GHARAMA ya DRONES na Mabomu ya IRAN/URUSI si Mchezo! Mchambuzi Ally ajibu Maswali ya Wana SnS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 276

  • @abdullahabdul9246
    @abdullahabdul9246 4 місяці тому +6

    Huyu jamaa Ali ni kweli anajua mambo ya kijeshi sana hongera

  • @emmanuelmmbaga5209
    @emmanuelmmbaga5209 4 місяці тому +17

    Kuwa Mchambuzi inahitaji skills na uelewa wa hali ya juu pia ufatiliaji, nakupa hongera Sana Mchambuzi... 🙏🙏✔️

    • @saidirakozi1809
      @saidirakozi1809 4 місяці тому +2

      Sasa mbona umekimbilia kucomment kabla hujamaliza video na kuelewa?

    • @emmanuelmmbaga5209
      @emmanuelmmbaga5209 4 місяці тому +1

      Huyu jamaa nimemsikiliza interview nyingi, namuelewa.... Anachambua hapendelei anaelezea hali halisi.

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 4 місяці тому +1

      Uyo jamaa yupo vizur

    • @HabibuHobohobo-py2mq
      @HabibuHobohobo-py2mq 4 місяці тому +4

      Huyu jamaa Mr ally bado sanA KWENYE uchambuz ukiulizwa unajibu totaut na ulivyo ulizwa HATA mie naweza kukuzid KWENYE kuchambua

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 4 місяці тому +2

      ​@@HabibuHobohobo-py2mqwew ndomana ya mbogo mavi wew

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td 4 місяці тому +11

    Uyumchambuzi tumemkubali wana sns tuponae💯💯 from 🇧🇮💐🌹 tuponanyi

  • @rosengandile129
    @rosengandile129 2 місяці тому

    Safi sana sky na mchambuzi yuko vizuri sana

  • @MchAlsenPaulo-dn5uz
    @MchAlsenPaulo-dn5uz 4 місяці тому +4

    Mchambuzi uko vizuri sana

  • @Kagineemmanuel
    @Kagineemmanuel 4 місяці тому +3

    Mchambuzi yuko vizuri sana

  • @musajackson3289
    @musajackson3289 4 місяці тому +3

    Kaz nzur sky ✌️

  • @user-vl8ks7ps6l
    @user-vl8ks7ps6l 4 місяці тому +2

    Big up sana ila naona mchambuzi bado hajazoea mazingira naomba haya maswali yewe kwa mara kadhaa baadae tunaenjoy kama DJ smaa 255

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 4 місяці тому +2

    Jamaa yupo vizur sana

  • @jumamasele5793
    @jumamasele5793 4 місяці тому +10

    Wa kwanza like zangu nyingiiiiiiii

  • @renatusbahatimasuguliko892
    @renatusbahatimasuguliko892 4 місяці тому +1

    jibu halijitosheleza suala la inteligencia analysis linahitaji evalutions za kina

  • @ALLYKAINE
    @ALLYKAINE 4 місяці тому

    Bado anamuda wa kujifunza, keep it up

  • @MusaMungia
    @MusaMungia 4 місяці тому

    Good story

  • @SaidiMohammed-ge5ot
    @SaidiMohammed-ge5ot 4 місяці тому

    Nimeipenda sana hii

  • @kijazi6506
    @kijazi6506 4 місяці тому +3

    kwa kuwa ni mwanzo wake kuchambua anafanya vyema, japo kuna makosa madogo mfano ameitaja KGB kama shirika la sasa la Ujasusi la Urusi, sahihi ni kuwa Shirika la sasa linaitwa FSB , hiyo KGB ilikiwa zamani enzi za Sovieti ya Urusi kabla ya kusambaratika...nampongeza anajitahidi na namshauri ajikite kwenye tafiti zaidi..

    • @joshylucas1593
      @joshylucas1593 4 місяці тому

      🫡

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 4 місяці тому

      Najua kuteleza tu.ila Nw ni FSB maana KGB ilisambaratika pamoja na ussr hongera sana mzee.

