Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 3,1 тис.

  • @SamsaiMedia
    @SamsaiMedia 5 місяців тому +2153

    Anyone from Kenya Tupia like hapa maze🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @eliufoosimonchuri4160
      @eliufoosimonchuri4160 5 місяців тому +24

      Our brothers and sisters mko safi sana. Many blessings to you. Namna hii hatujawahi ona.

    • @winymaomond2430
      @winymaomond2430 5 місяців тому +16

      Tuko🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @nancynjeri4348
      @nancynjeri4348 5 місяців тому +12

      Tuko ndani 🇰🇪🇰🇪

    • @wafabian8116
      @wafabian8116 5 місяців тому +11

      Niko Niko🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nasiwezi kunyamaza

    • @marygokune2351
      @marygokune2351 5 місяців тому +9

      Here🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nvpmedia6467
    @nvpmedia6467 5 місяців тому +860

    Tanzania like ziko wapi 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Tz Tunashindwa kunyamaza ni Makubwa anayo tutendea uyu Mungu

  • @OlivaMoshi
    @OlivaMoshi 4 місяці тому +297

    Nawezaje kunyamaza wakati nilikatiwa tamaa na kuwa sitaolewa wala sitazaa, na mimi pia nikajikatia tamaa kabisa. Pale nilipoishia Mungu ndio akaanzia! uuuwii Mungu akanishangaza na kuwashangaza watesi wangu. Mbele ya macho yao nikaolewa na God fearing man haswa tena muhubiri wa injili yeye na familia yake. Yaani nimeandaliwa meza mbele ya watesi. Mume ambaye ukimuangalia unaanza kulia tena machozi ya shukrani kwa Mungu. Jamani am blessed and I have the best Christian marriage. Wakwe watumishi yaani namtumikia Mungu kwa ushindi mkuu. Siwezi kunyamaza na kuwaambia mabinti kuwa Yesu bado anao waume bora kwa ajili yao. Mungu wangu anatenda zaidi ya tuombavyo na tuwazavyo!!!! Yesu hajaishiwa na hatokaa aishiwe. Acha tumtangaze huyu Yesu ya kuwa matendo yake yanatisha kama nini!!!

    • @LeahJoshuwa
      @LeahJoshuwa 4 місяці тому +3

      Oliva barikiwa sana

    • @magdalenamaziku9691
      @magdalenamaziku9691 3 місяці тому +4

      SIFA NA UTUKUFU URUDI KWA MUNGU, Nashangalia na kuconnect na kibali hiki kwa Jina La Yesu

    • @magdalenamaziku9691
      @magdalenamaziku9691 3 місяці тому +1

      SIFA NA UTUKUFU URUDI KWA MUNGU, Nashangalia na kuconnect na kibali hiki kwa Jina La Yesu

    • @deborasimon422
      @deborasimon422 3 місяці тому

      Haleluya Atukuzwe Mungu

    • @GaudenciaMatutu
      @GaudenciaMatutu 3 місяці тому

      Napokeaa hii Kwa viwangoo

  • @sophiaasenga298
    @sophiaasenga298 5 місяців тому +1243

    Nawezaje kunyamaza. Naitwa Sophia Anselmu Asenga. Yesu aliniponya Asma na pumu iliyonitesa Kwa miaka 18. Jamani nitawezaje kunyamaza wakati kaniponya. Nakumbuka ulikuwa ikinibana, unabanwa kisawa Sawa ukweli ukweli. Glory to God. I glorify lord Jesus

    • @petermushi4024
      @petermushi4024 5 місяців тому +19

      🎉🎉🎉 unawezaje kutulia

    • @userbridgitnkatha
      @userbridgitnkatha 5 місяців тому +22

      I can't keep quiet Lord,, you have already done it ❤🙏🙏 from Kenya 🇰🇪❤

    • @ritaaliela7401
      @ritaaliela7401 5 місяців тому +8

      Sifa kwa Yesu

    • @marthawillium2547
      @marthawillium2547 5 місяців тому +14

      Oooh wooow.Yesu please keep this testimony for the future

    • @helenyohana1892
      @helenyohana1892 5 місяців тому +4

      Amen❤🙏

  • @ruthwangari1207
    @ruthwangari1207 5 місяців тому +895

    If you want Dr.Ipyana to visit Kenya for a worship night gonga like

  • @user-Joykananu
    @user-Joykananu 4 місяці тому +240

    I will be back with a testimony soon. God please remember me, I want to be part of this testimony. Someone please like my comment.

    • @kerubonancy5057
      @kerubonancy5057 4 місяці тому

      Amen receive your testimony in Jesus name

    • @priscillahmwendwa4650
      @priscillahmwendwa4650 2 місяці тому

      Oh God I want to sing this song deeply rejoicing in my heart tears of joy blowing down my chicks oh remember me Lord ,walk with me till the end of these storms 😢😢

    • @gustavrwekaza802
      @gustavrwekaza802 2 місяці тому

      🎉May your prayer be granted

    • @dorismuthio2664
      @dorismuthio2664 2 місяці тому

      Me too

    • @WelluIzumbe
      @WelluIzumbe Місяць тому

      Mungu na kutendee dear

  • @deborahkabwe6057
    @deborahkabwe6057 4 місяці тому +424

    Nilipata ajali nikapasuka kichwani nikapoteza kumbukumbu kwa muda wa mwezi mzima. Yesu alinirejeshea Tena . Kumbukumbu . Nawezaje kunyamaza

  • @MagrethAndrew-hj5ur
    @MagrethAndrew-hj5ur 4 місяці тому +717

    Naweza kunyamaza wakati Mungu amenitendea makubwa, mwaka 2022 ujauzito uliharibika na miezi saba nilitoka damu mpaka ikabaki moja nikaa ICU siku tatu na kuongeza damu unit 11, kiufupi nilichungulia kaburi, nikashonwa shingo ya kizazi na nikaambiwa sitakiwi kubeba mimba ndani ya mwaka.mmoja, lakini baada ya miezi miwili tu nikabeba ujauzito mwingine na 2023 mwezi wa 11 nikapokea bby girl wangu mrembo sana, yuleyule wa kike niliyempoteza, nawezaja kunyamaza mimi, uponyaji nilipata, sikufa kabla ya mpango wa Mungu na bby ninaye!

