@@starmz428swala la muda kivipi ? Kama anajua kweli historia angelitambua kua hayo mataifa ya ulaya magharibi ndo Roman empire na lazima Roman empire irudishe utawala wake na utawala tena Dunia na urusi atatawaliwa ,
Mwache tu aende Urusi. Lkn ajue tu kwamba Urusi wana vyombo hatari kwelikweli vya kumchunguza mtu pasipo huyu mtu kujua kitu. Ni hatari sana kwake kama atakuwa ni mpelelezi. Lkn sidhani kwasababu watoto wake wapo hapahapa Urusi. Ngoja tuone.
Bdo wanatagawanyika sana manyang'au maana wao ndio madikteta kila kitu wanajifanya wanajua na tamaa nyingi kuleta matatizo na ushetani muda wao umefika upo sahihi Dj Sma
Laiti ningekuwa RAISI basi smaa ningemuweka mshauri wangu mkuu na ally ningemuweka kuwa mtu viwanda na technojia pia Henry ningemuweka kuwa mtu wa diplomasia
Wabongo wengi akili kisoda unawezaje kuamini kirahisi hivi😏 je kama ni jasusi na.nimpango wa serikali ya wa ujerumani😡 huyu smaa wenu akiri za watu weupe zilisha mshinda kitambo🙆 anachambua kwa mihemko sana 🤜🤛 alafu kuna kiazi atakuja kubweka hapa
Wametunyonya sana imetosha kwasasa tumekubali kufanya biashara na inchi za mangalibi ila wao hawataki kama walikomesha biashara ya watumwa bc wakubali na Hiro walikomeshe
Wewe mtu wa chini umegundua ,je hao ambao ni makini na hawana masikhara na mambo yao.... Huyo hafurukuti kule kufanya chochote zaidi ni kutulia na maisha yake.
Jamini kweli dj sma ana pendeleaga urusi ona alivyo taka kutetea hata hillo. Ukweli ni kwamba wote wanafanya hayo matukio lakini urusi imezidi hata katafute source utajua urusi imezidi ujerumani huo ndio ukweli. Dunia hakuna haki ya mojakwamoja sio mbinguni.
Kama kweli ni sahihi nchi kufanya hivo,mfano JPM na Tundu,kama Tundu alithibitika kushirikiana na mabepari ilikua ni direct treason kwa nchi he should be dealt with ni threat kwa nchi sio JPM same applies to Roma mkatoliki na wenzake,watanzania tutachelewa sana kua na akili.
SIO KWELI HICHO CHAMA NA URUSI NI MARAFIKI SABABU NDIO KINA MTETEA MRUSI WANA ITIKADI SAWA ZA KIBAGUZI, MFANO HAWATAKI WATU WEUSI ULAYA, HAWATAKI WAISLAM, HAWATAKI WATU KUTEMBEA WAMEVAA MAJUBA MAKAZINI ,MASHULENI NK KIUFUPI SIJUI KWANINI MNAONA PUTIN MTU YANI ITIKADI ZAKE NI MBAYA NA NDOMANA HUYO DADA KAPOKELEWA NA MRUSI ANAWATUMIA WATU WA HIKI CHAMA KUFANYA UPAPARAZI UJERUMANI NA NCHI NYINGINE NA ANAWALIPA PESA NYINGI TU WAWE WANAMWAMBIA NINI KINAENDELEA , SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI NI ZURI MNO INA SIFA ZOOOTE ZA KUWEPO HASA KATIKA KUTETEA WAGENI, NAKUWAJALI HADI FAMILIA ZAO WALIZOACHA NCHINI KWAO NA HIKO NDIO KINAWAFANYA WAONEKANE WABAYA SABABU RAIA WENGI HAWAPENDI JINSI SERIKALI INAWAPA WAGENI FAVOUR,,,,,, kiufupi ujerumani bila Afd ni mbinguni kwa wageni lkn kikichukua dola tumekwisha mauaji ya hitler yatarudi , kuwachoma na kuwaua watu wa mataifa mengine kutarudi, hiii hadi uijue kiundani tu naomba SKY umtafute Ally aje awape somo hapa kuhusu hili bila mihemko ya sijui kwetu tungefanya hivi tusingekua na DEMOKRASIA sijui nini, it has nothing to do with democracy when it comes to being rascist and killer for migrant hapo lazima udhibitiwe
Chuki zipi alizonazo dhidi ya America? Lete critical analysis dhidi ya Dj Sna, unajua nyie mnaojifanya kuwa U.S ndiye mbabe hamjawahi kututhibitishia hasa dhidi ya Urusi, nipe hata battle tatu ambazo U.S akipambana na Urusi akitumia wakala kupambana na Urusi mfano Korea,Vietnam,Ukrein na U.S akaishinda Urusi.tatizo mmekuwa conservative mpaka syllabus mnazosoma ni za uongo TU kuhusu historia ya dunia.hebu jiongeze fuatilia na media nyingine za habari uextend maarifa yako.
