SHEMEJI NA NEYLA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 тра 2024
  • Sia na Neyla wote wawili wana mamba ya Kevo mbaka sasa

КОМЕНТАРІ • 591

  • @user-mr3qg9iq5k
    @user-mr3qg9iq5k 3 місяці тому +47

    😢😢😢 acheni ujinga Kumbukeni Kuna kifo baada ya hayo yote okokeni leo mpeni Yesu maisha Yenu ngono haitawasaidia chochote

  • @kabuladeogratis538
    @kabuladeogratis538 2 місяці тому +55

    Ambayo hatuna uraafiki tujuane😅😅😅😅

  • @BelinaBagwelwa
    @BelinaBagwelwa 2 місяці тому +8

    Enh uyu dada alovaa black hapana kwakwel mshari sana khaa🙌😂😂💔

  • @matildamoris3641
    @matildamoris3641 2 місяці тому +9

    Uyo mdada mwenye shati nyeusi ni Malaya na anaakili anajiona mjanja kumbe andazi ty😂😂😂

  • @user-no7pz1bz4y
    @user-no7pz1bz4y 3 місяці тому +16

    Lijeuli hili sura Zito kama zege, kumfanyie mwenzio hivyo Mungu anakuona.

  • @SurprisedBluebonnetFlowe-bx2zh
    @SurprisedBluebonnetFlowe-bx2zh 3 місяці тому +4

    Nimekapenda hako kadad ka shart y purple kako piece👌

  • @medyelira
    @medyelira 3 місяці тому +18

    😂😂😂ety we mwenyewe mnafki unasemaje

  • @user-fh1jk9qq5y
    @user-fh1jk9qq5y 3 місяці тому +41

    NANII KASKIA ALL OF ALL AGONGE LIKE HAPA 😅😅

  • @gabrielngajilo1412
    @gabrielngajilo1412 2 місяці тому +3

    Niggah umetisha sanaa etii wew mnafikii unasemajee

  • @Namtumbo
    @Namtumbo 3 місяці тому +13

    Mungu anijalie watoto wa kike wema,wenye hofu ya Mungu .

  • @Tyughcdrbdt
    @Tyughcdrbdt 3 місяці тому +13

    Nna kakaang anaitwa kevoo uwiiiiii alikuwa anawapangaaaaa hatar😂😂

    • @user-vz4xj2ci2w
      @user-vz4xj2ci2w 2 місяці тому

      hahaha umenchekesha atai lakini mbona mimi ni kevooh na siwapangi

  • @Tyughcdrbdt
    @Tyughcdrbdt 3 місяці тому +36

    Huyo mwenye kipinii hafaiiii,asiaa ana busara sanaaa ila huyo mwingine n mwajumaa nchokonoeeee😂😂

  • @user-er3cb9mb9m
    @user-er3cb9mb9m 3 місяці тому +3

    Much love from Kenya guys like back❤😂

  • @user-pj2zs2dh7i
    @user-pj2zs2dh7i 2 місяці тому +15

    Jamani wanawake tafuteni hela hawa wanaume wanatuzalilisha😂

  • @nanajoseph2356
    @nanajoseph2356 3 місяці тому +33

    Sa hz nikitongozwa na mkaka anaitwa Calvin ntakimbia sana 😂😂

  • @nasmasaid9361
    @nasmasaid9361 2 місяці тому +9

    😂😂huyo mwenye kofia sijui kama anamimba kweli

  • @japhetjulias-hf6oo
    @japhetjulias-hf6oo 3 місяці тому +6

    Ila mnafiki yupo vizuri 😂😂😂🙌

  • @user-nt6ld9sf9z
    @user-nt6ld9sf9z 3 місяці тому +6

    Mtakufa vibaya nyinyi nawa ulumia wote mna mimba uwiii kaz ipo jaman 🏃🏃

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 3 місяці тому +8

    😅😅😅😅😅lililovaa kipin bayaaa likorof bayaaaa shetaaan

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 3 місяці тому +3

    Huyu mwenye mzura kama awe mwanangu nimpige shoka la utoc 😂😂😂maana ana maudhi mpaka na yamakusudi

