Wewe pastor wetu wa tz pole sana akuna kitu yo-yote unachokijua kwa Bibilia kupayuka tu Ndacha uko na kazi kubwa ya kuwaubilia watu bambana MUNGU ako na wewe
Watu wa Mungu barikiweni kwa kuonesha ukomavu wa maandiko ktk kuutetea upande Fulani na lengo kila mtu apate kujifunza na kupata maarifa ya kiroho, mwendelee kika wakati lakini kwa amani ya Bwana wetu Yesu Kristo,Amina
Mtumishi wa Mungu Bwana Yesu asifiwe. Nimefatilia mafundisho yako kidogo lakini naomba nikufundishe neno hili kutoka 20:1-17.hizi ni amri tulizopewa na Mungu mwenyewe. Na sabato imetajwa katika maandiko haya kuanzia Aya ya 8-11. Kutoka 31:13-16. Sisi tuliokubali kumfuata Yesu kristo tupo katika uzao wa Ibrahimu kwa imani (waebrania 11:1-;pia mathayo 5:17 Yesu hakuja kutangua torati. Yesu akiwa ni Bwana wa Sabato tunatakiwa kumfuata yeye. Naomba usipotoshe watu wa Mungu.
Nilifuatilia kwa makini mjadala, kilichonifurahisha ni jinsi mlivyokubaliana kuacha malumbano ya kimadhehebu bali kufanya kazi pamoja kuwahubiria Waislam habari njema. Mungu awabariki sana walimu wetu.
Iwapo Kuna walakini katika Imani yenu, mnapata wapi uhalali wa kuwakaboli waislamu? Ni habari ya kibanzi na boriti kwenye macho yenu. Ni unabii kutimia hapo Kuna Msabato (mkristo wa kweli na mjumapili mkristo wa uongo)
Mwalimu Daniel hoja zako unazoleta na kuzidifend hazijitoshelezi mwenzio huyo ndacha ameisoma vizuri biblia ndiyo maana hoja zake zinaeleweka. Kajipange upya ili utuletee hoja zilizoshiba.
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊lll😊lllllllllllllllll😊lll😊l😊lllllllllllllllllllll😊llllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllww usingilie huyo mjadala haukjhusu kamwe kwn hata uislamu Kuna shia na suni , wote waislamu lkn mitizamo ni tofautj bro
Watu tunaishi ka sheria mungu ila kama husomi bibulia ndiyo utahoji sabato rakini hata kwenda mbinguni tutaanza safari kwenda mbinguni siku ya kwanza ya juma na sabato ya kwaza tutasali mbinguni shetani naye ameleta siku jumapili waliyo wengi wanaabudu shetani siku hiyo na shetani anao wengi
Ndacha anaeleza kuwa Sabato ya kumwabudu Mungu ndiyo amri ya milele na haiwezi kubadilika na kudai kuwa sabato za aina nyingine ziliondolewa(ziliachwa) kwa kuwa si amri za milele, naomba a some vizuri Walawi16:29-31;23:26-32. Mungu anasema kuwa "Amri hii itakuwa ya milele kwenu katika mwezi Wa saba siku ya kumi........... Ni sabato ya raha ya makini kwenu ninyi.......... Ni amri ya milele . 1. Ikiwa Mungu hawezi kuibadilisha amri, nani aliiondoa amri ya mwezi Wa saba siku yakumi katika ibada za kisabato hivi leo? 2. Mwezi Wa saba siku ya kumi ni sabato ni amri ya milele,je, hii nayo ni AMRI ya ngapi katika amri kumi?
Mbona wasifanye ibada siku yoyote? Mbona ikuetu jumapili , tuko na masiku kadhaa , hata juma tano. Jumapili ilitungwa na binadamu ili waaribu sabato ya Mungu . Shetani ni mjanja sana hadi watu wanampigania .
Hakuna mahala tunaagizwa kuishika siku[ ukiwaondoa Waisraeli] sisi tunapaswa kumwabudu Mungu pasipokuishika siku bali siku zote tumwabudu Mungu maana siku zote ni mali ya Mungu. Yesu alishitakiwa na wayahudi kwa kosa la kuivunja sabato na kweli aliivunja akiwa na maana haina nguvu tena. Yote sisi ka Wakristo tumsikilize Roho Mtakatifu anatwambia nini kuhusu sabato? Nafsi yangu haimuhukumu mtu kwa kushika ama kutokushika siku[sabato].
Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa, yeye njia ya ukweli na Uzima, auwezi kwenda Kwa baba bila ya YESU. Tunahishi ktk agano jipya, ambalo YESU ndilo aliloliacha na mitume na manabii wake, atuishi ktk agano la kale . Katika agano lake wayaudi walishindwa kuliishi, wakamchukiza mungu, ndio akamtoa mwanae WA pekee YESU KRISTO aukomboe ulimwengu kutoka utumwa WA zambi.
Ukikataa amri za Mungu ata roho wa Mungu huwezi kuwa naye.Yesu kasema .Yohana 14:15-17 mkinipenda mtashishika amri zangu,nami nitamuomba Baba naye atawapa msaindizi mwingine ili akae nanyi ata milele ndiye roho wa kweli
Nioneshe mahali ndani ya Biblia mahali ambapo Yesu Kristo baada ya kufufuka kwa siku zile 40 baada ya kufufuka aliwahi tena kuitunza Sabato ili nionekane sina Roho wa Mungu?
@@BAYYINATDMTVmwalimu hapo una puuzia. Matayo24:16 haya Ali ya sena kabla ya kufa kwake. Na baada ya kufa Ali wa ambia ku hubili hayo aliyo wa ambia Matayo 28
@@BAYYINATDMTVkaka Muonbe Mungu akuzawadie roho wake ili ufungukie, hizi theology schools zitazidi kufanikisha malengo yake tu ya kunywesha watu mafundisho gushi, sai umekauka tu na after resurrection hakushika sabato aliongea hivyo kwenye kitabu gani. Mbona unataka aya ya kuwa alishika na hautoi aya ya kuwaambia wanadamu achaneni na sabato nimeifuta? Sasa naona unaanza kumfanya yesu kuwa mtutuku kwa baba yake, Mbona avunje sheria za babake Mungu? Na hata akuna mahali alisema ni wewe unamusemea
@@jeffrankjeff1433 yaani unazidharau shule za biblia ili tuuamini ujinga wako usio hata na ushahidi wa maandiko? Mpaka sasa unaongea kijinga tu bila kunitolea fungu nililokutaka ulitoe. Nakukumbusha jwa mara ya mwisho; je unalo fungu kwenye biblia linalosema Yesu baada ya kufufuka aliendelea kuishika sabato yeye mwenyewe au mitume wake? Kama unalo fungu hilo toa kama huna kaa kimya.
