Paul Clement Ft Victor Maestro - Baraka (Official Video )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @paulclement25
    @paulclement25  2 місяці тому +729

    Mithali 10:22 “ Baraka ya Bwana Hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo “

  • @N.G87
    @N.G87 19 днів тому +73

    I prayed for a husband.....husband, furnished house, car n moving to another country, all came as one blessing. He does exceedingly abundanlly more than we think or even ask. The God of Israel is my God.

  • @CarolyneAniceth
    @CarolyneAniceth 2 місяці тому +200

    Wapiga vyombo wapewe maua yao 🔥🙌

    • @CatherineNzeki
      @CatherineNzeki 2 місяці тому +4

      Haswaaa,,,tuwapambe kabisa.Wamefanya kazi nzuri naomba MUNGU awaongezee zaidi NEEMA NA KIBALI

    • @CarolyneAniceth
      @CarolyneAniceth 2 місяці тому +1

      Amina🙏 ​@@CatherineNzeki

    • @AlbinaLeodgard
      @AlbinaLeodgard Місяць тому +2

      🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️

    • @Zaxfei
      @Zaxfei Місяць тому +1

      Wametendea haki kwa kweli 🎉🎉

    • @lucywabuti-hz1ky
      @lucywabuti-hz1ky 27 днів тому

      Apo iko sawa

  • @daisypamela5041
    @daisypamela5041 2 місяці тому +461

    Nilikuwa nalia saa hii tu juu ya vile maisha yangu ni magumu😭naingia youtube napatana na huu wimbo na kweli naona nilipo leo ni tofauti na nilipokuwa jana😭😭hee..may God see me through jameni I'm losing heart

  • @everlyneakaki7619
    @everlyneakaki7619 Місяць тому +63

    Ananiongezea baraka
    Naiona tofauti ya leo na jana
    Ananiongezea baraka
    Ni mingu ni mungu ni mungu wa baraka
    Yeye aliye anzisha safari
    Ataimaliza yeye mwenyewe
    Anajua kupenda anajua kujali
    Anaitwa mwokozi yesu

  • @Timothykimulu
    @Timothykimulu 2 місяці тому +379

    If you'll ever see this song in 2079, please remember victor maestro was the king of seben in my time.

  • @tabbywanjiru9651
    @tabbywanjiru9651 Місяць тому +40

    Wakenya🇰🇪 wenzangu,wapi likes za Minister Paul Clement and the team? Huu wimbo ni mzuri sana❤❤ 🇹🇿 🙏🙏🙏

    • @Carol-Shukii
      @Carol-Shukii 18 днів тому +2

      Very tribal
      Very murima
      Very mūngîkî.

    • @tabbywanjiru9651
      @tabbywanjiru9651 11 днів тому +1

      @Carol-Shukii Is that you?

    • @RhidonMax
      @RhidonMax 7 днів тому +1

      kabisaa

    • @kennedyochieng1648
      @kennedyochieng1648 6 днів тому +1

      😂😂😂😂😂😂​@@Carol-Shukii

    • @Carol-Shukii
      @Carol-Shukii 6 днів тому +1

      @@tabbywanjiru9651 yeah that's me..
      Wacuka from Mûrîma

  • @eben_emmar
    @eben_emmar 7 днів тому +7

    Here is the translation from swahili
    Ananiongezea baraka
    He is adding blessings to me
    Naiona tofauti ya leo na jana
    I see the difference between today and yesterday
    Ananiongezea baraka
    He is adding blessings to me
    Ni Mungu ni Mungu, ni Mungu wa baraka
    It is God, it is God, the God of blessings
    Amenijibu zaidi ya vile nilivyomwomba
    He has answered me more than I asked for
    Nimemwomba kazi amenipa na ndoa
    I asked for a job, He gave me a job and also marriage
    Nimemwomba watoto amenipa na gari
    I asked for children, He gave me children and a car
    Huyu Yesu amejibu zaidi ya vile nilivyomwomba
    Jesus has answered me more than I asked for
    Yeye aliea nzisha safari ataimaliza yeye mwenyewe
    He who started the journey will finish it Himself
    Anajua kupenda, anajua kujali
    He knows how to love, He knows how to care
    Anaitwa mwokozi Yesu - Eze Ebube
    He is called the Savior, Jesus - King of Glory
    Kanibariki mjini - amenifanyia amani
    He has blessed me in the city - He has given me peace
    Kanibariki shambani - amenifanyia amani
    He has blessed me in the fields - He has given me peace
    Amenipa na watoto - amenifanyia amani
    He has given me children - He has given me peace
    Amenipa familia nzuri - amenifanyia amani
    He has given me a beautiful family - He has given me peace
    Nikienda kushoto - yupo
    When I go to the left - He is there
    Nikienda kulia - yupo
    When I go to the right - He is there
    Nikienda mbele nyuma - kanizingira pande zote
    When I go forward or backward - He surrounds me on all sides

