MPENZI KADANGANYA ANA SAFIRI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 415

  • @MaveGladician
    @MaveGladician 3 місяці тому +28

    Alafu mimi haya mazoeya yakumwita mpenzi wangu shem darling siyapendi

  • @AnnaNgashi
    @AnnaNgashi 2 місяці тому +1

    Mbona hamuwanyii wanaume ni wanawake tu Mr uky

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 3 місяці тому +14

    Mbona nipeni hela yangu haya ni maigizo😊

  • @KautharMartin-sc9cm
    @KautharMartin-sc9cm 3 місяці тому +32

    Yan wameongea vizur hatar unaweza kusema mume si ndo huyu😂😂😂😂wanaume nyokooo

    • @binueltinda5366
      @binueltinda5366 3 місяці тому

      Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa

    • @JudyLee-hf9cy
      @JudyLee-hf9cy 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂yn

    • @JaneChaula
      @JaneChaula 2 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 2 місяці тому

      😂😂😂😂

  • @KhadiaKhalphan
    @KhadiaKhalphan 3 місяці тому +13

    Tufike mda tuelewe kua hamna true love

    • @binueltinda5366
      @binueltinda5366 3 місяці тому

      Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa

    • @BarakaGorad
      @BarakaGorad 2 місяці тому

      Kwakweli 😢😢

  • @AminaNgumba
    @AminaNgumba 19 днів тому

    Mr uk bhn etyii nyie wanaume kwan ww mwanamke?😂😂😂😂😂😂😂

  • @VeronicaOtieno-u3f
    @VeronicaOtieno-u3f 2 місяці тому +1

    Ati Shem darling kweli wanaume

  • @KikubaRamadhani
    @KikubaRamadhani 2 місяці тому +1

    Aaaaaaah hela zako tena😢😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂

  • @annasitaziagamba4186
    @annasitaziagamba4186 3 місяці тому +1

    😂😂😂mbola tudanganye tu wote lkn sio kunidanganya watu wazima bado mnauzwa et mke na hajakuoa ndo hapo huwa mnafnya makosa

  • @IreneHatibu
    @IreneHatibu 2 місяці тому +1

    Shika hela dada💸

  • @hildamasonda6528
    @hildamasonda6528 2 місяці тому

    Sasa kwan mm nachekaa nn jmn au ndio maneno ya mahaba yananichekeshaa😅😂

  • @RachelJulius-h1p
    @RachelJulius-h1p 2 місяці тому

    Kaitwa mkewangu kacheka uyo hatal😂😂😂😂😂

  • @Billiah
    @Billiah 2 місяці тому

    Hii ni movie tu unamuambia kata tena unaendea do zako kwa hivyo ulikua umewandaa hapa kila kitu nimahigizo tu.

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 3 місяці тому +1

    Mr Uky jaman unavunja mahusiano ya watu 😂😂😂😂

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 3 місяці тому +1

      anavunja ama anasaidia kuwachomoa wapumbavu

    • @memoryngambi7570
      @memoryngambi7570 3 місяці тому

      Havunji ila ni fundisho wanawake hua hatujitambui,tatizo letu tunawaamini wanaume sana kuliko kutuliza akili na kuchukua mda ili kupata Alie Sahihi.

  • @elischarles1615
    @elischarles1615 3 місяці тому

    Basi hapo roho yako kwatu kuharibiana mood tuu😂😂

    • @binueltinda5366
      @binueltinda5366 3 місяці тому

      Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa

  • @michelinemiche442
    @michelinemiche442 3 місяці тому

    Narinje ndiruka,ngo mwayirekuye murankoreyeko😢

  • @KatijaRamadhan
    @KatijaRamadhan 2 місяці тому

    Umefanya tuwajue wanaume Zaid dah!😅

  • @HalimaHatibu-f4p
    @HalimaHatibu-f4p 2 місяці тому

    Ubinadam kaz

  • @linetnyiro9374
    @linetnyiro9374 2 місяці тому

    Sijui niingie kwenye mapenzi ama nitoke 🤔🤔

  • @HabibaAyubu-rt7eg
    @HabibaAyubu-rt7eg 3 місяці тому

    Kumbe na mkosea mpenz wang kumbe kila mwanaume anaitwa baby😢

  • @PennyTheboss-m5h
    @PennyTheboss-m5h 2 місяці тому

    All is drama😂😂 eti naombeni ela zangu

  • @MatukimagereMagere
    @MatukimagereMagere 3 місяці тому

    Halafu kama mbona mnaanza kutupanga?

