the first time I listened to this song I was at my lowest moment seeing my daughter on oxygen but this song taught me to thank God in every situation.after listening to this song on repeat for a week my girl was removed from oxygen and we were discharged from the hospital after spending a month and 2 weeks .for sure wacha Mungu apokee sifa za mioyo zetu
I was homeless, got into drugs, went into prisons, then i got to know Jesus, He changed my life... Now i have a home, a wife, a lovely daughter and a new identity... A child of God.. Hallelujah.❤❤🙏🙏🙏
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa Utendayo ni mema sisi tunakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa Usifiwe milele na milele twakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana Usifiwe milele na milele twakupa sifa Usifiwe milele na milele twakupa sifa Usifiwe milele na milele twakupa sifa Usifiwe milele na milele twakupa sifa Ooooh ooooh oooh oooh Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako Umetutendea ukarimu mwingi Umetukumbuka wakati wa dhiki Bwana pokea sifa za mioyo yetu Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili Bwana pokea sifa za mioyo yetu Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako Umetutendea ukarimu mwingi Umetukumbuka wakati wa dhiki Bwana pokea sifa za mioyo yetu Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili Bwana pokea sifa za mioyo yetu Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili Ooooh ooooh oooh oooh
Manibariki sana nyie watu wa Mungu aiseee wacha nisufu tu💃🏻🙏🏽💃🏻🙏🏽💃🏻🙏🏽Au nije kuimba kabisaaa….mnanifanya nazidi kumpenda Mungu …mbarikiwe mnoo kwa kunibariki na huu wimbo🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤝🤝
God help me not to rush my preparation and maturity season and when I go the marketplace help me be valuable fruitful, nutritious and most importantly glorify your name
Wow... Kila Kitu Hapa Ni World Class Standard. Huchoki Kungalia, Kusikiliza Na Kupata Burudani Ya Aina Huku Ukitafakari Ukuu Wa Mungu. Production Team Imetupaisha Kwa Viwango Vingine. Ni Sehemu Chache Unaweza Kupata Live Performance Ya Aina Hii. BARIKIWENI Sana. Camera Setting, Lighting Ana Above All Sound I Love Every Bit. Huu Ndio Uzuri Wa Kuwekeza Na Kugawana Vipaji Kwenye Team. Heshima Kwenu Nyote Hii Kwangu Imelipa
I'll sponsor this song the whole of Dec insta na FB 🔥🔥🔥 we all need to realize and appreciate what Gods been doing for us wether we asked or not but he still did us good why not praise him and remind others to ... We doing the on Dec 2022 ❤️
This is so me..🙏🙏🙏Wapi likes za wakenya kwa amani tuliyo nayo...Tuna sababu ya kumshukuru hasa wakati huu tulikua tunasubiri kuapishwa kwa rais wa nchi....Peace..Peace..Peace 🙏🙏🙏
the first time I listened to this song I was at my lowest moment seeing my daughter on oxygen but this song taught me to thank God in every situation.after listening to this song on repeat for a week my girl was removed from oxygen and we were discharged from the hospital after spending a month and 2 weeks .for sure wacha Mungu apokee sifa za mioyo zetu
Ooh Hallelujah, this God is real🙏🏻🙏🏻
Mathew 19:26
Ameen Glory to God!
o99kj9o,
God is good all the time
Amina
Yeremia 33:3
I was homeless, got into drugs, went into prisons, then i got to know Jesus, He changed my life... Now i have a home, a wife, a lovely daughter and a new identity... A child of God.. Hallelujah.❤❤🙏🙏🙏
God is beautiful and good like that!
God is always faithful 🙏
After struggling with infertility, God has blessed me with a beautiful, bouncy, healthy baby boy. Thank you God. Your love is amazing. ❤
👏
j
❤
Praise him!!!🎉
God is good
Nimekuja kisikiliza hu wimbo usiku huu ndipo nilale. Ganga like za kutosha kama unaipenda neema gospel 💕💕💕💕💕
Sasa ndugu zangu #NeemaGospelChoir mnapiga mziki mzuri hivi Huku Duniani🙆🏾♂️ Sasa huko mbinguni itakuaje??? Kwa Yesu raha sana🙌🏻🙌🏻🙌🏻
yani sipatii picha kwa kwelii ni RAHA ndani ya Yesuu.... sisi twapenda kulisifu jina lako .... utukufu ni kwa Bwana@ Mcsmile events Ubarikiwe
Asikwambie mtu kwa YESU RAHA NYIE.......
