Ni Vita: HEZBOLLAH yarusha roketi 200 kuishambulia ISRAEL baada ya kamanda wake kuuawa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 254

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 2 місяці тому +13

    angalizo: MNAOSHABIKIA HESBOLLAH, MSHABIKIE PIA WATOTO WA LEBANON WANAVOENDA KUFANYWA, asante

    • @raymrash
      @raymrash 2 місяці тому +2

      😂😂😂😂 wataanza kusema pray for Lebanon

    • @user-ed1cf9nq5w
      @user-ed1cf9nq5w 2 місяці тому +6

      Kwahivyo umekiri Israel inauwa watoto? Ungeenda kuwasaidia hao waisrael wenzako tu maana wana uhaba wa wanajeshi😂😂😂

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 місяці тому

      ​@@user-ed1cf9nq5wkauli za kujifariji hizi kaka, tazama tu Vifo vinavyotokea Israel vs Gaza ,Lebanon vs Israel utagundua tofauti kubwa ,hesabu makamanda wa juu aliofyekwa ,Iran , hesbolla vs Israel utagundua kitu ,ushabiki mbaya sana ,tena kaangalie Al Jazeera Tv mnayoiamini

    • @suleymuntar3544
      @suleymuntar3544 2 місяці тому

      Nyinyi na uyo mchambuzi wenu anayewafariji mmekuwa brain washed inamaana wao waisrael hawafi mbona hasemi

    • @paschaljuma3312
      @paschaljuma3312 2 місяці тому

      Nenda na wewe kawasaidie israel

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 2 місяці тому +4

    Here Mungu tusaidie

  • @ElijahOwino-xe2cd
    @ElijahOwino-xe2cd 2 місяці тому +6

    Ngojeni Dj smaa aje na uongo wake.. Soma hii na sauti ya Dj smaa.. Mpenzi mwana Sns Bwana Yesu asifiwe... Asalaamaluikhum... Israel haijamua kiongozi wa Hezbollah Bali ni jeshi LA marekani... Kama kawaida Dj sma huwa nawakujia na facts and logics... 🤣🤣

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 2 місяці тому

      Koma mbwa wewe

    • @ElijahOwino-xe2cd
      @ElijahOwino-xe2cd 2 місяці тому

      @@aishaarusha894 Israel itawatandika hizo nchi za kiislamu mpaka watie akili

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 2 місяці тому

      @@ElijahOwino-xe2cd akili zako ndo zilipo ishia laanatullah uwe laaniwa na izrael yako kwa kuitandika mataifa ya kiislamu hawawezi abadani ila izrael inaweza kumtandika mama yako na baba yako

    • @godfreymarco629
      @godfreymarco629 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @barakanyamhanga-g7n
    @barakanyamhanga-g7n 2 місяці тому +18

    Hapa ndipo huwa sikubaliani na DJ Sma kuwa Israel haina mifumo mizir na ulinzi

    • @IbrahimAli-yd1ng
      @IbrahimAli-yd1ng 2 місяці тому +1

      Hajawahi kusema Sio mizuri unasema ww

    • @Njiwamichael-km1dm8et9x
      @Njiwamichael-km1dm8et9x 2 місяці тому +3

      Yule ni gaidi yani ni mwongo

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 2 місяці тому +1

      ​@@Njiwamichael-km1dm8et9x gaidi niwewe usokua naulewa wakulewa kinacho ongelewa 😂😂😂

    • @user-qc5bp3ph2o
      @user-qc5bp3ph2o 2 місяці тому +1

      So uende ukajiunge na Izrael Kama hukubalian na Dj Sma😂😂😂

    • @Majambo_Duniani_Tv
      @Majambo_Duniani_Tv 2 місяці тому +3

      Yule jamaa anachagua upande wakuupendelea...

  • @WazirBoy-fe5ew
    @WazirBoy-fe5ew 2 місяці тому +13

    Israel wao wanawaua viongozi

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 2 місяці тому +2

      Sio vitani israel kuvizia kamanda akienda kunywa soda wajitokeza.

