HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Rais Magufuli ambaye yuko ziarani mkoani Mwanza amezungumza na wananchi wa Nansio wilayani Ukerewe katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Ukuta Mmoja ambapo amesema Serikali imedhamiria kutekeleza dhamira ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere ya kukiendeleza kisiwa cha Ukerewe kwa kuhakikisha inajenga miundombinu ya barabara ya uhakika, inaimarisha huduma za elimu, maji, umeme na afya, na hivyo amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa Serikali katika utekelezaji wa dhamira hiyo.
    Ameongeza kuwa sambamba na juhudi hizo Serikali ya Awamu ya Tano imechukua hatua madhubuti za kusimamia rasilimali za umma ikiwemo kudhibiti wizi, ufisadi na rushwa pamoja na kutekeleza miradi mikubwa ikiwemo kuongeza uzalishaji wa umeme utakaoiwezesha nchi kuwa na umeme wa gharama nafuu kwa ajili ya maendeleo ya viwanda.
    Kuhusu uvuvi, Rais Magufuli amempongeza Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina kwa juhudi zake za kukabiliana na uvuvi haramu ambazo sasa zimeanza kuzaa matunda kwa samaki kuongezeka katika ziwa Victoria huku akibainisha kuwa uvuvi haramu uliokuwepo umesababisha viwanda vingi vya samaki kufa, ajira kupotea na samaki kupungua kwa kiasi kikubwa kutokana uharibifu mkubwa wa mazalia na uvuvi wa samaki wadogo.

КОМЕНТАРІ • 332

  • @susannaikuni8595
    @susannaikuni8595 3 роки тому +13

    Mfalme lala salama from Kenya lakini nlikupenda xna mtetenzi wawanyonge hutawahi sahaolika Africa nzima Mungu umrehemu

  • @ramadhaniamri3465
    @ramadhaniamri3465 3 роки тому +24

    Wakati unagombea uraisi, uripokua unafanya kampeni urikuta ccm ni mbovu sana pia warikususa baadhi ya viongozi uripita kuomba kura mikoani peke yako na uripopita ccm ikawa juu, magufuri roho yako ipumzike kwa amani, mahari pema peponi AMIN

  • @aisharajimbo6784
    @aisharajimbo6784 3 роки тому +10

    Inna lilahi wa Ina ilaihi rajiun mungu ailaze Mahali pema peponi roho yake Insha_allah

    • @khuiii9032
      @khuiii9032 2 роки тому

      Kafiri makazi yKee motoni tuu kwani hujuii ww

  • @purposetowalkwithjesuschri2455
    @purposetowalkwithjesuschri2455 3 роки тому +5

    We really miss you so much our beloved Dad. Tutamkumbuka daima shujaa wetu

  • @Vuvuzelaz1
    @Vuvuzelaz1 3 роки тому +5

    Mwamba umelala baba Mungu yupo nawe na kama kuna ubaya atakulipia kama alikuita upumzike kwa amani

  • @shirfadigubike7920
    @shirfadigubike7920 3 роки тому +11

    Ulikuwa kipenzi cha watu.ukisema unafanya.mungu akuepushe na moto wajehanamu.makazi yako yawe peponi ukutani na mahulilain wa peponi🙏

  • @josephrobert3928
    @josephrobert3928 5 років тому +13

    hii ndo speech saf ya mkuu wa nch Mungu akubaliki

  • @codermasye3763
    @codermasye3763 3 роки тому +10

    Wangapi mpaka leo wakitazama video zake wanaisi bado yupo hai gonga like hapa

  • @neematweve3150
    @neematweve3150 2 роки тому

    Baba tunakukumbuka Sana. Tunalia Sana kwa ulio tufanyia.tuombee unafuu was maisha kwa mungu.nasi tunakuombea.mungu akupokee

  • @wilsonchishomi1083
    @wilsonchishomi1083 3 роки тому +6

    Umetuacha yatima mzee wetu.. Asante kwa mema yote uliyotufanyia.. daima utaishi mioyoni mwetu.. I’m missing you 😞.. may your soul rest in eternal glory.. 🙏🏾

