AKINA NANI WANASHIRIKIANA NA MAJINI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2024
  • Join this channel to access its benefits:
    / @biblianuruyadunia

КОМЕНТАРІ • 572

  • @andersonwaweru8482
    @andersonwaweru8482 7 місяців тому

    Ndacha! kweli wewe ni mwalimu,may God protect you

  • @abeidmohamed2100
    @abeidmohamed2100 Рік тому +7

    Mazinge mashallah Allah akubariki eti masheitan wanalala kwenye pua za waislam.mtume s.w ndie mjumbe ambae anapokea ujumbe kutokankwa Allah akatufundisha kwamba tabia za Majin hupenda kulala kwenye pua so ukiamka akatufundisha kwamba upenge kama mafua ..huwa anatoka na ukiangalia ni kweli yule ambae atalala akiamka apenge kama mafua bas atajiona mwepes kwa sabaubu masheitani huwa wanaziba njia za hewa hakika dini ya kweli mbele ya mungu ni uislam ,

    • @janenjeri9750
      @janenjeri9750 Рік тому

      allah ni lucifer,itakuaje tena dini aloanzisha ni ya Mungu?
      Dini ya kiislamu ni uongo,mmepotea

  • @ngomafrancis1659
    @ngomafrancis1659 Рік тому +6

    Pole sana wa islam kwa majini alakini simuachane nayo pole sana alakini Pastor Ndacha ajadanganya nikitabu cha Koroani kinasema tusikatae nikweli tusiwe wajanja tukubali ukweli majini wamelaaniwa na Mungu.

    • @salumsodangu1372
      @salumsodangu1372 Рік тому

      Inallilah waina ilaih rajaun
      Msiba mkubwa
      Wasristo somen kitabu chenu
      Msimpende kusomewa tu kanisan au kwa miazara
      Fanyen akilizenu zikubari fikra mpya

    • @rajabnyoka-vv5vh
      @rajabnyoka-vv5vh Рік тому

      Atakaye silimu ni kheri na yake abakiaye kwa ukrixto xiku yakiama akiingia motoni aximlaumu mtu ila nafsi yake

  • @michelshemikalamo2537
    @michelshemikalamo2537 Рік тому +2

    Baba Ndacha Tunakuombea Mungu amekupa hekima kabisa katika kuongea nahao ma adui yetu wa Imani, nimeona wengi wao wameshindwa kujibu maswali Yako hata Mazinge kashindwa !!! Inasikitisha.
    Mungu aendelee kukujaza Roho wake n'a hekima kubwa ili uendelee kutetea Imani ilio ya kweli.
    Najiuliza umefanyaje Ku kariri maandiko Ayo yote maana sijakuona ukisimama n'a karatasi, hata Mazinge hawezi ilo!!! Anacho fanya ni Ku igiza nakuchekesha watu kama muigizaji ila maswali mengi majibu hayakupatikana upande wao. Ubarikiwe

  • @mozesdaniel7484
    @mozesdaniel7484 Рік тому +2

    Fantastic sana ndacha songambele tume elewa vuzuri sana...

  • @JuniorMahamoudkyabila
    @JuniorMahamoudkyabila Рік тому

    Shukran Sana mwalim mjinga Ndacha kwa Weye kuwa tiya ujinga wa kristo wenzako 😂😂😂😂 wallahi msiba mtupu / mashallah Amin Rabbi Allahouma Amin walim WETU wa ki Islam ALLAH wenye kuwa na ujudhi wa kufunza jamiiii takbir ...........

  • @PatrickBandamba-le9kt
    @PatrickBandamba-le9kt Рік тому +2

    Mimi nipo Congo mchungaji Ndacha mungu akulinde akuongezeye mwika duniani ya kuishi ni mimi bukili Léonard toka Congo Lubumbashi

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 Рік тому +6

    Waislamu haki Mungu awafumbue macho mjue mlipo sio sahihi mda ni huu mnaskia mkiambiwa sikieni mponye nafsi zenu

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 Рік тому +5

    Pastor Ndacha...Mm ni Roman Catholic natamani sn Sikumoja uje Kanisani Kwetu kututembelea na Kusali Pamoja.... Ubarikiwe Saana Mchungaji 👏👏👏👏👏

  • @EmmaShirima-d9l
    @EmmaShirima-d9l Рік тому +3

    God bless you pastor Ndacha

  • @junicnamuwenge6957
    @junicnamuwenge6957 Рік тому +8

    Ni gazi kuumu warilmu ragini mungu awabariki sana warilmu wakiristo 😭😭😭🤔🤔💯💯🇸🇦💪

  • @raphaelsiarahera7
    @raphaelsiarahera7 Рік тому

    Kazi nzuri sana. Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo awabariki sana kwa kuihubiri kweli ya injili.

