Ahmed Ally afunguka mashine tatu watakazotangaza leo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лип 2024
  • Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amefungua ‘code’ za wachezaji watatu ambao watawatangaza leo.
    Mmoja ni mashine mtoa roho ambaye ni kiungo mkabaji anayetokea katika nchi iliyopo kati ya Afrika Magharibi na Afrika Kaskazini.
    Mwingine ni mashine katili ambaye ni kiungo mchezeshaji atakayetambulishwa saa 12:00 jioni na baadae usiku watatambulisha mwingine.
    Ahmed amezungumza na mtangazaji Mahmoud Zubeir kwa njia ya #WhatsAppCall kupitia kipindi cha #SportsAM
    #SimbaSC #SportsAM #AhmedAlly
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 92

  • @mr_kajomba_og5719
    @mr_kajomba_og5719 6 днів тому +4

    Mashine za kazi

  • @mwanaishamasoud
    @mwanaishamasoud 6 днів тому +3

    semaji mungu akuweke baba

  • @youngsir5809
    @youngsir5809 6 днів тому +3

    Hapo safi, namba 6 na 8 🔥

  • @RichardWema
    @RichardWema 6 днів тому +2

    Simba ya mwaka huu ni moto❤

  • @mwalimulucas3522
    @mwalimulucas3522 6 днів тому +5

    Mashine ya kuongea

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 6 днів тому +2

    SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @asanterabimunuo5855
    @asanterabimunuo5855 6 днів тому +3

    😂😂😂 daaaah semaje una Tisha mkuu

  • @bestman8182
    @bestman8182 6 днів тому +3

    Kitu cha maana kingine mlikchofanya ni kutambulisha bench la ufundi mapema sio kocha anakuja wakati ligi imeanza anaishia kujaribisha wachezaj kwenye mechi za ushindani

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 5 днів тому +1

      @@bestman8182 kaka wambie kocha apewe muda wa kusuka timu kwanza .... Sio kafumuliwa 3 mnaanza kutukana 🤣🤣🤣

  • @user-oq6to7pf2u
    @user-oq6to7pf2u 6 днів тому +2

    ahamed ally upo sahihi sana

  • @alitante4279
    @alitante4279 6 днів тому +3

    Augustine okajepha huyo mi mashine vbya mnoo

  • @suleimankhamis2771
    @suleimankhamis2771 6 днів тому +8

    Simba kama simba semaji kama semaji 😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @MarryCharles-rc6ei
    @MarryCharles-rc6ei 6 днів тому +1

    Thank you ya jobe lini

  • @SurusiPatrick
    @SurusiPatrick 6 днів тому +4

    semaji huna baya

  • @ZakariaSimon-gp1gr
    @ZakariaSimon-gp1gr 6 днів тому +1

    ❤❤❤❤ semaji km nakuona Simba day

  • @billalicool9430
    @billalicool9430 6 днів тому +1

    Someni Dua Kuwalinda Wachezaji na Benchi la Ufundi mahasidi ni wengi

  • @fatumahassan8425
    @fatumahassan8425 5 днів тому

    Semaji dua muhm wachezaji muwazindke someni dua

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 6 днів тому +1

    Engineer Hersi anawaloga sana wachezaji wetu ni mshenzi sana anaamini ushirikina Ili mambo yake yaende

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 5 днів тому +1

      @@thehustlerafrica4368 mnajiroga wenyewe sasa unamuacha top scorer wa club yako anaekupa 10 + Kila msimu Kisha unaenda kumchukua Omar Omar kweli ? Unamleta manzoki 🤣 kwenye mkutano mkuu Kisha uwanjani wakamkuta sawadogo kweli mnarogwa nyie au mnajiroga ? Mna game na alhy Cairo mnaenda kuifadhili interview ya mayele mpo serious kweli nyiee ?? Wenzenu wanasajili nyie mmekazana drama tumemteka namba 6 airport 🤣🤣🤣, nyie ndo mnajiroga ... Unamuacha Baleke Unamleta jobe kweli kabisaaa??? Una muuza Inonga Unamleta lameck kwel 🤣, usajili wa akina Omar Omar ndo mnapata ujasiri wa kupayuka ???
      1. Dube
      2.chama
      3. Baleke
      4. Boka
      Then unapata ujasiri wa kuropoka huogopiiii 🤣🤣🤣🤣

  • @simonmilinga2070
    @simonmilinga2070 6 днів тому +2

    Hio ya mwisho ni equitorial guinea nchi pekee inayoongea spanish

  • @victorcharles1732
    @victorcharles1732 6 днів тому +2

    Deborah Mavambo fernandez huyo

  • @JumaBakari-ld5rr
    @JumaBakari-ld5rr 6 днів тому +2

    Namuona fei saa moja

  • @MudiMajid
    @MudiMajid 6 днів тому +1

    Semani la kimataifa hongera unatupa laha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bestman8182
    @bestman8182 6 днів тому +1

    Kispanyola kinazungumzwa Equatorial Guinea .....Gine ya Ikweta tu hapa Africa. So, is the guy coming from EG?

