Neema Gospel Choir - Jina Yesu Ft. Paul Clement (Official Live Music)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 983

  • @thehouseofprayerministry359
    @thehouseofprayerministry359 10 місяців тому +12

    Nawapenda mno awa waimbaji Mungu awa bariki

  • @paulwatetu5882
    @paulwatetu5882 День тому +1

    Kweli jina la yesu Lina msaada limeniokoa atukuzwe yesu sana ndani ya maisha yetu Amina.

  • @jamesmbolesila7600
    @jamesmbolesila7600 Рік тому +10

    Lina msaada jina Yesu...ohoo my God am so blessed by brother Paul clement...May God expand this choir but remember "Ukiliamini Lina msaada" Amen

  • @GeraldLukucha
    @GeraldLukucha 9 місяців тому +7

    Huwa najisikia faraja sana ninaposikiliza huu wimbo nafarijika sana

  • @MaryKweka-c9x
    @MaryKweka-c9x 9 місяців тому +7

    Pokeeni mauwa yenu nyimbo zenu zinaubariki sanaaaa moyo,💐💐💐💐💐💐💐

  • @marionmuhanji1211
    @marionmuhanji1211 8 місяців тому +8

    My grand daughter 3years ald sing for me this song very well and we love the song very much God bless you singer's ❤

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  8 місяців тому

      Wow Glory to God❤️❤️🙌🙌🙌🙌

  • @brendachibura6040
    @brendachibura6040 2 роки тому +300

    Hivi wenzangu mshawahi kuwaza mbinguni hizo sauti na vyombo vitakuaje kama duniani tunaimba na hivi? Nyie tukaze mwendo tukaimbe na Baba yetu💃💃💃

  • @alexyohana4708
    @alexyohana4708 2 роки тому +77

    Kama unaipenda neema gospel gonga like za kutosha

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 роки тому

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

    • @flaviajoseph8771
      @flaviajoseph8771 2 роки тому +1

      Mungu azidi kuwatumia katika viwango vya juu zaidi barikiwa sana 🙌🙌🙏

    • @AnithaPaul-w4m
      @AnithaPaul-w4m 3 місяці тому

      Amen BWANA atutie nguvu tuifanye kazi take kwa roho na kweli

  • @valentinamwamburi5849
    @valentinamwamburi5849 8 місяців тому +14

    2024..here we are,no other name but the name of our LORD JESUS ❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @zephaniamanyasi9110
    @zephaniamanyasi9110 2 роки тому +3

    Mtumishi wa mungu nakukubal sana barikiwa sana

  • @zenicemtui3978
    @zenicemtui3978 2 роки тому +13

    Paul paul paul nimekuta mara tatu hunampinzani rafiki yangu MUNGU azidi kukuweka miaka 10000 uone kizazi cha kwanza had cha 4 huwa unaponya wengi kupitia nyimbo zako barikiwa sanaaaa

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 роки тому

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you🙏

  • @johnmkombozi3106
    @johnmkombozi3106 Рік тому +2

    Duuuh Nyimbo nzuri San barkiwa mwimbaji

  • @freddybuthelezi7566
    @freddybuthelezi7566 9 місяців тому +5

    Glory to the Almighty
    Praise the Name of the Lord
    I love your music I'm from South Africa
    Glory to God forward with Jesus Christ our Lord and Savior
    We praise him with different languages but he understands everything
    God bless you my brothers in Christ we are one ❤️❤️👐👐🙏🙏🇿🇦

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  9 місяців тому

      Wow Glory to God, thank you for watching us we love you south Africa 🇿🇦 ❤️ ❤️

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard187 Рік тому +10

    Ukilitaja jina la Yesu ni kweli lina msaada mimi nimeona ametenda kwangu mahali ambapo sikuona mwanga kabisa mahali nilipokataliwa nimelitaja jina la Yesu na ameninipa heshima na amani na furaha niamini mimi ila bila Yesu nisingekuwepo leo nakupenda Yesu