Sns unaona mchambuzi wako hataki kukubali Putin anakasoro yeye anamsifu hata km anakosea yeye anatoa kasoro na Mifano kwa West. Huyu ni shabiki sio mchambuzi
@@PAULNYANDILE na Uache shobo kwa post yangu nmeolewa staki wanaume walio wazi nyuma, I want real men n real men don’t argue with women mtizame na ukampime akili mamaako mzazi
CHA AJABU AFD NI WANAMSAPOT PUTIN INAKUAJE WAMFUKUZE KWAKUA KAENDA KWA PUTIN MBONA AFD( CHANA CHA UBAGUZI UJERUMANI) WANAMPENDA PUTIN SABABU ANA ITIKADI KAMA ZAO ZAKUFUKUZA WAGENI
MUHIMU: 1. Mwenyewe alizaliwa Russia, huko Omsk. 2. Alihamia Ujerumani alipotimiza umri wa miaka 16. 3. Her political loyalty to either country is hence questionable. 4. She's likely a double agent, & therefore good riddance especially for Germany.
Hyu mchambuzi hafai yeye anazipinga marekani na washirika wake hafai sasa urusi inademokrasia gani ww binafsi naona ni mropokaji tu yaani ww kwenye vita unamuunga mkono adui hyo inaingiaje demokrasia hpo
@@benjaminiisaya3428 KURUKIA TU HABARI NDO WANAJUA NACHUKIA KWELI NKIONA MAELEZO YA HOVYO KUHUSU SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI WAKATI BORA HATA ILIYOPITA WAGENI TULIFAIDI, WAPO KUWATETEA SABABU TZ HUPENDA MATUKIO IN REAL LIFE HAWAJUI HICHO NI CHAMA RAFIKI NA PUTIN NA KINAWACHUKIA WAGENI TENA WAISLAM NDO KABISA HAWAPENDWI KIUFUPI TRUMP AKIPITA, PUTIN ASHINDE, KIDUKU HIZI NCHI TUTAZISKIA REDIONI SISI WAGENI NA HASA WAISLAM SAIV KUJIFANYA ANAPENDANA NA WAISLAM AU BAADHI YA WEUSI NIKUTAKA KUWATUMIA VITA ZIKIANZA, KWANZA BENJA UPO UJERUMANI SEHEMU GANI MANA UMEINYAMBUA AFD KIUTAALAMU KABISA NIPO HUKU KARIBU NA LUXEMBURG 🇱🇺
Wakenya tunaopenda SNS pita n like hio ndio Chanel pekee hua naiaminia Tanzania 🇹🇿 nzima
Dj smaa is very eloquent when it's comes to analyze Geopolitics issues ,heshima kwako mkuu nakukubali sana.
