CHEKECHE | Mzozo wa Rwanda na DRC ni mtihani kwa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 чер 2022

КОМЕНТАРІ • 46

  • @higirodenis4330
    @higirodenis4330 2 роки тому +1

    Ndugu mtangazaji, nafikiri hiri swala la sintoelewa kati ya Congo na Rwanda ni DRC kutotiria maanani kujua historia na geographia , aitha kwa kupuuzia au kutofahamu. Wa Congoman wanaozungumza kinyarwanda wamekuwa DRC kwa sababu ya ukoroni kukata mipaka myaka ya 1895 na 1905

  • @bachokekitumaini7535
    @bachokekitumaini7535 2 роки тому +1

    Wanapenda tu vitu vya wizi ya Mali ya congo,kagame ni mwizi

  • @kyengyesango5523
    @kyengyesango5523 2 роки тому +1

    Mzozo Huu hautaisha kwasababu hata wa tangazaji hamutaki Ku sema ukweli.tatizo ni KAGAME anatumikishwa Na wazungu ili wapore Mali ya mashariki mwa Congo bila kulipa Kodi.

    • @johnrutagonya9020
      @johnrutagonya9020 2 роки тому

      Nje ya hayo madini....haki ya watusi wa Congo kila kukicha wanaonekana si wa Congo je haki yao ya uraia unaiweka wapi

  • @muhindominsori3728
    @muhindominsori3728 2 роки тому +1

    Wakongo hawawatengi watusi tatizo ni kwamba kupitia hao kagame na mabeberu wanashambulia nakuiba madini.

  • @higirodenis4330
    @higirodenis4330 2 роки тому +1

    Mbona hatujasikia Tanzania na Kenya wanazozana kwa sababu ya makabila ya Masai na waluo waliopo pande zote mbili au wasomali waliopo Kenya na Somalia n.k nafikiri DRC inapuuzia makusudi. M23 wanahaki wanayo pigania

    • @christianosimba6083
      @christianosimba6083 2 роки тому

      Tanzania na kenya tunajielewa ndomana atugombani

    • @omkalo4
      @omkalo4 2 роки тому

      Ni kwasababu tutsi elites, hasa, ya Rwanda, ilikubali kua mercenaries wa ma beberu katika strategies za kudhoofisha Congo, ili isiwe ngumu kuibia mali ya madini na vingine.
      M23, CNDP, RCD, FRF, Gumino, etc vyote ni vikundi vinavyo undwa na Rwanda, huku Rwanda nayo ikisapotiwa na kampuni za ma beberu wa marekani, uingereza, and so on ili kudhoofisha Congo na kujipenyeza katika jeshi na vyombo vya serikali ya Congo.

  • @justinklins335
    @justinklins335 Рік тому

    Congo itapata amani kagame museveni wakufe amani itakuwa

  • @abdullahjuma3926
    @abdullahjuma3926 Рік тому

    Tatizo ni Mali tu hakuna ugomvi hapo wenyewe wanajua.
    Mwambieni Kagame amalize huyo. Uhuru Kenyatta amemaliza mda bado museveni.
    Ni uroho tu hakuna vita hapo

  • @peterrulagora7403
    @peterrulagora7403 2 роки тому

    Huyu mchambuzi hajui vzr mgogoro wa mashariki ya Kongo😄😂🤣

  • @mugangaeliezel3386
    @mugangaeliezel3386 Рік тому

    Watutsi huko Kongo wanabaguliwa

  • @higirodenis4330
    @higirodenis4330 2 роки тому

    Raia wanaozungumza kinyarwanda, kwa hari hiyo hiyo ya mipaka iriyo wekwa na wakoroni bila kujari aridhi ya asili ,utakuta wanaozungumza kinyarwanda huko Uganda sehemu za kisoro na Ankole. Mbona Uganda inawatambua kama waganda wenye asili ya Rwanda

  • @uwayomisago5694
    @uwayomisago5694 Рік тому

    True huu jama anasema ukweli m23 inapingania haki

  • @nyembomajidi3027
    @nyembomajidi3027 2 роки тому +1

    nyinyi wachambuzi acheni kumumunya maneno sehemu kuna ukweli usemwe sio kudanganya raia mzee wetu nimchokozi hana mfano lakuiga huwezi mlinganisha na nyerere, lumumba, toma sakara, Mandela, anaungozi wakufitinisha watu akifariki kabila lake itaonyeshewa vidolo kila pepe zafrica, alikorofiana na Tanzania tena burundi na uganda mwisho congo, hiyo historia anataka kuandikisha Africa eti yeye ni mbabe asisahau kifo, mobutu yuko wapi albhashir yuko wapi kadhafi yuko wapi ni wengineo wazungu wakisha kutumikisha wanakutapika.

    • @alkebulanb5929
      @alkebulanb5929 Рік тому

      Umeongea point moja kubwa ila umenikosea kidogo pale umetaja kuwa Gaddafi alitumiwa :.

