Chukwu Oma -ft. Rehema Simfukwe Lyrics! Ukishuka shuka na Neno Shuka na Neno useme nami Ukishuka shuka na Baraka Shuka na Baraka unibariki Chukwu oma iyee I’ve been waiting you for so long Ukinitendea eh Baba yangu Utainua Imani za wengi Sema neno moja tu eh baba yangu Nami niwe huru Sema neno moja tu Jehova Nami nibarikiwe Chukwu oma say a word Chukwu oma Say a word It shall be Done Bwana akifanya amefanya Baraka zake haziishi Zinazidi kumiminika Zinazidi kumiminika {Akifanya amefanya} Zinazidi kumiminika Chukwu oma say a word Zinazidi kumiminika {Akifanya amefanya}
Powerfull sana,dada yetu Simfukwe kamaliza kabisa,Neema Gospel hamjawahi kuwa na show dhaifu, kelele mingi kwa mpuliza Saxphone🔥🔥🔥 da! nataka kuwa kama nyie.Muzidi kuinulia,utukufu hadi utukufu.
Amen, umefanyaka Baraka sana katika huduma yetu, Mungu aendelee kukubariki sana kwa moyo wako wa utayari kutumika nasi ili kutimiza kusudi la Mungu, tunakupenda sana familia yetu🙏🙏🙏❤️
"Chukwu Oma" is an Igbo phrase from Nigeria, meaning "Good God" or "God is Good." In this context, "Chukwu" refers to God, and "Oma" means good or kind. It is often used in expressions of gratitude, praise, or worship in the Igbo language.❤❤❤
Vipenz vyangu NGC Nawapenda sanaa Mungu awabariki sanaa kwa Wimbo Mzurii Nimebarikiwa na huu Wimbo Nimejikuta Naelea ktk Uwepo Mungu awabariki kwa Huduma njemaa 😘🌹💖
Naona mbingu zimefunguka Ujumbe wenye Mafuta kamili ya Roho mtakatifu Ukishuka Shuka Na Neno na baraka zako Eeh Bwana utubariki sisi tulio kazi ya Mikono yako.Amen
wimbo mzuri zidini kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu ili azidi kuwakweza alipowainua ni pakubwa kanuni ya Mungu akikuinua ni kushuka na kunyenyekea kwake mbarikiwe sana
Mungu awatunze wimbo ulioisha wa sitalia tena ulikuja maalumu kwangu maana baada ya miaka mingi mtaani nilipata kaz nzuri. Na huu wimbo uwabariki wote na Mimi naendelea kubarikiwa. Mungu azidi kuwazidisha na Roho mtakatifu awaongoze katika Huduma hii.
8:42 When Jesus had entered Capernaum, a centurion came to him, asking for help. 6 “Lord,” he said, “my servant lies at home paralyzed and in terrible suffering.” 7 Jesus said to him, “I will go and heal him.” 8 The centurion replied, “Lord, I do not deserve to have you come under my roof. But just say the word, and my servant will be healed
Chukwu oma iyee I’ve been waiting you for so long Ukinitendea eh Baba yangu Utainua Imani za wengi Sema neno moja tu eh baba yangu Nami niwe huru Sema neno moja tu Jehova Nami nibarikiwe
Nasikiliza kwa kuirudia rudia hii nyimbo, umefanyika wimbo wa moyo kwangu yaani kila wakati unaimba ndani yangu... Such a very powerful song 🙌.... God bless you Neema Gospel Choir na Rehema Simfukwe aiseee umefanya kweli in this song🙌🙌🙌.... MUNGU azidi kujitukuza kupitia ninyi Honestly mmeweza mnooo😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌 Hakika huyu Mungu akitenda ametenda, Magnificent God.
Chukwu Oma -ft. Rehema Simfukwe Lyrics!
