MDAHALO: JE, MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU? MCH. NDACHA NA MWL. DANIEL VS UST. SHAFII, MAZINGE, MAULANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • MDAHALO HUU UMEANDALIWA NA TAASISI YA BIBLIA NURU YA DUNIA YENYE MWENYEKITI WAKE FRANSIS NDACHA NA KATIBU WAKE JAFARI MASSAWE WAKIWAHOJI WAHADHIRI WA DINI YA KIISLAMU JUU YA UTUME WA MTUME MUHAMMAD.

КОМЕНТАРІ • 35

  • @ekitelaCaroline
    @ekitelaCaroline 21 день тому +1

    Muombeni mwenyezi mungu kwa njia ya Allah,muombeni mwenyezi mungu kwa njia ya mungu Allah na mungu ni vitu viwili tofouti

  • @abdallahjuma2608
    @abdallahjuma2608 26 днів тому +3

    Mashaallah sheikh shafi kwakuwa fundisha ma pastor

  • @orediphilip93
    @orediphilip93 25 днів тому +1

    Kweli Daniel wewe ni mwalimu na unajua kufundisha Mungu akuzidishie

  • @msabilapaul4013
    @msabilapaul4013 26 днів тому +4

    Mpokeen YESU kuwa Bwana

  • @josephmuchina3051
    @josephmuchina3051 26 днів тому +1

    Hawa waislamu kajeruhiwa na Hilo swali la Ndacha,pole kinyogoli huu ni wakati wa Mungu wa kweli kujifunua ambaye Amefanya Hawa waalimu wa kislamu kuwa tuu kama wanafunzi 😊

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 26 днів тому +1

    Masha ALLAH 🇰🇪💚💚 💚

  • @ibraimodinodino828
    @ibraimodinodino828 26 днів тому +1

    Mashallah

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 26 днів тому +2

    2WAKORINTHO 3:6 Naye ndiye aliyetutosheleza kuwa wahudumu wa agano jipya; si wa andiko , bali wa roho, kwa maana , andiko huua, bali roho huhuisha.
    II CORINTHIANS 3:6 Who also hath made us able ministers of the new testament; not of the letter , but of the spirit: for the letter killeth, but the spirit giveth life.
    USHAURI : Umbeni saana uwepo na ujazo wa ROHO MTAKATIFU sio maandiko.

    • @funakoshtadash6163
      @funakoshtadash6163 14 днів тому

      Rafiki, naomba roho wa Mungu akusaidie kulielewa hilo fungu na si kwa tafsiri yako. Swali la kujiuliza ni hili, ungemjuaje huyo Roho Mtakatifu unayetaka tumuombe bila andiko? Na kama tukichukua tafsiri yako kuwa andiko linaua, ndiyo kusema Mungu amelituma Neno lake ili lituue? Kumbuka, ukweli wa andiko hauko katika fungu bali katika "mukhutadha".

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 26 днів тому +1

    Ukweliiii hamuhutaki mwenyezimngu hajapendaa kuwakubaliyaaa kuwaongowaa..

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 26 днів тому +2

    Yani leo tena ndo nimeongeza uhaminifu kwa mtume wetu yesu kristo nimeamini ni mtume aliyetuma na mungu wetu ili tuweze kumuamin

    • @salimbahatisha3003
      @salimbahatisha3003 26 днів тому +2

      Angalau akili inaanza kufunguka kidogodogo na kujua kwamba YESU ni mtume wa Mungu alietumwa na MUNGU, na wala Yesu hakika sio MUNGU kama wachungaji wengi na maaskofu wanavowaaminsha... Ipo siku utazid kuelewa zaidi juu ya imani ya uislamu

    • @AbuJuhaifah-c8j
      @AbuJuhaifah-c8j 26 днів тому

      @@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k ndio tunataka ufahamu ivoo kua yesu ni mtume

    • @bitsanjE
      @bitsanjE 25 днів тому

      @@salimbahatisha3003 toa andiko kuwa yesu sio mwana wa mungu,kwenye biblia

    • @a_melly
      @a_melly 24 дні тому

      Yesu ni zaidi ya mtume, Koran inathibitisha hayo!

  • @ADIMUSALUMU-ko6zp
    @ADIMUSALUMU-ko6zp 26 днів тому +1

    Ndacha hana kitu ni mbishi tu

  • @FadhiliMagana
    @FadhiliMagana 25 днів тому +1

    Makafiri hawaelewi hawa vipara tu

  • @Khalifaathumani-cy5om
    @Khalifaathumani-cy5om 21 день тому

    Uislamu una ushahidi thabiti kimaandiko hiyo nyingine sijui husoma kitabu gani.

