Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Rais wa Zimbabwe amlilia PUTIN ‘Marekani inawasaidia Zambia na Malawi kutukomesha, njoo utusaidie’

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 чер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 249

  • @godefroidm741
    @godefroidm741 2 місяці тому +67

    Magufuli alikuwa mwanaume,gonga like hapo.

  • @shakaurembo477
    @shakaurembo477 2 місяці тому +18

    Safi sana Zimbabwe twenzetu kwa putn🎉

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 2 місяці тому +36

    Mungu ibarik Zimbabwe

    • @evelynemugeni2369
      @evelynemugeni2369 2 місяці тому +2

      Africa kwa ujumla 🎉

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому

      Aibariki kwa lipi hasa.Huyo rais ni mkoloni mweusi.Tulitoa wakoloni weupe na kuwaingiza wakoloni weusi.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 2 місяці тому

      ​@@MathewNathan-yb2bzkama wa kwetu 🤔🤔

  • @zachariamwita3926
    @zachariamwita3926 2 місяці тому +22

    Amen kwa Rais wa Zimbabwe

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 2 місяці тому +28

    Afadhali kwa mrusi kuliko wa magaribi.

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 2 місяці тому +38

    Anapenda nchi yake na anataka iwe huru

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 2 місяці тому +1

      WATAMLAMBA
      KAM WENGIN MARAIS

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 2 місяці тому +2

      Anafanya vizuri saaaaana.

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg 2 місяці тому +1

      Na we ni jinga tu mbona hapo anajikomba kwa putin anataka kuwa kuloni la urusi

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 2 місяці тому +1

      @@George-jz3jg wewe ndie jinga hukufunzwa na wazazi wako, unatukana watu kwa nini?

    • @saidihassani2412
      @saidihassani2412 Місяць тому

      ​@@allahisone6386siyo lahisi kwa maana kaungana na mwanaume wa shoka m babe wa dunia

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 2 місяці тому +22

    Hongera rais wa Zimbabwe

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 2 місяці тому +28

    Hili ndo tunalisubiri wa Congo pia litokee.

    • @GodenBMDaniel
      @GodenBMDaniel 2 місяці тому +2

      Hongera sana ndugu yangu

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 2 місяці тому +1

      Kama hatotokea kwa Congo ntawaona kweli mambumbumbu. Wao ndio wanatakiwa wawe msitari wa mbele kuikomboa nchi yao wamenyonywa vimetosha.

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 2 місяці тому

      @@mwawekomiuda9779 Rwanda inachukuwa Mali na kuuwa kwa ajili ya wa magaribi, wapi uliskia Mrusi anachukuwa Mali ya watu na kuuwa???

    • @robertamsini1256
      @robertamsini1256 2 місяці тому

      Congo ita kombolewa na sisi wenyewe atuitaji taifa yoyote ile it time to make it happen

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 2 місяці тому

      @@robertamsini1256 ulisha komboa mikoa ngapi ??

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 2 місяці тому +6

    Huyu raisi ni mwanaume rijali maana shoga hawezi kuwa muwazi hv

  • @alisalimo2861
    @alisalimo2861 2 місяці тому +17

    yuko sawa namkubali

  • @user-zn7vw3pj6p
    @user-zn7vw3pj6p 2 місяці тому +13

    Huyu mh rais.amekumbukaalikotoka.uhruwetu waafrica ulichangizwa nasananaurus.ukipata nfasihiiadimu itumie.kwanimfichauchi hazai.hongerasana mh.rais wa zimbabwe

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому +1

      Uhuru gani unaouzungumzia ww?Hii nchi ingekuwa bado inatawaliwa na wakoloni ingekuwa mbali sana.Nyerere alifanya kosa kudai uhuru mapema.

