Rais Magufuli aeleza kwanini hapendi sana kusafiri nje ya nchi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 кві 2016
  • Ni maneno ya Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa Rwanda alikokwenda kufanya ziara ya siku mbili kuanzia April 6 2016

КОМЕНТАРІ • 12

  • @najmaaxo1209
    @najmaaxo1209 8 років тому +2

    muheshimiwa wewe ni baba wa Taifa ni baba wa Tanzania hongera sana mungu akuweke daima

  • @mamymamy8971
    @mamymamy8971 7 років тому +1

    nakupenda rais wangu upo vizuri sana mungu akuweke

  • @safinatv1599
    @safinatv1599 8 років тому +2

    😂😂😂😂safi snaa mkuu yani unanimalizaje

  • @pathoryone5237
    @pathoryone5237 8 років тому +1

    hio ya kubana matumiz nimeipenda .....asante maguful

  • @pathoryone5237
    @pathoryone5237 8 років тому +1

    umetisha maguful

  • @hawahamisi6237
    @hawahamisi6237 8 років тому +1

    babaa swadakta😘

  • @magrethmzava873
    @magrethmzava873 8 років тому

    bana baba

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 8 років тому +1

    😂😂😂 wallahi bana matumizi baba alopita alisafiri vya kutosha💃💃💃

  • @richardkatunka2804
    @richardkatunka2804 8 років тому

    Good

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 8 років тому +2

    Mpendwa MH.JOHN POMBE MAGUFULI wanaokualika Ulaya Waambie waje Tanzania kukutembelea ili walete hizo dollars zao kwa ajili ya manufaa ya watanzania masikini.wakatembelee mbuga za wanyama na kupanda mlima KILMANAJARO fahari ya TANZANIA na AFRICA pia .

  • @saumusalimuhassan772
    @saumusalimuhassan772 8 років тому +1

    Bana tu uko vizur

  • @dickkieluther2351
    @dickkieluther2351 8 років тому +1

    JPM uko fiti sana kamanda wangu!