KIREDIO: ''NILIWAHI KUFANYA CHALLENGE WAPENZI WAKAACHANA / EX NI TAKATAKA /NILIKUWA NALALA CHINI ''.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 сер 2023
  • Mchekeshaji na mtengenezaji wa vichekesho kupitia mitandao ya kijamii anaefahamika kama Kiredio amefunguka juu ya mengi aliowahi kukutana nayo kwenye kazi yake
    Aidha amesema kuwa aliwahi kufanya Challenge ikasababisha wapenzi wakarudiana
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 20

  • @user-xt1ci3px3f
    @user-xt1ci3px3f 9 місяців тому +6

    Me nafurahi kwa sababu wapenzi wengi wanadanganyana Sana sanaaaaaaa Bora waachane kuliko kuendelea kudanganywa tu

  • @kambikashama4619
    @kambikashama4619 Рік тому +4

    Mapenzi Ulaya Bongo Biashara kila Mpenzi Ana Mpenzi Wake.! 😂😂

  • @bdvc7107
    @bdvc7107 Місяць тому

    Unawasiliana vip na x wako labda mkutane njian salam sawa ila sio mawasiliano ya simu

  • @user-gl9km3ik7c
    @user-gl9km3ik7c Рік тому +3

    Hahahaha haka kajamaa kajanja kajanja sanaa😂

  • @natashasuleiman962
    @natashasuleiman962 Рік тому +1

    Kiredio proud of u💯 utafika mbali 🤌🏾🤌🏾🤌🏾 keep going

  • @lucasshirima2880
    @lucasshirima2880 9 місяців тому

    Nimekupenda sana...Mangi keep it up....

  • @lucasshirima2880
    @lucasshirima2880 9 місяців тому +1

    Kiredio ...ashaanza presha.....angekukataa sijui ingekuwaje?

  • @user-jy3sw2jj4f
    @user-jy3sw2jj4f 11 місяців тому +1

    Kweli bro kaskazini hatokagi fara

  • @bernardmlenda9800
    @bernardmlenda9800 Рік тому +1

    Kipenz cha wanachuo, big up San kak

  • @mwanyulatz
    @mwanyulatz 10 місяців тому +1

    Kiredio ni kijana wa hovyo yaani anasema kuwa na mpenzi imempunguzia kuwa na wanawake wengi it means anao ila sio wengi😂😂😂

  • @zuhuraMangapi
    @zuhuraMangapi 9 місяців тому +1

    Kiredio we atar

  • @zashiyzashiy7922
    @zashiyzashiy7922 10 місяців тому +1

    Kiredio namie nataka nikupe no za shem wako nijue kama mie nk peke yang

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 10 місяців тому +1

    bongo mapenzi biashara tu kila mtu yupo kibiashara

  • @SiaVitalisi
    @SiaVitalisi 3 місяці тому

    Kiredio huku rombo je

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 2 місяці тому

    😂😂😂

  • @HawaSwabra
    @HawaSwabra 10 місяців тому +1

    Kiredio umeongea mm pia siwez kurudian na X

  • @user-ou7bw1tn2p
    @user-ou7bw1tn2p 10 місяців тому +1

    Me siwezi rudiana na x ata siku moja