DADA WA OMAN AMSUPRISE MPENZI WAKE TANZANIA, KAJA BILA TAARIFA PART 1

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 2,6 тис.

  • @LUKASNGOMBANIZA
    @LUKASNGOMBANIZA 24 дні тому +440

    RIP Magufuli mungu akupunguzie adhabu ya kaburi. Raia wako tunakukumbuka sana, asante kwamengi mazuri yako uliyotutendea WATANZANIA.

  • @user-vo8go4zj6t
    @user-vo8go4zj6t 24 дні тому +394

    Tusio na wapenz gonga like hapa tuna matapeli wengine😂😂

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 19 днів тому +18

    Weee, Mimi huyu niko nje ya nchi, halafu nilee mbuzi ya mwanamke mwenzangu. Mwenyezi Mungu nakuomba nilindie Mama yangu , angalau nilipie hata sabuni aliyoniogeshea

  • @youtuberheart1648
    @youtuberheart1648 19 днів тому +19

    Nahisi sio kweli hii ni kwa ajili ya mafunzo kwetu sisi wanawake mn ata ilo begi linaonesha halina kitu😂By the way asante kwa kutuzindua❤

    • @rahmasalim5252
      @rahmasalim5252 17 днів тому +1

      😂😂😂😂😂begi tupu😂😂

    • @salimaahamad2323
      @salimaahamad2323 17 днів тому +2

      Kabisa ni staged 😂😂😂😂

    • @lydiaevod5886
      @lydiaevod5886 14 днів тому +1

      Hamna cha omani wala nini kwanza huo sio mlango wa arrived ni mlango wa departure pili hicho kibegi hakina ushirikiano wa mtu aliekaa nnje miaka mitano

    • @nadhifamustapha7557
      @nadhifamustapha7557 13 днів тому

      Afadhali tupo pamoja 😂😂

    • @moreenbless-vr7oy
      @moreenbless-vr7oy 12 днів тому +1

      Me nawajua awa waongo wanapiga ela tu

  • @Shadia544
    @Shadia544 24 дні тому +593

    Na miee nikirudi tz nitakutafuta jamaniii tuliokuwa Oman tujuane hapa LIKE 😂😂😂😂haya tuone huyo mpenzi wake wa ukweli 😂😂😂

  • @abdulsambi9011
    @abdulsambi9011 24 дні тому +80

    Frenki anataka kusababisha sisi ambao hatujapangiwa tusipangiwe..Jamani Frenki mbona unatuharibia😂😂😂

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 21 день тому +35

    Nyege tu huwa zinawasumbua baadhi ya team strong 😅😅😅
    Alafu kiredio komaaaaaaaa nakwambia hiyo miundombinu ya Jembe letu (Magu)💔
    Wadada fanyeni Kaz wanaume wenye mapenzi ya kweli wapo tu acheni kuwahonga meumbwa kuhongwa na sio kuhonga hebu acheni vihereheree 😅😅

    • @ZuhuraMwalimuShabani
      @ZuhuraMwalimuShabani 21 день тому +2

      Kiredio katuangusha kwenye hili uongo wa wazi kabisa 😅😅😅😅😅

    • @hamidahamidu16
      @hamidahamidu16 21 день тому +4

      @@zayumar2955 uyo sio team strong,team strong ha deals na mapenzi weweee 🤣🤣🤣anasngalia pesa tuu n hn ps y kuhonga

    • @Ambwene
      @Ambwene 20 днів тому +1

      MAGUFULI 💪 💪 💪 💪 💪 💪

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 19 днів тому +1

      @@ZuhuraMwalimuShabani hahahaha hata mie nilikua nahisi huenda ni content tu wanafanya na sio kweli ivi pesa ilivyo ngumu hivyo eti utoe pesa yote hiyo umpe mwanaume tenaaa boyfriend kwakweli mie hapanaaa hata kama awe mume wangu na niwe na Watt naye 🙌😂😂

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 19 днів тому +1

      @@hamidahamidu16 ila wapo mazuzu wa kuhonga mwanaume akirudi anabaki kulia lia pengine hii ni content tu wanafanya ila wapo Masha ghala wanawapa wanaume pesa sijui hawawazi make wao wapo huku huko bongo bwanake naye anahonga kama alivyomuhonga yy 😅😅😅

  • @TPW_FLUXY
    @TPW_FLUXY 22 дні тому +22

    Tushuku dr John Pombe Magufuli kwa kutuachia airport nzuri ina pendeza sana

  • @user-sn6dc9gh8k
    @user-sn6dc9gh8k 24 дні тому +49

    Mdada hana baya hadi kawapokea begi😂😂😂😂🙌🙌

    • @mariamusameer3742
      @mariamusameer3742 23 дні тому +2

      Alijua ndugu wa mume jmn😢

    • @SaumuIssa-zl1vy
      @SaumuIssa-zl1vy 23 дні тому

      ​@@mariamusameer3742 waongo hawa wanatengeneza content

    • @perryqwizzle8839
      @perryqwizzle8839 23 дні тому +2

      Nmempenda Bure cjui part 2 itakuwaje 😂

    • @stefanomasolwa8979
      @stefanomasolwa8979 22 дні тому +4

      Huyu Mdada kama kawapokeya nikwa Maana Aliona wako wawili alifahamu ni Mme na Mkewe ndio Maana kawapokeya