  • @thomasbjr2
    @thomasbjr2 Рік тому +5

    Ndacha kawamaliza kabisa mungu akubariki mtumishi ndacha🙏🏿

  • @wizzahgfalme3874
    @wizzahgfalme3874 Рік тому +6

    Huyu chairman wetu Bahebe Mungu ambariki sana kwa kuandaa huu mkutano, yani waislamu wamejaa na ujumbe wameupokea. Aminaaa

    • @i.dclassic116
      @i.dclassic116 Рік тому

      Yani waislamu kujaa kawaida yao kwani wanapenda kheli

  • @AlainKakudji
    @AlainKakudji 8 місяців тому

    Nakupenda Sana Pasteur mpiga wa islamu mimi Niko DR.Congo .

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 Рік тому +4

    Ndacha anafundisha mpaka unaelewa,safi sana Mwalimu Ndacha

    • @neptuneplutonium86
      @neptuneplutonium86 Рік тому

      Ni Kwa sababu akili yenu na ya ndacha ni sawa,na elimu yake ndacha na nyinyi wakristo ni sawa ndio maana mnaelewana

    • @enockkibona7522
      @enockkibona7522 Рік тому

      Hapana ndugu mbona anasoma vitabu vyenu ndivyo vinaongea,si kitabu cha qurani kinasema majini yalisilimi na yanapenda Qurani sio bibilia

  • @mwanyunimadee4157
    @mwanyunimadee4157 Рік тому +24

    Naona ndacha umevuka viwango vingine ndugu Mungu akutie nguvu n akuongezee umri

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 Рік тому

    Mungu akubaliki sana Ndacha ...naona hapa uliibiwa mda sana...ila wakristo tunakuelewa sana

  • @JohnKirema-fc6sn
    @JohnKirema-fc6sn Рік тому +2

    Mungu akubariki sana ndacha pamja Poul n awaongese miaka mingi

  • @johnelisha6646
    @johnelisha6646 Рік тому +2

    Waisilamu okokeni tena mu batiziwe katika jinala yesu kristo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @wizzahgfalme3874
    @wizzahgfalme3874 Рік тому +11

    Mwalimu ndacha na team hongereni sana watching from Qatar

  • @monicahnguta135
    @monicahnguta135 Рік тому +9

    Yaani waislamu wenye akili na maskio watatafakari sana.wamama lilieni wana wenu wacheni ushabiki.wababa wanatafakari jisomeeni vitabu wacheni kusomewa.

    • @abuuhassani497
      @abuuhassani497 Рік тому +1

      We hunaakili sisi hatusomewi kwanza vitabu vyakutunga hatuvifati..tunafata muongoza wa Qur'an...

  • @Princem_15
    @Princem_15 Рік тому +4

    Waislamu nawaombea mfunguke macho

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 Рік тому +2

    Acheni janja janja....waislamu muokoke. Yesu ndiye njia ya kwel na uzima .....humtafika kwa baba ila kwa njia yake.

  • @johannesmusa1393
    @johannesmusa1393 8 місяців тому

    Wa fundishe hao wasio juwa ukweli, Na Mungu hakubariki Paster Ngacha

  • @JuliasRanga-dd8zn
    @JuliasRanga-dd8zn Рік тому +2

    Pastor ndacha mungu akuongesee miaka

  • @ManassehNjogu
    @ManassehNjogu Рік тому +1

    Mungu ajua

  • @NadiaJuma-cp7vr
    @NadiaJuma-cp7vr Рік тому +1

    Mazinge Allah akutuifadhie nakulinde

  • @motherteresa8314
    @motherteresa8314 Рік тому +14

    Jesus Christ is powerful, imagine all the immams verses one man pastor Ndacha answering and teaching these people. Be blessed pastor Ndacha. Instead of them teaching they are refuting what Ndacha is teaching...... believe in the Gospel and be saved

  • @mariajoymokeira4049
    @mariajoymokeira4049 Рік тому +7

    Mazinge ana ya kusema kumaliza mda tu

  • @MilcahMuema-n3p
    @MilcahMuema-n3p Рік тому +1

    Bwana asifiwe ni milcah kutoka voo SDA nakumbaliana na maubiri yako you are the Paul today may Almighty God bless you with holy spirit to guide you all through .na tunakuitaji huku kitui .

