale or Expand 6. Usibweteke (Stay Humble) 7. Diversify (avg, Billionaire has more than 7 streams of income)
Bro Jeff nakuchukuliaga poa sana kule twita, ninawiki moja sasa nafatilia your channel aiseee, kunavitu navipata mpaka mwili unasisimka na najiuliza why sikukujua kabla daah Bro nakuahidi ipo siku tutakutana mi na wewe meza moja natuzungumzie kuhusu kilimo. Na unaongea vitu kwa uchungu kututaka vijana wote Africa tuwe matajiri. Asante sana aisee.
Bro nakuelewa sana na ninakufuatilia sana Nakuombea mungu azidi kukuwekea maarifa ya ziada ili uzidi kutupa maarifa hayo sisi vijana na sasa na ata kwa watoto wetu hapo baadaye waweze kuyatumia kuendesha maisha yao na kujitengenezea kipato cha kutosha
Thanks brother kwa maarifa nyeti,ombi langu nikwamba watu wamekufanya usifundishe forex lakini pia wako watu wema wanahaika sana juu ya forex, watu wanahitaji msaada wako kwenye forex.Mimi binafsi nafahamu changamoto za kufundisha forex.
I suggest you put subtitles in your videos please. I am from Rwanda i understand Swahili ila inanipa Shida kushare your videos with my people watahitaji translation na sitaweza ku translate kwa kila mtu. Asante
Asante sana kwa elimu utupayo Jeff,mda mwingine waweza tembea pekeako ila mda mwingine kuwa na watu katikati yako n nzur BROTHER, CAN YOU BE MY MENTOR,Kuna vingi nataka kujifunza kuhusu ufugaji please
Napambana sana kuweka vitega uchumi mungu anisaidie pia nimesoma agrekachar kwa hiyo kilimo nakijua vizuri sana ila saaport nashindwa kupata nikimpata mtu wa kunisaport najua nitafika mbali
You are so good. Be blessed. Have you ever thought of investing the knowledge you have to university students may be through semminars or any other way?
asee bro..unabadilisha maisha ya vijana sana.tunafungwa na mengi sana + usomaji wa vitabu.but kunasababu nyingi za kuwa matajiri na kujikwamua kiuchumi.
Wahindi hawakuja miaka ya 1950, angalia Historia vizuri. Wahindi waliotajirika hivi sasa ni wale waliokuwapo kabla hata ya uhuru wa Tanganyika, na walikuwa kama watumwa walioletwa na Waingereza kutoka India kwa ajili ya kazi za Ujenzi wa reli!
Hivi Wewe ni kijana wa aina gani? Wa wapi? Ngoja leo nikutolee uvivu.
Kuna watu wamejaliwa maarifa kidogo au pesa kidogo lakin hawezi kufundisha wengine bure Kama unavyofanya. Yaani wangeandaa semina au vipindi vya watu kulipia ndipo wawafundishe haya. Lakini wewe you are so humble, self motivated, and devoted to serve/educate the future billionaires of this continent for free.
I wish hii elimu tungepewa kuanzia Shule za msingi, secondary etc kama core subject/course.
Asee acha Mungu aitwe Mungu. Hakika natazidi kukuombea kwa Mungu azidi kukupa Afya njema na Moyo wa kusaidia watu bureee, Sirjeff.
I can't thank you enough brother. But I will keep on praying for you so that everything you wish for us is accomplished smoothly.
Amen.
Mkuu vijana wote watanzania tungekua tunatoa povu positive namna hii hakika tungekua mbali sana.
Everybody who think of commenting to our mentor channel (sirjeff Denis) should learn from this post from our hero NICHODEMUS MASUZU
😁
Amen
Ww una upeo mdogo saana ila tu una idea 💡 ila kila jambo ingia then ulijue na kuleta content sio unaongea tuuu km unahara vile
Amen!!
Nakukubari sana bro sir jeff Dennis najuta kuchelewa kukufahamu
1. Take Responsibility
2. Change sand to gold ⏳ BE OPPORTUNISTIC
3. Fight to improve your Knowledge & Skills (I.E leverage the internet)
4. Solve problems
5. Scale or Expand
6. Usibweteke (Stay Humble)
7. Diversify (avg, Billionaire has more than 7 streams of income)
Why 🇨🇳 is coming to Africa:
- they have a big population
- they want to extend there political 💪muscle
- cheap labor
- free market
- natural resources
Thanks
Asante kwataarifa lako
Bro Jeff nakuchukuliaga poa sana kule twita, ninawiki moja sasa nafatilia your channel aiseee, kunavitu navipata mpaka mwili unasisimka na najiuliza why sikukujua kabla daah Bro nakuahidi ipo siku tutakutana mi na wewe meza moja natuzungumzie kuhusu kilimo. Na unaongea vitu kwa uchungu kututaka vijana wote Africa tuwe matajiri. Asante sana aisee.
