you got to have a do or die mentality to make it out in the forex markets kijana ni muda sasa wa ku badilisha mitazamo yetu ya kiuchumii nakuipa nafasi hali ya utandawazi kutufanyia kazi na kutufungulia milango ya mafanikio God bless TZ traders
Psychology ( emotions), Good prediction of the markert na Good risk taker ( RM) yako kwenye game ndo itafanya forex iwe ngumu au rahisi kwako. It's very tough game kama huna roho nyepesi ❤
This man he is true trust him nimetok nae chuo kimoja nakumbuka mambo mengi tuliyokuwa tunasaidiana ila AMRISAY yale maisha ya chuo basi tu 😂😂😂INTELLIGENCE FX.
As a beginner, it's essential for you to have a mentor that is verified by finra and SEC to keep you accountable. I'm guided by a widely known crypto consultant.
Kufunza watu namna yakufanya biashara ya forest ndio inawalipa(couching)..kitu kikubwa huwa wana elimu na uzoefu wakuweza kuingiza pesa kwa muendelezo ila sio pesa nyingi kama mnavyodhani.. pesa nyingi huwa wanakuja kuzipata kwenye classes za kufundisha watu.
Mtu anaye jua forex vizuri naomba anifundishe please niondokane na huu UMASKINI even if itachukuwa miaka 3 but cha msingi nisome kwanza coz Consistency is the key 🙏🏿
Hadithi ya Amri IFX ni ushuhuda wa nguvu ya uchumi wa mtandaoni, jambo ambalo sisi ni wenye shauku nalo kwenye Make Your Own Destiny Podcast. Tunajadili kila kitu kuhusu pesa, biashara, na mikakati ya kufanikiwa katika enzi hii ya kidijitali. Kama ulivutiwa na hadithi ya Amri na unatafuta maarifa zaidi kuhusu uhuru wa kifedha, podcast yetu inaweza kukupa mitazamo ya thamani.
@@fanfilms2025Soma Sana, ingia UA-cam mtafute the inner circle trader ICT utanishukuru...Alafu achana na live account, nunua evaluation challenge kwenye prop firm.
Alijufunza forex kwa mda gn na alianza kwa mtaji wa shngp lkn pia 2naweza vip kumfikia kwa haraka pale tunapokuwa 2mekwama na tunaitaj elimu juu ya forex
Exactly Ndio Maana Jamaa Kaelezea Vizuri Sana Na Kausema Kwamba Hata Yeye Huwa Hamshiwishi Mtu Ku-join Ila Ukiwa Tayari Basi Sharti Uwe Tayari Kujifunza Yaani Jipe Muda 💯📌📌
Nashangaaa watu wanasema FOREX ngumu ila wana sahau cryptocurrencies kam BITCOIN ambayo moja ni 130M tzs na ethereum 1 ni $2,667 usd yeni kule ndo sio pw market ni high volatile yeni risk balaaaa !
Intelligence fx nina miezi7 nawafatilia mko vzuri na Mungu aendelee kuwaongoza pengine mkawa kioo cha nchi hii tano bora kwa hapa bongo mmo kwa hapa ndani namaanisha📈📉
@@daviddonatus8121atupe mfano anapo Taja risk management skills aseme mfano ukianza na mtaji wa $10 basi risk dola flani ukipata dollar flani Ndy iwe targets yako funga toka sokoni. Watu Wana ingia FX ila hatuelewi tu risk ngapi ili tupate ngapi na kwa mtaji flani.
One thing about any money is how you monitoring your money and keep it consistent not to loose but increase it. We call it success
Mpaka niomoke na forex inshallah
Nimependa The Way Anavyojibu Kwa Utulivu Na Anaelezea Vizuri Sana Yaani Mtu Unamuelewa BIG SANA 🙌💪💪
you got to have a do or die mentality to make it out in the forex markets kijana ni muda sasa wa ku badilisha mitazamo yetu ya kiuchumii nakuipa nafasi hali ya utandawazi kutufanyia kazi na kutufungulia milango ya mafanikio God bless TZ traders
KABISA
🙏
Forex easy kikubwa knowledge patient na discipline una win
Kaka nifundishe basi hii biashara natamani sana kujifunza
Very clear responses from a very hardworking guy
Psychology ( emotions), Good prediction of the markert na Good risk taker ( RM) yako kwenye game ndo itafanya forex iwe ngumu au rahisi kwako. It's very tough game kama huna roho nyepesi ❤
ata uwe kwenye game 20 years bado forex itakua ngumu tu, forex sio skill ya kusomea ni gambling
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kuma la mbwa @@geoffreyengatkinson
😂😂 unachekesha ww @@geoffreyengatkinson
Bro yupo vizuri katika ku explain nimekuelewa
This man he is true trust him nimetok nae chuo kimoja nakumbuka mambo mengi tuliyokuwa tunasaidiana ila AMRISAY yale maisha ya chuo basi tu 😂😂😂INTELLIGENCE FX.