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v 4 місяці тому +1

    Big up!

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 4 місяці тому +2

    Bwana Alyl anashindwa kujibu swali

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 4 місяці тому +2

    Uingereza anayo, kama vichwa 160
    Ufaransa kama 260
    Israeli kama 60
    Korea kama 20
    India kama 120
    Pakstan kama 80
    China kama 360
    Usa kama 5600
    Urusi kama 6600

  • @StamMagessa-uo3hk
    @StamMagessa-uo3hk 2 місяці тому

    Naomba kujuwa tanzania ina denge ya kisasa ya kivita
    Na ina dron ya kisasa

  • @paulvimbamvula9508
    @paulvimbamvula9508 4 місяці тому

    Uk is a millitary nueclea power

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 Місяць тому

    Israel alipigwa vizuri tu sema mitandao niyao

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 3 місяці тому

    Ndiyo maana mimi kuwa nawambia achana na uongo huu utakuja siku moja kuimaliza iran na washirika wake wote

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 3 місяці тому

    Israle alijibu kitu gan ..

  • @user-gw8wv2zf2g
    @user-gw8wv2zf2g 4 місяці тому +1

    Mwamba kama swali la kwanza kama ame kick around the bush iv

  • @Hakunamatata_shop
    @Hakunamatata_shop 4 місяці тому +3

    kaka sky mtafute jamaa anaitwa @suleimani chanzi anajua haya mambo mpaka anakera hutojuta kumialika

  • @ngugimundia6306
    @ngugimundia6306 4 місяці тому +1

    Mosad walijua lakini waliruhusu hamas ili kupata sababu ya kuanzisha vita na washirika wake iran ambapo iran 🇮🇷 aliifahamu ujanja wa Israel kaamua kuchezea ngoma pembeni...si moja kwa moja....

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 4 місяці тому +1

    Iran ata akinunua ila haend kununua nyingi ye anaend kuchukua sample watengenez zao ima ziwe kama hiz za Russia au waziongezee ubora...Nuklia zipo san ktj nchi nchi sema wengi ni sir...Iran ananyuklia zakutosha na hakun nchi inapend san kuexpose silaha zake...Mf; Tanzania unawez ona vifaru vya hovy ila cku vita ikitokea ukashangaa ipo hivy

  • @shaibmakalle6140
    @shaibmakalle6140 4 місяці тому +2

    Mchambuzi hajui kujibu maswali ,anajibu tofauti. Tafuta mchambuzi mwenyeweled, unamaliza mb zetu.

    • @wazirmsuya8337
      @wazirmsuya8337 4 місяці тому

      Kweli kabisa... Kombola kama Noah. Huyu anatulia data

  • @MasangulaGoa
    @MasangulaGoa 4 місяці тому +1

    Sio kweli mchambuzi hajui kitu kabisa

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 4 місяці тому

      Hiyo alio ongea hapo ni knownlegde ya Google,website na taarifa za habari. hakuna kitu chochocte special hapo. ila ukiwa hujui chochocte(maamuma) utahisi jamaa yuko Nondo na ametema madini. anaweza kuwa nondo ila hajaongea content zozote za maana ambazo me ningeshindwa kuzipata within a one night. awangalie watu kama jamal april. hayo mambo unahitaji kuyachimba kwa undani kabis kadri ya utakavyo weza(Mambo ya jeshi ni yana usiri mkubwa) kama kwenye anataka kuwa nguli

  • @lifeuptv6353
    @lifeuptv6353 4 місяці тому

    Congratulations ❤

  • @SuwediJuma-jo1hw
    @SuwediJuma-jo1hw 4 місяці тому

    Mm nauliza ama nashauri tujifunzeni na sisi watanzania jinsi ya kutengeneza makombora mbona huyo ali anaonekana anaweza sana

