Unaweza - Neema Gospel Choir

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 392

  • @NeemaGospelChoir
    @NeemaGospelChoir  Рік тому +123

    Kwa SADAKA tuma kwenda; M-PESA +255 756 707070 - Neema Gospel Choir. ubarikiwe!

    • @shedrakmsuha8880
      @shedrakmsuha8880 Рік тому +2

      Mimi nasubir ule wimbo wa Mbinguni itakuaje kwa hamu zote

    • @dannienimrod8713
      @dannienimrod8713 Рік тому +7

      Naomba you include the country code, muhimu sana maana kwa wasiojua watatuma kwa namba kama ilivyo na sadaka zipokelewe na mtu mwengine. Maoni yangu tu.
      Mubarikiwe sana kwa huduma yenu nzuri ❤️

  • @mosesblessing614
    @mosesblessing614 Рік тому +112

    I was waiting for this song 😂😂😂😂😂😢but finally imefika Neema you are doing it ,,,Wakenye njoo hii Imeweza like yako leta hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mcramtez
    @mcramtez Рік тому +33

    KENYA AMBASSADOR ✔️✔️💯WEKA LIKE KENYA FOR REVIVAL

  • @Thanksgod-cu
    @Thanksgod-cu Рік тому +19

    Tanzania mnakitu Cha kujivunia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tusifuni pamoja🙌🙌🙌

    • @ninayamat8213
      @ninayamat8213 3 місяці тому

      Sanaaa we're blessed kwa kweli Mungu anatupenda am proud of this choir(neema gospel)

  • @LifewithwinnieGithinji.
    @LifewithwinnieGithinji. Рік тому +42

    Ni njia gani naezatumia kujiunga na hiki kikundi.. love from Kenya ❤️❤️❤️

    • @gloriousnp
      @gloriousnp Рік тому +6

      @Neema Gospel Choir , kindly help this brother kutoka Kenya 🇰🇪 anashauku ya kuimba nanyi🤗

    • @shadrackdeogratius6760
      @shadrackdeogratius6760 Рік тому +3

      nenda dar,unajiunga bule tu

    • @tomkyalo1107
      @tomkyalo1107 Рік тому +2

      Amia Tz dar place inaitwa chang'ombe

    • @simonmahega3085
      @simonmahega3085 Рік тому +5

      I think you must be a member of AICT CHANGOMBE church then other follows

    • @kpbuildtv9189
      @kpbuildtv9189 Рік тому +1

      mwanzo wewe uko na sauti ama ni ile ya kutoa panya pangoni

  • @johanesmshumbu9708
    @johanesmshumbu9708 Рік тому +10

    Bro Mlingwa MUNGU azidi kukubariki Sana... Umezitendea haki drums 🙌..... Nyimbo nzuri Sana.... MUNGU azidi kuwainua....

  • @marthathomas1478
    @marthathomas1478 Рік тому +12

    Asee hamjawahi kosea kbs nyie watu NAWAPENDA mnoooo🔥🔥❤️❤️mnanipa Raha kila IITWAYO Leo💞😋😋

  • @joygituma2262
    @joygituma2262 Рік тому +11

    Kenyans we can't afford to sleep on this🔥

  • @justusmakau1269
    @justusmakau1269 Рік тому +17

    The guys on the instruments.Barikiweni.Solo,bass quitars,Main piano,drums moto sana.Lead singer and the entire choir mbarikiwe.From Kenya with Love

  • @ibrahimsonyofficiel1640
    @ibrahimsonyofficiel1640 Рік тому +7

    From DRC , MWOKOZI WETU UNAWEZA.
    CONGRATULATIONS CHOIR GRACE

  • @vascosteven3928
    @vascosteven3928 Рік тому +14

    Huyu drummer ananikoshaga kwa upigaji wake ngoma. Yuko makini na mziki. Keep on doing my brother.

    • @bildadchege8376
      @bildadchege8376 9 місяців тому

      The guy ni kama ako na motors kwa wrists 😂. Beautiful song and choir

  • @kennedymuya5843
    @kennedymuya5843 Рік тому +13

    The balance is on another level, much love from +254

  • @lychero
    @lychero Рік тому +3

    Wau I feel like am in heaven I think you will not miss that day when we are being called by our names in heaven.because it will be praising God throughout.