Ukishuka shuka na Neno
Shuka na Neno useme nami
Ukishuka shuka na Baraka
Shuka na Baraka unibariki
Chukwu oma iyee
I’ve been waiting you for so long
Ukinitendea eh Baba yangu
Utainua Imani za wengi
Sema neno moja tu eh baba yangu
Nami niwe huru
Sema neno moja tu Jehova
Nami nibarikiwe
Chukwu oma say a word
Chukwu oma Say a word
It shall be Done
Bwana akifanya amefanya
Baraka zake haziishi
Zinazidi kumiminika
Zinazidi kumiminika
{Akifanya amefanya}
Zinazidi kumiminika
Chukwu oma say a word
Zinazidi kumiminika
{Akifanya amefanya}
Powerfull sana,dada yetu Simfukwe kamaliza kabisa,Neema Gospel hamjawahi kuwa na show dhaifu, kelele mingi kwa mpuliza Saxphone🔥🔥🔥 da! nataka kuwa kama nyie.Muzidi kuinulia,utukufu hadi utukufu.
Akifanya amefanyaaaaa❤❤❤
❤❤
This song is penetrating my heart,soul till marrow! Powerful song.Glory to God.
💯
Mungu awabariki sana my family, Asante kwa kutumika pamoja nami nimebarikiwa sana na Mungu aguse maisha ya watu wake.
Be blessed my Sister. Mungu aendelee kukuinua kila kunapoitwa leo.
Amen, umefanyaka Baraka sana katika huduma yetu, Mungu aendelee kukubariki sana kwa moyo wako wa utayari kutumika nasi ili kutimiza kusudi la Mungu, tunakupenda sana familia yetu🙏🙏🙏❤️
Such a blessing this song ❤
Ameeen na iwe hivooo next ni sisi na ww kuimba pamoja
@@NeemaGospelChoir Mungu awabarik natumain sku 1 na mm nitaimba pamoja na familia hii
KAMA UNAWAPENDA NEEMA GOSPEL NGONGA LIKE HAPA ❤️
❤
Nawapenda sàna wananigusa moyo wangu, Mungu awabariki
Wangapi tume toka TikTok kwa sababu ya ule mtoto 🙌🙌 Amen mungu ukishuka shuka na neno,, mungu neno moja to ili ni barikiwe siku zote Amen 🙌😢
Yaaan mm nimeufahm huu wimbo kupitia yule mtoto
🖐
Mungu alimtumia mtoto jamn Hakutaka kupokea baraka mwenywe akaona bora wote mpate hizo baraka
Mungu awabariki sana kwa kutubariki na nyimbo nzuri... Kama umependa hii song gonga like🇹🇿🇰🇪
JAMANI MIMI TANGIA NIANZE KUCOMENT SIJAWAHIGI KUPATA LIKE HATA MOJA 😥🙆🙆🤦
Komaa kazaa
Ili zikusaidie nini???
Ili zikusaidie nini???
@@angelngoye4910 😥😥🤣🤣🤣🙌
😅😅@@sostenessmdede3646
Likes za waKenya 🇰🇪 🇰🇪
My 254 people tupitieni hapa tubarikiwe pamoja.
Jamani Mimi sijawahi kupata like hata moja 🙆🙆
😅 what for?
Faida yake n nn? Nijuze 😅
Hum kaka kuwa mkweli jamani
Mungu akubariki
Ame SANA mtumishi naweza akubariki🙏@@dicksonmalila1897
Vile MUNGU anafanya kwa Taifa letu
Vijana wetu,familia zetu, ni raha sana. Am happy to witness this revival
GOD BLESS TANZANIA 🇹🇿
Amen
Bwana ukinitendea utainua imani za wengi.🙏🙏
Please can someone like my comment nirudi tena kwa hii nyimbo
Bwana akubariki dada Rehema ,,,Ahsanteee kwa kutumika kwa Kristo nimebarukiwa mnooo na wimbo huuu ......Mungu azidi kuiongeza huduma yako....🙏🙏🙏
Amen big amen
Heard this song on Trace Gospel. I love it so much. 'Chukwu Oma' sounds like Igbo language in Nigeria. I love the choreography as well. Much love 🇳🇬
Tunaozidi kubarikiwa na huduma ya Bwana kupitia NGC mikono juu🖐️🖐️
Nabarikiwa sana Mungu azidikuwainua ktk kumtumikia ❤
Jamni mimi hapa nabarikiwa sana mpaka naurudia huu wimbo jamn wa baraka sana 🖐
Are you going to ignore the brother playing the saxophone, kwanza hapo wimbo ukianza??? He's doing a good job.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Am blessed by this song.