  • @lukiaanatory4598
    @lukiaanatory4598 6 днів тому +1

    Semaji langu la simbaaaaa

  • @user-jy1wm8do8w
    @user-jy1wm8do8w 6 днів тому +1

    Kama mtafunga usajili bila beki wa kushoto tutafungwa sana

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 6 днів тому +1

    Equator Guinea wanaongea Kihispania ndiyo taifa pekee Africa kuongea lugha hiyo

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 6 днів тому +2

    Balaaa

  • @isackcharles6086
    @isackcharles6086 6 днів тому +2

    🦁

  • @tuntumzazi
    @tuntumzazi 6 днів тому +2

    😂😂😂😂 ila semaji

  • @user-vw2ux5sh4x
    @user-vw2ux5sh4x 6 днів тому +1

    Jamani wana simba hv mbadala wa shomari katangazwa au tuendelee kumuamini dogo mwenda mana msimu uliopita kwa shomar walipita sana

    • @madukaj.j.6999
      @madukaj.j.6999 6 днів тому

      Hepa ndo tatizo linaanzia. Sijui hawaoni hili?

  • @lukiaanatory4598
    @lukiaanatory4598 6 днів тому +1

    Semaji unabaya

  • @user-vh6hh6ul2h
    @user-vh6hh6ul2h 6 днів тому +2

    Simba ❤❤❤

  • @BoniphaceMbapula
    @BoniphaceMbapula 6 днів тому +1

    Hauna baya semaji tunakutegemea

  • @Msangoboy
    @Msangoboy 6 днів тому +1

    Vyuma kwelikweli

  • @petro8010
    @petro8010 6 днів тому

    Ninyi Azam mnazingua sana kuhusu mechi za Euro cup jana kwa nini hamkuonesha mechi ya France na Portugal. Mkaonesha Moja why acheni hizo

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 6 днів тому +13

    WACHEZAJI WAKIJA WANAUMIYA HAMUWAEKEI KINGA YA ALBADIRI HALAFU WANAROGWA NA AKINA MZEE MPILI SHAURI YENU

    • @officialdana5114
      @officialdana5114 6 днів тому

      Tafuta hela kulogwa unalogwa ww tyu

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 6 днів тому +1

      Sasa kama viongozi waliwaacha akina Phiri na baleke then unaleta akija jobe na Fred kweli ?? Kwaiyo manzoki mlimlinda kwenye mkutano mkuuu 😂😂😂😂

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 6 днів тому +1

      @@officialdana5114 UNATETEA SABABU BABAKO NDIO MCHAWI ANAEROGA WATU WASHIRIKINA NYIE MACHOGO FC ATAKUFA MWAKA HUU DADEKI ZENU

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 6 днів тому +1

      @@mwanangusana MWAKA HUU MTAKUFA KAMA DAGAA WACHAWI NYIE

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 6 днів тому +1

      @@salimmalaka256 uchawiii ni kumleta Manzoki Kisha kwenye usajili unamkuta Sawadogo 🤣😂

  • @jumamtatiro6358
    @jumamtatiro6358 6 днів тому +1

    Kireno hicho

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 6 днів тому

    Usajili ndo ukute tumemaliza😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @zakayomgaya2758
    @zakayomgaya2758 6 днів тому

    😂😂😂semaji bwana

  • @allyanyigulilemlaghilajumb5829
    @allyanyigulilemlaghilajumb5829 6 днів тому +1

    Namibia ni nchi pekee Afrika wanakozungumza Kijerumani. CODE hiyo

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 6 днів тому

      Namibia haiiongei kijerumani

    • @allyanyigulilemlaghilajumb5829
      @allyanyigulilemlaghilajumb5829 6 днів тому

      @@FahadAbubakari
      labda huijui Namibia. ngoja tusubiri

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 6 днів тому

      @@allyanyigulilemlaghilajumb5829 nmekaa Namibia Windhoek more than 3 yrs so sihitataji kuambiwa kweli walitawaliwa na wajerumani at some points na ushahidi upo , later walichukua makaburu , lugha zinazozungumzwa ni oshiwambo au ovambo iyo ndio ka kiswahili karibu weusi wengi huongea khoekhoe , Afrikaans na herero kwangali na of course English kwa mijini na walosoma Kuna shule zinafundisha kijerumani kama zilivoshule zinafundisha kifaransa tz na Kuna Jamii ya hao wazungu wakijerumani wako idadi kubwa kidogo ila si kwamba kijerumani ni lugha inayozungumzwa pale