  • @mansourmkanakuta6641
    @mansourmkanakuta6641 3 роки тому +7

    Rip rais wetu wa mda ote hayat magufuli

  • @afrimediake.9568
    @afrimediake.9568 3 роки тому +17

    Kiongozi wa kwanza duniani mwenye hekima na msimamo wake dhabiti,, kongole Mzee,, safiri salama,, Nakupenda toka Kenya kakamega

    • @mayanjajackson3585
      @mayanjajackson3585 3 роки тому +1

      👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾Kazi ulio fanya iko myoyoni kweli ushuja ume onyesha hata kosa mtu fulani ata ufwata mfano wako baba 👏🏾👏🏾👏🏾

  • @gambobakari4978
    @gambobakari4978 3 роки тому

    Cna lakuandika zaid ya kukuombea kwa Mungu akupe pepo ktk maisha y huko akhera, naumia sana kw kfo chako.

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 3 роки тому +18

    Hata hasomi speech huyu mzee
    Mungu muweke pema peponi

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 3 роки тому +6

      Yani nafikili mm peke yangu kumbe wengi tunaye msitajabia baba huyu😭😭😭😭😭 TUMEPOTEZA KICHWA

    • @dianamahendekamahendeka1344
      @dianamahendekamahendeka1344 3 роки тому +4

      Huyu hakuwa mtu was kawaida alikua kashushwa na mungu daah 😭😭😭😭

  • @godwinshoo3101
    @godwinshoo3101 3 роки тому +19

    Mwenyenzi Mungu tunakuomba utuandalie mwingine mwenye upeo mpana , juhudi ,uzalendo na siasa za kweli ili aje aendeleze haya yenye manufaa kwa wananchi

    • @annaswai2434
      @annaswai2434 3 роки тому

      mungu akuweke mahali pema baba yetu magu uku duniani mafisadi wanatunyanyasa wanajua watakula izo hela milele awajui Kama ipo siku nao watakufa

  • @annandaro
    @annandaro Рік тому

    Pumzika kwa amani baba tulikupenda sana Mungu amekupenda zaidi

  • @redeemed4327
    @redeemed4327 6 років тому +15

    Hapa Kazi tu! Asante JPM! Keep the tune, tutaelewa tu ambao vichwa vigumu.

  • @khadejarajab844
    @khadejarajab844 2 роки тому

    Allah akuweke apendapo milele amin

  • @fatumagillah2319
    @fatumagillah2319 3 роки тому +5

    RIP tutakukumbuka daima Kambarage namba 2

  • @robsonlotyloy5678
    @robsonlotyloy5678 3 роки тому +8

    Ni maneno ya kiongozi shujaa. Haya yote yanabaki kwenye mioyo yetu daima.

  • @halimushabani9480
    @halimushabani9480 3 роки тому +15

    Tutakkumbuka daima.

  • @pendonaomi1825
    @pendonaomi1825 3 роки тому +10

    Hata salaam yako tu ilinipa furaha na amani
    😢😭😭
    JPM ntakulilia daima😪😪😪

  • @rehemaphinias3977
    @rehemaphinias3977 3 роки тому +3

    Tunakukumbuka jpm, baba raisi wa dunia uliye teuliwa na mungu, mungu alitoa na mungu alitwaaa jina lake lihimidiwe,

    • @faustienealexi2268
      @faustienealexi2268 3 роки тому

      Kweli Magufuli alikuwa Raisi wa Dunia tumepoteza jembe kweli kweli

    • @eliakundanoe4486
      @eliakundanoe4486 3 роки тому

      Salaam zako zenyewe zina hamasa , lala baba tutakukumbuka daima

  • @niokoemahenge4312
    @niokoemahenge4312 3 роки тому +1

    We mungu ungemsamehe magu amalizie miaka mitano kwanza

  • @ev.emmanuelkawema2493
    @ev.emmanuelkawema2493 3 місяці тому

    Ambao tunaangalia mpaka sasa hotuba za Hayati John Pombe Magufuri mpaka leo gonga like
    Mimi mpaka leo Tarehe 06/11/2024 nasikiliza

