CHEKECHE|| Vita ya vikwazo kwa Urusi ina maana gani kwa dunia inayojitibu na athari za Corona?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 бер 2022
  • Ni zaidi ya wiki mbili Urusi inaendeleza uvamizi nchini Ukraine.
    Kwa sasa inashuhudiwa vita ya silaha, vita ya mafuta na gesi pamoja na vita ya vikwazo vya kiuchumi.
    Vita ya vikwazo ina maana gani kwa Dunia inayojitibu na athari za kiuchumi zilizotokana na Corona?

КОМЕНТАРІ • 25

  • @innocentcassian9472
    @innocentcassian9472 2 роки тому

    Nakulispect saaaaaaaana. Baba yangu sana Abdu shakula bood. Nakufaham kitambo sana kupitia VOA. Kiswahili.

  • @allykeita704
    @allykeita704 2 роки тому +1

    Libya,Iraq, Afghanistan,vetnm,na Japan Ni Russia alifanya haya

  • @hamisiramadhani8661
    @hamisiramadhani8661 2 роки тому +1

    Huyu muchambuzi atakuwa chakula chawamabwenyenye

  • @bonnymakuke3153
    @bonnymakuke3153 2 роки тому +1

    Unamfungia mtu anae jiweza!! Apo nikupoteza mda2 na kuumiza mataifa madogo

  • @saidmungisaphy441
    @saidmungisaphy441 2 роки тому

    Sijapenda uchambuzi wenu vitu vingi mnavikosea kwa kuipendelea marecani

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz Місяць тому

    Ohhhh nimeona huyu mzee pamoja na huyu kijana nimashogha kbs wewe mzee ulihanza ushoga
    Lini?pamoja nahuyu kijana?

  • @allykeita704
    @allykeita704 2 роки тому +1

    Huyu mchambuzi wa MCHONGO hajui chochote 🤣🤣🤣🤣

  • @kambonamajaliwa5466
    @kambonamajaliwa5466 2 роки тому +3

    Uchambuzi mzuri sana

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 2 роки тому +1

    Wachambuzi wako na bias kubwa na s moderate thinkers

  • @hamisiramadhani8661
    @hamisiramadhani8661 2 роки тому

    Uyunibwege

  • @emanuelshayayi54
    @emanuelshayayi54 2 роки тому

    Mbona marekani na uingereza waliivamia Libya ambayo nchi huru.Kusababisha mauaji kwa RAIA wasiokuwa na hati.

  • @emmanuallydeus1243
    @emmanuallydeus1243 2 роки тому

    Piga awoooooo

  • @manchalijob9600
    @manchalijob9600 2 роки тому

    Mchambuzi arioko marekan ni choko hajierewi ni nyang'au kabisa Africa wasenge kama hawa hawatufai

  • @iamthefarmerceo2316
    @iamthefarmerceo2316 2 роки тому +1

    Wachambuzi makini sanaa. Ila please wapeni mavazi mazuri guys. Thamani Yao ni kubwa sana

  • @salehmussa9371
    @salehmussa9371 2 роки тому

    Duniani shiida tupu

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 2 роки тому

    putin yuko sahihi ila sema marekani kwa kutumia voa na bbc ni kueneza probaganda tu

  • @tajirifestocosmass2244
    @tajirifestocosmass2244 2 роки тому +3

    wewe unatetea upuuzi.libya aliua putin afrighanstan ni putin? saudiarabia ni putin?

  • @Perfect_side_tz
    @Perfect_side_tz 2 роки тому

    Fanya mambo haya kila siku asubuhi Gusa,
    👇👇👇
    ua-cam.com/video/3vUzXoHiEfo/v-deo.html