  • @jukaelyelisha6311
    @jukaelyelisha6311 2 місяці тому +260

    Aiiiiiiiii wangapi wameona kwa mara ya kwanza kaka Paul clement kacheza

  • @augustinooctavian2961
    @augustinooctavian2961 2 місяці тому +89

    Kama uependa hii nyimbo emu piga like yako apa

  • @hezzymapozzy7030
    @hezzymapozzy7030 2 місяці тому +225

    Sebene originated from Congo🇨🇩
    Kenya🇰🇪 we have Andrew Ngelelo
    All in allTanzania's🇹🇿 Victor Maestro is taking it worldwide🌎
    🙌🙌
    Kenya 🇰🇪 tueke likes tukisonga🙌💪

    • @miriamkusula8166
      @miriamkusula8166 2 місяці тому +3

      Unasifa bro ila sawa wote waafrika🎉❤😂

    • @brown_bienfait
      @brown_bienfait 13 днів тому

      Maestro ni Mkongo ... Ngelelo pia but..... of importance is praaise

    • @SylvesterKadenge
      @SylvesterKadenge 10 днів тому +1

      Wote hawa wanacopy kwa bakenda

  • @kgordon3206
    @kgordon3206 Місяць тому +48

    I am in America, I do not know the language, but I love the energy, and the singers are 🔥 You all have to get an English version for us! Let's go Jesus 💃🏾💃🏾💃🏾🙌🏿🙌🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

    • @annepeter8473
      @annepeter8473 22 дні тому +6

      Baraka means blessings. And the song says God keeps on adding me blessings upon blessings and He is a God of blessings ❤❤❤

    • @annepeter8473
      @annepeter8473 22 дні тому +2

      And that I can see a difference between today and yesterday

    • @YadadDeus
      @YadadDeus 20 днів тому +1

      Yes. The song is sung in both Kiswahili and Lingala. Sister @annepeter has just translated the main message in the song.

    • @yvonnebuluma
      @yvonnebuluma 17 днів тому +1

      Basically "Amenifania Amani,Naiona Tofauti ya leo na jana...Kanibariki mjini...."
      He has given me peace, I can see the difference between yesterday and today. He has blessed me....."

    • @tembo8223
      @tembo8223 17 днів тому +2

      I am from Zambia, kasama and serenje area and I can pick up a few words here and there ❤. I love how we can praise the King Of Kings , Mighty God , -Lord of All!

  • @neemaprecious2308
    @neemaprecious2308 22 дні тому +9

    Musicians jamaniii ❤️❤️Pokeeni maua yenu🎉🎉 guitars zimekunwa 🤔🙆 chaii 🎸🎸

  • @AMOSGreat-s8x
    @AMOSGreat-s8x 27 днів тому +27

    This song is blessing my soul.. Wapi likes

  • @davidomukatu9536
    @davidomukatu9536 2 місяці тому +133

    The Bass player will go to heaven direct and he has a special room.

