CHEKECHE || Finland kujiunga na NATO ni pigo kwa Urusi? Ni ushindi kwa Marekani?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Aprili 4 mwaka hu Finland ilijiunga rasmi na Jumuiya ya Kujihami ya Nchi za Magharibi (NATO) na kuzua mjadala mpya kuhusu hali ya amani kwenye ukanda huo huku rais wa Urusi Vladmir Putin akionya Finland isikubali ardhi yake kutumika kuweka kambi za jeshi za NATO.
    Je, hatua ya Finland kuingia NATO itamaliza mgogoro wa Ukraine na Urusi?
    Je, hatua hii inachochewa na Marekani? Moses Mohamed akiwa na Ibrahim Rahbi na John Kenene wanaangalia hili katika CHEKECHE.

КОМЕНТАРІ • 74

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 Рік тому +5

    Kupigana na Urusi ni sawa na kupigana na nguvu ya mungu muumba mbingu na ardhi. SIO Finland tu Hata dunia nzima tujiunge na NATO bado hatutoboi labda tutoboe matundu ya choooooooo.

  • @HamisiGatuso
    @HamisiGatuso 3 місяці тому

    Rab upo sawa unajua sana

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Рік тому +5

    Putin Yuko pekee yake anapigana na nchi nyingi kweli Putin ni kidume kabadilisha mchezo

    • @jumalihumako-uf3yb
      @jumalihumako-uf3yb Рік тому

      Acha kuwa mwongo putin hana ubavu wa kupigana na nato

    • @msangodiesel3132
      @msangodiesel3132 Рік тому

      @@jumalihumako-uf3yb subili mechi utajua usiweke ushabiki

  • @beatricecharles1110
    @beatricecharles1110 Рік тому +3

    Nato ni ya marekani na ipo kusimamia maslahi ya marekani tu na SI vinginevyo.

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 Рік тому +4

    Aaa kama NATO ni tishio imeshindwaje mpaka leo kumaliza mzozo wa Ukraine? sasa NATO inakimbilia vita na China wakati imegharamika DOLLAR nyingi .kwani NATO nini ni Ulaya na marekani. Ambazo tayar zimeshashindwa ukraine

    • @godfreydavid6267
      @godfreydavid6267 Рік тому

      hahahahahahahahah mzee umetoa maoni kwa chuki saana!!!

  • @hassansingano1150
    @hassansingano1150 Рік тому +2

    Jarani mwovu dawa yake ni kipigo

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 7 місяців тому

    Marekani anatumia akili sio nguvu tulieni muone shoo shoo mrusi kaingia chakikeee mwenye akili anaenda taratibuuu kumbuka vita ya pili ya Dunia kama sio marekani angepigwa na hitlaa mtafunga midomo yenuu💪💪

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln Рік тому

    Safi sana tunapenda uchambuzi kama huu

  • @mayombomajenga9778
    @mayombomajenga9778 Рік тому +2

    Mtupe na faida za NATO Toka kuwepo

  • @salehkhamis9994
    @salehkhamis9994 Рік тому

    Marekani namuona Sasa anapoteza ushawishi wake maana hata raisi wa ufaransa amesema Sasa ulaya tufate misimamo yetu na tuwe huru katka maamuzi yetu bila ya kuegemea upande wowote bila ya kueka utegemezi kwa marekani.... Mwisho wa kunukuu... Hutuba hii imewauma Sana wamarekani

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 Рік тому +1

    Rahbi umeongea kitu point sana hii serikali mpya iliyoingia itatuletea balaa

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 Рік тому +10

    Kabla ya yote Kwanza yatupasa kujuwa kwamba katika NATO na marekani na washirika wao wote hakuna hata mmoja anaweza kufikia nusu ya nguvu za kijeshi za urusi hiyo ni behind the seen. Wajinga hawataelewa hapa ila hiyo ndio sababu ya kuuangana nchi zaidi ya 30 na bado wameshindwa kumuondowa mrusi ugenini na ndio mwanzo anaongeza maeneo mengine nje ya ile mikoa 4. Na pia tambueni urusi ana washirika wenye nguvu kuliko hao manyangau na bado haoni umuhimu wa kuwatumia kwa maana yeye anajiweza kikamilifu kabisa manyangau ni majambazi hayawezi kumzidi putin mwenye mali?