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 місяці тому

      wapo smart sana siku zote wanadeal na victim

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 місяці тому

      Hiyo ndio njia nzuri zaidi ya kupigana vita kuliko kuua raia wasio na hatia. Hata Hezbollah walitakiwa wafanye hivo ila sema uwezo hawana. Wao wanarusha tu makombora mengi kwa mkupuo haijalishi yatalenga targets au laa

    • @seifmiraji43
      @seifmiraji43 2 місяці тому

      ​Vita ni vita Muraa 😂😂

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 2 місяці тому +1

    Israel huwa wanapenda sana kuvizia viongozi na kuwauwa nazan wanafanya hivyo makusudi kuwazoofisha wapinzani kwa kujua hao viongozi ndio wanaowapa jeuri watu wengine🙌🙌🙌🙌

    • @user-lv4cx1sc5d
      @user-lv4cx1sc5d 2 місяці тому

      Kwani viongizi akifaa ndio nin

    • @abedinegoraphael4774
      @abedinegoraphael4774 2 місяці тому

      @@user-lv4cx1sc5d ndo wanaotoa mwongozo wa vita wakifa hao wengine unamalizia kuwanyonga

    • @georgekimasa7393
      @georgekimasa7393 2 місяці тому

      Unachekesha unavyo ongea et wanavizia yaani unataka kutuletea move za komando kipensi 😂😂😂 vita ya sasa inapiganwa Kwa Malengo Ndugu,na ukiona watu wanaweza kupiga viongozi wenu na kuwa ua basi ujuwe uwezo wenu wa kujirinda ni mdogo sana😂😂😂

  • @hansiempire5093
    @hansiempire5093 2 місяці тому +8

    Vita wanatakiwa kuwalinda makamanda . Mana ndo wanaotoa direction .. Israel mjanja anaua ka za wanaootoa direction badae ndo azame mazma

    • @user-yw3qh6qj8g
      @user-yw3qh6qj8g 2 місяці тому +1

      Hawa magaidi wanacheza na israel

    • @user-dn7gn6ib4k
      @user-dn7gn6ib4k 2 місяці тому

      ​@@user-yw3qh6qj8gyou're not educating you are not well

  • @Badvoice707
    @Badvoice707 2 місяці тому +15

    Siku zote kiongozi ndiyo mbaya ndo anatakiwa apigwa kwanza israel 🇮🇱 ni hatari hura atakufa jitu 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @suleymuntar3544
      @suleymuntar3544 2 місяці тому

      Mbona ripot ya hayo makombora hawasemi

    • @ElijahOwino-xe2cd
      @ElijahOwino-xe2cd 2 місяці тому

      ​@@suleymuntar3544yalikuwa ya ovyo 😂

    • @Badvoice707
      @Badvoice707 2 місяці тому

      @@suleymuntar3544 yamedunguliwa yote angani we hujaona angalia video vizuri 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @muhammadmbaraka4515
      @muhammadmbaraka4515 2 місяці тому

      Wamefaulu kwenye intelijensia

    • @Maxpaul-oi8pw
      @Maxpaul-oi8pw 2 місяці тому

      ​@@suleymuntar3544hayakuwa. Na madhara inamaana yalizuiwa

  • @user-im1jg3rm3t
    @user-im1jg3rm3t 2 місяці тому +5

    Hawa jamaa sns ni wafuasi wa hezbolla nini?😂😂😂 kichwa cha habari eti zaidi ya makombola 200 😂😂😂😂 wewe anza na kichwa kinachosema Kiongozi wa Hesbolla kauliwa 😂😂😂😂 anga limechafuka ndo nini 😂😂😂😂 wewe sema Hezbolla kiongozi kafa

  • @paulvimbamvula9508
    @paulvimbamvula9508 2 місяці тому +2

    ISRAEL ikifunguwa vita kamili ....Lebanon itakurudi nyuma kipindi cha Stone age

  • @enockmsomba9431
    @enockmsomba9431 2 місяці тому

    intresting news

  • @mchjohnmasegese8193
    @mchjohnmasegese8193 2 місяці тому +15

    HAKUNA NCHI ITAIPIGA ISRAEL.NAWAHAKIKISHIA ISRAELI NI MSHINDI TU.MUNGU WA MBINGUNI ANAWAPIGANIA.

