God bless you Mwalimu Ndacha. I have come to know you lately and I love what you are doing in the body of Christ. You're a great inspiration in and to the body of Christ.
B4 supporting something read and understand it,cz you call your self born again Christians believing in Jesus,Most of you you're followers of Paulo and not Jesus,read warumi 11,mstari 13,Then tell me 10 countries that yesu alihubiri injili apert from israel
Tangu nianze kufwatilia maandiko haya na mafundisho haya akika nimejua ukiwa katika roho mtakatifu ndio utaelewa walakini kaa hauna roho mtakatifu uwezi elewa thanks mr Ndacha
Ndacha iam a congolese but you are contribute in the body Of Christ. IAM learned more in your teaching may dear Pastor and your Paulo Who read the books, i love you so much
Soma kitabu na uchukue Maandiko na Ukajifanyie utafiti wala sio Ushabiki, Ndacha Kaongea nini! Acha ushafiki! Ndacha hana jipya mungu yupi ywa tahiriwa wewe vipi. Majidiliano kusudi yake ni kuelimishwa chukueni maandiko
Hongera Saana,,, Excellent,,, Fantastic,,, glorious Pastor Ndacha hakika Unasoma Mnoo Biblia kisha unajua sn kuelezea kwa kina kbs kuhusu Yesu Kristo Pamoja na Dini yote ya Kikristo.... najivunia Saana kuwa Mkristo naipenda sn Dini yangu Milele Daima 🙏🙏🙏🙏
Allah ampe Umri Mrefu wenye kheri hyo Mzee wetu *Mazinge* na ajaalie wawe wengi mfano wake🤲 khusuusan katka sisi vijana, ama kwa ndugu zetu ktka ubinadamu Allah awape hidaya ya kumtambua na kumuabudu yy🤲
Spiritual matters is so deep for Muslims to understand. But I thank God for Ndacha is planting the seed for God to make it grow. For sure those Muslims attending this God will visit them secretly and turn their hearts.
@@legend9805 hasa si alikuwa binadamu ...hasa ngoja nikuulize MUNGU ana uwezo wa kufanya lolote na anajua mbele kutafanyika nini ...hasa mbona asizuie hicho kitu kufanyika ingali ana uwezo ....jiulize ...wewe ...sababu ni kuwa yesu alifanyika mwili na ilimpasa afanye yote kufundisha watu kama nyinyi ....alikua na uwezo wa kufanya lolote ila alifwata utaratibu tu Kama binadamu ili mumuelwe ...
You’ve not learnt anything. No verse in the whole bible that Jesus was Christian or entered a church or asked you to be Christians. Uongo mtupu kwendeni zenu
Very true Mr. Ndacha. Now I know why JESUS the desiples that better you who understand these revelations, others will just look without understanding. JESUS IS LORD
Mazinge amepata kipaji kotka kwa Allah ndiooooooo ndiooooooo ndiooooooo mazinge hooyyyyyye 🙏🙏🙏🕋🕋🕋✋♥️🌹🇰🇪👌👌👌👌👌💪 Islam 🙏🙏🙏 mazinge kiboko yenu mutake musitake Love you mazinge hooyyyyyye
@@michaelbaton7711 Yani Hawa JAMAA Wana roho ya mpinga kristo ndani yao hata na wao bila kujua Kama Wana roho ya mpinga kristo ,na Ile roho huwapofusha fikra wajione Wana elim ya dini na kadharika Ila Ni wapinga kristo,Ila hatuna la kuwalaum maana walitabiriwa na lazima walitimize hilo ili andko litimie,na sisi ni wajib wetu kuwahubilia ili wasije wapoteza wengine
God bless you abundantly Pst Ndacha. Hawa makafiri wanamkana Yesu hadharani buy try to misinterpret the Bible verses. Reciting Koran or Reciting the Bible is totally different from reading the Bible and having the Revelation of the Bible.