  • @kenrongersmurithi
    @kenrongersmurithi Рік тому +1

    Ndacha huko juu TU sana

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 Рік тому +4

    Ubarikiwe Saana,,, tena Saana Pastor Ndacha hakika Wewe ni hodari wa Kusoma na kutafsiri sn Biblia takatifu.... Tumsifu Yesu Kristo 😃😃🙏🙏🙏🙏🙏

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 Рік тому +14

    yani huyu ndacha nikiboko anapambana nawalimu wannee kweli nihatari ndacha

    • @mikekhalifaali7510
      @mikekhalifaali7510 Рік тому +1

      Hajui lolote

    • @pizzo1morestart840
      @pizzo1morestart840 Рік тому +1

      Ukosefu wa mawazo ndio shida yake

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 Рік тому +1

      Hana lolote muongo mkubwa, ndacha ni mwalimu wa watu wasiojua dini

    • @RIO-jf9mo
      @RIO-jf9mo Рік тому

      @@luluamin1388 hasa huyo Muhammad kuoa mtoto wa miaka sita ...mbona msimfwate mtume wenu nanyi msioe watoto wa miaka sita ...

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 Рік тому

      ​@@RIO-jf9mo Mamaake mungu wenu (yesu) alizaa akiwa mdogo na wewe pia muige.
      Sasa ndoa ya Muhammad inakusumbuaje wakati wazazi wa mke waliridhika? Soma historia ya mtume uelewe, Muhammad (S.A.W) alimchukua kama mkewe wakati alipofikisha umri wa kuolewa.

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel Рік тому +2

    Huyu jamaa Ndacha Mungu azidi kumfanyia wepesi ni mkufunzi mzuli sana
    Maana ukitaka kufundishana anafundisha ,ukitaka kejeli kweli atakukejeli.
    Lakini pia Nyote Mungu awafanyie wepesi Hili muwe nanafasi ya kufundishana vyema na sio kukejiliana.
    Hila Ukweli ndio unatakiwa tusifiche Hilo.

  • @dinahauka6004
    @dinahauka6004 Рік тому +4

    Ndacha Mungu akubariki Kwa mafindizo hayo . Ndugu ZA Makini hope wamesikia 🤣🤣🤣🤣

  • @davidwainaina3899
    @davidwainaina3899 Рік тому +29

    Ndacha is the king of bible,east African Gospel teacher Proudly of being CHRISTIAN Amen 🇰🇪✝️✝️✝️✝️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @abdikadirabdulahi731
      @abdikadirabdulahi731 Рік тому

      Ndacha kwisha6

    • @ismaelleloon2930
      @ismaelleloon2930 Рік тому +3

      @@abdikadirabdulahi731 JESUS REIGNS...

    • @111dudi
      @111dudi Рік тому

      Bible has been rewritten many times to suit the lies, most of it is not Jesus words.its just lies formulated by liars

    • @kajinjirashid5590
      @kajinjirashid5590 Рік тому +1

      King of fake translation..king of lies...read your bible and learn the truth..ask yourself simple questions before listening to ndacha and other fake prophets,pastors.. bishops...

    • @111dudi
      @111dudi Рік тому

      @@kajinjirashid5590 umemgundua uongo wake, wakristo wengi bado hawajatambua

  • @felicienshela4932
    @felicienshela4932 Рік тому +14

    Mungu akubariki sana mwalimu ndacha, pia tuko pamoja mwalimu wangu 🌹❤️ , Hongera sana 👏👏👏👏👏👏 🇨🇩 watching From CONGO

  • @carolinekemunto2632
    @carolinekemunto2632 Рік тому +6

    Mwalimu Ndacha kweli wewe n kiboko umenyorosha Mashehe hadi kidogo waebe ..umewalainisha kma pasi y stima nakuombea mungu akuongezee nguvu uhubilie waislam ili waokoke na Jina la Bwana Yesu Christo liinuliwe Happy sabbath

  • @mollel
    @mollel Рік тому +5

    ndo maan mohamed mungu aliamuru alongwe ave kwa sababu ya kushirikiana na majini

    • @mohamdmohamd4842
      @mohamdmohamd4842 Рік тому +1

      Hilo jibu nakupa.. Mutamkuta Mtu Jina lake ni Bar Yesu ni Mchawi mkubwa.. Ongeza na hilo Andiko pia
      Comment.

