053 HABIB MAZINGE | JE SACRAMENTI NI MWILI WA YESU 2/2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @djumbesaide2169
    @djumbesaide2169 7 років тому +8

    Saide Djumbe
    Mansha allah
    Professa Mazinge endelea
    kuasilimu wskristo,wajue
    dini ya kweli ya Mwenyezi
    Mungu ambayo ni uislamu.

    • @khadijamohammedsheheasemak1334
      @khadijamohammedsheheasemak1334 7 років тому

      naao waloamini wa kuekwa hapo wote majnuni makafirii ayoooo mmelaanika

    • @salimaljahwari1
      @salimaljahwari1 6 років тому

      Khadija Mohammed Shehe asema kweli ن‘ঃচলয। য
      ষোল য। ?যেমন, সলিল।

  • @bintmohamedmalevi3771
    @bintmohamedmalevi3771 3 роки тому +4

    Huu muhadhara ulikuwa mkali mno
    Maa Shaa Allah. Allah awape umri mrefu wenye siha njema masheikh wetu.

  • @salmabakary645
    @salmabakary645 6 років тому +7

    mungu akujalie kila laheri mazinge hakika pepo ya Allah mungu akupatie inshaallh

  • @munirayusra91
    @munirayusra91 9 років тому +36

    Mungu..akuwekee mazinge inshaallah na kujalie pepo ya Rabbi

  • @modjayd5424
    @modjayd5424 5 років тому +9

    asante sana sheikh wape mpaka waelewe vtu wanavyofanya kwa udhalili wanakula mpaka mashonde

  • @shamimwamanya4598
    @shamimwamanya4598 7 років тому +17

    Mazinge Allah akupe kila la kheri uzidi kuwaelimisha wakristo waliopotea.Nami nilitoroka huko kwa sababu hamna dini kule

  • @modjayd5424
    @modjayd5424 5 років тому +4

    mashaallah wpe elimu hao sheikh wangu mpaka waelewe mungu akupe maisha marefu

  • @mohdeddy123
    @mohdeddy123 5 років тому +4

    Mwenyez mungu akueke sheikh uwe na afya njema kila siku uwape darsa awo wagonjwa

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 5 років тому +1

    Hawa Wachungaji wakiwa wanaongea unaweza kuona wako sawa....kumbe wanapoteza sana Watu...!!
    Maandiko hawajui....!...Maashallah Mazinge..!...ALLAH Akuweke vyema

  • @nurudinehamimu5658
    @nurudinehamimu5658 6 років тому +6

    Shekhe mazinge mwenyezmungu akupenguvu uzidi kuwaweka sawa inshaallah

  • @dinakipingo1905
    @dinakipingo1905 2 роки тому

    Masha Allah masheikh wetu mko vizuri Allah awape nguvu, Mazinge na Saidi Kinyogoli

  • @mwaafricaharisi4518
    @mwaafricaharisi4518 6 років тому +6

    Sheikh wetu Mungu Akubaliki

  • @saidasalum8826
    @saidasalum8826 2 роки тому +1

    professor Mazinge ALLAH akubariki

  • @rajabumbunda9796
    @rajabumbunda9796 6 років тому +3

    mashaallah mwenyezi mungu akufanyie wepesi wa kila jambo la kher shekhe

  • @khalfanhamisi4218
    @khalfanhamisi4218 6 років тому +5

    aslmalkm ndugu Waislam ? S.A.W. hawa wakrsto hawana Oja! Inshaallah Mungu hawapatie fahamu za kuelewa hili waweze Ku slimu wawe waislm!!!.......

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 3 роки тому +11

    Jamani Mungu gani anaitwa Yesu...Allah Jina linautisho wacheni mchezo nyinyi Yesu Hana hata sifa za ungu ana sifa za utume...ISSA aleih ssalaamu...Yesu alikula samaki Sifa zaungu Hana kabisa...Yesu anaweza kusimamisha mbingu na ardhi..nyie mnamchezo Yesu atoe usiku aregeshe mchana nyie mnacheza Nyinyi mnaabudu binadamu mwenzenu...Yesu ni mtume sio Mungu eleweni Bana...

  • @yusufhabimana4093
    @yusufhabimana4093 3 роки тому +1

    shekhe mazinge wekiboko allah atakuripa unafanya kazi ngumu wakristo sijuwi hakirizao zinakaasehemugani!!