  • @mwabuponde3152
    @mwabuponde3152 2 роки тому +4

    Yapo majina mengi yenye sifa nyingi ila jina la yesu
    Limepita majina yote

  • @dianaminja3175
    @dianaminja3175 Рік тому +1

    Yenye sifa nyingi Ila jina la Yesu yapita majina yote

  • @lowasameliyo4027
    @lowasameliyo4027 Рік тому +3

    Kuna baadhi ya sifa na upigaji wa vyomb inatipa picha ya mbinguni kwa umbaaaaaaaaali hongeren sanaaa wapenz wetuuuu

  • @CatherineIsrael-g3z
    @CatherineIsrael-g3z Рік тому +1

    Ni raha Kwa YESU

  • @mariamsanga8151
    @mariamsanga8151 Рік тому +3

    Paul Clement nakupenda Sana unaimba kwa hisia Kali ,kazi hii ni nzur ,yaan nimewaza je huko mbinguni itakuwaje sauti na vyombo nikajikuta natabasamu huku nikisema yesu unastahili kusifiwa

  • @josephatmaunya8124
    @josephatmaunya8124 Рік тому +1

    I'm blessed natamani kuwa kama kaka Paul clement

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 8 місяців тому +2

    Niko hapa 2024🎉🎉🎉

  • @sallyhanc7955
    @sallyhanc7955 2 роки тому +3

    Ahaaam kiukweli Kuna nguvu za MUNGU zinapita ndani yangu kiukweli mnajua pamoja na kaka angu Paul unajua sanaaa MUNGU awabariki siku moja nami ntafika hukoo

  • @JohnLwaga-yj8br
    @JohnLwaga-yj8br Рік тому +1

    Aseeh mungu mwemaaa sana jaman 🤚🤚👆👆❤

  • @wivinemuderwa1874
    @wivinemuderwa1874 2 роки тому +13

    Nikuomba tu mungu atupe mwisho muzuri sisi waimbaji dunia nzima,kuishi katika utakaso pia kusamehe wanao tukosea ,kutazama mbingu,mungu awa tie nguvu💪🇨🇩

  • @MagrethJackson-t1n
    @MagrethJackson-t1n 9 місяців тому +1

    endrew anajua kinoma

  • @pendomangi8400
    @pendomangi8400 5 місяців тому +9

    Jamani Paul anaimba vizuri sana nina Imani Mungu atanipa kibali niimbe na yeye siku moja, much love from Kenya 🇰🇪

  • @printerservicessupport7725
    @printerservicessupport7725 Рік тому +1

    your the best no one like you 😘😘😘😘😘😘😘

  • @gospelextravibes
    @gospelextravibes 2 роки тому +65

    Huyuu mwamba anayepiga gitaa la soloo anasehemu yakee spesho Mbinguni aiseee......ameupa radha saana mziki wa gospel🔥🔥🔥

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 2 роки тому +1

      😃😃 Hakika anasehem yake Maalmu Kabsa

    • @joseygaudence4922
      @joseygaudence4922 2 роки тому

      Hakika

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 роки тому

      Mpendwa naomba support yako kwa KUSUBSCRIBE,KUCOMMENT channel yangu kwa link hii hapa chini!
      👉ua-cam.com/video/VO8rNQrLwL4/v-deo.html
      👉ua-cam.com/video/VO8rNQrLwL4/v-deo.html

    • @gracejosephy2242
      @gracejosephy2242 2 роки тому

      Kabisaa

    • @penzilakaisi
      @penzilakaisi 2 роки тому

      Hakika.. Na Mungu aendelee kumpandisha viwango

  • @mpajigodwin33
    @mpajigodwin33 8 місяців тому +1

    Nyimbo zako zina baraka sana

  • @haniphahanipha4814
    @haniphahanipha4814 Рік тому +4

    Mwanangu anapenda nyimbo zadini jamn yan akisikia nyimbo zadin zinaimba atakama amelala anaamka😘🙏