  • @emmadora7848
    @emmadora7848 2 місяці тому +5

    Maroketi 300 hakuna kifo, bomu 1 kamanda wa juu byebye , kwanza hao hesbollah wanachomana hao

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 2 місяці тому +16

    Muda sio mrefu mtaona waarabu weusi wanalalamikia mbona israel inauwa viongozi wakubwa tu😂😂😂
    Baadae mbona inauwa watu wasio na hatia😂😂😂

  • @munezeroolivier411
    @munezeroolivier411 2 місяці тому +4

    Mwenyezi Mungu awalinde Hesbollah

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 2 місяці тому +4

    Ewe mungu baba mtoe roho uyu detanyau ili dunia ipumue na vita

    • @aminaali792
      @aminaali792 2 місяці тому

      Ameen yaa Rabbi🤲🏼😭😫

    • @aftapat5365
      @aftapat5365 2 місяці тому +2

      sasa wewe mtu mweusi hao warabu wanakuhusu nini
      islael ana kila kitu kwasababu ana mshirika mkuu ambae ni shetani amerca
      wana setelait kila kona hao hezbola wanacho kifanya wanakiona waarabu ni wanafiki hawapendani ila nyinyi waafrica ndio mnashinda mnawaombea kuliko mjiombee

    • @issazalala4907
      @issazalala4907 2 місяці тому

      @@aftapat5365 wanao kufa ni watoto na kina mama na wazee hataka ni warabu au mwarabu sio mtu

    • @user-zm8nq6xv8o
      @user-zm8nq6xv8o 2 місяці тому

      ​@@aftapat5365kwahiyo wewe unaona sawa wangine kufa yani hii nimaajabu

    • @Njiwamichael-km1dm8et9x
      @Njiwamichael-km1dm8et9x 2 місяці тому

      Kumbe mnaelewa kwamba jamaa ni noma

  • @user-is2pj2vq3r
    @user-is2pj2vq3r 2 місяці тому

    ❤❤

  • @hamzaismail14
    @hamzaismail14 2 місяці тому +2

    Acha kudanganya watu mabom yamefika ardhin na yameleta maafa makubwa tu

    • @rhemaword856
      @rhemaword856 2 місяці тому

      Una uhakika wewe

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 місяці тому

      Ehhe moto msituni wakati wewe watu watu wanauliwa Kila uchwao😢😢

  • @Niika870
    @Niika870 2 місяці тому +4

    Israel wanakula vichwa kwanza

  • @nsolachalo
    @nsolachalo 2 місяці тому +1

    Yesu alisalitiwa na kati ya wale alikuwa akiambatana nao ,ndio mbinu anayoitumia muisraeli anajuwa katika watu wako hawakosi wanafiki na wasaliti ndio maana anaangamiza viongozi kiurahisi.haswa warabu wengi wanatabia ya kusaliti

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 місяці тому

      Wa islael wengi wanazungumza lugha za izo nchi wanafundishwa kwene mitaala yao wamesambaza spy wao kwa majilani na wamewekeza kwa muda mrefu na wengine wapo kwene serikali zao ngazi za juu

    • @user-wr6uz1rx1o
      @user-wr6uz1rx1o 2 місяці тому

      Ndio ata kanal muammar gadaf alisha sema tatizo letu warabu hatuna umojaa

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd 2 місяці тому

    Rocket nyingi hivo hakuna maumivu kwa Maashkinazi.

  • @user-wr6uz1rx1o
    @user-wr6uz1rx1o 2 місяці тому

    Ipo sku munguu atalipaa

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 2 місяці тому

    Hali inazidi kuwa mbaya sana lzrael zimepitwa zingine zimeribu vibaya sana lzrael kambi za kijeshi na maeneo mengine mbali na hayo ya 200 yamepigwa mengine

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 2 місяці тому +1

    Huo ni ujinga wamefanya yani wao kiingoz kauwawa alaf wao wanarusha roket ndo wamelipa kisas badala na wao wangeua kamanda mmoja ndo ingekua kisas tayar lakin hapo hamna kitu wamefanya

  • @JumanneBashisha
    @JumanneBashisha 2 місяці тому +4

    Asalam aleykum , islael inatumia mtandao gani kuua viongozi sehem nyingi duniani ?