    • @mollel
      @mollel Рік тому

      ndo iliye mloga mohamed kwa sababu ya kushirikia na majini na uchawi

    • @neptuneplutonium86
      @neptuneplutonium86 Рік тому

      @@mollel nenda kasome biblia Yako vizuri utapata hata yesu Mungu wako huyo alirogwa....kurogwa ni kawaida Kwa mwanadamu yeyote na Mungu alimpa Muhammad dawa ambayo ni Dua ya shifaa na huyo yesu aliyemtibu nani?

    • @mollel
      @mollel Рік тому

      @@neptuneplutonium86mungu hat hana habari na mohamed ndo maana alikufa akiendaga yesu hakulongwa alikufa na kufufuka na akaacha mohamed uko maan ni mtume feki

    • @enockkibona7522
      @enockkibona7522 Рік тому

      Baada ya kujibu swali,unasema Ndacha kaja na gari ya bei mbaya,mara maaskofu,tupe jibu mjini ni ndugu zenu tujibu unazunguka sana,mbona wakwepa sana

  • @anselmoonolius
    @anselmoonolius Рік тому +4

    Tunakuombea ndacha Mungu akutie nguvu Sana kwa kazi njema

  • @humudmarhoon8044
    @humudmarhoon8044 Рік тому +5

    Namkubali sana mazinge .. dah natamani siku nikutane nae..

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Рік тому +4

    Mashallah Allah

  • @benson4546
    @benson4546 Рік тому +8

    Ndacha akika wewe ni mwalimu, Asante kwa kuwafundisha na kuwafunza waislam, wamkumbali Yesu na kumfuata yeye. Baraka tele wewe na familia yako......

  • @mwoso
    @mwoso Рік тому +5

    Hii mada ya majini Sioni sababu ya muisilamu kujitetea! Mwalimu Ndacha ameimaliza kupitia maandiko ya vitabu vyote viwili. Hata hapo Tanga angalieni kwa sign posts za waganga. Hakuna jina la Kristo linapatikana kwa hizo posters.

  • @jacklinenyangau3843
    @jacklinenyangau3843 Рік тому +28

    Bwana wetu YESU Christo ainuliwe👆👆👆👆 amen 🙏

    • @biznaz3559
      @biznaz3559 Рік тому

      Na shetani alimbeba nini boda boda au? Jibuni

    • @bakariomari3692
      @bakariomari3692 Рік тому

      Ni kweli ni bwana wenu🤣😂

    • @jacklinenyangau3843
      @jacklinenyangau3843 Рік тому +4

      @@bakariomari3692 hakuna kitu kitanitenge na bwana YESU Christo milele na milele 🙏🙏

    • @jacklinenyangau3843
      @jacklinenyangau3843 Рік тому

      @@biznaz3559 shetani alimbeba ili ata sisi tujue kuwa shetani ako na majalibu kwetu, yaani tusimame imara kwa Jina la YESU Christo kwa imani na MUNGU hatakuwaja kamwe 🙏🙏

    • @ntawukirishigahidaya1527
      @ntawukirishigahidaya1527 Рік тому

      @@jacklinenyangau3843 Allah akuongoze in sha Allah kwenye njia iliyo nyooka

  • @Aladeide
    @Aladeide Рік тому

    😂😂😂😂ati jini zinapenda kahawa😂😂😂😂thats funny....

  • @aminahgrace
    @aminahgrace Рік тому +6

    Ndugu Mungu akupe nguvu,wakristo tunakemea manjini ,itoke ndani ya wanadamu,ndio watoke kwa utumwa,blessing brother ♥️

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 Рік тому

      Na hawatoki kabisa, sababu kitu cha shetani kipo kanisani. Maandiko ya bibilia yamesema

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 Рік тому +1

      ​@@luluamin1388 kitu gani hicho Cha Shetani kipo Kanisani?

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 Рік тому +1

      ​@@luluamin1388 Na andiko gn limeandika hvyo?

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 Рік тому

      @@yohanakiyumbi4795 please soma ufunuo 2:12:13

  • @danielmchomeo-wd9sy
    @danielmchomeo-wd9sy Рік тому

    Safi Sana mwl nakukubali ,nipe Siri ya kuhifadhi biblia

  • @hanisahwasiche7541
    @hanisahwasiche7541 Рік тому +1

    Hakika kweli uislamu ndio dini ya hakki......haikashifu kitu ama jambo mpaka ukueleze n nn kinacho kashifiwa......allah awaongoze walimu wetu wa kiislamu.....pamoja na mwalimu ndacha......mnasababisha watu kuijuwa uislamu

  • @newlightmoviesproduction3598
    @newlightmoviesproduction3598 Рік тому +9

    Mazinge hamna kitu ni jini

    • @samiramohd216
      @samiramohd216 Рік тому

      afadhali ya Mzinge kuwa jini sasa huyu Ndacha nishetani anaepoteza wenzake na sikwamba hajui ukweli anafanya kusudi tu

  • @theheraldbroadcastingnetwo4836

    Ndacha ubalikiwe.