Sa sa mwalimu wetu Daniel,wapi ulionesha yesu alienda fundisha mengine mafundisho kwenyesinagogi yenye hayakuwa sabato? Baada yayesu kufufuka hakufundisha tena alikuwa ameachia kazi mitume,mathayo 28:16_18
@@venancemwakibete9763 Mungu akupe muda mrefu ushuhudie umuhimu wa ibada na utajua. Mungu alimaanisha nn ktk ibada, amri za Mungu hazipunguzwi na mwanadamu hata yodi moja
@@venancemwakibete9763 kama haingekuwa ya .aana Mungu haingeitaka akaibariki na kuitakasa na kuiweka siku yake, unless ausomj bibilia inavyofaa, kama siku aingekuwa inaokoa basi ungenambia kanisa amabalo unaendanga kwa ajilj ya kumuabudu Mungu ni unaenda Tuesdays
Basi Niko na maswali na nyenye walimu 1 katika mchadala huu wenu roho Yuko upande ngani 2. Kwani sisi wenyewe tunabishana kuusu mambo ya yesu Kristo maana ukweli ni kwamba roho mtakatifu ayupo ndani ya dini ya sda kabisa ayupo .na kitu chochote kisicho na roho kimekufa
Yote ni sawa tuu ilimladi usivunje sheria ya mungu. harafu hiyo habari ya kusema kwamba mungu anafanya kazi kwa vipindi siyi kweli mungu anafanya jinsi apendanyo siyo kwa vipindi. Ama bora useme ali wakati ule tulisoma agano katika vipindi tofauti
Ndugu zangu tunaomwamini Yesu. Yesu alikuja kuwa kielelezo chetu. Yeye akawa njia kweli na uzima. Amri zote za Agano la Kale akazirekebisha akaziweka kwenye amri ya upendo kwa Mungu na jirani. Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote ,...., na jirani yako kama nafsi yako. Akaiweka amri mpya Yohana 13:34-35. Akaivunja sabato. Amri ya nne ni amri ya kutofanya kazi yoyote siku ya sabato wewe wala wanao wala mtumwa nk. Ni siku ya kupumzika. Yesu ambaye ni Mungu hakupumzika akafanya kazi.
Kwahiyo unavyo amini kwa maan hiyo hata kuiba basi tuibe tuu kwa sababu alituachia hizo mbili kwanza elewa alikiwa ana manisha zire amri kumu kwa maan Musa alipewa amri mbili mja Mungu dhidi ya mwanadamu na nyingine mwanadamu dhidi ya mwanadamu yani kwa maan hiyo namanisha zire mbao mbili ambazo alipewa mbao mja ilikuwa na amri nne zinazo muhusu Mungu pamja na mwanadamu mfano amri ya kwanza hadi ya mwisho utasoma kile kitabu cha kutoka 20:1-17 utazitabua vizuri na kuanzia amri ya tano ndo mbao ile ya pili hadi kumi ndio jumla amri zinakuwa kumi Hata mbinguni hadi Leo hizo amri zipo Mungu hawezi kubadilisha mamuzi yake acha kumshuhudia Yesu uwongo hajabadilisha
Rudiarudia nyuma ukasikie vizuri pako siku mbili za ibaada; yakwanza niyamuvuta kristo=sunday mwingine niya Kristo =Sabato ya jumamosi Zaburi 119:152;158
Kwa ufupi mwalimu ndacha anasema mungu, anadai kumtii tu. Abraham alijaribiwa na mtoto wake . Adam na eva walikosa kutii na this resonates well with siku zote n sawa lakini ya mungu imesemwa. Vile vile miti yote n sawa lakini ya katikati ilikataswa.
Mwankwema hajui kuwa agano la kale kulikuwa na Sheria makundi 4 1.Sheria za maadili, 2. Sheria za vyakula 3. Sheria za kafala. 4. Sheria za utawala Akizijuwa Sheria hizi atagunduwa kuwa anakwama wapi ama anajuwa lakini anatamani tu kuendelea kupotosha watu.
Jpili ni siku ya saba kwangu mimi na nimeokolewa kwa neema,sasa mliokolewa kwa sheria endeleeni kubishana na kuhukumu watu na ndio wavunjaji wa amri za Mungu nakukumbatia jmosi
Ktk amri kumi za Mungu amri moja ya nne imezaa dhebu. Utakuta ktk hizi kumi bado tisa zitazaa au zilisha zaa madhehebu. Ila tuangalie agano la kale ni nini na agano jipya ni nini. Agano la kale ni mkataba wa Mungu na wanadamu zamani Agano jipya nimkatsba wa Mungu na wanadamu kwa sasa. Sasa je kwanini tuishi kwa mkataba wa zamani wakati mya ulishatolewa? Na kama kunakung'ang'ania mkataba wa zamani je masharti ya mkataba wa zamani utauweza? Siku ya sabato usiende umbali wa kutupa jiwe. Mtu akizini adipokamatwa hana dhambi ila akokamatwa apigwe mawe hadi afe. Na amri zote kama hizo. Ke wasabato wanafuata haya?
Asante sana Mw Daniel kweli Sabato niya wayahudi sio sisi wamataifa tena kinacho waponza wasabato nikuona kila muntu kama hasali siku yasabato wanasema ni mufwasi wa antikrito kweli wame isha potea wawoo nusu niwayuda nusu nyingine ni wakriso
Kataa Sabato,Umekataa Mungu aliye Muumbaji tena umevunja yote James2:10 wewe nenda Ziini,kuwa mwizi..Penda Mali ya jirani yako..maana Agano la kale lilitoweka pamoja na Amri zake
Umezidiwa huna hoja rafi unabishana mpaka na maadiko mwalimu danieli ni mwalimu wa vipofu na viziwi na wenye mtindio wa ubongo pole mwalimu saoma sana biblia acha kuweka hisia zako.
Dhambi Ni uasi wa sheria za Mungu.Amri za MUNGU hazikuishia msarabanii bali baadhi ya amri Kama amri ya kuchinja kondoo ili kupata kafara ya damu kuwa Kama ondoleo la dhambi .
Mwisho wa siku hatuwezi kubishania siku ya kusali kila mmoja ajitahidi kumwanini Yesu ili aokoke Aurithi uzima wa milele Naamini hakuna mtu atahukumiwa kwaajili ya siku ila kuyafanya mapenzi ya Mungu
@@DaimonMwapelele-g1dkama Amri ya Sabato ingekuwa ya muhimu, mbona Wasabato mlimfukuza Yesu Bwana wa Sabato kwenye Sinagogi lenu siku ya Sabato? Tangu mlipomfukuza mliwahi kumuomba msamaha ili arejee tena kwenye Sabato yenu?
