im here December 30 2024, Hakika Elohim song has blessed my year and i can't get enough of this song.. Asante Elohim for 2024, umetenda makuu kwenye maisha yangu and im gretful❤❤❤❤❤🙏🙏
Du! Aise aliyepewa maono ya kutunga huu wimbo Mungu amubarikia sana, adi majilani wananishangaa et mtu gani wiki nzima unapiga wimbo mmoja, nabaki natabasamu tu ukuu wa Mungu kwa yale ambayo anatuepusha nayo.
At the moment I have a fracture on my right leg but I can't stop dancing to this beautiful song. I know ELOHIM is healing me in Jesus name. Oh God may you fight all my battles. AMEN
My favourite choir CVC.I saw the short clip of this song as you were practicing it. Be blessed brethren. Always your biggest supporter . I'm blessed.Mabaya yaliinuka lakini hayakutupa,ulitutetea,ulitushindia Asante Elohim wewe ni Mungu unayetenda❤. 🇺🇸 🇺🇸
Production Niko safi sana nimependa stage arrangements nimependa digital stage plus lights set ups lan wange rotate light nyeupe kuwa main light ikirotare more ili kupunguza darkness kwa mbali,nyimbo nzuri mtunzi kafanya kweli.dressing safi,color za nguo safi ila nilitamani wide shots zingepungua then medium shots zingeongezwa,ningetamani medium shots za watoto hapo mbele kuimpress watoto wetu kupenda kuimba pia. otherwise 90% excellent
Kama unayajua ya dunia hii na unajua vita za dunia hii na unaujua ulimwengu wa roho vizuri, huu mwimbo unamaanisha makubwa sana ukiuskiliza kwa maana ya kuufananisha na vita za kiroho kiukweli machozi lazima yakutoke...Hongereni sana na Ashukuriwe Mungu siku zote.... Asante Elohim.
It is a great song. Mwanzoni wimbo unaanza kama siyo mzuri hivi, lakini mwishoni hasa kwenye kiitikio unavuta na kuvuta hisia sana. Shortly mmenigusa sana
I'm here some hours to 2025,umetembea nasi Mungu wetu,hakika umetutendea mengi mno maishani mwetu👏Mungu Kwa yote umetenda kwangu 2024,hapa nilipo Mungu ni Kwa nguvu zako ,asante elohim❤💃⛪
#Mimi huu wimbo ndo chakula changu chai ya asubuhi,'#Chakula cha mchana,na #Usiku yani hupati njaaa kabisa maana ni #Mungu Ndo anayetenda kwakila Jambo Nilazima Umshukuru ELOHIM KWAKUSEMA ASANTE.
❤❤❤❤❤❤waoooooooh hii ndo maan ya kwaya kubwaaa 🎉🎉🎉hakiika mmeonesha ukubwa wenu Mungu awabarik sana .......kazi nzuri sana aiseee nakosa maneno ya kusema ....ila Mungu awabariki sana
AICT-vijana choir chang'ombe,tangu enzi za Gusa mpaka leo Mungu anawatumia kuhudumu na kufanya kazi yake kwa njia ya uimbaji mnaendelea kuwa choir kwangu mm kwa East Africa mnaongoza.Elohim amekuja vzr sana ila hatamfikia"Nafsi yangu imechoka sana."