  • @FrankKashamakula-xb1pc
    @FrankKashamakula-xb1pc 6 днів тому +1

    Equatorial Guinea ndio anatoka io Mashine ya pili sijui nani uyo

  • @petro8010
    @petro8010 6 днів тому

    Mechi za Euro cup onesheni zote acheni ubabaishaji

  • @georgejulius3315
    @georgejulius3315 6 днів тому

    Nigeria

  • @Khalidniya380
    @Khalidniya380 6 днів тому +1

    EQUATORIAL GUINNEA

  • @user-lz1lj9qg8e
    @user-lz1lj9qg8e 6 днів тому +1

    Mashine ya tatu mpanzu tuuu

  • @ProsperSantos
    @ProsperSantos 6 днів тому +1

    Azam wasenge sana yani match ya Euro inaonesha 1 afu mnasema buludani Kwa wote nyie vipo nyie ichi kisimbuzi Cha kitoto sana

  • @OnesmoMabena
    @OnesmoMabena 6 днів тому +1

    Mpanzu pls

  • @petro8010
    @petro8010 6 днів тому

    Mechi za Euro cup onesheni zote

  • @allyanyigulilemlaghilajumb5829
    @allyanyigulilemlaghilajumb5829 6 днів тому

    NAMIBIA

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 6 днів тому

    Mmeshindwa Kutuletea Feisal??

  • @mrgujarat8391
    @mrgujarat8391 6 днів тому

    Hizi ndo zile clip ambazo akizitizama anacheka mwenyewe

  • @mrgujarat8391
    @mrgujarat8391 6 днів тому

    Kiufupi zilaili yani

  • @flova7022
    @flova7022 6 днів тому

    Urenoo na angolaa

  • @LeonceFedhanane
    @LeonceFedhanane 6 днів тому

    Wambiye

  • @Mwanzaboy255
    @Mwanzaboy255 6 днів тому +1

    Mpamzu

  • @BADAWY575
    @BADAWY575 6 днів тому +2

    Huyu Ahmed Aly bonge moja lamuongeaji kuna comedy flan uki brand sio .ushatoka maisha haya ni babu kubwa anafurahisha sana .Simba kazeni mitakavyo kaza nyie muelekeo hamuna sababu ni moja tu uongozi wacha tuwape chance lakini msimu haumaliziki mutapigana kwa sababu simba wote wanafiki omba omba wa babujiiiii jikomboeni mujimiliki mazumbukuku nyie

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 6 днів тому +1

      NA WEWE NI NGURUWE MLA MIHOGO HAYA KUHUSU MACHOGO FC WASHONA MAGODORO NYIE KENGE WA KIJANI WEWE 😂😂😂😂

    • @BADAWY575
      @BADAWY575 6 днів тому

      @@salimmalaka256 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wakufa ni wakufa tu

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 6 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @HassaniMakidanga
    @HassaniMakidanga 6 днів тому

    😂😂

  • @user-js7lr8vr9i
    @user-js7lr8vr9i 6 днів тому +1

    Wesema mashine alafu utulete utumbo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 6 днів тому +1

      KWANI YEYE NDIO ANAOWALETA??? YEYE NI MSEMAJI TU

  • @SaidySaidysalum
    @SaidySaidysalum 6 днів тому

    😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @HalidiKilale-i8i
    @HalidiKilale-i8i 6 днів тому

    Semaji huna Bayaa....

  • @BeniYaredy
    @BeniYaredy 6 днів тому

    Uyo mnampa ujinga nyie mana meakajana hakuita watu majina wakina funga funga ukuta wa yeliko mbona Leo hamhoji tumekuzowea we chiz

    • @OnesmoJulius-fi1qg
      @OnesmoJulius-fi1qg 6 днів тому +2

      Bishana na radio sasa😂😂😂😂😂

    • @waltermfikwa4361
      @waltermfikwa4361 6 днів тому +3

      Chizi wew unataka kubishana na radio.... Na huyo hawahusu nyie hvyo mwache kama alivyo na afanye km anavyotaka coz anatuhusu sisi Wana SSC. Na sio UTOPOLO 😂😂😂

    • @user-py7ro6cn8e
      @user-py7ro6cn8e 6 днів тому +2

      Hii ni simba we dada sijui ni dada au kaka, utajua mwenyewe, peleka coment yako ya kibano cha kunya kwa utopolo

  • @user-ys4zk3hx4f
    @user-ys4zk3hx4f 6 днів тому +2

    Mashine ya kuongea

  • @user-jy1wm8do8w
    @user-jy1wm8do8w 6 днів тому +1

    Kama mtafunga usajili bila beki wa kushoto tutafungwa sana

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 5 днів тому +1

      @@user-jy1wm8do8w mbona unaanza kuogopa mapema ndugu yanguuu

  • @petro8010
    @petro8010 6 днів тому

    Mechi za Euro cup onesheni zote