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 Рік тому +1

      Naona unaongea kimihemko kuisifiae urusi! Lakini Nato ina nguvu sana, mrusi haingii hata nusu

    • @josephkostans9128
      @josephkostans9128 Рік тому

      @@johnmichaellukindo21 pole maana wewe ndio mwenye mihemko usiejuwa kitu. Urusi kavamia Ukraine na kuchukuwa zaidi ya mikoa 4 sasa kama nato ana nguvu hatubishi anazo sasa afanye jambo moja TU amnyanganye mrusi ile mikoa 4 tu itatosha kuonyesha yeye ni mwenye nguvu basi hakuna sababu ya kuandikia mate peni ipo. Acha ujinga marekani anaiogopa urusi kuliko jambo lolote duniani na kama angekuwa anamuweza mrusi sahz mngeongea mengine kuhusu Putin yuko wapi gadafi? Yukowap sadam na wengine wengi wa aliyowaweza sasa mashabik ndio mnambwela ila yeye mwenyewe anajuwa urusi ni kiatu saizi nyingine yeye hawez kuvaa ndio maana anataka dunia nzima imsaidia apigane na Putin na keshafeli Russia ndio mkombozi wa kweli wa dunia hii

    • @swalacopper5792
      @swalacopper5792 Рік тому

      @@johnmichaellukindo21 WW UNAESIFIA NATO HUNA AKIRI NATO IMEUWA WAAFRIKA WANGAPI NA BADO INATULETEA USHOGA BADO MNAISIFIA

    • @PauloFataki-ue8mo
      @PauloFataki-ue8mo Рік тому

      Dah! Kweli we jamaa ni chizi yani mimi Mmarekani namchukia lakini usijidanganye ndugu yangu Marekani tu peke yake anatosha bado Urusi hawezi kuifikia kwa nguvu za kijeshi

    • @PauloFataki-ue8mo
      @PauloFataki-ue8mo Рік тому

      Dah! Kweli we jamaa ni chizi yani mimi Mmarekani namchukia lakini usijidanganye ndugu yangu Marekani tu peke yake anatosha bado Urusi hawezi kuifikia kwa nguvu za kijeshi

  • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
    @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

    Urusi alisha shindwa vita akubali tu aende kujipanga tena vizuri

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 Рік тому +3

    Nawafuatilia nikiwa hapa Helsinki Finland 🇫🇮🇫🇮👁️👁️

  • @MohamedHasan-kt4lw
    @MohamedHasan-kt4lw Рік тому +1

    Lakini kw nn NATO ingali hai ilhali madhumuni ya kuundwa NATO ni sababu usssr, so far usoviet ulianguka, mbona NATO nayo wasiivunje NATO

  • @hassansingano1150
    @hassansingano1150 Рік тому +1

    Putin alisha sema **Finland sio tisho kwa Urusi** unajua kwanini? Finland amekubaliana na Putin kuto ingiza jeshi la NATO na kuweka silaha za Nyuklia. Hayo ni makubaliano, sasa ikitokea Finland kavunja, basi Finland itapotezwa ktk ramani ya dunia

    • @godfreydavid6267
      @godfreydavid6267 Рік тому

      hahahahahahahah unakumbaka vita ya 1939 kati ya Urusi na
      Finland?

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 Рік тому +1

    Hawa wachambuzi hawajui kuwa vita ni siraha ,vita sio ardhi tu

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 Рік тому

    majid mjengwa ningefurahi sana angekuwepo pia tusikie maoni yke.

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Рік тому +1

    Amna vita ya dunia wana malizana wenyew

  • @AbduAmza
    @AbduAmza 6 місяців тому

    Ni uchokozi kweli

  • @salehkhamis9994
    @salehkhamis9994 Рік тому

    Putin anapigana na mamluki wa kimagharibi Hilo jeshi la ukraine halipo Tena lishapotezwa mda2

  • @muichorekishagani1751
    @muichorekishagani1751 Рік тому

    ahsante Chekeche umetuletea wataalam ambao wanajadili na kutupa elimu kwa utulivu na uchambuzi mzuri sana.

  • @hassansingano1150
    @hassansingano1150 Рік тому +1

    Adui anapigika

  • @joviangeofrey7212
    @joviangeofrey7212 Рік тому +1

    Mnaongea hoja nzito aisee.

  • @evaristmihingo8885
    @evaristmihingo8885 Рік тому +1

    Rais wa ufarasa kafwata nini China?

  • @jacksonmartin8485
    @jacksonmartin8485 Рік тому +1

    Huyo mchambuzi mwenye kanzu hajui anachoongea anaongea bila kufanya uchambuzi wa ndani

    • @jamessiame5169
      @jamessiame5169 Рік тому

      Na wewe kachambuwe tukuone

    • @kassim1262
      @kassim1262 Рік тому

      Ss unaonaje naww ukaomba kutafuta media ukatutolea uchambuzi wko ulioufanyia kazi

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 7 місяців тому

    Neto au nato?