    • @jut1161
      @jut1161 2 місяці тому +2

      Hawa jamaa wapo vzr sana kwenye ujasusi

    • @majidimussa8678
      @majidimussa8678 2 місяці тому +1

      w,w, w, Nashaangaa hata mie maana nivigumu sana kuua kiongoz sasa kwao inakuweje rais sana hv

    • @Njiwamichael-km1dm8et9x
      @Njiwamichael-km1dm8et9x 2 місяці тому +2

      Me nimewaogopa yani wanaua kiraisi sana

    • @Williamstozzo
      @Williamstozzo 2 місяці тому

      Mossad

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 місяці тому

      Akili😂😂😂

  • @user-lv4cx1sc5d
    @user-lv4cx1sc5d 2 місяці тому

    Wewe wamekufaa wengi waisraeli ila wanajidanganya wenyew waisraeli

  • @JactonKai
    @JactonKai 2 місяці тому

    magaidi wa Lebanon watashindana likini hawata shinda.

  • @ushindimwakipesile1969
    @ushindimwakipesile1969 2 місяці тому

    Hakika Israel ni Taifa teule la Mungu💪💪💪

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 2 місяці тому +2

    Bora amani mana hii vita ikianza tutegemee mafuta kupanda bei na bidhaa nyngine

  • @user-yy6gf4my9f
    @user-yy6gf4my9f 2 місяці тому

    Ndugu zetu wapo uko jamani kwenye kulinda amani Mungu aepushe vita

  • @WaziriMwakyando
    @WaziriMwakyando 2 місяці тому

    Israel ni nomasana Yan kama awaamin kunamungu wataisha wote

  • @user-lv4cx1sc5d
    @user-lv4cx1sc5d 2 місяці тому

    Utaweza kuokoa makombora mia mbili hata makamanda wa israeli wamekufaa

  • @user-cj1ft4mw2l
    @user-cj1ft4mw2l 2 місяці тому

    HUYU JAMAA HAFAI KUA MUONGEAJI WETU, ANAEGEMEA UPANDE MMOJA WA ISRAEL TU

  • @mohamedaley5632
    @mohamedaley5632 2 місяці тому

    Kwak kiongozi ni kuteuliwa Kwan wengi wao washakua wazoefu wakuendesha vita kwa namna ya kipkee.... ukimuua mmoja unampa nafas mwngne kuongoza vita vizur kulko wa mwanzo

  • @user-tq4lx9si1n
    @user-tq4lx9si1n 2 місяці тому +4

    Israel mbona inauwa makamanda sana wawa pinzaniwake

    • @user-kg9fn1ph9d
      @user-kg9fn1ph9d 2 місяці тому

      Hata wa Israel wanauliwa leo pokee Israel imepoteza zaidi ya wanajeshi 10 akiwemo kamanda mwenye cheo cha major.
      Kulingana na utaratibu wa Israel inapotokea vifo vya wanajeshi Israel huenda kwenye Familia za wafiwa na kutoa tasrifa kwa siri Kisha maiti huzikwa nafamilia.
      Wanafanya hivo kulinda morali ya wanajeshi wao walioko mstari wa mbele.