Mwalimu Ndacha Mungu akubariki sana kabisa . Mupange mutafute connection ya wacunganji wa huku kwetu Burundi muje guhubili injili ya bwana wetu wa mbinguni ! Iri wa Islamu wakubari kubatizwa .
Anawapoteza ndacha hamsikii hamuoni yesu sio mungu,yesu anasema na uzima wamilele ndio huu wakujue mungu wa pekee wa kweli,acheni kupotezwa kuweni waislamu mpate salama
Ndacha unapoteza mda na mazinge... (1 Corinthians 2:11) Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mung. (1 Corinthians 2:12) Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na MUNGU. So mazinge ni wale wayahudi unategemea aelewe vip ingawaje Iko clear?
Mweshimiwa MZEE ndacha ubarikiwe na Mungu wahubiri hao wa mujuwe Yesu kwamba Neno la Mungu tena alikuwa Mungu nayote imefanyika kwa Neno' ila wa eslamu Wana maneno ila hawana Neno ' njo mana hupuruka puruka tu.
Poleni Sana ndugu zetu waislamu kwa Hilo giza lililowafunika kwakweli MUNGU AWASAIDIE KWAKWELI MAANA BAADA YA YOTE KUNA HUKUMU MBAYA SANA ,NA KWAKEJELI MLIZONAZO!
@@jesselingzzy6537 Yesu na Mungu ni huyo huyo...kwa Sababu kabla Duniani haijaumbwa Yesu alikuwepo toka Zamani Mnoo alikuwa Roho,,, ila baadae kbs Yesu Kristo alivyokuja Duniani alizaliwa na bikira Maria (Mariam) hapo alikuwa Mwili ndio Maana alikuwa amekuja km umbo la binadamu
@@jesselingzzy6537 kwa Kifupi ni Kwamba kuna Mungu Mmoja tu ila amegawanyika Ktk nafsi 3... 1.Mungu Baba,,, 2.Mungu Mwana,, 3.Mungu Roho Mtakatifu ...hapo Sijui umeelewa Vzr au
Hivyo Kwa akili ya Mazinge kipofu akisema kuku ni gari kipofu anauwezo kuliko mwenye macho. Yaani kipofu akisema Yesu ni nabii na mwenye macho aseme ni Mwana wa Mungu Mazinge ataegemea upande wa kipofu....balaa sana.
Toa Iman yako pendeni sikiliza kwa umakini maandiko ...mada nyingine aiitaj maandiko ni uelewa wako tyu utapata majibu ..jiulize sifa za mungu then fikiria matendo ya uyo issa ibn Mariam utapat jibu kamili
Jesus told you to worship God. But you worship him instead. Jesus prayed in the mosques but you pray in churches. Jesus took oblution before prayers but you don’t and instead pray with shoes on
We ndacha,Safi Sana,kwanza unaroho wa mungu pili unamjua yesu vizr Sana,alafu unajiamini Kama yesu,shetani hakubabaishi hata kidogo wape injili hao Hadi waseme ndioo.wanakubali sema wakaidi tuu.
Assalamu aleikumu Warahmatulahi wabarakatu shukurani Allah kwa kutuleteya Mazinge wa Tanzanie kwa mada hii🙏 Mimi ni Burundais ni mefurahi sana Allah aku afya njema aku zidishiye mumbri murefu uwa fundishe dini ya kweli Ndini ya ukweli ni uwi silamu peke .
We ndacha toka apo unatuchanganya Amna kitu apo kasome vizuri unawachanganya wasiosoma toka apo yallab tunakuomba mpe maisha malefu shekhe mazinge wetu waislam takbrii👊👊👊
Wapedwa mwenyezi mungu uwa hadhihakiwa ko nyinyi wasato na waislamu mnamzihak muumba kwa midahalu wenu maana kilamtu hajunui ukweli wa mungu ila ni imani
@@salimumbonyumukiza7032 mambo ya roho ayaitaji Elimu, soma hadi ulaya but you will never find spiritual teaching, it need prayerful and much committed man to God, tafuteni kwanza ufalme wa mbingu na mengine mtapewa.