Check our channel for free forex training
😂😂 back to intelligence
I love the information and analysis you put out here, How do I invest in a profitable crypto market?
As a beginner, it's essential for you to have a mentor that is verified by finra and SEC to keep you accountable. I'm guided by a widely known crypto consultant.
She is Miss.Vozili Liam
WOW!!! You know her too? I'm also a proud beneficiary of her platform.
this is serious, never knew miss vozili is now this well known thought i was the only one enjoying this amazing talent.
The fact that I got to learn and earn from her program is everything to me think about it, it's a win-win for both ways.
Kufunza watu namna yakufanya biashara ya forest ndio inawalipa(couching)..kitu kikubwa huwa wana elimu na uzoefu wakuweza kuingiza pesa kwa muendelezo ila sio pesa nyingi kama mnavyodhani.. pesa nyingi huwa wanakuja kuzipata kwenye classes za kufundisha watu.
😁😁😁
Una akili nyingi sana kama kweli wanauwezo wa kupata pesa kwenye forex kwanini bguvu kubwa wanaitumia kufundisha na sio kufanya forex 😂😂😂
Ni kweli
Forest? duuh
Umeongea ujinga sana....hakikisha ukiwa unaongelea kitu uwe umeshakifwatilia siyo unaropoka tuuh kaka
there is no easy money, invest in skills is key 🔥🔥
Mtu anaye jua forex vizuri naomba anifundishe please niondokane na huu UMASKINI even if itachukuwa miaka 3 but cha msingi nisome kwanza coz Consistency is the key 🙏🏿
Nenda intelligence fx
kijana inaweza kukuchukua miaka hata mitano😂😂😂
Check our channel for free forex training
Karibu...nipo hapa
Kweli??!!
Hadithi ya Amri IFX ni ushuhuda wa nguvu ya uchumi wa mtandaoni, jambo ambalo sisi ni wenye shauku nalo kwenye Make Your Own Destiny Podcast. Tunajadili kila kitu kuhusu pesa, biashara, na mikakati ya kufanikiwa katika enzi hii ya kidijitali. Kama ulivutiwa na hadithi ya Amri na unatafuta maarifa zaidi kuhusu uhuru wa kifedha, podcast yetu inaweza kukupa mitazamo ya thamani.
Podcast yako ipo kwenye platform zipi?
Bora ni weke mkea powabet. Maana Nina uhakika. Hawa wezi
@@daudhabona8897 weka mikeka tu mzee hii ligi huiwezi... Hakuna biashara ya Buku buku hapa
@@SALIMMpimbi-e6o UA-cam @makeyourowndestiny
Ninawapataje Ili nipate elimu zaid
Amrsaly na Ahmed frm Nigeria nawaeleaa Sana hawa vijana 🎉
mfatilie na kojo forex from naija pia... u wont regret
Always you talk smart and truth @amrisaly, big man amri
Jamaa yupo real sana
Kama hauna kazi husi-trade forex,tafuka kazi huku ukijifunza forex,ukishakuwa masta acha kazi kafanye forex
Yap meeen
Forex ni skills to make money not a JOB
@@Calvin_lema forex sio skill ni gambling, infact ukiwa retail hautrade hata fx market haipo kwenu
Unakosea sana
@@sirbussongo4490 hahaha shida nn
Appreciate sanaaa❤
AMRISALY kaongea vizuri na uhalisia wa forex
YAAP
Naomba utupatie mawasiliano ya mwamba
Iko poa sana 👏
Check our channel for free forex training
Podcast nzuri Lakin I wish Tupate Host anaejua Forex Hata Kidogo Tyu
sure kabisa, kama host wa south Africa wanajua kabisa wanachouliza
@@IMANWILLIAM-bl2ui yeah ni professional trader kuhojiwa na Mtu hajui Hata candlestick ni nn Kidogo Sio sawa
🤣🤣🤣🤣@@alamanomsungu9556
wanaojua forex ni hedge funds anaything apart from that ni gambling na haina uhusiano na forex
Me naijua vizuri tuh tena kiundani 🙂🫶🏽
Naomba niunganishe na Amri bro
This is nice I learn something good
Na namna gan mtu anaweza kudepost ela kwenye forex
Ana jiita aje kwa social media
amrisaly
nmependa hii speech
Huyo ndo Amr bwanaa 🔥
Check our channel for free forex training
Fx ngumu jamani bila kufungua jicho la 3 utoboi lazima utenge muda na miaka 5 zaidi kulifungua
Hapan 6 months is enough
Check our channel for free forex training
Sio kweli unaweza tumia miaka mitano na usitoboe na unaweza kutumia miezi mitatu na ukawa professional Trader
Mwaka mmoja unatosha kua guru kwenye forex
😂😂😂 we jamaa upo serious kwel@@SuleimanKhamis-u9h
brother ameiva, noma sana
Ndo ukapigwe huko.