    • @stefanomasolwa8979
      @stefanomasolwa8979 22 дні тому

      ​@@perryqwizzle8839 tunasubiri Part ya Pili 2 kwa Hamu

  • @HellenAlquin
    @HellenAlquin 24 дні тому +89

    Mamae niache mhudumia mama yangu et nihudumie mtt wa Mama mkwe daaaaaaaaah mungu nisaidie

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 23 дні тому +2

      tena mpenzi ,anamlipia ,alafu ,anapiga kwingne , ,na pikipk juu na duka , kwani lazima kuwa na mpenzi 😂😂😂😂

    • @AminaAminjay-dv8tr
      @AminaAminjay-dv8tr 23 дні тому

      @@ywydhhd7941 saut iongezwee haitoshi 😄 🤣

    • @Martha-o5t
      @Martha-o5t 23 дні тому +2

      Kwakwel acha mama yangu ale pesa yangu mpaka nibaki na makalio😂😂😂😂😂

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 21 день тому

      Umeona hpo katuma pesa weeee mama yke akimuomba anasema hana ata mimi cwezi😢😂😂😂

    • @NyamiziMabula
      @NyamiziMabula 21 день тому

      Daaah maisha haya mwanaume kanyweaaa

  • @Hanc_hyper
    @Hanc_hyper 20 днів тому +6

    ‏‪9:50‬‏ wale wa nyash tujuanee hpo, big up cameraman 😅😅😅😅😅

  • @user-qp2uf4iy3p
    @user-qp2uf4iy3p 20 днів тому +6

    Kazi ya Magufuli mungu ailaze roho yake mahala pema peponi

  • @HappyMalunde-s1i
    @HappyMalunde-s1i 22 дні тому +15

    Nimependa mdada tajiri alivyokuwa calm 😂🔥🔥❤️

  • @RaziaMlacha
    @RaziaMlacha 24 дні тому +45

    Kiredio ww mmbeaa 😂😂😂😂

  • @suzanassenga2068
    @suzanassenga2068 18 днів тому +5

    Jamani kiredio umetupiga begiii alina kitu chochote 🤣🤣🤣🤣

    • @mackysuphian
      @mackysuphian 15 днів тому

      Na awe wakwanza kutoka jmn😂😂😂 na kibegi hicho subutuu😅😅

  • @amaniibrah7114
    @amaniibrah7114 16 днів тому +4

    Naombeni mshaurini huyo dada kama anajipenda na anahitaji kuishi maisha marefu asirudie tena hiyo tabia ya kuja Tanzania kwa mpenz wake bila taarifa,wenye akili timamu wameshanielewa hii ni bongo

  • @Goldenbutterfly-hk1hp
    @Goldenbutterfly-hk1hp 24 дні тому +62

    Uyu dada n chizi eeh amempangia mwanaume😂😂😂😂

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 24 дні тому +17

    Uwiiiiiiiiiiiii nipe hela nisabusikiraibu jamaniiiii😅😅😅😅😅

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud 15 днів тому

    Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN msiseme dada wa oman sema mfanyakazi alikua oman anafanya kazi oman mkataba wake wa miaka miwili imeishaaa huyoo ni mtanzania siyo muoman

  • @mackysuphian
    @mackysuphian 15 днів тому +2

    Sijui huyu dada kalipwa shingap kudanganya...maan mwenzie anapiga pesa kupitia yy😅😅😅😅

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 24 дні тому +10

    Ukimkuta mwenzio ndani ya nyumba ndiyo suprise itaishia hapo😂😂

    • @user-wt9cw2xg6p
      @user-wt9cw2xg6p 19 днів тому

      😂😂😂 surprise ya mahusiano y Sasa n fumaniz

  • @nadyaibrahim1662
    @nadyaibrahim1662 24 дні тому +9

    Sina tu mpenzi ningekuwa nae uko bongo Kiredio tungefanya hii mana watu sio waaminifu this days 😅

    • @eliaspaul9028
      @eliaspaul9028 22 дні тому

      Mpenzi nipo hapa sio tapeli sana 😂

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 23 дні тому +30

    KAMA UKO OMAN KIMALENGO USIACHE KUWEKA LIKE .. TEAM STRONG TUJUANE 😄✅📌😀

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 5 днів тому

    Mbona bag haina ushirikiano. Mwenzenu hapa huwa na beba kubeba 😂😂

  • @PiliMachela-i8b
    @PiliMachela-i8b 24 дні тому +36

    Leta pat two 😭😭😭😭😭 nimeria mpka mwarabu anatak kunipereka hospital

    • @fatimaharoun-np8uv
      @fatimaharoun-np8uv 24 дні тому +1

      😂😂😂😂

    • @Naw89
      @Naw89 24 дні тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂​@@fatimaharoun-np8uv