    • @HellenKahema
      @HellenKahema 4 місяці тому +1

      😭😭😭😭😭

    • @dr_muyoka
      @dr_muyoka 4 місяці тому +13

      Amen dadangu. Asante kwa ushuuda wako. Utanyamazaje ilhali Mungu amekutendea makuu? Jina lake litukuzwe milele na milele, Amen. 🙏🙌

    • @upendokikwelele620
      @upendokikwelele620 4 місяці тому +4

      Hongera Sana hapo huwezi kunyamaza

    • @pendopaul8011
      @pendopaul8011 4 місяці тому +1

      😢😢😢😢😢😢😢🙌🙌

    • @NatovuakiThomas
      @NatovuakiThomas 4 місяці тому +2

      Glory to God
      Hongera sana dada

  • @MsMamemy
    @MsMamemy 4 місяці тому +54

    Jamani likes hazitoshi huu wimbo ni zaidi ya deliverance... Huyu mtumishi wa Mungu azidi kulindwa na damu ya Yesu na he is unstoppable hata shetani alipotaka kumzuia kwenda kuhudumu Rwanda hakuweza... Sijaona likes za kutosha from Rwanda let's thank God for the life of Dr Ipyana... Thumbs up from 🇷🇼🇹🇿🇰🇪🇺🇬.... Let love lead

  • @denisbongore3098
    @denisbongore3098 5 місяців тому +423

    Waliojanzwa nguvu za Mungu kupitia huu wimbo tunaomba like jmn 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 atuwezi kunyamaza Yesuuuuuuuuu tunakupenda

    • @leonidamichael2664
      @leonidamichael2664 3 місяці тому +2

      The crying the happynes the feeling is unexplainable

  • @matildaotieno7288
    @matildaotieno7288 5 місяців тому +173

    Kenyan mko wapi tupige kelele hatuezi kunyamaza , ametenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @NzwallaNzwalla-t9v
    @NzwallaNzwalla-t9v 3 місяці тому +28

    najua sijachelewa sana naomba hata like moja, mimi siwezi kunyamaza🙇

  • @denisbongore3098
    @denisbongore3098 5 місяців тому +145

    Wooooooooiiiiiiiii jmn mm huu wimbo naweza usikiliza ata kwa siku mara saba kama wako walioupenda huu wimbo kama mm naomba like zenu nimeshindwa kunyamaza jmn!!!!!!!

    • @festobumi
      @festobumi 4 місяці тому +1

      umekua sehemu ya maisha yangu! yaaan ashukuriwe Mungu❤❤❤❤❤

  • @irenemwikali7400
    @irenemwikali7400 5 місяців тому +232

    Sitaweza kunyamaza, Yesu amenitendea Amen 🙏🙏. Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi likes

  • @PraelKui
    @PraelKui Місяць тому +17

    Naweza aje kunyamaza wakati nimeona mwezi wa mwisho wa mwaka 2024🥳🥳🥳🥳🥳🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BlessingBaraka-i1s
    @BlessingBaraka-i1s 5 місяців тому +155

    Nawezaje kunyamaza na yeye aliniponya kwa mlipuko wa bomu 2013 sahi najivunia Yeye pekee ndani ya maisha yangu, ni Blessing from Kenya🇰🇪

  • @GraceNafula-n1h
    @GraceNafula-n1h 5 місяців тому +343

    Nawazaje kunyamaza wakati amenipa mtoto wakati tuiliitwa taasa mimi na mume wangu👪

  • @aselakarokola4303
    @aselakarokola4303 8 днів тому +27

    Who is watching 31/12/2024
    Thank you God for everything❤

  • @AlphonceDM
    @AlphonceDM 4 місяці тому +218

    Wale tulinaoangalia hii baada ya kuona Dr Ipyana akiwa amepiganiwa na Bwana baada ya kupata ajali mbaya ya Kifo lakin bado halalamiki anatutia moyo nione like za kutoshaaaa❤❤❤❤ Hatuwezi Kunyamaza

    • @helenaJOSEPH-z2m
      @helenaJOSEPH-z2m Місяць тому +2

      Hatuwez kunyamaza😢naona jinsi Mungu anaenda kunipa degree yangu ya pili,pamoja na magumu,naona anavyonivusha😢😢

    • @KeziaChalu-l2n
      @KeziaChalu-l2n 25 днів тому

      Nawezaje kunyamaza alinitoa kwenye opareshen ngumu nikatoka salama

    • @beatricekatunzi3721
      @beatricekatunzi3721 23 дні тому

      ​@@helenaJOSEPH-z2munanitia moyo sana.Mimi na umri wangu wa Miaka 52 nimebakiza miaka 8 kustaafu naelekea kuanza dissertation ta degree yangu ya pili.Licha ya magumu ninayopitia bado namuona Mungu yu nami
      Nashukuru Mungu kunipandisha hatua nyingine katika utumishi wangu ambapo nilishakata tamaa sana.Hakika siwezi kunyamaza namshangaa Mungu

    • @beatricekatunzi3721
      @beatricekatunzi3721 23 дні тому

      Wakati uliopita niliona ulimwengu wote unanicheka,nikaona Mungu ameniacha
      Leo tena national ninapendelewa na Mungu
      I can't explain

  • @praiseandworship6293
    @praiseandworship6293 5 місяців тому +209

    Whoever reading this,God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Amen

  • @mammai6798
    @mammai6798 4 місяці тому +38

    Nawezaje kunyamaza
    Wkt Nilimuona Mungu live alivoshuka haraka kuniokoa baada ya kugonga Treni na gari lng tena nikiwa na firstborn wng wa miezi tuu alienizawadia Mungu baada ya uzazi kusumbua muda mrefu lkn hatukufa wala kuumia ! Ingawa gari lilikuwa hoi !