Ukisoma Hosea 2:11 Haikupi mwanga wa kujua kitu gani kinaongelewa. Kujua nini kinaongelewa ni lazima usome Hosea 2 yote au usome Hosea 2 kuanzia fungu la 10-12 hapo utapata jibu kama hilo analohitaji kulielewa huyo mwalimu wa Lutheran kwamba neno "sabato zake" na huyo "zake" ni nani
Aaah baaas kumbe hadi naona colifications zako mchungaji Daniel za kuwa shekh, yani ukifuata sheria za Mungu utakuwa chini ya laana jameni, kwaivyo watu wawndekee na kuzini kuiba kuivunja sabato na kuzilinga sheria zote za Mungu kwa ajili ya kuiepuka laana, hayaee umetufikisha hapo, endelea, kiama kipo njiani
We muinjilisti daniel we ni muingo nacha hajahamisha sabato kutoka kwenye mbaombili za mawe kwenda moyoni Bali aliye hamisha ni mungu mwenyewe ndacha yeye kasoma TU,ila wewe unamshutumu eti kahamisha .
Ndacha pambana kuokoa roho za waislamu pengine na waromani ambao wako vuguvugu hachana kabisa na watu walio okoka au hujapata kusoma andiko Bwana Yesu akisema kondoo wengine ninao ambao siyo wa zizi ili.
Wewe ukisema Sheria Baba yako alikupa kwenu uzigatiee..uzitii utakuwa na zingine kando na za babako? YANI WAKRISTO WA LEO SWALI LAKO LAONYESHA VILE WASOMEWA BIBILIA NA WALIMU WAKO ACTS11:26
@BAYYINATDMTV Aty Ndacha anasema A Sabbath day's journey means A Sabbath Day! It means, A Jew was permitted to travel 2,000 cubits on the Sabbath (Exod. 16: 29 and Num. 35: 5), about 1.2 km. (¾ mile), and the Mount of Olives was within this distance from Jerusalem (Acts 1: 12). So it was just a distance of just 1.2 km that is being talked about here. Asante Sana Mwalimu. Mungu akubariki
Kwa hiyo ukiisha vunja sehemu ya amri umevunja yote.Huwezi kuishika sabato kwa kufanya kazi. Ukifanya kazi umeivunja sabato. Yesu alikuja ili Yeye awe yote katika yote ndiyo maana alitaka fahamu zetu zote zimwelekee Yeye wala si siku au vyakula au mwandamo wa mwezi maana hivyo ni vivuli na hatuhesabiwi haki kwa kushika vivuli.
Ndacha ufikie vizuri kenya kuna wakati wa baridi au Tanzania kunawakati wabaridi hao wayahudi kwao kuamsim wa baridi sisi mataifa tuko hapa Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; Wakolosai 2:16
Mwalimu mtz basi ondoa agano la kale lote kuanzia mwanzo hadi Malachi kwa sababu kulingana na wewe agano la kale halifai tena yaani nimepitwa na wakati.Nabii Isaiah alitabiri kuzaliwa kwa yesu katika agano la kale na huo unabii ulitimia wakati Yesu alipozaliwa.M tz Yesu akiwa msalabani alisema yote yamekwisha yaani alikuwa amemaliza kazi aliyotumwa kuifanya na babake ambaye ni Mungu wetu ndio maana hakuenda tena sinagogi kuabudu siku ya sabato.walipokuwa wakiumega mkate Yesu aliwaambia wanafunzi wake hatashiriki tena chakula nai bali Hadi watakapokusanyika tena mbinguni.M tz wewe ni mpinga kristo mkubwa sana sabato haikuondolewa ndio maana tukifika mbinguni tutaabudu Mungu sabato Hadi sabato.
@@OLUNGAJOSHMAH Alijifunza toka kwa baba yake wa imani Ayubu (Ayubu 31:1-3). Na hili nimelijibu kwenye somo hili. Lakini inaonekana unaposikiliza unakuwa na majibu yako ytayari kiasi kwamba hauko tayari kusikiliza kwa kuzingatia nilijibu nipoulizwa swali hilo hilo na Ndacha.
Nimefuatilia mjadala ni vema kila upande utoe hoja vizuri ili tunapo fuatilia tuwe na uamuzi mzuri, msifanye ushabiki tu sisi sote tupate uzima Yesu ajapo.
Mwl Daniel anachanganya sabato (sabbaths) za sikukuu za maadhimisho (ceremonial laws) zilizokuwa zikisonda kwa masihi ajaye. Baada ya Masihi Yesu kujua, zilikoma. Sabato hizo si sehemu ya amri 10 ambayo Sabato ya siku ya 7 ya kila wiki sehemu yake kama amri ya 4.
Sijachanganya chochote. Sabato zote zilikomeshwa. Je uko tayari niweke kipindi na wewe ili uje utueleze hayo? Nijulishe. Kama uko tayari nitumie namba yako ya WhatSap. Huenda tukaelimishana.
Mwl. Daniel hajaelewa kuwa sheria za amri 10 za Mungu ziko ktk vitabu vya begani jipya hata kama hazikupangwa kwa mtiririko wa 1, 2, 3, .. Ktk nyaraka za Mtume Paulo ametaja mikusanyiko ya ibada siku za Sabato x 84. Ilikuwa ni desturi ya Yesu Bwana wa Sabato , kuitunza sabat.
@@BAYYINATDMTV16 Basi baadhi ya Mafarisayo wakasema, Mtu huyo hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato. Wengine wakasema, Awezaje mtu mwenye dhambi kufanya ishara kama hizo? Kukawa matengano kati yao. Yohana 9:16 28 Basi wakamshutumu, wakasema, Wewe u mwanafunzi wake yule; sisi tu wanafunzi wa Musa. Yohana 9:28 29 Sisi tunajua ya kuwa Mungu alisema na Musa; bali yule hatujui atokako. Yohana 9:29 34 Wakajibu, wakamwambia, Ama! Wewe ulizaliwa katika dhambi tupu, nawe unatufundisha sisi? Wakamtoa nje. Yohana 9:34 Kama Yesu mwenyewe hakuishika sabato mimi ni nani hata niishike sabato mwalaimu wangu wasabato wasikunyang'anye haki yako kwa jina la Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai
Daniel ata ciku moja huwezi kutoka kwa Sunday na mafundisho yake .. unatanguliza misimamo badala ya neno endelea kupiga hela na chanbel yako hakuna kitu mnafanya apo ila mnatafta muwe wamoja katika misimamo.... Mwisho upo
Dhambi n nini?[uvunjifu wa amri] na moja ya amri n kuikumbuka SIKU ya sabato sasa kama sio SIKU yenyewe kwann tusikatae kua sio SIKU sahihi na kama sio SIKU sahihi kiabudu huon kuwa ni dhambi
Kinafundiahwa Torati ya Musa na chuo cha Manabii, siyo Neno la Mungu ( Mdo 13:15) Hata miyume wa Yesu hawakutaka kuendelea na mafundisho hayo kwa sababu yanafundishwa na wafuasi wa Musa ambao huyafundisha kila sabato kwenye masinahogi yao, ambayo Mitume walisema Wakristo wajiepishe nayo, yaani waachane na Usabato ( Mdo 15:18-21)
@@BAYYINATDMTV Matendo 13:15 Kisha, baada ya kusomwa torati na chuo cha manabii, wakuu wa sinagogi wakatuma mtu kwao, na kuwaambia, Ndugu, kama mkiwa na neno la kuwafaa watu hawa, lisemeni. je torati na manabii sio neno la Mungu? kitabu cha isaya sio neno la Mungu? KIpindi hicho KItabu cha Mathayo,marko,luka warumi vilikuwepo? Umeamua upotoshe kuwa siku ya sabato halifundishi neno Mungu/ Huo ni kama udanganyifu na udanganyifu ni dhambi
Wewe pastor wetu wa tz pole sana akuna kitu yo-yote unachokijua kwa Bibilia kupayuka tu Ndacha uko na kazi kubwa ya kuwaubilia watu bambana MUNGU ako na wewe
Asante sana mtumishi Ndacha kwa ufafanuzi huu mzuri.