  • @frankoduor1733
    @frankoduor1733 2 роки тому +2

    Kweli Kuna jina ambalo limepita majina yote amen

  • @warrenhenrick5565
    @warrenhenrick5565 2 роки тому +7

    For the first time niliwafahamu kupitia wimbo wenu wa ponya kanisa lako Baba....hadi leo I'm ur biggest fan viwango viwango Mungu azidi kuwatumia nawapenda sana

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 роки тому

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @EstherMado-mn4ip
    @EstherMado-mn4ip Рік тому +1

    mimi sina maneno mengi kaka awaga unani bariki saaaana Mungu akuba riki imaniyangu iposiku nitaimba na ww ubarikie sana

  • @wivinemuderwa1874
    @wivinemuderwa1874 2 роки тому +4

    Maombi ni kwamba bwana aumbe moyo wako kukesha

  • @NeemaJohn-ub3ob
    @NeemaJohn-ub3ob Рік тому

    Yaan hadi raha kwa kweli Jina la Yesu lina nguvu sana ukiliamini.

  • @jobuchitunda346
    @jobuchitunda346 2 роки тому +4

    Hongereni viongozi nliokaa na kutafakari kitu kma hiki tumezoea kuona Joyous celebration, lakn leo hii inafanyika Tanzania 🇹🇿 clement God bless

  • @jofunzalika6145
    @jofunzalika6145 2 роки тому +2

    Asante yesu wewe ni zaidi ya msaada

  • @evancetefurukwa6191
    @evancetefurukwa6191 Рік тому +5

    Nani anabarikiwa na nyimbo hii 2023/kama nnavyobarikiwa mimi

  • @peterrichard7480
    @peterrichard7480 2 роки тому +1

    Furaha sanaa Kwa Jina hilii

  • @agapegospelband
    @agapegospelband 2 роки тому +7

    🔥 #UKILIITAJA LINA MSAADA🙌🏽

  • @elrachum3866
    @elrachum3866 2 роки тому +2

    Yaani wimbo ukinigusa nitokaga machozi kama mtoto ... thank you

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 роки тому

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you🙏

  • @bettycasyo4807
    @bettycasyo4807 2 роки тому +6

    Ukilitaja lina msaada...#JINAYESU

  • @beatricekagali1048
    @beatricekagali1048 Рік тому +1

    Amina

  • @evancetefurukwa6191
    @evancetefurukwa6191 2 роки тому +4

    Neema gospel Mungu awabariki sana kwa ujumbe mzuri

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 роки тому

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @beatricesheyo3466
    @beatricesheyo3466 2 роки тому +1

    Hakuna Kama ww Yesu umetamalaki mbinguni na dunia ni ww tu unasitahili kuabudiwa,wimbo mzuri Mungu awabariki watumishi wa Mungu.

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 роки тому

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @neemalemah7690
    @neemalemah7690 2 роки тому +18

    Nyimbo nzuri inabariki sana kwan hakuna jina kama Yesu,,, na hakuna aliyemtegemea akaaibika. Mwenyeenz Mungu awabarikiii na awainue viwango vya juu zaid na zaidi. Amen🙏🙏

  • @djefsam573
    @djefsam573 Рік тому +1

    Barikiwa sana Paul

  • @masalugusessa3702
    @masalugusessa3702 2 роки тому +104

    To anyone reading this in 2050
    Just know this choir is legendary........... they gave everything to worship and praise God 🙏

  • @alexyohana4708
    @alexyohana4708 2 роки тому +2

    Nimewapenda Hao watoto

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 роки тому +1

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @basiehlahla6539
    @basiehlahla6539 Рік тому +17

    Watching from Mowbray in Cape Town in South Africa...I am blessed Neema Gospel Choir in Tanzania. I am South African, ot understanding Swahili but trust me the song blesses me😇🥰

  • @marian-chichi4194
    @marian-chichi4194 Рік тому +1

    January 2023. Jina Yesu Lina msaada.