  • @jamessiame5169
    @jamessiame5169 Рік тому +2

    Safi filand kwa kujiunga na nato

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 Рік тому +1

    Ivi mpaka sasa Urusi hapigani na NATO. ?

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 Рік тому +1

    Groly russia

  • @hassansingano1150
    @hassansingano1150 Рік тому

    Kifungu cha tano hata siku moja **Hakiwezi kufanya kazi** . Iyo ni danganya toto, Urusi anaweza kuishambulia Finland na NATO wakaishia kupiga kelele

  • @5tronics19
    @5tronics19 Рік тому +1

    Ikija kinyume nawashambuliaa wakuu😂😂😂.

  • @evaristmihingo8885
    @evaristmihingo8885 Рік тому

    Hamna chochote

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 Рік тому

    Neto au Nato bwana moses?

  • @khalfanmlala5093
    @khalfanmlala5093 Рік тому +1

    Nyie hamna kitu nivibaraka tu

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Рік тому

    Zelencyk kapata nguv

  • @jumamasele5793
    @jumamasele5793 Рік тому

    Kenene hua anaidharau sana urusi

    • @PauloFataki-ue8mo
      @PauloFataki-ue8mo Рік тому

      Sio anaizarau Urusi ni underdog sana kwa Mmarekani watu wanafanya reseach mjomba ndo wanakuja ubaoni Wakiwa na fact zote sio unashabikia tu kama simba na Yanga Marekani tunachukua ndio kwa ushenzi wake lakini jamaa yuko vizuri kila idara ndo maana anadharau kwa Urusi na Uchina anafanya anachojisikia na anajua hakuna atakae mgusa

    • @PauloFataki-ue8mo
      @PauloFataki-ue8mo Рік тому

      Mfano mtu anatangaza kabisa hazarani kwamba nasaidia siraha na feza kwa ukrain ambayo inapigana na taifa hatari la Urusi ilitakiwa Urusi moja kwa moja apige Marekani maana apo kashajiingiza kwenye vita mazima sasa mbona hujaribu anaogopa nini? Kama yeye ni mwamba? Pili Uchina walipiga biti kuvamia msafara wa Nansi pelos spika wa bunge mstaafu wa Marekani kwenye ziara yake kule taiwan unakumbuka Marekani alichojibu na mbona spika alienda na akarudi salama waliogopa nini kumvamia? Ile ndo Marekani supa power jamaa ana kila kitu

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Рік тому

    Apo nguvu imezid

  • @erickmshoboth4705
    @erickmshoboth4705 Рік тому

    Kanene we ni chawa tuu

  • @yassinphonyogo2347
    @yassinphonyogo2347 Рік тому

    raby we ni kibaraka wa mabeberu

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 Рік тому

    God bless Russia

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim Рік тому

    Nyambafu nyinyi america kwisha story mashoga tu

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Рік тому

    Ukraine strong

  • @mussakulanga9513
    @mussakulanga9513 Рік тому

    huyo jamaa mbona mnampenda sana nyie azam tv kana kwamba hamna mchambuzi wengine jamaa toka mwanzo haongei facts kabisa anaegemea upande hamsomi comment

    • @mikarasaka74
      @mikarasaka74 Рік тому

      Tatizo wewe ndo ahumuelewi kwa sababu upo upande umoja yeye iko wazi kabisa

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Рік тому

    Urus ni wakawaida kama mayai

    • @richardseverino788
      @richardseverino788 Рік тому

      Hujui kitu kabisa wewe,Mmarekani mbona haendi kukabiliana nae? Russia is not somebody to mess with....yupo vitani na bado kasamehe deni lote zaidi ya dollar bilion 20 kwa nchi za Africa

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Рік тому +1

    Putin akamatwe

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 Рік тому

      😅😅😅Putin akamatwe sio indeed hakuna ushindi juu ya damu za watu wasio na hatia,,,nakuunga mkono

    • @fadhilamsagati1337
      @fadhilamsagati1337 Рік тому

      hawamkamati wanaogomba wanajua kitakacho wakuta wanakijua lamda waje wamkamate samia

    • @josephkostans9128
      @josephkostans9128 Рік тому +3

      Inawezekana kumkamata Putin kabisa ila wakumkamata bado hajazaliwa na sina uhakika kama mimba yake ishaanza kutungwa. Putin is nonstopable

    • @richardseverino788
      @richardseverino788 Рік тому +1

      Kamkamate wewe,USA anaogooa....vp Bush na Obama, Blair,kwa nn wasikamatwe???jiulize kwanza