Amen🔥🔥🔥🔥🙏
Very true 🎉
Jamani sijawahii hata kupata like moja
Leo tunaandika kabisa
❤❤❤
Hakika mungu akisema ndivyo itakavyo kuwa tumwamini tu watu wa mungu
Bwana akifanya baraka zake haziiishi zinazidi kumiminika ameen
Yani huu wimbo umekuja kwa ajili yangu...haunitoki moyoni...naamini hivi karibuni narudi hapa kushuhudia,
Praying for Tanzania victims of the collapsed building may God give you strength peace in Jesus name amen
Hata kama nimechelewa SI mnipeeko likes❤❤
Chukuako likes😇
@@YvonneOdigaKanguhaAsantee ❤
Nimekupeako 😂
"Chukwu Oma" is an Igbo phrase from Nigeria, meaning "Good God" or "God is Good." In this context, "Chukwu" refers to God, and "Oma" means good or kind. It is often used in expressions of gratitude, praise, or worship in the Igbo language.❤❤❤
Thanks for sharing🙏❤️
nice statement
Amen
💯💪
Jamani Mimi sjawahibkupata hata moja🙆🙆
Vipenz vyangu NGC Nawapenda sanaa Mungu awabariki sanaa kwa Wimbo Mzurii Nimebarikiwa na huu Wimbo Nimejikuta Naelea ktk Uwepo Mungu awabariki kwa Huduma njemaa 😘🌹💖
Amen
Tunaorudia kuangalia tujuane tu ❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥
Mm pia Naangalia mara kumi kumi
Jman yaan huu wimbo unanibariki jmni hii ni mara ya kumi na moja kurudia huu wimbo
Amazing 🤩.I can't have enough of it. More blessings
@@NeemaGospelChoir Baraka tele🎉
Oooh hallelujah lakini huwezi amini kunawengine wanawaza kupata like 🤔🤔 badala kuusikiliza wimb 🎤🎤
Imagine...
@@janethkibambo3613 yani duuh inatisha🥺
Sema saxophone amejua kutuburudisha
Naona mbingu zimefunguka
Ujumbe wenye Mafuta kamili ya Roho mtakatifu
Ukishuka Shuka Na Neno na baraka zako Eeh Bwana utubariki sisi tulio kazi ya Mikono yako.Amen
❤
The Saphonist is awesome , he is 100% doing it from the heart, I like the spirit. Bravo Man of God
Oh hallelujah 🙏🙏
Wimbo mzuri sana hongereni sana Mtumishi wa Mungu Rehema simfukwe na Neema Gospel sauri nzuri Mungu awabariki sana
Amen
Much love from 🇰🇪 and 🇦🇺 tumebarikiwa sana.
Mungu awaneemeshe kila saa
Amen ubarikiwe sana
If humans praise God like this imagine the angels in heaven
Baba ninainua mikono yangu juu; ninavua taji yangu.. sema neno moja tu na roho yangu itapona😭😭😭😭😭.. asante kwa ajili ya mafunuo haya..