Amen. It is a thanks giving song. We're thankful to God for being with us from the beginning to where we are now. His hand protected us against all Evils
Asante ELOHIM Huu ni wimbo Bora wa kufungia Mwaka wimbo umeimbwa haushoshi kusiliza jamani miziki imepigwa aisee MUNGU aendelee kuwabariki sanaa yani nyie nawapenda hadi naumwa ❤❤🔥🔥
HII NI COMMENT YANGU YA PILI.....ILA AISEE AISEE HUU WIMBO ULIYEANDIKA MUNGU WA MBINGUNI AKUINUE ZAIDI YA HAPO NASIKIA NGUVU YA MUNGU KWA HARI MPYA SANA NDANI YANGU HUSUSANI KATIKA KIPINDI HIKI... MELODY YA WIMBO TU INANIPA UAMSHO NA NGUVU YA KUPATA TIMAINI JIPYA DHIDI YA KUMTEGEA MUNGU YAANI CVC MMEJUA KUNIPA MLO KAMILI...❤❤❤❤
3:04 hits my soul differently ...Tumetembea nawe toka mwanzo upo pamoja nasi, hapa tulipo ni kwa nguvu zako..asante Elohim. Ulitangulia mbele bila wewe tusingeweza,hapa tulipo ni kwa nguvu zako..asante Elohim.×2 Najua Elohim umetangulia 2024..tengeneza njia ulivyowatendea wanaisraeli katika bahari ya shamu. ASANTE ELOHIM
Yaaani hiyi nyimbo nimeitafta san sahv nimeipata na inavyo anza kam sio yenyew kumbe ukiisikiliz mwisho ina maona sio poa mungu azidi kuwapa kipaj cha kuimba zaid ya hapo mlipo fikia
Wenye tumetoka tiktok tukaja kuwatch huku tupite na like
Tupo hapa
Yean nlivyoisaka hii nyimboo yule dada apewe mauwa yake
Meeeee💯💯
Nipo 🎉🎉
❤❤❤❤❤
Wangapi tulivuka 2025 tukitumia huu wimbo? Konga like kama ulitumia huu wimbo kushukuru Mungu kwa ulinzi 2024.
Hii nyimbo ukiisikiliza taraehe kama ya leo, Dec 31 inakua Tamu Sanaaaa. Thank You AIC Chang'ombe
Agreed
im here December 30 2024, Hakika Elohim song has blessed my year and i can't get enough of this song..
Asante Elohim for 2024, umetenda makuu kwenye maisha yangu and im gretful❤❤❤❤❤🙏🙏
My favourite song 2025 .... Kama nawe favourite yako like tujuane🎉❤
Who is here in the month of November 😊😊one more month to go to 2025 Asante Elohim
meee
Waoooo tulio toka TikTok kuja kuutafuta tujuane❤🎉
Tunakoment wapi
Tupo
Nikoapa
Tupooo❤🎉
Kumbe siko pekee yangu 😂😂😂
Tumetembea na WeWe from January to December.
This far is you Ebenezer
Asante Elohim 🙏🙏
Anaengalia zaid ya mara moja mkono juu
Wimbo wa kuombea mkopo Bank huu. 😂
🙌🙌🙌🙌
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Narudisha rudisha jmn kukodoa mweee,kazi nzuri sanaaa
🖐️🖐️
Ninakusanya likes kwa ajili ya shukurani za mwaka 2025
Unakusanya nini? Utaacha ujinga lini?
Du! Aise aliyepewa maono ya kutunga huu wimbo Mungu amubarikia sana, adi majilani wananishangaa et mtu gani wiki nzima unapiga wimbo mmoja, nabaki natabasamu tu ukuu wa Mungu kwa yale ambayo anatuepusha nayo.
Amina. Jina la BWANA libarikiwe. Barikiwa mtumishi.
Ubarikiwe mtumishi
Endelea kumtukuza Elohim kwa anayoyatenda kwako.
Kwakweli majirani waache tu washangae hawajui vyenye MUNGU anatupiganiaga
Who is here 2025 umetembea nasi 2024 you do it this year ❤
Nasema hivi gonga like na subscribe kabisaa kama umeipenda ELOHIM❤❤❤❤❤
At the moment I have a fracture on my right leg but I can't stop dancing to this beautiful song. I know ELOHIM is healing me in Jesus name. Oh God may you fight all my battles. AMEN
Amen. Jehova Rapha is healing you in Jesus's name
Receive the healing in Jesus name 🙏
Lovely song.. Wakenya 🇰🇪🇰🇪 mko wapi Na likes?
Please, our heavenly father, bless everyone who is reading this comment.