  • @ruhaymahothman7598
    @ruhaymahothman7598 6 років тому +10

    Allah akupe umri uzidi kuelimisha jamii

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 10 місяців тому

    mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah allah akujalie kila kher Katika maisha yako inshallah umeipigania dini kweli kweli sio Hao wasani waislam ndo wanazid kuongeza ushetani na kuharibu dunia nawatoto wa Zina ndo wameja sasa hivi alafu shida zitaacha kuja

  • @abaslegera9841
    @abaslegera9841 6 років тому +4

    MashaAllah ALLAH akuongoze shekh wetu

  • @mariamjuma5123
    @mariamjuma5123 6 років тому +2

    Allah akuzdshie miak ming inn shaa Allah,uzd ktoa daawa kwa makafr

  • @jamuhuriali6183
    @jamuhuriali6183 6 років тому +5

    ya alhaa mjalie Maisha mema mazinge wetu amin

  • @asutfaile2647
    @asutfaile2647 8 років тому +16

    hahahaaa Mazinge nakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 3 роки тому

    Dooh watu tunahitajika Sanaa kujifunza dini kwa undani zaidi tujifunze vitabu vya mungu kwa undani na kuvielewa zaidi

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 6 років тому +5

    Mazinge Nakukubali Sana.

  • @kennedymanyonge6170
    @kennedymanyonge6170 10 місяців тому +1

    Mazinge ni moto kama pasi. Takbir

  • @hamisikolo5731
    @hamisikolo5731 Рік тому

    Allah akulinde Shekh wetu Habu mazinge

  • @aminariziki1677
    @aminariziki1677 7 років тому +18

    waislamu Mazinge yuko juu jamani hahaha tumswalieni mtume.

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 3 роки тому

    Waone waislamu wanaabudu Allah nahawamuoni Ila wakristo munaabudu Yesu wenye alizaliwa Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa Mungu Hana familia wala Hana aloshirikiana nae katika kuumba Dunia...Allahu Akbar....Mungu anifishe nikiwa nimuisilamu...Aaaaameen

  • @hanifaharet3739
    @hanifaharet3739 7 років тому +6

    Nawapenda kwa ajil ya Allah,Said unanibambaga sana

  • @nasraalobaidani3194
    @nasraalobaidani3194 6 років тому +4

    nakupend ustadh mazing ubarikiw daima kwa kz unazofny makafir watabk naukafir wk

  • @kassimmohammed4949
    @kassimmohammed4949 5 років тому +4

    Mashallahu Allah bless you Aamiin

  • @mwanaz3110
    @mwanaz3110 9 років тому +4

    Mazinge wew ndo Staring wao!!!i have no doubt on you!!!

    • @ismailhersi1317
      @ismailhersi1317 3 роки тому

      Mnafaya kazi nZuri Sana lakini MSIWAITE kuwaambia WAPUMBAVU KWA sababu Badala ya kuupenda Uislamu watauchukia

  • @nasraalobaidani3194
    @nasraalobaidani3194 6 років тому +4

    mazing ALLAH akubarik baba

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 3 роки тому

    MashaaAllah MashaaAllah kinyogori hapa bado mdogo

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 6 років тому +5

    Yaani Wakristo Hata Kuuliza Maswali Hawajuwi Masikini Ya Mungu.

  • @sabrasharifu8148
    @sabrasharifu8148 2 роки тому

    Manshallah Allah akuripe kher inshallah

  • @mrsdully1613
    @mrsdully1613 8 років тому +17

    daah shekh wetu mungu akubariki hao wanakupotezeaa mda t

  • @abdinassirshekhuna9909
    @abdinassirshekhuna9909 9 років тому +9

    I like mazinge very much

    • @saidmunye8626
      @saidmunye8626 8 років тому

      me 2

    • @josephmayunga4743
      @josephmayunga4743 7 років тому

      tatizo la waislamu wanamuengelea mungu Kama binadamu. hawana elimu ya biblia

    • @binahmedjuma8681
      @binahmedjuma8681 3 роки тому

      @@josephmayunga4743 Kati yetu sisi na ninyi wanaemuelewa Mungu kama binadamu ni nani!
      Kwenye Quran tunaamini hakuna wa kufanana na Mungu, lakini ninyi kwenye biblia yenu mnaitaidi kuwa mfano huu tulioumbiwa sisi binadamu ni mfano wa Mungu! Je una hoja??

  • @bnassorokiyamile885
    @bnassorokiyamile885 8 років тому +11

    allah amuhifadhi mpenzi wetu mazinge makafiri kodoeni kodoooo kodoooo kodooiogoooo ahaaa munavitimbi mikafiri nyinyi apa dokta mazinge tibu mpaka iyi miaka 2017 ludia iyi mada ya doz zao ahaa haaaa

  • @mohamedsharif8574
    @mohamedsharif8574 6 років тому +3

    God bless you mazinge

  • @paulochacha5355
    @paulochacha5355 6 років тому +2

    Maashalla mzinge unatisha

  • @saumumohammad8174
    @saumumohammad8174 9 років тому +7

    mazinge Allah azidi kukupa afya njema na umri mrefu uzidi kututoa taka maskioni maana mengine tulikua hatuyajui.