  • @belacheri3394
    @belacheri3394 Місяць тому +18

    When I get to heaven, I’m finding the Tanzanians, Kenyans and Congolese…and praise God with them! 🙌🏾 🇹🇹🇺🇸

  • @ruthiethuku.3166
    @ruthiethuku.3166 2 місяці тому +72

    Tupo kenya hapa kwa furaha.. Maana Bwana Yesu ametufanyia Amani🇰🇪🇰🇪🇰🇪💃💃💃

  • @faithmwandia7113
    @faithmwandia7113 16 днів тому +5

    My husband send this song to and I was like really,,,,so amazing and touching song,,, God wins always

  • @EstherActacial
    @EstherActacial Місяць тому +218

    Wenye tumetoka TikTok to look for this song here kiss my comment

  • @EmmanuelMnuna-pd3os
    @EmmanuelMnuna-pd3os 2 місяці тому +74

    Huyu Victor Maestro kwa Nyimbo za Sebene ni Next level kabisa Mwenyezi Mungu akuongezee Baraka kwenye huduma Yako ya Uimbaji.💯

  • @Micahkarasy-m9o
    @Micahkarasy-m9o 2 місяці тому +75

    leo hawa wataimba kwenye hii simu hadi sauti ziwakauke.
    Wajameni 🤤🤤 wimbo mtamu sana ❤😊

  • @evelynguto9337
    @evelynguto9337 2 місяці тому +64

    ❤❤❤ a new anthem Kenyans lets gather here

  • @DerriqueKorir
    @DerriqueKorir 2 місяці тому +78

    Nilipomuona Victor Maestro, nikakimbia kunyakua earphones. Nilijua hapa kutawaka moto!!! Barikiweni Sana

  • @yoliecathy3316
    @yoliecathy3316 Місяць тому +97

    Those who come from Facebook gather here
    I love this dance 💃 😍 ❤️ ♥️ I don't understand but I feel the vibe

  • @ShedrackEliasi
    @ShedrackEliasi 2 місяці тому +25

    Tunaoamini kuongezewa baraka tupia like apa h

  • @millardayoor5952
    @millardayoor5952 2 місяці тому +38

    Mimi ni kinaraaa kinaraa mimi ni kinaraaa eeh 7:17 kwa anayenielewa a like

  • @paulinanduku2748
    @paulinanduku2748 19 днів тому +13

    Who else is here from tiktok💃this song is blessing my soul❤

  • @brendakedogo5
    @brendakedogo5 26 днів тому +19

    How am ending my 2024 in style my God is still doing Wonder s 😊 am praying to him now to give me a husband in 2025

  • @Pox_media
    @Pox_media 3 години тому

    1 million to this song wangapi tulitarajia hili kuwa litatimia soon
    Ameniongezea Baraka national tofauti ya leo na Jana, huyu nimungu wa Barakaaaa❤❤🎉🎉🎉

  • @thesullesone2316
    @thesullesone2316 2 місяці тому +45

    🎉🎉Victor Maestro huyu jamaaa kashindikana kwa Sebene🙌🙌

    • @EmmanuelMnuna-pd3os
      @EmmanuelMnuna-pd3os 2 місяці тому +3

      Huyu Victor Maestro ni Next level aisee kwa Sebene Mwenyezi Mungu aendelee kumpigania kwenye huduma hii

  • @introvert-14
    @introvert-14 2 дні тому +2

    I love this😭😭❤❤❤yaani wapiga vyombo jamani na omba Mungu mfikike mbinguni mweze kumchezea hivi vyombo ❤❤. To the praise team you are amazing and did great work❤. Paul and Victor perfect performance for the Most High God. He deserves it.

  • @bazilsteven9132
    @bazilsteven9132 2 місяці тому +28

    Victor maestro ni balaa E.A🔥🔥anatufanya tuEnjoy Mno sebene Ndani kristo MUNGU Ambariki Huyu Kijana Popote alipo🙏🏽

  • @NeemaMnozya-f8c
    @NeemaMnozya-f8c 2 місяці тому +17

    Hata kama unapitia magumu ila ukisikiliza huu wimbo ayiiiii Moyoni munajaa furaha 🥰🥰Yesu mzuri nyieee🙏🙏🙏🙏

  • @amJonah-uc1fr
    @amJonah-uc1fr 2 місяці тому +34

    Appreciation sio dhambi😂 minister @PaulClement una mafuta mkuu
    AMENIONGEZEA BARAKA😂😂🙌
    MD naye🔥🔥🔥

  • @kendrickentertainment
    @kendrickentertainment 2 місяці тому +30

    bassist na solo wanyang'anywe guitar🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SuzanKanyata-y5g
    @SuzanKanyata-y5g 2 місяці тому +22