  • @benignendayizigiye224
    @benignendayizigiye224 5 місяців тому +124

    Nawezaje kunyamanza wakati Mungu katuokoa kwenye ajali ya Ndege with my brother and sister😭😭…na na tumezaliwa 3 tu ….nawezaje kutulia na wakati umefanya namna hii Bwana sijaona namna hiii😭😭

    • @graceilahamis7017
      @graceilahamis7017 4 місяці тому +1

      Hakika Mungu ni mkubwa

    • @syrinemwikali7700
      @syrinemwikali7700 4 місяці тому +1

      Wow what a testimony
      Glory glory glory to the Most High God 🙌 🙏

    • @benignendayizigiye224
      @benignendayizigiye224 4 місяці тому +1

      @@syrinemwikali7700 amen Glory to our almight God🙏🏾🧎🏻‍♀️

    • @benignendayizigiye224
      @benignendayizigiye224 4 місяці тому

      @@graceilahamis7017 sana tutaendelea kusema ukuu wake 🧎🏻‍♀️🙏🏾

    • @benignendayizigiye224
      @benignendayizigiye224 4 місяці тому

      @@graceilahamis7017Mungu apewe sifa na nitaendelea kumshkuru Mungu kila nikikumbuka hilo 🧎🏻‍♀️🙏🏾

  • @ebenezerchristopher9605
    @ebenezerchristopher9605 5 місяців тому +110

    Tunawezaje kunyamaza wakati Mungu umemuokoa mtumishi wako Dr. Ipyna na mauti ya ajali ❤️🙌🙌🙌

  • @ginxginx9017
    @ginxginx9017 3 місяці тому +23

    Nawezaje kunyamaza, sijaona namna hii, nipo kwenye kipindi kigumu cha kutengana na aliyekua mume wangu, amesaliti agano la ndoa na wanawake wengi mno zaidi ya watano na manyanyaso juu, na bado kuniacha nalea mtoto wa mwaka bila kodi bila kazi, bila senti tano mfukoni mwangu, ila Mungu mkuu akaninyanyulia watu na hapa napoandika ushuhuda huu nimepata kodi kabla ya deadline yaani ni kuwasiliana na mwenye nyumba kumuuliza niingize wapi kodi yake 😄, and I declare more blessings after blessings upon my life in Jesus name.....Huyu Yesu matendo yake yanatisha 🙏
    Nikutie moyo unaesoma ujumbe huu, usiogope Mtegemee Mungu katika maisha yako, hata uwe unapitia wakati mgumu kiasi gani kwa Mungu hakuna jambo gumu kabisaaaa, tusimwekee Mungu mipaka, amini!!!! Yesu anakupenda, ni maombi yangu Mungu akuvushe na kukushindia katika gumu unalopitia in Jesus name I pray.

    • @justinemagige1439
      @justinemagige1439 2 місяці тому

      Hongera sana na mimi atanivusha kwenye changamoto zangu na familia yangu pia itavushwa tutamaliza mwaka kwa ushindi kwasababu tutasema hakika Mungu ametenda na kila asikiaye atafurahi nasi kwasababu BWANA atafanya kwa maajabu makuu!

    • @godfreylugiko9768
      @godfreylugiko9768 25 днів тому

      Amina dada mungu akuwezeshe

  • @leah_km
    @leah_km 4 місяці тому +165

    Nawezaje kunyamaza mimi jaman 🥹 hapa dar nilkuja na kibeg tu cha mgongoni na kiswaswadu ila sasa Mungu amenipa kaz ya kufanya chumba chenye vitu vya kutosha 😭 na kabat lilolojaa nguo 🥹🥹😭😭 mimi ni nan jmn!!
    Leo Mungu kanipa na biashara yangu kabisa ndugu zangu wakija dar wanafikia dar na wanakula had wanasaza Ooh Lord!! Hi ni kubwa sana kwangu
    NAWEZAJE KUNYAMAZA MIMI 😭😭🙏

    • @SophiaChande
      @SophiaChande 4 місяці тому

      Be blessed Leah ❤️

    • @ZakiaSaid-wp6pm
      @ZakiaSaid-wp6pm 4 місяці тому +2

      Mungu mkubwa nahisi kulia machozi ya furaha Kwa ushuhuda huu😢

    • @lennykamau8100
      @lennykamau8100 4 місяці тому

      Na sifa zimrejee mwenyezi mungu

    • @FATUMANgala-j1z
      @FATUMANgala-j1z 3 місяці тому +1

      God bless you more

    • @joycelanda8987
      @joycelanda8987 2 місяці тому

      Oh Hallelujah!! Praise the Lord!!!

  • @gracepaul5901
    @gracepaul5901 4 місяці тому +95

    Nilipata ajari mbaya sana nikielekea kazini nikiwa speed sana. Gari iliacha njia na kugonga Mti, kisha ikageuka na kurudi nilikotoka na kuniangusha tairi kushoto mbele na nyuma zikabaki ringi tupu.Mungu wangu akanitoa mzima kabisaa. Nikiwa naelekea Nairobi na Bus kampuni Easy coach baada ya Gari yetu kuondoka.
    ASB mlima wa Mayumayu uliyeyuka na kua matope, nyumba na ❤magari baadhi ikiwemo Bus LA Easy coach vikafunikwa na zaidi ya Watu 250 kufa.
    Nilipata attack ya kishindwa kupumua na kuvimba mwili wote nikiwa naendesha Gari . Mungu aliwezesha alinifikisha hadi getini kwangu. Hatimae hali ikazidi kua ngumu lakini niliweza kufikishwa hospital nikapata tiba ya dharula.
    Eeh Yesu ninakutenda dhambi kwa mawazo, maneno, matendo na kutitimiza amri zako. *Nisamehe Bwana*
    NAWEZAJE KUNYAMAZA SASA?

