RAIS WA MALAWI ALIYEFARIKI TANGU 1994 'ANAISHI KISHUA'?/UMEME HAUJAWAHI KUKATIKA KABURINI KWAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Kamuzubanda #Malawi #Nyasabigbullets

КОМЕНТАРІ • 147

  • @ErickChrispin
    @ErickChrispin 2 роки тому +20

    Mtangazaji umefanya kazi nzuri sana, hongera mnoo

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 2 роки тому +10

    Makala nzuri sana, mtangazaji umeitendea haki hii makala

  • @sultanamour8501
    @sultanamour8501 2 роки тому +22

    Tunaishi kwenye dunia ambayo wafu wanaishi katika majumba mazuri lakini maskini ya Mungu ambao ni wazima wanaishi katika vibanda vya nyasi

  • @brandsmedia4861
    @brandsmedia4861 2 роки тому +6

    Safi sana, Mtangazaji umeweka maneno vyema

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 роки тому +8

    Nic story you work had

  • @amirikoshuma6022
    @amirikoshuma6022 2 роки тому +6

    Broo respect

  • @MosesMsomba-jp7zq
    @MosesMsomba-jp7zq 5 місяців тому

    Hongera xana boss

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 2 роки тому +13

    Asante mtangazaji kuna baadhi ya viongozi wanajuwa waitaishi milele kwa aliyofanyia binaadam wenzie kuwauwa bila hati Mwenyeezi Mungu ndie anae juwa hukumu yake unajuwa ukiwatesa sana watu lazima wakuombee mabayaa au ufe yote kwa yote tunamshukuru Rais wetu hayat Mwl Julias Kambarage Nyerere kwa kuitetea nchi angekuwa mzembe Tanzania ingekuwa ndogo sana alipambana sana kila aliyekuwa anataka kuimega nchi

  • @mjukuuumachoz1599
    @mjukuuumachoz1599 2 роки тому +10

    Mtangazaji unajua mpk unajua Tena kongole brother 👊

  • @aloysfussi3900
    @aloysfussi3900 2 роки тому +5

    Nice

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 2 роки тому +7

    My boy😃😂😃

  • @wilsonchishomi1083
    @wilsonchishomi1083 2 роки тому +9

    Africans yaani jitu limewatesa na kuwaua bado wanalijengea kaburi zuri.. waafrika macho yetu yafunguke

  • @suntzu8959
    @suntzu8959 2 роки тому +5

    I have been at this place

  • @tonymaster3619
    @tonymaster3619 Рік тому

    Hatareeeeee huyo mzee

  • @luckyngumbi4243
    @luckyngumbi4243 2 роки тому +3

    Huo mjengo ulipaswa kwahuku tz🇹🇿 ajengewe kipenzi magufuli

    • @mahamoudduchi3318
      @mahamoudduchi3318 2 роки тому

      Halafu iweje??? kabrii linajengwa kwa matendo mema na ucha mungu tu ayo mapambo hayasaidii chochote ndugu yangu.

  • @aishamatangamatangamatanga1344
    @aishamatangamatangamatanga1344 2 роки тому +1

    Daaah

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 2 роки тому +4

    Hatali sana aisee afrika watawala niwabinafs sana

  • @brightbautbright8028
    @brightbautbright8028 2 роки тому

    Safi sana

  • @salehaliy7198
    @salehaliy7198 2 роки тому +3

    Akachezewe vizuri huko aliko

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 2 роки тому

    asante sana kaka kwa muda wako na kutuletea habari ambazo tulikuwa hatuzijui...Ubarikiwe sana..ila humu duniani kuna watu wengine wamekufa lkn bado wana enjoy maisha...very beatiful place..mm nilidhani kanisa...lkn sio mbaya ni kivutio kwa watalii pia...kaka nenda Zimbabwe utuletee taharifa za mugabe na mahali alipozikwa...maana hawa wote historia zao zinafanana...
    madaktari wa Queen waliominywa mmmh nani iiii... naogopa kusema

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 2 роки тому +4

    Niko hapa ujerumani na nzi zipogo tu hasa summer season ..nashangaa eti kashangaa lugha yake mmmh unaanzaje

  • @g_forcemusician4242
    @g_forcemusician4242 2 роки тому +6

    Huyu alikuwa muhuni tu tena siyo m.malawi ni mu ghana.walipipigwa nyundo

    • @elwinluwe4631
      @elwinluwe4631 2 роки тому

      Mmalawi pure. Watu walikuwa wanazusha tu kwasababu aliishi sana nje na alisoma sana

  • @ulaweboy9826
    @ulaweboy9826 2 роки тому +12

    Uyo rais alikuwa mshenzi aliuwa watu Sana na pia alikufa bila mke

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 2 роки тому +5

      Walimfanyia kitu mbaya Waingereza kwenye mfumo wake wa uzazi😂😂, maana alikua daktari hodari