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 2 місяці тому +7

    Huyu raisi ana akili sana zaidi ya sana

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 місяці тому

      Akili Gani? Kurekodiwa akiomba ulinzi na chakula? Kwa kuwasema vibaya majirani ZAKE? Katia aibu,,,

  • @issaomary5177
    @issaomary5177 2 місяці тому +5

    Oi wanangu umasikini mbaya jamani daah

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 2 місяці тому +11

    Sasa ubaya upo wapi mashoga wanaona wivu tu Zimbabwe has heen under sanctions for decades and at least Russia and china stood with them all along up to where they are today,so what would you want him to say??? Wanaomlaumu hawajuwi chochote kuusu Zimbabwe

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 місяці тому

      Ni kweli anatafuta support LKN wazimbabwe WENGI wamechafukwa RAIS WAO kuomba hadharani ulinzi na chakula IMEKUA haibu,,,kingine alipaswa kuomba YEYE kama YEYE na sio kuihusisha Malawi au Zambia HATA wazambia wameshangaa kwani juzi TU RAIS WAO ALIKUA na RAIS WA Zimbabwe

  • @abdulmagido5444
    @abdulmagido5444 2 місяці тому +2

    Mamba love from uk

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 2 місяці тому +2

    Yeah we love you mnangagwa so much!big up Zimbabwe homosexual and gay marriage has no chance in africa.like from Tanzania.

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 Місяць тому

    Safi Zimbabwe

  • @ammaherman3391
    @ammaherman3391 2 місяці тому +1

    😎rais wa Zimbabwe yupo sawa kbs. Wamepitia kipindi kigumu sana jmn bora atafute rafiki mpya.

  • @realswahilicultural8140
    @realswahilicultural8140 2 місяці тому +7

    Putin siyo mjinga anajua kuwa hii ni sounds

  • @yohanamwalongo-rx2vt
    @yohanamwalongo-rx2vt 2 місяці тому

    Fact

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 2 місяці тому +3

    Yaani mtihani mkubwa aongee mambo ya ushirikiano sio kuomba omba tu ..Africa bdo safari ndefu mno kujipeleka wenyewe wakati tuna resources kibao

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 2 місяці тому +2

    Amefanya vizur sana uyo raisi wa zimbabwe.

  • @user-jh9yv1zp1l
    @user-jh9yv1zp1l 2 місяці тому +6

    Hii ni aibu kwa bara la afrik ,hv kwl tunashindw kujiendesh bil hawa wazungu?

    • @TradersEasyWay
      @TradersEasyWay 2 місяці тому

      huko sahii kabisa ni aibu kwenda kulilia kwa wa zungu wakati nchi yao ina utajiri!

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un 2 місяці тому

      @@TradersEasyWay hatuwez kujiongoza

  • @akidashekue163
    @akidashekue163 2 місяці тому +16

    Malawi na Zambia wamekubali Ushoga

    • @user-jh9yv1zp1l
      @user-jh9yv1zp1l 2 місяці тому +1

      Acha shobo kila kitu ushoga ,mamb ya maendeleo unalet ushoga ,masikin unawz negative siku zote mbwa ww

    • @HamzaMbasha
      @HamzaMbasha 2 місяці тому

      ​@@user-jh9yv1zp1lmbona umeongea kwa hasira sana mzee au Manula kaenda kushambulia

    • @Kujason12
      @Kujason12 2 місяці тому

      Unayajua masharti ya wamagharibi baada yakuchukua mikopo yao​@@user-jh9yv1zp1l

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому

      Zambia na Malawi wamepata fursa nzuri ya kuikwamua nchi yao na umaskini.Ukitaka kupata maendeleo kaa na tajiri akuelekeze mbinu.Ww unaesema malawi na zambia wamekubali ushoga una uwezo mdogo wa kufikiri ni mjinga sana.

    • @DannyRose-gq3qe
      @DannyRose-gq3qe 2 місяці тому

      Wa Tanzania Wana roho mbaya sana ndio maana hamna maana kama hizo pesa zenu

  • @maxmiliangunze8931
    @maxmiliangunze8931 2 місяці тому +9

    Mwanzo sikumwelewa Rais mnangagwa.... Saiv namwelewa kumbe anapenda nchi yake... Rais wapiganie watu wako wako mwamba wa wazungu ashalala babu Mugabe chuma