😂😂😂😂😂😂@@barbarasara4033
Tangu march 2023 najifunza fx na sijaanza Kupata profit Bado nachoma akaunt
Tupo pamoja 😅
@@fanfilms2025 😄fx ngumu asikwambie mtu! Sijakata tamaa..🙏
@@fanfilms2025Soma Sana, ingia UA-cam mtafute the inner circle trader ICT utanishukuru...Alafu achana na live account, nunua evaluation challenge kwenye prop firm.
Usikate tamaa.mm mwaka4 ndio mavuno nayaona
ukijifunza forex unatumia demo account chief ukishajua ndo unatumia real account
Half man sijui amazing yani nivituko hiyo kitu wala haikupendezi wala haikufai
Natamani sana kujua kufanya hii kazi ninaisikia sana yaan..lakin napenda sana kuijua natamani kupata mtu anifundishe
Kwa mbali sana anafanana na Patrick Kanumba.
😂 ndo umeona
Tunaomba atupe sehm sahihi ya kupt maalif pia app tunayowez kutumia
I want party 2 to know well to be get more knowledge 🙏
Alijufunza forex kwa mda gn na alianza kwa mtaji wa shngp lkn pia 2naweza vip kumfikia kwa haraka pale tunapokuwa 2mekwama na tunaitaj elimu juu ya forex
I want party 2 to know well to be get more knowledge
Appreciate
Forex siy biashara rahisi kam gisi watu wanavyozani ,inawez ikachukuw hata myaka 2 had 5 ili uw successful forex trader
Exactly Ndio Maana Jamaa Kaelezea Vizuri Sana Na Kausema Kwamba Hata Yeye Huwa Hamshiwishi Mtu Ku-join Ila Ukiwa Tayari Basi Sharti Uwe Tayari Kujifunza Yaani Jipe Muda 💯📌📌
Tc matter of time vijana wengi watajifunza fx
Kaka amrisaly shkuran sana
Amrisaly umeongea vyema. Maarifa ndo msingi mkubwa wa kufanikiwa katika biashara hii.
Amr hujawahi zingua
Am proud to be a trader
Realest 🐐@amrisaly
Patience
Clear 🤞🏿
FOREX biashara nzur sana
Intelligence fx ni 💥💥
Trading ni nzuri ila ujitoe❤
My mentor
What is her name's I search on his platform
Intelligence FX 💯
Forex ukifanya manually utapata hasara kilaa sikuu ndo mana tunafanya automatic kwa kutumiaa robot
Good
Seen
Kuna kitu chaitwa, Binance 🔥
Tunaomb tujue makampun na appy tunayowez kutumia pia sehm sahh ya kupt maalif
inteligence fx app
Very real
Tje Goat himself 🔥🔥🔥
Good😊
Nitajifuzaje kujuwa forex
Lilomy hajui kuinterview mtu hajamaliza kujibu swali asha interrupt
Kanogewa
Kamuoji wew
Nikitaka kukutana na amri niongee nae what should I actually do
🔥🔥🔥🔥
Tunaomba utuletee liqudator kaka atupe story
utamtoa wapi yule jamaa amna anaejua sura yake!!😂😂😂... kwanza sidhan kama now yupo TZ.. anakula sana bata yule
Nashangaaa watu wanasema FOREX ngumu ila wana sahau cryptocurrencies kam BITCOIN ambayo moja ni 130M tzs na ethereum 1 ni $2,667 usd yeni kule ndo sio pw market ni high volatile yeni risk balaaaa !
bitcoin ipo kwenye sector ya forex pia ujue
Naomba msaada, km umepata faida, m nmepoteza san ela
Kwenye swala la kwanini kufundisha kwa pesa watu wabaki na msemo kwamba "there is no such thinh as something for nothing" bas
KARIBU MINAFUNDISHA BURE KBSAA NO COST
@@Calvin_lema nnaijua biashara vema asante chief
@@emmanuellwinga5686 ni vyema
Kama una taka jifunza Forex nitafute ila uwe tayari kujifunza kwa muda hakuna short cut.