  • @scolasticanalle9105
    @scolasticanalle9105 3 місяці тому +16

    Asia mstaarabu sana ila hiki kifaa kingine ni hasara 😂😂

  • @user-bs5lu6xf8g
    @user-bs5lu6xf8g 3 місяці тому +19

    Jamani huyu dadaa mwenye kofia ananikera

  • @user-ht8os7pz5g
    @user-ht8os7pz5g 3 місяці тому +10

    Bado nasubiri kumuon kevo ni waaina ganii maan sio kwa mishauo hiiii khaaa😂😂😂😂🙌

  • @user-gg9li8bb8s
    @user-gg9li8bb8s 3 місяці тому +4

    Uyu wa mzura msenge sana n ataachwa vby

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 3 місяці тому +3

    Huyu mwenye kipini kafanana na chokuu na anajua kijishaua kwa kweli😂😂😂

  • @RachelJulius-fh9nl
    @RachelJulius-fh9nl 3 місяці тому +5

    Asia mzuri na ana busara sana Hilo zombi lingine sijui lipoje

    • @josephshayo5493
      @josephshayo5493 3 місяці тому

      Hakika lizombi linavuta bangi zile za 200 zimetiwaga madawa km...ke

  • @Dipeson700
    @Dipeson700 3 місяці тому +9

    WA kipini Hana mimba, trust me 😂😂

  • @Salmakaucha
    @Salmakaucha 3 місяці тому +25

    Ila Asiya nimzul kisha mpole mashaallah ❤❤❤

  • @joyagustino
    @joyagustino 3 місяці тому +6

    kudadeki wew dad uwiii shukuru uyo mpole mim😊ungetubu

    • @user-vz4xv7lg3x
      @user-vz4xv7lg3x 3 місяці тому

      Ahahahahahahaa

    • @janethlyakurwa8209
      @janethlyakurwa8209 3 місяці тому

      Yaan hivyo viatu vya watoto hapo nyuma vingemuishia

    • @stellahjacob8015
      @stellahjacob8015 3 місяці тому

      Yaan huyu Dada aise n mpole ila ningekuwa mm uwii vichwa vya kisukum km vyote

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 3 місяці тому +6

    Ewe mwenyezi mungu utunusulu na vizazi vyetu inauma sana 😭😭

  • @MarryPatrick-kl2vk
    @MarryPatrick-kl2vk 2 місяці тому +3

    Duuuh ila akina kevoo bhna 😂😂😂 ni hatari ogopa

  • @user-so3bl9qk8i
    @user-so3bl9qk8i 3 місяці тому +1

    Kevoo is typing😂😂.......but kwel kuwekwa ndn n heshim hhahahah ht kam upendwi

  • @najmahhassan7853
    @najmahhassan7853 3 місяці тому +6

    Kwan ye mnafiki anasemaje 🤣🤣🤣

  • @LizbinShix74
    @LizbinShix74 2 місяці тому

    Kevo big up 🎉 ufanya ile kitu 🤣🤣🤣Yaani unasikia jina kevo alafu unajichocha

  • @user-mp1ep1en5q
    @user-mp1ep1en5q 3 місяці тому +1

    Mr uk una moyo aise maan so pow kwaiyo kazi😮😮😮

  • @user-ys3kk5il2p
    @user-ys3kk5il2p 3 місяці тому +56

    Yaani Sina rafiki wa kike na Wala sihitaji ni usenge sengelele senge senge sengelele 😏💃

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 3 місяці тому +30

    Nimempenda Asia ni mstaarabu

  • @merryrichard6211
    @merryrichard6211 3 місяці тому +6

    Aitweee kevoo hapo aulizwee

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 3 місяці тому

    Haya tunasubr part3🤣🤣🤣🤣🤣ila hapa dada kipini anatolewa kwenye malengo atabaki asya🥰🥰