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 роки тому +1

      Alikuwa ni mchawi hatari

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 2 роки тому +1

      @@TM.Sullusi walimfanyaje 😂😂😂😂😂 walimfinya pumbu nini

    • @bintysele6999
      @bintysele6999 2 роки тому +2

      Atari babu alikimbia uwo utawala najua Tanzania 😭😭😭 nchi ya aman

  • @isaacsengunda3099
    @isaacsengunda3099 2 роки тому +13

    Mimi nikiwa kijijini kwetu,miaka ya 1980 hadi miaka ya 1989 nilishuhudia watanzania wakitakiwa kua na kadi za ccm ili kupata huduma mbalimbali za kiserikali,na ilikua ni lazima uwe mwanachama wa ccm ili uhudumiwe vizuri,kwahio hata ubinafsi unaoendelea kwa watawala wa tz,ni matunda yaliostawishwa na ccm.

    • @dottoamos2902
      @dottoamos2902 2 роки тому +1

      Ilikuwa upinzani bado was vyama vya siasa kipindi inco

    • @lucasmhagama8166
      @lucasmhagama8166 2 роки тому +1

      Tanzania ilikuwa na Chama kimoja tu CCM so zamani ilikuwa kama sheria ni kama kuwa na kitambulisho Cha NIDA sasa

    • @dottoamos2902
      @dottoamos2902 2 роки тому +1

      @@lucasmhagama8166 kweli ilikuwa hamna upinzani kipindi incho

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому +4

    Haya yapo afrika tu huwezi kuta ulaya wanachezea pesa kujenga makaburi

  • @maddybongo
    @maddybongo 2 роки тому

    #Somba umetisha mwanangu kwenye hii simulizi. ukishawahi kumuhoji MH. JK kwake Msoga

  • @kassimmustapha456
    @kassimmustapha456 2 роки тому +3

    Kamuzu banda alikua ajui lugha yoyote ya Malawi ajua English tu ni wa kutoka Ghana kapewa zawadi na queen Elizabeth

  • @kingschannelvoiceofjustice6255
    @kingschannelvoiceofjustice6255 2 роки тому

    Hiyo habari nzuri kweli.

  • @dottoamos2902
    @dottoamos2902 2 роки тому +6

    Naukubali Sana natamani namimi nije nione

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 роки тому +6

    Same as Tanu party during Nyerere

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 2 роки тому +3

    Napafahamu hapo....
    Ila ukifa hakuna kuishi kishuwa
    Kufa ni kufa tu hata ujengewe kabuki la ghorofa 100 juu

  • @dottoamos2902
    @dottoamos2902 2 роки тому +6

    Ngoja nisablakilabu

  • @omarymakota8252
    @omarymakota8252 2 роки тому +5

    Somba Ni samaki kwa kwetu uku Zambia Ila hongera Sana somba

    • @khadijajacobo4660
      @khadijajacobo4660 2 роки тому +1

      Na kota ni zile nyumba za kupanga ndogo ndogo huku kwetu Tanzania 😂😂😂😂

    • @omarymakota8252
      @omarymakota8252 2 роки тому +1

      @@khadijajacobo4660 🤣🤣🤣 umenishinda

    • @faustinpesambili7085
      @faustinpesambili7085 2 роки тому +1

      Wamuyaya yaani wamilele

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 2 роки тому

      Hata kwetu Makete somba ni samaki tena zikitokea ziwa Nyasa na ni tamu kweli.

    • @omarymakota8252
      @omarymakota8252 2 роки тому

      @@dicksonkilupa2258 🤣🤣🤣 uwongoooo

  • @sefoadelino6684
    @sefoadelino6684 2 роки тому +2

    Masikini... Alikua mtana shati, lakini leo yuko chini uchafu huo huo

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому +5

    Ingekuwa ukiua mtu unaishi milele watawala wengi wasingekufa, yafaa nini kuuwa watu then nawe unakufa

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому +1

    Pamoja na fahari zote lakini kaishia kuzimu

  • @nyotaphina8167
    @nyotaphina8167 2 роки тому +9

    Kwa historia yake hakupaswa kupoteza vitu vya thamani kumjengea hivyo. Mmeviharibu bure vingetumika kwa watu waadilifu. Ni kama kupuliza perfume jalalalani ukitaka linukie.