  • @MercyKundu-te7zi
    @MercyKundu-te7zi 4 місяці тому +45

    Niligonjeka kanza ya macho na ilikuwa imebaki one week na nikufe nilitolewa jicho moja sai niko na nko mzima na hilo jicho moja praise God 🙏🏾nitawezaje kunyamaza mm , Kenya's 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Lioness_2407
    @Lioness_2407 4 місяці тому +115

    Nawezaje kunyamaza..Mungu umemponya mwanangu aliekua na matundu kwenye moyo mawili, nilikua nampeleka clinic Muhimbili kila baada ya miezi miwili...tangu kuzaliwa...now ana miaka 8 amepona bila operation wala dawa za hospitali...siwezi kunyamaza kabisaaa....eeeeh namna hii sijaona namna hii Yesu🙌🙌🙇

    • @FridaMwita
      @FridaMwita 4 місяці тому +6

      I can feel dear,siwez kunyamaza pia sickle cell,miez kumi na Moja Sasa mwanangu hajalala hospitali wala kuona mlango wa hosp,hajaongezewa damu,I ntank God for this,ilikua Kila week hosp Kila baada ya miez miwil tunalazwa anaongezewa damu.siwez kunyamaza mim😢

    • @Lioness_2407
      @Lioness_2407 4 місяці тому +4

      @@FridaMwita halafu mtu aje kuniambia et Yesu ni scam..aaah hapana jamani siwezi kunyamaza kabisaa huu wimbo naweza nikausikiliza siku mzima nisichoke kipenzi,Yesu ni mzuri mnoo🔥🔥🙌

    • @SophiaChande
      @SophiaChande 4 місяці тому +1

      ❤❤❤❤

    • @mselledamas9078
      @mselledamas9078 3 місяці тому +1

      Ooooh haleluya ninalia kushukuru kwaajili yako

    • @Lioness_2407
      @Lioness_2407 3 місяці тому

      @@mselledamas9078 ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeen 🙌

  • @jackeminja9694
    @jackeminja9694 5 місяців тому +119

    Anyone from Tanzania likes here.

  • @JoyceHaule-o8c
    @JoyceHaule-o8c 4 місяці тому +16

    Nawezaje kunyamaza 2002 Mungu alinipinya na ajali mbaya ya tren Dodoma Mungu alinipa kazi nzuri serikalini nimetumikia miaka 34 leo nimestaafu kwa usalama bila shida yeyote nawezaje kunyamaza

  • @elizabethjohnson4089
    @elizabethjohnson4089 4 місяці тому +49

    Ee Yesu sijaona namna hii siwezi kunyamaza, mengi uliyotenda kwenye maisha yangu, umenipa wazazi, umenipa mume, umenipa watoto wawili wazuri, umenipa kazi nzuri yenye heshima, na umenipa wadogo wazurii , Yesu siwez kunyamaza

    • @justinemagige1439
      @justinemagige1439 2 місяці тому

      Mungu amefanya tena kwako na famiia yako utawezaje kunyamaza?????

  • @ingozescopion
    @ingozescopion 5 місяців тому +95

    Nawezaje kunyamaza wakati aliniponya na uraibu wa kamari na uvutaji wa bangi

  • @faithndunge5100
    @faithndunge5100 7 днів тому +7

    I'm grateful to God that after 7 years of waiting, he gave me a permanent job before 2024 ended 😭🙏..Mungu siwezi nyamaza ,nimekuja kushukuru na kusema asante🙏..2025 God take the lead

  • @barakazakayo7000
    @barakazakayo7000 5 місяців тому +176

    Tuliokua tunaisubiria hii video tujuane jmn🙏🙏🙏🙏 Nawezaje kunyamazaa sasa❤❤❤ Barikiwaa sanaa Kaka Dr Ipyana❣️❣️❣️🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏

  • @boazdanken
    @boazdanken 5 місяців тому +71

    Namna hii sijaona namna God Bless you Mtumishi wa Mungu

    • @T.O.G.W.M
      @T.O.G.W.M 5 місяців тому +6

      Barikiwa zaidi Boaz Danken

    • @siashayo6466
      @siashayo6466 4 місяці тому +1

      Hakika hatuwezi kunyamaza mtumishi

    • @antussatemba6676
      @antussatemba6676 4 місяці тому +1

      Sijaona namna hiii blessing over blessing❤❤❤❤

    • @collinsshitandi6176
      @collinsshitandi6176 4 місяці тому +1

      Barikiwa sana pia mtumishi wa Mungu.

    • @DavidMugunda
      @DavidMugunda 3 місяці тому

      Furaha festival Mbeya ❤❤❤

  • @Jackmushil
    @Jackmushil 2 місяці тому +28

    Nitarudi soon kutoa ushuhuda, Niombeeni jamani nami nifunguliwe tumbo niitwe mama na mimi

    • @ckkevinkigen4968
      @ckkevinkigen4968 22 дні тому +2

      Hallelujah, Tunangoja matendo ya Mungu katika Maisha yako

    • @lilianboimanda7443
      @lilianboimanda7443 21 день тому +1

      Kwa imani Mungu atakupaaaa amennnn

    • @josephkmuigai1745
      @josephkmuigai1745 19 днів тому +1

      Mungu akutendee kulingana na Imani Yako.Anayaweza yote

    • @neemalaurent9836
      @neemalaurent9836 6 днів тому +1

      Mungu anasema tukiomba yeye amejibu tayari na tunaponena amesikia tayari 🙏,2025 mungu atende kwako, 🙏