    Akiii paul umejuakunifurahisha kwa mara yakwanza umechez😂😂😂

  • @perpetualmarimbire176
    @perpetualmarimbire176 Місяць тому +8

    I'm coming to Tanzania to get my husband and this song song will be on our wedding 🎉🎉🎉🎉

  • @academia_wealth
    @academia_wealth 2 місяці тому +28

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    🇰🇪🇰🇪
    🇰🇪
    🇰🇪
    Neema Tene Bw Paul Clement✨✨✨✨

  • @MeshachKirigut
    @MeshachKirigut Місяць тому +11

    Form fours tumemaliza,kweli ni baraka zake bwana, tumshukuruni kwa mioyo yetu yote.

  • @essycyrus29
    @essycyrus29 16 днів тому +3

    2024 might have been a tough year but 2025!!! We are dancing in to a new year with this song.
    Anaendelea kutuongezea baraka 2025 ni mwaka wetu 🎉

    • @faithmbithe1155
      @faithmbithe1155 15 днів тому

      Amen.i decree and declare 2025 is my year of blessings. 2024 has been bad to me

  • @Alisene-yi7bd
    @Alisene-yi7bd 21 день тому +7

    Psalm126:1-when the Lord restored the captivity of Zion we were like the ones dreaming!
    Blessings of God bringeth joy & addeth no sorrow..❤❤❤❤

  • @gracekwadhi6991
    @gracekwadhi6991 2 місяці тому +24

    Yaan nikiicheza kama nipo Mbinguni vile na ninasahau shida zote na ninapata Amani sanaaaaaaaaa,nahisi Roho matakatifu yupo hapa nilipo💃💃💃💃🙌🙌🙌🙌🙌

  • @dannmburu
    @dannmburu 2 місяці тому +15

    Tanzania toeni nyimbo nzuri kama hizi...views Kenyans tutawapea..huwa hatubagui..we appreciate good music-wherever it finds us from.

    • @gosbertbuberwa6198
      @gosbertbuberwa6198 Місяць тому +1

      Acha Kujidanganya Wewe! Katika Suala La Mitandao Na Kutrend Tanzania ipo Juu Sana! Angalia Social Media Za Watu Wa TZ, Unakuta Mtu Wa Kawaida Ana Followers 1M+ Kwahiyo Acha Kujipa Moyo!

  • @tembo8223
    @tembo8223 17 днів тому +4

    Sebene 🎶 🇨🇩a Congolese style of music that when used to praise God is sooooooo pleasant to the soul !
    Well done Kenya 🇰🇪 and Tanzania 🇹🇿 .
    ❤❤❤Zambia 🇿🇲we have been summoned by the Congolese Sebene sound 🎉

  • @DanielEliud-q6f
    @DanielEliud-q6f 2 місяці тому +20

    Namashaka na mpiga solo gita si Dhani kama ni binadamu wa kawaida, anajua mpaka anakera.

  • @victortheatre7404
    @victortheatre7404 2 місяці тому +22

    When you ft. V. maestro you become the fitured 😅😅😅😅 He takes over. Paul is learning here 😅😅😅 More Grace to them All. Moto !!

  • @Pox_media
    @Pox_media 2 місяці тому +19

    BROTHER PAUL HII KALIII UMEUAAAAAA YANI UTUKUFU KWA MUNGU 🙌🙌🔥🔥📌📌

  • @mathewvicentkabota6940
    @mathewvicentkabota6940 2 місяці тому +9

    Aaaaaiiiiiiiiiiih, 2090 people I was here in 2024 celebrating and enjoying the Goodness of God The Baraka is over Flowing 🥰 .

