CHEKECHE || DRC Kuyakosoa jeshi la kikanda EAC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • DRC Kuyakosoa jeshi la kikanda EAC maana yake nini?
    Rais Felix Tshisekedi amekuwa gumzo baada ya kudai kuwa jeshi la kikanda la Jumuiya ya Afrika Mashariki halina msaada kwa nchi yake ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
    Ametoa madai hayo akiwa ziarani Botswana, akieleza kuwa malengo ya kurejeshwa kwa utulivu mashariki mwa DRC hayajafikiwa mpaka sasa, akihisi jeshi la kikanda limekuwa na uswahiba na waasi wa M23.
    Hayo yanajiri wakati ambapo Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC nayo ikiazimia kupeleka vikosi mashariki mwa DRC kusaka utulivu.
    Ni kwa namna gani madai ya Rais Tshisekedi yana uhalisia?
    #azamtvupdates
    #Chekeche

КОМЕНТАРІ • 12

  • @sikabwekisamba
    @sikabwekisamba Рік тому

    hauko sawa

  • @unclejamaltv9336
    @unclejamaltv9336 Рік тому +1

    Tuchambuliye ule uchaguzi wa turkey na hatma ya Erdogan

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 Рік тому

    Mrisho Kikwete alikua shujaa sana alipenda wa kongo sana lakini samia ni mnafki

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 Рік тому

    Aec watoke kizegedi ni kichaa

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 Рік тому

    Kipindi kinachewa

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 Рік тому

    Ruto ni mbaya piya

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 Рік тому

    Kisegedi ni panga pangua ataumiya

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 Рік тому

    Wanakwenda kupora wamelinda wana inchi kivipi?

  • @jean-marienondo6079
    @jean-marienondo6079 Рік тому

    Anae ripoti kutoka congo ajui chochote kabisa kinacho endelea uwanja wa mapambano ao anaweza akajuwa ila anaogaopa kuongea ukweli, kisekedi sio kichaa kuamua kwenda SADEC, majeshi ya Africa mashariki yanashirikiana pakubwa na M23 asilimia 83% na ndomana raia awataki kikosi hicho, kaeni kimya kama amjafanya utafiti wowote.

  • @edmundlupango8126
    @edmundlupango8126 Рік тому

    Chubi acha uhuni bwana

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 Рік тому

    Kwa nini umesema wanajigamba kuwa wazalendo?imeonekana wewe uko shabiki ya m23ao?