    • @FatmaAthuman-ui2hw
      @FatmaAthuman-ui2hw 24 дні тому +1

      😂😂😂

    • @anicyaedward6257
      @anicyaedward6257 24 дні тому +2

      Unalia nini wakati mwenzio wanatengeneza content 😢😅😅 hakuna ukweli hapo. Dada kajipeleka Airport 😂😂. Yan

    • @SabrinaAlimas
      @SabrinaAlimas 24 дні тому

      😂😂😂😂daaaah aisee nimejua kuchekaa

  • @PiliMachela-i8b
    @PiliMachela-i8b 24 дні тому +23

    Frenk kaacha mshangaz kachukua wa afumbili😂

    • @user-uz3sr1gg7u
      @user-uz3sr1gg7u 24 дні тому +2

      Mshangaz ana tako na muelfu mbili nae analo limejaaa daaaaah Frank anafaidi😂😂😂😂😂

    • @ZwainhOman
      @ZwainhOman 23 дні тому

      @@PiliMachela-i8b tatizo ili

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 23 дні тому

      ​@@user-uz3sr1gg7ushida nikwamba mshangazi ana mawe ingekuwa mm ningekuwa najipigia tu siwezi acha mwanamke mwenyew pesa awe hata awe chongo😂😂

    • @TreasureMagumba
      @TreasureMagumba 23 дні тому

      😂😂😂 sijawahi huo ujinga

    • @user-xm2rm7wn6h
      @user-xm2rm7wn6h 22 дні тому

      😂😂😂

  • @user-xv3gn1ev8l
    @user-xv3gn1ev8l 21 день тому +2

    Kazi kwa waarabu ilivyo ngumu ...halafu unamhudumia na kumlea mwanaume
    We dada are serious with this complicated life

  • @user-vc9py2xv3d
    @user-vc9py2xv3d 19 днів тому +2

    Wwww kaka nimekupenda buleeeeeeee 🎉🎉🎉😂😂😂

  • @KudratMkangama
    @KudratMkangama 24 дні тому +14

    Miaka mitatu weeeeee😀😀😀daaaahhh sema pole mpenzi

  • @estherabdully7184
    @estherabdully7184 24 дні тому +24

    😂😂😂😂😂 watashtukia nipo zangu kwetu atakua anaambiwa tu na watu kam nisharud swz kwenda kwa mwanaume niache kwenda kwetu miaka miwl sijawaona upuuz

    • @RehemaOmary-xp4fk
      @RehemaOmary-xp4fk 24 дні тому +1

      Kabisa upuuzi mtupu😂

    • @user-hy1wx3my5c
      @user-hy1wx3my5c 23 дні тому +1

      Yan niache kwenda nyumbani niende kwa jitu

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d 23 дні тому

      Huyu kaenda huko ili ajuwe kama mkweli angifikia kwao mwanaume angepata taarifa angemtoa huyo mwanamke alie kuwepo hapo

    • @estherabdully7184
      @estherabdully7184 23 дні тому

      @@user-fs7xc2bb5d bas hana akili kumuudumia mwanaume huo ujinga uliopitiliza na hil joto la uku we kuweza 😂😂😂😂

    • @user-iv7ht8sc7k
      @user-iv7ht8sc7k 22 дні тому +1

      Wee nijikute mama kwanza

  • @MfaumeNgare
    @MfaumeNgare 23 дні тому +2

    Daaa,una mwenzio anakupenda mnamaleongo ,kwann ufanye hiv daaa😢😢

  • @MarthaGabriel-lp1yx
    @MarthaGabriel-lp1yx 23 дні тому

    Hahaha😂😂😂😂 kiredio jamaniiiii ,,,,,,,,,,,uwiii nitakuita unifanyie challenge mpenziii

  • @YasminYasmin-vj5ih
    @YasminYasmin-vj5ih 24 дні тому +18

    Kurudi kuwahi upwiru aaahh😂😂😂😂😂

  • @fatimaharoun-np8uv
    @fatimaharoun-np8uv 24 дні тому +5

    Loooooh wanaume sio watu wazur mie ndugu zangu siwaamiin jeee mwanaume😀😀😀😀shoga wahamishe uchukùe chumba chako na uendeleze biashara zako pesa za omn zinauma dada angu unalala taaban unaamka majeruhi🤣🤣🤣👌

    • @miriammseke
      @miriammseke 24 дні тому

      Walah kweli izi pesa atupati kirahisi mtu unakuja kuhumia mwanaume khaaa!! Mwenyezi mungu atunusuru yaani unalala ukiamka pameshakucha na miguu inatetema kama unacheza kiduku kwa kusimama wanawake tujione huruma wanaume awabebeki