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому +1

      Wananchi wake wanateseka kwa ujinga wa hawa viongozi

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 місяці тому

      Ni haibu kwakweli,,,YAANI mamemrekodi anavyoomba halafu mnamsifia,,,,kulikua na haja gadi ya kurekodiwa kama sio Nia ovu

  • @ElijahOwino-xe2cd
    @ElijahOwino-xe2cd 2 місяці тому +4

    Yani viongozi wetu bado wanawategemea wazungu.. Yani waafrika milele tunabaki watumwa

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 місяці тому +2

      Watu wanasifia LKN hawajui aibu aliyowatia wazimbabwe,,,kwanini isingekua Siri? HALAFU kunaaja Gani kuomba KITU KWA kuwasema majirani?

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 2 місяці тому +1

    Ibrahim Traore he saying about don't do that to beging always president from Africa stop that magufuli he was working in Tanzania he never go anywhere to ask dneshen

  • @ShukuruLazaro
    @ShukuruLazaro 2 місяці тому +2

    Amezingua

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 2 місяці тому

      Kazinguaje? Shida zake ni shida zetu sote Africa

  • @shabanibussara8454
    @shabanibussara8454 2 місяці тому +10

    Body posture ya Putin vs ya Mnagwagwa say alot..😊

    • @mrjohn4446
      @mrjohn4446 2 місяці тому +4

      Putin body posture yake inasema i am excited about the intro topics give me in brief and so as we can start ASAP, Mnagangwa body posture " i feel exhausted i need your help i am in critical depressed state as a president and for my nation

    • @henryhunter1876
      @henryhunter1876 2 місяці тому

      Thats what he pretty much said my friend. Its not a secret.​@@mrjohn4446

    • @henryhunter1876
      @henryhunter1876 2 місяці тому

      ​@@mrjohn4446if the whole world hated you and your country because you took your land from whites you too would be depressed.

    • @bashirsalimin4948
      @bashirsalimin4948 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂

    • @henryhunter1876
      @henryhunter1876 2 місяці тому

      @@mrjohn4446 And it worked. He gave us weapons and more scholarships for our children. Works all the time.

  • @maroahkissiry4863
    @maroahkissiry4863 2 місяці тому

    Africa bado haijawa na uwezo wa kujisimamia, inahitaji kuwa chini ya wazungu, inahitaji kutawaliwa tena mpaka pale tutakapozinduka!

  • @SabraNassor-hv1xi
    @SabraNassor-hv1xi 2 місяці тому +2

    Nyinyi mapimbi wa zimbabwe Raisi wenu kafunguka ukweli wamarekani wanataka kuwangusha

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 2 місяці тому +4

    Putin akili nyingi

  • @RamaMongi-sq6xn
    @RamaMongi-sq6xn 2 місяці тому +2

    Ukishabanwa na m'babe inaitaji kutafuta m'babe mwingine akusaidia na ukishapata msaada ukawa free kwaiyo utajua jinsi yakujipanga

  • @timothybanda3219
    @timothybanda3219 2 місяці тому +7

    It's a shame kuona marais wetu wanaacha utajiri then wanaenda kuomba omba kwa watu ambao hawana hata madini

    • @HusseinSaguti-sj9nh
      @HusseinSaguti-sj9nh 2 місяці тому +3

      Mbn unasm jambo uclolijua
      Kwa taarifa yko urusi ndio mchi ya kwanza dunian kwa uchmaji wa dhahabu
      Ndio nchi ya kwanza kuzalisha mafuta safii
      Ffuatlia takwim za kimatifa ndio uandke

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 місяці тому +4

      Urusi ndio nchi yenye natural resources nyingi kuliko nchi zote duniani kama ulikuwa hujui

    • @AbelDelaGenese
      @AbelDelaGenese 2 місяці тому +4

      @@rumdeesonsoa1811CONGO NDIO BABA WA DUNIA KWA NATURAL RESSOURCES ANAYEWEZA KULISHA NCHI YOYOTE ILE NA KUSAZA. Marekani yenyewe na washirika wake hawataki kuiacha uhuru unajua ni kwanini.
      Simu na computers 95 % zinatumiwa na madini ya Congo.