  • @ginustimotheo2148
    @ginustimotheo2148 3 роки тому

    Mimi nazani Tanzania hatuhitaji maendeleo ya nchi bali tunahitaji tudidimizane ila mungu yupo anawaona. Magu wangu ntakueka moyoni milele

  • @kelvinmulengo8555
    @kelvinmulengo8555 3 роки тому +2

    That was man of action those who remains in ccm ni vigeugeu they don't want poor anymore JPM were are you father we miss you papa God send someone to comfort the machinga and the orphans in Tanzanian am Kelvin from l s k Zambia

  • @hatari9591
    @hatari9591 3 роки тому +1

    Ulikuwa unanikosha sana mzee wetu. Hata wasipokuenzi kitafa tutakuenzi kwenye mioyo yetu.

  • @rogasianshayo3740
    @rogasianshayo3740 7 місяців тому +1

    Magufuli kiongozi bora kuwahi kutokea Tanzania 🇹🇿 RIP 🙏, nakuangalia mzee wangu 3.7.2024 tunaseka uku mzee wangu 😢

  • @sandrabernard751
    @sandrabernard751 3 роки тому

    Your the best.. Leo mwezi wa 11 uwiii

  • @musicmylife5417
    @musicmylife5417 3 роки тому +7

    Pumzika kwa amani baba.

  • @rosetreffert6727
    @rosetreffert6727 3 роки тому +8

    Kipenzi cha WATANZANIA REST IN PEACE SHUJAA WETU MAGUFULI 😭😭😭❤💔

  • @jisamjoseph4558
    @jisamjoseph4558 3 роки тому +14

    Rest in paradise Papa.....love you

  • @johnhoswad8385
    @johnhoswad8385 3 роки тому +2

    Amakweli ulikuwa ukimcha mungu siyokama uliotuachia hatakulitamka jina la mungu Hakuna kwakuwa hofu ya mungu haipo ndani yao hatutafika zaidi yakuyumbishwa na kunyanyaswa

  • @alexedward4069
    @alexedward4069 3 роки тому +7

    Tanzania tulipata Rais. Pumzika milele kwa amani. Mimi mungu akijalia nikiwa Rais ntakua kama wewe

    • @frankngoloka2589
      @frankngoloka2589 2 роки тому

      Nchi yetu ingefika mbali sana,tungekuwa nchi ya mfano

  • @tajimwakasese9457
    @tajimwakasese9457 3 роки тому +2

    Hapa kazi tu tunakukumbuka sana

  • @fredkyara.babamunguwambing482
    @fredkyara.babamunguwambing482 6 років тому +10

    Shimbonyi. Mae. Shimbonyi mmbe. Magufuli kweli we nomaa.

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 3 роки тому +7

    Hotuba ya Rais Dkt John Pombe Maguli ni yaukweli yenye Siasa na Katiba kama inavyotakia alitimiza Miradi aliyowaahidi Wananchi wongozi wake ni wakipekee Mungu alimchagua kutumikia Watanzania asante Mungu

  • @paulnyasta6439
    @paulnyasta6439 3 роки тому

    Mungu amweke mahala pema peponi

  • @rohitatri95
    @rohitatri95 6 років тому +9

    Melanga Chikubati nimefurahi sana kumuona raisi yupo kwetu ukerewe

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 3 роки тому +31

    R.I.P Papaa we missed you🤲🤲

  • @sammanjeka7357
    @sammanjeka7357 2 роки тому +1

    Dady we missed you.