Kama tunakubaliana kuwa #DJ_Sma anaweza tujuane kwa like za #SnS🔥
Smaa ni mkongwe katika uwanja huu
Nipo hapa
@ dj sma was best asee ni swala la mda hupendalea kusema
number one fan here🥊🥊🥊
@@starmz428swala la muda kivipi ? Kama anajua kweli historia angelitambua kua hayo mataifa ya ulaya magharibi ndo Roman empire na lazima Roman empire irudishe utawala wake na utawala tena Dunia na urusi atatawaliwa ,
Na huyu dada mwenyewe ni kama mrusi tu jinsi alivyo
Safi sana dj sma ukweli mtupu unapotaka kuhatarisha usalama wa nchi weee hautaachwa
Nakukubali sana Dj smaa kaka Allah akulinde inshaallah 🎉🎉
Geopolits Sns tupo Zaidi🔥🙌👌
nafuatilia taratiibu toka Bamba,Kenya
Sina masha na urusi atakuwa chini uchunguzi wa hali ya juu soon tutasikia taarifa nyingine.
Dj Sma yupo vyema Zaidi ❤❤❤
DJ SMAA!!!! Yupo vizur ila kwenye baadhi ya mambo sio kila kitu hasa mambo ya ki vita na ki silaha ALLY yuko vizur sana.
@@allyguardiola7sama Yuko fiti sana kuliko ally
Dj Smaa ni shabiki sio mchambuzi. Mchambuzi huwa anachambua bila kuegemea upande wowote halafu wasikilizaji ndio waamue wenyewe
amefanya vizuri kukimbia
Mmmh atarud hana kichwa huyo,, mwache ajifanye mpelelezi 😅
😂😂😂😂😂😂
Mungu awaongoze kila wakati, habari zenu zimenyooka sana
Uchaguzi w Urusi ni miongon mwa Chaguzi bora Duniani ni vile tu Magharibi tu hawataki
Ubora wake up I ebu elezea
Mwache tu aende Urusi. Lkn ajue tu kwamba Urusi wana vyombo hatari kwelikweli vya kumchunguza mtu pasipo huyu mtu kujua kitu. Ni hatari sana kwake kama atakuwa ni mpelelezi. Lkn sidhani kwasababu watoto wake wapo hapahapa Urusi. Ngoja tuone.
Asante Dj sima
Very nice she did well ❤️🩹
Dj sma upo vizuri
Safi sana na hapo RUSSIA ndo sehemu salaaam zaidi
Hahahahahhahahha upo Tabata na unasema hapa Russia hahahahhah
@@KassimAlly-xp4dz ndio vile hilo ripo wanzI russia ni Aridhi ya AmanI
Jasus huyo@
Bdo wanatagawanyika sana manyang'au maana wao ndio madikteta kila kitu wanajifanya wanajua na tamaa nyingi kuleta matatizo na ushetani muda wao umefika upo sahihi Dj Sma
Sna Imani nae sana huyu mazi yawezekan akatunwa kuja kumchora mwamba
Very nice🎉🎉🎉
kua mpizan wa putin co shida tatizo la putin ni kua msaliti wa serikali bro asmaa big up
Ni sawa ila nikusahihishe kidogo ndugu. Ukiwa msaliti wa nchi ya Russia ndo putin lazima akuondoe
Huyu anaandaliwa kwa ujasusi
Hurusi sio wajinga kule ataangaliwa kwa ulinzi wte
Alikua kachero wa urusi
Asisubutu kuja kuchora ramani atakufa vibaya
Laiti ningekuwa RAISI basi smaa ningemuweka mshauri wangu mkuu na ally ningemuweka kuwa mtu viwanda na technojia pia Henry ningemuweka kuwa mtu wa diplomasia
Naungana na ww kwa hilo kabisa
Nakubali dj smaa
Wabongo wengi akili kisoda unawezaje kuamini kirahisi hivi😏 je kama ni jasusi na.nimpango wa serikali ya wa ujerumani😡 huyu smaa wenu akiri za watu weupe zilisha mshinda kitambo🙆 anachambua kwa mihemko sana 🤜🤛 alafu kuna kiazi atakuja kubweka hapa
Lete critical analysis against Dj sna. Action speaks louder than words.