  • @delverosedastan5730
    @delverosedastan5730 2 роки тому +3

    Mbinguni itakuwa shangwe hatari, Mungu tusaidie tuweze kufika huko

  • @CatherineIsrael-g3z
    @CatherineIsrael-g3z Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana

  • @beatricesilas5083
    @beatricesilas5083 2 роки тому +6

    Wimbo mzur sana mtamu una ujumbe mzr MUNGU awabariki sana watumishi wa MUNGU

  • @braintmusto6035
    @braintmusto6035 2 роки тому +10

    I just love the way tanzanian present the worship unto the lord may the lord continue lifting

  • @claudiamzava7640
    @claudiamzava7640 2 роки тому +4

    Ukiliamini Lina msaada Jina la Yesu be blessed

  • @glorypando2455
    @glorypando2455 2 роки тому +2

    😘😘😘😘mbarikiwe mnooo

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 роки тому

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @rainajulius7939
    @rainajulius7939 2 роки тому +5

    Mungu awabariki. Nimekua blessed alot na ih wimbo. 🙏

  • @aronsamu299
    @aronsamu299 2 роки тому +2

    jina hili ni ngao na nguzo ya mataifa JINA YESU

  • @Naomizzx
    @Naomizzx Рік тому +6

    Straight from the Throneroom of the Most High🙌🏾🙌🏾 💜💜 from 🇰🇪more grace to 🇹🇿

  • @RahabJames-w3r
    @RahabJames-w3r Рік тому +1

    Yani mm cpati picha kutakuaje natamani niwepo cku hiyo ❤

  • @joshualumbasi9264
    @joshualumbasi9264 2 роки тому +4

    Upako na uwepo tupuuu....Halleluyah!!! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👏👏👏

  • @CatherineIsrael-g3z
    @CatherineIsrael-g3z Рік тому +1

    Ameen ni raha tupu

  • @EveWema-be4re
    @EveWema-be4re Рік тому +8

    Im blessed with this song much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @RhodaIsseme
    @RhodaIsseme Рік тому +1

    Aameen xan watumixh wa bwan mung awabarik mpande kiwango cha tai

  • @eliassolomon1149
    @eliassolomon1149 2 роки тому +60

    The most dynamic and relevant choir in Tanzania 🇹🇿.. nawapenda ndugu zangu

  • @danielworshiper6002
    @danielworshiper6002 2 роки тому +2

    Jina la kuaminiwa ni jina la Yesu

  • @rtlusungu
    @rtlusungu 2 роки тому +31

    This is it, Neema Gospel choir, kwanza you guys are my favorite, pili Paul Clement is the most consistent singer who does his things low key but very anointed...
    The song yenyewe ni Kuhusu Jina la Yesu, beautifully written and sang, beautiful voices from the choir, and the dance sasa hapo Ndo mnanogeshaga Sana.. Hongeren Sana NGC, and my brother Paul Clement. Y'all are our treasure for the gospel and the kingdom of God.

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 роки тому

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

    • @ruthnyairabu8244
      @ruthnyairabu8244 2 роки тому

      all the way from stwerward TV nme fika UA-cam the song is ministering to me in a special way despite what am going through am here calling that name

  • @janethntenga
    @janethntenga 4 місяці тому +1

    Huu upako tunaupata tukiwa mbali sana, wenzetu wa Dar mna enjoy sana

  • @abelpetermedia2698
    @abelpetermedia2698 2 роки тому +5

    Hakika mwenye macho kaona mbarikiwe sana neema gospel choir niko pamoja na ninyi Amen🙏🙏

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 роки тому

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @danielworshiper6002
    @danielworshiper6002 2 роки тому +2

    Kutoka nyumbani Chang'ombe nawapenda NGC

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 роки тому

      Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html🙏🙏

  • @isaacphenihace7548
    @isaacphenihace7548 2 роки тому +6

    Hakika Jina la Yesu lina nguvu na ni msaada wao waaminio,hongereni sana kwa ujumbe mzuri

  • @clarachrispin4822
    @clarachrispin4822 5 місяців тому +2

    Wapendwa , kuimba na kusifu ni raha , haswa ndani ya Yesu. Huu wimbo umekidhi vyote kwa pamoja, 🎉❤ , Mungu aendelee kuwapa umoja huu Neema gospel na kaka yetu, waendelee kumtukuza Mungu kwa moyo wote.🎉🎉