Gusa raised me when I was 7 years old.....I'm 22 nasema asante kwa Mwenyezi mbarikiwe zaidi walezi wangu
Mungu aendelee kukuinua
@@rachelsenni8919 amina Rachel. Amejibu maombi na huu wimbo wa walezi wangu naomba uwe wako🙏
Hakika mnaweza kumtoa mtu kwenye zambi kupitia nyimbo zenu mbalikiwe sana❤
Amen. Jina la BWANA libarikiwe na sifa zimrudie yeye Mungu wetu.
Murakoze cane! Imana ibahezagire! Listening from Burundi!
Be blessed
Urakoze chane na wewe 🙏
@@AngelAfric Welcome!
@@rachelsenni8919 Amen,you too!
Tulitoka tiktok. Kuutafuta huu wimbo tupo hapa lovely
😂😂😂😂😂😂😂dah hii mitandao bana nkajua nipo mwenyewe nmekuja mbio
Aic Changombe vijana choir mnanibari tangu Guza,pazia ya hekalu hadi Elohim from Machakos county Kenya
Amen. Be blessed for following us, we believe you're praying for us
Glory be to God. Before Gusa kuna Vunja.
Mimi na familia yangu tunabarikiwa sana na nyimbo zetu. Mzidi kubarikiwa zaidi na zaidi.
Amen mtumishi wa BWANA. Sifa, heshima na utukufu kwa BWANA.
My favourite choir CVC.I saw the short clip of this song as you were practicing it. Be blessed brethren. Always your biggest supporter . I'm blessed.Mabaya yaliinuka lakini hayakutupa,ulitutetea,ulitushindia Asante Elohim wewe ni Mungu unayetenda❤. 🇺🇸 🇺🇸
Now you have it all
Amen. Continue praying for us.
Asante sana huu wimbo kwa kweli unaponya majeraha yote asante ELOHIM 🙏
Amen. Hakika sissy.
Ameen my Dada
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Production Niko safi sana nimependa stage arrangements nimependa digital stage plus lights set ups lan wange rotate light nyeupe kuwa main light ikirotare more ili kupunguza darkness kwa mbali,nyimbo nzuri mtunzi kafanya kweli.dressing safi,color za nguo safi ila nilitamani wide shots zingepungua then medium shots zingeongezwa,ningetamani medium shots za watoto hapo mbele kuimpress watoto wetu kupenda kuimba pia. otherwise 90% excellent
Kazi imebamba hatari
Shukran @Charles
Amen
Asante kwa ushauri mkuu,umechukuliwa
Kama unayajua ya dunia hii na unajua vita za dunia hii na unaujua ulimwengu wa roho vizuri, huu mwimbo unamaanisha makubwa sana ukiuskiliza kwa maana ya kuufananisha na vita za kiroho kiukweli machozi lazima yakutoke...Hongereni sana na Ashukuriwe Mungu siku zote.... Asante Elohim.
Mungu mwema wimbo unanibariki sana
It is a great song. Mwanzoni wimbo unaanza kama siyo mzuri hivi, lakini mwishoni hasa kwenye kiitikio unavuta na kuvuta hisia sana. Shortly mmenigusa sana
Mwanzo mwisho wimbo mzuri
Aiseeeee
Mwenyewe mwanzo niliona wa kawaida ila ulipofika katikati ukaanza kunichukua , God is good
I'm blessed....Pokea sifa,heshima na utukufu Mungu mwenye enzi...Tumeanza mwaka 2025 kwa ushindiiiii
😊😊😊😊😊😊
Mwenye tumetoka tiktok ju ya sauti ya mtoi mko wapi
Kila mmoja wetu akiri kwa kinywa chake kwamba kama si Bwana tusingefika hapa, kisha Sifa na utukufu zimrudie Yeye.
Amen. Hakika kama si BWANA tusingekua hapa. Sifa, heshima na utukufu vimrudie BWANA.