    • @jessemakale9930
      @jessemakale9930 4 дні тому +1

      Mungu ashayajibu maombi yako

  • @sylviadanford9138
    @sylviadanford9138 5 місяців тому +58

    Nimetaza video hii Leo Leo usiku nikapokea pesa ya mtaji wa biashara ambao kisutegemea kama ntapata🎉❤😁nawezaje kunyamaza Yehova wakati umefanya kwangu...Glory to Jesus ,ubarikiwe sana Mtumishi hakika Bwana anakutumia kweli.Miujiza imekuja kwangu kama nilivyosema siku unatangaza unatoa hivi karibuni nikasema utoapo hii nyimbo Ije na muujiza wangu na God did❤❤❤fireeeeeee

  • @saudaantony9152
    @saudaantony9152 5 місяців тому +57

    kwenye huu wimbo najisikia kulia tu😭😭😭😭😭😭 Mungu yupo jamanii tusichoke kumshukuru na kumwabudu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @paulinewachilonga3601
    @paulinewachilonga3601 8 днів тому +7

    Siwezi kunyamaza kwelii since the year started upto today 31/12/2024 God us been there for me wengine wamepoteza maisha na wapendwa wao🙏🙏🙏🙏

  • @DCH-681
    @DCH-681 4 місяці тому +85

    Nawezaje kunyamanza wakati umefanya sijaona namna hii ❤❤❤❤❤❤❤❤ 2024, I got my visa and traveled, my wife got promoted, sijaona namna hiii, asante Yesu

  • @ireneleonard4739
    @ireneleonard4739 4 місяці тому +148

    Nawezaje kunyamaza wakati Mungu ametenda makubwa kwangu nimehangaika n hormonal imbalance for 10 years n finally Mungu ametenda jambo jipya kwangu ! Tripplets on their way 🙏🙏🙏🙏naachaje kumsifu huyu Mungu mwenye matendo makubwa kwangu !!haikua rahisi kusubiri ila 18.08. 2024 God did it 🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️

  • @patriciamapunda6220
    @patriciamapunda6220 2 місяці тому +18

    Nawezaje kunyamaza, nilichekwa niko nyumban wenzangu wanaolewa,2024 nimechumbiwa, nimefunguliwa kampuni na natarajia mtoto...hizi ni baraka tosha kwangu

    • @justinemagige1439
      @justinemagige1439 2 місяці тому +1

      Hakika huwezi kunyamaza wakati BWANA ametenda!

    • @denisalex250
      @denisalex250 Місяць тому

      Nibaraka tosha mungu akusimamie Mimi kijana Nina diploma ya uhasibu naomba kazi kwenye kampuni yako

  • @Olivier_Ndanyuzwe
    @Olivier_Ndanyuzwe 5 місяців тому +60

    Heavenly Father I pray that you keep the person reading this alive, safe, healthy and financially blessed Amen 🙏.

  • @zebedayombera8213
    @zebedayombera8213 5 місяців тому +33

    Nawezaje kunyamanza umenitendea makubwa from rwanda 🇷🇼 like zetu ziko wapi tukishukuru mungu wetu tumeona rwanda 🇷🇼

  • @getrudesariki648
    @getrudesariki648 8 днів тому +6

    Kuolewa nakukaa mda mrefu bila watoto Mungu akanijalia na mabinti wawili warembo.... Siwezi nyamaza na ilihali Mungu amenifanyia miujiza🎉🎉🎉

  • @kapeljjkapeljj5407
    @kapeljjkapeljj5407 4 місяці тому +29

    Nilinyimwa visa mara 3 nikakata tamaa finaly mara ya4 nikapewa kirahis kabisa now niko US sjaona namna hii woow Glory to God

  • @jacklinejuvenal2364
    @jacklinejuvenal2364 4 місяці тому +42

    Mungu BABA, ameniokoa na ajari mbaya , Lori limetugonga nilikuwa kwenye daladala.Hakika siwezi kunyamaza kama wengine wamefariki Mimi npo hai 🥺🥺🙏🙏😔

  • @fredrickojiambo254
    @fredrickojiambo254 Місяць тому +9

    Instruments @ 3:35 Siwezi nyamaza. Who's here with me in November 2024

  • @SmartDigital-j6s
    @SmartDigital-j6s 5 місяців тому +20

    piga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee bila kunyamaza , mataifa yote gonga like

  • @joyceassey2347
    @joyceassey2347 4 місяці тому +41

    Sitaweza kunyamaza Mungu anakwenda kunipa kazi nzuri ,,,nitarudi hapa hapa kupiga kelele zaidi siku si nyingi

  • @rosemarympatamali5172
    @rosemarympatamali5172 4 місяці тому +22

    Yesu aliyenipa watoto nawezaje kunyamanza sijaona Namna hiii❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @PharmBenson
    @PharmBenson 5 місяців тому +48

    like za dr ipyana hapa

  • @keziahmumina4507
    @keziahmumina4507 5 місяців тому +69

    Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 loves you Doc Ipyana.. praying for your speedy recovery

  • @FayzaF-y6y
    @FayzaF-y6y 4 місяці тому +10

    Uliyenipa ujauzito full term miezi tisa adi Sasa napoelekea kwenye kujifungia na kwenda kumpokea mtoto wangu wa kiume niwewe tu umefanya...nakutumainia bwana siwezi nyamaza wala kutulia kwa Yale umetenda na utakayotenda Amina

  • @lizpallangyo8057
    @lizpallangyo8057 4 місяці тому +50

    Nawezaje kunyamaza hali Mungu amemponya Dr.Ipyana na roho ya mauti,
    nimekumbuka Mungu alivyoniokoa na ajali ya mauti,gari ya Noah iliponigonga na kunirusha mbele na kunipitia juu hadi leo nipo hai nina nguvu,namtukuza Mungu

  • @faithmwangi6204
    @faithmwangi6204 5 місяців тому +96

    Like from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    I can't get enough of this song😊.It is timely.I cannot afford to be silent to my God.The things He has done and the things He's doing are marvelous in my eyes.