  • @msakasubira3726
    @msakasubira3726 3 місяці тому

    Mwenye kofia mshariiii kumtongoza amtongoze Na ubabe juuu

  • @Shalom418
    @Shalom418 2 місяці тому +6

    Wananawake huwa mnajichanga sana we we ni binti wakikro unalala na mwanamume wa kiisilamu

    • @Dihekafi
      @Dihekafi 2 місяці тому

      Yan

    • @ZulfaTuesday-xm9cl
      @ZulfaTuesday-xm9cl 2 місяці тому

      Kikubwa wote tumetoka kw mung na mung n mmoj hiz din zimeletw t

  • @masoudabdoul8447
    @masoudabdoul8447 3 місяці тому +1

    Uongee kiswahili Mzee... Kimombo unapuyanga Sana mkuu

  • @user-ft1do8tg5c
    @user-ft1do8tg5c 3 місяці тому +2

    Yani huyu dada mwenye kipini ananikera sanaaaaaa

  • @SimonTimotheo-gk3ld
    @SimonTimotheo-gk3ld 2 місяці тому +1

    Dahhhhh Noma sana

  • @jumakalembo2247
    @jumakalembo2247 2 місяці тому +1

    😂😂😂 mtangazaji ameduwaaa.ila kama mwaanaume kama ana akili timamu.aiseee.Asya ni WIFE MATERIAL I LOVE U❤ UU 8:35

    • @mariakibusi5914
      @mariakibusi5914 2 місяці тому

      Asia ni mtu huyo mwingine mshari na anaonekana anapenda kuroga

    • @mariakibusi5914
      @mariakibusi5914 2 місяці тому

      Mwizi halafu unajifanya mjuaji ee mungu saidia

  • @user-gy5fo6zv6w
    @user-gy5fo6zv6w 3 місяці тому +3

    Uyo mwenye kipini ana zarau sana

  • @Linalina-mo8xg
    @Linalina-mo8xg 2 місяці тому +1

    Kevo we ni hatri😂😂😂

  • @fatumamchopa7576
    @fatumamchopa7576 3 місяці тому +3

    Mwenye kipini ana pua kama bomba za pikipiki atulize komwe lake kidogo.

  • @mariakibusi5914
    @mariakibusi5914 2 місяці тому

    Sikuhizi hakuna rafiki ovyooooo dada Asia mpole mungu akujalie update mtu sahihi hawa wanaume wa ovyo sana

  • @user-on5oz2cd7z
    @user-on5oz2cd7z 3 місяці тому +5

    Tanzania ya Uhuru😂😂😂😂...... Bff

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 3 місяці тому

    Mr uky sengee san 😂😂😂😂 unatatuwa ugomvii Afuu lina chombezaaa 😂😂😂😂 sema mi dada yenyeee PIN makahabaa tuuu😂😂😂😂

  • @SalomeSylvester-er3rq
    @SalomeSylvester-er3rq 3 місяці тому

    Hahaha wote mimba ndani ya mwaka mmoja 🙌

  • @Aishajumampuma
    @Aishajumampuma 20 днів тому

    Ety we mnafik unasemaje😂😂😂

  • @ironefacemsovela4504
    @ironefacemsovela4504 2 місяці тому +1

    Uyu dada Kuma sana na kofia yke kamsenge

  • @beniardajuna2580
    @beniardajuna2580 3 місяці тому +1

    Hivi kaka uky unajua dada mwenye nguo nyeus Ni mnoumaaaa aliingilia baraka za mwenzi jamani wanaumeeee eeeeeeeh hatarii

  • @miruhongin
    @miruhongin 2 місяці тому

    Yeye uyo mwana ume ana fikiri wana wake ni wanani awajuwi tuna muombea mungu asaidia awa juwe wana wake siku modja ataeajua