  • @Loyce-v4x
    @Loyce-v4x 2 місяці тому +22

    Ananiongezea baraka 🥰 ninaiona tofauti ya Leo na Jana.... MUNGU awabariki sana watumishi wa MUNGU... Wimbo ni 🔥🔥🔥💯

  • @ScolasticaMaliga
    @ScolasticaMaliga 2 місяці тому +9

    Uwiiiiii....🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️...iv kwann kitambaa cheupe 😭😭😭...
    JMN MSIENDE TENA HUKO NJOEN HUKU KWA YESU KUNA RAHA...NA BARAKA .... YOOOOOH 🙆🏽‍♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    ILA MAESTRO ,I SALUTE 🙌🏽 the work of God through you...tuwe ndugu bas jmn🥺

  • @BENARDRUWA
    @BENARDRUWA 2 місяці тому +9

    Hii song ni mara ya 10 kuiisikizaa banaaee😂😂waaah the soloist guitar and the bassist guitar wako juu sanaaa...God bless you...for this nice song🙏🙏

  • @eugeneruwo1919
    @eugeneruwo1919 Місяць тому +19

    Greetings MOG from a fan in Zimbabwe
    Please on your videos may you give us the contextual translation of your lyrics in English
    This song is flames ❤❤

    • @magwazaisheunesu
      @magwazaisheunesu Місяць тому +1

      Sure. Can someone translate this song ?

    • @ItsyourGkwamboxx
      @ItsyourGkwamboxx Місяць тому +5

      ​@@magwazaisheunesuthe song simply means that God has and is blessing me. My blessing today is even greater than yesterday. He blesses me in the field/farms and is blessing me even in the city. Everything and everywhere he is blessing me. Glory to this mighty God

    • @wadadysii8570
      @wadadysii8570 Місяць тому

      Watching from Zimbabwe 🇿🇼

    • @obed727canada
      @obed727canada Місяць тому +1

      I do not understand the lyrics bt the song moves me😊😊

    • @melissawatch4921
      @melissawatch4921 29 днів тому

      ​@ItsyourGkwamboxx thank you so much for translating

  • @sylviambabazi6713
    @sylviambabazi6713 Місяць тому +5

    Ayaaa yaaaa taaa🎉 i hv been given an eviction letter bcoz of playing loud music....this song❤🎉 the police wad kold on me bt they just left after listening to the song ..was given ago head to increase the volume🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @latifahnimmoh8848
    @latifahnimmoh8848 Місяць тому +28

    Adding this to my car playlist 🥹😌 manifesting a car

  • @MartinMadimilo-z6w
    @MartinMadimilo-z6w 2 місяці тому +35

    Bassist una dunia yako

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 2 місяці тому +8

    *napenda pale poul unapo mtambua Yesu kila uiambapo yesu anajulikana kuna wengine unaweza sikiliza wimbo jina Yeau unalitafuta kwa tochi mfano waziri hawez sema jaambo ama mradi bila kumtaji samia AMEN AMEN*

  • @evanjelistrobertkashasha
    @evanjelistrobertkashasha 2 місяці тому +21

    Andrew u are the best on drums ever in East Africa

  • @lksparks9414
    @lksparks9414 17 днів тому +2

    Delayed graduation but God gave me another chance to graduate. Ananiongezea Baraka over Baraka. Open doors of opportunities for me God

  • @mcmoishyee
    @mcmoishyee 2 місяці тому +80

    Paul clement kwa seben for the first time😍😍😍

    • @AbigaelMisigo-id5cm
      @AbigaelMisigo-id5cm 2 місяці тому +1

      Nomareee

    • @AnnaKijazi-v5n
      @AnnaKijazi-v5n Місяць тому

      Kwakweli😂😂😂

    • @bravinsonanami4581
      @bravinsonanami4581 Місяць тому +2

      @@AbigaelMisigo-id5cm he was really struggling with the dance moves hawa maninja walikua wanampeleka mbio sana😂😂

    • @AbigaelMisigo-id5cm
      @AbigaelMisigo-id5cm Місяць тому

      @@bravinsonanami4581 haki tena 😂😂nimemzoea na slow moves

  • @jacintashiko9319
    @jacintashiko9319 10 днів тому +2

    I don't know why i came across this song,but i believe it. This is my testimony n indeed i shall testify

  • @rachelagutu211
    @rachelagutu211 2 місяці тому +11

    Ni kweli kuna tofauti jana na leo.KumwamininYesu, Uhai na Afya njema ni BARAKA KUU KWANGU.Asante Yesu

  • @ezrayavanijosias
    @ezrayavanijosias 2 місяці тому +12

    Minister paul, kidogo akae zake chin😂 Sema mmetisha sana. Mungu azid kuwabariki saanaa❤