  • @mamawamoya3344
    @mamawamoya3344 Рік тому +5

    Maaa sha Allah,vidume vya Allah

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 Рік тому

      Yaani vidume vya marehemu Muhammad, ndugu zao majini

    • @neptuneplutonium86
      @neptuneplutonium86 Рік тому

      @@bustedislam3578 hapana sio hivyo ni vidume vya mwizi aliyelaaniwa yaani yesu na akapigwa kama nyoka na akasulubishwa na kufa kifi Cha aibu😂😂😂😂shetani ndiye kamsulubisha Mungu wenu yesu

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 Рік тому

      @@neptuneplutonium86 Nipe andiko ya hayo maneno yako inayosema ndugu yenu muislamu shetani kamsulubisha Yesu Kristo

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 Рік тому +1

      ​@@neptuneplutonium86 acha kuwapotosha Watu ngoja nikwambie ukweli kbs...Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliteswa Msalabani kwaajili ya kusamahewa Dhambi za Ulimwengu Mzima....ata nyie Waislaam wenye dhambi Yesu amewaokoa dhambi zenu

    • @samiramohd216
      @samiramohd216 Рік тому

      @@bustedislam3578 muisalam ni ndugu wa muislam hivyo kama jini ni muislamu basi hao ninduguzetu waislamu

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 Рік тому

    Masha Allah DD Pro Mazinge Mungu akubariki Nafurahi sana

  • @KelvinAlex-x2i
    @KelvinAlex-x2i 8 місяців тому

    Kakristo munguh awabarikih sana

  • @Gabriel-s1c2o
    @Gabriel-s1c2o Рік тому

    Nawapenda sana Mimi Niko apa Congo R d c nawafata Tano juu yatano.

  • @aminiahmad-i9q
    @aminiahmad-i9q Рік тому +1

    1:Wakkiristo o hamuna kitabu cha kutegemea Kwanza toeni sababu ya kupoteza injili ya yesu mueke bibilia mbele.
    2:Kisha museme bibilia alipewa Nani ju yesu hajui bibilia.
    3:yesu hajui jengo la Janis's lina kaa vipi.
    4:yesu anasema ametumwa Kwa kondoo was Israeli Tu.
    Nyi nyi munasema hapana.yaani kila Jambo munampinga yesu alafu munadai munampinga
    5:je mume jiuliza wacristo
    Kwanini yesu Ali chagua jengo lake la Ibada ni msikitini.
    6:Kwa nini musimuamini alie zungumziwa Kwa bibilia. efeso 1. 13 Hadi 14 hicho kifunugu mulize paster yoyote kanisani akujibu.kamanimkweli

    • @Nim68182
      @Nim68182 11 місяців тому

      😂😂😂😂😂eti arabuni ndo umeshtuka,

  • @MrsmadoshiSalum-go9pe
    @MrsmadoshiSalum-go9pe Рік тому

    dancha mungu akubariki

  • @rossarutasha9391
    @rossarutasha9391 Рік тому +2

    Ndacha kiboko yenu atawafundisha kweli mtajua koroani hamuijui nazima n'a simu yangu ñangoja Ndacha

  • @philipwafula5296
    @philipwafula5296 Рік тому

    Ndacha uko sawa

  • @pazasautiusi
    @pazasautiusi Рік тому +3

    Mazinge Hana point kabisa

  • @JuliusKinyua-vq8zj
    @JuliusKinyua-vq8zj 10 місяців тому

    Pastor ndacha mungu awe pamoja nawe

  • @frednyakundi2862
    @frednyakundi2862 Рік тому +3

    Huyu Mzee mazinge sikuhixi ni comedian

  • @mohamseyf6243
    @mohamseyf6243 Рік тому +1

    Kinacho waponza wakristo ni kutotaka kukubaliana na ukweli na kufata wanavyo tamani.ukweli majini ni viumbe jamii nyingine na watu na malaika,ila shetani ni sifa ya uasi(Yani ukiasi mungu Kisha ukashawishi wengine waasi ndo unakua shetani hatakama ni binadabu).Sasa majini hawaruhusiwi kushirikiana na wanadamu, lakini wapo wema na wapo wabaya,Tena wakiwa waislamu hutakiwa kuwa ndugu wao kwa wao.

