KATI YA YESU NA MUHAMMAD NANI WAKUFUATWA, MCHUNGAJI NDACHA AUBUKA, WAKRISTO WAELEWA UKWELI UKO WAPI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 290

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 24 дні тому +46

    Nilikuwa mkristo leo ndio nimeamin sikufanya kosa kutoka huko,Ahsant Mungu kunileta katika Uisilam 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @silvesterojanji2007
      @silvesterojanji2007 24 дні тому +4

      Yaani umeruka mkojo ukaingia kwenye mavi so yesu atakuukumu saidi mohammed.

    • @Oman-k4j
      @Oman-k4j 24 дні тому +4

      Mashaallah mungu akuongoze kw sababu huyo ndacha anaruka anachoulizwa anasema vingine

    • @Oman-k4j
      @Oman-k4j 24 дні тому +2

      Honger Hussein mashaallah

    • @ustadhfarouq7729
      @ustadhfarouq7729 24 дні тому

      ​@@silvesterojanji2007Uislam ndio dini ya haki inayofuata maamrisho ya Mungu ajabu ww hujawahi tawadha tangu uzaliwe Wala kusujudia mungu Sababu hamfuati maneno ya YESU nyinyi ni wanafiki.. MATHAYO 15:7 na YOHANA 13:8 hvi haya maneno wayajua ww je nani hufuata...msujudie bwana mungu wako umuabudu yeye peke yake lkn wakristo huimba eti YESU ndiye anastahili kuabudiwa huo ni ukafiri.. Mungu anasema yeye nu Bwana mwenye wivu...na kila kitu ni chake yeye LUKA 4:8.Someni wacheni ujinga viti vimejaa makanisani wakati YESU alivitupa na akasema mm nyumba yangu itaitwa nyumba ya ibada lkn nyinyi mmeifanya kuwa ya wanyang'anyi... mpaka leo viti bado viko Kanisani kishe useme wafuata YESU bure kabisa enda msikitini kama utaona waislam hukaa kwenye viti... YESU alikua muislam.

    • @jakuabdull34
      @jakuabdull34 24 дні тому +3

      Umefuata njia sahihi na hutojutia maisha yako yote

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 24 дні тому +7

    Ndachaa Hana hojaa atumia ujajaa tu ashaiona kweli atasilimu kwauwezoo wakea mungu

    • @jameskilasa759
      @jameskilasa759 22 дні тому

      Ww mwenyewe muhamad huwez elewa

    • @IsaacNzai-e7s
      @IsaacNzai-e7s 13 днів тому

      Acha uvivu wakusikiliza
      Sikiliza vizuri acha kiburi

  • @midompemba9647
    @midompemba9647 22 дні тому +6

    Dini ya haki mbele ya m/mungu ni uislamu

    • @banyankirubusamarc1727
      @banyankirubusamarc1727 13 днів тому

      Dini ya shetani mbere ya mwenyezi Mungu ni wislamu, inampinga kristo.

    • @threebrothers..
      @threebrothers.. 18 годин тому

      Haya ni maneno ya maiti Muhammad,sio maneno ya mungu

  • @BashiruWaziri-p7p
    @BashiruWaziri-p7p 19 днів тому +2

    Namshukur allahh kuzaliwa muisilam allhamndulillahh

  • @Atijasumail
    @Atijasumail 21 день тому +3

    Masha allah kua kutoka ukristo kuongia wislamu

  • @ramadhanidhahabu9509
    @ramadhanidhahabu9509 20 днів тому +3

    Nimechagua njia sahihi saana alhamdullah

  • @MejumaaRashid-s8g
    @MejumaaRashid-s8g 19 днів тому +2

    Ndacha nakihutumia sana Allah akuongoze na wafuasi wako uache kuwadanganya yesu aleta uzima hiyo ni shiriki kubwa naniwacha Mungu matusi yanini hekima

  • @hassanmuktaar1198
    @hassanmuktaar1198 24 дні тому +3

    فَهَلْ يَنتَظِرُونَ إِلَّا مِثْلَ أَيَّامِ ٱلَّذِينَ خَلَوْا۟ مِن قَبْلِهِمْ ۚ قُلْ فَٱنتَظِرُوٓا۟ إِنِّى مَعَكُم مِّنَ ٱلْمُنتَظِرِينَ ١٠٢

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 23 дні тому

      @@hassanmuktaar1198 siku HIZI kiarabu siyo Dili... kiswahili ni lulu njema.usitumie lugha isiyo fahamiwa na wengi ni uoga wa kizamani.