dj very good upovzr
Acha ms p awakumbushe hawa wakandamizaji hao
Lakin huyo wamuangalie tu manake anaweza akawa ametumwa na magaribi waichunguze urusi
Uchambuzi wenu Usiwe na upendeleo huyo jamaa anapendelea Urusi
Kwanza Ana sura ya ki Russian
Wametunyonya sana imetosha kwasasa tumekubali kufanya biashara na inchi za mangalibi ila wao hawataki kama walikomesha biashara ya watumwa bc wakubali na Hiro walikomeshe
Wazungu wanatumia mbinu zao kutuma watu wakachunguze
Urusi wapo vzr sana kwenye kuwafuatilia watu
Wewe mtu wa chini umegundua ,je hao ambao ni makini na hawana masikhara na mambo yao....
Huyo hafurukuti kule kufanya chochote zaidi ni kutulia na maisha yake.
Jamini kweli dj sma ana pendeleaga urusi ona alivyo taka kutetea hata hillo. Ukweli ni kwamba wote wanafanya hayo matukio lakini urusi imezidi hata katafute source utajua urusi imezidi ujerumani huo ndio ukweli. Dunia hakuna haki ya mojakwamoja sio mbinguni.
Huyu anaenda lama mpelelezi wakae nae kwa umakini mkubwa sana
GPS Chenel NewsTv , Nini Chanzo Cha Ajali ya helkopita ya Malawi?
Namuelewa sana watu tunao ishi german tunatamani kukimbia...
Acha mbwembwe, wewe sema umesema hivyo ili tujue uko Ujerumani. Mbona usikimbie sasa unasubiri nini?
😂😂😂😂toroka peke yako
Danganya toto
apo kuna shida simaa dj isije kua ni jasusi uyu
Mm saivi sidaganyiki tenaa na magaribi kusemaha wao wanajuwa demokirasiya ni uogo mtupu ni mijizi tu.
Vip kama ni mtego kwa Putin pia. 😮
Subutu😂 atakatwa kichwaa
😂Hatoboi kama kaenda kwa agenda zake za siri
Huyu mbunge atakuwashushu wasikubali kumpokea,Huyo katumwa kupeleleza urusi.yaani simwani huyu mbunge hata kidogo.
ATAKULABATA HUYO MBUNGE HUKO URUSI. WARUSI NI WAKWEKI NA UKWELI HAUPINDISHWI ATA IWEJE.
Ata fidel Castro walimtumia mwanamke ili amuue lkn komando wana akili ya ziada ya kujua unafikiria nn
Good job Russia ❤❤❤❤❤
👍👊✌️.
Mbona ruto amerud na kichwa kupanga kuchagua naye kachagua
Isije kuwa ni kajasusi maana hawa jamaa si mchezo
😂 wanatudanganya ety ulaya na marekani kuna haki za binaadam kuna uhuru wa kuchagua unachotaka
Sio wakumuamini, mipango hio ya marekani
Huyo ni spy urus kuweni makini
Unadhani warusi wapuuzi kwamba watamchumkua tu urusi mabingwa wahizo mambo ivyo hilo halina shida
Wewe chawa acha ushambuzi wa kihawa hv hapo ujerumani inakosa Gani
Uyo muongo naomba urusi wamuweke kwenye uangalizi
Wakuu huo ni mtego uyo mbunge ni jasusi amenda kuchunguza urusi
Akilimbia ==============AKIMBILIA
Asante
Uraaaaaaaa 🇷🇺💪
Huyu mtangazaji anaitwa Nani?
Mpelelezi uyo
Pour democracy
Pour=poor
SnS inaunguruma ukweli n UWAKIKA 🇲🇿🇹🇿
Viwongozi wa africa hawawezi kwenda kwa Putin wuwongo tupo ruto wakwaza
Russia 🇷🇺 kuwa makini usimuamini Mkoloni
Jama fundisheni Malawi waamuke kuna devil kwenye awa viwongozi
Uyo katumwa Putin awe makin sana
Huyu dj. Anamtetea putini
Putin baba tufungulie milango tuje kujaza nchi
KWANI URUSI NAO NIWAZUNGU AU WAO NIWARUSI TU NAOMBA KUELEW
Ata urusi wako ivoivo tena ndio wakatili asa raisi wao aondoki madalakani muhula wa sita
Mala jasusi
Kama kweli ni sahihi nchi kufanya hivo,mfano JPM na Tundu,kama Tundu alithibitika kushirikiana na mabepari ilikua ni direct treason kwa nchi he should be dealt with ni threat kwa nchi sio JPM same applies to Roma mkatoliki na wenzake,watanzania tutachelewa sana kua na akili.