  • @QaohJedah
    @QaohJedah Місяць тому

    Mnazingua kinoma ukinifanyia me hvyo kwa dem wang sheria nikumimine ambakati

  • @asdfhdv9230
    @asdfhdv9230 3 місяці тому +1

    All of all 😂😂😂😂😂 yoweeeeeee

  • @pendohumphrey6501
    @pendohumphrey6501 Місяць тому

    shoga angu mwenye mzura shangazi yake shangingi...dada mwenye white tafuta tu mwanaume mwingine we ni mzuri sana

  • @lord115
    @lord115 3 місяці тому

    sema MR UK jitahid uonge ty kiswahili sio kwa ubaya broo😂

  • @beatricemassawe1984
    @beatricemassawe1984 3 місяці тому +1

    ila mruky bana😂😂eti wewe ni mnafiki,unalijua hilo😂

  • @sophiamoshi1617
    @sophiamoshi1617 3 місяці тому

    Imebidi nicheke kwanzaaaaaa😂😂😂😂😂daaah

  • @christinanyamtema6516
    @christinanyamtema6516 3 місяці тому +13

    Tena mnafiki mpumbavu Sana ufai kuwa mke kabsaaa

    • @Namtumbo
      @Namtumbo 3 місяці тому +1

      Mnafiki kweli rafiki shetani

  • @mwanamisimwana6461
    @mwanamisimwana6461 3 місяці тому +1

    Kwel cha peke ako kaburi😅😅😅😅 khaaa

  • @Tyughcdrbdt
    @Tyughcdrbdt 3 місяці тому

    Huyo mswahili sanaaa na kachawiiiii na kanajiaminiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila mwisho wao unakuwaga mbayaa sanaaaa

  • @user-db9qi3io8z
    @user-db9qi3io8z 3 місяці тому +2

    Nimeacha mapenzi natafuta ela 😅

  • @fatmambeyela6697
    @fatmambeyela6697 3 місяці тому

    Bhana tuletee k. Voo amalize utata nanikamkalisha mwenzie 😂😂😂😂😂

  • @thelyrics5165
    @thelyrics5165 3 місяці тому

    Em tuongee directly tuongee moja kwa moja em like 😂😂😂kwahy Like serious

  • @WaridAntipas
    @WaridAntipas 2 місяці тому +1

    Ila nimecheka jamani uyuuu dadaaa ni mkorofiii atariii

  • @user-kq9fc4gg8r
    @user-kq9fc4gg8r 3 місяці тому

    Huyo mwenye kipin ni shanging haha namchukia haswaaa

  • @sweetbertalbert3542
    @sweetbertalbert3542 3 місяці тому

    Pole sana Asia,,, Mungu akujalie lkn muonage na aibu jmn hv kujiabisha mtandaoni hv na mwanaume mwnyw hajafika hata uko kwenu,,,nawe kelvo ukioa uyo chamdomo kz ipo
    Duuh hii mitandao wazazi wetu wanatuonaje kwa hz Tabia tunazozifanya
    Uwiii kz ipo Mungu tuokoe

  • @DeborahMushi-to3jc
    @DeborahMushi-to3jc 2 місяці тому

    Yan uyo dada mwenye kofia liko kama fusi anafanya sifa kumuumiza mwenzie tu anakera sanaaa

  • @juancley5924
    @juancley5924 3 місяці тому +1

    Mwanaume aliliwii IV ammckii😅😅jmn

  • @QueenMsuya-wx6bm
    @QueenMsuya-wx6bm 2 місяці тому

    ila huy dad mweny kofia kwel afai kuw mke ni maly tu huy jmn wanaum ✋✋✋

  • @aronmutta-dm3vu
    @aronmutta-dm3vu 3 місяці тому +1

    Dunia simama nishuke heeeee shemeji shemeji litakufa jitu

  • @dorcusmlinga862
    @dorcusmlinga862 2 місяці тому +4

    Watoto wa 2000😂😂😂

  • @agnessevance9074
    @agnessevance9074 3 місяці тому

    Aisee mwenye kipini ni msenge mnafiki mkubwa mbwaaaaaaaaaaa silipendi linazarau pumbav zake nataman kevoo amtaje asia tuone litakavo zalilika jinga kwel