  • @maryooro2362
    @maryooro2362 25 днів тому +4

    Yeye aliyeianzisha safari ataimaliza yeye mwenyewe😭😭🙏🏿

  • @LucyKalunga-y6d
    @LucyKalunga-y6d 17 днів тому +4

    🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 It's a hit.
    Representing Zambia in the comment section

    • @SWITCH7425
      @SWITCH7425 17 днів тому

      You are not alone ....Kopala is in here also🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

    • @MarthaMukungule-fw5gy
      @MarthaMukungule-fw5gy 10 днів тому

      Madam Martha Mukungule is here too

  • @wilisonpius4495
    @wilisonpius4495 2 місяці тому +9

    Bongo la ngoma jmn mungu asante kwa kunifanya kuwa mkisto alie okoka kisawa sawa maana naziona balaka zikiongezeka kila siku❤

  • @onethechosen
    @onethechosen 2 місяці тому +13

    @Victor Maestro @Paul Clement OIYEEEEEEEEEEEEEEEEEEE🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥳🥳

  • @gracechandah8073
    @gracechandah8073 Місяць тому +16

    Any Zambian 🇿🇲 here ✌️💖🦋💕

  • @derickmuriungi4891
    @derickmuriungi4891 Місяць тому +5

    kenyans najua mko huku

  • @ministermossesmungure
    @ministermossesmungure 2 місяці тому +9

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽Huu ni umeme wa Mbinguni kabisa yan

  • @DastanChalanse
    @DastanChalanse 2 місяці тому +10

    Duuu hawa agape hata wakikutana abiudi misholi lazima aingie kwenye sebene mana mpaka paul clement kanyoka na sebene

  • @officialndegeboy2224
    @officialndegeboy2224 2 місяці тому +13

    Victor kakoma kakosaje hapo kwenye hiyo sebene that boy is on fireee😂😂🔥🔥

  • @LydiahWanjiku-z8o
    @LydiahWanjiku-z8o 2 місяці тому +15

    My Kenya people this one is a blessing ❤❤❤

  • @magwazaisheunesu
    @magwazaisheunesu Місяць тому +5

    Swahili song:
    Huyu Yesu! (This Jesus!)
    Ananiongezea baraka...naliona tafauti ya leo na jana (He is showering me with more blessings...I can see the difference between today & yesterday.)

  • @busanisikhosana4943
    @busanisikhosana4943 18 днів тому +1

    I am listening from Johannesburg in South Africa and getting blessed even though the only words I understand in the song is Baraka (Blessing) and Mungu (God). The instrumentalists are exceptionally talented and true psalmists. This song has definitely made it into my gospel all time favorite songs. I am now even more motivated to learn kiSwahili so that I can sing along to the song with meaning and understanding of the lyrics with the divine message. Mungu amibariki (God bless you).

  • @tedonmovies
    @tedonmovies 2 місяці тому +9

    Pale Victor Maestro yupo ku🕺🕺🕺ni lazima....Mungu azidi kuwabariki watumishi

  • @shikoshiko2512
    @shikoshiko2512 27 днів тому +2

    My new anthem.... who's joining me.....

  • @mrhyphenkenya254
    @mrhyphenkenya254 2 місяці тому +7

    Mzee wa wapi vigelegeleee..Ameamua kumpigisha Paul seben🎉

  • @reginavanyakwile1801
    @reginavanyakwile1801 19 днів тому +2

    Asante sana kaka Mungu akubari kwa huu wimbo imeongezeka tena kiroho namuona Mungu akinifanyia amani tena 🙏🙏

  • @naomimashipeilengete9744
    @naomimashipeilengete9744 2 місяці тому +6

    Baraka zinafurika kwangu
    Kweli mungu ni mwema
    Good song right here
    Dancing dancing

  • @MosesMakuthu
    @MosesMakuthu 21 день тому +2

    Man of God this songs they make me to be born again...Lord bless u apriciate thx.