  • @SylviaMutindi-ny3gi
    @SylviaMutindi-ny3gi 7 днів тому +4

    Nawezaje kunyamaza wakati umeniwezesha kuona huu mwaka 2025 safe and sound,,,, Glory to God

  • @yvonnekwikiriza9107
    @yvonnekwikiriza9107 5 місяців тому +78

    Here after Dr. Ipyana's public announcement of the accident. Shetani atashindwa milele. JESUS CHRIST is enthroned forever more AMEN.

    • @moseshunja1792
      @moseshunja1792 5 місяців тому +2

      Ashashindwa, hana nguvu. Mungu ni mwema.

    • @yvonnekwikiriza9107
      @yvonnekwikiriza9107 5 місяців тому +1

      @@moseshunja1792 AMEN

    • @naomiicks5178
      @naomiicks5178 4 місяці тому +1

      Amen, don’t touch my anointed and do them no harm. Says the Lord psalm 105:15 so the Devil has to pay. He will not die but live to declare the goodness of the lord in the land of the living. May the angels of the lord protect him day and Night and his family too . We cover him with the blood of Jesus

    • @bambe117
      @bambe117 3 місяці тому

      Number yake inapatikanaje

  • @geraldinho240
    @geraldinho240 5 місяців тому +36

    Nawezaje kulia wakati mungu umefanya Kama unamkubali dr ipyana tujuane like zene 👍👍👍

  • @elihaikamrema1693
    @elihaikamrema1693 2 місяці тому +11

    Niliumwa na nyuki hadi nikakubali matokeo pale niliposema basi. Mungu aliniletea kijana mmoja akanifunika na akaniondoa kwenye ajali. Nawezaje kunyamaza wakati Mungu alinisaidia sana na kuniokoa na kifo kumpatia Mungu Like huku mkisema hakuna Mungu kama wewe Yawe.

  • @REHEMACONERIOCOSTANCE
    @REHEMACONERIOCOSTANCE 4 місяці тому +32

    Naweza kunyamaza mim jmn wakat Mungu hamenitendea mumewangu alipo fariki ndug wa mumewangu walinipokonya kila kitu na mpka watt wangu wakawakata kbs nikawa sijui watt wangu watasomaje na wataishije, lkn Yesu halitenda akatoka mtu wa kuwasomesha watt wangu wote wa 3 tena shule za boding, jmn naweza kunyamaza mim zaid yakulitukuza jina lake

    • @justinemagige1439
      @justinemagige1439 2 місяці тому +1

      Destinyhelper huyo kweli MUNGU huwa anainua watu ili utukufu wake tuuthibitishe tukiwa bado tunavuta pumzi hakika MUNGU amekutendea jambo kubwa kila asikiaye atafurahi nawe.Amen barikiwa sana!

    • @SophiaAbubakar-u5r
      @SophiaAbubakar-u5r Місяць тому +1

      Uwezi kunyamaza

    • @REHEMACONERIOCOSTANCE
      @REHEMACONERIOCOSTANCE Місяць тому

      Siwezi ata kidgo​@@SophiaAbubakar-u5r

    • @REHEMACONERIOCOSTANCE
      @REHEMACONERIOCOSTANCE Місяць тому

      Amina ​@@justinemagige1439

  • @jackeminja9694
    @jackeminja9694 5 місяців тому +58

    Dr ipyana ameshindwa kunyamazaa na amemtukuza Mungu hata kwa Hali aliyopitia siku ya uzinduzi WA nyimbo badooo Mungu amemtendea Nami cwez kunyamaza kumtukuz Mungu kwa ajili yake...Glory to God Bwana amejivika utukufu na heshima..Mungu yupo jamani

    • @tumainirwela6488
      @tumainirwela6488 5 місяців тому +1

      Alipitia hali gani?

    • @neboughtkalwila
      @neboughtkalwila 5 місяців тому

      @@tumainirwela6488 angalia video amepost kwenye akaunti yake, alipata ajali mbaya sana, Bwana kamtoa salama, ijapo alijeruhiwa

    • @reginakaniki4209
      @reginakaniki4209 5 місяців тому

      ​@@tumainirwela6488alipata ajali my kagongwa na gari

    • @antussatemba6676
      @antussatemba6676 4 місяці тому

      @@tumainirwela6488alipata ajalii

    • @christinankya4335
      @christinankya4335 2 місяці тому

      Ajali

  • @salomewafula1719
    @salomewafula1719 4 місяці тому +11

    Nashukuru mungu maana unaenda kumpa my sister mtoto...bwana najua umetenda....she has stayed on mountain for too long😢😢

  • @pascalinamwabena99
    @pascalinamwabena99 5 місяців тому +35

    Sijaiona namna hii kwa taifa kama Tanzania kuinua watu wenye Roho ya uamsho wa kumuinua Mungu kwa ibada ya nyimbo nzuri namna hii sitoweza kunyamaza... Mungu akutunze chombo kiteule cha Mungu wetu shukrani apewe Mungu ametupendelea TZ

  • @Sheddiengomar
    @Sheddiengomar 5 місяців тому +79

    Kama unaupenda wimbo huuu basiii eka emoji ya love kuashiria kuuupenda wimbo huuu

  • @HappyShirima-k9t
    @HappyShirima-k9t 4 місяці тому +12

    Nawezaje kunyamaza Mungu wakati ulimponya baba angu mzazi ambae tuliangaika nae sio chini ya Miaka miwili alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo pamoja na inni ila mpaka Sasa baba angu Bado yupo na anaendelea vizuri eeeeh Mungu naomba uzid kumpigania baba angu Kila iitwapo leo nampenda sana baba angu ❤🙏

  • @lydiawambui6470
    @lydiawambui6470 4 місяці тому +24

    Suffered depression since 2018 but am very free know,siwezi nyamaza....God has done it again