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 23 дні тому

      @@hassanmuktaar1198 waarabu walitaka kueneza kiarabu Kwa mbeleko ya dini....kwani Mungu akihubiriwa Kwa kiswahili hataeleweka????

  • @mohameddarus3027
    @mohameddarus3027 16 днів тому +1

    Uyu ndacha aereweki mala yesu mungu mala mtoto uyu kwar mfata mkate

  • @delickmarco3945
    @delickmarco3945 21 день тому +6

    ❤ndacha shikamoo ukweli umenibariki ukristo stok kabisa yaan uislamu niupuzi kweli

    • @SharifuKombo-rb6vk
      @SharifuKombo-rb6vk 20 днів тому

      Hujaelewa ww2

    • @abdul-majidndegwa6607
      @abdul-majidndegwa6607 17 днів тому

      @delickmarco... umeamua ni matusi sio.. ?

    • @AbdulRahim-rl2df
      @AbdulRahim-rl2df 9 днів тому

      Nyinyi ndugu zangu katika imani msiwajibu hawa viumbe bado sana kielimu yesu ni muislam wao sijui wanamfuata nani ikiwa yesu alikuwa anatawadha na ana vua viatu wakati wa kufanya ibada wao wana vaa na wanaingia na viatu

    • @AhmadidadiDadi
      @AhmadidadiDadi 5 днів тому

      sio uislamu upuuzi ww ndo mpuuzi upo kwenye usingizi yesu katumwa kwa wana wa izlaeli makabima 12 ndani ya hayo makabila kabila lako nipo zinduka we huyo ndacha mjanja wa maneno

  • @abdul-majidndegwa6607
    @abdul-majidndegwa6607 17 днів тому +1

    Jamaa kaleta unafiki na akaitwa mnafiki kisha wakabisha.. Mwishoe mnafiki kadhibitisha unafiki wake peupe.. Ndacha mkenya mwenzagu wacha kujiaibisha ndiyo maana Mwenye Enzi Mungu kasema ulimi utakiri na ulimi wako wakiri.. Soma ilivyo andikwa na kisha soma umalizie sentensi au aya hadi mwisho... Ndiyo maana wakristo wazidi kuwa Waislamu wakijisomea wenyewe.. Islam remains the Number one growing Religion in the World kama wabisha fanya Google ikusaidie

  • @DaudiMwizarubi
    @DaudiMwizarubi 20 днів тому +8

    Ndacha mmoja ni sawa na waislamu 25

  • @Raelboke-b6y
    @Raelboke-b6y 23 дні тому +3

    Mungu awaguze wasilam watafakali ukuu wa mungu na yesu wabatizwe Ili wapate uzima wa milele

    • @MesaIdd-dn3vt
      @MesaIdd-dn3vt 20 днів тому

      Uzima upi hakuna mkisto ambae atakufa ndio apate uzima wa milele

    • @MesaIdd-dn3vt
      @MesaIdd-dn3vt 20 днів тому

      Wakristo jitambuen na muache kuendeshwa na mtu na kuabudu mtu

    • @AhmadidadiDadi
      @AhmadidadiDadi 5 днів тому

      pole sana kwa kuto ona ukweli upo wapi

  • @jasintakendi5939
    @jasintakendi5939 24 дні тому +2

    Mungu azindi kukupea nguvu mwalimu

  • @FunnyHermitCrab-gh4sw
    @FunnyHermitCrab-gh4sw 20 днів тому +3

    Ndacha mwalimu

  • @FestoMagawa-xz1kc
    @FestoMagawa-xz1kc 22 дні тому +1

    Ukiwa kwa yesu uko salama

  • @salimurhova5031
    @salimurhova5031 11 днів тому

    Ndacha ulaniwe na Mungu kwa hicho kiburi cha kutukana mtume Muhammad s.AW.

    • @Izzoh22
      @Izzoh22 8 днів тому

      Wewe nyamba

    • @AhmadidadiDadi
      @AhmadidadiDadi 5 днів тому

      shee tumsamee bure hajuwi asemalo ALLAH bado hajampa taufiki kk

  • @nimbetebwangabwa8521
    @nimbetebwangabwa8521 24 дні тому +4

    It' seems that Ndacha u got self hates against Islam and Muslims,,

    • @JohnOuya-w7j
      @JohnOuya-w7j 20 днів тому +1

      No ndacha nows the truth Jesus is truth way and life,no one can go to the father without Jesus,this words u can't find to muhamadi,ndacha does not hate Islam,or Muslim no,I thank God because ndacha nows well qurani and the bible,and the bible is greate than quran even u ukno that,be blest my brother come to Jesus he will save u,don't die before u except Jesus now u will be very happy during judgement day