  • @nhlanhlamthembu2719
    @nhlanhlamthembu2719 17 днів тому +4

    Even though im not familiar with the language I the song from South Africa

  • @clintonmwangi7113
    @clintonmwangi7113 18 днів тому +2

    Kweli Mungu ni Nguzo ya maisha yangu, Yeye tu ndiye Baraka kubwa niliyo nayo Maishani mwangu. Amenifanyia amani

  • @meshackmwady9212
    @meshackmwady9212 2 місяці тому +7

    Kaka po hizi ndo ngoma za kuimbaa kaka etuu tunakupenda sanaa kadri ya siku zinavyozidi kwenda unazidi kubadilika kwenye uimbaji na sisi wadogo zako tunajifunza kupitia wewe Mungu akutunzee❤❤

  • @MusecalSounds
    @MusecalSounds 14 днів тому +1

    🥺🙏 I am putting this here as an act of faith. Now I sing it in a season of so much pain, confusion and fear. But I know I'll get back here with my heart full of praise for clarity, relief and confidence.🙏🙏

  • @_VeronicaPius
    @_VeronicaPius 2 місяці тому +11

    Aiiiiiiiiii😍kwani nyie mnachezaga wapiiii😂

  • @hopekavira3626
    @hopekavira3626 3 дні тому +1

    Mungu ni baba 🥹👌naona tofauti kabisa 🙏ni mungu wa baraka kabisa😍😍😘

  • @johnstony4938
    @johnstony4938 2 місяці тому +7

    Wimbo mkubwa sana huu hakika ni neema ya ajabu kua na nyie hapa Tanzania

  • @TeresiaIngashipola
    @TeresiaIngashipola 21 день тому +2

    Am I the only who came back to this song a thousand times without even understanding

  • @PiusMathuku
    @PiusMathuku 18 днів тому +3

    Victor Maestro Mungu akuzidishie baraka kwa wingi

  • @gracetessy2774
    @gracetessy2774 29 днів тому +2

    My heart is full of gratitude ❤❤God he has done me well,,been sick since Feb this Year had my surgery on sep na Leo am blessed, healthy my heart is at peace amenibariki amenifanyia Amani...baraka

  • @byronnyongesa2544
    @byronnyongesa2544 2 місяці тому +4

    Baraka za mungu hazielezeki na kulinganishwa na chochote ama yoyote.

  • @guzulukonyi9316
    @guzulukonyi9316 Місяць тому +2

    Congolese Rumba is going influence and dominate all African music and praises.

  • @SaidiJoseph-yf6wr
    @SaidiJoseph-yf6wr 2 місяці тому +7

    Yani sichoki kabisa kuangalia hii nyimbo kali sana yani 🎉🎉

  • @apostlejimmyr.ktalemwa8951
    @apostlejimmyr.ktalemwa8951 17 днів тому +2

    Perfect instrument mixing.from drums to solo to bass to keyboard to victor to Paul to msg.naiona tofauti ya Leo na jana

  • @deogratiuseliachim4350
    @deogratiuseliachim4350 Місяць тому +3

    Waaaaaaaaaah nabarikiwa saaaana na Sololist 🎉🎉🎉🎉… Umekamatia pindo… Jesus Bless you Man Sololist

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 5 днів тому +1

    2024 nimehamia kwangu na kila kitu nimebarikiwa amenifanyia amani

  • @harrietlihavi7552
    @harrietlihavi7552 Місяць тому +34

    Those who comes from TikTok gather here

  • @RupiaElias
    @RupiaElias 10 днів тому +2

    Rupia from mbeya
    ❤❤ hakika nawapenda brothers
    wimb huu ni baraka na unabariki

  • @babaloisethan7010
    @babaloisethan7010 2 місяці тому +6

    Sijui ilichukua maombi ya Siku ngapi,Kumshawishi Paul Kucheza..😅🇰🇪🇰🇪

    • @lizysimon7374
      @lizysimon7374 2 місяці тому +6

      Hata mi nilivyoona Maestro nikawaza kijana wetu ataliweza sebene kweli kumbe Paul yupo vizuri 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @babaloisethan7010
      @babaloisethan7010 2 місяці тому

      @@lizysimon7374 💪💪

  • @TynaKabuka-w8i
    @TynaKabuka-w8i 18 днів тому +2

    Mwenye connection ya ibada za worship kama izi naombaa please anichek...🙏🏽