Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA mp4

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2016
  • Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 29 Novemba 2016 , amefanya ziara ya kushtukiza katika Gereza la Ukonga jijini Dar Es Salaam na kupiga marufuku uuzwaji wa sare za majeshi nchini na watu binafsi na kutaka wale wote wanaouza sare hizo wazikabidhi kwa majeshi husika mara moja.

КОМЕНТАРІ • 265

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 2 роки тому +11

    Nani anafuatilia mpaka leo hii 2022

  • @mrtayalika2865
    @mrtayalika2865 3 роки тому +20

    REST IN PEACE LEGEND YOUNG GENERATION WILL MISS U JOHN

  • @mounbakko5871
    @mounbakko5871 6 років тому +7

    a president talking and his audience is so engrossed and attentive, indicating a sense of belonging, interest, listening to a man, saying something important and very valuable, with passion, not just a formality delivering a pre-written speech... these are members of the civil force and I can tell that he is admonishing, educating and encouraging them by the way they are so attentive as if he is delivering words of redemption. A very hands-on president.

  • @mirajiibrahim51
    @mirajiibrahim51 7 років тому +18

    Kiukweli kabisa kutoka chin ya uvungu wa moyo wangu namuomba mungu akusimamie sana Mh. JPM akulinde na kukuepusha na maadui wasiopenda maendeleo ya nchi yetu waliokuwa wameigawana Tanzania kama mashamba ya urithi ya baba zao...kila siku kukicha unanipa matumain ya kuiona Tanzania mpya ambayo umekuwa ukituahidi... kwa uelewa wangu mdogo nafahamu hiyo vita unayopigana ningumu sana mh. lkn kwa uwezo wa mungu utashinda inshallah mungu akubariki sana mh. Endelea na kasi hiyo hiyo mh. mpaka kila sehemu ikae kwenye mstari

  • @tuntumemedia2046
    @tuntumemedia2046 7 років тому +8

    Nimependa sana hii, Mhe:Rais kwa hili umetenda haki na Mungu akusimamie utatue changamoto za Jeshi la Magereza.

  • @mrishodaudi7490
    @mrishodaudi7490 5 років тому +4

    yani kwawewe muheshimiwa kwanza mungu akulinde pia hata ukitawala miaka 100 kwangu sio tatizo mungu akubaliki unajua utu mkuu

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 6 років тому +17

    Anayemchukia Rais Magufuli hafai kuwa mtanzania.

    • @evansmlalo4049
      @evansmlalo4049 4 роки тому

      Hana lolote masifa tu ya KISU - KUMA. Ongeza wafanyakazi wa Serekali mishahara maana maisha yamepanda. Masifa tu.

    • @hamedabashir9
      @hamedabashir9 3 роки тому +1

      @@evansmlalo4049 una akili kwer wee

    • @hamedabashir9
      @hamedabashir9 3 роки тому +1

      @@evansmlalo4049 naona ukapimwe akili maana nsona wee unapenda vya bure panya wewe

  • @fatumakadenge3209
    @fatumakadenge3209 4 роки тому +2

    Mashallah huyu rais. Tungekuwa na kama huyu African kungekuwa hakuna uoneve. Bg up Magufuli god bless u all the way from kenya

  • @emaxiliannyalob716
    @emaxiliannyalob716 6 років тому +1

    Xaf xana mkuu wetu umeyaona mengi kuhuc jeshi LA magereza MUNGU akuximamaie sana uzid kupigania nchi yetuu Be blessed #Magufuli

  • @sharomosses5516
    @sharomosses5516 7 років тому +3

    nampenda sana rais magufuli mungu ambariki sana sana hakuna tena km yy strong man mungu ibariki tanzania mmariki rais mgufuli

  • @ashangohi450
    @ashangohi450 7 років тому +11

    najua wapo watakao chukia .lakini mnyonge mnyongeni hakiyake mpeni.asante rais Magufuri .Mungu akulinde .

    • @davidmbilinyi4198
      @davidmbilinyi4198 6 років тому +1

      asha ngohi hapo hamna wa kuchukia labda ww una chuki na wenzako

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 7 років тому +6

    JPM ni AmiriJeshi wa ukweli Hakika. mungu Mbariki Rais JPM, Amin.

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 років тому +7

    Iwe Kenya hivi raha sanaa big up tz magufuli

  • @lifestyle7464
    @lifestyle7464 7 років тому +11

    Please please be Kenyan president even if it part time better than the greedy one we have.