    • @abdul-majidndegwa6607
      @abdul-majidndegwa6607 17 днів тому

      ​@@JohnOuya-w7j to Quick to judge... Read the history of Christianity and how it come to be from well documented historical documents Do the same with Isla.. since following something blindly and you can do your own Research is Not that clever

    • @nimbetebwangabwa8521
      @nimbetebwangabwa8521 7 днів тому

      @@JohnOuya-w7j u have to knows that Mr Ndacha he doesn't knows Qur'an he knows translate,to knows Qur'an u need to go Madrasa or Muslims school,,

  • @claverirambona6068
    @claverirambona6068 23 дні тому

    Ndacha Bwana Yesu akibalik

  • @JoshuaSalimu
    @JoshuaSalimu 24 дні тому +5

    Muhammad ni mganga wa kienyeji

  • @sheikhaswalehsalim3392
    @sheikhaswalehsalim3392 24 дні тому +2

    Huyu ndacha ni tahira ,na ana jitahid kumpotowa dini ya kiislam,lakini huwezi dini ya kiislam ni ya haki na hawezi, kama una lipwa katabiri kani sani,maana una wapa wakiristo kuwa na uhakika wa dini ya kiislam,ni ya uhakika hata muka fanya nani 😂😂😂😂😂😂😂

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 23 дні тому

      @@sheikhaswalehsalim3392 amewakamata pabaya safari hii....mlimwita wenyewe. Hamkujua...?? Na bado!!!!

    • @jameskilasa759
      @jameskilasa759 22 дні тому

      Uislam sio dini kabisaa

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 18 днів тому

      Dini kiislamu ni dini ya Majini mtu mwenye akili huwezi kuwa Muislam

    • @abdul-majidndegwa6607
      @abdul-majidndegwa6607 17 днів тому

      ​​@@erickmsigala138wewe kama una akili basi tuambie Dini ni nini na Jini ni nini ?

  • @abasingaruka1872
    @abasingaruka1872 22 дні тому +1

    Ndacha hawezi xshi dwa hona Labda Ni hona hoja dhaifu, Ndacha Ni mtaalamu wà vitabu,

  • @DassoukiTelecom-t3i
    @DassoukiTelecom-t3i 23 дні тому +1

    Pastor Ndacha mfu on mungu akuonekanie kila mahali uendapo

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 24 дні тому +1

    Mashekhe wamebabaika jinsi yesu anavyo inuliwa,ujanja wa waislamu na kukatakata maandiko leo inafichuliwa kumekucha yesu ndie njia sahihi ya kwenda kwa mungu

    • @BekhaChambaly
      @BekhaChambaly 24 дні тому

      We umesikiliza kweli au ulikuwa unamsikiliza ndacha pekee akeee

  • @geofreysamwel4945
    @geofreysamwel4945 22 дні тому +1

    Im the Way, the truth and the life no one came to the father except through me, Maneno ya JESUS ,

  • @midompemba9647
    @midompemba9647 22 дні тому

    Bibilia nzina hakuna andiko linalo sema ukiristo ni dini ya m/mungu

    • @redydasca8846
      @redydasca8846 22 дні тому

      Na korohoni mzima hakuna andiko lolote Mungu alimchagua Mohamad kuwa mtume wake

  • @zuenahassan8882
    @zuenahassan8882 24 дні тому +3

    Wajua ndacha mi uwa nakuona unapoteza muda..ssa ukisema wakufuatwa ni yesu cio muhammad..swali langu ni je! Huyu yesu mwamfuata kwa ibada zake na kila kitu ama munamfuata kwa kumuimbia tu..inafaa ndacha ukimfuata yesu afanye ibada kama alivyo fanya yesu uwe muislamu kama yesu

    • @herimornchriston6083
      @herimornchriston6083 24 дні тому +1

      anhaa mbn nyinyi hamuoe binti wamiaka 7 kama muhamadi??

    • @estakenia
      @estakenia 24 дні тому +1

      😂 wewe hauna ufahamu wowote kuhusu Yesu. Badilika umfuate Yesu, yeye tu ndie njia pekee ya kwenda peponi.