    • @hudumablack9339
      @hudumablack9339 2 місяці тому +1

      Lazima Congo yangu nimpe Putin.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 місяці тому +1

      @@AbelDelaGenese Ni natural resources zipi ambazo Congo DRC inazo halafu Urusi haina?

  • @saidmtenda1628
    @saidmtenda1628 2 місяці тому

    He is right

  • @AloyceKafulusa
    @AloyceKafulusa 2 місяці тому +1

    Mkombozi was Africar putn

  • @RachelBriervanity1
    @RachelBriervanity1 2 місяці тому +1

    Putin kakaa kama paka anamwangalia jamaa ana vyo sound hahaaa

  • @valentinernestkavishe7297
    @valentinernestkavishe7297 2 місяці тому +2

    Putin amemshangaa coz ameomba msaada moja kwa moja bila kusema kwenye sekta ya kilimo amefikia wapi anaomba msaada

  • @BilioneaIbrahim-jt1ou
    @BilioneaIbrahim-jt1ou 2 місяці тому +1

    Marais wa afrika acheni kuwa ombaomba putin sio mungu pambana kivyenu Msaada wa mwanadamu ni laana

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 2 місяці тому +9

    Mh nangagwa anaona mbali achana na huyu wa kwetu anatembea na kapu kukopa na kutuletea ushoga na mambo ya ajabu

    • @ce-08
      @ce-08 2 місяці тому

      😂😂😂

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 2 місяці тому

      Rais wetu anaakili kwa hili hatuingizi kwenye matatizo anakua neutral na ndo tubaki hivo nchi yetu haitoingia vitani kikinuka

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 2 місяці тому

    kwel kaenda klia😢😢😢

  • @loveneskaaya1652
    @loveneskaaya1652 2 місяці тому

    Uzee na utoto tofauti ya mwaka mmoja ni kubwa sana SKY.............

  • @HashimOlomi
    @HashimOlomi 2 місяці тому

    Uyu ndie Rais anayejitambua

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 2 місяці тому +1

    Urusi ni rafiki wa kweli kwa waafrika

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl 2 місяці тому +1

    Anaenda kuinamiya wazungu , ndio wzangu watazidi kututumiya vibaya kwasababu vyongozi kwenda kwa wazungu

  • @tabujuma5366
    @tabujuma5366 2 місяці тому

    Sky 💪👏👍🙌

  • @bminawandu
    @bminawandu 2 місяці тому +4

    Rais yupo sahii Sana Zimbabwe muda mwingi imepita kwenye kipindi kingumu dunia yote inajua ilo tuna taka Marais wenye ujasiri kama awa Marais wote wa afrika utia huruma kama huyu lsema Kwa sababu maongezi rais huu ya mewkwa wazi

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому

      Kuua waafrika wenzao na kuiba kura kwenye uchaguzi dhidi ya waafrika wenzao huo ndio ujasiri?ujinga tu

  • @user-rt1wf6se5f
    @user-rt1wf6se5f 2 місяці тому +1

    Hata ukiomba kwa siri au hadharan wew ushaomba tu omba kk😂😂😂

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 2 місяці тому +3

    CHINA NDO ANATUMIA AKILI KUSHIDANA NA MAREKANI KIUCHUMI, PUTIN NI KICHWA MAJI ANAJUA AKIWA NA NUCLEAR NDO KUSHINDANA NA MAREKANI, NYIE KAENI VIKAO MTAPIGWA MFEE 😂😂

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 місяці тому

      KABISA,,,

    • @fahadabdalla8194
      @fahadabdalla8194 Місяць тому

      Yap kichwa maji huyo huyo ndie alisababisha marekani asiweze kuweka mkataba WA mafuta Saudia Arabia na bado akitoka kwenye mafuta anawekewa vikwazo ndipo utajuwa huyo Putin anaakili au Hana

  • @ValentinoKasiani
    @ValentinoKasiani Місяць тому

    Wana sms vipi Iran hawajamchagu raisi wao Toka Ibrahim raisi afariki

  • @user-rt1wf6se5f
    @user-rt1wf6se5f 2 місяці тому

    Tukitaka tuwe huru tuwe na ushirikiano sis wenyew wa Africa la sivyo kila Mmoja atachagua wapi akimbilie apate msaada