Hakika ni kwa mkono wa Bwana
I'm here some hours to 2025,umetembea nasi Mungu wetu,hakika umetutendea mengi mno maishani mwetu👏Mungu Kwa yote umetenda kwangu 2024,hapa nilipo Mungu ni Kwa nguvu zako ,asante elohim❤💃⛪
Imagine in the same church there is #Neema gospel and CVC 🔥🔥🔥🔥
Asante Elohim kwa ulinzi wako Jehova. Tunapoingia 2025 tunashukuru na kukuabudu wewe Elohim asante kwa uaminifu wako.
mnavyoimba raha sana na mnanifanya niikumbuke ukombozi kkkt msasani .,nimebarikiwa na huduma yenu watumishi wa MUNGU ,MUNGU atukuzwe
Amen mtumishi
Amen
Amen
Amen
Hata usiku wa Manane tupo tu 01:03am Asante Elohim!
Amen
Wimbo mzito, ujumbe mzito, daraja kwa mhitaji. Hongera nyingi kwenu @Aic_Chang'ombe
Nimetoka kwa status ya mtu after seeing this song. It summaries my 2024. ❤❤❤
Libarikiwe jina la Bwana Yesu. Aliyetunga huu wimbo, Md nawasalimiaa katika jina la Bwana Yesu, mmebarikiwa.
Amen. Sifa na utukufu kwa BWANA
@@rachelsenni8919 kuna powefull message.
Mimi hapa kweli kabisa nime toka tiktok❤😂😂
#Mimi huu wimbo ndo chakula changu chai ya asubuhi,'#Chakula cha mchana,na #Usiku yani hupati njaaa kabisa maana ni #Mungu Ndo anayetenda kwakila Jambo Nilazima Umshukuru ELOHIM KWAKUSEMA ASANTE.
A BIG AMEN
Amen
Huu wimbo unaweza kukutoa mahali kukuweka mahal pengine
Amen. Hakika, tuendelee kuuombea nguvu ya ki Mungu ili watu wake wavushwe walipo kwa utukufu wake tu.
Ogopa ni hatari MUNGU wangu awabariki sanaaa hii kitu ya moto sanaaaa ❤ kwenye mkesha lazma niipige hii❤
Wimbo unaimbika kila wakati unasinzia zako ndotoni upo nao tu. ELOHIM
😂😂😂😂😂
Yaaani Dah
Wenye tumeletwa na mtoto Naomi tunakaa pande gani😅😅,asante Elohim🙏
Kumbe tupo wengi nilidhan n mm mwenyewe sema ni bonge la songi
The slim lady in the middle of the sopranos is singing 🎶 it out from the heart ♥ I love it😊😊
🙌🙌🙌🙌Elohiiiiiiiiiiiiiiim
Huu wimbo ni kama wameniimbia mimi na wanangu, yani kila nikisikiliza najikuta namwaga machozi kwa shukrani zangu kwa Mungu. Mkono wa Mungu umetubeba
Amen 🙏🏾
Utukufu kwa Mungu
❤❤❤❤❤❤waoooooooh hii ndo maan ya kwaya kubwaaa 🎉🎉🎉hakiika mmeonesha ukubwa wenu Mungu awabarik sana .......kazi nzuri sana aiseee nakosa maneno ya kusema ....ila Mungu awabariki sana
Amen. Endelea kutuombea.
This 😢song is healing everyone deep inside our hearts 😭😭😭😭 praise God
❤❤❤❤
AICT-vijana choir chang'ombe,tangu enzi za Gusa mpaka leo Mungu anawatumia kuhudumu na kufanya kazi yake kwa njia ya uimbaji mnaendelea kuwa choir kwangu mm kwa East Africa mnaongoza.Elohim amekuja vzr sana ila hatamfikia"Nafsi yangu imechoka sana."