Hata Mimi najiuliza kama wewe aisee hawawatu tuwaache tuu
raha uende mbinguni yan nkupriase tu paka JEHOVA anakusamee sins zote
😂😂😂😂😂
Gonga like kama unaipenda neema gospel
Nimeipenda hyo ladha,,
So beautiful ❤️
Xmas
So nice
Naipenda. Moto kama ironbox
Kama umebarikiwa na utumishi wa Hawa ndugu gonga likes za kutosha mpka shetani akondee
🔥🔥💪💪💪🤝
Fvnhrgn
Jehova take all the glory!!
Very powerful song, everything on point Yesu awainue zaidi.
Amen
God bless you Rehema Simfukwe. You are a blessing to this generation and beyond
Alipo sema "come on lemme see you dance" nikakukumbuka kwenye NDIO 🤣 but glory to God
wujjkjkiii
@@fredzuma2722 hm; good you biking;;;
Mnajua kupanga mziki, mungu awabariki sana🙌🙏
Amen utukufu kwa Mungu 🙏🙏
Najivunia kuwa mtanzania ......you guy's God bles you more and more 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kiukwweli unajua kumtumikia MUNGU na barikiwa nanyi
Mbona ndo Nimeuskia huu wimbo 2024😢. Great song composition and singing unto our Lord.
Wow Glory to God 🔥
Tanzania is blessed ... Mungu endelea kutumia watu wako 🇹🇿🇹🇿
🥰🤗
Fantastic 🤗 🤗 🥰🥰🍒🍒🍒🍓
Indeed
I’m proud of TZ
♥️♥️♥️♥️♥️
Napenda hu wimbo jincy wanovyo huimba Asanteni san❤
Amen
Mziki imeenda shule..i love the way they play instruments..vocals on top Mungu awainue kabizaa nawapenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nawa penda sana toka Bunia D.r congo Bunia.
Mungu azidi kuwainua sana Salaam kutoka AIC Central Choir Igunga Tabora
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Utendayo ni mema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa
Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana
Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Ooooh ooooh oooh oooh
Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako
Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako
Umetutendea ukarimu mwingi
Umetukumbuka wakati wa dhiki
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako
Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako
Umetutendea ukarimu mwingi
Umetukumbuka wakati wa dhiki
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Ooooh ooooh oooh oooh
I am so blessed by this choir. Tz nyinyi mumebarikiwa kuimba nyimbo za ibaada zenye upako.
Asante Yesu kwa kunifikisha 2023 naomba ukajibu ombi langu nafuta kila kizuizi kinachozuia.Bwana Yesu wewe ni mwema
Oooh nice nice jina la bwana litukuzwe milele
I can't get enough of this song wow God bless you more love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏
God bless you ❤️🙏💖🙏❤️🙏💖🙏❤️🙏👼😇❣️🎉 and happy new year 🎊🎉❤.!
Nimependa sana vile wamepeana muda kwa band na wao wakacheza viombo kwa ustadi,.such a beautiful and well arranged song
Amen
Kabisaaa👏
Wewe ni mwema.❤
Sikujua kama ndo nyinyi mliimba wimbo huu. Leo nimejua na mmepanda viwango vya Juu. Kazi nzuri, inabariki, inagusa na inaamsha amsha.....!
f
I am happy for you.....!
Nasubir ifike million 1
Nawpenda Sna Kutokaa 🇴🇲 Mungu wa Mbinguni Awabaliki kila It wapo leo
TANZANIA My homeland nakupenda nalikutukuza kina la bwana kwa sababu yako Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
the musicians are superb i love the music
hongera kwenu neema gospel choir ubora wa kazi unajieleza
Mungu awainue ili muweze kumtumikia
My Tanzania kuna vipaji jaman asante Mungu.
Ametutendea ukarim mwing mnooo mnoooo
I can't get enough of this song! It's on replay mode, Yesu asifiwe. receive all the love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Amen... Thanks for the love ❤️
Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html 🙏🙏🙏
same here
Eeh mungu tusaidie
#neemagospelchoir mnanifanyaga nione Tanzania ndoile nchi ya ahadii ...🇹🇿🙏
Mnafuraha kulingana na Wimbo MUNGU awabariki
JAMANI WAPIGA VYOMBO!!!!!! MBARIKIWE
It's just makes me feel better now ❤
Mungu aendelee kuwainua NGC
Kazi nzuri.