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 24 дні тому +1

      Muongo banah Katia Oman gan na kibegi hicho

  • @LassonDominick
    @LassonDominick 15 днів тому

    Mimi mwenyewe nikirudi home sisemi ng'ooo!! Atashangaa namuambia "baby njoo njeee"😂😂
    Asipo zimia daaah

  • @hyy4114
    @hyy4114 23 дні тому

    Au ni move bongo Subhanna Allah kama ni kwel Allah atupe fikira wanawake tunaopambana

  • @BarakaKimaro-nl9nk
    @BarakaKimaro-nl9nk 24 дні тому +14

    Kama kuna dada kama huyu anitafute tafadhali like tu hapa

    • @Jasminadamu
      @Jasminadamu 22 дні тому +1

      Npo hapa ila kitu utapata ni uwepo wangu tu dear😂

    • @Sameerambaga
      @Sameerambaga 22 дні тому +1

      😂😂😂😂

    • @pendorobert3552
      @pendorobert3552 22 дні тому

      😂😂😂😂😂😂mamae zako

    • @Jasminadamu
      @Jasminadamu 21 день тому

      @@pendorobert3552 si ni ukweli😅

  • @user-pp9mp1pz9f
    @user-pp9mp1pz9f 23 дні тому +8

    Wallah hawa wanaume daaaaahhhh me yamenikuta haya kwa mwanaume wa chuo nmemvmilia nmepmbna naye nahangaika namtumia pesa mwish wa ck qmenisalit na msom mwenzie mpka sasa cna ham na mapenz 😢

    • @Awatee
      @Awatee 20 днів тому +1

      Pole ukupigao ndio ukufunzao tafuta maisha mambo mengine yatakuja

    • @user-pp9mp1pz9f
      @user-pp9mp1pz9f 20 днів тому

      @@Awatee kweli kbs

    • @SalmaKhamis-dh2ru
      @SalmaKhamis-dh2ru 20 днів тому

      🥹🥹😫

  • @hamisaally968
    @hamisaally968 22 дні тому +5

    Na hizo pesaa unazo dada😂😂

  • @maimoongomah8730
    @maimoongomah8730 24 дні тому +34

    Ki redio kualibu mapenz ya wenzio yakwako aaaah😂😂😂😂😂 part 2 jaman tuinjoi hii tamu kuliko Zote tuliokua Oman gonga like apa😂😂

  • @LilBaeWorld
    @LilBaeWorld 23 дні тому +2

    Sema Huy Dada Kakaa Kuhonga Honga Kwel😂😂😂...

  • @ALLGAMES24HRS
    @ALLGAMES24HRS 23 дні тому

    Survival Is Winning Franklin 😂😂😂😂😂

  • @user-jo5ig8ww1b
    @user-jo5ig8ww1b 22 дні тому +2

    Omani Wanaume wengi saaana sijuwi mnawashwa na nini tz jamani 😂😂😂😂😂😂😂alafu mlioko hatutaki hizi aibu teem strong Hatuongi

    • @KhadraMohamedi
      @KhadraMohamedi 20 днів тому

      Nijikute nampa mtu ela 😂😂😂😂😂acha tu nikae msimbe kwan ntababuka

  • @pablocj376
    @pablocj376 24 дні тому +20

    Mimi namjua frank kwa taarifa kamili, tunajua ujio wake😂

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 21 день тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @UpendoLema-bx9ji
      @UpendoLema-bx9ji 20 днів тому

      Kumbe wanatuectia hawa😮

    • @HappyJohn-rj8co
      @HappyJohn-rj8co 20 днів тому +2

      Kwanza watu wa oman tunawajua na beg zao sio hizo lamd km anaendaga kudanga maan kule bora dubei omani umetokea wp get la arrival ujatokea hapo wee si wasafiri msitudanganye

  • @KefaHenry-gx4dt
    @KefaHenry-gx4dt 22 дні тому +1

    Alikuwa ameshaandaa kikojoleo vyema yan na mungu alijua ndizi ingekaa kwenye utumbo mwezi 😅😅😅😂

  • @user-uf2rc6xb1n
    @user-uf2rc6xb1n 23 дні тому +3

    Moyo wangu unasema Bora nimpende tu alie nizaa😂😂😂

  • @user-pg6jr7kp2w
    @user-pg6jr7kp2w 24 дні тому +16

    Nicheke kma mazuri vile😂😂😂😂😂cjui nguvu munaitoa wp y kulea wanaume

    • @SalumuZomba-xb5bz
      @SalumuZomba-xb5bz 24 дні тому

      😂😂😂😂 il jmb

    • @zulekhasaud483
      @zulekhasaud483 24 дні тому +1

      Hawa wanaigiza msafiri wa omani tunawajua hatunaga begi moja😂😂😂😂miaka 2 u akili 8 aaaasubutu