I don’t understand the language but the spirit of lord make it simple for me to understand and love the song , may the lord increase you more n more
that is how holy spirit ministered to his people even when you don't understand the language
Amen. It is a thanks giving song. We're thankful to God for being with us from the beginning to where we are now. His hand protected us against all Evils
Asante ELOHIM Huu ni wimbo Bora wa kufungia Mwaka wimbo umeimbwa haushoshi kusiliza jamani miziki imepigwa aisee MUNGU aendelee kuwabariki sanaa yani nyie nawapenda hadi naumwa ❤❤🔥🔥
Barikiwa mtumishi, tuombee
Anyone 2025🎉❤
This is Tanzania bruv. Am proud of our people
The song that will guide me this year(2025) ASANTE ELOHIM❤
Mbarikiwe sana CVC
Mabaya yaliinuka 2024 lakini hayakunipata ulinitetea ulinishindia na hata umenifikisha 2025 ASANTE ELOHIM 🙌🙌🙌🏾🙌🏾🎉🎉🎉
The repeat on the chorus!!!if you know what God has done in your life,nishukurani tu
HII NI COMMENT YANGU YA PILI.....ILA AISEE AISEE HUU WIMBO ULIYEANDIKA MUNGU WA MBINGUNI AKUINUE ZAIDI YA HAPO NASIKIA NGUVU YA MUNGU KWA HARI MPYA SANA NDANI YANGU HUSUSANI KATIKA KIPINDI HIKI... MELODY YA WIMBO TU INANIPA UAMSHO NA NGUVU YA KUPATA TIMAINI JIPYA DHIDI YA KUMTEGEA MUNGU YAANI CVC MMEJUA KUNIPA MLO KAMILI...❤❤❤❤
Amen 🙏🏾
Ubarikiwe sana
Wimbo mzuri Sana wasisimua moyo wangu🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amina
Hakika atuteteaye ni MUNGU tu, Mengi mabaya yanainuka kwetu lakini MUNGU anatushindia
Nimeusikia kwenye harusi ya mtu nikaupenda ntauimba siku ya harusi yangu mwakani❤ kwa iman
Hakika ni Elohim CVC Mungu awabariki huduma izidi kusomga mbele.. hii imeenda
Asante yesu
Tutangulie 2025😊
Jaman waambieni club hakuna issue njoon kwa yesu Kuna Raha km hizi❤❤
Hakika Wewe Baba Ni Elohim, Umetushika mkono❤
Winbo umejaa upako wa Mungu na kibali, mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Nikitazama nilikopita mwaka jana!!! Hakika ELOHIM anastahili kupwewa shukrani kwa wema wake kwetu.
Amen🙏
Amen
Amina mama
Congrats alot servants of Jesus Christ..#ELOHIM
Asanteni sana watumishi wenzetu shambani mwa BWANA
Mwanzoni huwez kuelewa huu wimbo ila utamu wake unazidi kunoga zaidi pale unapo endelea kuusikiliza
Asante ELOHIM, Wimbo wa kufunga mwaka na kufungua mwaka
Kywaya sshv zinafanya vzr sn kiukweli.
AIC,pale ufunuo ,kule Neema gospel,nk
Nomaaa sn
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu 🎉, uwe wenye Baraka tele kwa Jina La Yesu Kristo.,#Elohim😊
Amen. Na iwe kwako.
Wow I love Aic changombe....it had been a while congratulations.God bless you more....Much Much love from Kenya.
Thank you so much
Amen. Thanks, continue praying for us
Kuna mtoto anaitwa naomi James ameongeza views sana humu mumtafute mumpe soda yake,
Sana,lakini anatangaza injili Mungu atamuonekania kwa namna yake
ukweli..nilitfuta hii video kwa ajilii yake...the song is great.
watching from Kenya
Wimbo wangu wa muda wote,namshukuru Mungu kila mara nahaya ndiyo maneno yangu
Wimbo mzuri wa kumtukuza Mungu,kwa kutulinda kwa yote yaliyopita nyuma. Mungu atukuzwe.
Yesu awainue zaidi pia viongozi nawalimu wanaosimamia kwaya hii mbingu ziwakumbuke sn kupitia nyinyi kunavitu najifunza sn
Amen. Glory be to God
I had this song on tiktok kwa clip ya zoravo...nakuambia ilibidi nikimbie youtube nitafute full song...God glory to you...