  • @EmmyMalino
    @EmmyMalino 3 місяці тому

    Me nachekaga tu 😂😂😂

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt 3 місяці тому

    Nikuwapanga kumbe

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt 3 місяці тому

    Wanaume mambwa kweli

  • @johasaeed391
    @johasaeed391 3 місяці тому +31

    Yaani wanawake sisi ukitwa mkee tu yaani unabonyea

  • @nadhifajuma6485
    @nadhifajuma6485 17 днів тому +1

    Wallah mapenzi yamejaa usaliti wanaume matapeli wa mapenzi 😢😢😢😢😢

  • @getrudamsigwa2776
    @getrudamsigwa2776 3 місяці тому +25

    Alivyosikia mke wangu kacheka mwenyew

  • @khadijaAthuman-qq7xg
    @khadijaAthuman-qq7xg 2 місяці тому +5

    Mapenzi Yana wenyewe mm wacha ntafute hela mapenzi yamenishinda😂😂😂😂😂

  • @mosesmligo9614
    @mosesmligo9614 3 місяці тому +6

    Mwanamke mjinga atavunja ndoa yake kwamikono yake ye mwenyewe...Adam mwenyewe aliingia mkenge...sembuse waname Wenu awa wa sikuiz wenye MUNGU wakubahatisha.

    • @binueltinda5366
      @binueltinda5366 3 місяці тому

      Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa

  • @memoryngambi7570
    @memoryngambi7570 3 місяці тому +4

    Mimi ndo hua nacheka yaani wenye akili wanajifunza,lamsingi wanawake tu focus kwenye mambo ya msingi ,alamfu mapenzi baadae.

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 3 місяці тому +1

    Tumechoka na drama zenu ww kiredio mnatumalizia bando

  • @joanminde7905
    @joanminde7905 2 місяці тому +1

    Halafu hawa waongo mbona yule anawaambia awape hela zake tena mwishoni?

  • @acioulsayd3381
    @acioulsayd3381 2 місяці тому +3

    Kumbe hawa wanatuchezea mchezo huwa sio kweli 😅😅eti nipeni hela zangu

  • @giddie_barnabas
    @giddie_barnabas 2 місяці тому +5

    Ila shemeji mwenyewe pis hata ningekua mimi😅😅

  • @muddywatown
    @muddywatown 2 місяці тому +4

    Kama umeona mwisho anaomba nipeni ela zangu 😂😂😂

    • @SarahAntony-g8h
      @SarahAntony-g8h 10 днів тому

      Aliwaahidi atawapan20k mwanzo sikiliza vzr

  • @MecktidisMswata
    @MecktidisMswata 2 місяці тому +2

    😂😂😂 nacheka kama mazurii mayuda eskarioty yako kama yote duuuu mapenz shikamoo

  • @muddywatown
    @muddywatown 2 місяці тому +1

    Kama huna D huwezi kuelewa kama huu ni mchezo umepangwa kuanzia kwa huyo mwanaume mpaka hao malaya

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 місяці тому

    Kumbe mnaigiza sio uharisia..sasa leten pesa zng zimetoka wap?? Umehalibu sana watu watakuupa na utapoteza mvuto wakipindi kumbe unatutapeli ili tuangalie upate views

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 Місяць тому +1

    Mume wangu mie ukipiga simu unajiuma uma utaoga mvua ya matusi wee labda ukute hajapiga vitu vyake 😂😂😂

  • @fordraymondjohnson2380
    @fordraymondjohnson2380 2 місяці тому

    Ukichek hii hawa wadada waliandaliwa maana jamaa aliwapa pesa kama shukran, lkn mwsho wa kamera akadai pesa zake.
    Kumbe content hii iliandaliwa wala so ya kushtukiza.