    • @michaelthoya3348
      @michaelthoya3348 5 років тому

      never giveup man
      these greed Will suffer I tell you just keep on praying

    • @gabrielnyanga5071
      @gabrielnyanga5071 4 роки тому

      Kenya kwenye uongozi,tume chemsha mno na Mungu atukomboe!

  • @gazeomar8273
    @gazeomar8273 2 роки тому

    Very good president we never se I'm from Burundi but I love Tanzania and former President

  • @cydre3401
    @cydre3401 3 роки тому +6

    Rest In Paradise , jemedari wetu #RIPMagufuli

  • @amashbaibe8361
    @amashbaibe8361 4 роки тому +2

    Raisi mangufuli intelligent man surely ulichaguliwa na mungu

  • @iddopaka4606
    @iddopaka4606 4 роки тому +3

    I feel this president. How i wish to be a Tanzanian

  • @honestyfirst2165
    @honestyfirst2165 6 років тому +2

    mimi ni mkenya nilikuwa naona TZ kama nchi iliyonyuma sana Lakini tangu magufuli kuwa raisi naona TZ ni nchi inayoendelea vizuri after 10 years itakuwa mbele ya nchi zote africa mashariki GOD bless TZ

  • @skeetergodwins2576
    @skeetergodwins2576 5 років тому +1

    Baba tunakupenda sana. Piga kazi bila woga. Watanzania wenye shida wanakuhitaji kuendelea kuwa jasiri asiye mwoga. Tunakupongeza baba

  • @ndikujeany2103
    @ndikujeany2103 5 років тому

    Ninamupongeza mweshimiwa raisin kwakazi anazozifanya kweli yéyé anapenda wanainchi wake ingelikuwa vizuri anafanya semina kwawengine waraisi anawaonesha ginsi yakutendeya haki wanainchi wawo kwa ukweli gisi anaenda mko kwa mko tena anakamata wakati wakusikiliza wanainchi wake wawili awo watatu vraiment tunamupongeza . mungu amubariki

  • @MrCeejay64
    @MrCeejay64 7 років тому +11

    Tanzania please can we borrow your president for just one month pleeeeeease we need such leaders in kenya

    • @aminamohd604
      @aminamohd604 5 років тому

      kiigunyu wa mami hahahaaaaaaa we don't want

  • @nelsonkilele4782
    @nelsonkilele4782 7 років тому +4

    wewe ni mwamba Wa Tanzania mungu akulinde

  • @mehdyahmed8479
    @mehdyahmed8479 5 років тому +5

    mashaALLAH Tanzania ALLAH amewabariki kwa kuwapa sir MAGUFULI

  • @philipjaphethohulo8957
    @philipjaphethohulo8957 7 років тому +5

    Kwa kweli mazuri unayowatendea wananchi wa Tanzania ni mazuri, natamani kwetu Kenya tupate kama wewe siku moja. hawa tulio nao ni kujifanya tu.Mungu na akuzidishie nguvu

  • @ramadhanolunga8220
    @ramadhanolunga8220 4 роки тому +5

    I this president, I wish angekuwa wa Kenya, tungekuwa far

  • @markeddy1976
    @markeddy1976 7 років тому +2

    Nashukuru kwa mawazo mazuri ya busala.
    Wazo langu nikwamba; ukamataji wa watu Bure Bure Kama mtu ana passport yake lakini anazungusha vibaya eti atoe hela ili aachiliwe inauma sana limufikie rais Magufuri Asante sana kwa Hayo.

  • @godfreydignalis163
    @godfreydignalis163 5 років тому +3

    A bit understandable, I do know what you think of for Tz's visions.

  • @konde24ful
    @konde24ful 5 років тому +4

    Huyu baba,wawatu nacho ona bapa Tz haimtoshi ana mkono wa uongonzi kweli I wish angeongoza Africa nzima Tz imebarikiwa with H.E Jobn Pombe Magufuri kumbe wakati mwingine Jina ndoo mtu Magufuri ni gufuri rakufunga na kukomesha corruption

  • @StevonneGithinji
    @StevonneGithinji 5 років тому +4

    Maghufuli knows his business. No speech. Just the Truth.

  • @sabinajohn8375
    @sabinajohn8375 7 років тому +5

    safi sana mweshimiwa magufuli

  • @chururuz9700
    @chururuz9700 7 років тому +1

    This generation hates truth
    Huyu ndiye the sent one
    Mungu amuchunge
    I love you Mr president.
    God bless you and may He continue to fill you with His wisdom, guidance and protection.
    My wish is for rest of so called african leaders to grasp and learn from his leadership.