Nakukubali sana mkuu,
Umekuwa mentor Wang kwa mda mrefu Sasa namshukuru Mungu kwa Hilo!!!!
Mungu akubarik akuongeze maisha marefu kwa kuwa saidia watazania wengi
Big up sana brother, tangu nimeanza kufuatilia mafundisho yako...kiukweli nimetoka hatua moja hadi nyngne.. you really changed my mindset bro.
Nilijaribu kuisikiliza kdg nikajikuta naimaliza na natamani iendelee dah!yaan najiona kam nimeshakua tajiri tayari 🙏🏻god bless you bro
Early bird catches the worm🔥🔥🔥tupo hapa mapema kabisa
upo vizur sir jeff bigup najua unasoma sana vitabu..
Umetisha sana
Aisee Asante sana! Your knowledge is helping me out here... May you continue with that Generosity! Lots of Appreciation from Uganda
Jeff come back to UA-cam.
Unakitu cha kipekee Sana umeumbwa na mungu Kwa dhumuni moja Tu kufungua vijana ktk uwezo wao wa kufikiri
Duuunh SirJeff upo vizuri sana. Ngoja vijana wenzangu waje kupata madini hapa.
nimekupenda sana bloo hongera
You are talented and blessed, keep helping others
Tanzania nitajir kwa kuwa na jeff, am proud u in Tanzania umenisaidia San hadi sasa.
ua-cam.com/video/45Bb-irK4bY/v-deo.html
Kaka uko vizuri
Mungu akubariki kwa kutupatia madini adimu sanaa hayaa🤝
Bro nakuelewa sana na ninakufuatilia sana
Nakuombea mungu azidi kukuwekea maarifa ya ziada ili uzidi kutupa maarifa hayo sisi vijana na sasa na ata kwa watoto wetu hapo baadaye waweze kuyatumia kuendesha maisha yao na kujitengenezea kipato cha kutosha
God Bless you Bro
Great knowledge kwetu sisi vijana wenye Nia na shauku ya kuishi kama Mungu alivyokusudia
Brother unaweza
Watching from USA and I love your content.... keep up the great work 👍🏾👍🏾👍🏾
Thanks brother kwa maarifa nyeti,ombi langu nikwamba watu wamekufanya usifundishe forex lakini pia wako watu wema wanahaika sana juu ya forex, watu wanahitaji msaada wako kwenye forex.Mimi binafsi nafahamu changamoto za kufundisha forex.
Aseee broo unajua San congraturation
Uko vizuri Brother👏
Mimi nafurahi sana kwa elimu niliyopata hapa. Ubarikiwe sana naomba mawasiliano yako natamani kujifunza zaidi
Thanks for the good ideas and come on again and again with more ideas that which will help us in business
tunaelimika sana, Mwenyezi Mungu azidi kukuweka Sir Jeff
Ww jamaaa nomaa sanaaa good
Yani wewe kaka mungu akuzidishie kwakweli
safi sana aiseeh
Very fantastic💪💪
I suggest you put subtitles in your videos please. I am from Rwanda i understand Swahili ila inanipa Shida kushare your videos with my people watahitaji translation na sitaweza ku translate kwa kila mtu. Asante
Brother shikamo duh unaweza kaka umetufungua vijana
Jeff big up bro, lots of love from +254
Bro u ar the golden person in my life, mungu akubariki na akujalie uishi miaka mingi nizidi kupata hizi product zako 🙏🙏🙏🙏
Asante sana kwa elimu utupayo Jeff,mda mwingine waweza tembea pekeako ila mda mwingine kuwa na watu katikati yako n nzur BROTHER, CAN YOU BE MY MENTOR,Kuna vingi nataka kujifunza kuhusu ufugaji please
please msaada juu ya ufugaji kaka my contact 0626543328
Napambana sana kuweka vitega uchumi mungu anisaidie pia nimesoma agrekachar kwa hiyo kilimo nakijua vizuri sana ila saaport nashindwa kupata nikimpata mtu wa kunisaport najua nitafika mbali
Man you are really intelligent. thank you so much @sirjeff . I'm trying my best to come to your seminar 👊
Big up bro 👍
blessed in deed brother, you are so good, for your underful education🙏
Mafundisho mazuri,ila kuyaishi ni kuamua ,thank U
Be blessed man.... Habari njema asubuhi kuiingiza kichwani
Great one bro
If is not on your mind, won’t get into your pocket! Thanks sir! Bless up!!
