BMG TV: RC Mtanda achukua hatua kukamilisha Soko Kuu Mwanza

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 24

  • @MadilishaSimon-sb9kk
    @MadilishaSimon-sb9kk 8 місяців тому +2

    Mwanza ❤❤❤

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 7 місяців тому +1

    Asante sana MKUU, ila mwanza Bado tuna matatizo mawili makubwa, Jengo la uwanja wa ndege la aboria japo ni dogo na aliendani na hadhi ya mji wa mwanza lakini halijakamilika, pili maegesho ya magari hapa mjini ni shida sana, kuegesha magari pembezoni mwa brbr ni jambo hatarishi sana

  • @official_wjb_tz1589
    @official_wjb_tz1589 8 місяців тому +5

    Enzi za jpm hilo soko lingekua limeishaa kitambo

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 місяців тому

      RC kasema atasimamia likamilike

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 6 місяців тому +1

    Daraja tu lenyewe harijaisha itakua soko😢

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 місяців тому

      Wamesema Disemba linaanza kutumika

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 6 місяців тому +1

    Kweli limeisha au porojo

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 6 місяців тому +1

    Tumewachoka kigongo ferry daraja bado

  • @laheonlinetv2161
    @laheonlinetv2161 8 місяців тому +2

    uwanja wa ndege siyo wa kimkakati Bazo? mbona huutaji?

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 місяців тому

      Nao wa kimkakati. Tumeutaja sana mara kadhaa

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 6 місяців тому +1

    Ni aibu kubwa sana kw nchi yetu, mji wa pili kwa ukubwa na uzalishaji kukosa Aiport. Kila kitu kimesahalika. Angalia CCM Kilumba. mji ulio kando ya ziwa kubwa duniani wananchi wake kuwa na tatizo la maji ni aibu isiyo na kiwango. Huu ni ukweli na siyo majungu.

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 8 місяців тому +1

    Hili soko kwa kiongozi huyo litafika mpaka mwaka kesho litakuwa bado .
    Uwongo ndio kipao mbele pamba wewe ndio umeipandisha? Mwanza itapitwa hata na shinyanga kimaendeleo kwa viongozi kama hawa

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  8 місяців тому

      Kwa nini una mtazamo huo?

    • @MohammedJaizan-yf5yt
      @MohammedJaizan-yf5yt 8 місяців тому

      @@BMGOnlineTV Mfano mzuri serekali imetumia kiasi kikubwa sana kutengeza nyamungoro kwa ajili ya magari makubwa lakini mpaka Leo haitumiki na wanaendelea kuharibu Barabara za mjini mbazo haziimili uzito hii yote inatokana na kiongozi kama huyu.
      BMG fanya utafiti wako wa miradi ya mwanza isiyokuwa na kasoro utapata jibu.
      Na hii inatokana na viongozi kama huyu na hawezi akasema yeye ni mgeni mza ndio huwa visingizio vyao .
      Hii ndio mza linalo wezekana huwa haliwezekani

    • @johndeov5630
      @johndeov5630 8 місяців тому

      Mwanza jiji miradi mingi inasuasua katika utekelezaj tunaanza na ujenzi wa jengo la abiria airport Hadi Leo kimya pili ujenzi wa barabara kutoka buhongwa Hadi kishiri Tena ss soko kuu yaan miradi ya mwanza ni full danadana

  • @niolaussdavid
    @niolaussdavid 8 місяців тому +1

    na kupanga jiji upya

  • @DudddyWhyCant
    @DudddyWhyCant 8 місяців тому +1

    Mtanda ni jembe, hapendi ubabaishaji.