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 23 дні тому

      @@zuenahassan8882 wewe mnansingizia YESU HAJAWAHI KUWA MUISLSM. NI MUYAHUDI .YOHANA 4:18- 21 ANASEMA WOKOVU WATOKA KWA WAYAHUDI.haya najua hiyo hutaipenda. Uislamu imeanza MWAKA 622 Karne ya Saba. YESU kesha paaa.....Hata waarabu wa kale walikuwa wanaenda kuabudu...uyahudini. matendo 2: 5-10. Na waarabu walikutanika siku ya pentecost...

    • @charokazungu1655
      @charokazungu1655 23 дні тому

      Yesu na uislam niwapi nawapi😂😂😂

    • @zuenahassan8882
      @zuenahassan8882 23 дні тому

      @@charokazungu1655 wakristo mkifa ndio mtajionea upotovu wenu saii mmekuwa kama vipifu ssa mkisema yesu ndio ananjia ya uzima kwaio c mungu mwenye njia ya uzima yesu ndio kila kitu kwenu cndio

  • @HistoryBOOK-l6r
    @HistoryBOOK-l6r 12 днів тому

    Shallom, shallom kwa Kila Dini na kabila zote;
    Katika Ahadi zangu na kazi zote kwenye utawala wa Imani,
    Sioni sababu ya kulumbana;
    Mungu Alijitukuza kabla ya" - na bahada ya", Leo - Jana - dahima,
    *Soma
    1) mwanzo 1-1-2.....",
    2)Wafilipi 4-9;
    Ayubu 5-6.
    Bila Dini au nabii, Mungu Alikuwepo.

  • @AntonyManeno
    @AntonyManeno 18 днів тому +2

    Mungu Aku Hifadi Mikononi Mwake Salama Hadui Ajapo Kutafuta Asiku Pate Ndacha Wewe Ni Chuvi Tena Ni Barua Ya Waisilam. Waisilam Wana Fanya Comedy Ndio Maaana Hawasikilizi Wana Kufanyia Makelele Na Kuku Sema Vibaya Badala Ya Kufata Hoja.

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 20 днів тому

    Sisi tulio ndani ya yesu tuko salama ,nawewe mwislamu njoo kwa yesu ili uwe salama,uwe mmoja wawale alio pawa yesu,

  • @Hshshsueue
    @Hshshsueue 21 день тому

    Yesu pekee

  • @TRIPLE.3Rs
    @TRIPLE.3Rs 14 днів тому

    Ndacha mungo kweli ila kinyogoli kiboko hata ndacha anamtambua

  • @blackbodyguardx3607
    @blackbodyguardx3607 14 днів тому

    Waislamu hawana lolote Ukristo ndiyo Dini

  • @salomedarema304
    @salomedarema304 11 днів тому +1

    Jesus is the way, truth and life

  • @kingofjungle510
    @kingofjungle510 17 днів тому

    Nilikuwa uisilam na shukuru Yesu kwa kuniokowa. Muhammad hajui kusima wala kuandika atafundisha nini? Leo nimejua zaidi kuwa sija potea

  • @DesderiusHaule
    @DesderiusHaule 16 днів тому

    Wahadhiri wa kiislamu wakilemewa na mada wanageuka mara wanakuwa wachekeshaji ili kuwapoza waumini wao wanaowasikiliza

  • @mamyto_aziza5157
    @mamyto_aziza5157 3 дні тому

    huyu mpeni 3yrs later atakua mwislam tu. kisha hizi maudhui zinaitaji subra wallahyi mmananikera sema basi tu.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 10 днів тому

    Ndacha yuko juuu hata mohamed anajua yesu atakuja kuhukumu ulimwengu

  • @suleymandachi782
    @suleymandachi782 17 днів тому

    Safari hii ndacha amekiri yesu sio Mungu bali ni Nabii siku zinakuja atajua Muhammad kaja kuwaongoa wakristo wapagani waislaam

  • @FestoMagawa-xz1kc
    @FestoMagawa-xz1kc 22 дні тому

    Ndacha safisana kwakutowa maandiko sahihi kwahao wanafunzi mana muhamadi hajuwi kusoma Wala kuandika weunazani hao wafasiwake watakuwaje ndiomana hawaelewi endelea ndacha kuwafundisha hao wanafunzi ambao Bado wanabisha wasicho kijuwa

  • @silasmutwiri9159
    @silasmutwiri9159 19 днів тому

    Kua muislam ni hakika umeamua kuingia motoni mzima mzima

  • @ZuberAlly-s5l
    @ZuberAlly-s5l 14 днів тому

    tuwe wenye kusoma na wenye kuelewa vizur

  • @navokisembo
    @navokisembo 20 днів тому

    Yesu akulinde mtumishi

  • @chrispinkagaruki4170
    @chrispinkagaruki4170 24 дні тому +3

    Mimi siku zote huwa nawauliza swali moja waislamu, hakuna hata mwislam mmoja amewahi kunijibu. Huwa nataka ufafanuzi wa Sura 2 na haya ya 97 na 98.