  • @davidthoya3790
    @davidthoya3790 3 роки тому +3

    R.I.P MZEE MAKUFULI

  • @seifjuma4743
    @seifjuma4743 3 роки тому +5

    Mm n mkerewe daaah nimeumia san hutuba hiiii

  • @eliasylvester6429
    @eliasylvester6429 6 років тому +7

    HAPA KAZI TUU MH MAGUFULI

    • @rohitatri95
      @rohitatri95 6 років тому +1

      Nimekubali na nimependa sana najivunia nyumban ukerewe

    • @ramadhanmahongole5663
      @ramadhanmahongole5663 3 роки тому

      Hapa kazi tu... na siyo uhuru na kazi

  • @coffeemuya618
    @coffeemuya618 3 роки тому +2

    Pumzika kwa amani chumaa Dr John pombe magufuli hakika ww ulikua mtumishi wetu na sio rais wetu

  • @beatricekihehe3733
    @beatricekihehe3733 3 роки тому +5

    Mungu wangu sijui kama tutamsahau huyu

  • @owinochris9886
    @owinochris9886 3 роки тому +2

    Aliye muuwa this man alani we e

  • @t1910j
    @t1910j 3 роки тому +3

    I miss my president so much! RIP 😞

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 2 роки тому

    Tanzania,Afrika na,Dunia nzima tumekupoteza, lakini Mwenyezi Mungu hajakupoteza kamwe. Uko mbinguni kama .Masikini Razalo, ukiwatizama adui zako ng'ambo ya pili, yenye hatima mbaya kwao;kama yule tajiri dharimu dhidi ya Masikini Razaro. Tumepoteza sura yako tu,lakini maneno yako ya busara na hekima yanaendelea kutujenga kupitia hotuba zako mbalimbali."RIP our DaDy"

  • @SteraMisana-us5ov
    @SteraMisana-us5ov Рік тому

    Last in peace fother😭😭😭😭tutakukumbuka daima milele.

  • @gwishtztz8784
    @gwishtztz8784 3 роки тому +15

    Chuma in my heart will live for ever

  • @emmanyahubah5820
    @emmanyahubah5820 3 роки тому +13

    BADO VILIO VIMETANDA !!! NIMELIA SANA 😭😭😭👆

    • @josephwambua5874
      @josephwambua5874 3 роки тому

      Pole sana mungu yupo

    • @JumaBondo
      @JumaBondo Рік тому

      Mwamba nimekuerewa, Hakika machozi hajaisha mioyoni mwetu,

  • @zuberinzige6452
    @zuberinzige6452 6 років тому +12

    nakuelewa sn rais wangu mungu akutangulie kwa maendeleo unayo tuonyesha

  • @salumugidion
    @salumugidion 3 роки тому +2

    Jamaa kilikuwa kichwa kweli kweli 🙏

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 3 роки тому +3

    Hapa kazi tu..

  • @pirminkillumbe4727
    @pirminkillumbe4727 3 роки тому +4

    Mweee Baba RUDI...Baba J.P.M Unatuliza....Mungu turudishie mtu huyu mweee.😭😭😭

  • @justusmutakyawa9802
    @justusmutakyawa9802 2 роки тому

    Nilikupendasana.

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 3 роки тому +6

    Magufuli....no words !!!

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 3 роки тому +4

    Jamani,siku hizi simkii Ndalichako.sijui kazi zote anafanya ummy

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi 3 роки тому +15

    Magufuli you are still staying in my heart 😭😭

  • @vwtv800
    @vwtv800 6 років тому +6

    Mko powa sana azam TV hongereni sana

    • @agnessjohn1222
      @agnessjohn1222 3 роки тому

      Pumzika Kwa Amani shujaa wa Africa mtetezi wawanyonge nivigumu kukusahau lala salama mtetezi wawanyonge pumzika Kwa Amani shujaa wetu

  • @richardmbwana5497
    @richardmbwana5497 2 роки тому

    hongera.makufuli

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 3 роки тому +7

    Hotuba hii ya kutoka kwa Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Maguli ya mwaka 2018 September ni Hotuba yenye Katiba na Uchumi wa kujenga Nchi anayoifahamu Uongozi si kazi rahisi nikilingani Tansania na Nchi zenye maendeleo ndio maana asisahulike tumpe shukrani milele na milele

  • @davidcurtis8556
    @davidcurtis8556 3 роки тому +8

    Dah! Rest in power my hero!