    • @asiaoman2979
      @asiaoman2979 23 дні тому

      @@user-pg6jr7kp2w 😀😀😀😀😀😀

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 23 дні тому +1

      ​@@zulekhasaud483nimewaza kama mm yaani katoka Oman na kashanta Ka dogo mmh

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 23 дні тому

      😂😂😂😂si hawana majukumu zaidi ya kulea wanaume😂😂😂

  • @nadyaibrahim1662
    @nadyaibrahim1662 24 дні тому +45

    Kumpa mwanaume pesa sio kama unamuhonga pengine uyo dada alikuwa anaweka izo pesa kwa uyo kijana ili akirudi waendelee na biashara kumbukeni yakuwa wapo watu pia waaminifu sio wote matapelikama uyo kaka kama umemsikiliza uyo dada hapo amesema sasa mkataba wake umeisha karudi nyumbani ili yeye na mpenzi wake waendelee na biashara kwaiyo msikimbilie tu kusema Kwamba alikuwa anamuonga pengine kulikuwa na makubaliano flani

  • @Hashimunamwira-bn9sg
    @Hashimunamwira-bn9sg 23 дні тому +2

    Waoo kumbe hata kwetu ipo minikajua ni kenya tu lkn pia mtizame cm zao kama wanachitiana

  • @saulsikawa6831
    @saulsikawa6831 11 днів тому

    Mbona begi jepesi kama halina kitu 😂 (kutoka Oman)

  • @AshuraMnubi-qe4vy
    @AshuraMnubi-qe4vy 24 дні тому +32

    Mimi nilivyomis wanangu na wazazi wangu huwaga nikirudi break ni nyumbani kwetu na wote wanakuja airport kunipokea tunaanza kupiga stori kwenye gari mpaka nyumbani

    • @Nadhifasaid-1654
      @Nadhifasaid-1654 24 дні тому +3

      Wewe kama mimi nipo uk huu mwaka wa tano ila akili yangu yote ipo kwa familia yangu hata wakinitapeli ni ndugu zangu inauma lakin sio kutapeliwa na mtu baki na hata mwaka nikirudi jambo la kwanza kuona familia yangu na kumshkuru mungu kunipa uzima na uhai kunikutanisha na familia yangu tena

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 24 дні тому +2

      Hii ndo point umeongea et amempangia sii ujinga huu

    • @JosephKingwere
      @JosephKingwere 23 дні тому +1

      Hta mimi huyo mume wala

    • @Leylah-pz5sc
      @Leylah-pz5sc 23 дні тому +1

      Kuna watu wajinga nyie

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 23 дні тому +1

      insha'Allah my mie mwaka Jana nimeludi family yote wamekuja tena na gari Yale magari nyuma wazi wamekodi tumejazana kibao hapo story mbaka tunafika sijawa na kihere here kumjuza mwanaume mbaka week 2 ndio nimemtafuta 😂😂😂😂😂😂😂 nashangaaa hao wanaoludigi wanawaza wanaume kwanza kuriko family zao majaabu😂😂

  • @user-nb4vd2wd7w
    @user-nb4vd2wd7w 24 дні тому +48

    Heheheee dada hata haya huna uteseke na mikaz uhonge mwanaume

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 24 дні тому

      😂😂😂😂ban

    • @Farithun
      @Farithun 24 дні тому

      Ajabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣watu wananguvu. Za pembeni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @maimuna9132
      @maimuna9132 24 дні тому +2

      Pesa ya Oman inavyouma😮😮😮😮😮

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 24 дні тому

      @@maimuna9132 bana wee. Hatar

    • @aishafahdi8355
      @aishafahdi8355 23 дні тому

      Yaani duuu ana moyo wa dhahabu ​@@maimuna9132

  • @hawamafuru6791
    @hawamafuru6791 15 днів тому

    Sio kweli huyu yupo Dara sani anafundisha Wana wake wanao fanya kz omani jinsi wanavo endekeza mapenz wee miaka mi 3 kibegi kidogo afu kimoja? Ila hongera Sana ❤❤❤

    • @HasinaKaita
      @HasinaKaita 11 днів тому

      Halaf kibegi chepesiiiii hakuna kitu kabisa humo,ame akti tu sio kwel kama katoka oman

  • @ElinikeSoi
    @ElinikeSoi 24 дні тому +6

    😂😂😂Boy friend wangu aniongagi kwa sabb awo wavuta bangi😂😂😂

  • @Lllllllmmn
    @Lllllllmmn 24 дні тому +3

    😅😅kirediooo wa maaana kabisaa

  • @user-px1jm3gn7p
    @user-px1jm3gn7p 22 дні тому +1

    Part two😊😊😢😢😢

  • @user-gf2sq5ux4o
    @user-gf2sq5ux4o 23 дні тому +5

    Tunaisubili kwa ham kiledio ww ni mwanaume na kilo sio nusu😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-jz2su4co4d
    @user-jz2su4co4d 23 дні тому +23