  • @ReginaYusuph-b9f
    @ReginaYusuph-b9f Місяць тому

    hizi video huwa ni za uongo why after challenge aseme kata afu kaomba arudishiwe na hele😒😒

  • @roseallyWaney
    @roseallyWaney 3 місяці тому +10

    Mbona tena nipeni hela zanguu😅😅😅😅😅😅😅😅😂

    • @salmakasim8390
      @salmakasim8390 3 місяці тому

      Kumbe na ww umeskia hahah

    • @roseallyWaney
      @roseallyWaney 3 місяці тому

      @@salmakasim8390 Ndiyoo wanatudanganya hawa mbwa 😂😂😂

    • @doubledee10
      @doubledee10 2 місяці тому

      𝐖𝐚𝐬𝐞𝐧𝐠𝐞 𝐤𝐰𝐞𝐥 𝐚𝐰𝐚.

  • @lucasmlowezi9214
    @lucasmlowezi9214 2 місяці тому

    Huo si ufala, yaani kapigiwa na mpenzi wake hapo anapaguwa na shem wake anashindwa kugundua. Au mnatiigiza?

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 3 місяці тому +5

    Kumpa mtu namba ya mpenzi wako siyo poa wanadamu wamekuwa wanyama. Mpuuzi sana inaonyesha alikuwa anammendea siku nyingi mpuuzi huyu

  • @ByamunguGentil-su8ox
    @ByamunguGentil-su8ox 8 днів тому

    Hata ingekuw mm ninge kubali 😂😂😂 ao mnasemaje wanangu 6:58

  • @OliverPallangyo
    @OliverPallangyo 19 днів тому

    Duh yaan sitakaa niangalie videos zako tena kumbe maigizo asee 😏😏

  • @maryamedi9141
    @maryamedi9141 3 місяці тому +12

    Duuh nikisikia mapenzi nahisi kichefu chefu😂😂😂😂atakaye nipenda nitamunyoosha wanaume duuh

    • @jafarysoahsoah8530
      @jafarysoahsoah8530 3 місяці тому +1

      😂😂😂 moyo wangu unagoma kumuamini mtoto wa watu kabisa

    • @maryamedi9141
      @maryamedi9141 3 місяці тому +1

      @@jafarysoahsoah8530 Yaan wew ndo kama mm wanaume sjui nawaonajee 😅😅😅

    • @jafarysoahsoah8530
      @jafarysoahsoah8530 3 місяці тому

      @@maryamedi9141 poleee utapona maana asilimia 98 ya wanaofanyiwa challenge wanafeli yaani unakuta mtu anacheet sa nimuamini nani 🤣

    • @FerdinandCharles-ko7de
      @FerdinandCharles-ko7de 3 місяці тому +1

      ​@@maryamedi9141 malizia tu cc ni mambwa

    • @maryamedi9141
      @maryamedi9141 3 місяці тому

      @@FerdinandCharles-ko7de 😂😂😂😂 nawqtaftia jina

  • @julianasamwel9089
    @julianasamwel9089 3 місяці тому

    Wanaume puuùuuuh....yaani nikitoka hapo na kutia block ya nguvu paka wa kienyeji wewe

  • @fetywaukwee
    @fetywaukwee 2 місяці тому +2

    Shikamoo mapenz sitak hii challenge jman maana sina mda wakukaa single mie akaaa😅😅😅 kwaninamvyomjua yule wangu

  • @FaridaKizenga
    @FaridaKizenga 3 місяці тому +12

    Yani hao wakupenda kuita mama angu ndio mafilauni wakubwa hao, yalisha wahi kunikuta mimi😢😢😢