    • @jonasdaniel1025
      @jonasdaniel1025 24 дні тому +1

      Hawawezi jibu hata siku moja

    • @chrispinkagaruki4170
      @chrispinkagaruki4170 23 дні тому

      Naomba Leo tena nijaribu kurudia maneno ya hizo haya kwa ufupi tuzitafakari pamoja kama zinatusaidia kuamini kweli qur'an ni kitabu cha Mungu. Haya ya 97 inasema hivi; "sema, aliyekuwa ni adui wa Gibril basi huyo ndiye aliyeitelemsha qur'an moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu inayobainisha uongofu kwa wenye kumcha Mungu.
      98 inendelea kusema; "adui wa Gibril, na adui wa Michael na malaika wote, na mwenyezi Mungu, na hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri.
      Sasa waislam tafadhali achana na matusi njooni muzifafanue hizi haya.

    • @jumabeka1271
      @jumabeka1271 22 дні тому

      Hujaelew aya inavo manish ndo maan unapat tabu aya inamtak Muhammad aseme kwa alie kuwa adui wa gbril ambaye anamfany gbril adui yak bc ajue huyo gbril ndo alie iteremsha qur an sio adui wa gbril ndo kaiteremsh qur an na anaye jifanya adui wa gbril na adui wa mitume na adui wa mikail na adui wa Mwenyezi Mungu bc mwenyezmung niadui wa makafir kwa maan ukijifany adui wa gbril na adui wa mikail na mitume bc mwenyezmung pia ww ni adui yak

    • @nimbetebwangabwa8521
      @nimbetebwangabwa8521 22 дні тому

      What's does it say. ?

    • @nimbetebwangabwa8521
      @nimbetebwangabwa8521 22 дні тому

      U have to knows that. the Quran was revealed as spoken word, from All-might God, through Hollyangel Gabriel to prophet Muhammad Peace up on him,, then Mohammed he say to his peoples as command from his Lord,

  • @TRIPLE.3Rs
    @TRIPLE.3Rs 14 днів тому

    Ndacha anapiga mtama maandishi sana

  • @DesderiusHaule
    @DesderiusHaule 16 днів тому

    Kinyogoli, lssa atakapokuja atakuwa kama kadhi ila Yesu atakapokuja atauhukumu ulimwengu kwa uadilifu. Sasa Fanya utafiti ili ujue je ni kweli Yesu ndiye Issa.

  • @mwanyunimadee4157
    @mwanyunimadee4157 19 днів тому

    Ukweli ustadhi ameshindwa tuwe wazi follow the whole debate utajua Kuna majanga kwa muhamad

  • @Emmanuel-q8l
    @Emmanuel-q8l 23 дні тому

    Kweli wana wa Israel wamelaaniwa kasababu wamekua wauwaji wakubwa duniani ivi sasa

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 22 дні тому

    Ivi Wakristo ambao kabila zao ni Wanyamwezi,Wajaluo,Wakikuyu,Wazaramo wakisoma andiko Yesu katumwa kwa kabila 12 za Israeli peke yao,hua wanajiskiaje,hawana wasi wasi? Yani bibilia kila ikikaa inataja kabila za Israeli

  • @sadikihalfani
    @sadikihalfani 9 днів тому

    Nimecheka sana kuwaona WA Tanzania wanajisingizia ni waisraeli😂😂

  • @OlaiRobert-j3p
    @OlaiRobert-j3p 16 днів тому +1

    Ndacha mungu akutie nguvu upambane na hawa waislamu wapinga kiristo

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 20 днів тому

    Yesu ndie njia iliyo sahihi,muhamadi jia yake sio sahihi ni mpinga kristo nimuongo anae acha kristo na kuingia Islam hajielewi amechanganyikiwa nisawa na mujinga,

  • @basilejuma
    @basilejuma 20 днів тому

    Waislam wabatizwe, wale wafuasi wa Yesu ni watoto, walio kataa Yesu ni ma umbwa, hi ni hatari

  • @banyankirubusamarc1727
    @banyankirubusamarc1727 13 днів тому

    Ndhaca anafundisha ukweli, tatizo la wa islamu, wa nanganganania wislamu, kwa kupenda mafundisho ya huo wislamu wa kuakubalia fulaha ya kuoa wake wengi, hiyo ndio sababu yagupigania wislamu, capili ni kusaidizana na mashetani kwakipato ca maisha ya duniani ni hiyo tu yani ukweli hawana, uongo tu na kutumia ujanja wa kujibu wasico uulizwa , kwasababu wanajua aya nyingi za bibliya wa nazisoma kwa kuzitumia vibaya ili wapoteze watu, Lakini ukiwa makini bila ushabiki unaona uongo wawo.