Sns
Tusiwe washabiki urusi mkolofi islaeli mkolofi huwezi vamia inchi ya watu tuseme uko Sawa basi useme islaeli wako Sawa
😂😂
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇰🇪
Hawana lolote huyu anajua kule atakuwa huru kuliko kuishi kwa wasiwas
Warusi wanatakiwa kuwa makn sana kuhus mtu huyo inawezekana CIA katumwa
Asije akawa wamemtuma
Mtangazaji wewe umeongea vizuri ata rashia wanakimbia ivoivo urusi pia ndio ivoivo ukipishana na kiongozi unakimbia
Hajawai kuitetea marekani au ulaya wote wakolofi ukipishana na rais wako inchi nyingi hubaki salama na wengi viongozi wanatama ya mdaraka hasa putin
Wanamchezea putin kamchezo flan hvi😂
Urusi wawe makini nae tu😂😂maana asije kuwa wanampeleka kama jasusi
Urusi ni next level uchafu wote na janjajanja zote za wamagharibi wanazijua so hatoweza zaidizaidi atauliwa
SIO KWELI HICHO CHAMA NA URUSI NI MARAFIKI SABABU NDIO KINA MTETEA MRUSI WANA ITIKADI SAWA ZA KIBAGUZI, MFANO HAWATAKI WATU WEUSI ULAYA, HAWATAKI WAISLAM, HAWATAKI WATU KUTEMBEA WAMEVAA MAJUBA MAKAZINI ,MASHULENI NK KIUFUPI SIJUI KWANINI MNAONA PUTIN MTU YANI ITIKADI ZAKE NI MBAYA NA NDOMANA HUYO DADA KAPOKELEWA NA MRUSI ANAWATUMIA WATU WA HIKI CHAMA KUFANYA UPAPARAZI UJERUMANI NA NCHI NYINGINE NA ANAWALIPA PESA NYINGI TU WAWE WANAMWAMBIA NINI KINAENDELEA , SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI NI ZURI MNO INA SIFA ZOOOTE ZA KUWEPO HASA KATIKA KUTETEA WAGENI, NAKUWAJALI HADI FAMILIA ZAO WALIZOACHA NCHINI KWAO NA HIKO NDIO KINAWAFANYA WAONEKANE WABAYA SABABU RAIA WENGI HAWAPENDI JINSI SERIKALI INAWAPA WAGENI FAVOUR,,,,,, kiufupi ujerumani bila Afd ni mbinguni kwa wageni lkn kikichukua dola tumekwisha mauaji ya hitler yatarudi , kuwachoma na kuwaua watu wa mataifa mengine kutarudi, hiii hadi uijue kiundani tu naomba SKY umtafute Ally aje awape somo hapa kuhusu hili bila mihemko ya sijui kwetu tungefanya hivi tusingekua na DEMOKRASIA sijui nini, it has nothing to do with democracy when it comes to being rascist and killer for migrant hapo lazima udhibitiwe
@@nizarrama225kabisa urusi kwenye suala hilo wapo vizur sana
Ujerumani na Urusi ni chui na paka😂😂
WOTE WABABE WAZUNGU WOTE
Uhasama wao ni WA muda mrefu hasa hii ujerumani Magharibi.
Huyu dada ni mrudi na jasus wa Putin na huenda ni make wa putin
Maanina ni Spy uyo
Bias analysis huyu mwamba anachuki sana na america ...