Barikiwa saana mtumishi wa Mungu Ndacha hao wamefichwa ya Roho ni naomba Mungu awafunulie ya rohoni
Shukran Shekh wetu na wote walofanikishakikao hicho ,JAZAKUMULLAH KHAIR JAZAA.
Mungu akubariki sana katika jina la yesu kristo
God bless you Mwalimu Ndacha. I have come to know you lately and I love what you are doing in the body of Christ. You're a great inspiration in and to the body of Christ.
You are the false prophet that God said you will come during the end tyms
B4 supporting something read and understand it,cz you call your self born again Christians believing in Jesus,Most of you you're followers of Paulo and not Jesus,read warumi 11,mstari 13,Then tell me 10 countries that yesu alihubiri injili apert from israel
Mwalimu Ndacha Ubarikiwe na Songa mbele
Wonderful conversations this making me to be achristian indeed, thanks to pastor Ndacha, God leading to inspire and spiritual grew more strong,
Amen..
Alhamdoulillah im Muslim
Ya barriq barik shekh mazinge
Alihmundulilahi ya Allah mubark shekhe mazing mupanuliyekifuwacak azid kuwailimisha wadjawako
Merci cher Pasteur de Jésus-Christ nous sommes ensemble depuis D.R.Congo.
Alhamdullillah kwa neemah ya u Islam ......Allah awahifadhi wahadhiri wetu
Amiin
MashaAllah ustadh Mazinge,,, wafunze Hawa waliopotea,,,
Mzee umepotea
Alhamdulillah, ustadh Mazinge and your colleagues spread the holy Quran and all books of God which mentioned only one God, I'm proud to be Muslim
potea kabisa. 😂 uisilamu ya Muhammad
samahani unakusudia nini@@Andaybuidingworks
Kumbe wewe umepotea mzee
Mashallah sheikh Mazinge
Dacha ubarikiwe ubarikiwe,unalifahamu neno la mungu,wafundishe
Mungu ampe afya njema maznge❤❤❤❤❤
Allahumma Amiiyn
Ustaadh mazinge MUNGU akubariki ndugu yangu akujalie kila la kheri
Mungu mgani unazungumzia?
Hapa nimeelewa,
Kuna mambo ktk roho na Kuna mambo ktk mwili.
Inavyoonekana wakristo wanajua katika mwili na roho lakini waislamu wanajua ktk mwili
Asanti sana mwalimu Ndacha
Akupe maisha marefu shekh wetu mazinge
Amin yarabb
Tangu nianze kufwatilia maandiko haya na mafundisho haya akika nimejua ukiwa katika roho mtakatifu ndio utaelewa walakini kaa hauna roho mtakatifu uwezi elewa thanks mr Ndacha
mtumishi songa mbele
Hakika
I love christianity
Mungu anaomba msaada
Mungu ni roho. Ukitaka kumuelewa inakubidi uwe mu roho apana mu mwili. Yohana 4:23-24.
Ndacha iam a congolese but you are contribute in the body Of Christ. IAM learned more in your teaching may dear Pastor and your Paulo Who read the books, i love you so much
i love this, may ALLAH BLESS YOU ALL
Barikiwa sanaaaa mwalim ndacha Mungu akuweke sanaa kwa ajili yetuu 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Safi
Ndacha kiboko ya mazinge.....
....alaf mazinge huna hoja ila unapiga kelele tu....
Pastor ndacha Mungu akubariki sana....
Amriyakwanza iliofanya wanawa izraeli wasifike kanan kwawakti nihipi au amri azifahi
Anashinda akibweka na hana kitu ya kusema,,kupoteza mda tungekua tunasikiza Ndacha
Ww ujitambui mungu ana baba unajitambua nyie mungu akufananishwa na ki2 chochote jitambueni nyinyi yaan daah inalilah waina lilahi lajion
hahahaaa amumuezi Mazinge kiboko yao😅😅
Na unakaa unaamini mungu mfu. Mungu kafa msalabani na unakaa unapoteza mda kuabudu mungu ambae tayari alishakufa
may God bless you ndacha for unvailing the gospel to them
I'm happy to see you standing firm ndacha for christ.they want it to look like campaign, but you make them understand in a polite way.God bless you.