Amen
AMEN 🙏
@rehema simfukwe ubarikiwe dada yangu kwa kutuwakilisha vema watanzania
🙏🙏🙏
Nigerian style aisee
Mbarikiwe sana😍
It combination of swahili and Igbo praise it powerful praise song
Amen 🙏
A great song
Bwana akifanya amefanya ,baraka zake haziishi zinazidi kumiminika
Nawapenda sana ,God bless you na azidi kuwatumia
Ever since I discovered neema gospel, my life has been awesome, I like
Wow Glory be to God 🙏
Shuka na baraka unibariki like hapa twende pamoja
UKINITENDEA BABA YANGU,UTAINUA IMANI ZA WENGI. SEMA NENO MOJA TU NIWE HURU🙏🏼
Kazi zako ni njema nabarikiwa sana, pia mnavaa vizuri mavaz yenye utukufu, Ni maombi yangu Mungu akutumie zaidi kwa viwango vya juu,
Amen
Hapa kenya🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ❤❤❤❤❤❤
wimbo mzuri zidini kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu ili azidi kuwakweza alipowainua ni pakubwa kanuni ya Mungu akikuinua ni kushuka na kunyenyekea kwake mbarikiwe sana
AMEN Utukufu kwa Mungu 🙏
Bwana akifanya amefanya, baraka zake haziishi zinazidi kumiminika!🙌🙌🙌🙏
Ameb
Mungu awatunze wimbo ulioisha wa sitalia tena ulikuja maalumu kwangu maana baada ya miaka mingi mtaani nilipata kaz nzuri. Na huu wimbo uwabariki wote na Mimi naendelea kubarikiwa. Mungu azidi kuwazidisha na Roho mtakatifu awaongoze katika Huduma hii.
Ujumbe mzuri wenye imani kwamba tumtumaini Mungu naye atatenda
Amen
Wapi Likes za Congo 🇨🇩
Hallelujah ♥️ ♥️ ♥️
Ameeen❤
Ukinitendea utainua imani ya wengi..... Amen to the song
Amen
Napokeya kabisa 🇨🇩
Amen
I like this song..inanibarikii mnoo
This song touch my heart ooooooooh.....ukishukaa shukaaa na neno useme name sina MUNGU mwingine🎶🎶🎶🎵🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷
Amen
There is a kingdom army rising,, who worship God in Truth & spirit. Thank team for allowing God to use you. ❤🇰🇪🇰🇪
Nakupenda dada napenda aiding huduma yako
Ubarikiwe uinuliwa
Haya ni maombi yangu kwa Mungu...Mungu ukitenda kwangu utainua imani za wengi
Amen
Ahsanteni watumishi wa bwana kwakutufikishia ujumbe wa mungu na kumkumbuka kila tukiwasikiliza
Such a beautiful and annointed masterpiece..Been on repeat mode since its release.Loving it from 🇰🇪
Amen Glory be to God🙌🙌
Wimbo mzuri huu na mbarikiwe sana
Nchi pekee ambayo mtu ana omba like kwenye page za watu
😂😂😂😂
Lakini pia wewe una wivu. Si uwache wenye watalike wa like?
😂😂😂😂😂
Tanzania napenda sana Neema Gospel na Dr ipyana❤❤simalizi siku bila nyimbo zao
Amen
8:42 When Jesus had entered Capernaum, a centurion came to him, asking for help. 6 “Lord,” he said, “my servant lies at home paralyzed and in terrible suffering.”
7 Jesus said to him, “I will go and heal him.”
8 The centurion replied, “Lord, I do not deserve to have you come under my roof. But just say the word, and my servant will be healed
Nishapata kiingilio kwenye harusi hakika zitamiminika siku hiyo
Amen na ikawe heri kwako🙏🙏
Wape likes 👍to our GOOD GOD 🇹🇿🇰🇪🇷🇼🇧🇮🇺🇬
Mmh, beautiful, blessed song 🙌ukishuka, shuka na baraka unibariki ✨✨
Amen
Naisikia kwa uzuri sauti ya tatu … hongereni mmeimba vizuri sanaa mbarikiwe🎉
Amen
Chukwu oma iyee
I’ve been waiting you for so long
Ukinitendea eh Baba yangu
Utainua Imani za wengi
Sema neno moja tu eh baba yangu
Nami niwe huru
Sema neno moja tu Jehova
Nami nibarikiwe
Barikiwe sana.. BWANA akifanya amefanya baraka zake zinazidi kumiminika🙏🙏
🙏🙏🔥🔥
Nasikiliza kwa kuirudia rudia hii nyimbo, umefanyika wimbo wa moyo kwangu yaani kila wakati unaimba ndani yangu... Such a very powerful song 🙌.... God bless you Neema Gospel Choir na Rehema Simfukwe aiseee umefanya kweli in this song🙌🙌🙌.... MUNGU azidi kujitukuza kupitia ninyi
Honestly mmeweza mnooo😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌
Hakika huyu Mungu akitenda ametenda, Magnificent God.