  • @ashakombo1903
    @ashakombo1903 7 років тому

    Magufuli hongera sana nakupenda sana uko creative sana .... big up

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 4 роки тому

    Makufuli oyeeeee nakupenda hasa njoo zanzibar uwe raisi tunakupenda sana makufuli oyeeeee

  • @samsoncharles8988
    @samsoncharles8988 7 років тому +11

    Najivunia kura yangu hapa kazi tu

  • @eddieeddie5189
    @eddieeddie5189 6 років тому +3

    Mimi si mtanzania lakini nimeona vibaya nyumba za wafanyakazi muhimu wa serekali ni mabanda huyu rais mtunzeni sana

  • @nhoutyeddycole7506
    @nhoutyeddycole7506 4 роки тому +1

    mungu yupo nawe.piga kazi tunakusapot kwa hali na mali hakuna atayekuyumbisha.

  • @piusmutuma9842
    @piusmutuma9842 6 років тому

    A best president for sure but.in kenya if we get such we be the best best in Africa.all the same Tanzania haiwezi tufikia ivi karibuni.all the best

  • @venturemalobo
    @venturemalobo 6 років тому +2

    Tatizo Kila kitu kinafanyika Dar. Sehemu zingine hamna. Sijui Tanzania ni Dar.

  • @b5342s2
    @b5342s2 5 років тому +2

    wewe ni rais unaetakiwa kuwa kwenye hii nchi hadi mungu atakapo kuchukua mungu mjalie huyu rahis wetu

  • @user-hx3mq5fg7v
    @user-hx3mq5fg7v 5 місяців тому

    Tutakukumbuka daima mwamba from Chato

  • @kibwanaradhia4307
    @kibwanaradhia4307 7 років тому +7

    tatizo la mtanzania akipata pesa anawaza stareh hawazi kujiendeleza

  • @johnpaulmaronsaho7968
    @johnpaulmaronsaho7968 5 років тому +3

    Fanya kazi jpm

  • @mantizo9719
    @mantizo9719 5 років тому +3

    Raisi jhon pombe umetembelea sehemunyingisana ilakwetukatavi umetusahau mweshimiwa tunakuomba ututembeeleenasisi munguakulinde wewendiyo mteteziwetu

  • @frankpaulo7970
    @frankpaulo7970 7 років тому +3

    safi sana baba uendeleeee miaka mingi mpaka 2050

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 8 місяців тому

    Mungu akusamehee

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 2 роки тому +1

    2022 😭😭😭😭

  • @kenmusembi4565
    @kenmusembi4565 6 років тому +1

    Nice leadership from President John Pombe magufuli.

  • @youngstar2044
    @youngstar2044 4 роки тому +1

    We uyu raisi mbona anaakili sana kaah. SALUTE FATHER

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 5 років тому +1

    Mungu ni mwema kukupata wewe Mh Rais wetu mpendwa ikibidi kaa adi 2035 bhna!!

  • @JohnKanoni-iq6mf
    @JohnKanoni-iq6mf Рік тому

    Pumzika Kwa amani shujaa wangu amina

  • @ashakombo1903
    @ashakombo1903 7 років тому +1

    Kaa chini na raisi wangu Shein kwa ajili ya mikakati ya Zanzubar...nakukubali mwendo wa kasi

  • @alfazaalhaji5988
    @alfazaalhaji5988 5 років тому +1

    Tanzania mshukuru mungu aliyewachagulia prezo ka huyu

  • @theophilukapinga2316
    @theophilukapinga2316 4 роки тому

    Magufuli is the Visionary Leader of Africa

  • @paulelisa488
    @paulelisa488 7 років тому +6

    Kazi nzuri

  • @kibwanaradhia4307
    @kibwanaradhia4307 7 років тому +4

    hongera rais.hata hivyo kuhusu changamoto hiyo nimekukubali kwani wafungwa kila mtu anaweza kuwa nå kipaji kwa hiyo cha muhimu kila mwenyewe kipaji chake basi aajibike kuitumikia nchi.Kina washonaji nguo Kina wanaojua kuchonga mafenicha hiyo ni changamoto wataweza kufungua bidhaa mbalimbali.sio mpaka rais awazindue masikio.tuzindukeni naendelea ya nchi huletwa nå mwananchi mwenyewe

  • @veronicamsyete5380
    @veronicamsyete5380 7 років тому +5

    nakupnda xana jpm acha waixome namba

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 3 роки тому

    Umeniachia kidondo Moyoni,,,, Umeondoka Mapema mno Magufuli,,, Tutawapata wapi viongozi wapya wenye Kariba yako😭😭😭😭😭😭😭