Hallelujah mch Ndacha sema ukweli kabisa, mwalimu Daniel, kindly unajiconfuse na maandiko wewe mwenyewe. Nimeamua kufuata sabato Toka sasa.
Watu wa Mungu barikiweni kwa kuonesha ukomavu wa maandiko ktk kuutetea upande Fulani na lengo kila mtu apate kujifunza na kupata maarifa ya kiroho, mwendelee kika wakati lakini kwa amani ya Bwana wetu Yesu Kristo,Amina
Dah, wanafunzi wa mwalimu Daniel wanapata hasara Kwa mafundisho yake.
Mwl Ndacha Mungu akuvariki sana,kwa namba unavyomsaidisa mpotoshaji huyu wa maandiko ya Mungu
Mwalimu ndacha hoja zako juu ya sabato Zina ukweli kabisa. Mungu akubariki sana.
Yesu alikuja kutukomboa tulipkuwa chini ya sheria,agano la kale watu walisamehewa dhambi kwa damu ya mnyama,ndomaana sasa damu ya Yesu imetutakasa
Baba Mwankemwa kazi yako ni njema.
Wasabato siyo Wakristo Kabisa.
Hawajaipata neema ya kupokea Yesu' .
Asante kwa kuchangia kwako. Soma Mathayo 5:17-19…..
Walimu Ndacha Mungu akubariki sana kwa kuuelimisha ulimwengu.
Tunae kubaliana na ukwer wa biblia tujuanee
Mtumishi wa Mungu Bwana Yesu asifiwe. Nimefatilia mafundisho yako kidogo lakini naomba nikufundishe neno hili kutoka 20:1-17.hizi ni amri tulizopewa na Mungu mwenyewe. Na sabato imetajwa katika maandiko haya kuanzia Aya ya 8-11. Kutoka 31:13-16. Sisi tuliokubali kumfuata Yesu kristo tupo katika uzao wa Ibrahimu kwa imani (waebrania 11:1-;pia mathayo 5:17 Yesu hakuja kutangua torati. Yesu akiwa ni Bwana wa Sabato tunatakiwa kumfuata yeye.
Naomba usipotoshe watu wa Mungu.
Kumb tunaishi nyakati za nehema.
Nilifuatilia kwa makini mjadala, kilichonifurahisha ni jinsi mlivyokubaliana kuacha malumbano ya kimadhehebu bali kufanya kazi pamoja kuwahubiria Waislam habari njema. Mungu awabariki sana walimu wetu.
Iwapo Kuna walakini katika Imani yenu, mnapata wapi uhalali wa kuwakaboli waislamu? Ni habari ya kibanzi na boriti kwenye macho yenu. Ni unabii kutimia hapo Kuna Msabato (mkristo wa kweli na mjumapili mkristo wa uongo)
Kweli kabisa
Kweli kabisa
Mwalimu Daniel hoja zako unazoleta na kuzidifend hazijitoshelezi mwenzio huyo ndacha ameisoma vizuri biblia ndiyo maana hoja zake zinaeleweka. Kajipange upya ili utuletee hoja zilizoshiba.
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊lll😊lllllllllllllllll😊lll😊l😊lllllllllllllllllllll😊llllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllww usingilie huyo mjadala haukjhusu kamwe kwn hata uislamu Kuna shia na suni , wote waislamu lkn mitizamo ni tofautj bro
Watu tunaishi ka sheria mungu ila kama husomi bibulia ndiyo utahoji sabato rakini hata kwenda mbinguni tutaanza safari kwenda mbinguni siku ya kwanza ya juma na sabato ya kwaza tutasali mbinguni shetani naye ameleta siku jumapili waliyo wengi wanaabudu shetani siku hiyo na shetani anao wengi
Ndacha anaeleza kuwa Sabato ya kumwabudu Mungu ndiyo amri ya milele na haiwezi kubadilika na kudai kuwa sabato za aina nyingine ziliondolewa(ziliachwa) kwa kuwa si amri za milele, naomba a some vizuri Walawi16:29-31;23:26-32.
Mungu anasema kuwa "Amri hii itakuwa ya milele kwenu katika mwezi Wa saba siku ya kumi........... Ni sabato ya raha ya makini kwenu ninyi.......... Ni amri ya milele .
1. Ikiwa Mungu hawezi kuibadilisha amri, nani aliiondoa amri ya mwezi Wa saba siku yakumi katika ibada za kisabato hivi leo?
2. Mwezi Wa saba siku ya kumi ni sabato ni amri ya milele,je, hii nayo ni AMRI ya ngapi katika amri kumi?
Mbona wasifanye ibada siku yoyote? Mbona ikuetu jumapili , tuko na masiku kadhaa , hata juma tano. Jumapili ilitungwa na binadamu ili waaribu sabato ya Mungu . Shetani ni mjanja sana hadi watu wanampigania .
Nakubaliana na Ndacha kwamba wakita ni unafiki.
Yesu ndio Bwana wa sabato sio siku
Hakuna mahala tunaagizwa kuishika siku[ ukiwaondoa Waisraeli] sisi tunapaswa kumwabudu Mungu pasipokuishika siku bali siku zote tumwabudu Mungu maana siku zote ni mali ya Mungu. Yesu alishitakiwa na wayahudi kwa kosa la kuivunja sabato na kweli aliivunja akiwa na maana haina nguvu tena. Yote sisi ka Wakristo tumsikilize Roho Mtakatifu anatwambia nini kuhusu sabato? Nafsi yangu haimuhukumu mtu kwa kushika ama kutokushika siku[sabato].
MOTO SANA. Lakini hoja za Ndacha ziko na uzito zaidi. Sabato ni muhimu kwa Mungu, HADI MALAIKA HAWANGEWALETEA WANAISRAELI MAANA SIKU YA IBADA
Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa, yeye njia ya ukweli na Uzima, auwezi kwenda Kwa baba bila ya YESU. Tunahishi ktk agano jipya, ambalo YESU ndilo aliloliacha na mitume na manabii wake, atuishi ktk agano la kale .