Soma kitabu na uchukue Maandiko na Ukajifanyie utafiti wala sio Ushabiki, Ndacha Kaongea nini! Acha ushafiki! Ndacha hana jipya mungu yupi ywa tahiriwa wewe vipi. Majidiliano kusudi yake ni kuelimishwa chukueni maandiko
Do your research from what ndacha said,on both religions....you'll find that on Muslim side is actually not true and he doesn't finish the verses
Yupo vizuri saana .
My God bless you mtumishi ndacha watoe kwenye upovu huo wajue akuna lisilo wesekana kwa mungu
Hakika wew ni mtumishi wa Mungu
Mungu akulzidishie hekima na maarifa
Hongera Saana,,, Excellent,,, Fantastic,,, glorious Pastor Ndacha hakika Unasoma Mnoo Biblia kisha unajua sn kuelezea kwa kina kbs kuhusu Yesu Kristo Pamoja na Dini yote ya Kikristo.... najivunia Saana kuwa Mkristo naipenda sn Dini yangu Milele Daima 🙏🙏🙏🙏
Umeona eeh, yani ana roho mtakatifu
ua-cam.com/video/LZo12XUHk-w/v-deo.html
Hakuna ktu apo
Pole kama ww nimkristo,imeandikwa amepotea yoyote amtegemeae mtu kama mungu wake.
Bro read bible carefully. You are at wrong
Habari uko nampenda sana unavyofundisha wa isilamu mungu akuongezee roho ili wa mujue yesu
Allah ampe Umri Mrefu wenye kheri hyo Mzee wetu *Mazinge* na ajaalie wawe wengi mfano wake🤲 khusuusan katka sisi vijana, ama kwa ndugu zetu ktka ubinadamu Allah awape hidaya ya kumtambua na kumuabudu yy🤲
Yaaani bado mnaami uongo
Amin
Kwa lipi mwaminini Yesu acheni Ujinga Hali mkijua Maalifa Yesu ni Mungu
Dini ya uislamu ni dini ya ukweli
@@joasgeorge3710 hatuabudu mungu aliyetahiriwa
Nimeamini Pastor Ndacha Amebarikiwa na MUNGU Amepewa Hakili na Elimu ya kutosha Mungu Akubariki Pastor japokuwa wa islama nivichwangumu hawa sikie
Mwalimu Ndacha barikiweni na team yako kwa kazi mzuri mnafanya kufundisha na kuelimisha watu.
Nyinyi ndo hamunaga ubongo kweli yani mungu wenu kazaliwa
Yani mungu wenu anawajombo mashangazi wababu ujinga kweli kisha wewe ninani yake
je suis ravi de joie de pouvoir retrouve cette chaine
Kila.goti litapigwa mbele zake Yesu kristo nakila.ulimi utakiri yakua Yesu ni Bwana ameen👏👏
Yesu ni mtume naye ni Nabii Issa sasa kma unamkana Allah ww kana tu ila huo ndo ukwel na utabaki kuwa ukweli acheni uzushi huo
Kila ulimi utakiri ya kuwa yesu ndiye mungu
Mazinge, Allah akupe umri mreefu wenye kheri na Baraka
Ndacha ubarikiwe sana uwanja ni wako na Roho mtakatifu fanyeni yenu hapo Naona hawana jipya hao nikweli lazima tuwafahamishe kwa lazima huyu Yesu
Spiritual matters is so deep for Muslims to understand. But I thank God for Ndacha is planting the seed for God to make it grow. For sure those Muslims attending this God will visit them secretly and turn their hearts.
Daah! Kwakweli uislamu Ni msiba! Hivi haya Ni majibu ya swali aliloulizwa kweli? Asante yeah kwa kutufunulia haya.
Wewe ndio una msiba pole sanaa. Yesu anaomba msaada kwa mungu alafu awe mungu loo
@@legend9805
Aliomba msaada wapi..!?