  • @sharifam3342
    @sharifam3342 Рік тому

    Masha Allah awabariki Masheke

  • @davidwainaina3899
    @davidwainaina3899 Рік тому +8

    Pastor ndacha,is one Man having holy spirit, imagine one pastor verse whole Tanzanian imams, Jesus is the king Amen 🙏🇰🇪✝️✝️✝️✝️ ndacha is with Jesus Christ, long life Amen Amen Amen

    • @kharoubomar3828
      @kharoubomar3828 Рік тому

      Soma uelewe ufahamu uko chini xana Acha ushabiki ww

    • @ZawadMlewa-nn7hc
      @ZawadMlewa-nn7hc Рік тому

      Poleni sana waislamu hamuelewi kabsa halafu kina mazinge wamejaa porojo tu hakuna wanalo lijua

  • @aliyyuhibu3561
    @aliyyuhibu3561 Рік тому +2

    Safi mbogo

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 Рік тому +2

    Nawapenda mnavyovumiliana mwatusaidia kujua ukweli.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Рік тому +2

    Ukiijua Kweli itakuweka Huru

  • @rosemaryemily311
    @rosemaryemily311 Рік тому +1

    Nafurahia ndacha aujikoshi kwa watu kuwadanganya Lakini unawaambia ukweli tunashukuru Sana.Mungu azidi kukupa maono utufundishe.

  • @samuellubunga
    @samuellubunga Рік тому +4

    Mimi na fuatilia huu mkasa mwanzo mwisho ila kuna kitu sijaelewa maana alicho kataa mbogo mazinge anakubali hivi Hawa mbona Wanabishiana wenyewe watupe majibu kamili

  • @bakarimakomola
    @bakarimakomola Рік тому

    Hahahaha😂😂😂 ndacha na vitabu vyake vya chochoroni

  • @santawinny9946
    @santawinny9946 Рік тому +6

    Mungu akubariki sana mwalimu wangu ndacha hawa watu huwa ni wangumu sana kuelewa ila leo umewanyosha kiswaswa 😂😂😂😂 God bless you

  • @abibumbota5160
    @abibumbota5160 11 місяців тому

    Mungu amuongezee miaka Ndacha

  • @wizzahgfalme3874
    @wizzahgfalme3874 Рік тому +3

    waaah 😂😂mwalimu, yaani hii mada hatar sana, mmeipeleka vizuri imeeleweka... hatari sana hiyo haipingiki

  • @maxyokeyo2835
    @maxyokeyo2835 Рік тому +1

    To God be the glory
    Pastor Ndacha uzidi kubarikiwa🙏🙏

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 Рік тому

    Wewe ndasha uko mtu Waimana sana Mungu akurinde

  • @JojoKWOBIRI-pq6dy
    @JojoKWOBIRI-pq6dy Рік тому

    Jambo baba ndacha. Mubarikiwe sana, ila tusaidoyeni kupata hivyo vitabu vya kislamu, kama ulimwengu wa majini na vingine

  • @jumaajumaa5863
    @jumaajumaa5863 Рік тому +1

    Ndacha Hana elimu yoyote.ispokua ujanja ujanja kutetea ukristo tu Ila katika midahalo mingi nimegundua yakua ndacha Hana elimu na mambo ya dini yoyote.

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Рік тому +3

    Uislam ni kujisifia hakuna kitu kweli mnamaji

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 Рік тому +4

    Kama kunawatu wagumu kuelewa ndio maana hata shule zao za Secondari au Primary wanafeli sana nje ya hapo waibe Mitihani nje ya hapo hawaelewagi kabisa ila tu kwanguvu za Majini hawana ujanja mpaka neema ya Mungu iwashukie

    • @mohamdmohamd4842
      @mohamdmohamd4842 Рік тому +2

      Toa Andiko sio Porojo..huko Skuli ndio umemaanisha Nini. Sasa Nani Mjinga wa Kusema Mungu(Baba) mungu mwana na roho mtakatifu. Halafu useme 1+1+1 = 1 Nani Kafeli hapo na Ujinga pia ako nao.