    • @ce-08
      @ce-08 2 місяці тому

      Unamuua mwenye akili anae waongoza wengine Ili waliobak wavurugike washindwe kupata kiongozi km huyo

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 2 місяці тому

      ​@@ce-08viongozi ni wana tengezwa so wanakua zaidi ya ma mia akifa hyu nafas anachukua huyu

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 місяці тому

      ​@@MohamedAhmada-ie7keehhe na unvyochukua nafasi ndio unakikaribia kifo chako

    • @ce-08
      @ce-08 2 місяці тому

      @@MohamedAhmada-ie7ke ni kweli lakini hawafanani ndiyo maana wanawalenga hao mfano mzur uongoz wa Magufuri hauwez fanana na Wa Samia hata wao huko kupo hivyo kunamwingine uongoz wake kundi au jeshi linafanikiwa zaidi mwingine anakuwa normal sasa wao huwalenga wale wenye uwezo zaidi na ushawish mkubwa

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e 2 місяці тому

    Moto umesha lipuka tusubiri matokeo

  • @directortwicep3028
    @directortwicep3028 2 місяці тому

    Israel kwa upande wa anga daah wako vizuri bomu zaidi ya 200 kulipuliwa sio kitu cha mchezo hebu fikiria Israel itume hizo bomu 200 zitumwe Lebanon atapona mtu na hawana mfumo wowote wa kulinda anga,pia hata submarines hawana fighter jets hawana duuh wanamchokoza simba
    Uzuri wa Israel anasubiri umchokoze kwanza Viva Israel❤

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 2 місяці тому

    Marekan wanasuluhisha nn waka wao ndowapo nyuma ya kuuwawa kwa hao makamanda wa Hezbollah

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky 2 місяці тому

    Hawa hesbollah inaonekana wanachomana viongozi wao wengi wanauliwa..

  • @user-ey1fq6hd9l
    @user-ey1fq6hd9l 2 місяці тому +7

    Baadaye mtasema israil anauwa watoto na kina mama

  • @paulvimbamvula9508
    @paulvimbamvula9508 2 місяці тому

    Israel kivita ni baraa..na inawuwa kwanza viongozi..nawa woneya huruma wana inchi wa Lebanoni watakufa vita ikiyanza.
    Kwanini Lebanon kama inchi ilikubali kuwa na kundi la ugayidi ndani ya inchi yao

  • @user-yw3qh6qj8g
    @user-yw3qh6qj8g 2 місяці тому

    Nyie shabikieni lkn watakachokupata hizbola watajuta

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 2 місяці тому +3

    Aise duh pole ndungu zangu Lebanon

  • @user-lf7xp7ns8m
    @user-lf7xp7ns8m 2 місяці тому +1

    Tuambie hayo hasara iliyo patikana

    • @user-kg9fn1ph9d
      @user-kg9fn1ph9d 2 місяці тому

      Utaambiwa vipi wakati jeshi la Israeli linazuia vyombo vya Habari kufika kwenye maeneo yenye matukio ? Wao ndio wanaokimbiza waliokufa kwa kutumia ma helicopter na majeruhi hukimbizwa hospitalini.kisha viongozi hupeleka taarifa kwa wafiwa .
      Wanasema kufanya hivo nikulinda morali ya wanajeshi walioko mstari wambele .
      Mfano leo kwenye shambulio la hezbollah zaidi ya wanajeshi kumi wa Israel wameuliwa akiwemo mwanajeshi mwenye cheo cha meja .na wengi wamajeruhiwa wamekimbizwa hospitali kwa kutumia MA helicopters.

  • @husseinc
    @husseinc 2 місяці тому

    lebanon haipakani na israel lebanon inapakana na palestina inayokaliwa kimabavu na israel

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 2 місяці тому

    Badoo wache wawashe moto

  • @abuukajembe-to6sd
    @abuukajembe-to6sd 2 місяці тому

    Dunia umebadilika uwezi kua bola cku zote mda utaongea 2

  • @user-nv6wt3nx5h
    @user-nv6wt3nx5h 2 місяці тому

    Kuna jeshi la Lebanon na Kuna wanamgambo.....serikali haitaki vita ila wanamgambo ambao wanaunga mkono hamasi kama kikundi Cha ukombozi........hivi vikundi vinafadhiliwa na Iran na ulusi

  • @user-rt1wf6se5f
    @user-rt1wf6se5f 2 місяці тому

    Kuna wamawia ndani humu watafuna mijusi na nguruwe anaeenda period wanazngua wanaleta shobo kwa wa Israel mashoga 😂😂