  • @erickmeshac3135
    @erickmeshac3135 Рік тому +5

    Kwaya hii mnaenda kwa masafa marefu ya Tai,mtafika mbali sana,nimewapenda tangu zamani, your Old school music was also very nice the likes of Watu twahangaika.......... 🇰🇪 MUNGU azidi kuwafurikia

  • @MercyPeledawson
    @MercyPeledawson Рік тому +12

    Asanteni sana kwa kuleta huu wimbo, nliusikia mara ya kwanza 2021 kwenye concert nikaupenda sana. Kila nikiuimba roho yangu inasuhuzika saana saanaa
    I love you so much neema gospel choir.
    All the way from 🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪

  • @njthepsalmist1220
    @njthepsalmist1220 Рік тому +33

    Love from Zimbabwe 🇿🇼 you guys are an amazing gift to the Kingdom of God

    • @masalugusessa3702
      @masalugusessa3702 Рік тому +1

      I'm proud of you son of God....... some of us NGC fans are zimpraise fans too ❤🇹🇿

  • @marykayumba8338
    @marykayumba8338 Рік тому +5

    Aisee nyie watu mnajua saaana, MUNGU wambinguni azidi kuwatumia Zaid, kwaajili ya utukufu wake.❤️

  • @bashmo7880
    @bashmo7880 Рік тому +2

    Am Ugandan🇺🇬
    My Kenyan friend has directed me here.
    It's beautiful 💕💕💕

  • @veeking956
    @veeking956 Рік тому +1

    this auxiliarry man. keffaa🔥🔥🔥🔥

  • @anyiraomoroanyila1893
    @anyiraomoroanyila1893 9 місяців тому +2

    Tanzania Good job God bless you

  • @noahmisholi1080
    @noahmisholi1080 Рік тому +30

    So you guys ain't say anything abou the drummer 😅🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 the band nailed it, the choir nailed it, the lyrics cover it all meen🔥🔥🔥🙌🙌🙌
    This is absolutely heavenly 😍

    • @mlingwag702
      @mlingwag702 Рік тому +1

      Glory to God 🙏🙏

    • @noahb2009
      @noahb2009 Рік тому +2

      ​@@mlingwag702 nimefurahi kukuona kaka ndio umepiga drums hivi??

    • @barakastephano481
      @barakastephano481 Рік тому +2

      Wamenyoosha...ila ubaya wa skio langu linakimbiliaga solo guitar na vocal😂😂😂

    • @mwabuponde3152
      @mwabuponde3152 Рік тому

      The drumer has got his place in heaven

  • @Gracidmoroj950
    @Gracidmoroj950 Рік тому +12

    Soo lovely,much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @anicetndayiragije-hv9os
    @anicetndayiragije-hv9os Місяць тому +1

    From Bujumbura nawapenda sana ndugu katika Kristo.

  • @benjaminshayo32
    @benjaminshayo32 Рік тому +1

    Jamaaaaaaaaaaaaaaannnnn🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩this soong...

  • @mtangag774
    @mtangag774 Рік тому +4

    Neema gospel Mungu awabariki jamani huduma yenu imesambaa sana sana.

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo9833 Рік тому +2

    Hapo kwenye reggae mazeee......dah!! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @julianahamis7159
    @julianahamis7159 Рік тому +6

    Huu wimbo umekuwa wimbo wangu pendwa tangu siku ya kwanza kuusikia hatimae leo ninausikiliza kwa utulivu tena nikiwa sina papara haleluyaaaaaa❤🎉🎉🎉 mbarikiwe sana watumish wa Jehova

  • @josephmkina
    @josephmkina Рік тому +3

    Hii melody, msiiache. Sifa, Heshima na Utukufu ni Kwa Mungu. Msimwache MUNGU .