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 4 місяці тому

    Mchambuzi uko vizuri sana Bro ila ujue ni janja janja ina tumika ila Marekani na Esrael ni Nchimoja

  • @JamesIbrahim-el4zw
    @JamesIbrahim-el4zw 4 місяці тому

    Good

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 Місяць тому

    Kwahiyo Israel imekuaminisha kuwa %90walipangua eeeh 😂😂😂😂bro endelea kusoma

  • @bajosdamour2347
    @bajosdamour2347 4 місяці тому +1

    Dj Smaa Mungu Amjalie arudi tu maana huyu jamaa namsikiliza sna ila simuelewi kbsa sorry Guys

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 4 місяці тому +1

      Japokuwa wengi wamempongeza lkn kwa mtazamo wangu ni mchambuzi wa kiasi tu

    • @FastpayMauzo
      @FastpayMauzo 4 місяці тому +1

      Chambua wewe kama unaona rahis kenge wewe

    • @bajosdamour2347
      @bajosdamour2347 4 місяці тому

      @@salimali-rf9er there are so many negative and positive comments about him.
      So mim nimesema ninavyojiskia

    • @bajosdamour2347
      @bajosdamour2347 4 місяці тому

      @@FastpayMauzo I'm sorry to offend you bro🙏

    • @KassimSalumu-fk6yk
      @KassimSalumu-fk6yk 4 місяці тому

      Bila shaka

  • @al-qudrashabani237
    @al-qudrashabani237 4 місяці тому

    Mchambuzi anahitaji kua deep sana kwenye world politics pia hajajibu swali

  • @ramadhanimtozeni8030
    @ramadhanimtozeni8030 4 місяці тому +1

    Ali, UK miaka mingi ni Nuclear Power.
    Nuclear powers ni kama ifuatavyo:-
    1. RUSSIA
    2. USA
    3. CHINA
    4. UK
    4. FRANCE
    5. INDIA
    6. NORTH KOREA
    7. PAKISTAN
    Hizo ni rasmi zinaniliki silaha za Nuclear na nchi zingine zinazodhaniwa kumiliki Nuclear ni Israel na Iran

  • @ezekielphilemon7343
    @ezekielphilemon7343 4 місяці тому

    Mchqmbuzi mzuri sana

  • @lidyasulley2155
    @lidyasulley2155 4 місяці тому

    Yes uingereza anamiliki nyukilia na nimoja ya nchi zilizokuwa za kwanza kumiliki nyukilia akiwemo marekan na rusia

  • @KurusumuMatola
    @KurusumuMatola 4 місяці тому

    Kwel kabisa tuliona makombora lakin yakiingia isiraiel lakin isiraile hawajalipot

  • @mkulimatanzania
    @mkulimatanzania 4 місяці тому +1

    Ijulikane kuwa Hamasi ilianzishwa na Israel, nyumba za walowezi walizojenga Israel ni wamewaweka wapalestina wa Gaza wanaowaunga mkono ambao ndio puppets wao. Vita vyao ni very complicated sanaa

  • @saitotibuchali7370
    @saitotibuchali7370 4 місяці тому

    SKY naomba utengeneze Documentary inayohusu Vyombo vya intelligence by Combined

  • @habarizausa6192
    @habarizausa6192 4 місяці тому

    27:00

  • @kassim1262
    @kassim1262 4 місяці тому

    Mataifa makubwa yanatengeneza hdi satalait ili kufanyiana uchunguzi wsilaha kwenye nchi nyengine hio inamanisha kwmb silaha nikitu chasiri sana kwenye nchi kubwa zilizoendelea lkn wchambuzi km nyinyi munaleta hbr zkijujuu tu ukweli hmuezi kuujua kuhusu ulinzi nasilaha kamili zinazomilikiw musitupeleke mbio

  • @user-pq6vz3ws4f
    @user-pq6vz3ws4f 3 місяці тому

    Mbona tu burn utumizy WA drone na vikeazo sana' kwautumizy ea nicler weapons.