  • @francisrobert9652
    @francisrobert9652 2 роки тому

    safi sana somba

  • @ramazonejohnson2831
    @ramazonejohnson2831 2 роки тому +1

    Maajabu haya

  • @silengombanga7817
    @silengombanga7817 2 роки тому +4

    Duuuuuuuuuh hii yenyewe na limekula gharama kubwa

  • @benedictmwambanga9544
    @benedictmwambanga9544 2 роки тому

    But nimesikia kuwa hajawai kuwa na mke !?
    Kama ume sikia kama Mimi nipe kongole 👍👍👍

  • @osssimohamed2483
    @osssimohamed2483 2 роки тому +1

    Siri ya Huko aliko aijua yeye mwenyewe. Adhabu za mungu ni kali zinatisha

  • @rosemuniu1171
    @rosemuniu1171 2 роки тому +2

    Alikuwa wa mansion

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 роки тому

    Huyo aliyetengeza kaburi ali haribu pesa za nchi maana hakuwa kiongozi mzuri

  • @sekedonelson4760
    @sekedonelson4760 2 роки тому

    Somba unajua sana, kazi ya kiwango hii..

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 2 місяці тому

    tupe historia ya Rais Jomo Kenyatta wa Kenya tafadhali tunaomba Kolumba

  • @abdallahmwinyi2106
    @abdallahmwinyi2106 2 роки тому

    elimu mzuri

  • @zainabmahmoud5501
    @zainabmahmoud5501 2 роки тому +11

    Ok ndoma na kwetu z'bar hii sera ya kama huna kadi ya chama tawala hupati kazi serekalini kumbe wamechukua malawi kwa huyu mjeda du!

  • @gilbertonindo1135
    @gilbertonindo1135 Рік тому

    Sasa maana gani ya kua na iyo Mali yote na huna bibi, watoto ,kuumiza tu raiya wenzako weusi

  • @fahimbakari5104
    @fahimbakari5104 2 роки тому

    Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuun,Jamaa alikuwa aaswi kwelikweli

  • @mariamushemazunde4369
    @mariamushemazunde4369 2 роки тому +1

    Tufanye ibada

  • @hamisihashimhusseinhussein6465

    Nazarethmwandi

  • @malengamsombwa3115
    @malengamsombwa3115 2 роки тому

    Pamoja na ubabe na ukatili yuko chini ya udongo sasa, viongozi acheni ukatili maana sote tu wapitaji akuna mbabe mbele ya kifo

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 2 роки тому +2

    Pumbavu,tangazo

  • @kurwak.m3875
    @kurwak.m3875 2 роки тому

    Mbona Wamekosea miaka ya Kuzaliwa,,?

  • @bettympaka767
    @bettympaka767 2 роки тому +1

    All is vanity,hawezi amka ata kwa hizo garama zote

  • @daytonantwale8175
    @daytonantwale8175 2 роки тому

    Huyu mzee arikuwa katili sana alikuwa akija kwenye mikutano wananchi wote walitakiwa kukaa chini hakuna kusimama

  • @saidkanji9882
    @saidkanji9882 2 роки тому

    Matumizi mabaya ya. Fe

  • @saidmlemeta8083
    @saidmlemeta8083 2 роки тому +1

    Izo ndo tunataka hbr kama izi

  • @festongonyani152
    @festongonyani152 2 роки тому

    Lakini ndiyo keshakufa Yote hayo hayana Maana

  • @khadhiriramadhan5984
    @khadhiriramadhan5984 2 роки тому +1

    KAmuzu alijifanya mudhungu akasahau alipotoka

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 роки тому

    Watu walio hai wanaushi kwenye vibanda marehemu wanamlaza sehemu nzuri ya kishua😏😏😏😏

  • @shidavis5029
    @shidavis5029 2 роки тому

    Huyo sio mtu wa kukumbukwa, hiyo kaburi inatakiwa kumbomolewa na kusahaulika.

  • @marrymenas
    @marrymenas 2 роки тому

    Hee! Nimeogopa ulivoingiza huo mkono hapo kwenye nondo kutuonesha alipalala Simba wa Malawi. Mara ghafla usikie unavutwa kwa ndani, mamaaaaa...🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @hamisihashimhusseinhussein6465

    Nazl

  • @medardnhungwa685
    @medardnhungwa685 2 роки тому +4

    somba hiyo!

  • @vidmore2180
    @vidmore2180 2 роки тому

    I don't understand Swahili very well but I tried to Google translator for the comments to my surprise everyone is negative about him, that's very wrong. He was way better than you are thinking about him and so developmental than any of the president malawi has ever have

  • @kefajoseph158
    @kefajoseph158 2 роки тому +10

    Waliokuwa wanamlinda waliokuwa wajinga

  • @AllyAwadh-m3c
    @AllyAwadh-m3c 7 місяців тому

    Sasa hayo yote yanamasidia nn?kama hakuwa na matendo mama imekula kwakwe,harafu chakushaza wamemuwekea umeme juu ya kaburi vp khs ndani ya kabuli?wakristo bwana akili zao ni ndogo sana wanahisi kwakufanya hivyo labda ndio itamsaidia.