  • @munaseif9769
    @munaseif9769 7 років тому +7

    mmewakosha sana kumbe wanakula mavi mmmmmmm uchafu bhana😎

    • @christinakayela1161
      @christinakayela1161 3 роки тому

      Kuiona mbingu ni kazi Sasa mnaojiona mnamuomba Mungu wa kweli Tena mnawatukana wenzenu Sasa kumwamini kwenu Mungu nakujiona nyie wa maana kuko wapi? Hizo nikampeni za shetani hiyo mijadara yao haina hata maana wanapoteza muda wao bure2 harafu ni watu wazima utafikiri hawanakazi yakufanya hakuna binadamu Anae mjua Mungu kiundani na hakuna dini ya kweli Bali niimani yako itakayo kuokoa ukijaji Sana dini Wala huwezi ukasali sio uisilam Wala ukristo maana ukichunguza Sana uisilamu nao umejaa uchawi wakutosha hao mashehe wanasiri zakutosha wengine mtabaki kusema uisilam ni dini ya kweli Sasa huwa najiuliza mnae mwamini ni Mungu yupi? Wakati hiyo dini inamambo ya ajabu Sana ukimchunguza Sana nyuki huwezi kulamba hata asali yake Amini unacho kiamini acha kutukana dini za wenzenu maana hata dini yako huijui kiundani zaidi mwogopeni Mungu wako

  • @yusufhabimana4093
    @yusufhabimana4093 3 роки тому +1

    asalam aleykum sheikhe habib mazinge sisi tupo bujumbura tumekukumbuka

  • @shamsashamsa9548
    @shamsashamsa9548 6 років тому +4

    Alhamdiliah mashaallah

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 6 років тому +2

    Wakristo Wanapata Elimu Kubwa Sana Kupitia Waislamu.

  • @jumaakhalfan485
    @jumaakhalfan485 5 років тому +2

    Daaaahh huyu mazinge ni shida

  • @paschalmichaeli9776
    @paschalmichaeli9776 5 років тому +5

    allah akupe umri uzid kuwafungua akili zao .

  • @الشيخذوالقرنينعلي
    @الشيخذوالقرنينعلي 7 років тому +7

    Masha allah

  • @mirajishentembo4962
    @mirajishentembo4962 5 років тому +3

    Mazinge sule kinyogoli Imani petro Maulana piganieni dini yetu

  • @Aladeide
    @Aladeide Рік тому

    Mazinge ni mwalimu kweli 😂😂😂

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 3 роки тому +2

    mdahalo mzuri

  • @adilihassan8455
    @adilihassan8455 3 роки тому +1

    Mazinge sina Shaka nawe kabisaaa,yani Hawa jamaa walikuona wanahisi haja mbili mbili wwe kidume cha Allah,Allah akulipe firdaus Amiin

  • @ramafrica9016
    @ramafrica9016 5 років тому +4

    Mashallah

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 6 років тому +3

    بارك الله فيك يا شيخ

  • @anasiatajovin203
    @anasiatajovin203 6 років тому

    Yan dah nawaonea huruma sana mnaosema. Mazinge mashallah dah eti mzinge nn cjuu looh hakyamungu kweli asante mungu kwanifungulia mema na kuwaficha hawa wajinga mambo mengi kwa maana yako ww unayejua sirini najivunia kuwa mkristo tena mkatoliki asante yesu

    • @mgeniali1768
      @mgeniali1768 5 років тому +1

      Pole sana dr elimu ni bure hauja chelewa yastahili uwe mwanfalifu usijiache hivyo ukazidi kupotea

    • @anasiatajovin203
      @anasiatajovin203 5 років тому

      @@mgeniali1768 shule unatikwa uende wew mjinga me co mjinga mwehu wew

    • @muhammadmuhaznun380
      @muhammadmuhaznun380 3 роки тому

      Asanta mama pongezi endelea kuwa mkatoliki mama waislamu hawalazimishi Mtu kuingia Kwa dini ni haki yako kuwa mkatoliki.....Mungu anahekma zake kuumba Pepo na Moto...