This performance is waoh!!Wimbo mzurii sana.Tanzania tumepiga hatua kubwa kiasi hiki!.Hongereni.Kweli Mungu ni kwema.
Kama uko hapa tena tukiingia 2025 na sifa moyoni let me see your ❤❤❤❤
❤❤❤❤
Mmenibariki sana nanyimbo zenu mungu aendelee kuwatunza kwaajili yakumwimbia mungu maana mungu hupendezwa na sifa
Yan ad wasauz wenyew hawaon ndan,,
Hii ni kali haijawah kutokea bongo,,,,,,
Hongereni kwa kazi nzur iliyo njema
Kila nikiingia UA-cam lazima niusikilize huu wimbo Mungu awabariki it's my favorite song
Bwana!!! Tunasababu ya kuimba sifa zako!!! Eeeiiishhh
Manibariki sana nyie watu wa Mungu aiseee wacha nisufu tu💃🏻🙏🏽💃🏻🙏🏽💃🏻🙏🏽Au nije kuimba kabisaaa….mnanifanya nazidi kumpenda Mungu …mbarikiwe mnoo kwa kunibariki na huu wimbo🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤝🤝
Amen 🙏🙏
KWA KWELI WANAVYOIMBA UNAJUA KABISA HAWA WATU WANA MUNGU WAPIGA VYOMBO NAO WAMENIBARIKI SANA.
Ad nakosa cha kucomment ..Mungu awabariki sana watumish ...nmebarikiwa sana pia
kweliiii Mungu umestahili umetutendea ukalimu mwingi
YANI MUNGU WANGU WAMBINGUNI AWABARIKI KAZI NINZURI MNOO KUANZIA MZIKI,WIMBO,MUIMBAJI NAWAIMBAJI!
im from malaysia...eventhough i dont understand the language...but i can feel my soul and spirit dancing in joy!!!!
Amen 🙏🏻
wow
Wow i like this choir and i vote them as the best choir in East Africa iam in Nairobi Kenya
Kazi yenu njema mungu awakumbuke mimebwrikiwa kupitia wimbo huuu mbarikiweee Sanaa tena sanaaa
Amen... Ahsante sana.. na Ubarikiwe pia
Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html 🙏🙏🙏
Nimepita tena leo, Bwana ni mwema. I can't have enough of this song
What the Lord is doing in Tanzania's Churches is beautiful to see
🥺🥺🥺how glorious is this??? Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 is blessed!! Glory to God
haleluyaaaaa
Wangapi tunatamani wimbo ufunge mwaka ukiwa na viewers two million ???
Nyimbo inautukufu miziki Imelia aisee Hakika utukufu kwa Mungu aliwawezeshaa kufanyaa hii kitu❤❤
Amen
uyumung aki yupooooooooo
I am from chicago Illinois and I don't know kiswahili but nasubiri na Mungu aendelee kuwatumia watumishi muendelee kuupiga mwingi ndani ya Kristo🔥🔥
Waoh
Naafikiana na wewe! 😁
Annointed Neema Choir fraternity
Hahahhahaha in Jesus name 😂
🤣🤣 Imagine na hapa haujui kiswahili, be blessed
It's Africa the black community that always wins thank you lord for this. Thanks
🔥🔥🔥🔥🔥 Thank you Neema Gospel Choir for working with Frester's Records
Unatisha sana mkuu
Mmeleta Mapinduzi ya Mziki wa Injili. Tulidhani quality music ni kwenye secular tu. Now Iko ndani ya Yesu. Mungu awatie nguvu sana Frester's Record ⏺️
Mungu azidi kuibariki kazi ya mikono yako kaka yangu🙌🏾🙌🏾
Frester record management mko vizuri......Masanja ubarikiwe Sana kazi ya mikono yako inaonekana katika ubora na viwango vingine
Kazi nzuri Frester,nawarecommend worldwide in gospel production,we are proud of you guys-Zack from Mombasa Kenya
Siishiwi hamu yakusikiliza. Na kinanda kimekolea haswa. Hakika Bwana pokea sifa. Love yu Jesus❤
Huu wimbo una upako wa ajabu.. Tanzania is blessed indeed
GHOTHAA GHOTHAAAA TENAAA Am from kenyaa but the song si so sweet
Mubarikiwe watumishi wa Mungu 👏📖 comment from Zimbabwe-Harare 🇿🇼
Napenda Sana huuu wimbo Mungu awabariki
Amazing voices! Amazing musicians! What a groovy bass player! What a song! You are all blessed! Love from 🇰🇪.