UWE NA LAPTOP NA MTAJI KAMA LAKI 3.
Acha utapeli
@@alamanomsungu9556😂😂😂😂
Laki tatu kaka 😂😂😂
Dooh! ndo scammers wenyewe nyie mtu hajui alaf aje na mtaji tena? Fundisha mtu kwanza ajue ajipe miez mitatu then ndo aguswe kutafta mtaji atrade
😂😂😂ata mtu hajajua forex ni nini tayar aje na mtaji😂😂😂
Ni Kweli Kabisaa Vitu Avyosema Hasa Hapo Kwenye Kujifunza Vijana Wengine Huwa Hawataki Kujifunza Wanataka Tu Pesa Za Chap Chap Ndio Wanapigwa 😂
Imekaaa poa sana
watu wa forex jifunzeni binary Option trading, Tembeleeni channel ya Tanzanian Trader
Mimi na hitaji broker
hi
We jifunze forex hata miaka laki 8 lakini kama hujaizoea pesa, narudia tena kama HUJAIZOEA PESA huwezi ku trade forex NEVAAAAAAAA
Nakubali Iddy 😂
hahhaahhaa Forex is life
Kuizoea pesa kvp
@@hermanjoshua6224 kwamba unaweza kupata na unaweza kukosa... So wenge huna. Kichwa kimetulia
Oi iddy mnyama kuizoea pesa kvp?
Intelligence fx nina miezi7 nawafatilia mko vzuri na Mungu aendelee kuwaongoza pengine mkawa kioo cha nchi hii tano bora kwa hapa bongo mmo kwa hapa ndani namaanisha📈📉
Izi vitu watu wanalia wanakuwa masiki hakunaga hela rahisi
hahaha anavoelezea watu watajitupa uko
Podcast ilikuwa kali sana ila adds nyingi sana try to manage brother zisiwe nyingi sana
Adds ndo zinafanya alipwe,haez kataa
It's not about get rich quick
Mbona CreptoCurrency😂😂
Madarasa ya online yapo mzee
Mim natak kujifunza forex
Can i do forex without brokers.
No
Amrisal kaamua kuwaambia tu ukwelii no short cut
🎉🎉🎉
Inshallah
Tickmil hazingui
🎉🎉🎉🎉
Kila kitu ni uvumilivu
Mbona concept rahisi sana ila Bro kaielezea kigumu……?!
What broker do u ,use bro am having difficulties with most brokers who link themselves with Tanzania, am just a currency, indicies day trader
Exness
Check our channel for free forex training
Pepperstone
how long have tou use this broker , and what experiance do you have upon good and uggly
Dont use Exness. Atleast Tickmill or Pepperstone.
Oiiiiiiiiii
Bist of forex
mwamba anauliza maswali ambayo sio sahihi hata kidogo, kunauhitaji wa kua na host wa podcast anaejua forex au trading
Sema mtangazaji kauliza maswali marahisi kabisa ila hakuingia na kuhoji kiundanin
huezi mpata huyo mtu, forex inafanywa na hedge funds anything outside that ni utapeli
@@daviddonatus8121atupe mfano anapo Taja risk management skills aseme mfano ukianza na mtaji wa $10 basi risk dola flani ukipata dollar flani Ndy iwe targets yako funga toka sokoni. Watu Wana ingia FX ila hatuelewi tu risk ngapi ili tupate ngapi na kwa mtaji flani.
Huyo tapeli shauri yenu alipita na dollar 100 zangu
Acha uongo wewe tutakuaminije Tako kabsa wewe acha kupotosha vijana km hujui au huelewi kalale
Amini anachokisema real traders never promote forex. They make money in silence
@@fxmeddy9567sio kweliii ni akili za kimaskini izo na uchoyo, nimeona wengi sana wanafundisha ili tutoke kwenye umaskini. baki hapo
Forex forever
Which app is the best?
Nili tapeliwa 100000...sto sahau
ka laki tu mwanngu
NANI ALIKUTAPELI KAKA TUJUEE
👊🏾👊🏾👽
Forex is legit you people.
Ukiona kitu chochote unaambiwa uje ufundishwe means wanachofanya hakilipi ila kufundisha Ndo kuna lipa. Wamshapigwa watu kibao