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 Рік тому

      @@mohamdmohamd4842 Quran yenu inasema hatukupewa elimu ya rohoni ndio maana msikitini hakuna Roho Mtakatifu. Ila elimu ilio tolewa na majini Waislam ndio mnaamini exmp Majini walisema, Tumeisikia Quran tukufu nasi tumeiamini hapana shaka Mola wetu ni mmoja hakujifanyia Mwana wala hakuzaa. Hapo ndio Waislam mmesimamia kwamba Mungu hazai na Yesu sio mwana wa Mungu, hayo ni mafundisho ya Majini. Yesu katika Roho alikuwepo kabla ya Ulimwengu kuwepo na ndie anae samehe dhambi na ndie atahukumu ulimwengu hapo ndio utajua maana ya 1+1+1 hiyo unayo pinga

    • @neptuneplutonium86
      @neptuneplutonium86 Рік тому

      Mjinga ni mkristo asiyemjua Mungu wake. Mjinga ni yule mkristo anayemshirikisha Mungu Muumba mmoja. Mjinga ni mkristo anayesema yesu ni mwana wa Mungu.

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 Рік тому

      @@neptuneplutonium86 Nacho kiona kwako we ni maamuma ambae chochote atakachosema Shekhe wako wewe unakubali bila hata kuhoji kwanini hiki na kwanini vile nje ya hapo ni majini ndio yanakuongoza

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 Рік тому

      @@neptuneplutonium86 Mbaya zaidi maandiko kwenye Quran ya waislam imesema Allha ni neno na Allah ni Alfa na O mega sasa tumia akiliako huyo ni nani? kifupi hata sijui kama unajua Yesu kwenye Quran na Muhammad nani kaandikwa sana na mwenye makubwa zaidi ya mashekhe kuongea maneno yao midomoni eti mawaidha

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Рік тому +1

    Kwa kweli Kwa mada hii,Ndacha uko juu,watafute mada nyingine,

  • @p.matabaro
    @p.matabaro Рік тому +1

    9:14 Marko, 😂😂😂 bibiliya gani mna soma nyinyi? Mbona waongo watupu tu daaah!!!

    • @hassanhamad8723
      @hassanhamad8723 Рік тому

      Hapo sasa 😂😂😂😂 aganojipya si jui agano la kale hapo ndio watu wanapochanganyikiwa vitabu viwili dini 1

  • @wilondjaebambe7435
    @wilondjaebambe7435 Рік тому +4

    Kwa yesu kuna Raha, mapepo na majini wote wanahabudu mungu mmoja ndio maan kuna ushirikiano

    • @neptuneplutonium86
      @neptuneplutonium86 Рік тому

      Elimu hauna ndio maana unasema Hilo...majini kaumbwa na Mungu huyo mmoja aliyekuumba ww hayawani usiyejifahamu

    • @ramazecha2877
      @ramazecha2877 Рік тому

      Ni hasara tupu ukiristo

    • @joshuakusena
      @joshuakusena Рік тому

      ​@@neptuneplutonium86 🤣🤣🤣🤣🤣huna unalojua

  • @ibrahimhamza832
    @ibrahimhamza832 5 місяців тому

    RAHA kua muislamu ☪️☝️

  • @juliuswaitathu8995
    @juliuswaitathu8995 Рік тому

    Ndacha ni kidume Cha kweli katika imani

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid6996 Рік тому +1

    Napenda sana hii midahalo 😂😂😂

  • @RECOLONIZE_RIGHT
    @RECOLONIZE_RIGHT Рік тому

    waislamu hasira ukiwapata...

  • @mussadvd9847
    @mussadvd9847 Рік тому +1

    Ndacha unajua kuwapa vitu vizuri

  • @hassankajembe4118
    @hassankajembe4118 Рік тому +2

    Ndacha anaujua ukweli ila njaa tu

  • @aliyyuhibu3561
    @aliyyuhibu3561 Рік тому +3

    Safi mazinge

  • @lilwilson6283
    @lilwilson6283 Рік тому +11

    Hili swala la majini sio geni kwetu sisi wakristo! ,,, tuna wajua hao toka zamani wanamiliki majini ndani ya milizao 😂,,,, mwalimu ndacha endelea kuwafundisha Mpaka kieleweke !

    • @mohamdmohamd4842
      @mohamdmohamd4842 Рік тому

      Hata kwa Wa Kristo pia Wako...tena huko Kanisani.(Kwa Jina la Yesu toka Wewe Shetani....) Hilo pia Useme au UComment. Utaelewa hapa kwa Comment pia.