  • @DesderiusHaule
    @DesderiusHaule 21 день тому

    Ustaadhi bakonzi unayo maswali mazuri saana, ambayo yakijibiwa na pastor Ndacha huwa majibu yake yanaufukia uislamu kisawasawa. Ni majibu sahihi kabisa yanayosomwa kutoka katika biblia na ikibidi katika korani hongera ustaadhi bakonzi. Shida ninayoiona kwa wauliza maswali ni kwamba pale wanapojibiwa huwa hawatulii kuyasikiliza majibu na ndio sababu wakirudi jukwaani utawasikia wanayarudia maswali yaleyale ambayo tayari yamesha jibiwa. Wanafanana sana na wale wanafunzi wa shule ya msingi madarasa ya chini tena ni yale yenye wanafunzi 150 mpaka 200

  • @MwamvuaHamis
    @MwamvuaHamis 18 днів тому

    Ndacha.nimfuasi.wa.shetwani.hata.nasaba.ya.yesu.huijui

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 24 дні тому +2

    Kichwa Cha UA-cam hiii kina mushkeli. Ndacha amejibu swali kikamilifu...ila... Waislamu hawajakubaliana kwani wanauliza maswali ambayo tayari majibu wameyaoanga kulingana na KITABU chao wanachoamini kuwa ndiyo Cha kweli. Hivyo kama unalazimisha ajibu ulivyopanga...muulizaji. Na hiyo siyo NJIA Bora ya kujifunza.,.ila kutakuwa ni ubishi tu. YESU katika MATHAYO 28:18--19. Ni Kwa ulimwengu wote....

  • @moodyhassany8928
    @moodyhassany8928 21 день тому

    Issa bi marimau kwenye sahii bukhar akija atakuwa na cheo cha unabii na sio kadhi sjui acheni uwongo mashekh na msome vitabu,alafu kingine issa bi mariamu awezi kuja maana ashafariki yule issa bi mariamu wa israel awezi kuja yule kafa kwa mwijibu wa qur ani atayekuja atatokana na umati muhammad

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 18 днів тому

      @@moodyhassany8928 Umati utakao ambatana Muhammad ni Majini yaliyo mpa utume huko pangoni

  • @ElitumainiMartin
    @ElitumainiMartin 14 днів тому

    Hongeraa ndacha Mungu akubarki

  • @drigomsaky7132
    @drigomsaky7132 17 днів тому

    Ndacha umeeleweka kabisa

  • @jameskilasa759
    @jameskilasa759 22 дні тому

    Ila waislam wanadanganywa sana

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 21 день тому

      Mnodanganywa nyinyi msojielewa ,ht Bibilia inasema Islamu ndo Dini ya Haki mbele ya Allah

  • @florencemushi6561
    @florencemushi6561 20 днів тому

    Ndacha hawezi kushindwa kabisa.eaislam uongo umewakolea sasa munatapatapa. MANENO ya mtumishi Ndacha ni kiboko yanawavhoma kweli kweli. Hata kujipinga ni bure ndani mwenu munajua ukweli ni kupitia kwa aliye Kweli na Uzima..YESU KRISTO.

  • @basilejuma
    @basilejuma 18 днів тому

    Yani Yesu kristo mwataka kulinganisha na marehemu Mohamed, mtu yuko kaburini,na mwingine yuko mbinguni,loo sisemi kitu

  • @NsubiRaphael
    @NsubiRaphael 19 днів тому

    Hawa ndacha achana nao,mtaonekana wote wajinga, nyinyi sehemu kibao hamjafika,pale Yesu alipomfukuza shetani mbona hamsemi

  • @Mudi-zk2cy
    @Mudi-zk2cy 18 днів тому

    Dini ni uislamu tu.