    Alhamdulilah kwa sababu sitaki kuchanya mapenzi na kazi nikiwa oman jaman I'm single girl

    • @HellenJacobeth
      @HellenJacobeth 23 дні тому

      Hebu mje huku mwanzo kwa wale ambao wanataka kufanya kazi wakati upon mapumzikoni c kutegea hela za Oman tuu twasafiri hadi Philippines msikae tuu wadada

    • @mycmeranyswai7957
      @mycmeranyswai7957 23 дні тому

      achana na mapenzi yatakuua😂😂😂

    • @mycmeranyswai7957
      @mycmeranyswai7957 23 дні тому

      😂😂😂😂😂

    • @Zahara-or3cf
      @Zahara-or3cf 23 дні тому +1

      Mi nipo Omani ila ukiniomba hela nakubroku

    • @user-bx6rf6nv4x
      @user-bx6rf6nv4x 23 дні тому

      😂😂😂😂😂😂​@@Zahara-or3cf

  • @NuruOmary-nc2xh
    @NuruOmary-nc2xh 24 дні тому +4

    😂😂😂😂 na akili zako timamu kabisa unale mtu mwenye meno 32 😂😂😂

  • @MankaMagaritz
    @MankaMagaritz 22 дні тому

    😂😂kiredio linafki eti frank wanaweza kua wengi😅😅😅

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 22 дні тому +20

    Oman na kasanduku. Mh, pole na kazi Alhamdulillah

  • @agathamartine
    @agathamartine 24 дні тому +10

    Nife kisa ntatoa tu taalifa mie😂😂

    • @SalaSaid-xv4wf
      @SalaSaid-xv4wf 24 дні тому

      😂😂😂😂😂😂 jaman nimecheka

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 24 дні тому +51

    😂😂😂wanawake mkue na akili jmn wanaume wengine sio watu wakuamini labda baba ako tu pole jmn dada wa oman wadada mwengine tunachakujifunza hapa 😂😂😂

    • @neemamtangi4818
      @neemamtangi4818 24 дні тому +9

      Weekweli umeamini anatoka omani hana hata poshi beg ni moja humjui kiledio wewe hii ni mchezotu

    • @user-to1yl5en7c
      @user-to1yl5en7c 24 дні тому

      Hahaha ndio tutajifunza

    • @malietamaliet
      @malietamaliet 24 дні тому

      @@neemamtangi4818 inauma sana walai

    • @user-hw2sr9mp4v
      @user-hw2sr9mp4v 24 дні тому +1

      We ata babah mwenyewe simuamini

    • @SalmahAbdallah13
      @SalmahAbdallah13 24 дні тому

      ​@@neemamtangi4818 Hata mm nimewaza hivo

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 23 дні тому +10

    Wenye tuko omani na tutarudi vijijini kwetu bila hata wazazi kujua tujuane😅😅😅

  • @rahmawampy
    @rahmawampy 13 днів тому +1

    Wa Tz munatudanganya. Eti dada katoka Oman na begi halina hata tag ya kuonyeshabkapansa ndege gani😂😂. Kutafuta Kiki tu

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 24 дні тому +4

    Wadada wa Oman hawanaga akili weng wanalizwa hamjifunzi tu😂😂😂

    • @EmmyMo
      @EmmyMo 21 день тому

      Km wasengee😢😢

  • @Zizzah2707
    @Zizzah2707 24 дні тому +13

    Sema kimeumanaaaaaaa😂😂😂😂😂😂kimekurambaaaaaaaaaa

  • @user-wk1ix1gm1p
    @user-wk1ix1gm1p 23 дні тому

    Mi nioikua sipajui mikocheni , kumbe uswahilini , ninapicha yangu nikiskia mikocheni najua ni mitaa ya kizungu kizungu 😂

  • @HusnaOmarry
    @HusnaOmarry 24 дні тому +31

    We jamni sitaki presha za kujitakia mimi pambaneeni na hali zenuu

  • @Kambanga_Jr
    @Kambanga_Jr 24 дні тому +17

    😂😂😂😂😂
    We jamaa unajuaga kutupata

  • @fatumajuma7821
    @fatumajuma7821 22 дні тому +3

    Uongo huyo uongo sianauza mkorogo huyo umetupiga namjua huyo dada vizuri😂😂😂😂😂

    • @AshuraMaulid
      @AshuraMaulid 21 день тому

      Tena Muongo sana hana cha omani wala nini Tizama zamaradi TV wamefanya sijui birthday wamevaa nguo nyeupe wapo watatu na shoga yake anatwa Asha mmanga wiki mbili zilizopita haya uko omani kaenda kufanya kazi lini eti ndio anashuka airport Muongo sana huyu dada na kiredio wake