  • @hamadimberwa8876
    @hamadimberwa8876 2 місяці тому

    😅😅😅😅😂 ila Mr.uky unanifurahisha😂😂😂 et we ni mnafki 😂😂😂😂

  • @FatmaSaleh-dk5zq
    @FatmaSaleh-dk5zq 2 місяці тому

    Ety ww ni mnafkii mr uk 😂😂😂🙌🙌

  • @ceciliafissoo6601
    @ceciliafissoo6601 3 місяці тому +1

    😅😅😂kwani ye mwenyewe mnafkii anasemajee😆😂

  • @user-zs4qz4wm2n
    @user-zs4qz4wm2n 3 місяці тому +1

    Huyo wa kipini shetan😂😂😂

  • @evafungo6606
    @evafungo6606 2 місяці тому

    Ety wewe mnafikiii unasemajee😂😂😂😂😂

  • @medyelira
    @medyelira 3 місяці тому

    😂😂😂😂mr ukk ety umekubali kua kweli ye ni mnafki💔😂🙌

  • @khaney-de-joance
    @khaney-de-joance 3 місяці тому

    Mbn kama imetenhenezwà aloo kuho kuvhekacheka mmmh 😢😅😅😅

  • @elizabethdamas-zp9xl
    @elizabethdamas-zp9xl 3 місяці тому

    ila wanaume shikamooni 😄😄🙌🙌

  • @user-gy5fo6zv6w
    @user-gy5fo6zv6w 3 місяці тому +2

    Uyo Kevoo ana nini hasa cha ziada,

  • @NasmaKidolezi-tu4jc
    @NasmaKidolezi-tu4jc 3 місяці тому +1

    Kwann wadada wanapenda kudet watu wasiowapenda yan kung'ang'ania kitu

  • @user-si5pw9fe4h
    @user-si5pw9fe4h 2 місяці тому

    Yaani madame wa bongo ni makuma kuma tuu etii shemeji

  • @user-fh1jk9qq5y
    @user-fh1jk9qq5y 3 місяці тому +1

    Wadada wenye vipini puanii😆😆🙌🙌

  • @thabitimkufi7388
    @thabitimkufi7388 3 місяці тому +1

    Kevoo typing....

  • @swaibahhassan5056
    @swaibahhassan5056 2 місяці тому +2

    Jmn hivi mtu unapata wapi ujasir wa kujiamini hivyo🥺

  • @Flora-nl8kq
    @Flora-nl8kq 2 місяці тому

    Mim namwonea asia hurum mbn mpole ivoo jmnii mdada wawatuu pak nataka nimzibue huyo mweny likofiaaa

  • @Zainabuabdalah-vw1xw
    @Zainabuabdalah-vw1xw 3 місяці тому +2

    😂😂😂😂dah Dunia imeisha

  • @user-kn4pi7rj8j
    @user-kn4pi7rj8j 3 місяці тому

    Hahahah watu wanachukua mimba bila malengo wanakuj kuteseka na watoto wakilialia 😂😂

  • @Tyughcdrbdt
    @Tyughcdrbdt 3 місяці тому

    Kevoo mtu wa maana kabisaaaaaaaaaaaa😂😂😂

  • @Maleaz-go8jv
    @Maleaz-go8jv 2 місяці тому +1

    Next please

  • @WinifridaGregory
    @WinifridaGregory 9 днів тому

    Ila kina kevooooo ni fire

  • @ShedrackBoniface
    @ShedrackBoniface 3 місяці тому

    😂😂 uyu demu alievaa kofia ni bangi tuu hamna Dem apo

  • @AnnababeMathius
    @AnnababeMathius 2 місяці тому

    Uyo neyla mbn anajiona sana akat sura yenyewe ng'ong'o

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 3 місяці тому

    Huyu mwenye mzula jeur itamponza malipo ni hapa hapa kitamkuta😂