  • @user-ie4ml1ps2c
    @user-ie4ml1ps2c Рік тому

    Nakumix sana my dady😢😢😢

  • @samwelbulikanwa9383
    @samwelbulikanwa9383 6 років тому

    Ur too creative President

  • @eliekalonji7805
    @eliekalonji7805 4 роки тому

    muheshimiwa Mungu akupe umrimrefu kuwaokowa watanzania Na wa African wote

  • @alibomba3304
    @alibomba3304 5 років тому +2

    Mungu akusimamie wewe ndio mtetezi wa taifa

  • @yassinjuma6717
    @yassinjuma6717 6 років тому +2

    hakika namuomba mungu akusimamie

  • @bossmau764
    @bossmau764 6 років тому

    muheshimiwa magufuli mpk nahis kutoa choz kwa fraha ya msimamo wako katak uongoz wanchi nipo nchi ya dubai lakin nipo makin sana kufatilia mungu akusimamie raisi wangu naipenda nchi yangu na sito achakuipenda mungu akutie nguvu mheshimiwa magufuli

  • @ramadhanolunga8220
    @ramadhanolunga8220 4 роки тому +1

    I like him so much

  • @ramdhanitamimu3226
    @ramdhanitamimu3226 7 років тому +1

    Asante baba👏👏👏

  • @sande6410
    @sande6410 6 років тому

    Mie hupata hamasa pindi nikimskiza mzee magufuli hongera rais -watanzania mnabahati sana.

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 років тому +3

    Rose msafiri hiyo txt yako inaweza kukukosti umeongea vibaya sana. hiyo pombe unaowafananisha wenzako unawapelekea wewe?. au wewe ni mzuri kiasi gani. mbona hatuoni mnara ulioandikwa rose msafiri anadura ya dhahabu. chunga huo ulimi utakuponza. uliza waliojifanya kuongea kauli mbovu sehemu kama hizi. shauri yako

    • @sungapongwa8075
      @sungapongwa8075 4 роки тому

      Rahma Shaban RAISI WANGU ANGALIA NAKO NIDA KUNAVITAMBULISHO VILIVYO ALIBIKA TUNASUMBULIWA UTOE ELFU 20000. NDIO UPATE TUANGALIE WALE WAHALII YA CHINI NAOMBA ULISIMAMIE

  • @sabinajohn8375
    @sabinajohn8375 7 років тому +3

    safi sana mweheshimiwa makufuri

    • @alextuza9892
      @alextuza9892 4 роки тому

      Daaa uyu mweshimiwa namkubali aisee

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 7 років тому +6

    Mueshimiwa ukistaafu ndo mambo ya ajabu yaendelee???? Mkuu tafazali moto huu uendelee maana yake 2025 yasitokee maajabu,abra kadabra basi tena mueshimiwa Raisi. Wazee wetu nyie tunawategemea sababu ndo mtakua waamuzi wakuu.

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 7 років тому +1

    Hata kama ni tamaa ni Aibu kubwa Askali kununua nguo za kazi afadhari Amilijeshi amekomesha kasfa hiyo Hakika anastahili Miaka mingi ili kukomboa Afrika Yote Si Tanzania pekeyake na ndivyo tulivyo elimishwa tangu Awamu zilizopita ni kazi kubwa inafanyika kuwaandaa viongozi Bora katika Bara letu Afrika. Mungu Ibariki Afrika Amin!

  • @bennymbilo273
    @bennymbilo273 7 років тому +1

    President Magufuli the patriotic son of Africa....viva my president.

  • @hambalgullam8178
    @hambalgullam8178 4 роки тому +1

    Good

  • @bakarimhina6437
    @bakarimhina6437 6 років тому

    Mimi nampongeza Mh Rais JPJM kwa kazi anazofanya na achoifanyia TANZANIA.Lakini shida yangu naona anaumia sana kila pembe ya nchi sasa hawa Wakuu wa mikoa,Wakuu wa wilaya mbona wengine/baadhi amewateua lakini hawana uwezo hata kusimamia yale maagizo yake.1.Nani anapima utendaji wao? 2.Nani anayepaswa kumpelekea kumpelekea taarifa dhidi yao ikawa hii kazi inamshinda?.3.Je zitumike njia gani zingine mbadala kumuwasilishia Mh Rais udhaifu wa wateule wake baadhi ambao kazi tunaona kabisa zinawashinda?. Mifano Mkuu wa Mkoa anapelekewa lalamiko la wafugaji wamedhuru wakulima/wanainchi eti anaagiza kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya mshughulikie hili hivyo watu wanabaki na midomo wazi,Mahali kuna matumizi mabaya ya fedha za serikali kwa kujengwa infrastracture chini ya kiwango bado DC,RC wapo kimya mbali ya kuambiwa na kamati ya BUNGE.kusimamia usafi wa miji pia tabu hivi hawa hata mwananchi wa kawaida si anaona kuna shida.HIVYO HAYA YANASUBIRI MPAKA RAIS AJE HUKO SI NI KUMCHOSHA TU.