    • @BeautyMeryJoseph
      @BeautyMeryJoseph 3 місяці тому

      😢😢km mm

    • @diva_20162
      @diva_20162 3 місяці тому +1

      😂😂😂mbn mafilauni jaman

    • @binueltinda5366
      @binueltinda5366 3 місяці тому

      😢Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa

    • @JudyLee-hf9cy
      @JudyLee-hf9cy 2 місяці тому +1

      Uwakika yaan😂😂😂😂😂

    • @gracetendwa5453
      @gracetendwa5453 2 місяці тому

      😅😅😅😅yaan duh et mama

  • @binueltinda5366
    @binueltinda5366 3 місяці тому

    Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa

  • @binueltinda5366
    @binueltinda5366 3 місяці тому

    Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa

  • @binueltinda5366
    @binueltinda5366 3 місяці тому

    Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa

  • @sirajjuma5046
    @sirajjuma5046 Місяць тому +2

    Kwan ni mwanaum gan apend nyama nyamaaa 😂😂

  • @AdamAmos-rr6fg
    @AdamAmos-rr6fg 3 місяці тому +4

    Mapenzi nyoko kudadeki😅😅😅😅

  • @faustaemmanuel1390
    @faustaemmanuel1390 2 місяці тому +1

    Kwamba uyo mwanaume uajajua ni mchezo yaan we mr uk bora tubaki kwa kiredio😅😅maigizo tu

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 3 місяці тому

    Usengee huu jaman wanaumee hawaaaa wajinga sana wazaifu sanaaa puuuu aiseee

  • @FelisterMitudu-p4z
    @FelisterMitudu-p4z 2 місяці тому

    mwisho wa hii video umewadai eti "nipeni hela zangu" mweh

  • @mossesramadhani501
    @mossesramadhani501 2 місяці тому

    TUME WASHTUKIA KUMBE HUA MNAPANGANA HAYA CHUKUA HELA ZAKO

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 місяці тому +11

    Nitabaki kuwa single hawa viumbe wanaoitwa wanaume aisee wanipishe.

  • @UsuiliMilangitoni-gm.c
    @UsuiliMilangitoni-gm.c 3 місяці тому +3

    Aliesema wanawake viumbe dhaifu sidhani kama aliwahi kuwafanyia challenge wanaume, maana hawaruki 😅😅

    • @Beyonceqme
      @Beyonceqme 3 місяці тому +1

      Fanyia Wanaume hii challenge

    • @UsuiliMilangitoni-gm.c
      @UsuiliMilangitoni-gm.c 3 місяці тому +1

      @@Beyonceqme Hawakatai, tena ndani ya dk 10 tu ameshapata majibu na kudanganya anasafari, lakini mwanamke hawezi kukubali ndani ya dk 10.

    • @Beyonceqme
      @Beyonceqme 3 місяці тому

      @@UsuiliMilangitoni-gm.c kweli kabisa

    • @binueltinda5366
      @binueltinda5366 3 місяці тому

      Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa

    • @YusraPeter-q5t
      @YusraPeter-q5t 2 місяці тому

      ​@@binueltinda5366apana mwanzo aliwaaidi pesa

  • @IbrahNzala
    @IbrahNzala 2 місяці тому

    Ata kama ni mimi nisinge acha iyo mafuta😅

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 3 місяці тому +3

    Lakini sisi wanaume ni wauaji kwa kweli.

  • @aureliagadimassawe5949
    @aureliagadimassawe5949 2 місяці тому

    😂😂😂😂 ila kiredio mchonganishi

  • @PerucChabwas
    @PerucChabwas Місяць тому

    Sio kwamba ampendi ni tamaa tu

  • @lovenessfracis
    @lovenessfracis 3 місяці тому +20

    Yaani madada mengine ya hovyooooo sana yaani mtu amekuulizeni tufanye challenge hivi na hivi na umemkubalia rafiki Yako tena unaanza kunchukia rafiki Yako anakosa Gani Sasa hapo?hivyo kabisa na kimini chako et ndo sketi mguu wenyewe wa kuvalia kimini huna 😂😂😂hivyo kabisaa 😏😏😏😏