  • @christinenthambi4028
    @christinenthambi4028 2 роки тому

    Kube c Kenya pekee Raise wa kwanza Jakawai zikwa ! From 1978 now 2022

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому +1

    Yafaa nini SAsa hizo pesa si wangenunulia matreka tu

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 2 роки тому

    Eti unaupiga mwingi😂😂 kwahiyo hizi ni kauli za watu machawa

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому +1

    Madikteta wote walikuwa washirikina

  • @yakobolusasu1821
    @yakobolusasu1821 2 роки тому

    Sasa huyu c alikuwa Malaya tu kashidwa kuwa na mke kisa umalaya wake

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 Рік тому

    HUYU ANGETUPWA KAMA TUNAVYOTUPWA WENGINE HAKUFAA KUJENGEWA HIVI KABISA🤣🤣

  • @mr.dbenchannel727
    @mr.dbenchannel727 2 роки тому +1

    Dah huyu mwamba alikua adiko yaan hajawai kung'oa demu

    • @sharifuamuri4638
      @sharifuamuri4638 2 роки тому

      Alikuwa anagonga ila udikiteta ndo ulikuwa unamsumbua

  • @aash4145
    @aash4145 2 роки тому

    Yan kwakwel,,, tajir mfu anaish ktk jengo lakifahar,,,,, lililotumia garama kubwa, lakin maskin anaish ktk kibanda kilichoezekewa nyas,,,, nakimachovuja,,,

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому

    Unaua binadamu wenzio kisha na wewe unakufa inasaidia nini, thus watawala wa kiafrica wapo kuzimu, Hakuna aliyeenda mbinguni hata mmoja, sababu wananuka damu za watu

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому

    Wengi wao wanakuwa ni wachawi thus wanaua watu

  • @yohanalundo5192
    @yohanalundo5192 2 роки тому

    Aise uliendaje huko

  • @sharifarashid4463
    @sharifarashid4463 2 роки тому

    ☝️❤️❤️♥️😂😂

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому

    Maisha ya duniani si zaidi ya kula na kunywa

  • @grande9657
    @grande9657 2 роки тому

    Hawa ndio watangazaji sasa

  • @valentinochaffu1421
    @valentinochaffu1421 2 роки тому

    Hakuna nafsi ambayo Haitaonja Mauti

  • @onesmomasala-rg2wd
    @onesmomasala-rg2wd 9 місяців тому

    Haha kaburi TU wanaxhea pesa

  • @sandinaadrian2837
    @sandinaadrian2837 2 роки тому

    Bado tu kufufuka mbona

  • @alisuleiman8110
    @alisuleiman8110 2 роки тому

    dictator huyo

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani5432 2 роки тому

    Yote no ubatiri mtupu Yuko wapi sasa

  • @kushkabulika4074
    @kushkabulika4074 2 роки тому

    Huyu Ali kuwa sio malawi mbwa kabisa

  • @babianliza
    @babianliza 2 роки тому

    Dunia ina mambo ndugu mabwenyenye hayo ndio yamekalipia nchi ziingine cha muhimu ni mungu tu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 роки тому

    Saf Sana somba

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 2 роки тому

    Mbona unaongea uku unakunja sura

  • @meyotamphirii9439
    @meyotamphirii9439 2 роки тому

    Yani mupaka leo tunamu kumbuka san

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 2 роки тому

    Kamuzu kafa mwaka gani unasema??1994???

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому +5

    Mugabe, banda, savimbi, hawa ni waafrika wapumbavu walifanya mambo kama awajakwenda shule. Walitumia vibaya Sana elimu zao kuzibomoa nchi zao.

    • @sadih5333
      @sadih5333 2 роки тому

      Umesahau mmoja kikulacho

    • @bazilkisibo5811
      @bazilkisibo5811 2 роки тому

      Wewe acha kumuingiza Mugabe kwenye uozo wako huo

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 роки тому +1

      @@bazilkisibo5811 kipi cha maana alichofanya kwa elimu yake, zaidi ya kuubomoa uchumi wa nchi yake. Wapigania UHURU walipigania maslai yao binafsi na sio maslai ya waafrika wote thus wao ni matajiri waafrika ni masikini.

  • @grande9657
    @grande9657 2 роки тому

    Viongozi wa kiaafrika balaa tu

  • @EzekielyMnyama
    @EzekielyMnyama Місяць тому

    Julian ngus

  • @sadih5333
    @sadih5333 2 роки тому +2

    Tunavyo ona maraisi wa wenzetu na wa kwetu wanaonekana hivyo hivyo , tulikua tunakaa foleni ya unga wa muhogo nili tupwa lockup kwa kuonekana na sabuni moja ya Lux niliyo pewa zawadi.

  • @josephlucas5798
    @josephlucas5798 2 роки тому

    Umenikosha mkuu mwaka 2014 nilitembelea hapa Hakika haujakosea

  • @hamisihashimhusseinhussein6465

    Nazarethmwandi