Katika agano lake wayaudi walishindwa kuliishi, wakamchukiza mungu, ndio akamtoa mwanae WA pekee YESU KRISTO aukomboe ulimwengu kutoka utumwa WA zambi.
Unaelewa ii maneno.shikilia hapo.Yesu ndiye njia
Neno la Mungu lieleweke Ki Roho si kimwili
Ukikataa amri za Mungu ata roho wa Mungu huwezi kuwa naye.Yesu kasema .Yohana 14:15-17 mkinipenda mtashishika amri zangu,nami nitamuomba Baba naye atawapa msaindizi mwingine ili akae nanyi ata milele ndiye roho wa kweli
Nioneshe mahali ndani ya Biblia mahali ambapo Yesu Kristo baada ya kufufuka kwa siku zile 40 baada ya kufufuka aliwahi tena kuitunza Sabato ili nionekane sina Roho wa Mungu?
@@BAYYINATDMTVmwalimu hapo una puuzia. Matayo24:16 haya Ali ya sena kabla ya kufa kwake. Na baada ya kufa Ali wa ambia ku hubili hayo aliyo wa ambia Matayo 28
@@shirikaniyonkuru5573 nimetaka nioneshwe fungu baada ya Yesu kufufuka aliendelea kuiadhimisha sabato. Basi. Mimi sijaona fungu hilo
@@BAYYINATDMTVkaka Muonbe Mungu akuzawadie roho wake ili ufungukie, hizi theology schools zitazidi kufanikisha malengo yake tu ya kunywesha watu mafundisho gushi, sai umekauka tu na after resurrection hakushika sabato aliongea hivyo kwenye kitabu gani. Mbona unataka aya ya kuwa alishika na hautoi aya ya kuwaambia wanadamu achaneni na sabato nimeifuta? Sasa naona unaanza kumfanya yesu kuwa mtutuku kwa baba yake, Mbona avunje sheria za babake Mungu? Na hata akuna mahali alisema ni wewe unamusemea
@@jeffrankjeff1433 yaani unazidharau shule za biblia ili tuuamini ujinga wako usio hata na ushahidi wa maandiko? Mpaka sasa unaongea kijinga tu bila kunitolea fungu nililokutaka ulitoe. Nakukumbusha jwa mara ya mwisho; je unalo fungu kwenye biblia linalosema Yesu baada ya kufufuka aliendelea kuishika sabato yeye mwenyewe au mitume wake? Kama unalo fungu hilo toa kama huna kaa kimya.
Mwaknkemwa Mungu akubarik I
Sa sa mwalimu wetu Daniel,wapi ulionesha yesu alienda fundisha mengine mafundisho kwenyesinagogi yenye hayakuwa sabato? Baada yayesu kufufuka hakufundisha tena alikuwa ameachia kazi mitume,mathayo 28:16_18
shikamoo ndacha Leo nimekuelewa aise barikiwa
Sasa huyu Danieli umetupotosha Sana Baki na wanawake wasio jielewa
Best decision ever. Acheni kugombania siku. Focus on what is key to bring people to Jesus.
Kwa hili Mwankemwa umeeleweka vizuri nawashauri wote wawili muungane ili kuwakabili waisilamu (siku haimwokoi mtu achani kupoteza mda kujadili siku)
@@venancemwakibete9763 Mungu akupe muda mrefu ushuhudie umuhimu wa ibada na utajua. Mungu alimaanisha nn ktk ibada, amri za Mungu hazipunguzwi na mwanadamu hata yodi moja
Hakuna muungano hapo hata ingekuwa wewe ungeweza kuungana na mwankemwa?
@@venancemwakibete9763 kama haingekuwa ya .aana Mungu haingeitaka akaibariki na kuitakasa na kuiweka siku yake, unless ausomj bibilia inavyofaa, kama siku aingekuwa inaokoa basi ungenambia kanisa amabalo unaendanga kwa ajilj ya kumuabudu Mungu ni unaenda Tuesdays
Ndacha Yuko kweli kabisa10 commandment was even before Abraham.
Unajua biblia kweli, amri 10 alipewa Musa. Musa na Abraham nani aliwahi kuzaliwa?
Basi Niko na maswali na nyenye walimu 1 katika mchadala huu wenu roho Yuko upande ngani
2. Kwani sisi wenyewe tunabishana kuusu mambo ya yesu Kristo maana ukweli ni kwamba roho mtakatifu ayupo ndani ya dini ya sda kabisa ayupo .na kitu chochote kisicho na roho kimekufa
Ukweli mtumishi;John 8:32
[32]And ye shall know the truth, and the truth shall make you free.
tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.
Yote ni sawa tuu ilimladi usivunje sheria ya mungu. harafu hiyo habari ya kusema kwamba mungu anafanya kazi kwa vipindi siyi kweli mungu anafanya jinsi apendanyo siyo kwa vipindi. Ama bora useme ali wakati ule tulisoma agano katika vipindi tofauti
Je Mungu hajasema atafanya Agano Jipya si kwa mfano wa lile la kwanza? Hapo si maagano mawili? Yer 31: 31-33
Sabato ilikuepo hatawatu waliabundu lakini hakufuraia mungu,waheburania 4:7-8
Anayetimizwa kwa Yesu Kristo Mwana wakondo
Ndugu zangu tunaomwamini Yesu. Yesu alikuja kuwa kielelezo chetu. Yeye akawa njia kweli na uzima. Amri zote za Agano la Kale akazirekebisha akaziweka kwenye amri ya upendo kwa Mungu na jirani. Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote ,...., na jirani yako kama nafsi yako. Akaiweka amri mpya Yohana 13:34-35. Akaivunja sabato. Amri ya nne ni amri ya kutofanya kazi yoyote siku ya sabato wewe wala wanao wala mtumwa nk. Ni siku ya kupumzika. Yesu ambaye ni Mungu hakupumzika akafanya kazi.