  • @khadijanjama9016
    @khadijanjama9016 6 років тому +2

    Maa shaa allah

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 3 роки тому

    Ahsante kijogoli

  • @habibuissa6992
    @habibuissa6992 3 роки тому +2

    Mashaallah

  • @AbdulRahman-wx6iv
    @AbdulRahman-wx6iv 6 років тому +4

    Hiyo ishu ya idi Amin imepandikizwa ila hata ss wabongo wanajeshi wetu walipigana Vita ila historia haipotei,vijana wengi tunajua ukweli Sasa hv na sababu tunazijua,hao hao waliotugombanisha ndio wanatuambia ukweli..(Europe)

  • @ramadhanmanko4614
    @ramadhanmanko4614 5 років тому

    Mazinge hoyeeeeeee

  • @suberasubera641
    @suberasubera641 3 роки тому

    nakupenda sanakinyo gori

  • @rahmanmtwiku3358
    @rahmanmtwiku3358 5 років тому

    Daah Safi

  • @shekhanwilfred3113
    @shekhanwilfred3113 6 років тому +1

    Inshallah mazinge

  • @hanselricky6054
    @hanselricky6054 7 років тому +15

    yesu si mkristo lakini kwanini wakristo nawaonea huruma kwasababu wachungaji wanawapoteza na sadaka zenu wanakula wachungaji

  • @kitalakahamisi5348
    @kitalakahamisi5348 7 місяців тому

    Hii ni dawa kwa ulimwengu mzima na Allah atutulinde na makafiri waotoshaji

  • @bintmohamedmalevi3771
    @bintmohamedmalevi3771 3 роки тому

    Nani yuko hapa leo muhibiri ni noma mno

  • @tiffahfrodo9839
    @tiffahfrodo9839 6 років тому +2

    Maisha marefu mazinge we love you

  • @shamtaus6721
    @shamtaus6721 3 роки тому +1

    Amini alipigwa vita na Julias kwa uislamu wake. Na muungano wa Visiwani na Tanganyika umelazimishwa ili kupunguza nguvu za waislamu ambao ni wengi visiwani huko.

  • @abdulmohamed2044
    @abdulmohamed2044 7 років тому +5

    Yaap wape ukweli wa mambo

  • @aishaongaro5965
    @aishaongaro5965 9 років тому

    hahahaaaaaa at mwili wa yesu mafi makafuuuuuu......waaaaa allahu Akbar ,... mazinge subhana Allah aenderee kukurinda

  • @reginanjuguna7368
    @reginanjuguna7368 6 років тому

    kwaivio mnaamini yesu

  • @mariamjuma5123
    @mariamjuma5123 6 років тому +1

    Muhadhara rakhaaaaaaaaaa

  • @hassansalum8496
    @hassansalum8496 7 років тому

    jaman daaah ngamia​ Sii halam pls

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 2 роки тому

    JESUS IS A WAY

  • @simonnzuki8884
    @simonnzuki8884 2 роки тому

    Kunatofauti ya kula na mkufuga, mwalimu wa kislamu unataka usikilizwe lakini utaki kusikiliza.

  • @khatibukhatib9926
    @khatibukhatib9926 5 років тому

    Hahahahaha we mazinge atari sana ati na mama ako pia anatembea umewai kumla....?

  • @saumumohammad8174
    @saumumohammad8174 9 років тому +1

    hahahahahaaaaa uuuuuuuuiiiiiii mazinge na msomaji wake loooh...chochote kilucho hai duniani chaliwa kwahio hata mamaako wamla daaah mwaniacha hoi..

    • @sperambuya4610
      @sperambuya4610 5 років тому

      Saumu Mohammad hawa watu jamani wanachochea uadui ndani ya mioyo ya watu, sijui serikali iko wap isikemee haya mambo, haswaa, waislam wanatamani sana vita vya kidini, kwakweli sio vizuri kujadili vitu vya kiroho ambavyo kila mmoja wetu, anamuamini mungu mmoja, huu nauita upuuuzi mtupu

  • @yussufally8668
    @yussufally8668 6 років тому +1

    Wakristo muache kula mavi makavu

  • @zaherafrancis75
    @zaherafrancis75 5 років тому

    mazing inchallah wewe na amza mutakutana wahala moja

  • @ubarikiwenabwanawamajeshiq5861
    @ubarikiwenabwanawamajeshiq5861 6 років тому +1

    Yesu alimwambia petro juu ya mwamba nitalijenga kanisa

  • @allyissa4326
    @allyissa4326 5 років тому

    Uyu nisimbaaaaa tu mazinge

  • @abdallahhamisi45
    @abdallahhamisi45 11 місяців тому

    😂😂😂😂 huyu msheheshaji wa mwisho yuko wapi. Nimependa anavo sema unakula unaendelea kuwa mzembe mzembe

  • @fbhj443
    @fbhj443 7 років тому +2

    ooooh ndo maana hawana fikra kumbe wanakula mavi?