Huduma yenu ikazid kuinuliwa kwa viwango vya kimataifa zaid, mbarikiwe mnoo ❤️
Amen
Hakika Bwana akifanya amefanya, baraka zake zinazidi kumiminika🎉
Amen
Mungu aendelee kuwainua watumishi wake. Nawapenda mno nimebarikiwa sana
Amen
Nyie mbona kama hawa sio wa tz 😅 maana sio kwa upenyezo wa nguvu ya roho mtakatifu❤❤❤❤❤❤
Amen, Endelea kubarikiwa na kuombea huduma yetu mpendwa wetu🙏
Kwani watz ndo wanashida gani kwani?!
Mungu nangoja bado 😢😢❤❤
Amen
Amina
Jmn huu wmbo unafnya baraka sana kwngu na kunigusa saaaan Mungu anisaidie
mm naitwa christopher nipo boko basihaya mungu wambingu awatie nguvu sana katika ibada zenu
Rehema simfukwe zidi kujinyenyekeza mbele za Mungu ,Ili Mungu azidi kujitukuza kupitia wewe, hakika nabarikiwa na huduma yako. Much ❤❤❤❤❤
Ukishuka shuka na neno pamoja na baraka unibariki eeh Mungu
Amen
Naona Utukufu Ukimwagika,Balikiwa Sana Neema Gospel ❤
Weeeeeee Mungu wangu skia hili ombi Letu🙏
Amen
Mungu awabariki neema gospel pamoja rehema hakika wimbo huu umebariki moyo wangu
Jamani wimbo umenibariki sana
Chukwuma say a word of healing and it shall be done
Amen
God has done it for me after listening to this song before an interview i trusted him ... alishuka na neno nikapata kazi
Ooooooh God ukifanya umefanya, ukitenda umetenda thanks sister Neema en Neema Gospel Mwenyezi Mungu awabariki kwa kazi yenu nzuriii
Amen bel blessed
Mungu azidi kukuinua dada wa mungu nimebarikiwa sana
There is something something about Rehema Simfukwe's songs that makes them so beautiful and powerful
sema bwana watu wa vyombo wa neema gospel mnajua sanaaa aloooh
shuka bwana
shuka na neno useme nani
ukishuka na baraka shuka unibariki.
sina Mungu mwingine
🙏🙏🙏
Mungu awabariki na kuwainua zaidi nazaidi,nilikua nikisubiri wimbo huu.Asante yesu kwa neema hii❤
Amen
Shuka everlasting father,unibariki na mimi
AMEN
Wimbo huu umenibariki Sana 🥰🥰🥰🙏🙏
Ukishuka shuka na neno ukishuka shuka na baraka🙏🏾🙏🏾
Ukinitendea Ee Baba yangu utainua Iman za wengi...sema neno moja tuu Ee Baba yangu niwe huru❤❤
Very nice 👍 song
Sema neno moja tu Jehova Nami niwe Huru.😭🙌🏻🙌🏻🙏🏻
Bwana akitenda ametenda baraka zake azi ishi
mnajua kuimba mpaka basi nawapenda Rehema Simfukwe $ Neema gospel choir 😍🥰🥰🥰🙌🙏
Sema neno Mmoja tu kwenye maisha yangu Yesu nakungoja
Nimebarikiwa Sana,mungu awebariki sana
Mubalikiwe sana waimbaji mungu awabaliki
Ukishuka BWANA shuka na Baraka unibariki
BARAKA ZA BWANA ZIZIDI KUMIMINIKA MAISHANI MWANGU .MUNGU AZIDI KUWABARIKI💗❤
lets keep coming back this sing deserves a million
Mungu awabariki kwahuduma nzuri