  • @gatugacheru2470
    @gatugacheru2470 2 роки тому +59

    Great work Kenyans muko wapi muskiee hii🇰🇪🇰🇪🇰🇪more Grace to this choir and the team that worked behind scene 🎺🎻🎻🎸🎷🎸🎻🎤🎧🥁🙏🎙️📸

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 роки тому

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you🙏

    • @millicentmutisya943
      @millicentmutisya943 11 місяців тому

      Tuko 😊 clapping for our brothers n sisters in TZ 🎉

  • @GUYreallife26
    @GUYreallife26 5 місяців тому +1

    Much love am blessed 🙏🙏🙏 penda sana wimbo huu

  • @haikaellyngajilo7768
    @haikaellyngajilo7768 2 роки тому +7

    Neema gospel 👏👏👏🔥🔥Ni ndoto kwangu ninyi .Mungu awatunze

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 роки тому

      Mpendwa naomba support yako kwa KUSUBSCRIBE,KUCOMMENT channel yangu kwa link hii hapa chini! Wimbo mpya
      =ua-cam.com/video/VO8rNQrLwL4/v-deo.html
      =ua-cam.com/video/VO8rNQrLwL4/v-deo.html

    • @catherineerastus1682
      @catherineerastus1682 2 роки тому

      nawapenda mno

  • @GreshaEdson
    @GreshaEdson 3 місяці тому +1

    Mambo na mzik wa gospel sio Africa kusin tena mambo ni tanzania

  • @bettyadhiambo9557
    @bettyadhiambo9557 2 роки тому +3

    Wa Kenya mko wapi tafadhali tusifu pamoja🙏

  • @rosemarygathoni8820
    @rosemarygathoni8820 4 місяці тому +1

    Wonderful ... glory unto our king Jesus

  • @julianashuma6326
    @julianashuma6326 2 роки тому +5

    Yapo majina mengi yenye sifa nyingi ingi ila lipo Jina la Yesu limepita majina yote ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @officialjamhurizachariagos2797
    @officialjamhurizachariagos2797 2 роки тому +1

    Mungu ni mwema asanten kwa hii baraka ndugu zangu

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 роки тому

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you🙏

  • @innocentkimisha
    @innocentkimisha 2 роки тому +88

    In love with those two little girls. They meant everything they sang and their dances are extraordinary too👏👏

  • @lovethildah7340
    @lovethildah7340 2 роки тому +1

    Wakenya mko wapi tubarikiwe kwa pamoja na Hili Jina Kubwa linalozidi Majina yotee🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Nzuri sana hii❤

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 роки тому

      Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html🙏

  • @stellahlubembe2931
    @stellahlubembe2931 2 роки тому +43

    I dont know why these song hasn't hit 1M views.the lyrics,sound,voices,instrumentalists,the background just perfect. I love these song walla💕💕💕

  • @Bosman-TV
    @Bosman-TV 2 роки тому +1

    Mungu nakuomba niwezeshe kufika kiwango hiki Cha kukusifu😢🙏🙏🙏

  • @clairekamau943
    @clairekamau943 2 роки тому +6

    Ukiamini jina la Yesu lina msaada🔥🔥🔥
    I love you Jesus❤🔥🔥

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 роки тому

      Mpendwa naomba support yako kwa KUSUBSCRIBE,KUCOMMENT channel yangu kwa link hii hapa chini!
      =ua-cam.com/video/VO8rNQrLwL4/v-deo.html
      =ua-cam.com/video/VO8rNQrLwL4/v-deo.html

  • @loishookilaizer8686
    @loishookilaizer8686 2 роки тому +1

    Wazee wa masauti na instrumental ni 🔥🔥🔥🔥

  • @voceeespecialparadeus5693
    @voceeespecialparadeus5693 2 роки тому +10

    Hello, well I wanted to tell you that JESUS LOVES YOU, and wants to transform your life, understand and never forget, you are very special to GOD, so seek the LORD, read and know the bible, because behind it, you will know JESUS and you will understand that the love of CHRIST JESUS is EVERYTHING, I mean EVERYTHING YOU NEED IN THIS WHOLE WORLD, and ONLY JESUS can change your life, your story.
    Stay with GOD, and GOD BLESS YOU!