@@RIO-jf9mo nenda kasome bibilia vizuri yesu aliomba mungu amnyanyuwe juu
@@legend9805 hasa si alikuwa binadamu ...hasa ngoja nikuulize MUNGU ana uwezo wa kufanya lolote na anajua mbele kutafanyika nini ...hasa mbona asizuie hicho kitu kufanyika ingali ana uwezo ....jiulize ...wewe ...sababu ni kuwa yesu alifanyika mwili na ilimpasa afanye yote kufundisha watu kama nyinyi ....alikua na uwezo wa kufanya lolote ila alifwata utaratibu tu Kama binadamu ili mumuelwe ...
@@RIO-jf9mo yesu alizaliwa sasa mungu gani yuwazaliwa na binadamu
Mungu akuzidishe ndacha Kwa kazi nzuri ya Mungu🎉❤
Mtumish NDASHA Mungu akupe nguvu ya kuendelea kuutetea UKRISTO.
Soma kitabu na uchukue Maandiko na Ukajifanyie utafiti wala sio Ushabiki, Ndacha Kaongea nini! Acha ushafiki
Utukufu na heshima bwana Yesu kristo nizako Milele na Milele Amen.
Hana lolote huyo ndacha,Mazinge ndio kiboko Yao,Allah Ampe sheikh mazinge Umbri mrefu
Mashallah Allah akubarik shekh mazinge
Allha akulinde shehe wetu wewe ndacha kubali yesu sio Mungu
hupo gizani
Safi sana kazi njema mtumishi wa Mungu ndacha
Mr Mazinge, may God open your eyes
Zz
AMEN
Pasteur Francis ndacha soit béni abondamment par notre seigneur et Dieu Jésus Christ
Blessed be the Name of Jehovah. I have learned alot. Bible explaining its self
You’ve not learnt anything. No verse in the whole bible that Jesus was Christian or entered a church or asked you to be Christians. Uongo mtupu kwendeni zenu
@@bigmanfish6346makasiriko ya nini? Pingana ukitumia hoja 😅
@@ARUWAAHMADA-jz9ms Aruwa uko wapi
@@ARUWAAHMADA-jz9ms aruwa uko wapi? Nipe number yako
Even Quran speaks of Deity of Jesus...But some have refused to listen.Boundless idiocy.
Yesu ni Mungu, Yesu ni Mwana wa Mungu Yoh 1:18, Isay 9:6.Amen
Ubarikiwe Sana mtumishi Wa Mungu Ndacha
Ubarikiwe sanaa mtumishi wa mungu helewa hawa watu niwapinga kristo
Very true Mr. Ndacha. Now I know why JESUS the desiples that better you who understand these revelations, others will just look without understanding. JESUS IS LORD
Jesus sio Lord Wacha kupotezwa na ndacha sasa nani alikua Mungu wa Mariam kabla amzae Yesu,munakufuru lakin mtajibiwa inshallah.