  • @aminariziki1677
    @aminariziki1677 7 років тому +1

    msomaji wa Mazinge Ana nipunga Sana'a jamaa ajitia uchizi asiokuanayo hahah kumnyooshaa kafiri yataka nafasi.

  • @rashidshamte3083
    @rashidshamte3083 2 роки тому

    Kwanini wanakua wakaidi wakati mambo yote wanayafahamu watapata shida kesho kiama hao wakristo

  • @philemongomwa3728
    @philemongomwa3728 5 років тому +2

    Mazinge analazimisha kushinda kwanguvu nawala siyo kwapointi
    Hana lolote niujanjaujanja tu.

    • @binahmedjuma8681
      @binahmedjuma8681 3 роки тому

      Ni ujanja vipi wakati haongei kwa maneno yake bali kwa ushahidi kutoka humo humo kwenye biblia yenu/zenu?

  • @mdududebst8933
    @mdududebst8933 5 років тому

    Wakristo gani wazembe hawajui kujenga hoja kabisa

  • @msellemkassim2515
    @msellemkassim2515 2 роки тому

    Mathew 4-23

  • @rashidshamte3083
    @rashidshamte3083 2 роки тому

    Shekh mazinge wape dawa hao watapona tu

  • @omaryzubery1809
    @omaryzubery1809 6 років тому

    Jina jitambue

  • @mrsdully1613
    @mrsdully1613 8 років тому +1

    hahaha mbavu zangu ety anajitia uchizi asokuanao

  • @AyubuSaidhassani
    @AyubuSaidhassani 8 днів тому

    46:53 46:53 nl

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 3 роки тому

    Nyinyi mnaabudu binadamu mwenzenu...salaala kwani hata akili hamtumii...alomzaa Yesu aliumbwa nanani? Yesu alizaliwa dunia ilikuwa IPO tayari sasa yesu aliumba vp mbingu na ardhi....

  • @kelvinalex5644
    @kelvinalex5644 7 років тому

    mtamkubali mwishoni subilieni sisi hatuna mengi juu Mohad wenu kwani haki iko Kwa Mwenyezi Mungu tu sio ndani ya dini yenu.tena kusoma bible mnajisumbua haiwahusu hata kidogo yanini kwenu kukaa nayo itawagarim,na Kwa jina la Yesu hata huyo mtume wenu atafufuliwa kama sisi na hapo ndoo mtajua agano jipya ni Kitu gani

    • @youtubeisyours6417
      @youtubeisyours6417 7 років тому +2

      Allah amlinde mazinge na watu wake

    • @allyminasi845
      @allyminasi845 7 років тому +2

      kelvin alex kubal usikubal uislam ndiyo dini ya kwel kama ukikataa uislam moto unakuhusu

    • @katohjasho244
      @katohjasho244 7 років тому +1

      Ukristo hauna hoja mbele ya uislamu

    • @shamsashamsa9548
      @shamsashamsa9548 6 років тому

      mashaallah

    • @ahmedtalka3239
      @ahmedtalka3239 6 років тому

      The african bible......

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 роки тому

    kumbe mikate ya kanisani ina mavi duh!

  • @lewisleonard9886
    @lewisleonard9886 2 роки тому

    Wanyama wasio cheua wasio nakwato hao ni najisi kwenu msiwale samaki wasio na magamba msiwale ni najisi kwenu

    • @lewisleonard9886
      @lewisleonard9886 2 роки тому

      Kwahio ngamia ni haram kambale ni haram

    • @lewisleonard9886
      @lewisleonard9886 2 роки тому

      Ngamia niharam kwasababu hacheuwi nguruwe ni haram sababu hacheuwi kwanini ngamia awe halali

  • @emmanuelchakubila6224
    @emmanuelchakubila6224 6 років тому

    Kama akuna jambo jipya, kwa nini Koraani ana uislamu ulianza mwaka wa 622 baada ya Yesu Christo?

    • @mgeniali1768
      @mgeniali1768 5 років тому

      Ndio mujijuwe usilam Ndio dini peke

    • @paqchatygaga7276
      @paqchatygaga7276 3 роки тому

      Kabisa wala hakuna tena dini nyengine.

    • @soudmoshmnyika5813
      @soudmoshmnyika5813 2 роки тому

      Uislam haukuanza mwaka wa 622 ulianza tangu kwa Adam, Ila mwaka wa 622 uliendelezwa kwani dini hii ilikua imeharibiwa

  • @othmanabdallah1948
    @othmanabdallah1948 7 років тому

    19:00 na 32:25 😂😂😂