  • @yahyaomar7471
    @yahyaomar7471 7 років тому +1

    Good job

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 Рік тому

    Cpl wa jw anasomea vita hasa ya section kwenye vita , ndio maana anaitwa section commander. Hao wengine wanasomea nn?

  • @edrickniwamanya5665
    @edrickniwamanya5665 5 місяців тому

    R.I.P BABA😭😭😭😭😭😭😭

  • @chaelaabduly473
    @chaelaabduly473 7 років тому +5

    hukosei kiongozi wangu

  • @ghatibiganio3551
    @ghatibiganio3551 7 років тому +1

    ubarikiwe baba

  • @ignaspius
    @ignaspius 2 роки тому +1

    Baba yangu bas tuuu 😭😭😭😭😭

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 роки тому

    Marufuku kuanzia leo kuuza sare za Jeshi. Ila kama ni kampuni upewe tenda na aapishwe kwani hela yetu tupewe watanzania ibaki humu humu.

  • @othmanabdallah3146
    @othmanabdallah3146 5 років тому +1

    Hakika Wewe ni Rais bora , Mola akupe Nuru utuongoze Milele ikiwezekana.

  • @user-nr2ki5fu8c
    @user-nr2ki5fu8c 11 місяців тому

    Kila mara ninapoiskiza hotuba yako kisha nakumbuka kwamba haupo nasi tena hapa huwa natiririkwa na machozi sana, kikweli wewe ndo ulikuwa kiongozi wa kweli hakuna mwingine tena kama wewe JPM,nakumiss sana licha ya kuwa mimi n Mkenya

  • @ashasaleh9609
    @ashasaleh9609 7 років тому +3

    upo juu baba safi

  • @kirugaratv284
    @kirugaratv284 Рік тому

    Memorable

  • @chumamihambo8060
    @chumamihambo8060 4 роки тому

    Big up mkuu

  • @garvingilbertkamanda3744
    @garvingilbertkamanda3744 3 роки тому +1

    Great leader.RIP

  • @juliuslialo4048
    @juliuslialo4048 Рік тому

    No. On

  • @emmyraphael6745
    @emmyraphael6745 4 роки тому +1

    Baba njoo Arusha wanazingua bado hukuu

  • @IbrahimSaiya-ib2ti
    @IbrahimSaiya-ib2ti Рік тому

    Safi kwema

  • @gordenmhambule8094
    @gordenmhambule8094 5 років тому

    Hongera Sana JPM

  • @kanyaugatiejagwo
    @kanyaugatiejagwo 4 роки тому

    Mr President, you are an inspiration to hard-headed African countries like Kenya whose society is core-rotten and largely made up of thieves. Keep up the spirit but change that lapel pin on you. The African colors are Green ...copy and paste this #0f6e0c to Google to see that green color that is the African Union's! It should be the Green color on everything 'African Union' from IDs to Passports etc...

  • @mboyajackson4574
    @mboyajackson4574 7 років тому

    Commissioner General wa magereza alijihuzuru, baada ya hii surprise visit. That tells a lot.

  • @alexjonsoni6868
    @alexjonsoni6868 4 роки тому

    Yani mm nilifanya kosa kubwa sana kura yangu kumpa Lowasa arafu nimeacha kiongozi muadilifu kama uyu ila uchaguzi ujao kura yangu sipepesi macho nampa Anko Magu warahi

  • @georgegeorge9688
    @georgegeorge9688 Рік тому

    Ebu cheki comment vizuri akika wewe ni kiongozi, lakini nahisi wewe ulikuwa masihi wa MUNGU,

  • @nwntz
    @nwntz 7 років тому +1

    eti nimekubali afande!!!!

  • @josephmathias9849
    @josephmathias9849 Рік тому

    Kufundisha mikakati ufuatiliaji kwa viongozi hasa serikalini ni maendeleo

  • @matridanyamadale318
    @matridanyamadale318 6 років тому

    Piga kaz Mh.Magufuli safi sana

  • @oscarkasalile8442
    @oscarkasalile8442 3 роки тому +1

    I dont bealieves that,.

  • @hasheembaadae4478
    @hasheembaadae4478 Рік тому

    Keep rest in peace 🕊️ president