  • @JonasFrancis-mf1rk
    @JonasFrancis-mf1rk 4 місяці тому

    😮❤❤❤❤

  • @user-pi3vj5sn3l
    @user-pi3vj5sn3l 4 місяці тому

    Naitwa Ali salim makame nauliza swali hivi kunamikakati gani kwa palestina kupewa taifa lao

  • @AsiliyetuKwanza099
    @AsiliyetuKwanza099 4 місяці тому

    Nafikili Iran huijui vizuri ndiyo maana unakwepa maswali

  • @vistoryvistory5908
    @vistoryvistory5908 4 місяці тому

    Tuonyeshe hayo magari yaliokuwa yakibeba hela kutoka Qatar munaichikiya Qatar kisa ni waislamtu

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 4 місяці тому

    ❤❤

  • @user-sf7by1cr5h
    @user-sf7by1cr5h 4 місяці тому

    Mm naitwa Saleh nipo znz nauliza hivi iran haina mifumo ya ulinzi?

  • @husseintuwa4521
    @husseintuwa4521 4 місяці тому

    Huyo mchambuzi alivyojibu swali la kwanza sivyo kabisa! Umejibu sivyo

  • @ShafiiIsmail-zk9lq
    @ShafiiIsmail-zk9lq 4 місяці тому

    Good I'm 3

  • @XxhamxyyxShha
    @XxhamxyyxShha 4 місяці тому

    Sky.. huyo jamaa mpe pending kwanza manake sahivi aeleweki

  • @shafiihussein4753
    @shafiihussein4753 4 місяці тому

    Nikweli tunaweza kuwekeza kwenye eilim lakini tusitoboe kwenye hizo technology maana hazisomeshwi ovyo chuo, bali wanachaguwa wanafunzi na kwa malengo ya nchi, mfno Iran na Urusi wanashare technoloy nyetti km hiz, na kwenye vyuo vyao kwenye kusoma hizo techology akienda mtz ataishia kusoma vitabu namatheory kibao, miaka minne tano inaisha anaambiw umemaliza nenda kwenu, hili ni jambo kweli lakielimu lakin lakimkakati na kisiasa pia, kuwa km nchi mko nanani kisiasa? Km kenya tunawaona wako wazi kua nikambi ya america so wanaeza kupenya ila Tz msimamo wakutokua upande wwte utatutafuna sanaaaaa, tuqche uoga siasa ya dunia ina kambi tuchagur kambi

  • @user-tg8sp6ql6v
    @user-tg8sp6ql6v 4 місяці тому

    Oyaa ISRAEL bado nmoto mstiane moyo wakuu

  • @user-pq6vz3ws4f
    @user-pq6vz3ws4f 3 місяці тому

    Bona inao yesha Gaza nimahily palipo ndani ya israely vip phalestine wanadrma nikwao?

  • @zuricakes6817
    @zuricakes6817 4 місяці тому

    Ni kweli kabisa teknolojia ya ulinzi ya Israeli iko vizuri sana. Makombora hayaleti madhara ndani ya Israeli. Waisraeli hizi vita na Gaza na Irani wanaziona kwenye TV na social media kama sisi wengine. Mcheki dada mmoja Mkenya UA-camr anaishi Israel anaitwa 'CoolKenyan Inisrael', yaani ndani ya Israeli hakuna kilichobalika, watoto wanaenda shule, watu makazini, shughuli za maisha ziko kama kawaida.

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 4 місяці тому

      muongo wewe

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 4 місяці тому

      @@nizarrama225 nenda kwa Cool Kenyan in Israel hapa kwenye UA-cam ukajionee. Ndio utajua kama muongo au mkweli. 😁

  • @zakariaabdalla-uo3nk
    @zakariaabdalla-uo3nk 21 день тому

    Mwana fuse ndonajua kuchambua gaza na hamas

  • @ZuberyMdemu-fx8kd
    @ZuberyMdemu-fx8kd 4 місяці тому

    Huyo hamna k2

  • @husseintuwa4521
    @husseintuwa4521 4 місяці тому

    Mulizaji kauliza kuhusu gaza na sio iran

  • @gharibjamma7740
    @gharibjamma7740 4 місяці тому

    UK wanazo nyuklia Kwa miaka mingi sana

  • @IddySkenke
    @IddySkenke 4 місяці тому +1

    Mbona anaongea sana jibu bado kwanini hawakujua?