  • @ombenmgallah6995
    @ombenmgallah6995 Рік тому +3

    Neema mnatisha sana aisee, Mungu azidi kuwapa nguvu ya kumtumikia

  • @opiyoPeterlis
    @opiyoPeterlis Рік тому +9

    That guitarist from essence of worship is on another level. The song is a blessing. May God continue lifting Neema Gospel. We value you, from Kenya🇰🇪

  • @ananemaemanuel8751
    @ananemaemanuel8751 Рік тому +6

    Hakika Mwokozi wetu anaweza hakuna la kumshinda 🙌

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 Рік тому +1

    Palipo na kitu kizur shetani hachezi mbali ilikuvukuga mm nawaomba msipunguze kasi ya maombi mnayofanya mnaimba vizur sana tena sana sasa shetani najua halifurahii

  • @ivanisanga-wy7sf
    @ivanisanga-wy7sf Рік тому +2

    Nilikuwa naisubiri hii neema ya bwana kutoka neema gosper choir

  • @ruthomiro7401
    @ruthomiro7401 Рік тому +3

    Jina la Bwana wa Majeshi,anaetupigania kwa Damu na Neno lake,Lihimidiwe mileleeee,,kweli mnamtukuza Yesu aliye hai,,Ameeen!!!!Ruth frm Arusha Tz...

  • @ministertimmy254
    @ministertimmy254 Рік тому +9

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤I love u my people always good music audio engineer masanja I love the voice balancing the mix is just perfect everything on point

  • @gracemhaya2735
    @gracemhaya2735 Рік тому +1

    Uwiiiiiiii🤔nyie watu nyie si MUNGU awatunze tu kwa utumishi uliotukuka.🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @neemachamshama1779
    @neemachamshama1779 Рік тому +3

    Mpiga ngoma i jus admire the way anavyochanganya fimbo uuiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥neema gospel is the whole gospel vibe mbarikiwe sana mnanifariji mnoooo

  • @sirelvice96
    @sirelvice96 Рік тому +6

    This is the best piece I have watched so far in 2023. You truly have Neema. Mob Love from KE🤩Glory to God!

  • @judithjoseph7083
    @judithjoseph7083 Рік тому +4

    Mungu awabarki sana mmekuwa baraka kwangu 🙏

  • @mercylinah1392
    @mercylinah1392 Рік тому +4

    Eeiiiy🔥🔥🔥mob love from kenya....the song itself is a vibe

  • @goodluckernest9775
    @goodluckernest9775 Рік тому +4

    finally................. TUMSIFU KWANZA HUYU MUNGU kisha jioni iwe njema kabisa

  • @mariammbwaga8463
    @mariammbwaga8463 Рік тому

    🔥🔥🔥 nawakubali sana Mungu awainue san

  • @mjuba
    @mjuba Рік тому +10

    One of my favorite choir 🙌🥂
    Mungu azidi kuwabariki na kuzidi kuwafunulia nyimbo nzuri za kumsifu na kumuabudu 🙏🙏
    Love u all ❤️

    • @siporajemes773
      @siporajemes773 Рік тому

      Inatakiwa mpate mwalim kitoka Tazania ili kiwago kiongezeke

  • @naomyfurahini4329
    @naomyfurahini4329 Рік тому +1

    Mbarikiwe mno.

  • @peakoffavor
    @peakoffavor Рік тому +1

    Hakuna lililo ngumu kwake, kwa nguvu zake tutashinda nina imani naye yakuwa mwisho wasafari bado!🏳

  • @john.mmasa.
    @john.mmasa. Рік тому +6

    Mungu Anaweza💯🙌🙌🙌🙌

  • @KenMbuki
    @KenMbuki Рік тому +6

    Much love from 🇰🇪🇰🇪...The drummer 🔥🔥🔥🔥...the Vocals 🔥🔥🔥...the lyrics 🔥🔥🔥🔥....mbarikiwe sana

  • @julietmoonka183
    @julietmoonka183 Рік тому +6

    🔥🔥🔥🔥🔥 You guys never disappoint

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 Місяць тому

    Fantastic song, Tanzania your blessed guys. Barikiwa sana, Neema Gospel Choir

  • @Lamecksultan
    @Lamecksultan Рік тому +2

    Kuna karegggea fulani katamu sana! Mungu awabariki!

  • @asajoshua7064
    @asajoshua7064 Рік тому +9

    Have you ever been ministered unto by a praise song 🥺. This song is just on another level. I fell in love with it the minute I heard it. More grace NGC ✨. You're doing great kingdom service.