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 2 місяці тому +1

    Islaeli kila siku Isilaeli kila siku wao ni kuwatafuna Viongozi wao au Makamanda duu ni hatali bila shaka atawamaliza wotee big appu Taifa la Yehova😅😅😅

    • @muzafarsharif9465
      @muzafarsharif9465 2 місяці тому

      wajua Israeli NI adui WA Christian??? wacha kushobokea mayahudi wakati hawampendi jesus 😂😂

  • @ElijahOwino-xe2cd
    @ElijahOwino-xe2cd 2 місяці тому +1

    Utaskia waislamu wakilialia eti ooh pray for Lebanon 😂😂... Wameanza vita ila Israel itawachafua mpaka watie akili

    • @user-wr6uz1rx1o
      @user-wr6uz1rx1o 2 місяці тому

      ElijahOwino unanifurahisha kwani wao wenyewee Israel waliomba suluhu walipo zidiwa wakaomba moatano wakakimbilia afrika na kutaka watu waingie vitani watawalipa umelisahau ilo

    • @ElijahOwino-xe2cd
      @ElijahOwino-xe2cd 2 місяці тому

      @@user-wr6uz1rx1o taja nchi moja ya Africa ambayo Israel iliwaomba msaada wa kivita

  • @davidpeter8099
    @davidpeter8099 2 місяці тому

    Eti ni taifa la MUNGU hili la mashoga wenda mungu wa kuchonga

    • @enockmsomba9431
      @enockmsomba9431 2 місяці тому

      nonesense

    • @davidpeter8099
      @davidpeter8099 2 місяці тому

      @@enockmsomba9431 kwani kuna siri hapo kuwa sherehe za mashoga duniani zinasherekewa wapi kidunia kama siyo huko kunakotukuzwa kuwa ni taifa la mungu ndio maana nasemawenda mungu wa baniani

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART 2 місяці тому

    Acha tusubiri tme will tell nini kitatokea

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 2 місяці тому

    Mbona makombora yamefika mjomba wew hujuw kuchambuwa

  • @suleymuntar3544
    @suleymuntar3544 2 місяці тому

    Misrael mweusi uyo anachambua habar yake

  • @user-kg9fn1ph9d
    @user-kg9fn1ph9d 2 місяці тому +2

    Leo kwenye shambulio la hezbollah Israeli imepoteza zaidi ya wanajeshi kumi na miongoni mwa waliouwawa yumo mwanajeshi mwenye cheo cha major (meja).
    Kwa utaratibu wa Israeli wanajeshi wanapouwawa vitani jeshi huwapelekea familia ya wafiwa tasrifa kisiri siri .
    Kisha jeshi hutoka nakutangaza wanachoona kinafaa kwa ajili ya kulinda morali ya wanajeshi wao walioko mstari wa mbele .
    Ndio maana jeshi la Israel linakataza waandishi wa habari au raia wakawaida kushika video bila ruhusa .
    Hizi video ndogo zinazotoka hushikwa na baadhi ya wananchi kwa mbali lkn ukikamatwa nikifungo cha miaka kadhaa.

    • @user-jh9yv1zp1l
      @user-jh9yv1zp1l 2 місяці тому +2

      Ww naww ach ujuaj ,his taarif umezitoa wapi ,ujuaj mwing utaliwa

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 2 місяці тому

      Unadanyanya kwanza usicho juwa meja sio xheo kikubwa jeshini kama unavyo jaribu kutunga uongo kuficha uzaifu hilo ni uongo huwezi kuuwa kamanda wa isirael Kisha isijulikane mbona yule cdo ndugu wa netanyahuu alivyo uliwa Uganda tulijuwa acha kutetea upande wako kwa kutunga stori za abunuasi swala la kuzuia habari za kivita kuzagaa zipo kwenye majeshi yote duniani jpo huwezi fixhs kifo Cha mkuu yoyote wa op mana ningumu labda kuongelea askari wadogo kitu kilicho wazi hizbolla hawajafanikiwa ktk mashambulio Yao kama alivyo fanya Irani tu hii Dunia kijiji ningumu kudanganya huwezi wakaribia majeneral wa isirael hata kwa dawa hawo ndio viongozi wakubwa kijeshi sio kama unavyo danganya hapa meja hivi unaelewaa ulicho kisema hakuna kitu mashambulizi zidi ya isirael ni futuhi tu hakuna wanacho pata wakati wenzako wakipiga wanaondoka na viongozi wakubwa

