MREMBO wa KISUKUMA awashangaza kwa kucheza na PIKIPIKI kubwa, ajiandaa kwenda SHINYANGA kwa pikipiki

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 57

  • @zedkazzooranda2393
    @zedkazzooranda2393 25 днів тому +2

    Sawa

  • @ZuwenaSuha
    @ZuwenaSuha 23 дні тому

    Kawaida sana njoo zanzibar watu wanaendesha Scania, mahowo, nk

  • @JulianaJackson-lz6vq
    @JulianaJackson-lz6vq 23 дні тому +1

    Nilimuona kwenye mawio dem wa alawii or boby eddy

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 24 дні тому

    Safi sana

  • @JohnVicenthmuna
    @JohnVicenthmuna 23 дні тому

    Namuomba nimpe kampani ❤❤

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 21 день тому

    Kwetu zenji ni kawaida ila kwa nyie wazungu ajabu kibwa😂😊

  • @Abdullah-hb6sf
    @Abdullah-hb6sf 24 дні тому +1

    Aje Kenya nimkutanishe na wanawake wanaofanya manjonjo na bike or bikers

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 24 дні тому +2

    Kawaida tu kuendesha motorcycle sema tunaogopeshwa watu duniani wanaendesha tena ni fanny sanaa

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 24 дні тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 24 дні тому +1

    Ooii mwanangu Dallaz mpe namba yngu hyo mtoto mzuri muambie pia mm nataka kuenda shinyanga na bike aghalau tutakua wawili😂

  • @AFCrazaque
    @AFCrazaque 24 дні тому

    Namba nitumie

  • @achantyyahya4290
    @achantyyahya4290 23 дні тому

    Uyu Hachezi na Pilipili sema Anaendesha tu Uyo Dada Anaitwa #SarahLezito Anaibinua Ule Demu Uwiiiiiih 😮

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 24 дні тому +1

    Acha ufala kwani huyo ni mweupe

  • @eliasaNgahehwa-l2f
    @eliasaNgahehwa-l2f 24 дні тому +3

    Hii mbona kama nikishaiona miaka kibao iliyopita

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 22 дні тому

    ANAICHEZEAJE MI MBONA SIJAONA CLIP NZIMA,,,AU KUENDESHA NA KUACHIA MIKONO KIDOGO NDO MNAMAANISHA IVYO NDO KACHEZEA??SIO KWANGU

  • @user-iy3fx7cl1j
    @user-iy3fx7cl1j 24 дні тому +2

    Toka lini uwajiriwe tz Kama hujashikwa mkono,

  • @achantyyahya4290
    @achantyyahya4290 23 дні тому

    Mbona Hana Ata Anacho Kicheza Hapo Hivi Mnamfahamu Sarah Lezito Ule Dada Anacheza Na Pilipili 😮😮😮😮😮

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i 23 дні тому

      Bs utawaweza kwa ushamba wakipenda mtu kumsifia

  • @BigMan-f1v
    @BigMan-f1v 24 дні тому

    Anaendesha ila hachezei kivile em jaribu kuangalia kuna mdada anaitwa #Sarah lezito

  • @mchawimweusinjomo5533
    @mchawimweusinjomo5533 23 дні тому

    Hamna habar

  • @mansourally6515
    @mansourally6515 23 дні тому

    Aseme lini anaenda mkoa wahuni tumsubirie sehem tumnyanganye

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 24 дні тому +1

    Dada we ni bonge la mrembo,but you lack confidence in public conversation😆😆😆

  • @Milanorock
    @Milanorock 24 дні тому

    Tanzania jamani 😂😂😂😂😂maajabu yapi

  • @pascalmanyama2304
    @pascalmanyama2304 24 дні тому

    Dah,hizo nguo alizovaa sio rasmi kwa ajili ya pikipiki kama hiyo,naona hata control yake bado pia avae gloves.Shida ya ajali ya pikipiki hata ikiwa ndogo unaweza kujikuta umeng'oa vidole,sasa kwa mrembo huyu namshauri aachane na mambo haya ya mapikipiki.

  • @fadhilimbotela1049
    @fadhilimbotela1049 24 дні тому +5

    Mbn naona anaendesha tu sion maajabu,! Hawa jamaa mnaanza kuzngua 😛

    • @joezeno8
      @joezeno8 24 дні тому +1

      😂😂😂😂

    • @Chrisscherry
      @Chrisscherry 24 дні тому

      Asante kwa hilo,ndio siendelei kuwatch

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i 23 дні тому

      Hpa wengi washamba wanasifu mm nasema anafanya kurusha au vp kumbe kam anaendesha vespa

  • @japhetsifa
    @japhetsifa 24 дні тому

    Tz iko na mambo ya ajabu xn, xx mtu kupeleka pkpk n mambo ya ajabu kwl

    • @user-sb3ls4pb1g
      @user-sb3ls4pb1g 24 дні тому

      Wakikosa vya kupsti wanatafuta hata kinyesi watupostie

  • @salimalesry428
    @salimalesry428 24 дні тому +4

    Yani huyu mwanamke wanavyomtrendisha pikipiki yenyewe ni dereva tu mbona mke wangu mimi anachezea pikipiki kuliko huyu

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 24 дні тому +7

      Moyo mkubwa ujenga chuki

    • @Rizikialiamechannel763
      @Rizikialiamechannel763 24 дні тому +1

      Acha choyo ndo mkeo hna nyota huyu mdada ananyota na ana sura ndo mna gabo akamchukua ila mkeo pngine hana mvuto na nyota so acha chuki za waz waz

    • @Rizikialiamechannel763
      @Rizikialiamechannel763 24 дні тому

      @@jumamussantuichekbisa

    • @Official83640
      @Official83640 24 дні тому

      Mkeo anachezea chumbani sio barabarani km huyu😂😂😂

    • @aediayumgo8546
      @aediayumgo8546 24 дні тому +1

      Muanike wadau tumuone😂

  • @naqiahmad26
    @naqiahmad26 24 дні тому +2

    huyu alikosa bikra yake mapema sana

  • @vincentmokenye4465
    @vincentmokenye4465 24 дні тому

    Hili toto ni la kiarabu sio musukuma

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 24 дні тому

      Hili toto cyo la kiarabu bro we mcheki vzur2,,wasukuma wapo weupe wengne zaidi ya huyo

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 24 дні тому

      ​@@josephkiwale374amemix atakuwa shombeshombe wew humuoni jamani😊

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 24 дні тому +1

      Shinyanga kuna mashombe wengi tu

    • @hirizonetz9558
      @hirizonetz9558 24 дні тому +1

      Shinyanga Kuna waarabu wengi wameoa wasukuma

    • @beatricejoseph2347
      @beatricejoseph2347 24 дні тому

      Wewe unaishi kwa kukariri kwani toka waarabu waingie nchini ni miaka mingapi?Usukumani kuna weupe kuliko hata huyo na kisukuma wanakiongea vzr.

  • @zedkazzooranda2393
    @zedkazzooranda2393 25 днів тому +1

    Sawa