    • @miriamconstantine5626
      @miriamconstantine5626 3 місяці тому

      😅😅😅😅😅

    • @Thumaommy
      @Thumaommy 3 місяці тому +1

      Loveness jaman😂😂😂😂

    • @agriparose3942
      @agriparose3942 3 місяці тому

      Hujamchamba vizuri hiyo sura ina maana mi ndio naiona mwenyewe ka ngozi ya goti

    • @nice7706
      @nice7706 3 місяці тому

      😂😂😂😂MUNGU anakuona eti mguu wa kuvalia kimini😂😂😂🙌🙌

    • @AfricanPrincessLabel
      @AfricanPrincessLabel 3 місяці тому

      Ety jmniii apo ss

  • @doubledee10
    @doubledee10 2 місяці тому

    𝐀𝐥𝐚𝐟𝐮 𝐧𝐲𝐢𝐞 𝐰𝐚𝐬𝐞𝐧𝐠𝐞 𝐦𝐧𝐚𝐭𝐮𝐨𝐧𝐚 𝐬𝐢𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐦𝐚𝐛𝐨𝐲𝐚 𝐦𝐧𝐚𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐥𝐥𝐞𝐧𝐠𝐞 𝐤𝐮𝐦𝐛𝐞 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐦𝐦𝐞𝐰𝐚𝐩𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐚𝐩𝐨 𝐦𝐰𝐢𝐬𝐡𝐨𝐧 𝐮𝐧𝐚𝐰𝐚𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐮𝐫𝐮𝐝𝐢𝐬𝐡𝐢𝐞 𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐨.😂 𝐟𝐚𝐥𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥 𝐧𝐲𝐢𝐞

  • @AirinSumeno
    @AirinSumeno 3 місяці тому +3

    Wanaumeee eeeeh wanaumeeeh eeeh wanaumeee ni wapumbavu

  • @xavieramandiocristovao8286
    @xavieramandiocristovao8286 3 місяці тому +1

    Ali test walitegemea nini,ugonvi wengine munataka dada zangu 😅

  • @brownidris6477
    @brownidris6477 2 місяці тому +1

    Kwambaali naona g wagon namba A

  • @binueltinda5366
    @binueltinda5366 3 місяці тому

    Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa

    • @DaheerK
      @DaheerK 2 місяці тому

      Waliambiwa kuna elfu 10 tufanye challenge ndio wanadai

  • @AishayoutubeMoosa-zn1co
    @AishayoutubeMoosa-zn1co 3 місяці тому +10

    Huy mwanamme jinga hawezi kujiongeza mpenz kampigia Shem kampigia hapo hapo hawezi kufikiria kama mchezo 😊jmn

    • @modesterjulius7625
      @modesterjulius7625 3 місяці тому

      kwani wanaume wanaakili ya kujiongeza

    • @tumainlession411
      @tumainlession411 3 місяці тому

      Hawana kbs ni mazumbukuku​@@modesterjulius7625

    • @LoyceLoyce-fu9pc
      @LoyceLoyce-fu9pc 3 місяці тому

      😂😂😂hawanagà akili hawa ni mbute😂​@@modesterjulius7625

    • @LatiffahHassan
      @LatiffahHassan 2 місяці тому

      😂😂😂😂​@@modesterjulius7625

    • @yusuphmwanza507
      @yusuphmwanza507 2 місяці тому

      😂 jinga sana uyo mwanaume

  • @shebbymogaki
    @shebbymogaki 2 місяці тому +1

    Pisi za Tabata Kimanga hizi,hatari na nusu

  • @AgustinoAnthony-e1d
    @AgustinoAnthony-e1d 2 місяці тому +1

    Nipeni Hela zangu😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @chriskimuto1425
    @chriskimuto1425 3 місяці тому +4

    Ila sisi wanaume ni wadhaifu sana

    • @Dafetty
      @Dafetty Місяць тому +1

      Sio wadhaifu ni wapumbavu

  • @Salma-k7g
    @Salma-k7g 2 місяці тому

    Duh hatari na robo tatu

  • @mrymkubali4017
    @mrymkubali4017 2 місяці тому +1

    Mmh mbna mwishoni leten ela zangu tena😂😂😂😂

  • @Agath45
    @Agath45 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂 simuwe mnakataa hizi challenge