Yohane 1
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
May God protect you Ndacha mtumishi wa mungu ambaye n mmoja wa wale pia nami tutamaliza hii huduma
I proud to be a Muslim. God bless every Muslim 🙏
Mungu akusadie uweze kupata ufunuo ndio utajuwa ukweli
@@SundayChilango-wg1tp wew ndio upate ufunuo sio mim
Kwanini unajivunia kuwa Muislamu?.... toa Sababu 20 nzito kutetea hoja yako
Mazinge amepata kipaji kotka kwa Allah ndiooooooo ndiooooooo ndiooooooo mazinge hooyyyyyye 🙏🙏🙏🕋🕋🕋✋♥️🌹🇰🇪👌👌👌👌👌💪 Islam 🙏🙏🙏 mazinge kiboko yenu mutake musitake Love you mazinge hooyyyyyye
@@FathiaAhmed-px2lm hoyeeeeeeeeeeeeeeee muslim hoyeeeeeeeeee hoyeeeeee
Mashaa Allah Ustadh mazinge Allah akubariki nakuaminia uko vizuri sana wape aya hao.😂
Nashukuru sana pst ndacha mungu akusidizie neema.allready waisilamu wamekubali kuwa yesu ni mwana wangu kutoka kwa kitabu cha yohana 3:16
kwa kifupi tu huyu mzee anaonesha jinsi alivyo amua mwenyewe kuhungana na shetani kumpinga yesu
@@michaelbaton7711 Yani Hawa JAMAA Wana roho ya mpinga kristo ndani yao hata na wao bila kujua Kama Wana roho ya mpinga kristo ,na Ile roho huwapofusha fikra wajione Wana elim ya dini na kadharika Ila Ni wapinga kristo,Ila hatuna la kuwalaum maana walitabiriwa na lazima walitimize hilo ili andko litimie,na sisi ni wajib wetu kuwahubilia ili wasije wapoteza wengine
God bless you abundantly Pst Ndacha. Hawa makafiri wanamkana Yesu hadharani buy try to misinterpret the Bible verses. Reciting Koran or Reciting the Bible is totally different from reading the Bible and having the Revelation of the Bible.
Ishu ni kwamba yesu ni mtot wa mungu ila sio mungu na kutumia jina la mungu haimaanishi kua ni mungu saw
Mwalimu Ndacha Mungu akubariki sana kabisa . Mupange mutafute connection ya wacunganji wa huku kwetu Burundi muje guhubili injili ya bwana wetu wa mbinguni ! Iri wa Islamu wakubari kubatizwa .
Barikiwa mwalimu dacha Ata Mimi ninatamani sana kujua mengi kuhusu bibilia
Anawapoteza ndacha hamsikii hamuoni yesu sio mungu,yesu anasema na uzima wamilele ndio huu wakujue mungu wa pekee wa kweli,acheni kupotezwa kuweni waislamu mpate salama
YESU KRISTO ni MUNGU
Poleni waislam kwa kukosa ufunuo wa mungu awaoba mungu awasaidie
Polemic nyinyi wakristo kwenye finishing ndo amekumalizeni kabisa
Yesu ndiye Mfalme mkuu.
Mbarikiwe wote!!!
ALLAH Akubariki sana ALLAH Akuhifadhi ustadhi mazinge
mazingee Noma Sanaa Allahamdulliha Allah akupe umri ameen
Nguvu ya ndugu zenu majini hazitoboi injili ya yesu
Jini ni mwislamu mbona unamkataa na kasilimu🤣🤣🤣
Ameen
@@tatujuma8781 waislamu na mashetwani ni baba mmoja na mama mmoja wanasali wote misikitini🤣🤣🤣
@@ramadhanmahongole9293 acha kushadadia vitu usivyo na elimu navyo
Ndacha
Mungu akuzidishie maarifa na hekima
Ndacha amemchapa mazinge vizuri sana ,ingili inaendelea mbele amen 👏🙏🙏
Amemchapa na nini nyinyi mtoni direct yesu io sku ataingia peponi bila kuwangalia
Hawez kumshnda maznge kwa hoja
Siku ambayo nabii issa ataingia peponi naziona vile sura za wale walowakimwita mungu watakavyofedheheka mbele ya Allah 🤣😂😂😂😂
@@AnuarMakame-iy2gy Nyie waabudu mashetani na majini na wapinga kristo pepo mtaisikia tu kama ndugu zenu wayahudi waliomkataa Yesu
Unasemakweli ,banacapwasanaaa king is Yesu ❤
Mungu akubarki mchungaji
Ndacha unapoteza mda na mazinge... (1 Corinthians 2:11) Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mung.
(1 Corinthians 2:12) Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na MUNGU.
So mazinge ni wale wayahudi unategemea aelewe vip ingawaje Iko clear?
Mweshimiwa MZEE ndacha ubarikiwe na Mungu wahubiri hao wa mujuwe Yesu kwamba Neno la Mungu tena alikuwa Mungu nayote imefanyika kwa Neno' ila wa eslamu Wana maneno ila hawana Neno ' njo mana hupuruka puruka tu.