  • @hajinachembe4310
    @hajinachembe4310 4 місяці тому

    Swali langu halikupata nafasi kwenye sections answered ilipita ila nadhani naweza kupata majibu ya lile lile Swali langu la awali kwenye another sections answered,, niliuliza hivii,, kuna uwezekano wa hizi ndege za kimarekani za kivita za chapa ya F-16 na F-35 kutunguliwaa?

  • @jumadaima1833
    @jumadaima1833 4 місяці тому

    Ndugu zangu, nipo Moçambique, iran ilipiga vituo 2 vya kijesh vya Israel.

  • @msovietymsoviety3646
    @msovietymsoviety3646 4 місяці тому

    Ukitaka kujua unajua kitu ni lazima kwanza unaemuelezea kitu hicho akifaham ama akuelewe vzuri ndo utajua kwamba unajua hicho kitu ama umepata uelewa wake vzuri ..

  • @MdathiruMahamudu
    @MdathiruMahamudu 4 місяці тому

    mnajua kuchambua habari wanasns

  • @noelgypsum
    @noelgypsum 4 місяці тому

    Israel hawaongei Kiebrania, wanaongea Aramaic, kiebrania ni lugha iliyokufa.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 4 місяці тому

    Iko hivi waizraeli hutumia ndege za kivita kupiga masafa mafupi kilometers 20 hanas hurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya kilometers 50 na kuendelea na hutumia gorola war mtu moja abaweza leta kizaa kundi kubwa la kijeshi la lzrael kutumia missile hiyo lmewapelekea ldf jeshi la lzrael kuwa ktk wakati mgumu sababu za kitekenolojia za silaa za lran

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 місяці тому

    ✌️👊👍.

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 місяці тому

    Ayo 3500

  • @user-iz1er8vg7u
    @user-iz1er8vg7u 4 місяці тому

    Mwenye kujibu ajitambui

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 4 місяці тому

    MASHAMBULIZI YA IRAN YALIFANIKIWA VIZURI NA HABARI ZINASEMA KAMBI MBILI ZA KIJESHI ZA ISRAEL ZILIANGAMIZWA

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 4 місяці тому

    SIAMINI KAMA IRANI HANA NYUCLIA HATTAKIDOGO.

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc 4 місяці тому +1

    Huyu jamaa simwelewi

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 місяці тому

    Yanadunguliwa ya kawaida

  • @user-xe1uq5gt2i
    @user-xe1uq5gt2i 4 місяці тому

    Mimi nauliza kwann mashambuliz walifanya usiku hats urusi mara nyingi kufanya kurusha makombora usiku sababu nini

  • @diamondkaigili1291
    @diamondkaigili1291 4 місяці тому

    Kombola 300 afu uyu ally anadai Iran alikuwa tu anaonjesha , mi naona alikuwa anaifuta israel

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda 4 місяці тому

    Sawa Ally mchambuzi mzuri

  • @paulvimbamvula9508
    @paulvimbamvula9508 4 місяці тому

    Mossad ilijuwa kabsa,na israel ilipata sababu yakwanza iyi vita

  • @danieljoseph7120
    @danieljoseph7120 4 місяці тому

    Mwana anakula tuki

  • @murtazantimba4270
    @murtazantimba4270 4 місяці тому

    Cruise ni makombora yanayo yurushwa kutoka bahari kwenye meli za kivita

  • @KAIPAAA3211
    @KAIPAAA3211 4 місяці тому

    Hapo wayahudi sio hao wayahudi wapo Africa wote, hao sio

  • @saphinamirambo8171
    @saphinamirambo8171 4 місяці тому

    Naomba nijue izo ela anazotoa katal araf islaer anamperekea Hamas inakuwaje na Hawa maadui?