Chuki zipi alizonazo dhidi ya America? Lete critical analysis dhidi ya Dj Sna, unajua nyie mnaojifanya kuwa U.S ndiye mbabe hamjawahi kututhibitishia hasa dhidi ya Urusi, nipe hata battle tatu ambazo U.S akipambana na Urusi akitumia wakala kupambana na Urusi mfano Korea,Vietnam,Ukrein na U.S akaishinda Urusi.tatizo mmekuwa conservative mpaka syllabus mnazosoma ni za uongo TU kuhusu historia ya dunia.hebu jiongeze fuatilia na media nyingine za habari uextend maarifa yako.
Hiyi UA-cam Kuna siku itaingia 18 na itafutwa Mahana dj wenu sio mchambuzi hata kidogo
Sns unaona mchambuzi wako hataki kukubali Putin anakasoro yeye anamsifu hata km anakosea yeye anatoa kasoro na Mifano kwa West. Huyu ni shabiki sio mchambuzi
Ww hata hupo duniani.
Hivi huoni mambo yanayoendelea duniani.
Angalia ICJ walivyompa kesi Putin alafu angalia alivyopewa kesi Nitanyahu.
Umeonah kilichotokea
Wewe ndio haupo duniani. Unajua mimi nipo wapi pole
Jambo usilojua usiku wa gizq
ZZZ Z uraa
mjinga sana huyu
Kama lisu
Atariiiiii
Wahuni tu naelewa huyo ni jasusi wa urusi
Warusi ni zaidi wa majasuzzz
alaf kenya yupo upande wakuiponda urusi 😅😅😂😂😂😂😂😂 knavtko
SKY NAOMBA UNIAJIRI NIWE NA MSUTA DJ SMA BURE KABISA STAKI KULIPWA 🫣🙄🙄🙄🙄
ukapimwe akili na Malinda kwanza ndiyo uje ukoment hatutaki watu wa upinde humu mpumbavu wewe
@@PAULNYANDILE nlikutia madole uko nyuma nkakuumiza mwanaume mzima unaandika pumba huoni kama umeleft group, mtizame unapumuliwa na hatusemi
@@PAULNYANDILE na Uache shobo kwa post yangu nmeolewa staki wanaume walio wazi nyuma, I want real men n real men don’t argue with women mtizame na ukampime akili mamaako mzazi
CHA AJABU AFD NI WANAMSAPOT PUTIN INAKUAJE WAMFUKUZE KWAKUA KAENDA KWA PUTIN MBONA AFD( CHANA CHA UBAGUZI UJERUMANI) WANAMPENDA PUTIN SABABU ANA ITIKADI KAMA ZAO ZAKUFUKUZA WAGENI
Nisiasa iyo ndugu utakuta wao ndo wame muambia ahondoke
@@ebengapierre8826 sio kweli, najua ndomana naandika, siandiki habari za kufikirika hapa kama za baadhi ya wachambuzi wenu
MUHIMU:
1. Mwenyewe alizaliwa Russia, huko Omsk.
2. Alihamia Ujerumani alipotimiza umri wa miaka 16.
3. Her political loyalty to either country is hence questionable.
4. She's likely a double agent, & therefore good riddance especially for Germany.
Hyu mchambuzi hafai yeye anazipinga marekani na washirika wake hafai sasa urusi inademokrasia gani ww binafsi naona ni mropokaji tu yaani ww kwenye vita unamuunga mkono adui hyo inaingiaje demokrasia hpo
Jasusi huyo tayari Russia washajaa kwenye mfumo
Na ujasusi wke hatoboi Kwa warusi
AFD NI CHAMA CHA WABAGUZI UJERUMANI NI NAZI PARTY YA ZAMANI IMERUDI KWA JINA LA AFD, SO MNAJUA SIFA YA NAZI PARTY ILIVYO
Usidhani FSB ni wajinga
@@SileIsmail FSB NI NINI 😂😂😂😂🙄ACHA USHAMBA HATA KITU HUJUI
Uko Sawa most of people hawakijui iko Chama AFD(Alternative for Deutschland) Ni cha kibaguzi wanataka wageni wote warud makwao@DJ sma