Obadiah ndio maana unamalizia jina lako na kajungu hivyo umezoea majungu!!!!!!hutaki kumsifia na kazi iendeleee hukubaliani nayo?😅😅 Haaahaa aaaaaaaàaaaàa😅😅😅
Kwahiyo Dada,ni wale wa,Turiki ndo wanaendelea na,Ujenzi? Maana nilikuwa nawaona hapa Dodoma,wakijenga,yaano Rail iko maridadi sana,sasa kuna,watu na bishana nao sana hapa mtaani,mimi nasema hiyo train niya umeme wenzangu wananopinga kwamba,niya,kawaida siyo ya umeme.wakl sawa au?
@@nickdemo640 acha mwanza iwake bado na ule mradi wa kimataifa wa kayenze ukiisha mwanza haitakamatika ongeza ujenzi wa mall kubwa kabisa ya kimataifa pale nyakato pia hotel ya nyota tano pale kapripointi ambayo itaisha mwakani
Wow beautiful mwaza 🔥🔥🔥💪👏👏
Na daraja la Magufuli likikamilika, badi Mwanza itakuwa ni sehemu ya kuvutia sana.
HONGERA SANA DADA KWA UJEJZI WA TAIFA MUNGU AKUBARIKI
RIP - Magufuli - best ever president i have ever seen in my life time...
Making Africa great again!
Viva madame SAMIA
mwanza kumekucha safi mama samia
Mwanza pazuri sana
Kabisa mama inabadilika sana
Big up Eng...Chusi
Tuulizien na ajira aisee huko
Magufuli oyee
Wapi Ben Mwanantala
Station ya Mwanza central, tunaomba tupate muoenako jamani
Dar TU mwanza nauli shilingi ngapi
Huu ni mwaka wa tatu mnacheza hakuna kinachosogea tangu wachina wamekabidhiwa site!
Hakuna kitu hapo wapeni tender waturuki vinginevyo tutavuna mabua!
Obadiah ndio maana unamalizia jina lako na kajungu hivyo umezoea majungu!!!!!!hutaki kumsifia na kazi iendeleee hukubaliani nayo?😅😅 Haaahaa aaaaaaaàaaaàa😅😅😅
Kwahiyo Dada,ni wale wa,Turiki ndo wanaendelea na,Ujenzi? Maana nilikuwa nawaona hapa Dodoma,wakijenga,yaano Rail iko maridadi sana,sasa kuna,watu na bishana nao sana hapa mtaani,mimi nasema hiyo train niya umeme wenzangu wananopinga kwamba,niya,kawaida siyo ya umeme.wakl sawa au?
SGR inatumia umeme, sio diesel. Wajenzi hapo Mwanza nadhani wachina. Waturuki wameishia makutupora. Mwenye kujua zaidi atufahamishe
@@Ali-nl2duupo sahihi
Acha ujinga ujenzi umesimama weweee!!!
Ila kwakweli mwanza hatujasahaurika
mwanza inaenda kung'aaa si mchezooo
@@madirishasimon9692 miladi mikibwa 4 yakimkakati
@@nickdemo640 acha mwanza iwake bado na ule mradi wa kimataifa wa kayenze ukiisha mwanza haitakamatika ongeza ujenzi wa mall kubwa kabisa ya kimataifa pale nyakato pia hotel ya nyota tano pale kapripointi ambayo itaisha mwakani
Tunaomba SGR ya kwenda kigoma ikamilike haraka kuliko hyo ya mwanza
Kwanini
Kwa nini? Lete sababu za msingi maana huko Kigoma hata kuanza bado
@@lucasmhagama8166 kigoma inatakiwa ilishe soko la Congo lenye watu million 90 sgr itapunguza gharama za usafiri tutauza San kwa Bei rafiki
unaijua mwanza wewe au unaongea tu uganda kuna soko kubwa mno ukiunganisha na Sudan kusini na baadhi ya maeneo ya Kenya ongeza na rwanda
Hamna ki2 kama hicho nyie muombe mletewe mbegu za mawese2
Òò
Hamjakamilisha awamu ya kwanza mnakimbilia awamu nyingine, mna akili sawa sawa?
Akili unazo wewe tu peke yako wengine wote hawana pumbavu zako