    • @EmmyMo
      @EmmyMo 21 день тому

      ​@@AshuraMaulidmpumbavu anatafuta kiki

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 21 день тому +1

      Mm nawaza aliwezaje kupiga sm?😂😂😂

    • @happyamiq9828
      @happyamiq9828 21 день тому

      Anaitwa nani insta nikaone hyo mikorogo

    • @nutaylakitchen7627
      @nutaylakitchen7627 20 днів тому

      ​@@m.mmarckus6298 umeonaeee vipi kapiga sim hata ongea yake sio ya team strong 😂😂

  • @AnnaMalima-i5f
    @AnnaMalima-i5f 22 дні тому

    Nimeipenda aliye toka omani😂😂fukuza paka hao😅😅😅

  • @yohanamagehematictok
    @yohanamagehematictok 24 дні тому +11

    Duuuuu ni huzuni kwa kweli

  • @mineflower_01
    @mineflower_01 24 дні тому +24

    Hivi kadama hamjifunzi alf unapataje nguvu za kumuhudumia mtu kwa life la warabu okay kadama from iraq❤ niko hapa

    • @salmaalimusa6809
      @salmaalimusa6809 23 дні тому

      Madam yeye

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 23 дні тому

      😂😂😂😂😂😂😂labda wanarogwa

    • @mineflower_01
      @mineflower_01 23 дні тому

      @@ywydhhd7941 hapana bby ul hakuna kurogwa sasa Bora yy anamjuwa mwanaume maana aliondoka wakiwa na mipango ila mm hata kama tuna mipango pesa yangu mmmh sasa Kuna huyo lafiki yangu anatumia pesa hata bwana hamjui mara nenda Hospital mara kanunue nguo mara ivi oyaa dear Alf nimda kidogo na bwana hawakuwahi onana 🤣🤣 walikutania Instagram akawa mke huko huko wakaachania Instagram 🤣🤣🤣 mm Bora nilewe kuliko huo ujinga nikirudi nikikukuta ni sawa mm sinipo ila nikutumie never pesa ni shetani humbadilisha mtu hata kama hakuwa na lengo baya ww unakaa ufanyi mapenzi yy anatumia pesa zako kuhonga apate k mmmh

    • @mineflower_01
      @mineflower_01 23 дні тому

      @@salmaalimusa6809 haha haha

    • @mineflower_01
      @mineflower_01 23 дні тому

      @@ywydhhd7941 hakuna bana ni ujinga TU nakutaka kuonekana juu watu wana hisi ukimuhonga mwanaume ndo inamfanya asikuache au akupende sisi wa dada ndo Huwa tunapashikilia sehemu yenye miloo ila wanaume ni watofauti mwanaume ukimuhonga anakuona chizi kumbe ww unamnyanyu TU yy anaanza kukutumia ila sisi ukipewa pesa wallah utapashikilia Yani eeh mm naosha nyumba mabati Alf nikutumie pesa yangu sibora nikanywe mapombe TU 🤣🤣

  • @Samrah-qv7ex
    @Samrah-qv7ex 23 дні тому +4

    Type part two basi kiredio😂

  • @AkimanaHawa-w1s
    @AkimanaHawa-w1s 11 днів тому

    Yaan mm nipambane kumpa mwanaume serious 😄😄😄😄

  • @user-tf9gh8iu5s
    @user-tf9gh8iu5s 24 дні тому +17

    Utapeliwe wewe niumie mm kweli😂😂😂😂

  • @witnessmlay7415
    @witnessmlay7415 24 дні тому +6

    Mimi nimpe hela mwanaume? Aisee naweza nikaumwa na kulazwa😂😂

  • @alfeshhassan4181
    @alfeshhassan4181 23 дні тому

    😅😅😂😂tuekee part 2 😂😂😂

  • @Official83640
    @Official83640 24 дні тому +6

    We kweli boya mama Samia kajenga uwanja lini yaani km mmenywesha maji ya chooni kumsifia mama yenu kitu asichokifanya 😂😂😂😂

  • @selinakatega6691
    @selinakatega6691 24 дні тому +5

    😂😂😂😂😂mama eee..hivi huyu shangazi nae ni mpumbavu hivi kweli kabisaa miaka mitatu huyo mwanaume ni hanisi au anataka akute imeota kutu pumbavu kabisaaa😂😂😂😂

    • @NaftalMungure
      @NaftalMungure 23 дні тому +1

      Tatizo mwanaume hana akili asingeoa au bs angeoa lakin si kweny nyumba ya mwanamke anayolipa yy kodi

    • @selinakatega6691
      @selinakatega6691 23 дні тому

      @@NaftalMungure Hata kama wew miaka mitatu mtoto si mkubwa kabisa Na kindagate kaanza

    • @NaftalMungure
      @NaftalMungure 23 дні тому

      @@selinakatega6691 ndio lakini si pale pale kwenye nyumba inayolipwa kodi na mwanamke. Angetafta nyumba nyingne mbali kabsa