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 місяці тому +8

    Mwamba mpee msaada mnangagwa

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому

      Putin mwenyewe maskini atampa nini mnangagwa

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 2 місяці тому +1

      ​@@MathewNathan-yb2bzhuoti lakini

    • @cocotz1892
      @cocotz1892 2 місяці тому +2

      Mohamed sio kwa jibu hilo 🙌🙌🙌😂

    • @cocotz1892
      @cocotz1892 2 місяці тому

      @@MohamedAhmada-ie7ke😅😅😅😅😅

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 2 місяці тому

      ​@@MathewNathan-yb2bzmasikini ni wewe akili huna unaye shikilia ushoga

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 2 місяці тому

    Safi sana

  • @tanzaleo8670
    @tanzaleo8670 2 місяці тому +1

    anaachaje kumsaidia mshkaji wake😂

  • @StevenTaylorx
    @StevenTaylorx 2 місяці тому +1

    Mwaisaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 2 місяці тому +2

    Yeye angeenda kwa xhida zake

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 2 місяці тому

      Shida zake ni shida zetu sote Africa

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 2 місяці тому +2

    Umaskini ni utumwa

  • @deekillerdelishazy6751
    @deekillerdelishazy6751 2 місяці тому +3

    Yani time yote mtu anaongea yeye tu na mwenzie kimya kimya umasikini mbaya sana asee

    • @user-dl1mg2qf4n
      @user-dl1mg2qf4n 2 місяці тому +1

      Sasa Muombaji na muombwaji nani anapaswa kusikiliza?

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 місяці тому

      ​@@user-dl1mg2qf4nkwanini wamrekodi akiomba? Katia aibu vitu vingine ni aibu sio kusifia

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 місяці тому +2

    Zimbabwe itakuwa mbali saaana siku nyingi maana huyo mwamba anaeongea nae ni mtu na nusu

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 місяці тому

      Ametia aibu,,,kunanamna ya kuomba LKN sio kuwasema majirani vibaya,,,kuomba chakula? TENA unarekodiwa,,,HAPO hakuna jema

  • @donizzo9570
    @donizzo9570 2 місяці тому +1

    Mwamba kweli jasus aliekubuhu katulia tuu anasikiliza huku kichwani kwake anapangua majibu nakupanga

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 2 місяці тому +4

    Kwanini wame mrikodi mazungumzo yake yalipaswa kuwa mazungumzo ya faraga😢

  • @nassorntandu4513
    @nassorntandu4513 2 місяці тому

    😂😂 Mkubwa ni mkubwa tu! Ni sawa na mwanamke anayetaka kupendwa kuliko mwingine, anavyojipendekeza!

  • @KingRomyJay
    @KingRomyJay 2 місяці тому

    waafrika sisi kazi yetu ni kulia lia tu kwa wazungu hatuna tunaweza kufanya bila kulia lia pesa ikipatikana inakuwa na watu wachache wenye nguvu mpaka sasa eti kuna watu wanaamini et Russia, marekani,china na nnchi za ulaya et wanatutakia mema kitu wanacho kifanya wao ni kugombania soko la Africa akuna mtu amae weza kukusaidia bure kwa kodi za wana nnchi wake

  • @onester4946
    @onester4946 2 місяці тому +2

    Shame to african leaders. Africa is not independent yet

    • @made5167
      @made5167 2 місяці тому

      Your not even leading your family your never be able to understand what leading a country is. Brother managing the whole country in africa with sanctions from USA its not easy

  • @renatusrichard
    @renatusrichard 2 місяці тому

    point of correction SNS! haitwi Emmanuel Mnangangwa, anaitwa Emmason Mnangangwa. Please next time do research before giving us wrong names!