Yesu Mungu ulisikia wapi kama Yesu ndio katuma mitume 25 akiwemo yeye mwenyewe aliyetumwa kwa wana wa Israel. Yesu si Mungu
Kwahiyo unavyo amini kwa maan hiyo hata kuiba basi tuibe tuu kwa sababu alituachia hizo mbili kwanza elewa alikiwa ana manisha zire amri kumu kwa maan Musa alipewa amri mbili mja Mungu dhidi ya mwanadamu na nyingine mwanadamu dhidi ya mwanadamu yani kwa maan hiyo namanisha zire mbao mbili ambazo alipewa mbao mja ilikuwa na amri nne zinazo muhusu Mungu pamja na mwanadamu mfano amri ya kwanza hadi ya mwisho utasoma kile kitabu cha kutoka 20:1-17 utazitabua vizuri na kuanzia amri ya tano ndo mbao ile ya pili hadi kumi ndio jumla amri zinakuwa kumi
Hata mbinguni hadi Leo hizo amri zipo Mungu hawezi kubadilisha mamuzi yake acha kumshuhudia Yesu uwongo hajabadilisha
Maji Au siku havimuokoi Mtu wokovu nikwa yesu tu
Rudiarudia nyuma ukasikie vizuri pako siku mbili za ibaada; yakwanza niyamuvuta kristo=sunday mwingine niya Kristo =Sabato ya jumamosi Zaburi 119:152;158
Mimi naamini mungu mmoja ambeye ni BWANA YESU KRISTOR
Ndacha mungu akubaliki tufundishe
Kwa ufupi mwalimu ndacha anasema mungu, anadai kumtii tu.
Abraham alijaribiwa na mtoto wake .
Adam na eva walikosa kutii na this resonates well with siku zote n sawa lakini ya mungu imesemwa.
Vile vile miti yote n sawa lakini ya katikati ilikataswa.
Mwalimu Daniel anashindwa kuelewa agano lililozungumziea ktk Ebrania 8. Pale muktadha wa damu au kafara za wanyama
Mungu akubariki .
KRISTO yesu ndiye Bwana wa sabato; 1 corr 5:7_8.Amen and amen
Tumewapenda sana walimu natowapiya ongerasana kwaiyo kauli ya mwalimu ndacha
Mwankwema hajui kuwa agano la kale kulikuwa na Sheria makundi 4
1.Sheria za maadili,
2. Sheria za vyakula
3. Sheria za kafala.
4. Sheria za utawala
Akizijuwa Sheria hizi atagunduwa kuwa anakwama wapi ama anajuwa lakini anatamani tu kuendelea kupotosha watu.
Acheni kubishana nendeni kwa maombi Muuulize kwa Mungu atawajibu au hamna imani ?
Jpili ni siku ya saba kwangu mimi na nimeokolewa kwa neema,sasa mliokolewa kwa sheria endeleeni kubishana na kuhukumu watu na ndio wavunjaji wa amri za Mungu nakukumbatia jmosi
Amri za Yesu ni hizi:-
1. Amri mpya mpendane(Yohana 13:34)
2. Amri ya kutoa pepo( Marko3:15; 6:7)
3.Amri ya kusamehe dhambi(Marko 2:10; Mathayo9:6-8)
Ktk amri kumi za Mungu amri moja ya nne imezaa dhebu.
Utakuta ktk hizi kumi bado tisa zitazaa au zilisha zaa madhehebu.
Ila tuangalie agano la kale ni nini na agano jipya ni nini.
Agano la kale ni mkataba wa Mungu na wanadamu zamani
Agano jipya nimkatsba wa Mungu na wanadamu kwa sasa.
Sasa je kwanini tuishi kwa mkataba wa zamani wakati mya ulishatolewa?
Na kama kunakung'ang'ania mkataba wa zamani je masharti ya mkataba wa zamani utauweza?
Siku ya sabato usiende umbali wa kutupa jiwe.
Mtu akizini adipokamatwa hana dhambi ila akokamatwa apigwe mawe hadi afe. Na amri zote kama hizo. Ke wasabato wanafuata haya?
Ndacha ,anamatatinzo ya kutokuelewa sahii kuhusu juu ya sabato, na utofauti ya maandiko kwa vipindi.
Je kuitunza sabato ni amri ya mungu? Kama ndio ,je amri za mungu kwenye agano jipya amri za mungu bado cko
Naona ukweli wa kubadilishwa Sheria kwa nini wasabato mnaupiga hili itabidi mueleweshwa tena
Sikuja kuitangua torati Wala manabii . . .
Enzi ya Yesu hapakuwepo siku hizi za J3 hadi J2 ila palikuwepo cku ya kwanza hadi siku ya saba, hizi J3 hadi J2 zimetegenezwa na watu sio Mungu
Asante sana Mw Daniel kweli
Sabato niya wayahudi sio sisi wamataifa tena kinacho waponza wasabato nikuona kila muntu kama hasali siku yasabato wanasema ni mufwasi wa antikrito kweli wame isha potea wawoo nusu niwayuda nusu nyingine ni wakriso
Kwa hiyo uislamu ni wa waarabu
Kataa Sabato,Umekataa Mungu aliye Muumbaji tena umevunja yote James2:10 wewe nenda Ziini,kuwa mwizi..Penda Mali ya jirani yako..maana Agano la kale lilitoweka pamoja na Amri zake
Sabato dining.....?
Ninini
Umezidiwa huna hoja rafi unabishana mpaka na maadiko mwalimu danieli ni mwalimu wa vipofu na viziwi na wenye mtindio wa ubongo pole mwalimu saoma sana biblia acha kuweka hisia zako.
Ndacha ulikosa mtu wa kujadili naye????
Huu ni mziba.
Asanteni.kwa.mafundisho.yenu.swali.lanqu.nauliza.je?.Dhabi.nini.nikufunja.amri.za.munqu.au.yesu.aliposulubishwa.ndipo..Amri.za.munqu.iliisha.maana.kifo.cha.yesu .kama.ndio.imeleta.aqano.jipya.naomba.jipu
Dhambi Ni uasi wa sheria za Mungu.Amri za MUNGU hazikuishia msarabanii bali baadhi ya amri Kama amri ya kuchinja kondoo ili kupata kafara ya damu kuwa Kama ondoleo la dhambi .
Sa sa nilitakujuwa Daniel uzinzi,kuuwa,kuiba,kuheshimu wazazi,kutokuabudu sanamu.....niagano gani? Yani amri moja tu njo imetoka?
Mungu akusaidie ndacha
Vitu vinatakiwa kuvutwa ni sheria au aghano kale?
Huyu mwamkemwa kama amuelewi ndacha basi duh ,awezi elewa kitu chochote asee ,pastor ndacha naomba kubatizwa nawe,
Anaeikataa sheria ya Mungu anafanya kazi ya shetani.ufunuo 12:17.
Mwisho wa siku hatuwezi kubishania siku ya kusali kila mmoja ajitahidi kumwanini Yesu ili aokoke
Aurithi uzima wa milele
Naamini hakuna mtu atahukumiwa kwaajili ya siku ila kuyafanya mapenzi ya Mungu
Tuendelee kujifunza tu, yawezekana hayo yanayosemwa ni sehemu ya kumwamini Yesu
Yesu ni neno ukiliacha neno unakuwa umemuacha yesu YESU kwahiyo tutafute ukweli
True let us not worship a day.