  • @bachokekitumaini7535
    @bachokekitumaini7535 2 роки тому

    Hawawezi tena,Ile yaMobutu vilification Waconia wameungana sasa

  • @justinklins335
    @justinklins335 Рік тому

    Kongo inakufa maliyake mutiwenye matunda zoweya mawe congo ju yamandini ndovita

  • @lukangyela8347
    @lukangyela8347 2 роки тому

    Uyo mzee ajui chochote unaogopa rais wa rwanda. Wele ni wakimbizi tu.

  • @superwarema2309
    @superwarema2309 Рік тому

    Huyu mzee mchambuzi Abdulkarim Atiki Azam TV mmemtoa wapi?? hahaha.

  • @lukangyela8347
    @lukangyela8347 2 роки тому

    Mnaongea msicho kijua.familia zenu zingekua pale mngeongea vizuri.
    Kongo kagame anajifanya anaendesha kongo. Kwa mnasahau kua kongo inamajerani 9.

  • @herywilly8598
    @herywilly8598 2 роки тому

    Hatutohacha vita Sisi n'a wanyarwada ikiwa hawajahondoa wanyarwada mu kongo

  • @abduladinane5060
    @abduladinane5060 2 роки тому

    Da pale

  • @abdalahkumbota1012
    @abdalahkumbota1012 2 роки тому

    Kagame tatizo vita

  • @mapesain
    @mapesain 2 роки тому

    Aya mambo yana Tengenezwa.

    • @houseofjudah7470
      @houseofjudah7470 2 роки тому

      *NI JINSIA GANI YA KUSABABISHA NJAA MAZIWA MAKUU = JIBU NI VITA*
      Vita itasasabisha njaa kuu, na kupelekea vifo vingi.

  • @lumwangaebuela2469
    @lumwangaebuela2469 2 роки тому

    Kama ahujuwiahujuwi mzee sio hivyo ahuja gusa sababu yavita yacongo

  • @sogadariwafunuwaji1408
    @sogadariwafunuwaji1408 Рік тому

    Mnafiki ww

  • @bachokekitumaini7535
    @bachokekitumaini7535 2 роки тому

    Mtachoka na vita tu,wa congomani hawana watusi,watusi wako rwanda,Rwanda, burundi,uganda,Uganda, wagomani ni wengi nawapendana sana,nahayo makundi yameundwa na Familia ya kabila mzee mtoto ,

  • @peterjohnson167
    @peterjohnson167 2 роки тому +1

    Wasio juwa ukweli kuusu hali ilioko huko mashariki mwa Kongo. Swali nchi gani ya Afrika mashariki ambayo Paul Kagame wa Rwanda haja zozana nayo? Rwanda imekuwa na ugomvi na Tanzania kwa awamu ya 4 KIKWETE. Rwanda na Uganda ugomvi, Rwanda ugomvi na Burundi, nchi ambayo haijawai kuwa na mgogoro na Rwanda ni Kenya na Sudan ya kusini. Ukweli Paul Kagame anatatizo.

    • @barakafizitv2632
      @barakafizitv2632 2 роки тому

      Asante sana👍ukweli uliofichwa

    • @kulwalucas8848
      @kulwalucas8848 2 роки тому

      👍

    • @nyembomajidi3027
      @nyembomajidi3027 2 роки тому

      wewe ndo ungeulizwa hiyo swali kwanini mzozo unaendelea, mi sipendi kuona watu wanakuwa madui na lakini kwakila moyo mwawatu sio vizuri mzee wetu kagame asisahau kuna kifo.

  • @habimanajeanpierre2876
    @habimanajeanpierre2876 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣🤔🤔🤔

  • @muhindominsori3728
    @muhindominsori3728 2 роки тому

    Mzee na wewe unaongea usiyoyajuwa bora unyamaze.

  • @lumwangaebuela2469
    @lumwangaebuela2469 2 роки тому

    Mchambuzi unasema usiyo yajuwa you're totally wrong

  • @sebastienkatwali5603
    @sebastienkatwali5603 2 роки тому

    Acha kuonge mavi wewe unaongeya nini wongo mutu

  • @changingmentality626
    @changingmentality626 2 роки тому +2

    Mzee you are missing the most important points. You have a small brain. Rwanda hata awasaidie hawawezi kamata Congo sababu Congo ni ya wa Congo na siyo ya wanyarwanda

    • @johnrutagonya9020
      @johnrutagonya9020 2 роки тому

      Bila hao, Mobutu angeendelea kutawala .....hivyo maneno yako ni yanepitwa na wakati, wao waliisha ikamata

    • @changingmentality626
      @changingmentality626 Рік тому

      @@johnrutagonya9020 mbona Kagame na museveni wametawala miaka mingi. Nao inaomba watoke kama vile Mobutu alitokaka. Ndiyo?

  • @muhindominsori3728
    @muhindominsori3728 2 роки тому

    Huyu anatetea ndugu zake,wanaofanya mauaji congo ni wanajeshi wa Rwanda na misheni yao ni kuitawala africa ya kati.