  • @chidyabdl8226
    @chidyabdl8226 2 місяці тому +1

    Sema mnangawa waga munafiki saana haaminiki coz serikali yake imejaa ufisadi Though Kwel uchumi wa zimbabwe km wasingelikua na sanctions Aisee hawa wako level moja na SA

  • @KhadijaG-rm8fu
    @KhadijaG-rm8fu 2 місяці тому

    Hyu jasus mstaafu vladimir putin sio muongeaj ndomana marekan wameshindwa kimuepewa yy ni mtendaji

  • @user-it6zi7zw8y
    @user-it6zi7zw8y 2 місяці тому

    tatizo nchi zetu za kiafrican Zina Mali sana alafu ndo wananchi maski nahao wazungu awana lolote die wanachukua Mali kutoka kwa African wanatajirika wao Mali iliko toka mnaskia

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 2 місяці тому +1

    Putin saidia huyo mzee.

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 2 місяці тому

    Africa wanabadilsha mabwana tu wa kizungu au magharibu au ulaya mashariki

  • @innocentbaleke7447
    @innocentbaleke7447 2 місяці тому +6

    Daaaaa bado safari tunayo kwaiyo amekwenda kusema kwa baba

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 2 місяці тому

      HHHH🏃🤦🏿🏃 HHHHH
      NDIOOO_🤦🏿‍♀️ KWA BAB WA HURUM

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 2 місяці тому +1

      Afazali kwa mrusi kuliko kwa wa magaribi

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 місяці тому

      ​@@Visionofeagle9689yes afadhari LKN unarekodiwa ukiwasema majirani vibaya na pia ukiomba huoni ILO ni TATIZO?

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 2 місяці тому

      @@josephwilliam5813 yeye ndie Raisi anaona mengi, kwani yeye ndo wakwanza kuwaaema? mbona inchi zinakashfiana??

  • @sifaoksbagirishyasie2410
    @sifaoksbagirishyasie2410 2 місяці тому +1

    Utoto huo kwa waafrika. Sasa karnda kuchongea alafu kiwe nini? Wawe mashujaa kama magufuli Afrika tabadilika. Wachape kazi na wafanye exchange ya bizaa kazi kwisha kukomesha masikini. Not tok tok tok

  • @hbdina
    @hbdina 2 місяці тому

    🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Africa sasa hivi ndio wakati wa kujikomboa kifikra kwanza wakati Vlamidir Putin yuko na Brics currency iko njiani tuipokee.Kwa ufupi lakini maana yake ni kubwa

  • @yasinsanga9062
    @yasinsanga9062 2 місяці тому +1

    Huyu mnangagwa yupo sawa kabisa ila naona watu wengi hawajui Dunia inavoenda anafuata nyayo za mgabe safi sana

  • @Saidi-gz4vi
    @Saidi-gz4vi 2 місяці тому +1

    Kwanini yachukuliwe maelezo ya upande mmoja tu? Je rais putin alisema nini kwa nangagwa? Au lengo kumchafua rais nangagwa?

  • @user-hk6ls3yw9q
    @user-hk6ls3yw9q 2 місяці тому +1

    Hii ndio faida ya kuwa na nguvu mbili ambayo america hapendi anapenda yeye awe super power pekee

  • @hudumablack9339
    @hudumablack9339 2 місяці тому +1

    Uwepo wa Putin kwa dunia hii ya sasa ni neema kubwa kwa viongozi wa ki Africa watakaojielewa.

  • @YasiniMomboka
    @YasiniMomboka 2 місяці тому

    Rais wenu mwanamke angeweza kuongea ayo

  • @ramadhanmazije3882
    @ramadhanmazije3882 2 місяці тому

    Duh! Tunajipeleka wenyewe. Aidha uende US side ama Russia side

  • @seiphomary834
    @seiphomary834 2 місяці тому +1

    Nchi za africa zote ndio zpo hvyo hakuna yenye nguvu ukiona ya zimbambwe tambua na ww rais wako akienda ulaya ana kuwa hvyo hvyo huo ndio mfano wa nch zetu za third country ww una msema rais unahs ww ukiwa rais utafanya nn zaid ya hvyo ni kuchagua upande tu

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 2 місяці тому

    Shida zake huko ZIMBABWE ndo shida zetu sote AFRICA hakuna utofauti anaemuona kazingua basi hajui lolote

