MSHIKEMSHIKE VIWANJANI 05/07/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лип 2024
  • Tazama kipindi ch Mshikemshike viwanjani ambapo habari kubwa ni hafla ya uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya AFCON 2027 iliyofanyika katika hoteli ya Johari Rotana Dar es Salaam.
    Yanga SC, yafanya dua ya kumuombea aliyekuwa Mwenyekiti na Mfadhili wao marehemu Yusuf Manji.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 5

  • @SINGLEBOY75458
    @SINGLEBOY75458 9 днів тому +1

    Thank kwa taharifa n zzz uli

  • @SARIVE.LAME_123
    @SARIVE.LAME_123 10 днів тому +2

    Nice news ❤

  • @RashidiMkongewa
    @RashidiMkongewa 9 днів тому

    Yanga msajili ambangula

  • @HassanRamadhani-xn3cg
    @HassanRamadhani-xn3cg 9 днів тому

    Kufigia nyumba yako mpaka mgeni afike Hapo Mh, Waziri panatakiwa miundo mbinu hiyo isiwe panapo fika wageni tu isiwe unakula nyama siku ya mgeni.

  • @shaibumaulid3
    @shaibumaulid3 9 днів тому +2

    Tuimalike pia katika miundombinu ya viwanja jamani bado kuna mikoa iko chini sana kwenye ubora wa viwango vyake.