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 23 дні тому +1

    Mie nikitoa msaada Mara moja nahisi kama nateketea 😂😂

  • @user-ix9kq6ke2m
    @user-ix9kq6ke2m 23 дні тому

    Kazi nzv sanaa kiredio🎉🎉

  • @MarthaKiwalle
    @MarthaKiwalle 24 дні тому +14

    Ogopa jina Frank... anyway labda huyu ni mtakatifu Frank😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-ou2rx7ln4w
    @user-ou2rx7ln4w 23 дні тому

    Piga 😂😂😂😂keleeleee kwa frenk🎉🎉🎉🎉🎉 haaa duuuu Bora nisiwe na mupenz😂😂😂😂😂

  • @EliasiHamisi-io4ru
    @EliasiHamisi-io4ru 23 дні тому +2

    Mtakuja mkufe na stress , umetoka kwa waiguru ili mje mu enjoy unapigwa na tukio

  • @user-bo6rc9qt6n
    @user-bo6rc9qt6n 24 дні тому +3

    Duh kuna mijitu inachezea fursa jman 😂😂

  • @user-mz1uw8sl2r
    @user-mz1uw8sl2r 24 дні тому +17

    Yaani navohangaika hivi wakati wajoto hili leo hii nikahudumie mmwanaume yaa Allah niepushie mimi na hilo pepo😢😢

    • @Goldenbutterfly-hk1hp
      @Goldenbutterfly-hk1hp 24 дні тому

      @@user-mz1uw8sl2r joto mpaka tunapata limonia tuko motoni uku aisee uyu dada mjingaa

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 24 дні тому +1

      Tn pepo kweli yn mm siwezi ujinga uwo😮😮😮😮😮

    • @user-mz1uw8sl2r
      @user-mz1uw8sl2r 22 дні тому

      @@rahimaaaaa5682yaani mie kwanza mtu akiniomba rial 5 tu tena ya kumuazima moyo unasita wallah 😂

  • @PiliKassim-c2o
    @PiliKassim-c2o 23 дні тому

    Mwili umepata barid kama nimefumania Mimi yani😂

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed 23 дні тому +1

    ULILO FANYA LA APO KUJA BILA KUANGA MAKE YANAYO ENDELEA USINGE YAJUA NIMELIA SANA 🤣😭

  • @PpPp-nv7gf
    @PpPp-nv7gf 24 дні тому +12

    Nguvu ya kumpangia mtu natoa wapi mimi jamani😂😂

    • @AshuraMnubi-qe4vy
      @AshuraMnubi-qe4vy 24 дні тому

      Kwa kweli ana Moyo kama kaweza kumpangia hata ya chakula alikuwa anampa 😂. Mimi siwezi kwa kweli hizi hekaheka za huku nihudumie zee zima

    • @RehemaKamar
      @RehemaKamar 24 дні тому

      Tuanzie apo kwanza, nguvu unatolea wapi 😢😢

    • @BillyElia-nc8en
      @BillyElia-nc8en 24 дні тому +1

      Pesa anazo sas afanyaje

    • @joyce55727
      @joyce55727 24 дні тому

      😁😁

    • @nickylyanga2139
      @nickylyanga2139 24 дні тому

      tutakuombea wala usijar .. utaweza tu

  • @user-od2hq9xo9g
    @user-od2hq9xo9g 24 дні тому +15

    Kiredio ata begi hujapokea 😂

  • @fatumajuma9441
    @fatumajuma9441 Годину тому

    Maigizo tuu hayo bt ahsanteni kwa funzo

  • @ZururaMbalabara
    @ZururaMbalabara 23 дні тому +2

    Party 2 ikowapi sasa🙏🏻🤣🤣🤣

  • @ZuwenaZuwena-tz4xi
    @ZuwenaZuwena-tz4xi 24 дні тому +14

    Dahaaa huyu kitakuwa kimemlamba huyuuu😂😂😂😂 yan dahaa wa dada wa omani jaamani

  • @user-dg9js4cb7e
    @user-dg9js4cb7e 24 дні тому +47

    Unaacha kwenda kumsalimia Mama ako mzazi, unakimbilia kwa basha wako umalaya tu

  • @rehemayona2223
    @rehemayona2223 18 днів тому

    Oman begi kamoj kweli ww ni muongo dada sio kweli 😂😂

  • @gerrardabwe
    @gerrardabwe 21 день тому

    Ulikua nahaja gani kusema unamlipia nyumba daaah!😂😂

  • @MauaIddy-d2l
    @MauaIddy-d2l 23 дні тому +5

    Kwani huyu mshangazi wa oman alijua yatatokea haya ila nyie achen bas

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 20 днів тому +23

    Hii sio kweli huyu dada hajatoka Oman ila ni vizur amewafundisha wanatunza wanaume wajue kabisa hawana chao😂😂😂