@@AmosKivulenge-rg3cx katka amri kumi za MUNGU ndio kiin Cha Ibada ya kweli bas ukishika Tisa ukaacha moja umekosa juu ya yote yakobo 2:10
@@DaimonMwapelele-g1dkama Amri ya Sabato ingekuwa ya muhimu, mbona Wasabato mlimfukuza Yesu Bwana wa Sabato kwenye Sinagogi lenu siku ya Sabato? Tangu mlipomfukuza mliwahi kumuomba msamaha ili arejee tena kwenye Sabato yenu?
Ninakupenda sana mwalimu Daniel Mimi ni mkenya
Penda Kristo maana Yeye yu hai..tena utashika Amri zake Jhn14:15 amtegemeaye mwanadamu amelaniwa..Akifa utapenda nani??
Anapenda mwakemwa
Mimi nampenda Yesu , nimeelewa sabato, nipo tayari kubatizwa, asante mwl Ndacha
Mwalimu nakukubali mungu akutangulie nimejifunza vingi
Ukisoma Hosea 2:11 Haikupi mwanga wa kujua kitu gani kinaongelewa. Kujua nini kinaongelewa ni lazima usome Hosea 2 yote au usome Hosea 2 kuanzia fungu la 10-12 hapo utapata jibu kama hilo analohitaji kulielewa huyo mwalimu wa Lutheran kwamba neno "sabato zake" na huyo "zake" ni nani
Naomba kwenye mjadala huo mueleze habar za uwakita tujuwe uwakita ni kitu gani , ili kila msikilizaji na mtazamaji ajuwe kabisa juu ya Jambo Hilo.
Sabato ni ya Mungu nayo ni takatifu.Warumi 7:7-12.Mwanzo 2:1-3
Aaah baaas kumbe hadi naona colifications zako mchungaji Daniel za kuwa shekh, yani ukifuata sheria za Mungu utakuwa chini ya laana jameni, kwaivyo watu wawndekee na kuzini kuiba kuivunja sabato na kuzilinga sheria zote za Mungu kwa ajili ya kuiepuka laana, hayaee umetufikisha hapo, endelea, kiama kipo njiani
Uyu jamaa was tz nimpumbavu saanaa asee ata vitabu hajui
We muinjilisti daniel we ni muingo nacha hajahamisha sabato kutoka kwenye mbaombili za mawe kwenda moyoni Bali aliye hamisha ni mungu mwenyewe ndacha yeye kasoma TU,ila wewe unamshutumu eti kahamisha .
Ndacha pambana kuokoa roho za waislamu pengine na waromani ambao wako vuguvugu hachana kabisa na watu walio okoka au hujapata kusoma andiko Bwana Yesu akisema kondoo wengine ninao ambao siyo wa zizi ili.
Waromanu mumesha wahukumu..😂
Yuko kimwili zaidi
Unabii huo kwenu nyie Amri kumi zipo ukikosa moja wavunja zote James2:10
Naona wa Tazanian wote na Kenya batabadilika wakuwe wa Sabato members Ndacha wewe unaweza mutuakikusikia vizuri ataokoka
Mimi ni wa juma pili lakini kupitia haya mafundisho nitajiunga na wasabato mwalimu Ndacha utanibatiza
Usikubali kupotea kwa mdomo matamu matamu.kaa chini ya neema.galatians 3 n 4 soma yote.then Acts 15.soma Bwana akusaidie usibanduke.
Nitabatizwa na mwl Ndacha Mimi pia
Amri za Yesu ni zipi na amri za Mungu n zipi
hivi unamuelewa yesu na mungu yesu Hana amri ila mungu mwanzo 20:20
Wewe ukisema Sheria Baba yako alikupa kwenu uzigatiee..uzitii utakuwa na zingine kando na za babako? YANI WAKRISTO WA LEO SWALI LAKO LAONYESHA VILE WASOMEWA BIBILIA NA WALIMU WAKO ACTS11:26
WASABATO SIO WAKRISTO, HAPO MNAPOTEZA MUDA TU!.
Yohana 9.16 .Yesu hakuishika sabato.hivyo sisi wafuasi wake hatupaswi pia kushika sabato
We jamaa nakufananisha au ni yule wa tazara by then
Yaani unasema Yesu alivunja amri na alikuwa mtakatifu. Ufunuo 14:12
Mbele ya hii kitabu hakuna ingine na imemaliza ufunuo14:12
Swalilangu nihili mtu akishika sabato hatakama hakumwamini Yesu ataokoka?
Ukweli Daniel nilikutegemea sana kuwa mtetezi wa siku ya jmapili ! Umeshindwa mno ! Nipotayari kubatizwa na Wasabato nimewaelewa.
@@MzaziMwidete Kabatizwe kama unaamini Mitume wa Yesu walikuwa Wasabato
Unapotea
@BAYYINATDMTV
Aty Ndacha anasema A Sabbath day's journey means A Sabbath Day!
It means,
A Jew was permitted to travel 2,000 cubits on the Sabbath (Exod. 16: 29 and Num. 35: 5), about 1.2 km. (¾ mile), and the Mount of Olives was within this distance from Jerusalem (Acts 1: 12).
So it was just a distance of just 1.2 km that is being talked about here.
Asante Sana Mwalimu. Mungu akubariki
Kwa hiyo ukiisha vunja sehemu ya amri umevunja yote.Huwezi kuishika sabato kwa kufanya kazi. Ukifanya kazi umeivunja sabato. Yesu alikuja ili Yeye awe yote katika yote ndiyo maana alitaka fahamu zetu zote zimwelekee Yeye wala si siku au vyakula au mwandamo wa mwezi maana hivyo ni vivuli na hatuhesabiwi haki kwa kushika vivuli.
Nani kavunja wakati maandiko yanasema ilikomeshwa na Mungu?
Ndacha misikiti ya Wayaudi nikweli wafwasi Wa Yesu waliendelea kuhudhuria Ibaada Wakati Wa Yesu kufufuka?
Walimu wangu nawapenda nyote.natumai kuna muafaka sasa.
Mimi nyote ,mwafanya kazi ya Mungu ,nawashukuru nyote
Ndacha ufikie vizuri kenya kuna wakati wa baridi au Tanzania kunawakati wabaridi hao wayahudi kwao kuamsim wa baridi sisi mataifa tuko hapa
Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato;
Wakolosai 2:16
Kwamaelezo hayo huwezi kueleweka isipokuwa wale wazaifu kama ninyi watakao mafundisho yasawasawa natama zao tu.