Poleni Sana ndugu zetu waislamu kwa Hilo giza lililowafunika kwakweli MUNGU AWASAIDIE KWAKWELI MAANA BAADA YA YOTE KUNA HUKUMU MBAYA SANA ,NA KWAKEJELI MLIZONAZO!
Wewe ndo mungu awaongoze wa kristo wote
Niwashindani aki Kama mishipa imgn umesomewa ukweli lkn we bado wakosa kuamini
Naww pole sana kwakuwa aujui
Ww hujielewii, mungu ni mmoja tu hata mseme vipi
Bibilia imeandikwa tu, zengine ni za uongoo oooo 😂
Thank pst 💓 ubarikiwe mafundisho unaupeana ulimwengu tito 2:12
Ndacha May God bless you,you are making many Muslims to understand about Jesus christ
Allah ampe maisha marefu sheikh mazinge
Mungu akubariki Ndacha,Hoja zako nzito sana.
Halafu siri ya kuweka mafungu mingi hivo kwa kichwa ni gani?
Kafiri ndacha
Mwalimu ndacha mungu akupe Barack
Kafiri utasema tu lakini ukweli ndio mchugu, utameza tu
Barikiwa parto wafunze waamini Bwana Yesu
May God bless you ndacha with more wisdom for transforming Muslim to Christianity, and May God help them to understand the Bible
Good teaching thumbs up
Tumsifu Yesu Kristo kila Wakati Wapendwa 🙏🙏🙏🙏🙏
Goa has no clan
@@Hussayn21 ndio Mwenyezi Mungu hana ukoo...lkn je unamfahamu Yesu Kristo ktk Roho na Mwili,,, au unamjua ktk Mwili tu?
Sasa Yesu na Mungu nan wakupewa sifa?
@@jesselingzzy6537 Yesu na Mungu ni huyo huyo...kwa Sababu kabla Duniani haijaumbwa Yesu alikuwepo toka Zamani Mnoo alikuwa Roho,,, ila baadae kbs Yesu Kristo alivyokuja Duniani alizaliwa na bikira Maria (Mariam) hapo alikuwa Mwili ndio Maana alikuwa amekuja km umbo la binadamu
@@jesselingzzy6537 kwa Kifupi ni Kwamba kuna Mungu Mmoja tu ila amegawanyika Ktk nafsi 3... 1.Mungu Baba,,, 2.Mungu Mwana,, 3.Mungu Roho Mtakatifu ...hapo Sijui umeelewa Vzr au
Dacha mungu Akubaliki sana tena sana.
Hivyo Kwa akili ya Mazinge kipofu akisema kuku ni gari kipofu anauwezo kuliko mwenye macho.
Yaani kipofu akisema Yesu ni nabii na mwenye macho aseme ni Mwana wa Mungu Mazinge ataegemea upande wa kipofu....balaa sana.
you've made my day, nikama mtu akuambie I heard a voice na mwingine aseme i had a dream, utaamini nani...
Aah! Tusimlaumu sana. Ni vile upeo wake umeishia.
Shida mungu wenu katahiriwa ,hatuwezi abudu mtu aliyetahiriwa kama sisi
Ndacha mwalimu wa ulimwengu kuelekeza watu wote kwa yesu kristo😅😅😅😅😅
Ostadh mazinge mwenyezi mungu akujaalie❤
Yesu ni Mungu kweli kweli.