    • @lilwilson6283
      @lilwilson6283 Рік тому

      @@mohamdmohamd4842 Nenda kanisani ukaombewe alafu urudi hapa,,,, hivi una jua ni kwa nini wa ganga wa kienyieji wengi wao ni wa eslam ni kwa sababu wanatumia majini!! Mfate yesu ndugu yangu hachana na muhhamed ! Na siku ya kiahama mna hamini yesu hatarudi duniani sio Muhammad ni yesu sasa jiulize kwa nini asiwe Muhammad ? ,,,,,

    • @mohamdmohamd4842
      @mohamdmohamd4842 Рік тому

      @@lilwilson6283 Rudi Shuleni Wewe. Toa Andiko Yesu aliingia Kanisani. Yaani hata Akili pia huwezi kutumia.Toa hilo Andiko kwa Bibilia YESU AMEINGIA KANISANI. Kitasimama Kiama ukitoa hilo Andiko.Haya Toroka kama Wenzio.

    • @lilwilson6283
      @lilwilson6283 Рік тому

      @@mohamdmohamd4842 ww ndo ukarudi shule hivi unajua mahana ya kanisa? ,,, yesu haki rudi hapa duniani sijui mta kua wageni wa nani ,,,,

    • @mohamdmohamd4842
      @mohamdmohamd4842 Рік тому

      @@lilwilson6283 Toa Andiko Yesu aliingia Kanisani.Wacha Ujanja.Nimekwambia Kitasimama Kiama Ukitoa hilo Andiko kwa Bibilia..kuwa Yesu Aliingia Kanisani. Nenda Ukawaulize Mapasta na Mapadri Wakupe hilo Andiko kwa Yesu Aliingia Kanisani. Mpaka Siku ya Kiama hutolitoa Wewe na Wenzako Wakristo Hilo Andiko.

  • @kisosekatere6282
    @kisosekatere6282 Рік тому

    Soma haya vizuri mbona lipo wazi ninyi m'nadai mwenyezi Mungu ni M'moja ila Andiko linasema NASI TUMEWANYIA Manabii maadui hajasema Allah ila wamesema NASI yaani Wengi kwa hiyo wasemao ni wengi kweli majini ndugu zenu.. kuikweli NDACHA Hamumueweza anao uelewa Mkubwa wa Dini ao niseme vitabu...

  • @thomasshuhulichimbeja7441
    @thomasshuhulichimbeja7441 11 місяців тому

    Ndacha wewe ni moto ndugu😀😀😀

  • @teresiaruru9258
    @teresiaruru9258 Рік тому +5

    THE NAME OF THE LORD IS SO POWERFUL GOD BLESS YOU NDACHA

    • @rashidmohamed1949
      @rashidmohamed1949 Рік тому

      Wakirisito wavivu kwa kusoma vitabu
      Mnapenda maisha mepesiii ya duniani
      😀😀😀

  • @mwoso
    @mwoso Рік тому +3

    Mbogo amechanganyikiwa. Badala ya kuelimisha watu , anajitetea.

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 Рік тому +7

    Hawa jamaa ni ngumu sana kuwatoa kwenye Uislam maana Majini yanawaposha wasijue ukweli ili tu wawaamini kuwa ukweli wa Uislamna wao wanaitwa Waalimu hivyo Waislam wanawaaminisha wao ni Walimu wao, sasa kama Majini ni walimu sasa Mungu na Malaika wanakazi gani? fungukeni acheni akili za mgando wa kulazimisha watu Majini wako wazuri

    • @leonardadd
      @leonardadd Рік тому +1

      Kwa mungu si ngumu,watabadilika tu

    • @nephatkahinga6577
      @nephatkahinga6577 Рік тому

      Na kuwelewa kwao ni ngumu

    • @abassmuhsin7991
      @abassmuhsin7991 Рік тому

      Yale Mapepo makanisani Moote Yanatoka Wapi .

    • @biswalhadogani-wt8kv
      @biswalhadogani-wt8kv Рік тому

      Wahadhiri was kiislamu mW/mungu awalinde .mzidi kutuelimlsha na kutupandisha imaani na akhera muingie peponi bila hisabu

  • @adamadamluoga6902
    @adamadamluoga6902 Рік тому

    Safi

  • @mosecutzthehairstylist7201
    @mosecutzthehairstylist7201 Рік тому +1

    Yesu christu ainuliwe

  • @FetyMbalale
    @FetyMbalale Рік тому

    Wakristo hawana elimu yakumjua mungu, na kamwe hawatojua