  • @KINGBOY-4PF
    @KINGBOY-4PF 2 місяці тому

    Jamaa ana mwomba kama vile ana mwomba Mungu bila majibu toka mdomoni kwa Putin ila watu bana 😭😭😭

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 2 місяці тому +8

    Malawi ni puppet s kitambo

  • @davidsika5292
    @davidsika5292 2 місяці тому

    Waafrika ooo wenyewe tunaweza tunaweza wapii...ukoloni utatutesa saana unatoka kwa mkoloni huyu unaenda kwa yule😂😂😂

  • @PaurothyMedia
    @PaurothyMedia 2 місяці тому

    Nataman kusikia nini kinaendelea au wamefikia wapi swala la de-dollarilization (brics)

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 2 місяці тому +1

    Putin akili kubwa🇷🇺🇷🇺

  • @mapundarajabu5416
    @mapundarajabu5416 2 місяці тому

    Nikwel Zimbabwe imetengwa tena namajiran malaishilin ya dhaman ya shiling yetu nihak nawao alipambanie taifa lao acha wazazlilike ila ipo siku tuta waeshim

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 2 місяці тому

    Yuko sahihi kwa kutaka heshima zaidi ya yote 😂

  • @johnkatabi9793
    @johnkatabi9793 2 місяці тому +1

    kwani ukiomba msaada kwa kuzungumzia tu mambo yako haitoshi

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 місяці тому

      Mbaya ZAIDI unarekodiwa ukiomba hii ni fedheha

  • @zesootv6726
    @zesootv6726 2 місяці тому +1

    Tusiwe na tabia ya kuombaomba sisi afrika.

    • @user-rt1wf6se5f
      @user-rt1wf6se5f 2 місяці тому +1

      Tutakua omba omba Kwa sababu hatuna ushirikiano

  • @user-qh9gw2vr6k
    @user-qh9gw2vr6k 2 місяці тому

    Mimi nipo hapa nimekaa Wacha nione

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 2 місяці тому

    R.i.p Robert Mugabe

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 2 місяці тому

    Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺
    Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇰🇪

  • @user-md9iy9qn1k
    @user-md9iy9qn1k 2 місяці тому

    Hapa sasa Africa itakua na vita tofauti sababu za biashara ya wazungu Africa tutakufa ovyo Kama Gaza soon majibu yataongea

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 2 місяці тому +1

    🇹🇿❣️🇷🇺

  • @godfreyfrugence4176
    @godfreyfrugence4176 2 місяці тому

    Bora Zimbabwe kwenda kwa puttin kuliko wakenya kwenda kwa biden maana ushoga hautakwisha kenya ili asaidiwe lazima atii mashart

  • @SAYUKI513
    @SAYUKI513 2 місяці тому

    Anyone who sees the body language of Putin speaks alot.drop your like please.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 місяці тому +1

    Watu wako huru kusema lolote juu ya huyu Rais wa Zimbabwe ,lakini wanayopitia ni magumu, Wamerekani na Wamagharib wakiiwekea Nchi vikwazo huwa vinaleta madhara makubwa mno, hakuna international bank transfer na mengi husitishwa, kuwa Kiongozi Nchi kama Zimbabwe ni msongo wa mawazo tosha

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 місяці тому

      Ndio arekodiwe akiomba KWA kuwasema majirani vibaya? Hakuna mgogoro bainabyake na majirani LKN KWA video hii HATA majirani wameshangaa,,,kushirikiana koote kule kumbe mwenzetu anatuona adui?

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 2 місяці тому

    Diplomasia anaongea mmoja mmoja sio kujibizana, huyo aliyekosa ni mjinga

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 2 місяці тому

    Mimi sioni ubaya wa raisi ata wewe na mimi ukikutana na mtu amabaya anaweza kukusogeza pahali mungu amekuletea lazima uonge kero zako zote ❤❤❤❤❤❤😂 hyu n mimi kabsa najua kucheza na fursa

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 місяці тому

      Unaongea kero au shida? JE ni sahihi kuomba ukirekodiwa? Think twice