Mungu alotahiriwq
Mungu alotahiriwa
Amen amen Yesu akusaidie
Heee this a teacher bibilia sikukuwa naijuwa lkn nimeanza kuishika Kwa sababu ya ndacha
Amina jina la bwana litukuzwe. Ubarikiwe sana mtumishi Wa mungu
Inalilah wainalilah laijion
mtumishi ndacha barikiwa Sana
Nakukubali sana mwalim Ndacha unawanjoosha sana wabishi hao
Yesu ni yeye yule Jana na milele
Good work kwa kuelimishana nawatu wa Mungu wajue ukweli
Toa Iman yako pendeni sikiliza kwa umakini maandiko ...mada nyingine aiitaj maandiko ni uelewa wako tyu utapata majibu ..jiulize sifa za mungu then fikiria matendo ya uyo issa ibn Mariam utapat jibu kamili
Tatizo yarohoni Salio rohoni ndo wawezao kuyatambua,
Walio rohoni
Ubarikiwe mazinge fundisha hao waliopotea😢😢😢
Jesus the Lord and king all praises and worship onto him
Jesus told you to worship God. But you worship him instead. Jesus prayed in the mosques but you pray in churches. Jesus took oblution before prayers but you don’t and instead pray with shoes on
We ndacha,Safi Sana,kwanza unaroho wa mungu pili unamjua yesu vizr Sana,alafu unajiamini Kama yesu,shetani hakubabaishi hata kidogo wape injili hao Hadi waseme ndioo.wanakubali sema wakaidi tuu.
True man of God Ndacha.
Nyamaza mungu anakataa kiburi kama yenu waislamu.yesu alijishusha nyinyi mmejawa na kiburi,mungu huwafunulia mengi wanyenyekefu
Laailaaha illallah muhammadurrasuulullah
Ndugu Ndasha Mungu yu Pamoja nawe Atakupa nguvu.waislam hao, siku zote wako ki mwili.
Bwana muchristo achana na huyu muislamu yeye anamujuwa Yesu kimwili tu. Na ukisema Roho Mtakatifu kwao unakuwa umegonga mwambwa.
Ww ujitambui Amin mungu anakufa na Amin yesu mungu mbwa ww
Yes ni mungu na ndiye aliyepewa ufalme wote mbingun na duniani
Assalamu aleikumu Warahmatulahi wabarakatu shukurani Allah kwa kutuleteya Mazinge wa Tanzanie kwa mada hii🙏
Mimi ni Burundais ni mefurahi sana
Allah aku afya njema aku zidishiye mumbri murefu uwa fundishe dini ya kweli
Ndini ya ukweli ni uwi silamu peke .
Wew pole sana
Amin
Uwikrist so din ya hak
@@edmundrobert2740 hatuabudu mungu aliyetahiriwa
We ndacha toka apo unatuchanganya Amna kitu apo kasome vizuri unawachanganya wasiosoma toka apo yallab tunakuomba mpe maisha malefu shekhe mazinge wetu waislam takbrii👊👊👊
Thank u pastor ndacha conntue teaching them in Truth and spirit because their eyes are still closed.
Wapedwa mwenyezi mungu uwa hadhihakiwa ko nyinyi wasato na waislamu mnamzihak muumba kwa midahalu wenu maana kilamtu hajunui ukweli wa mungu ila ni imani
Mwalimu ndacha akuna need ya mafundisho na watu kama awa awajui yesu alikuja nduniani kimwili
Ndacha wewe wacha uwongo tafazari mimi sizani uwongo wako kama wewe nimu somwi kwel dacha wewe muzehe mazinge muna fikiri wewe una jarimbu kweli hawuna elimu
@@salimumbonyumukiza7032 mambo ya roho ayaitaji Elimu, soma hadi ulaya but you will never find spiritual teaching, it need prayerful and much committed man to God, tafuteni kwanza ufalme wa mbingu na mengine mtapewa.
Soma quran au biblia, not in vein to do this
@@filexbenefits5612 hatuwezi abudu mungu aliyetahiriwa
@@salimumbonyumukiza7032we ndio ujui kusoma (musomwii) ndio nini!!!?
Mwalim Ndacha mungu akubariki 🙏🙏🙏
Ndasha nalikua muslum kuanzia APA n'a amini Christ kuwa mungu
Ubarikiwe
POINT
Amina ubarikiwe
@@nininahazwedonavine3349ACHA uongo
Una akili ww sio muislamu ww unatuzuga tu
Mungu ni mwema waisilamu wanafikiwa na injili ya milele ufunuo 14:6