  • @dafarshaabduba8280
    @dafarshaabduba8280 23 дні тому

    Najua waslamu wemekula Mori ata Mimi siamini Mohamed na Allah mwenyewe Nina shuku sana

  • @AbdirashidmohamedNoor
    @AbdirashidmohamedNoor 25 днів тому +1

    Ndacha ashaelewa uislamu ndio dini ya ukweli lkn kwa sababu ya kiburi na mshahara anazopata kutoka kanisana hataki kuwa muislamu . Lakini ukweli ni kwamba siku ya mwisho mbele ya Mungu Ndacha utajuta pamoja na wafuasi wako usipokuwa muislamu. Yaaani wakitisto wanaabudu Yesu binadamu kama wao badala ya kuabudu mwenyezi Mungu . Mwenyezi Mungu Allah awaongozi kwa njia ilionyoka. Wale walio na mioyo ya kuelewa ukweli wanajua Yesu ni binadamu wala sio mwana wa Mungu .

    • @a_melly
      @a_melly 24 дні тому +1

      Ndugu, God has no religion! It's only relationship. Je, how does Allah (supposed god) relate to you?
      Ndacha has already tasted the truth in Jesus Christ.

    • @boscojohnny8980
      @boscojohnny8980 22 дні тому +1

      Ndacha hana kiburi elimu yake niya hali ya juu...waislam hawana akili mingi ya kumuelewa

    • @DominicHamis
      @DominicHamis 18 днів тому

      Ndacha. Anauwezo mkubwa wa maandiko ya biblia na anajuwa kufafanua vizuri maandiko na jasiri katika kupambana na hojja za wahadhiri wa kiislamu Tena wale wanaojiita mapropesa wa midaharo ..hongera sana Ndacha mpiganie mwokozi yesu kristo.

  • @BadJunior-v7g
    @BadJunior-v7g 25 днів тому

    sijawahip kumuona ndacha akishinda mdahalo zaidi ya kujaaliwa ukaidi wa kupotea 😅😅😅

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 25 днів тому

    YOHANA 16:13 Lakini yeye atakapokuja, ROHO MTAKATIFU ....awatie kwenye kweli yote
    JOHN 16:13: HOLY GHOST guide us to all truth.
    Without Holy Ghost no trueth, dont depend in letters only

  • @LaughKey-f8x
    @LaughKey-f8x 26 днів тому +1

    Shafii hana lolote hajui chochote wahala hana hoja yoyote yakusimama mdahalo na mtumishi Ndacha kujifanya mswahili na hata kiswahili chenyewe hukijui muogatu wewe

  • @rashidyshangwe9202
    @rashidyshangwe9202 26 днів тому +2

    Ndacha anakuj n vitabu vyakuokota ili apate ushind lakn wap😂

  • @OmariAbdi-c9k
    @OmariAbdi-c9k 4 дні тому

    When the time of Jesus there was no bible no Christianity fact

  • @MiziziMti
    @MiziziMti 26 днів тому +2

    Huyo shafi hakuna analo lijua

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 25 днів тому

    Daniel unajichanganya! Unasema Ismail ni muebrania, sasa kama ni hivyo basi Isihaka naye ni muebrania maana wote ni watoto wa Ibrahim. Sasa kama yesu ni kizazi cha Ibrahim (Ishaka) vipi yesu awe Myahudi? Au leo kirini kua Yesu ni Muebrania.

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 25 днів тому

    Ndacha unasema huogopi Mwl wa kiislam wala hakuna mada unayoiogopa wakati ulimuomba Dr. Sule asilete mada ya je, Krismass ni kuzaliwa kwa Yesu? na ukasema kua huna hoja za kutosha kuitetea?

    • @moshantoj
      @moshantoj 25 днів тому

      Sasa unataka atetee kitu ambacho hakuna kwa biblia... akili yako imejaa tu ubwabwa?

  • @KudraRashid
    @KudraRashid 26 днів тому

    Wakristo msipo elewa hawa masheikh wetu basi jueni mmepotea mnaskia ndacha na majibu ya waislam

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 25 днів тому

    Watakao muelewa ndacha Lazima wanamtindio wa ubongo!! Jamaa Ni bonge la confuser anaungaunga aya zisizohusiana ilimrasi tu awadanganye watu😂😂