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga 3 місяці тому

    Wanaume sio watu wa kuwatania hata kidogo, most of them, they are very week😮.
    Na wadada muache mambo ya kuongea na wapenzi wenu mbele ya marafiki zenu, kuonesha maanaume anavyokupenda na kukujali. Rafiki yako alikuwa anapenda unavyoongwleweahwa na mwanaume wako mama/ mke. Ila huyo Masud kiboko, hata huyo rafiki yako akisema waje wapendane litkuja kumgharimu. Mwanaume hajatulia hata dk 1. Unamuachiaje rafiki yako halafu anamuita mpenzi wako shem darling

  • @Oman-p8x
    @Oman-p8x 3 місяці тому +3

    Wanaume mtafika mmechoka sana

  • @NuruZebedayombise-ie5zb
    @NuruZebedayombise-ie5zb 3 місяці тому +3

    Marafiki shikamoo

  • @Aishatheboss117
    @Aishatheboss117 3 місяці тому

    Eeeeee shem darly🙄🙄🙄🙄

  • @reginaphilimon782
    @reginaphilimon782 3 місяці тому +2

    Shem darling ya nyokoooo

  • @ummyjux
    @ummyjux 2 місяці тому +1

    biayisha😢❤😂 shika ela awa awiii😅😅

  • @janemhangomhango5841
    @janemhangomhango5841 2 місяці тому +1

    Mwanaume mjinga haswaa

  • @TuseyDifas
    @TuseyDifas 3 місяці тому +2

    Challenge hiyo staki kabisa kwa Baby wng...ntapata wazimu😂

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 3 місяці тому

      Challenge hii nzuri san ndo ujue unapedwa am laa

    • @TuseyDifas
      @TuseyDifas 3 місяці тому

      @@omanoman2044 ujue unaweza ukawa unapendwa lkn ndo mwanaume wako akawa ana tamaa..ndo kma ivoo tamaa yake itakufanya ww kuumia na kuzan hupendwiii

    • @winniefridamaiko2775
      @winniefridamaiko2775 3 місяці тому

      Wewe ndo Mimi

    • @winniefridamaiko2775
      @winniefridamaiko2775 3 місяці тому

      ​@omanoman2044 no sitaki nitakuwa chizi

  • @MarlynBernon
    @MarlynBernon 2 місяці тому

    Mmh

  • @ommimg2467
    @ommimg2467 2 місяці тому

    Oya mwisho wa vidio tumesanuliwa jamaa anataka hela zake😂, oya mb zangu huzipati tena labda kiredio t😂

  • @DeusErnest-s6s
    @DeusErnest-s6s 3 місяці тому +4

    Kumbe haya huwa ni maigizo bhaana mwishoni hapo nimesikia nipeni hela zangu😂😂😂

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i 3 місяці тому +1

    Single tujuane 😂😂😂

  • @princessshannia4215
    @princessshannia4215 2 місяці тому +1

    Leo ndo nmeamini huwa mnawapanga😂😂😂

  • @RachelJulius-h1p
    @RachelJulius-h1p 2 місяці тому

    Bora kiredio mkwel nyie waongoo kumbe ety leten hela zangu jmn kiredio anatoa had laki 2 xwafatilii tena😂😂😂

  • @KachaGrll
    @KachaGrll 2 місяці тому

    Mwanangu Leo umeyumba sana kumbe huwa unawapanga 😅😅😅 nimesikia iyo kata wewe alafu leta ela zangu 😂😂😂😂😂

  • @Dafetty
    @Dafetty Місяць тому

    Mimi mwanaume nitapendana nae tu kawaida na kumueshimu tu vizuri lakin kumuamin hapana 😢😢

  • @ImmanuelMollel-vt8fm
    @ImmanuelMollel-vt8fm 3 місяці тому +1

    Tatizo ilo 😂

  • @CelineDavid-pj3eu
    @CelineDavid-pj3eu 2 місяці тому

    Yani mimi sinatako sura ndo aswaaaa kisha niwe narafiki anae nizidi kila kitu kweli inaingia akilini iyo weeee ndomana sitaki marafi wanao ni zidi😢😂😂😂kula chuma icho😅😅😅😅

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @waltertarimo7697
    @waltertarimo7697 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @binueltinda5366
    @binueltinda5366 3 місяці тому

    Ila mwisho wa video hii mbn kasema nipeni hela zangu wanatudanganya hawa