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 роки тому

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you🙏

  • @AustrianDesigns
    @AustrianDesigns 2 місяці тому +1

    eish so true.💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @sundayelisha4716
    @sundayelisha4716 2 роки тому +3

    Nimebarikiwa na huu wimbo umetulia na vyombo vimepigwa kitaalamu, Mungu wa mbinguni awabariki

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 роки тому

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you🙏

    • @charlesmalingumu
      @charlesmalingumu Рік тому

      asifiwe yesu kristo tena awabariki sana Amina,,,❤️❤️❤️

    • @charlesmalingumu
      @charlesmalingumu Рік тому

      asifiwe yesu kristo tena awabariki sana Amina,,,❤️❤️❤️

    • @charlesmalingumu
      @charlesmalingumu Рік тому

      asifiwe yesu kristo tena awabariki sana Amina,,,❤️❤️❤️

    • @charlesmalingumu
      @charlesmalingumu Рік тому

      asifiwe yesu kristo tena awabariki sana Amina,,,❤️❤️❤️

  • @SilyaSaguda
    @SilyaSaguda 11 місяців тому +1

    Hakika ilo jna Lina heruf nne tyu kin Lina maana kubwa sana hivyo yesu ni mweza wa yote tuzd kumwomba na kumwabudu,waimbaj mungu awabarik San 🎉🎉😂

  • @romes-tz7323
    @romes-tz7323 2 роки тому +4

    (+255) TANZANIA🇹🇿
    Hakika mungu nimwema hatimae mmpiga levo nyingine inapendeza Sana
    Good melody
    God performance
    Love it💯🙏

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 роки тому

      Mpendwa naomba support yako kwa KUSUBSCRIBE,KUCOMMENT channel yangu kwa link hii hapa chini! Wimbo mpya
      =ua-cam.com/video/VO8rNQrLwL4/v-deo.html
      =ua-cam.com/video/VO8rNQrLwL4/v-deo.html

  • @golavujoseph5703
    @golavujoseph5703 2 роки тому +1

    Mungu awape baraka zisizo na hesabu aisee

  • @nditchienditchie5533
    @nditchienditchie5533 2 роки тому +3

    Thinking of how Helpful the Name of Jesus has been , what would we have done without JESUS??

  • @AndarsonezekielKiongosi
    @AndarsonezekielKiongosi 4 місяці тому +1

    Ukiliamini lina msaada

  • @ministerwilliegitatah3372
    @ministerwilliegitatah3372 2 роки тому +29

    Ooooh Myyyyyy😭😭😭😭😅😅😅Mixed reactions in me right now...Am just happy at the Same time the Power of God over me...This song is just on another Level... Powerful 😭😭😭Wimbo uliojawa na utukufu Nguvu za Mungu....Nimebarikiwa Jamani from Kenya...Since I got to know this Amazing Choir...My life has always been blessed anytime I listen to you Guys....Paul Clement my mentor and my Best Gospel Minister......Blessed Alot

  • @GraceSimkanga
    @GraceSimkanga 6 місяців тому +1

    Thanks lord hallelujah 🙏🙌👏👏👏👏👏👏👏👏❤❤❤❤❤

  • @mbukekadashi9479
    @mbukekadashi9479 2 роки тому +4

    🔥🔥🔥🔥

  • @pendomboyimboyi5024
    @pendomboyimboyi5024 2 роки тому +1

    Mnanibariki Sana asubui hii mungu awabariki

  • @eliufoosimonchuri4160
    @eliufoosimonchuri4160 2 роки тому +5

    The name of Jesus- Jina la Yesu, my 2 years boy favorite song. Mbarikiwe sana Neema Gospel na Paul Clement