  • @Gloriablessy
    @Gloriablessy Рік тому +1

    There is this little girl at the front. Eish!!😂😂 In the mouth of babes🙌

  • @iyaamoding8945
    @iyaamoding8945 Рік тому +1

    Enjoying the drums 😂😂💃💃💃💃

  • @misslavigne2769
    @misslavigne2769 Рік тому +5

    Such a beautiful song 🙌🙌🙌

  • @convinemukidanyi864
    @convinemukidanyi864 Рік тому +3

    Hapo sasaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🇰🇪

  • @sarahjoseph5411
    @sarahjoseph5411 Рік тому +3

    nyimbo kali sana🥰😍

  • @isackmwinuka
    @isackmwinuka Рік тому +4

    Frester record 🔥🔥🔥

  • @geoffreynghumba1029
    @geoffreynghumba1029 Рік тому +3

    Kuimba tunaimba sote, but you guys are next level performers. 👋👌👌👏👏👏

  • @johnsonmugisha8051
    @johnsonmugisha8051 Рік тому

    Mwokozi wetuuu, 👏👏👏 Mungu azidi kuwatia nguvu, nyimbo nzuri sana,

  • @topistarnangoro8697
    @topistarnangoro8697 Рік тому +3

    you always bless me.....
    ata mbinguni malaika wanarukaruka

  • @veronicambwana3049
    @veronicambwana3049 Рік тому +2

    Waaaoooh mbarikiwe saana Soo nice song 🥰🥰🥰

  • @noahb2009
    @noahb2009 Рік тому +3

    Naweza kusema kwa mara ya kwanza sikio langu limesikia that quality of live instrumental ambayo yenye soft base, solo string inavyo match na kwaya, Drums zimepigwa kwa mkono utadhani kwenye fruityloops🙌
    huu wimbo utakuwa My favorite kwa huu mwaka,

  • @rodneyasilla4991
    @rodneyasilla4991 Рік тому +6

    It's always the lovely little girls for me.🤩🤩 I love how they're ever having a splendid time here! May God ever keep them in His sanctuary. Much love from 🇰🇪.

  • @S.Wilondja
    @S.Wilondja Рік тому +1

    Mme kuja na nguvu sana Mungu awasaidie muendelehe ivyo.

  • @emmanuelmdodo3703
    @emmanuelmdodo3703 Місяць тому

    From katavi,watumishi wa Mungu, Bwana awabariki sana

  • @jamesochieng6730
    @jamesochieng6730 Рік тому +1

    I like the drumist,the best in Africa,may be the world.God bless you.

  • @parityshamasamu6775
    @parityshamasamu6775 6 місяців тому +1

    I have fallen in love with this song. Following from Livingstone Zambia ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @rebeccanyenga8251
    @rebeccanyenga8251 Рік тому +2

    Utukufu kwa Mungu 🙏. GOOD PERFORMANCE 👌👌👌...kamwe sitachoka kuusikiliza . Mungu alendelee kuwatumia na kuwaweka katika viwango vyake. Love you sana 🫶🫶

  • @hezronbaraka206
    @hezronbaraka206 Рік тому +1

    Nataman siku moja na mie nitumike nanyi jamn nawapenda bure kiukwel

  • @danielnangonga4256
    @danielnangonga4256 Рік тому +2

    Mungu awabariki kwa kazi nzuri

  • @kimkeys
    @kimkeys Рік тому +2

    Banger after banger 🎉🎉😊

  • @DaudSulle-oe9nm
    @DaudSulle-oe9nm Рік тому +1

    more blessings to you,
    may almighty God azidi kuwainua...nabarikiwa sana na huduma yenu

  • @evakatani636
    @evakatani636 Рік тому +4

    Hallelujah such a powerful song be blessed abundantly guys !! Mwokozi wetu Yesu unaweza bwana wa mabwana , nani kama wewe bwana wa mabwana🙏

  • @LTCFFOUNDATION
    @LTCFFOUNDATION Рік тому +4

    Wimbo mzuri sana

  • @fredrickmtangoo5071
    @fredrickmtangoo5071 Рік тому +1

    Safi sana,wakati wenu huu utumieni vizuri ingali wingu lipo pamoja nanyi.