Watu wamekubaliana kutenda dhambi :kuvuta Sabato ya Mungu😢😂😂😂😂😅😅
Amli ziko palepale shida tunajifunza neno la mungu kwa ushabiki mimi nimejifunza hapo
Amiri kioo cha kutowa uchafu wapi nimekosea
Mwalimu mtz basi ondoa agano la kale lote kuanzia mwanzo hadi Malachi kwa sababu kulingana na wewe agano la kale halifai tena yaani nimepitwa na wakati.Nabii Isaiah alitabiri kuzaliwa kwa yesu katika agano la kale na huo unabii ulitimia wakati Yesu alipozaliwa.M tz Yesu akiwa msalabani alisema yote yamekwisha yaani alikuwa amemaliza kazi aliyotumwa kuifanya na babake ambaye ni Mungu wetu ndio maana hakuenda tena sinagogi kuabudu siku ya sabato.walipokuwa wakiumega mkate Yesu aliwaambia wanafunzi wake hatashiriki tena chakula nai bali Hadi watakapokusanyika tena mbinguni.M tz wewe ni mpinga kristo mkubwa sana sabato haikuondolewa ndio maana tukifika mbinguni tutaabudu Mungu sabato Hadi sabato.
Ongera sana walimu
Jambo waalimu wetu nilitaka niseme hivi agano lakale haikuwa sabato Bali ilikuwa amri kumi zote na hukumu za haki maagizo na sheria nzuri
Nirudie tena comenti ndacha endelea na kufundisha unajua sana mwenzetu aelewe kwa kuwa amesha sababisha tuache kuamini agano jipya
@@AmriJastini Unataka ung'ang'anie Agano la Kale ambalo lilitoweshwa? Unaipenda photocopy kuliko original? Pole sana
@@BAYYINATDMTV swali mtumishi Yosefu alijuwaje kuzini ni Dhambi??
@@OLUNGAJOSHMAH Alijifunza toka kwa baba yake wa imani Ayubu (Ayubu 31:1-3). Na hili nimelijibu kwenye somo hili. Lakini inaonekana unaposikiliza unakuwa na majibu yako ytayari kiasi kwamba hauko tayari kusikiliza kwa kuzingatia nilijibu nipoulizwa swali hilo hilo na Ndacha.
Nimefuatilia mjadala ni vema kila upande utoe hoja vizuri ili tunapo fuatilia tuwe na uamuzi mzuri, msifanye ushabiki tu sisi sote tupate uzima Yesu ajapo.
@@PeterKasilati Hapo kuna ushabiki gani zaidi ya kutoa maandiko ndugu Kasilati?
Mwl Daniel anachanganya sabato (sabbaths) za sikukuu za maadhimisho (ceremonial laws) zilizokuwa zikisonda kwa masihi ajaye. Baada ya Masihi Yesu kujua, zilikoma. Sabato hizo si sehemu ya amri 10 ambayo Sabato ya siku ya 7 ya kila wiki sehemu yake kama amri ya 4.
Sijachanganya chochote. Sabato zote zilikomeshwa. Je uko tayari niweke kipindi na wewe ili uje utueleze hayo? Nijulishe. Kama uko tayari nitumie namba yako ya WhatSap. Huenda tukaelimishana.
Leo umeongea vyema Daniel umekubali umwanafunzi na ndivyo bwana yesu alisema msiitwe waalimu-math 23:6-8 kwa Sababu waalimu ni wa islamu
Mwl. Daniel hajaelewa kuwa sheria za amri 10 za Mungu ziko ktk vitabu vya begani jipya hata kama hazikupangwa kwa mtiririko wa 1, 2, 3, .. Ktk nyaraka za Mtume Paulo ametaja mikusanyiko ya ibada siku za Sabato x 84. Ilikuwa ni desturi ya Yesu Bwana wa Sabato , kuitunza sabat.
Usilalamike kwa maneno matupu. Kama unazo aya hizo anzia na ya Yesu kutunza Sabato baada ya kufufuka. Karibu.
@@BAYYINATDMTV16 Basi baadhi ya Mafarisayo wakasema, Mtu huyo hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato. Wengine wakasema, Awezaje mtu mwenye dhambi kufanya ishara kama hizo? Kukawa matengano kati yao.
Yohana 9:16
28 Basi wakamshutumu, wakasema, Wewe u mwanafunzi wake yule; sisi tu wanafunzi wa Musa.
Yohana 9:28
29 Sisi tunajua ya kuwa Mungu alisema na Musa; bali yule hatujui atokako.
Yohana 9:29
34 Wakajibu, wakamwambia, Ama! Wewe ulizaliwa katika dhambi tupu, nawe unatufundisha sisi? Wakamtoa nje.
Yohana 9:34
Kama Yesu mwenyewe hakuishika sabato mimi ni nani hata niishike sabato mwalaimu wangu wasabato wasikunyang'anye haki yako kwa jina la Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai
Daniel ata ciku moja huwezi kutoka kwa Sunday na mafundisho yake .. unatanguliza misimamo badala ya neno endelea kupiga hela na chanbel yako hakuna kitu mnafanya apo ila mnatafta muwe wamoja katika misimamo.... Mwisho upo
😂 ila Ndacha ni mkweli
Mw. Daniel, hizi sharia mpya ni ngapi kwa jumla?
Mnaoshughulika na sheria manshughulika na kivuli badala ya kitu halisi yaani Kristo. Mnajichosha na kuchosha watu sana 😂😂😂
Thank you
Hivi kuna mtu anayeweza kupinga kauli ya Yesu. Na kusema Luka 16 : 17. Yesu amesema hata nukta isibadilishwe
WOTE. MMEKOMBOLEWA. NA YESU. SIKU. HAIOKOI
Wasobato hawajui thambi isipokuwa wanajua sabato tu.lakini wasome galatia2:16-21
Hayo ni mawazo yako ya ufinyu wa elimu na akili yako. Soma zaidi kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu, sio by roho mchafu uliye naye wewe.
Dhambi n nini?[uvunjifu wa amri] na moja ya amri n kuikumbuka SIKU ya sabato sasa kama sio SIKU yenyewe kwann tusikatae kua sio SIKU sahihi na kama sio SIKU sahihi kiabudu huon kuwa ni dhambi
Sina shida na kuabudu Jumamosi,but ni nini kinafundishwa iyo siku.
Kinafundiahwa Torati ya Musa na chuo cha Manabii, siyo Neno la Mungu ( Mdo 13:15)
Hata miyume wa Yesu hawakutaka kuendelea na mafundisho hayo kwa sababu yanafundishwa na wafuasi wa Musa ambao huyafundisha kila sabato kwenye masinahogi yao, ambayo Mitume walisema Wakristo wajiepishe nayo, yaani waachane na Usabato ( Mdo 15:18-21)
@@BAYYINATDMTV Matendo 13:15 Kisha, baada ya kusomwa torati na chuo cha manabii, wakuu wa sinagogi wakatuma mtu kwao, na kuwaambia, Ndugu, kama mkiwa na neno la kuwafaa watu hawa, lisemeni.
je torati na manabii sio neno la Mungu? kitabu cha isaya sio neno la Mungu?
KIpindi hicho KItabu cha Mathayo,marko,luka warumi vilikuwepo?
Umeamua upotoshe kuwa siku ya sabato halifundishi neno Mungu/
Huo ni kama udanganyifu na udanganyifu ni dhambi