  • @anngithere7951
    @anngithere7951 5 місяців тому +30

    Siwezi kunyamaza kwa yale Mungu ametenda ntaimba nitaruka nitacheza kwa sababu ametenda eeeiiiii kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 4 місяці тому +8

    Mungu ana Watu jamani.. like za Kenya team gulf njooni muone Yesu anaenda ❤❤🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @marymwahalende5128
    @marymwahalende5128 5 місяців тому +39

    Huu wimbo imetoka siku ambayo nashukuru mungu kwa kuniongezea mwaka hakika nawezaje kinyamaza wakati yeye amenivusha na mengi tangu mwaka jana

  • @samwelelias-z3c
    @samwelelias-z3c 5 місяців тому +19

    Nawezaje Kunyamaza na kutulia kwa huyu Mungu jamani.... Aliyenifaulisha Mitihani yangu ya chuo 2023 miongoni mwa wanafunzi wa tano (5/43). Ninampenda Mungu jamn kwa kuwa anasikia maombi yetu. Nitamtukuza siku zote Na kwa wimbo sitanyamaza.Barikiwa sana Anointed Man of God. Hakika utavikwa taji kubwa MBINGUNI

  • @sharonvilitadavy7962
    @sharonvilitadavy7962 7 днів тому +22

    Who's watching 1/1/2025🎉❤🙏

    • @gee4883
      @gee4883 6 днів тому

      2/1/2025 na siezi nyamaza juu tayar amefanya ambayo sikutarajia🙏 All Glory to the Almighty

  • @lenahbrooke6096
    @lenahbrooke6096 5 місяців тому +44

    How can I not talk about Him when He has literally protected me from my evil workmates 🙏🙏😭😭😭😭

  • @markkyalo8583
    @markkyalo8583 5 місяців тому +44

    Lot's of love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪God is lifting you for the sake of our generation!
    more Grace

  • @lynnharry7359
    @lynnharry7359 4 місяці тому +6

    Nawezaje kunyamaza mwanzoni mwa mwaka huu nililazwa na mtoto, madaktari wakisema kuwa mtoto ana saratani/ cancer. Nimemuona Mungu kweli sijaona kama hii. Wakati tunalazwa alikuwa hawezi kutembea alikuwa anamaumivu kila mahali lakini sasa mtoto anaweza kutembea hana maumivu tena na tumeruhuiswa kutoka hospitali naamini Mungu ametenda na wakipima tena hatakutwa na ugonjwa kamwe.

  • @sikolianafula
    @sikolianafula 5 місяців тому +51

    2 weeks to my graduation
    Indeed the journey was not a walk in the park but my God did it for me
    Financially and in everything
    Jamani nawezaje kunyamaza🙇
    Blessings🥳

    • @b.emmaqulate
      @b.emmaqulate 5 місяців тому +1

      Congratulations Mwana mhana❤ God has done it

    • @sikolianafula
      @sikolianafula 5 місяців тому

      @@b.emmaqulate amen yaya

    • @alicemwangi4909
      @alicemwangi4909 5 місяців тому

      🎉🎉🎉Nashangilia na kumpa Mfalme wa Amani ibada ya Sifa amenitendea siwezi kunyamaza🙏🙏🙏🙏

    • @antussatemba6676
      @antussatemba6676 4 місяці тому

      Cangatulation dr🎉❤

  • @officialquochezdonshwari2336
    @officialquochezdonshwari2336 5 місяців тому +16

    Wakenya tujuane hapa , gonga like

  • @AnnalesiaFredrick-n5v
    @AnnalesiaFredrick-n5v 2 місяці тому +12

    14 October 2024, soon nitarudi hapa kumshuhudia huyu Mungu....

    • @AnnalesiaFredrick-n5v
      @AnnalesiaFredrick-n5v 2 місяці тому +2

      30 Oct 2024, Wednesday nimerudi tena kmrudishia Mungu sifa na utukufu...🙏🙏🙏🙏 Sijaona namna hii🙌

    • @AnnalesiaFredrick-n5v
      @AnnalesiaFredrick-n5v 2 місяці тому +2

      Aaaaaaaaah Yesu weeee, sijaona namna hii 😭🙏🙌🙌🙌

    • @justinemagige1439
      @justinemagige1439 2 місяці тому +1

      Huwezi kunyamza kwaweli na mimi nitarudisha sifa na utukufu kwa MUNGU wetu,sisi ni washindi!🙏

    • @AnnalesiaFredrick-n5v
      @AnnalesiaFredrick-n5v Місяць тому

      ​@@justinemagige1439hakikaaa🥰🙌

    • @AnnalesiaFredrick-n5v
      @AnnalesiaFredrick-n5v Місяць тому

      ​@@justinemagige1439Mungu akakupe hitaji la moyo wako

  • @kipkiruigillie4332
    @kipkiruigillie4332 5 місяців тому +22

    Emmanuel Peter kwenye bass yuko hatari Sana ,kepha mndeme the MD pia anafanya kazi safiii 🔥 huku Kenya 🇰🇪 Moore love.. wimbo huu wa baraka na mvuto sana God bless you servant of the Lord Dr lpyana ...kenya ns twende na likes kama zotee

    • @humphreywanjohi
      @humphreywanjohi Місяць тому

      Jamani hawa vijana wote wanyenyekevu wote wanafanya kazi njema sana

  • @anjelineo.ms.osindi9007
    @anjelineo.ms.osindi9007 5 місяців тому +38

    Just like the Samaritan woman in the book of John who couldn't keep quiet after meeting Jesus,,NAWEZAJE KUNYAMAZA JAMANI?

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 3 місяці тому +7

    Kama umebarikiwa Sana na wimbo huu gonna like hapa, me nimebarikiwa SANA❤ JESUS

  • @shyrosueTumaini
    @shyrosueTumaini 5 місяців тому +17

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪siwezi na sitawahi nyamaza kushuhudia Yale Mungu amefanya in my life......