  • @Rickykai_54
    @Rickykai_54 Рік тому +5

    Amen Hakuna kama wewe Bwana WA Mabwana.

  • @pendopendo3746
    @pendopendo3746 Рік тому +3

    This song deserves a million views 😢😢so sweet and beautiful 😍

  • @vascosteven3928
    @vascosteven3928 Рік тому +1

    Gud, umeimbwa kwa utulivu na mpangilio mzuri wa mziki. Vasco niko Lusaka Zambia. Be blessed all.

  • @zumasamson6603
    @zumasamson6603 Рік тому +1

    Mungu awabariki sana Neema Gospel choir....masongi yenu mazuri sana...mmechangamka

  • @witnesssamwely8812
    @witnesssamwely8812 Рік тому +2

    Nabalikiwa sana na hii nyimbo mungu awabaliki

  • @dolljoe522
    @dolljoe522 4 місяці тому

    Mbarikiwe Sana nyimbo zenu zina Roho mtakatifu,unaomba Hadi Roho mtakatifu anashuka 😢🎉🎉🎉😂😂

  • @musaliaeugene7975
    @musaliaeugene7975 8 місяців тому +5

    Such song needs to be 5million views by now it's so powerful

  • @edwarddismasndosi4512
    @edwarddismasndosi4512 Рік тому +4

    Hu wimbo mpk nalia nakupenda kufa🔥😭😭😭

  • @thadeusmathiews2564
    @thadeusmathiews2564 4 місяці тому +1

    Kwaya za Analogy zilikua sawa kwa ujumbe Digital kwaya imefuta makosa yote

  • @k-eddy4937
    @k-eddy4937 Рік тому +6

    Regnald Swai, blessed voice

  • @melodykima
    @melodykima Рік тому +1

    Yeeeessss 🎉🎉🎉🎉❤❤❤ Mfalme anastahili!

  • @LeoniaBenjamini
    @LeoniaBenjamini 9 місяців тому +2

    utukufu kwa mungu aliye hai hata kama nilikuwa na jambo zitonikisikilza napata nguvu mpya mbarikiwe sana

  • @fedinandjames7262
    @fedinandjames7262 Рік тому +5

    This is just a master, Biblical....
    God bless you guys for blessing us always.
    Kutoka Kenya KE KE KE KE

  • @atsachifamily4509
    @atsachifamily4509 Рік тому +2

    Tamuuuuu

  • @samuelmyete4637
    @samuelmyete4637 Рік тому +2

    🔥 🔥 🔥🔥🔥 huu wimbo hatari Sanaa halooo

  • @mwlSama
    @mwlSama Рік тому +2

    We love you from All over the world. Mmejua kutubariki.

  • @victoriamwaniga3462
    @victoriamwaniga3462 Рік тому

    Who's listening to the song with me team august 🎉🎉 don't

  • @salomemwambeso7587
    @salomemwambeso7587 Рік тому +1

    Kazi mzuri wapendwa,mbarikiwe sana

  • @enoshmhemakapaya
    @enoshmhemakapaya Рік тому +2

    Ahahaha nimewaweza ahahahahahah,,,,,,,,,,,wa kwanzaaaaaa

  • @shyllahadema2203
    @shyllahadema2203 Рік тому +2

    Is the kids for me😍😍😍😍😍😍😍...This one iko lit

  • @lydiamunuve3927
    @lydiamunuve3927 Рік тому +4

    My favourite choir! Oh my🙆! I can't stop dancing..you are loved in Kenya 🇰🇪

  • @ministerjeremyjeradi254
    @ministerjeremyjeradi254 Рік тому +2

    Nime barikiwa sana ! Barikiweni sana watumishi Wa Mungu! This is so powerful. Mwokozi wetu unaweza 🔥 much love from Kenya 🇰🇪

  • @irenesteven8032
    @irenesteven8032 Рік тому +5

    Ahsante Baba Kwa ufunuo wa nyimbo hii,Glory to you our powerful God🙏.

  • @belindahluyo2094
    @belindahluyo2094 6 місяців тому +1

    There's no one like you Lord of Lords🙌🙌 Your mighty hand has given us salvation. Halleluyah!

  • @westonmpangala2289
    @westonmpangala2289 Рік тому +1

    Nimebaeikiwa Sana Na hii