great congratulations brother for your education speech
Brother unatufungua akili vijana Mungu akupe maisha marefu
Nakushukuru sana Sir Jeff kwa elimu yako
Umeongea pwenti sana kaka
@sirjeff
Mwamba hii imekaa poa sana, ipo vzuri.
KWA KWELI WEWE NI BARAKA SANA KWA WATU WANAOPENDA MAENDELEO
Imekaa poa sana👏
Well speak Jeff, kila nikikusikiliza I gain something new be blessed
Thx Jeff,sema unaongea San mwshon nd unaend kwny point
mungu azidi kukupa hekima kaka 👏👍
Very important content ever talked with him. 👌 We should have to take steps!! #Every_thing_is_possible...🙏
Am so excited to see this video.
ua-cam.com/video/45Bb-irK4bY/v-deo.html
You are so good. Be blessed.
Have you ever thought of investing the knowledge you have to university students may be through semminars or any other way?
Enternal life is for forever for enterrnity 2020
Big up
Umelikomboa taifa bro
Be blessed
Ahsante kwa elimu nzuri hii
Mengine yote, uko vizuri sana, Big up sana kwa kweli.
The drive the drive, bro katoa madini let's find the drive and act upon our desires we will surely prosper
asee bro..unabadilisha maisha ya vijana sana.tunafungwa na mengi sana + usomaji wa vitabu.but kunasababu nyingi za kuwa matajiri na kujikwamua kiuchumi.
Wise bro
Wahindi hawakuja miaka ya 1950, angalia Historia vizuri. Wahindi waliotajirika hivi sasa ni wale waliokuwapo kabla hata ya uhuru wa Tanganyika, na walikuwa kama watumwa walioletwa na Waingereza kutoka India kwa ajili ya kazi za Ujenzi wa reli!
SUMMARY
steps 7 za kuweza kutengeneza utajiri katika nchi maskini
1.Take responsibility
2.Badili udongo kua dhahabu
3.Tafuta maarifa
4.Tatua changamoto
5.Scaling
6.Usibweteke
7.Diversify
Asante
Jaman me nna biashar ya dagaa nyama npo mbagala nauza jumla nfnya derivary ntafta ma boss
Kaka nakukubal sana nataka nianze I promise you
It him again broo... Tenx i just think juu ya elimu unazotowaa 🙏
Great
Dude, you are one of the people with very valuable contents. A million dollar contents.👌🏽
Vijana tunakusikiliza bro
#Go bro
Jmn ule muendelezo wa forex sirjeff mbona ametukatisha n week mbil sas what's wrong?
Ama kama tunataka mentorship tunachukuwa procedures gan
@@farhanhussain7860 ingia kwenye instagram yake utkuta maelekezo
Best school
Nice bro
Thanks for gain
Gud Knowledge
Kaka wee ni mhimu kwangu🙏🙏🙏 your like donlock
Wewe mwenyewe umekua tajiri
Nakubar sana 💅💅💅
Asante kaka kwaushauri
Hivi huyu mwambaaa saiv yupo wap jamn
Hii elimu unayo Tupa bro hii ni fursa kabisa God bless you uishi miaka mingi
Thx a lot
Nice bro nakufuatiria sana
Kaka bless up bless up kaka
aisee brother, hii content imekaa vizur sana.Asante sana
Golden boy appreciate Sir Jeff
Sijutiii kusubscribe hiii Chanel alot of mineral nwanangu unatoa Tena for free dah God bless you bro
Nice
Makini sana
🔥🔥🔥🔥Hujawahi kukosea Bro!
ua-cam.com/video/45Bb-irK4bY/v-deo.html
Nafikiri nimepata mentor mwingine in financial stuff. Thank you i learn, and enjoy this.
Nakubali
kubadili udongo kuwa dhahabu hapo iko sawa
great
Nikweli kabisa😊😊