  • @BettyGeorge-el1gb
    @BettyGeorge-el1gb 4 місяці тому +26

    Nawezaje kutulia wakati Yesu umefanya umenipa mume , umenipa kazi, umenipa na biashara kubwa, umewaokoa ndugu zangu. Na ulevi umemponya baba 😭😭😭 ee Yesu nmna hii sjaona namna hii🙌🏽🙌🏽

  • @AimeranceDogale
    @AimeranceDogale 8 днів тому +3

    Haleluyaaaaa ww Mungu umefanya kutuvusha katika mwaka wa2024 ohh Yesu

  • @carlosmatto615
    @carlosmatto615 5 місяців тому +18

    Nawezaje kunyamaza wakati Mungu amenitendea makubwa katika maisha haya. Kwanza kabisa nimepona pumu iliyonisumbua kwa muda mrefu,Mungu aliniokoa katika ajali ambayo ingechukua uhai wangu. Pia,wengi walizani sitaweza kusoma kabisa lakini Mungu amenifunulia njia . Sitachoka kumtukuza Huyu Mungu aliye Mfalme wa Mbingu na Nchi.🙏

  • @GloryJulius-e2e
    @GloryJulius-e2e 4 місяці тому +9

    Nawezaje kunyamaza 2017 nilipata ajali walikufa baadhi ya watu lakini katika walio pona na mimi nilikuwepo nawezaje kutulia Mungu wangu nawakati umefanya namna hii, hallelujah🙌🙌🙌🙌🙌

  • @AssumptaNjeri-lu6fy
    @AssumptaNjeri-lu6fy 4 місяці тому +7

    Siwezi kunyamaza,huyu Mungu amenisaidia kwa malezi ya watoto wangu,🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪.

  • @ianjesse8525
    @ianjesse8525 5 місяців тому +9

    I cnt have enough this song siwezi tulia kama bwana yesu amefanya love from Kenya 🇰🇪

  • @herosonsylivester5165
    @herosonsylivester5165 5 місяців тому +15

    Hivi kwa mfano nanyamazaje wakati Yesu aliniponya ugonjwa nikapona kabisa kabisa 😭😭😭🕺🏿🕺🏿

  • @LucyAndalu
    @LucyAndalu 7 днів тому +2

    Asante Mungu kwakilajambo ulionifanyia katka maisha yang . Mungu awabarki sana waimbaji hakika sauti zenu zimenitoa machoz ya frah.

  • @chrystonegybe1077
    @chrystonegybe1077 5 місяців тому +34

    🇰🇪🇰🇪This new song by Dr. Ipyana is nothing short of heavenly. The lyrics and melody touch the heart and lift the spirit. Every note of this song resonates with pure worship and praise. It's a beautiful reminder of the joy and hope we find in our faith. Truly uplifting thank you for this incredible blessing Man of God it's already hitting here in Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Siwezi nyamaza

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 5 місяців тому +22

    Mungu akuponye mtumishi wake mapema, nawezaje kunyamaza wakati Mungu amefanya kwa kukuokoa na mauti

    • @CatherineNzeki
      @CatherineNzeki 5 місяців тому +1

      AMINA NA ATAZIDI KUMPA MAISHA MAREFU ILI AMUIMBIE NA KUMTUMIKIA

  • @beckyanswerkusimba
    @beckyanswerkusimba 3 місяці тому +12

    Dear Diary
    14th Sept 2024
    "Amenipa Kicheko"

  • @littlephina33
    @littlephina33 5 місяців тому +24

    Hakika hatuwezi nyamaza Kwa anavyofanya... Nimempoteza Mama yangu mwaka Jana na ni mzazi niliyebaki nae Ila huyu Baba amefanya makubwa.. quick recovery nisivyotegemea, amesimama Nami kwa namna ya ajabu, now Niko na furaha, amenipa watu ambao wamesimama kama wazazi kwangu.... Oooh Mungu wa namna sijaona

  • @Matilda-qs5eo
    @Matilda-qs5eo 5 місяців тому +17

    Hakika Mungu ni mwema siwezi nyamaza kusimulia ukuu wake..siku ya tarehe 5August 2024 ameniepusha na ajali tukiwa tunarejea nyumbani kutoka kazini gari yetu iligongwa kwa nyuma ila Mkono wa Mungu ni mkuu mno tulifika salama wachache warijeruhiwa..

  • @NdalimaPaul
    @NdalimaPaul 4 місяці тому +8

    Namshukuru mung kwa matendo yake daima siwezi kunyamaza nitalitumuza jina lk milele kwa kumponya mke wng🙏🙏🙏⛪❤️ 2:07

  • @TrasielifasiElisha-c8x
    @TrasielifasiElisha-c8x 5 місяців тому +11

    Naitwa trasi elifasi nawezaje kunyamanza na ikiwa Mungu Amemsaidia mdogo wangu kupata ajira Sifa na utukufu vimludie Mungu 👏👏👏

  • @MulasiKizungu
    @MulasiKizungu 4 місяці тому +11

    Germany niko hapa Mungu amefanya Nawezaje kunyamanza

  • @samwelmushi6162
    @samwelmushi6162 Місяць тому +5

    Na mie nawezaje kunywmaza niliyekuwa mzamia meli na mlevi na mvuta bangi lkn yesu amebadilisha maisha yangu sasa ni baba wa watoto watatu na wote wanasoma shule nzuri na nina mke wa ajabu ni nzuri sijawai kuona kweli nawezaje kunyamaza mie niliyekuwa mtu wahovyo kabisa kweli siwezi nyamaza

  • @nasrahgdjuma930
    @nasrahgdjuma930 5 місяців тому +35

    Psalms 149:3 says, “Let them praise his name with dancing…Praise him with tambourine and dance…”3 In 2 Samuel 6:14-22, David dances before the Lord with all his might, providing us with a wonderful example of what it truly means to surrender to God in worship. Amen Amen