    • @user-kg9fn1ph9d
      @user-kg9fn1ph9d 2 місяці тому

      @@user-jh9yv1zp1l mimi naangalia Chanel za Israel kwenyewe na Nasoma magazeti ya Israel likiwemo gazeti la upinzani la yadeot akhranot linatoa taarifa zote ambazo nyinyi mnaotazama Chanel za online hamjui.
      Tuna watu walioko mtaani mkoa mzima wa Galileo, Haifa, elat , Golan nk.usidhani kua kila mtu anasubiria BBC au CNN

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 2 місяці тому

      ​@@user-jh9yv1zp1l😂😂😂😂
      Jamaaa anajua taarifa za jeshi la Israeli Ila taarifa ya sativa haijui

    • @user-qo2dk6iv3u
      @user-qo2dk6iv3u 2 місяці тому

      @@user-kg9fn1ph9d upo sahii

  • @frankbutati8343
    @frankbutati8343 2 місяці тому

    Hesebolla akili ndogo sana, huwezi fananisha na IDF, wao wanashambulia kijinga Halafu IDF inawaingiza kwenye 18

  • @joshuajohn8533
    @joshuajohn8533 2 місяці тому +1

    Nyie waislamu washaurini waislamu wenzenu wa gaza na lebanon waachie mateka na kukubali yaishe lasi hivyo mtazidi kutia huruma kila siku

    • @NsanzabahiziRehema
      @NsanzabahiziRehema 2 місяці тому +1

      Hakuna atakaye tiya huruma na wala hatutiyi huruma wakati w'Allah ndio sahihi hatukati taama kwenye rehma zake hakuna dhulma iliyo shida mbele ya wenye haki tu ache longolongo acha mda uta ongeya Hasbunallah waneemal waakil

    • @ommymehmed8880
      @ommymehmed8880 2 місяці тому

      Hii ni kauli yako ya kipuuzi haina maana yoyote ....kama unaogopa kufa ni ww tu utakaeishi milele wacha wenzako wapiganie utu wao .

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 2 місяці тому

      Kwani uko Israel kuna mateka wangap wa Palestine miaka na miaka now

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 2 місяці тому

      @@NsanzabahiziRehema Huyo allah Kashindwa kuwasaidia tokea 1948 mpaka leo. Imani sio ujinga tumia akili

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 2 місяці тому

      @@ommymehmed8880 ndio mnadanganyana hivo

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 2 місяці тому

    Magaidi Hezbollah wanaangamizwa huko Lebanon. 😢

  • @fistonmakasi3803
    @fistonmakasi3803 2 місяці тому

    Kumaanisha hakuna bom

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 2 місяці тому

    Yaani ni vita rasmi sasa?

  • @user-si7kv4vl2b
    @user-si7kv4vl2b 2 місяці тому

    Na washaamua kamanda mkuu wa Israel pia kisasi fasta.

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 2 місяці тому +2

      Yupi huyo tuweke mana unasema wewe acha kujitekenya huwezi uwa kiongozi wa isirael isirael sio Iran wanao uliwa mpaka raisi

    • @Niika870
      @Niika870 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 2 місяці тому

      ​@@michaelthobias9967😅😅😅 kwaiyo Israel ndio kapeleka ule ukungu na upepo au

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 2 місяці тому

    Wacha tusubiri nondo kwa dj smaaaa

  • @user-tq4lx9si1n
    @user-tq4lx9si1n 2 місяці тому +1

    Netanyahu hunazngua

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q 2 місяці тому

    Israel inawaka moto kaskazini iron dome imechemka waongo na kuna askari wanefariki wa Israel, pia baada ya HAMAS kuvamia Israel Israel mwenyewe alishambulia Hezbollah Syria na Iraq