  • @givenhappy__bu1
    @givenhappy__bu1 4 місяці тому

    Kama Russia ananunua ma Boom kwa Iran jee Russia anaweza kushinda vita kwa mu Israel

  • @JuniorJunior-lf2qj
    @JuniorJunior-lf2qj 4 місяці тому +2

    Uyo bro ajuwi mchambuzi mubovu sana

  • @michaelkyando9131
    @michaelkyando9131 4 місяці тому +1

    Makombara 300 si kajalibu apo alipania

  • @user-xe1uq5gt2i
    @user-xe1uq5gt2i 4 місяці тому

    Kwann Kwann mashambuliz ya anga wanafanya Misa ya usiku

    • @oswaldtemba2770
      @oswaldtemba2770 4 місяці тому

      Kupunguza vifo.mchana wary wako.kwenye pilika

  • @emmanuelerasto6689
    @emmanuelerasto6689 4 місяці тому

    Mchambuzi badooo sana sana hana ujuzi na weledi wa siasa za kimataifa amtafute yeriko nyerere kwanza kablaa hajajaa kwenye kipindi apoo

  • @shaurimtanda8285
    @shaurimtanda8285 4 місяці тому

    mchambuzi anakuja vizuri ila ajifunze kwangu apate madin ya kutosha kuhusu hao ,MOSSAD,FSB,M16, CIA

  • @AsiliyetuKwanza099
    @AsiliyetuKwanza099 4 місяці тому

    Omba msaada tukusaidie

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 4 місяці тому

    Pia nataka kujua hii maana Arsenal katika mambo ya vita mana nimesikia unaongelea arsenal

  • @medsonmitarambo1007
    @medsonmitarambo1007 4 місяці тому

    Mchambuzi namba 2 naona hana uwezo wa kudadavua mambo. Simple question kwanini pamoja na ujuzi wao mkubwa hawakuweza kufanikiwa kuzuia mashambulizi. Nilitegemea aseme ama Israel ni wazuri kwa vita ya anga na majini kuliko vita ya ardhini pengine ndo maana walipenya mpaka

  • @makameniga9566
    @makameniga9566 4 місяці тому

    Urusi kawezaje kukwepa vikwazo zaidi ya 1000?
    Na bado uchumi wake unakuwa badala ya kushuka?

  • @Haru-rn1xy
    @Haru-rn1xy 4 місяці тому

    Huyu anae jibu mashwali Hana uwezo Huo aende shule kwanza

  • @davidnkya3557
    @davidnkya3557 4 місяці тому

    Nimewakubali sana wakubwa

  • @JuniorJunior-lf2qj
    @JuniorJunior-lf2qj 4 місяці тому +2

    Sky uyo mchambuzi wapi mubuvu sanaa, hajuwi

    • @abelmbilinyi1262
      @abelmbilinyi1262 4 місяці тому

      Mubuvu ndio nn , haupo serious ww umeandika nn tuanzie hapo , haupo serious boss (mubuvu😅) umeamka zako ata ujala unafika kucoment pumba

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 4 місяці тому

      Shida Unataka achambue unacho kijua wew

  • @amanitarimo2026
    @amanitarimo2026 4 місяці тому

    Israel huwa haibebi fedha kuipekea HAMAS.
    Anachofanya Israel ni ku- control mfumo wa fedha wa Ghaza na Palestina yote.

  • @allymo_pro
    @allymo_pro 4 місяці тому

    Me ninauliza swali kati ya Russia na American nani alioanza kumiliki nuclear mwanzo 🤷

  • @user-gp1hi7sw5k
    @user-gp1hi7sw5k 4 місяці тому

    Munazungumza kizungu kingi sana hadi kelo