  • @nusaania2950
    @nusaania2950 Рік тому

    Bado nakumiss toka hapa kisumu kenya

  • @basumaadam2686
    @basumaadam2686 3 роки тому +2

    Rip baba Diana tutakukumbuka, yan sichoki kuangalia hotuba zake daima jembe langu ,Mungu aweke Nuru kwenye nyumba yako ya milele😭😭😭

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 2 роки тому +1

    Baba umeondoka lakini utabaki kuwa ndani ya mioyo ya watanzania. RIP Baba.

  • @patrickndichu3905
    @patrickndichu3905 2 роки тому

    Naku-miss Mzee..Lala salama.
    .

  • @graciamligo120
    @graciamligo120 3 роки тому +5

    Rest in Peace mwamba wa Afrika

  • @christinamendrady9148
    @christinamendrady9148 3 роки тому +1

    Continue resting in piece or presdaa

  • @frankkashner
    @frankkashner Рік тому

    Rest in Peace Baba JPM hakika bila Mashaka ninakupenda sanaa sanaa Pasinakifani japo umelala

  • @vedastormwazela2622
    @vedastormwazela2622 3 роки тому +4

    Rest in peace mwamba

  • @eugymaro9623
    @eugymaro9623 3 роки тому +4

    Love sana papaaa RIP

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Рік тому

    N kweli kazi hiyo ilianza na daraja pale Lugezi linajengwa. RIP son of Tanzania.

  • @bonny-tz2323
    @bonny-tz2323 3 роки тому +3

    Go Papa Go.... Maneno na vitendo vyako vinaishi mioyoni mwa-watanzania tu sio hao waliobaki madarakan 😭😭

    • @jeniphjohn9718
      @jeniphjohn9718 3 роки тому

      Joh

    • @simonmagaigwa5496
      @simonmagaigwa5496 3 роки тому

      Kweli, ndo maana unaona mpaka leo kuna watu bado wanapambana na kivuli chake bado hawaamini kama ameondoka.

  • @jerryalfredngailo6106
    @jerryalfredngailo6106 2 роки тому

    Great leader for great country

  • @zickgregory5138
    @zickgregory5138 5 років тому +7

    ukerewe oyeeee!

  • @issakara9403
    @issakara9403 3 роки тому +7

    YANI JAPO ALIKUA NA MABAYA YAKE ILA SALAMU TU UNAJUWA KAMA HUYU RAISI

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 3 роки тому +1

    Ewe mwenyezi MUNGU mkuu

  • @kasigajoseph811
    @kasigajoseph811 3 роки тому +4

    My lovely country Tanzania

  • @zainaburajabu9665
    @zainaburajabu9665 3 роки тому +6

    Tutakukumbuka Sana baba,yanayo endelea kwasasa ni vioja tu

  • @fanuelmakelegeta8562
    @fanuelmakelegeta8562 3 роки тому +4

    Maguful lala Salam

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 роки тому

    Wakerewe walimpenda, huwa ni wagumu sana kucheka :)

  • @emmanyahubah5820
    @emmanyahubah5820 3 роки тому +7

    You missed by us Tanzanians

  • @mhamedabdalah2234
    @mhamedabdalah2234 3 роки тому +13

    Kupata Rais kama huyu huenda atoke kanda yaziwa

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 3 роки тому +5

    Kodi yaatanzania ndio inajenga nchi na matrilion kuibiwa na mafisadi na wengi wapo CCM .uzuri ilijuwa kilakitu ..lala
    Salama
    Baba

  • @mwisyoadam593
    @mwisyoadam593 3 роки тому +2

    Tunakukumbuka Sana

  • @erickmwani1085
    @erickmwani1085 3 роки тому +7

    Yani huyu jpm alikuwa rahisi Wa dunia. Aliwekwa na mungu kwenye madalaka yake kafanya kazi vizuri.