    • @Williamstozzo
      @Williamstozzo 2 місяці тому

      😂😂😂

    • @user-im1jg3rm3t
      @user-im1jg3rm3t 2 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 місяці тому

      Tatizo lenu huwa hamuendi shule na mnatafutaga sana uongo wa kujifariji😂😂😂😂😂😂 moto uko msituni Tena mpakani mwa mechi zote ,shida ni Israel wanaweza udhibiti ,hao ndugu zako ni huzuni

  • @IddyAmir-gq1jr
    @IddyAmir-gq1jr 2 місяці тому

    Islael na Usa hata wapigwe vipi utasikia hakuna maafa, wazee wa plopaganda😈

  • @TarimoMangi
    @TarimoMangi 2 місяці тому +5

    ISRAEL NI MSHINDI DAIMA, MUNGU WA ISRAEL NI BWANA WA VITA ETY,waarabu na huyo alahh wao watapigwa had wajutie.

    • @user-rn9og1rk3l
      @user-rn9og1rk3l 2 місяці тому +2

      Hiyo inajulikana

    • @mustaphakhamisikhamisi
      @mustaphakhamisikhamisi 2 місяці тому

      haya mneno utakuja kujut ukifa bila kutubu

    • @user-xs1cc1hg3y
      @user-xs1cc1hg3y 2 місяці тому

      Kwani Kuna mungu wa Israeli nawa Tanzania.. Nikuuliza Tuu swali

    • @Gamba81
      @Gamba81 2 місяці тому

      Wewe akili zako hazina akili

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 2 місяці тому +1

      😂😂😂jinga lingine hili hapa jamani ambalo llnafikili kuwa linaujua ukweli halisi,mungu siyo wa Wana wa Israeli/yakobo tu wa kipindi kile siyo Hawa wa sasa sinagogi la shetani kwa kuurubuni ulimwengu. Bali sasa ni mungu wa mataifa na ndiyo KRISTO alikuja kutimiliza Hilo pia soma maandiko yakupe maarifa halisi siyo usomewe na viongozi wa madhehebu yenu.Akili imeganda kabisa

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 2 місяці тому +1

    vita itakao kutokea heeee israel ita koma, uku iraqui, Yêmen, na Taliban, iko tayari

    • @Williamstozzo
      @Williamstozzo 2 місяці тому

      Washazoea wenzioo

    • @user-im1jg3rm3t
      @user-im1jg3rm3t 2 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 місяці тому

      Hao wote uliowataja hawana tofauti na somalia ,Sudani 😂😂😂

    • @Aksa-yk1dp
      @Aksa-yk1dp 2 місяці тому

      Walipigwa wote hao nchi 7 .kwa mda mmoja

  • @user-qo2dk6iv3u
    @user-qo2dk6iv3u 2 місяці тому

    Uyu hajafika viwango vya uchambuz

    • @Gamba81
      @Gamba81 2 місяці тому +1

      Kwanini

    • @NurudinZuberi
      @NurudinZuberi 2 місяці тому +2

      Chambua wwe unaejua tukusikie, utakuwa mchawi

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 2 місяці тому

      Mtu anayekula mavi kamwe hawezi kuwa na akili timamu... Acha kula mavi ndugu.

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 2 місяці тому

      Wivu wa kichawi utakuwa mchawi bira Shaka

    • @user-qo2dk6iv3u
      @user-qo2dk6iv3u 2 місяці тому +2

      @@Gamba81 kifupi cheni ya hizbolah ni ndefu kuanzia Syria irak Yemen Iran yenyewe hizbolah ni mkono wa mageuko ya ulimwengu wenye Sauti nyingi ndomana Marekan anapooza yasije magezi Kwa Kasi kubwa

  • @hamzaismail14
    @hamzaismail14 2 місяці тому

    Acha kudanganya watu mabom yamefika ardhin na yameleta maafa makubwa tu

    • @raymrash
      @raymrash 2 місяці тому

      Acha kuforce😂😂😂