  • @AbdullahiFarah-q3s
    @AbdullahiFarah-q3s 22 дні тому

    Ukweli unabakia

  • @NicodemBarantanda-ud7qy
    @NicodemBarantanda-ud7qy 24 дні тому +2

    Yaani kwa Yesu Kuna majembe TU Waislam wote mnajua kilichotangulia kati ya Biblia na Koloani Biblia imetangulia Karne kadhaa baadaye ndipo Koloani ikapatikana ndyo maana vilivyovingi vya kwenye Koloani wamevikopi kwenye Biblia.Ndiyo maana Yesu mwenyewe kwenye Koloani ametajwa mara nyingi kuliko Mhamadi wakati kwenye Koloani tulitegemea habari ya mjini awe Mhamadi lkn siyo jamani waislam mbona mnapotea kilaisi hivyo.

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 23 дні тому

      @@NicodemBarantanda-ud7qy Holo safari hii kawadhibitii...wanahaha.... Na badooo

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 23 дні тому

      @@NicodemBarantanda-ud7qy wanamkaumu Hadi mwenyekiti wao wa kiislamu. Eti hajui kuendesha midahaloo...nani ...aliwachagulia???

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 23 дні тому

      Refa umlete mwenyewe Tena umpige kijembe....Jamani!!!!

  • @NsubiRaphael
    @NsubiRaphael 19 днів тому

    Nyinyi waislam tupeni fact ya kumfuata mo'd,msianze kuhukumu hamna kweli

  • @enfantmalisawa3124
    @enfantmalisawa3124 20 днів тому

    Waheslamu muhashe ushabiki hokokeni tu muwe wa Christo Mtumishi Mungu azidi kukulinda sikuzote kwa jina la yesu Christo

  • @boscojohnny8980
    @boscojohnny8980 12 годин тому

    Lakini ni nini inakuaga kwa akili zawa islam?? Yani kuelewa vitu ndogondogo kwao ni kazi ngumu...nilikua mmoja wao lakini nikapoea Yesu Christo

  • @shadrackkipngenoh3913
    @shadrackkipngenoh3913 16 днів тому

    Ndacha anaacha andiko

  • @OmariAbdi-c9k
    @OmariAbdi-c9k 20 днів тому

    Ndacha ni mnafiki tu haelewi chochote

  • @NsubiRaphael
    @NsubiRaphael 19 днів тому

    Nyinyi wenyewe si mmesema yesu hata kuja kuhukumu sasa mambo kuua nguruwe,kufunja misalaba nyie elim ya biblia hamna

  • @sadikhussein3158
    @sadikhussein3158 21 день тому

    Huyu ndacha ni mgonjwa wa kufahamu bibilia haelewi nawaomba waislamu msiharibu mdawenu kufanya mdahalo wowote na ndacha

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 19 днів тому

    Hakuna mijitu mimbumbu kama miislamu

  • @makkawi4294
    @makkawi4294 12 днів тому

    Mambo ya ki mwili na ki roho ni vitu viwili tofauti wacha ni cheke mm🤣🤣🤣

  • @AgnesEsther-n5r
    @AgnesEsther-n5r 2 дні тому

    Harris Karen Jackson Thomas Lopez Charles

  • @suleymandachi782
    @suleymandachi782 17 днів тому

    Ndacha bingwa wa kuruka aya ili kupotosha ukweli ukitaka kunishika inakubidi usome aya wewe mwenyewe

  • @navokisembo
    @navokisembo 4 дні тому

    Yesu ndo njia kweli na. Uzima.

  • @banyankirubusamarc1727
    @banyankirubusamarc1727 13 днів тому

    Kinyogoli ww unadaganya waislamu , shetani nimufuasi wawaislamu vipi wakati yeye Muhammad alimusilimisha akawa mwislamu? Mmemukana ndungu yenu shetani? Mkimkana mumemkana hata utume wa mtume wenu Muhammad . Wawislamu hamna kitu cakusema mbele ya wakristo wakati hamja coma moto vitabu vyenu. Vitabu vyenu, ni ushetani mutupu.

  • @BabaGanjo
    @BabaGanjo 8 днів тому

    Muna msifu muogo wakiristo wa pumbavu TU

  • @rajabumalonda2625
    @rajabumalonda2625 18 днів тому

    Ndacha unakoti maandiko ambayo unafahamu fika kuwa si ya biblia halisi Bali ni jitihada ya waandishi.Hayo c maneno ya Mungu Wala maandishi ya asili asili hayajulikani kabisa mbona mda wote mnatumia tafsiri tu Tena iliyotokana na lugha ya kiingereza Wala c ya kiharamaiki lugha halisi iliyofundishia bwana Yesu

  • @estakenia
    @estakenia 24 дні тому +1

    😂 waislam wameshindwa kabisa ktetea uislam. Yohana 14:6.