You're welcome our dearest neighbor
God help me not to rush my preparation and maturity season and when I go the marketplace help me be valuable fruitful, nutritious and most importantly glorify your name
Amen
Wow...
Kila Kitu Hapa Ni World Class Standard. Huchoki Kungalia, Kusikiliza Na Kupata Burudani Ya Aina Huku Ukitafakari Ukuu Wa Mungu. Production Team Imetupaisha Kwa Viwango Vingine. Ni Sehemu Chache Unaweza Kupata Live Performance Ya Aina Hii. BARIKIWENI Sana. Camera Setting, Lighting Ana Above All Sound I Love Every Bit. Huu Ndio Uzuri Wa Kuwekeza Na Kugawana Vipaji Kwenye Team. Heshima Kwenu Nyote Hii Kwangu Imelipa
🎉🎉🎉 one love songs Jesus Christ azidi kuwapa Mahono zaidi mbarikiwe
This song is worthy to have 10 Million PLUS viewers, As Christians, we have to support our gospel Artists. I ♥♥♥ This song
Amen
I'll sponsor this song the whole of Dec insta na FB 🔥🔥🔥 we all need to realize and appreciate what Gods been doing for us wether we asked or not but he still did us good why not praise him and remind others to ... We doing the on Dec 2022 ❤️
Wow. Glory to our good God. Can you please contact us via whatsapp number +255 766 777 288
Thank you and God bless you!
I like your song but the most is drummer and the base guitar 😃😃😃😃😃😃🖐
I love Neema gospel,Ninabarikiwa sana na nyimbo zenu,Mungu awatunze
Hivi viwango ni vya kimataifa, mnaimba vizuri sana mbarikiwe
The instrumentals at 6:20 are just awesome.
God bless NGC.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
something about Tanzania oh my goodness you people are blessed the quality coming out of this nation woow....much love from Kenya
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏
Atherton wisdom we are humbled
❤❤❤🎉🎉 like ndo pia nirudi kuona upyaa 😅
This is so me..🙏🙏🙏Wapi likes za wakenya kwa amani tuliyo nayo...Tuna sababu ya kumshukuru hasa wakati huu tulikua tunasubiri kuapishwa kwa rais wa nchi....Peace..Peace..Peace 🙏🙏🙏
Neema gospel mnanikosha mbaka naogopa 💕💕💕💕🇿🇲🇿🇲
❤tende wot jina lakusta,hili,kuinuli
Huduma yenu njema mno zaidi
Kila nikisikiliza wimbo huu naona naingia malango ya mbinguni mungu awabariki sana sana sana
Sa Mbinguni itakuwaje kama duniani ndo hivi...Yesu nakupenda
I have always asked myself this question??? I cannot even begin to imagine!!!!
mnatubariki jamani. Mungu awainue zaidi
Wimbo nzuri sana
Nmepita tena saiz nabarikiwa mno asanten nmechok na kaz nmeona nijibarik
Echoing “Bwana pokea sifa za mioyo yetu,” in profound gratitude🙏🏽😭😭
Hilo nikanisa gani! Na mm niende nikaenjoy nao
Huyo dada mwenye kikomwe kidogo (sorry) hapo mbele kabisa ana nafasi yake mbinguni,anajua kucheza.Mungu awabariki mnatuweka uweponi
Nice nice jina la bwana lipewe sifa na utukufu milele yote amen.
Drum Drummer Drummest... Big up man.. Kazi safi..
Mungu azidi kuwainua zaidi nazaid
Me nawakubali sana jana kwamkapa mkutanoni mlitubaliki sana❤
Utukufu kwa Mungu
I've listened to this song today for the first time and it sums up my 2024. Lord, it can only be You. Pokea sifa za moyo wangu
Awesomely beautiful..indeed Tanzania is blessed..extra much love from 🇰🇪
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏
Thanks dear we love you more🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Karibu Tanzania jirani yetu
@@israelthomas8621 asante sana
Kazi nzurii
The singers, dancers, soloist and the band the whole set is a master piece. Can't get enough of this Song. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
What a lovely little singer 💞🤩❤ but I just like it's not bad 😭😭😭😭😭 its made me feel like I love this tooooooo much more 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤🎉.
Mee toooooo 😢❤🎉 now how it fills.
😢😢😢
The joy is overwhelming,waimbaji wako sawa kabisaa, instumentalists are all experts. Big love from Kenya
Jaman jaman nilikuwa na nanjaa lakini nimesikia hii nyimbo nikashiba kabisa