    • @gesusgegangphray7689
      @gesusgegangphray7689 3 роки тому

      Upo sahihi 100% Mungu alitupa na cyo kura..ila amin mdugu tanzania ingekuwa ulaya ma umaskini story..kaa ukijuwa viongozi wanalipwa na wazungu kurudi nyuma .haji tokea kama huyu..matibabu bure pesa Zinaenda wapi

  • @jafaryally2037
    @jafaryally2037 2 роки тому

    Umetuacha yatima haturingi tena mzazi wetu umetuacha. Pumzika Baba kazi uliifanya na njia ulituonyesha kwa kutumia kanuni ya TANU binadamu wote ni sawa. Kuzaliwa ni suna kufa ni faradhi, umetangulia nasi tunafuata. Pumzika kwa AMANI

  • @upendomavere3603
    @upendomavere3603 3 роки тому

    Mmmmh Mungu msamehe dhambi zake kama ungetuambia atafariki tungekuomba utuachie kwanza

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 3 роки тому +4

    Maneno ya uwazi, maamuzi magumu, yataishi katika vizazi vya leo na vitakavyoendelea. Utasimuliwa kwa mema na wachache watasimulia Yao mabaya. Sijui Ni Magufuli gani atakuja kupatikana tena katika hii nchi ya Tanzania.🙆🙆🙆😭😭🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    • @calvinbakari6016
      @calvinbakari6016 3 роки тому +1

      Hatariiiiiiii sn huyu mzeee nampenda sn jmn daaaaa??

    • @josephwambua5874
      @josephwambua5874 3 роки тому

      Tumuamini mungu atawapa kiongozi mwingne

    • @josephwambua5874
      @josephwambua5874 3 роки тому

      @@calvinbakari6016 pole sana bro mungu yupo

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 3 роки тому

      @@josephwambua5874 Duuuuuuiuuuu! Si rahisi kwa sasa, washauri muhimu wote wametangulia mbele ya Haki. Tuko kipindi kigumu kuliko Wakati wa kutafuta Uhuru. Dereva aliyeko nyuma ya mwanafunzi huwa ana KIU isiyoelezeka. Ila Sitaki nimukufuru Mungu kwani anajua kusudi lake 🙏🏼🙏🏼😭😭

  • @calvinmwasambili4080
    @calvinmwasambili4080 3 роки тому +1

    Nilikupenda sana hawa wengine siwaerewi

  • @blessmerody7979
    @blessmerody7979 3 роки тому +4

    Jpm my presdent

  • @rizikiramadhani9671
    @rizikiramadhani9671 3 роки тому

    Tunakukumbuka sana j p m upumzike salama

  • @simonmagaigwa5496
    @simonmagaigwa5496 3 роки тому +20

    Hotuba hizi zulitutia moyo, wananchi walihamasika kuja kumwona na kumsikiliza kiongozi wao, leo hii nchi imepoa kabisa.

    • @tawusishaban5130
      @tawusishaban5130 3 роки тому +1

      tonge tam haifiki mdomoni lala pema peponi amiin

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 3 роки тому

    sasa ni 2022 😭😭😭😭😭
    R. I. P

  • @richardrungwa4030
    @richardrungwa4030 6 місяців тому

    Apumzike salama mkombozi wa wanyonge

  • @vitalismagambo7017
    @vitalismagambo7017 3 роки тому +17

    Hakika Magufuli angelipeleka Tanzania pazuri. Mimi nilimpenda huyu raisi.

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 3 роки тому

      Mim nilimpenda huyu rais
      sasa hiv umpendi kwa sababu amekufa au vp

  • @josephwambua5874
    @josephwambua5874 3 роки тому +3

    Hakika magufuli ni kiongozi wa dunia,mungu ailaze roho yke peponi