From TikTok after watching mtoto Naomi sing this song.
Last day of 2023 and I'm jumping into the new year with this song 🙏🏿
Hallelujah
Amen
I have loved this choir over 2 decades nakumbuka tukicheza nyimbo zao kabisa my mom had those Caset ....Thank you Eloim
Amen 🙏🏾
We love you too
Amen, what a testimony
Amen. Glory be to God. Be blessed for spreading the word of God with us by listening and sharing with your loved ones
nani ametoka TikTok 🎉🎉🎉?
Mm nko tiktok hii wimbo unattended hadi nkasema nikuje nione original
Na huu wimbo nimeuskiza leo vizuri ikiwa ni tarehe mosi mwezi wa mwisho mwakani,baba hakika tangia Januari hadi Disemba nasema asente Elohim 🙏🙏
3:04 hits my soul differently ...Tumetembea nawe toka mwanzo upo pamoja nasi, hapa tulipo ni kwa nguvu zako..asante Elohim. Ulitangulia mbele bila wewe tusingeweza,hapa tulipo ni kwa nguvu zako..asante Elohim.×2
Najua Elohim umetangulia 2024..tengeneza njia ulivyowatendea wanaisraeli katika bahari ya shamu. ASANTE ELOHIM
Amen
Amen
Keep it up changombe working the house of Lord ,continue receiving the blessing from the Jesus christ
@@williummaroseck7366 amen, glory be to God
I sing this song in tears 😭 indeed Asante Elohim🙏🏾🙏🏾
Nimetazama mala kumi.nawapenda sana cvc toka niko kijana mdogo.gusa na nyimbo zingine
Asante mtumishi wa Mungu,endelea kubarikiwa tu❤
Barikiwa sana Mtumishi🙏
Amen amen tubarikiwe sote
Tusiochoka kusikiza huu wimbo tujuaneee
Tunacomment wapi😅
The best song ever it can bring heaven down weee
Amen. Glory be to God.
Yaaani hiyi nyimbo nimeitafta san sahv nimeipata na inavyo anza kam sio yenyew kumbe ukiisikiliz mwisho ina maona sio poa mungu azidi kuwapa kipaj cha kuimba zaid ya hapo mlipo fikia
Yaani nikipanda daladala nikafika salama,bado nasema,"ASANTE ELOHIM,WEWE NI MUNGU UNAYE TENDA".
Amen
Amen
Tumetembea nawe 2024! My Elohim .... some hours to 2025
Naomi ana fanya ni tafute wimbo toka tiktok
Wale wa Tiktok tuko wapi🎉🎉 this song been popping on my timeline
Tunacomment wapi😅
Mm pia
Sijui kwanini natokwa na machozi😢 asante ELOHIM
Elohim ni Bwana na Anatenda
In love with this song ....2 days to 2025
Same here😀
Wimho wa Mwaka Hongereni sana such a sweet song
Amen. Glory be to God.
2025 tembea na Sisi mungu.umekuwa mwema kwetu🙏tunajua umetutangulia
Jamani tunaomba no ya Account tutume sadaka.
Oooh Barikiwa shem tutakutumia
Mungu akubariki kwa sadaka yako
That Girl from TikTok has really promoted this song buy a soda for her.A nice song
The most powerful song.... Yaani hii nyimbo hata ukija kusikiliza baada ya miaka 10 bado itakuwa na upako wenye nguvu ❤❤❤❤🎉🎉🎉
ASANTE ELOHIM 🙏
The part you are looking for starts at 3:02 don’t worry it’s the same song
I love seeing real heart of worship ,this is priceless . I am smiling ❤❤. Love all the way from Zimbabwe 🇿🇼
Amen. Glory be to God.
Iam in love with the chorus of this blessed song oohh..be blessed🙏🙏
Amen. Glory and honour to God