    • @fatumakiboto6157
      @fatumakiboto6157 24 дні тому

      du I'm ukrixto hata kwa era polen in maksfili😊

  • @deriusmahugu6836
    @deriusmahugu6836 23 дні тому

    Nlidhani kua mwislamu lakini sikua na ufahamu kuna majini

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 18 днів тому

    Ndugu zangu waislamu msipanic kama amekosea kusoma kitabu mletee ukweli acha upumbavu Kinyogol soma maandiko hujuwi lolote

  • @user-nw1uk1vr2q
    @user-nw1uk1vr2q 12 днів тому

    Ndacha MUNGU akulinde KWa ukweli huu. Yesu ana mamlaka popote

  • @dafarshaabduba8280
    @dafarshaabduba8280 21 день тому

    Sasa tuna compared aje mtu amekufa Ako kaburini na mweye ai Ako kwa mungu mpaka Leo Tena anakuja ,Mohamed ni marehemu unalingisha na yesu imagine Ako hai mpaka saa ii

  • @jorgitolucasbaluth8903
    @jorgitolucasbaluth8903 23 дні тому

    Ndacha no atari

  • @mwenda8911
    @mwenda8911 23 дні тому

    Nliposikia amri kumi za Mohamed nlichukia uislamu kapsa

  • @MwamvuaHamis
    @MwamvuaHamis 18 днів тому

    Ndacha.wewe.jahilia.acha.kuchafua..utukufu .wa mwenyezimungu.wewe.ni.utabaki.kuwa.kibalaka.cha.wazungu

  • @MaryNjeri-d6y
    @MaryNjeri-d6y 23 дні тому

    Yan Hapa Kwa elimu aliyotupa Ndacha hata mm Natosha kuwajibu headline ya Uongo kutafuta views 😂😂😂

  • @Nizigiyimanaloger
    @Nizigiyimanaloger 12 днів тому

    Ndacha mbali sana namsomaji wako yaani kukubali ukweli nivigumu pengineko ulikuw umejalibu kuwambia hao wa islam wakuje kwa Yesu bado mda upo wasione haya

  • @mozesdaniel7484
    @mozesdaniel7484 24 дні тому

    Mimi nilikua mwislam lakini kwa
    Tabia za Mohamad kuoa watoto wadogo nakuchinja watu wasio kubali uislam pamoja na Majini niliamua kuokoka mpaka leo siitwi mussa naitwa Daniel

    • @salimobeid1470
      @salimobeid1470 23 дні тому +1

      We ni muongo ni kafiri tokea mwanzo

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 23 дні тому

      @@mozesdaniel7484 hapo umesahau alimsilimishaa hadi shetani mwenyewe

    • @mozesdaniel7484
      @mozesdaniel7484 22 дні тому

      Ndacha kawavuluga sana mashekhe wakaanza kupiga kerere bila kuheshimu utaratibu wa mdahalo.
      Aisee kuliko kufuga majini nibora niende baa nikalewe kuliko kufuata Mafundisho ya uganga wa kienyeji nakumfuata Mtume ambaye Anasubiri Hukumu.

    • @anwarabdallah7095
      @anwarabdallah7095 21 день тому

      Ungeiita dust badala Daniel uko kwa Giza bro hujielewi?

    • @anwarabdallah7095
      @anwarabdallah7095 21 день тому

      ​@@mozesdaniel7484prophet Muhammad kiboko yenu ngojeni kiama mtajuwa hujuwi

  • @sadikihalfani
    @sadikihalfani 9 днів тому

    Ivi uyu Kafir ndacha mbn haeleweki kwahy Leo yesu sio Mungu!??

  • @PetroDeo-s2v
    @PetroDeo-s2v 3 дні тому

    Ndacha fundisha wairam wamjue yesu

  • @hassanmuktaar1198
    @hassanmuktaar1198 24 дні тому +1

    He do Wrong translations this kafiri kubwa

  • @MaryNjeri-d6y
    @MaryNjeri-d6y 23 дні тому

    Tunajua Yesu alifanywa Lana nahio ni biblia inasema ivyo sasa kufanywa siokuwa Yesu ni lana biblia twaijua na lugha ya Kiswahili twaijua Ndacha anawafundisha mpaka kiswahili

  • @drigomsaky7132
    @drigomsaky7132 17 днів тому

    Umeeleweka

  • @OlaiRobert-j3p
    @OlaiRobert-j3p 16 днів тому

    Yesu ndie usima wakweli

  • @saijize
    @saijize 17 днів тому

    ndacha mmoja waislamu wengi lakini anawazidi Kwa hoja Kristu ni tumaini letu wote.